MAMA WA KAMBO EP5

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 253

  • @ShukuruIssa-qx6tl
    @ShukuruIssa-qx6tl 4 місяці тому +4

    mwlim pokea maua yako nimekupenda bule❤❤❤❤❤❤

  • @SaumuRashid-s8b
    @SaumuRashid-s8b 27 днів тому +2

    Usimsamehe kabsaa huyo mwanamke atakuulia mwanayo

  • @SaumuRashid-s8b
    @SaumuRashid-s8b 27 днів тому

    Pole sana mwanangu hashimu kwa mitihani. Nakuombea uje uwe na maisha yako mazuri manangu

  • @حسنا-ض3ز
    @حسنا-ض3ز Рік тому +12

    Aki nimelia saana eeeh mungu aturehemu sisi wanawake wanye tabia kama hii ya kunyanyasa watoto wasio kua na mama zao 😭

  • @saumually-f9d
    @saumually-f9d Місяць тому

    Pole.san.ashimu.nakupenda.san.najua.wapitia.mangumu.kiukweli.nimeuzunika.sana

  • @Ummukuruthum-m1m
    @Ummukuruthum-m1m Рік тому +8

    Hii movie imeniliza kwa uchungu ee mungu tustir wanawake

  • @QueenJerome-e9s
    @QueenJerome-e9s 2 місяці тому +1

    Mungu atakusaidia hashibu pia mwalimu safi sana

  • @BonificationOfAFRICA
    @BonificationOfAFRICA Рік тому +3

    Hii ni nzuri sana 🎉🎉 nimeipenda sana

  • @NutylaNabil
    @NutylaNabil 28 днів тому

    Analiza uyu mtoto mungu utunusuru kuwareya watoto wa wanawake wezetu tuwe namoyo wa uchungu wanawake wezangu so vizuli kutesa watoto. Japo so wako

  • @FabianLucas-op9qb
    @FabianLucas-op9qb Рік тому +1

    Mwisho mzuri Sanaa great work movie mpya tunataka mtuletee nyingn chapu xx🔥🔥🔥

  • @Jojo-y7k8g
    @Jojo-y7k8g Рік тому +1

    Jamani wamama wakambo haaaaa muewe munajiludilia from Burundi good work

  • @HellenNyangaria
    @HellenNyangaria 3 дні тому

    Pole sana achivu bro hayo yote yatapta ucjal

  • @SelinaAtwani
    @SelinaAtwani 11 місяців тому

    Heri mungu angeweza kutoa wanaume mbele ya wamama mama wa kambo kweli so mama ni uchungu sana eeh mungu turehemu

  • @EsterStanslaus-dj6kp
    @EsterStanslaus-dj6kp Рік тому

    Pole mtoto mzuri ni njia yako nzuri inaandaliwa ya badae

  • @CuttyHalima
    @CuttyHalima Рік тому +2

    Nimeipenda zawadi dogo unaigiza kwa isia sana

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti Рік тому +3

    Nzur sana na inafundisha 💯

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez Рік тому +1

    Mama ungejua fadhila za mtoto yatima mbele ya mungu. Msinge fanya hivyo watoto yatima,❤❤❤asant kwa mafunzo mazuri.

    • @alnaln.999
      @alnaln.999 Рік тому

      Wallahi angejuwa fadhila zake asingefany ivo kweli

  • @tiffahdangote7548
    @tiffahdangote7548 Рік тому +2

    Uyo mama mwenyewe Yuko wapi mbona simuoni

  • @dorcas2094
    @dorcas2094 4 місяці тому +1

    Aki nimelia sana mtoto wa yatima mwezangu pole

  • @jaymodal3146
    @jaymodal3146 Рік тому +3

    icho kipigo alicho kutana nacho kwa uyo mjeda mbn hatar😂😂😂

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 Рік тому +1

    Kweli wanaume hawajali watoto wao kabisa wanaona tu kila kitu kiko sawa kumbe hataa..from kenya

  • @ElizabethWangui-c8w
    @ElizabethWangui-c8w Рік тому +1

    Ole wenu wamama mnao telekeza watoto wa kambo, mungu ana ujila wenu, ata ingawa haya Ni mafunzo Mimi limeniguza moyo tuhurumue watoto wasio na wazazi.

