Padre Dkt Faustin M Kamugisha - Hatupangi Kushindwa, Tunashindwa Kupanga Morning
Вставка
- Опубліковано 27 лис 2019
- Padre Dkt Faustin M Kamugisha - Hatupangi Kushindwa, Tunashindwa Kupanga Morning
#ChapeoLaWokovu #ElionaKimaro
Subscribe to Africha Entertainment: bit.ly/AfichaSubs
The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music, kikuyu gospel music, taarab music, bongo movie, bongo movies, tanzania movies, kanumba movie, steven kanumba, swahili gospel music, kikuyu, mugithi, mugithi mix
Hongera sana fr.wetu kwa kipaji cha kuhubiri Mungu akutunze baba Kamugisha
Asante sana kwa Neno jema Baba🙏🏿
Barikiwa Baba
Baba nilikuwaga sija kufatilia mahubili na mafundisho yako kiukweli umenibadili kiloho Mungu akupe maisha malefu
Daima hutachoka kusikiliza mahubiri ya Padre Kamugisha.
Asanteee padre
Unachokikosa kwenye yai kitafute kwenye kuku😘🙏
Who is still receive blessings here 24/12/2020
Pastor unanibariki Sana,,sikosi kukutazama kupitia Upendo TV,,barikiwa kweli na pastor Kimaro😍
Ma padre mnaweza sana!
Sijachokaga kusikiliza mahubiri yako father Faustini,mungu azidi kukulinda
Mungu nimwema fatha ninsima muno waitu
Tunabarikiwa na mafunzo yako ubarikiwe baba
Father prayer for me to get healings in the name of Jesus christ,
Watching from netherlands God bless you father.
Asante kwa neno lenye ujumbe mzito, kwa kweli kupanga ni jambo la msingi sana
Father kamgisha mnanibariki sana Mungu akutumie kadiri awezavyo ili tuweze kuoka
Haya mahubiri huwa yanaishi wakati wote. Ubarikiwe sana Padri Kamugisha.
Axante padri kwa mahubir yako no mazuri
Barikiwa Padre kwa mafunzo mema. Watching from California.