Je, Unajua Jinsi ya Kusali??| SIKILIZA HII VIDEO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • #SUBSCRIBE #SALA

КОМЕНТАРІ • 123

  • @adelinelyaruu3036
    @adelinelyaruu3036 3 роки тому +11

    Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani, Amina🙏🙏🌹🌹

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 роки тому

      Amina karibu utazame hazina ya mafundisho mazuri aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika channel yetu.

  • @sarunioleksaitoty2141
    @sarunioleksaitoty2141 2 роки тому +5

    I was suuddenly shocked with his death surely I believe that you are rejoicing in heaven! Fr. Mbiku I remember your preaches when I was a student at Mlimani!R.I.P you were a living angel!

  • @teddyelieza9780
    @teddyelieza9780 4 роки тому +5

    Ubarikiwe baba na asante kwa kutufundisga jinsi ya kuomba

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 4 роки тому +4

    Milele Amina Ahsante sana Mtumishi wa Mungu kwa,mafundisho haya ,hakika nimepata,kitu kizuri namna ya kuomba nitaanza sasa kubadilika wakati wa Kuomba Amina Amina Amina Tumsifu Yesu Kristo

    • @raphaelkirenga443
      @raphaelkirenga443 3 роки тому

      TYK. Naomba msaada. Je! Tunamwalikaje Roho Mtakatifu? Na nitajuaje kama amekuja? Naomba msaada huu wa kiimani. Masomo ni mazuri na yanatuimarisha kiimani.c

  • @fideliskimati4619
    @fideliskimati4619 5 років тому +7

    Amina

  • @esthermbalale3075
    @esthermbalale3075 9 днів тому

    Milele Amina 🙏🏽 bba upumzike palipo salama

  • @maishayangu9216
    @maishayangu9216 4 роки тому +2

    Shukrani sana Padre mtumishi wa Mungu! Hakika haya ni mafundisho yanayoweza kufaidi wakristu wengi sana. Tumshukuru Mungu kwa fundisho hili na kumwomba pia wengi wapate kulipata hili fundisho. Ninajua mimi limenifaidi kiroho na limeniondolea shaka niliyokuwa nayo kutojua kuomba ifaavyo. Najua litaendelea kunisaidia katika kuimarika kimaombi. Tumshukuru Yesu Kristo

  • @benjaminsospeter7145
    @benjaminsospeter7145 4 роки тому +5

    Fr nashukuru Sana kwa maelezo mazuri ya novena ya siku 54 ubarikiwe Sana baba

  • @magrethaloyce1430
    @magrethaloyce1430 4 роки тому +3

    Ameen father God bless you

  • @emmanuelalbano416
    @emmanuelalbano416 4 роки тому +4

    Asante kwa fundisho

  • @nattahvanguy
    @nattahvanguy 3 роки тому +2

    Amen! Sifa zote ziende kwake Mungu mwenyezi. Asante Mungu kwa yote.

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 роки тому

      Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika UA-cam Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE

  • @homoboniuslongino7368
    @homoboniuslongino7368 5 років тому +6

    Asante kwa ujumbe mzuri

  • @fredlyimo1263
    @fredlyimo1263 2 роки тому

    Amina sana father mbiku mwenyezi Mungu akupe na kukuzidishia baraka uendelee na utumishi wako sote tunaofatilia vipindi na mafundisho yako mengi tunajifunza aamina...

  • @maryonchoka1832
    @maryonchoka1832 Рік тому +1

    Asante kwa kutujuza jinsi ya kusali

  • @theresiathadayo3622
    @theresiathadayo3622 4 роки тому +2

    Asante sana paroko kwa mafundisho nimeelewa kumbe nilikua namkose mungu wangu

  • @rosemarymwandu6426
    @rosemarymwandu6426 5 років тому +5

    Asante sana kwa somo hili

  • @aminashaibu7732
    @aminashaibu7732 4 роки тому +3

    Asante sana kwa tafakari hii

  • @charlottekibacha7725
    @charlottekibacha7725 3 роки тому +1

    Pumzika kwa amani father Mbiku,kifo chako kimefanyika baraka kwangu,kimenileta hapa,Mungu wetu akupokee kwake,amina.

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 роки тому

      Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika UA-cam Channel yetu ya The Servant Media.

  • @angelucyleonard2543
    @angelucyleonard2543 5 років тому +3

    Amina sana

  • @alexmfikwa29
    @alexmfikwa29 2 роки тому +1

    Amina.... Mtumishi wa Mungu

  • @erastonathan5307
    @erastonathan5307 4 роки тому +2

    Amina father

  • @josephinengorwe702
    @josephinengorwe702 4 роки тому +2

    Ubarikiwe sana Father

  • @jmassawe3799
    @jmassawe3799 4 роки тому +2

    Ubarikise sana father

  • @statisticianwessa3966
    @statisticianwessa3966 2 роки тому +1

    Milele Amina father🙏🏿🙏🏿

  • @christinabageze3188
    @christinabageze3188 4 роки тому +1

    Asante father ubalikiwe kwa mafundisho mazuri

  • @modestangotezi7482
    @modestangotezi7482 4 роки тому +2

    Asante mtumishi wa Mungu.