  • @faridamabena4604
    @faridamabena4604 Рік тому +2

    Mtoto huyu hadi akue 💪💪

  • @MaureenNekesa-ev9mz
    @MaureenNekesa-ev9mz Рік тому

    Mtoto wa mwezio umwone kama n Mtoto wako, huyo mama amefunga baraka zake ambazo mungu alikuwA amempangia. Mungu atusamehe sana ss wanawake.

  • @puritydavid9003
    @puritydavid9003 Місяць тому

    Walimu kama awa mungu waogoce🙏🙏🙏🙏🙏

  • @alnaln.999
    @alnaln.999 Рік тому

    Wallah anepitia vichapo na mateso mengi sana yaani nimelia daah

  • @GGgh-dv8pd
    @GGgh-dv8pd 5 місяців тому

    Mwenyeez mungu anipe maisha marefu nipate kulea wanangu mwenyewe had wamwenzangu inshhallah

    • @nshaba
      @nshaba 5 місяців тому

      AMEEN

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna 11 місяців тому

    Mashaallah hii movie mbn p,wallah yanikumbusha mbli sn

  • @JamilaShaibu-f8b
    @JamilaShaibu-f8b 5 місяців тому

    Daaaa jamn wanawake ss tunajua uchung wakulea mimba wakuzaa Lakn tunaongeza roho mbay

  • @bihusiMshuza-ri7cz
    @bihusiMshuza-ri7cz Рік тому +1

    Allah tuhifadhi Sisi wanawake maan machozi yananitkatu

  • @JeniaMalima
    @JeniaMalima 3 місяці тому

    Mama wakambo jaman tuwahurumie watot wa wanawake wenzetu😭😭

  • @HellenNyangaria
    @HellenNyangaria 3 дні тому

    Aky mama n kila ki2 wa mambo n shida ata usimusame huyo mwanamke kabsaa

  • @lucasmachibya6551
    @lucasmachibya6551 Рік тому +3

    Kazi nzuri sana

  • @paulinekioko1166
    @paulinekioko1166 Рік тому

    Naomba mungu aweke wazazi wooote hata wakiacha watoto wao wawe wanaejikim kimaisha😊

  • @SosisRoti
    @SosisRoti 11 місяців тому

    Ss wa mama saa zengine tufikirie roho mbaya hai saidii

  • @nurumwinyi796
    @nurumwinyi796 Рік тому +1

    Tamaa mbele mauti nyuma,masha Allah imeisha vzri🎉🎉🎉🎉❤

  • @AntyBy
    @AntyBy Рік тому +2

    Nzuri,,pia ina huzuni

  • @BeatriceChakali
    @BeatriceChakali 4 місяці тому

    Aki woyee mungu atukumbuke sisi mayatima

  • @SammyTsuma-rl6rd
    @SammyTsuma-rl6rd 11 місяців тому

    Mungu ampe kipigo kikubwa huyu mama mama anamtesa huyu mtoto sana

  • @AminaHashim-o4v
    @AminaHashim-o4v 5 місяців тому

    Dah Yani inaniuma kweli mom nimepitia Ayo emung wasimamamie watot walio potez wazazi

  • @juster5478
    @juster5478 4 місяці тому +1

    Kama huna hofu ya mungu utafanya vituko vya kishetan kama hiv tamwogope mungu wanawake

  • @MwanashaHemed-w3r
    @MwanashaHemed-w3r Рік тому

    Kaz saf n pia funzo kubwa san kwa wengine hongera

  • @dapperbwoymody694
    @dapperbwoymody694 Рік тому +1

    Mtoto alishindwa kujieleza kwa babaake asingeteseka hivi

  • @maryd1538
    @maryd1538 Рік тому +1

    Pole mtot kwa kupitia changamot❤❤❤

  • @Amena-z5r
    @Amena-z5r Рік тому +2

    😢😢😢😢 mban ww dada mwenye roho mbaya

  • @LeilaAdija
    @LeilaAdija 5 місяців тому +1

    Mmmh jmn wanawake wenzang tuwapend watt wawenzetu kama tunavyo wapenda watt tulio wazaa watt wote nisawa😂😂

