CHEKECHE || DRC na M23 kumaliza mgogoro kwa mazungumzo?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Mgogoro wa usalama nchini DRC umeendelea kushika kasi huku vikosi cya ulinzi na usalama kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki vikipelekwa DRC kukabiliana na kundi la M23.
    Je, njia ya mazungumzo inayopendekezwa kuleta amani DRC itakubaliwa na pande mbili?
    Ungana na Moses Mohamed Kwindi akiwa na Abdulkarim Atiki na Jacquise Mumbere kwenye kuliangalia hilo.

КОМЕНТАРІ • 3

  • @Headtodent
    @Headtodent Рік тому

    Tanzania na Burundi musimupe nafasi kagame kukamata, congo sababu ni mupango yamuda, murefuuuuuu kufaanya inchi i

  • @Headtodent
    @Headtodent Рік тому

    Uganda rwanda congo burundi Tanzania congo ikihanguka mikononi mwakagame ni chanzo cya kuwa fanya kua inchi moja na ikiongozwa, na kagame

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 Рік тому

    👁️👁️🇫🇮🤝