FAHAMU:Utengenezaji wa Azam Ukwaju Ice Lolly hufanyika hivi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 чер 2020
  • Azam Ukwaju Ice Lolly zimepata umaarufu mkubwa kwa wateja kote nchini Tanzania na nje ya nchi.Bidhaa hii inayotumia ukwaju halisi inapendwa na watoto pamoja na wakubwa, inatumia ukwaju halisi kabisa. Lakini huenda unajiuliza ukwaju chapa Azam hupitia hatua zipi kuanzia mwanzo hadi mwisho katika kiwanda cha Bakhresa Food Products? Tazama hapa uone hatua zote hadi ukwaju unapoingia mtaani.
    #UkwajuIceCream #SSB #BakhresaFoodProducts #MagomeniIceCream #UkwajuIceLolly #bakhresa
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • Навчання та стиль

КОМЕНТАРІ • 12

  • @frednandbilaro9457
    @frednandbilaro9457 2 місяці тому

    Fantastic, I'm amang of customer of ukwaju suplayer. I like this product and my customer s

  • @nazomohammed185
    @nazomohammed185 2 місяці тому

    Asante

  • @salumchande2702
    @salumchande2702 4 роки тому +2

    Ukwaju ni miongoni mwa bidhaa pendwa kutoka azam japo kuwa wapinzani wanajaribu kukopy

  • @lodimeniramadhani28
    @lodimeniramadhani28 2 роки тому

    Hongeni sana

  • @nelsonjoshua4611
    @nelsonjoshua4611 Рік тому

    Geita gold mine

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 роки тому

    Azam hongereni kwa ubunifu mkubwa. Ukwaju ulikuwa zao pori tu sasa uchumi. Okoa mananasi ya Dar kwa kutengeneza syrup.

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 4 роки тому

    Huyu MKENYA VP KWANI HAMNA MTANZANIA MWENYE SIFA KWENYE HIYO POSITION

  • @nancydamian9764
    @nancydamian9764 3 роки тому

    😋😋

  • @ramadhanihasani7668
    @ramadhanihasani7668 2 роки тому

    mimi nina ombo kama mnanunua tikiti maji nisaidie namba ya sim maana nimelima tikti kama mungu atasaidia naweza kuvuna tani 8 au 10 nipo kaliua

  • @minmaxc485
    @minmaxc485 3 роки тому

    nakereka ukisema KITAALAMU kumbe ni KINGEREZA tu

  • @eshanachama3388
    @eshanachama3388 3 роки тому

    Nosaidie namba zenu

  • @lodimeniramadhani28
    @lodimeniramadhani28 2 роки тому

    Naombeni namba kaka