  • @QueenJerome-e9s
    @QueenJerome-e9s 2 місяці тому

    Inatia huruma saan wamama wakambo tuwe naimani du,😢

  • @puritydavid9003
    @puritydavid9003 Місяць тому

    Mungu piganana wap wenye manyanyaso kama aya

  • @StivinMwaipaja-e6f
    @StivinMwaipaja-e6f 11 місяців тому

    Hawa wanaweke hawafai, nimeumia sana mimi

  • @kidukutv1020
    @kidukutv1020 Рік тому +2

    Hii ya leo kali sana 😂😂😂❤

  • @PreciousZaituni
    @PreciousZaituni 10 місяців тому

    Daa inauma Sana ee mungu tusaidie

  • @CHAASUBUHI
    @CHAASUBUHI Рік тому +2

    Nimependa movie hii ina funzo kubwa sana 🎉🎉🎉

  • @lucasmachibya6551
    @lucasmachibya6551 Рік тому +2

    Mtoto anaigiza kwa machungu kama mtu mzima saf sana

  • @WinnerNnko
    @WinnerNnko 4 місяці тому

    Pole xan uxilie mamq

  • @joelnyaga1985
    @joelnyaga1985 Рік тому +5

    hii movie inaweza fanya MTU alie😢😢

  • @Irenejelshom
    @Irenejelshom Рік тому +1

    Hongereni tunataka zingine🤣

  • @OliviaAkinyi-n1f
    @OliviaAkinyi-n1f 5 місяців тому

    E Mungu wangu ......ww ndio jana tena leo nimekabidhi huyu mtoto mkononi mwako Daddy...mtangulie kwa kila jambo Daddy..

  • @ShaabanHamduni
    @ShaabanHamduni Рік тому

    Kiuwei inauma sana wanawake kiukwel mung awasamehe sana viginevyo moto unawongojea

  • @maalimali5513
    @maalimali5513 9 місяців тому

    Ipo vizuri inatia huruma sana

  • @princesslihy2577
    @princesslihy2577 3 місяці тому

    Dah kweli huy mam afai hata kweny Dunia hi ya sas

  • @lucasmachibya6551
    @lucasmachibya6551 Рік тому +2

    Mpaka machozi yananitoka kabisa

  • @Mwende-y5f
    @Mwende-y5f 4 місяці тому +2

    Aki mm naumia sana sababu najua ,yatima pile uteseka mm ni yatima najua mates yote,,is ipo kua mm nilipoteza wazazi wagu wote nikiwa 7years kwa ipo najua mateso tuliteswa na madugu za baba sana

  • @AmonBett-l8x
    @AmonBett-l8x Місяць тому

    Matezo duniani,mungu ndio atalipia tu

  • @NICHOLAUSPAUL-s7l
    @NICHOLAUSPAUL-s7l 5 місяців тому

    Dah inauma sana kunalakujivunza sanaaa

  • @MdKasen-ru2ei
    @MdKasen-ru2ei Рік тому +1

    Asantni Sana mambo nimoto ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EzraChakupewa
    @EzraChakupewa 3 місяці тому

    Hii movie ukiangalia inasikitisha sana watoto yatima wanapitia magumu sana

  • @Lilianmbilinyi-s1h
    @Lilianmbilinyi-s1h 4 місяці тому

    Bb nae azingua xn kwk mtot wk ht xn😂

  • @SuziKaaya
    @SuziKaaya 11 місяців тому

    Wanawake kweli mungu aturumie

  • @AminaQaiss
    @AminaQaiss Рік тому +1

    Mshagundua kama huyo mama na baba nimandugu...sikwakufanana hivyo

  • @tiffahdangote7548
    @tiffahdangote7548 Рік тому +2

    Eti natumaini😊

  • @SosisRoti
    @SosisRoti 11 місяців тому

    Mama sura mbaya kufa hataki nyoooooooooo

  • @MaryKiminza
    @MaryKiminza 6 місяців тому

    So painful haki,wa mama take care,kuna Leo na kesho

  • @alnaln.999
    @alnaln.999 Рік тому

    Yaani Mimi nimelia haki kwanini tusilee mayatima kama watt wetu mungu tupe maisha marefu tulee watoto wetu

  • @MauaMtige
    @MauaMtige Рік тому +1

    Cna lakusema mwenzenu nabaki😢😢😢😢

  • @ZindunaJaphar
    @ZindunaJaphar Місяць тому

    Umeshikwa.kakayangu.