  • @leoniajohn8676
    @leoniajohn8676 3 роки тому +7

    Missing you alot dear Fr, Rest In Peace dad

  • @amenahussien6134
    @amenahussien6134 5 років тому +3

    Ahsante sana kwa somo Father

    • @elizabethmwangimaina7418
      @elizabethmwangimaina7418 4 роки тому

      Asatente sana kwa soma fatha☁😘😘☁😘😘☁
      😘😘😘😘😘😘😘
      😘😘😘😘😘😘😘
      ☁😘😘😘😘😘☁
      ☁☁😘😘😘☁☁
      ☁☁☁😘☁☁☁
      🇰🇪🇰🇪

    • @elizabethmwangimaina7418
      @elizabethmwangimaina7418 4 роки тому +1

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @odettevianney3026
    @odettevianney3026 Рік тому

    Pumzika Baba. Najua upo Paradiso ukifurahi, tuombee nasi tufike huko!

  • @paulosabina1034
    @paulosabina1034 5 років тому +3

    Asante Sana Father, nimejua mengi kupitia wewe, Mungu Kubariki sana

    • @paulosabina1034
      @paulosabina1034 5 років тому

      Naomba kuuliza swali father,. Katika Aina zote za Sala ulizotaja(4)zinasaliwa zote kwa wakati mmoja, yaani Kama jioni unafanya zote nne?

    • @esperancykasogela2892
      @esperancykasogela2892 4 роки тому

      Asante father kwa kutuelimisha

  • @annaosmond6442
    @annaosmond6442 Рік тому

    Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani.Amina

  • @IsakaNyangohe-jl7gj
    @IsakaNyangohe-jl7gj 10 місяців тому

    🎉🎉🎉

  • @anyesijacob2153
    @anyesijacob2153 3 роки тому +1

    Asante sana kutujuza jinsi ya kusali Mungu akubariki

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 роки тому

      Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika UA-cam Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE

  • @lydianaliaka9479
    @lydianaliaka9479 4 роки тому +3

    🙏🙏🙏

  • @ndamomusa3522
    @ndamomusa3522 5 місяців тому

    Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie hakika mafundisho yako yatazidi kuishi nimejifunza jinsi ya kuomba sasa usikute sala zangu zilikuwa hazifiki ila kwa neema to napokea🙏🤲

  • @flipaclipanimationz6790
    @flipaclipanimationz6790 4 роки тому +1

    Ubarikiwe baba

  • @josephinedeo6434
    @josephinedeo6434 4 роки тому +1

    Amina Baba, hakika napata kujifunza upitia vipindi hivi. Mungu Mwenyezi Akutunze ili tupate zaidi kumjua kupitia wewe🙏🙏🙏

  • @augeniamkoko5318
    @augeniamkoko5318 3 роки тому +3

    Forever in our hearts ♥️

  • @veronicaalfred5739
    @veronicaalfred5739 3 роки тому +1

    Ubarikiwe sana BABA angu; Mtumishi wa MUNGU.

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 роки тому

      Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika UA-cam Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE

    • @agnessweya4520
      @agnessweya4520 3 роки тому

      Asant San mtumish wet mung akutangulie akupe maisha maref ili tizid kujifunz neno la mung kupita wew mtumish wet

    • @leoniajohn8676
      @leoniajohn8676 3 роки тому

      @@agnessweya4520 😥😥😥

  • @emanuelalbert3222
    @emanuelalbert3222 4 роки тому +2

    Asante father,je sisi tunaoishi bila ndoa tunaruhusiwa kufanya novena?na novena ni lazima ufunge?

  • @zedianagasper9475
    @zedianagasper9475 3 роки тому

    Amina mtumishi wa MUNGU aliye hai

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 2 роки тому +1

    Tamu

  • @allanandrea166
    @allanandrea166 3 роки тому

    amina asante kwa mafundisho mazuri Baba Mungu akubariki sana

  • @happymgasa3876
    @happymgasa3876 Рік тому

    Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike Kwa aman amina

  • @francinelumuna8470
    @francinelumuna8470 2 роки тому +1

    Rest in peace 🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 3 роки тому

    Asante baba

  • @salometemba5225
    @salometemba5225 2 роки тому +1

    Mungu akupe raha ya milele na akuangazie mwanga wa milele
    Kwa maana umetuachia mambo ya kutufikisha ulipo

