Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Pole sana toto miapenda wewe ❤❤❤❤
Waaaaa machungu sana uyu mwanamke mbaya sana
Mungu naomba unipe nguvu na afya maana mama wa kambo daaaaaa wanangu
Haya yote nnmepitia ,,take heart young boy
Mungu anipe maisha marefu niweze kuwalea wanangu
Wanawake mnao teza watoto wasio wenu mungu na awalaani sana
Wababa bona hamuna majo.😢😢😢❤from🇺🇬🇺🇬🇺🇬Oh God have Marcy to all sarch kids🙏🙏🙏
we mam inaroho mbaya kweli mungu akilaani baba ake haafatiliiii 😢😢😢😢😢
Mungu anipe maisha marefu nilinde watoto wangu hadi wenyewe wapate vibarua
Daah jmn nyny wa mama tuonee ruhuma unamtesa mtt km c mwanamke jmn 😭😭😭😭😭 Naumia sna mm
Wa mama waona mnavyo watende watoto wa wanaume zenu .chukulia wako xx
Iko vizuri
Wazazi tujiepuxhe na laana za watoto 😢😢
Mbn huyu mama mbaya Alf na roho mbaya duuuh, Mungu anisamehe bure
Saw kaz saf san hongeren❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤wanangu ongeren kaZ nzuri
Ipo vzr ila muwahi kutoa
Sawa Asante sana tunashukuru kwa maoni yako 🙏 tunalifanyia kazi
Ndio
😂😂😂😂😂weeee mtoto nawe c umuambie bbko kila kitu anacho kufanyia uyo mwanamke daaa inauma
Kwakweli
Mungu awasaidie muendeee kutu elimisha
Amina 🙏🫶
Wa poli jamani naombeni like zenu 🔥🔥🔥
🫶❤️❣️
😂😂😂😂
😮😅😢😢😅
Mtoto joo kwaku
Yaaani natamani niwaekee sumu mama wa kambo😢😢
Tmuombe Mungu awajalie umri mrefu wakina mama waweze kuwalea watoto wao bila shida yoyote kifo kikae mbali
Mwanaume mjiga sana kakaliwa na uyo mwanamke delila
Daaa kwer mateso yapooooooo jamaiiiiiiiii
Daaah ila mungu so mwanadamu na kila kinachotokea kwenye maisha mungu amekipanga na hapo alipo ni pa kupita tu 😂😂😂😂😂😂😂😂
Pole sana dogo
Wanawake ni viube wabaya sana igelikuwa hatutegemeani nisigependa hata kdg
Kupoteza maman ni shida kabisa
tuna shida kubwa sana tunaolelewa watoto
Daah uyu mama ni katili sana
😭 ni noma
Jamani Sisi wanawake tunaroho mbaya
Mungu awape uvumiriv mkubwa inauma
Wababa mpooooo naumia Sana muwe mnapata muda wa kukaa faragha na watoto wenu
😢 imeniliza nyie
Pole 😭
Mungu kamzaidie huyu mtoto.
