Vaileth Mwaisumo - Nazunguka (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Nazunguka ni wimbo unakutia moyo kuwa licha ya changamoto unazopitia usipokata tamaa kuna siku lazima utashinda tu. Nyimbo hii inakukumbusha kuwa siri ya mafanikio ni kutenda bila kuchoka, kupambana, kung'ang'ana bila kujali mara ngapi umejaribu umeshindwa.
    #VailethMwaisumo #Nazunguka #Miminishujaa #MusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital

КОМЕНТАРІ • 532