    • @gabrielmdem4271
      @gabrielmdem4271 Рік тому

      Maisha hayaa samajani dada hua nafatilia Dana mafundisho ya huu mtumishi Sasa nastuka wanaposema apumzike Kwa amani Kwa arikwisha fariki? Samajani naomba unifahamishe : naitwa gabriely mdemu nipo zenji asante

  • @mariachannel2047
    @mariachannel2047 3 роки тому +3

    Rest in peace baba yetu

  • @catherineluoga6288
    @catherineluoga6288 3 роки тому

    Pumzika kwa Amani baba yangu ulinilea vizuri sana kiroho nimeumizwa sana national kifo chako Mwenyezi Mungu akutunze

  • @isaacthomas7888
    @isaacthomas7888 7 місяців тому

    Pumzika kwa Amani..Baba Mbiku

  • @maryrehema6228
    @maryrehema6228 3 роки тому

    Namshukuru Mungu kwa mselezo yako juu ya novena

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 роки тому

      Amina, Karibu utazame Hazina ya Mafundisho mazuri aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika Channel yetu ya THE SERVANT MEDIA Kwa ku SUBSCRIBE.

  • @mariageoffrey4163
    @mariageoffrey4163 2 роки тому +1

    Mafundisho yako bado yanaishi mioyoni mwetu. Rest well Baba Mbiku

  • @reynaldakizuri4489
    @reynaldakizuri4489 3 роки тому +1

    Rest in peace father Deogratius Mbiku.

  • @humphreylyimo8759
    @humphreylyimo8759 Рік тому

    Raha ya milele umpe Baba yetu Monsinyori Deogratias Mbiku Ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani.

  • @maryonchoka1832
    @maryonchoka1832 Рік тому

    Rest in God's hands

  • @beathalucas1161
    @beathalucas1161 4 роки тому

    TYK je ninaweza kusali novena zaidi ya moja ingawa maombi ni tofauti?

  • @winnermariah
    @winnermariah 3 роки тому +1

    OOOH ASANTE SANA BABA...NIMEJIFUNZA MENGI NTAYAFANYIA KAZI KWANZIA SASA...ASANTE YESU KWAAJILI YAKO

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 роки тому

      Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika UA-cam Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE

  • @marthakilawe9293
    @marthakilawe9293 3 роки тому +1

    Tumshukur Mungu kwa ajili yako baba yetu wa kiroho.

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 роки тому

      Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika UA-cam Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE

  • @jacquelinekahamba7872
    @jacquelinekahamba7872 Рік тому

    missing you

  • @anasianamgani6751
    @anasianamgani6751 4 роки тому +1

    Jamani Tumsifu Yesu Kristo! Naombeni namba ya simu ya Father Mbiku

  • @nkambapunguja1519
    @nkambapunguja1519 2 роки тому

    Pumzika kwa amani baba yetu❤️❤️💔😭😭

  • @estherdamian6086
    @estherdamian6086 3 роки тому +2

    Habar baba Mbiku naomba namba yako ili tuwasiliane unielekeze vizuri novena ya siku 54 naomba tafadhali

  • @gustavkunkuta6733
    @gustavkunkuta6733 3 роки тому

    Mheshimiwa Msgr Baba padre Mbiku Tumsifu Yesu Kristu. Naomba kuuliza hivi rank ya Abate ni nini katika kanisa? Huteuliwa na nani?

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 роки тому

      Asante sana kwa Swali zuri, tutakutafutia ufumbuzi. Karibu utazame Hazina ya Mafundisho mazuri aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika Channel yetu ya THE SERVANT MEDIA Kwa ku SUBSCRIBE.

  • @kandidatesha9223
    @kandidatesha9223 3 роки тому +1

    Fr naomba niipate hiyo sala ya siku 54 fr

  • @lonahsum4249
    @lonahsum4249 3 роки тому +1

    H

  • @aronmapunda1783
    @aronmapunda1783 4 роки тому +1

    Tatizo dini ni sumu Kwa mtu mweusi, dini zimetutenganisha na MUNGU WA KWELI.

    • @salomecaroly5534
      @salomecaroly5534 2 роки тому

      Kama dini zimekutenganisha na Mungu wa kweli unatumia njia gani ili upatane na Mungu wa kweli???.neno dini humaanisha njia inayokuunganisha na Mungu ili uurithi ufalme wa Mungu Sasa unataka nn utumikie Mizimu au Shetani bas kuwa wa Muovu Ibilis au Mwana wa Mungu hakunaga option nyingine ni hizo mbili njia ya opotevuni na ya kuelekea uzimani.