  • @SaumuRashid-s8b
    @SaumuRashid-s8b 27 днів тому

    Sasa wewe babaa angalia mwanayo ateseke hivyo ..kisha umpige mwanayo hivyo wallahi yauma .heei jamani wamama sampuli hii haki ya mungu

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt Рік тому +4

    Mtihani sana jamani 😭😭💔😭😭💔😭

  • @leilajafar4342
    @leilajafar4342 Рік тому

    Mwanamke kama huyo nishetani mpge huyo nimbwa sna huyo

  • @Helena-q1e
    @Helena-q1e 9 місяців тому

    Nimeona hi movie nimelia San nauchungu ya huyo brother

  • @AsiyaKhamis-r3y
    @AsiyaKhamis-r3y 10 місяців тому

    Mzur sana na inauzunisha

  • @FranceMwasenga
    @FranceMwasenga 3 місяці тому

    Jaman wanawake muwe nauluma na watoto wawenzio

  • @YvonneNasimiyu-q4y
    @YvonneNasimiyu-q4y 3 місяці тому

    Eeh mwanangu mungu akulinde akupikanie

  • @mwanamisiomari8189
    @mwanamisiomari8189 Рік тому +2

    Afadhali Leo ukweli umebainika

    • @nshaba
      @nshaba 5 місяців тому

      Alhamdulillah

  • @sirizamjini
    @sirizamjini Рік тому +1

    Ila uyo mtoto hadi apate msaada kapchoka sana😂😂😂😂

  • @nemahk2361
    @nemahk2361 Рік тому +2

    Naskia ushungu😢😢😢😢

  • @mediavumbi9243
    @mediavumbi9243 Рік тому

    Huruma kweli,ashibu,pôle nimeliya

  • @LatefaHussain
    @LatefaHussain 11 днів тому

    Nimependa dogo kwa ushauli aliompa

  • @AdijaallyAdijaally
    @AdijaallyAdijaally 11 місяців тому

    Mama ana roho mbaya sana

  • @HassanMwiru-x7v
    @HassanMwiru-x7v Рік тому +1

    Wanawake wengi tunawaza mali za watu badala ya kutafuta😂😂 ,

  • @JulienneBaraka
    @JulienneBaraka 6 місяців тому +1

    Mungu apige wenye kutesa wayatima

    • @AbduryShewele
      @AbduryShewele 6 місяців тому +1

      Hii move tamu jaman kumbe ndio mnavy fanya tukiw kazn mh❤ 25:11 25:11 🎉

  • @bethwanza5457
    @bethwanza5457 9 місяців тому

    Yaani unashinda kumtandika mtoto Bure ngumi ya shetani ikupige wewe mwanamke ni sura mbaya hata ajielewi Mungu atampigania uyo mtoto ata akili hauna wewe 😢😢😢😢😢😢😢😢 uyo si mwanamke shetani uyo

  • @doreengakii6589
    @doreengakii6589 3 місяці тому +1

    Ina huruma kweli kama Kuna 6 mtu anitag plz

  • @pamelamakheti1101
    @pamelamakheti1101 Рік тому

    baba shiko mtoto Ako. na. shida kaa na. mtoto akueleze

  • @GeorginaMulati
    @GeorginaMulati 6 місяців тому

    Mungu asamehe huyu mama sana

  • @ZindunaJaphar
    @ZindunaJaphar Місяць тому

    Acheni.ukatili😢😢

  • @JacksonWanyonyi-b8d
    @JacksonWanyonyi-b8d 27 днів тому

    Waaa😂😮

  • @puritydavid9003
    @puritydavid9003 Місяць тому

    Akinimelia 😭😭😭😭😭

  • @IrakozeOlene
    @IrakozeOlene 6 місяців тому

    Ama kwl mwisho wa ubay ni ai bu

  • @CynthiaOuma-w6u
    @CynthiaOuma-w6u 10 місяців тому

    Amakweli mama wakambo sio mama

    • @elickaandrewsilale1716
      @elickaandrewsilale1716 9 місяців тому

      Da inauma sana na nimelizwa sana na hii muvi kweli mama wa kambo SI mama sisi wanawake mungu atupe upeo mtoto wa mwenzio ni wako maana hujajua nan atakuwa msaada wa baadae

  • @RhianahAnkunda
    @RhianahAnkunda 4 місяці тому

    Lakini kwani wanawake mnagepitiza hivyo kweli😭😭😭😭😭