Greatest Hits Of Vaileth Mwaisumo Gospel Music
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Nyimbo hizi zinalengo la kukuinua, kukupa tumaini, kukupa nguvu mpya kwamba haijalishi unachopitia ukimuangalia MUNGU ataachilia pigo moja litakalo kufanyia njia na kufanya waliokudharau Wakutafute na kujiuliza ni wewe nawe utawajibu Ni Mimi MUNGU ameniganga moyo.
#VailethMwaisumo #GospelMusic #HitsSongs.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital
Mungu utukuswe,ni nilishuhudiwa uwete, kuwa sitatembea Tena, eeeeeh Mungu ni Mimi napanda ndani ya ndege kwa miguu zangu bila kubebwa🙌🙌🙌🙌🙌
nabarikiwa sana na nyimbo
Amen
Kweli mungu ni wa maaajabu nikikubuka wakati baba ya watoto wangu alikufa alidharaliwa hata ndugu na dada zangu nakusemwa mabaya but sahii naezaongea mbele yao
mungu ndie kila kitu
🙏🙏🙏🙏
Ni mimi tu aliyesumbuka almost 3yrs na magojwa yenye hayana tiba,ni mimi tu siku yangu ya kufa mungu alieka uhai kwangu😭😭Ni mimi tu Nashuhudia ukuu Wake❤Ni mimimimimimiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tu Thank you Jesus🔥😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
Amina
I went through the same,, 3yrs of paralysis with unknown cause,, ni mimiiiiiiiii😂😂😂
Yesu nigange moyo ,nimachungu wakati mengine ninayopitia maneno ya kikejeriwa na majirani,,,,yaani mi Mungu anisaidie nipite hizi mitihani kweli,,, wakati mwingine naisi kujifungia nilie but hizi nyimbo zinanifanya niache kufa moyo na nimuite Mungu kwa uchungu anisaidie nifuke mitengo na majaribu. Sometimes Mungu anaeza ruhusu watu wa karibu nasi kutumiza mioyo yetu ila wakati mwingine anataka tufute kamba ya kutafuta na wakati mwingine hao tu maadui zetu Mungu anawatumia ili watusongeshe kufuka ngwambo ya ushidi.
YESU UNIGANGE MOYO!
JESUS heal my heart......what else can Jesus do that heal us from our past and current hard situations. To heal us from diseases, lamentations and from the worldly wraths!
This is a message that itself heals us and provides HOPE for those who have lost it.
❤❤❤❤❤❤
Yesu nigange moyo....mapigo kazini yamekuwa mengi😭😭😭
Asante kwa nyimbo zenye baraka kwa watu wamungu barikiwa sana ❤❤❤❤
Mungu akubariki mama ,mwaka wa 2022 nilikuwa napitia magumu lkn Mungu alinibariki kupitia nyimbo zako kwanza ule wa baba yangu atafanya njia ulinifanya nifike pahali nimefika sai,naomba pia Mungu akabariki wenzangu kupitia kwa Nyimbo zako kama mm,,,nakupenda sana na nyimbo zako hata pale tiktok ❤❤
Sauti,na talanta kutoka biguni
Ni mimi walioniona sifai tenaa but nashukuru mungu sikufa moyo nilipambanaa n mungu hakuniachilia kwa safari yangu 😢 Sasa hivyi niko kwa viwango vengne .God bless you mummy your songs really blessed me mum
Amen
@@vailethmwaisumo Adams from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 and I'm blessed
Hizi nyimbo zina tengeneza roho zilizo pitia mengi
Hallelujah mtuliza dhoruba nigange moyo🙏Yesu nigange moyo ♥️♥️
Amen
@@vailethmwaisumo ❤
Nimebarikiwa sana n nyimbo zako husaidia sana wakati wa mangumu Mungu aendelee kukubariki vaileth 🙏
Congratulations continue doing the work God. May you prosper in the name of God.
Amina
Your songs are so blessing 🙏🙏🙏
Ahsante mama,wimbo unatutia nguvu
Amen
Thanks so much my mum for your songs ☺️ and I'm congrats for being the best mom in this world
Baba anafanya njia anaweza yes kusimisha jua aliangusha ukuta wa Jeriko atafanya njia kwa maisha yangu
Unatupea moyo dada we will support you to the fullest....be blessed with you ministry ❤❤
Ameen nyimbo zako mamu zinachipusha pasipo na tumaini panainuka unawasaidia wengi
Majira haya ya aibu nisaidie Yesu😢😢😢
Barikiwa sana dada Kwa huu Wimbo kwani hunigusa motor wangu sana kila nikikumbuka Mapito ninayo pitia kweli mungu ni mwema
Amen
Amen Amen my mum kweli ni mungu your song touch me alot
❤🎉 asante mum nyimbo zako simetujenga sana ubarikiwe sana 🙏
Nimebarikiwa sana na nyimbo zako. I have a testmony
Amen
Prophetic songs be blessed, and be used by God .