Yan ihii mv inavyo tia uchung m2 unataman ad kuhuwa mam mwenyew 😮😮😮
Aky sio vizuri
Mungu saidia watoto yatima 😭😭😭😭😭
Ukiona ivo baba afuatilii wanae ujue ipo siku mungu ata muumbua
Nimeangalia zaidi ya mala mbili hii movie mnaweza sana mpo so talented 😊😊
Asante sana tunashukuru kwa maoni yako 🙏
Huyu Mwanamke hafai kabsa😢😢😢
Nfaimbona😂😂
Hjkd😂
yhfxs@@nemahk2361
uyu mama anaroho mbaya kinoma
Jamani mutoto huyu anahangayik 😂😂😂
Cna lakusema mwenzen nabaki na😢😢😢 ya loho inaniuma atali
Hiii kali😢😢😢
Asante sana 🫶
mama wa jambo ni mbaya sana bas tu kwakuwa baba zetu huwa hawajuwi
😭😭 jamani mama wa kambo katili kwel mtoto wa mwenzio ni wako pia
Hilo baba linalo kunywa bia shenzi tu limeniuz na gukofia gwake kama guchawi kumpa mototo hela tu kaah
😂 Kuna watu Wana ROHO mbaya nyie
Hana huruma kiukwel😢
Daaa yaani uyu mama afai kabisaa 😭😭😭
Jmn tusisahau malipo hapa hapa duniani akhera mahesabu 😢😢😢
Sema,nimemukubak
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 kweli inaumiza sana we mama utalainiwa namwenyez Mungu
Sawa❤
Mungu WA kumbuke mayatima
Hii movie inakumbusha watu maisha yanayo nitokea na dada yangu uyumdongi, lakini ipo siku😢😢🎉
Wanarohombaya mimi nimejionea mwenyewe
Nfaimbona😅😅
Nmeumia mungu saidia yatima
Baba fuatilieni maisha ya watoto kwaukaribu
Daaaaa sopow
Wanaume kuwen marafki na watoto wen jamen 😮😮😮
Wewe mama acha roho mbaya na sura
Wat a story ,waah
Han huy baba kaathirika na mapenz
Mtamu umemkamata Hadi anamsahau mtoto
pole san inaumiza
😭😭😭😭hyo maisha niliyapitia mungu anipe uzima nilindi wtoi wng
mama wa kambo ushetan mwingi
Dada kazidi adi kaharibu utamu 😂
Ndio maana sipendi mama wa kambo hata kidogo wana roho mbaya😢😢
We acha tu 😭
Jameni sioote
Basi mama atamusaidia nin hapo kabulini
Jamn huyu mam wawapi anatakiw afe
Oe huy mama so kwenye move2 had kawaid ana onekn ana Hal mbaya
Kunaye Mungu kwa ajili ya yatima
Mtoto mwambie baba yako M
Wanaume jamni mue na wakati ,na pia wamama jamweni mungu atusamehe
We mama acha roho mbaya na ilo sura kama muhogo mbichi
😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂
Aki nimelia ndio maana sipendi mama wa kambo
Huyo mama alaniwe
Duh Yan hii move inaniuzunisha sana
Maskin huy mtt ameniliza pole my son
Jamn mama wakambo simama naomben like zenu nikiwa omn
Noma sana
Uuummmh jamani dogo analuza
Pumbavu sana hili limama
Mungu amsaidie mtoto huyu😢
Mungu saidia Watoto
Ata kwetu wapo kama hawa 😢😢😢😢😢
JamaniHuyuMamaMisheniKabisa
Aky mama ulaaniwe
Siwez kumwachia mw was Kamb mtoto
KELI wanake tubadileke janii
Si mama wakambo wote maana hata mm nimeish na mama wakambo
Hata baba hajielewi. Anakubali kuingia ndani kwenda kula anamwacha mtt anabaki nje.
Mungu saidia huyo kijana
Namshukuru Mamaangu kwa kunilea vizuri mpaka nilipofikia saivi
Inabid mama achomwe motooo jamani siyo kwa ukatili huo
kiukweli hata mm namumba sana mungu anijaliee tu nileee wanangu
Unyama nimwingi
Wewe mwanamke tambua haki za watoto
Laman wa toto hebu jitahidin epuken kuwaweka mtawaharibu saikolojia
Huyu dada noma
Ukweli n wabaya
Inaumeza sana
😢😢😢aki hii nayo....dahhh😢😢😢walai nimeshindwa kusuia chozi 😭😭😭
Jmn baba hasikii hizoo kelele

Mtoto mwambie baba yako
M
Wanaume jamni mue na wakati ,na pia wamama jamweni mungu atusamehe
We mama acha roho mbaya na ilo sura kama muhogo mbichi
😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂
Aki nimelia ndio maana sipendi mama wa kambo
Huyo mama alaniwe
Duh Yan hii move inaniuzunisha sana
Maskin huy mtt ameniliza pole my son
Jamn mama wakambo simama naomben like zenu nikiwa omn
Noma sana
Uuummmh jamani dogo analuza
Pumbavu sana hili limama
Mungu amsaidie mtoto huyu😢
Mungu saidia Watoto
Ata kwetu wapo kama hawa 😢😢😢😢😢
Jamani
Huyu
Mama
Misheni
Kabisa