  • @aronmapunda1783
    @aronmapunda1783 4 роки тому

    Pamoja MUNGU WA KWELI ametupa uhuru wa kuamua tuwe na mwelekeo gani, sasa nafasi hii mmechukua kwa masilahi, kama Waroma, Wayahudi bandia wale wa Palestina, Waarabu, walituletea miungu ya kwao na mkaipokea nakumainisha ndugu zenu bila uhuru kutunganisha na MUNGU WA KWELI, mnatuabudisha miungu ya wageni. Tukiwaita ni wapinga KRISTO tutawaonea ?

    • @salomecaroly5534
      @salomecaroly5534 2 роки тому

      Unamaanisha nini tengeneza wewe na Mungu wako hayo mengine achana nayo kwani siku ukifa utahukumiwa pamoja nao??

  • @aronmapunda1783
    @aronmapunda1783 4 роки тому +2

    NI jibu gani mtatoa kwa MUNGU WA KWELI, kwa kukitangamiza kizazi teule cha MUNGU WA KWELI? hali mnajua ukweli wote, mnaaminisha watu KRISTO WA KWELI ati ni yule aliyeletwa na Wazungu na kumwita KRISTO ni MUNGU, wakati yeye ni mwana wa MUNGU mzaliwa wakwanza kati ya viumbe vyote vionekanavyo na VISIVYOONEKANA

    • @sambonangamasawe5230
      @sambonangamasawe5230 4 роки тому

      Padri, umenifumbulia mambo mengi sikujua hasa kuhusu novena na namna ya kusali. Kweli wewe ni zawadi kubwa kwetu

    • @patrickpatrick1802
      @patrickpatrick1802 4 роки тому +2

      Amina Baba Mungu azidi kukupa nguvu na uzidi kutulisha Neno lake. Naomba mawasiliano ya father kwa ushaur zaidi

    • @veronicaalfred5739
      @veronicaalfred5739 3 роки тому

      Naona we baba upo nje ya maana; na upo upotevun, ila BWANA wa MAJESHI ni mwaminifu atakuokoa, hatakuacha uendelea kuish ktk njia hyo ya upotevu

    • @veronicaalfred5739
      @veronicaalfred5739 3 роки тому

      Unatakiw kuomba sana il MUNGU akuweke huru; hapo juu unaona FR anatufundisha neno lililo sawa, nawe unaingiza miungu mingne nan alikuambia Wakayorik tnaabudu miungu? Au kazi yako wewe ni kuiharibu kaz ya MUNGU? Maana FR ametumwa na BWANA YESU aje alitangaze neno lake nawe wataka kuharb si Ushetan huo,

    • @maryrehema6228
      @maryrehema6228 3 роки тому

      Asnte Mungu kwa huyu padri

  • @francoisekabanyana444
    @francoisekabanyana444 4 роки тому +1

    Natowa jambooo baba tafauti gani kati ya sala na maombi nisaidie sana

    • @felisterligwa
      @felisterligwa 4 роки тому +2

      Françoise Kabanyana
      Sala inajumlisha
      Maombi
      Kusifu
      Kuabudu
      Kushukuru

    • @veronicaalfred5739
      @veronicaalfred5739 3 роки тому

      Francoise kabanyana; sala maana yake ni kusifu kuabudu, kutukuza na kuomba, yaan kw mf; zile sala amazo zmemoeleka tunazisal kila siku; Maombo ni kutoa hoja zako kwa MUNGU, shida yako yoyote ile uliyinayo au inayokusumbua, unaipeleka kwa MUNGU, yapo maombi nyenyekevu,na maombi ya kivita ktka ROHO unapambana nayo kiroho kwa kumshirikisha Yeye aliye JUU.

    • @veronicaalfred5739
      @veronicaalfred5739 3 роки тому

      Au baada ya sala zako, kama vile kutubu dhambi, kusifu kuabudu kutukuza, unaweka maombi yako sasa unayoyataka wewe il MUNGU akusaidie.

  • @aronmapunda1783
    @aronmapunda1783 4 роки тому

    KWELI YAKE itasimama na uongo wenu wote nje ,

  • @yohanamagele3633
    @yohanamagele3633 4 роки тому +1

    Ubarikiwe sana father

  • @benadethaclement7596
    @benadethaclement7596 4 роки тому +1

    Amina

  • @neemampangala6199
    @neemampangala6199 3 роки тому

    Raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani, Amina

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 роки тому

      Amina, Karibu utazame Hazina ya Mafundisho mazuri aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika Channel yetu ya THE SERVANT MEDIA Kwa ku SUBSCRIBE.

  • @florenciokagaruki5318
    @florenciokagaruki5318 4 роки тому +1

    Amina

  • @renatusissaya3652
    @renatusissaya3652 5 років тому +3

    Amina

  • @peterclavery9989
    @peterclavery9989 Рік тому

    Amina