Your very blessed mum,a'm blessed by your songs gives me hope God bless you🙏🙏
Amen
As a Sabbath day I came to UA-cam to search for martha mwaipaja's soothing and Christ enticing songs I came across to encounter with this amazing gospel artist @Vaileth Mwaisumo channel and subscribed for I can not bear not listening to her encouraging song much love 🇿🇦🇿🇦
Thanks much
Amen
Congrats mummy wimbo yako imetubariki Sana
Nigange moyo yesu 🙏
Amen
Kwa mapito nilonayo namuangalia MUNGU tu nainua macho juu nione ushind wangu dada vaileth kupitia nyimbo zako naona umekuwa ndugu yangu kabisa nyimbo zako zinakibali kwa MUNGU naona kuinuka tena kupitia ww MUNGU akubarik sana ❤️❤️
Amina
Mpendwa barikiwa kwa nyimbo nzuri nimependa nyimbo zako songa mbele kwa kazi ya bwana❤❤
Amen
Nimebarikiwa sana na nyimbo zako , ( machozi na aibu ni ya muda tu eeeww😂😂 atafamua njia)
Piggup mtumishi wa BWANA Vaileth Mwaisumo maana kupitia nyimbo zako sisi tunabarikiwa na kufunguliwa
Amina🙏🏼🙏🏼
Hakika mtumishi, asante kwa nyimbo zenye uhalisia, Mungu akuinue💯
Glory to almighty God🙏🙏🙏🙏 God bless you mummy,,siku moja nitaiba kama wewe
Last year I was listening to nisaidie nikililia Mungu anisaidie, na sasa nimesaidika. Asante Vaileth
Waooh
ongera xana mamu nyimbo zako zinanitia nguvu
This is great.may God bless you and your family
Amen
Nice songs that you can't get tired of
Thanks
Thank you Jesus is lord ❤❤❤🎉🎉😂😂😂ameeen
All ur songs are amazing,be blessed
Thanks
Wow i love your songs blessed
I love you mama
Barikiwa sana dada nabarikiwa sana na nyimbo zako...najiona ni mmi tuu bwana yesu ...endelea kunisaidia bwana wangu
Bado pigo moja 💃💃💃💃, Glory be to God 🙏🙏🙏
Amen
Congrats mummy 🥰🥰 your songs heals my soul so very much when I'm down.
Amen
Such a blesd' woman of GOD🙏🏽🙏🏼🙏
Mungu atabaki kwa mungu mwaminifu kwa kila wakati🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Gl0ry t0 be G0d 🙏
Ni mimi 🙏🏻🙌...i always feel.like crying when i listen to that song 🙏🏻😊
Ni mimi God amenibless
Hallelujah 🙌🙌 ! Ni mimi ! Ni Mimi
Amen
Amen💪💪❤️❤️❤️💯
If its should be its should be God nothing above.
Glory to God 🙏
I want to sing with mammy how's that I feel you are a blessing to me🙏🙏🙏🙏🙏
Nimebarikiwa❤
5:30
Barikiwa sana mummy nyimbo zako zinanipa moyo sana...much love😍🥰🥰🥰
Thanks
Amen🙏🙏🙏 no weapon formed against me shall prosper🙌
Amen
Unanitia ngufu asifiwe Mungu
Amina
keep going your songs are blessings in my life.
"Nisaidie Mungu wangu"......sister Vaileth thanks for the good songs that normally gives me hope when I listen to them and also they helps me to overcome any sort of challenge.
Amina
Ninavobarikiwa na nyimbo za hyu dada hadi raha.
Shukrani
Wow I like your songs vaileth
Thanks
Your songs are very powerful may God strengthen you mum so that you spread Gospel, much love to you mammy
Am enjoying from saudi arabia. "Baba yangu atafanya njia "
Amen
That is true may God bless you.
A very nice songs God bless you
Am blessed good music amen
Wow what a great worship
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪
Amen
Haleluya Ameen Barikiwa 🙏🏼 ❤️
Amen
Amen our God is faithful always
Thanks so much mam, from tiktok to UA-cam
Thank you ,,,i requested and you done it to me.,,,,may God bless you mama😍😍😍😍
Amina
Amina
🎉I like your voice😊
Hii wimbo hunifanya nijue nimetoka mbali still God miracles are working🧘🙏🙏
Amina
Be blessed mum, your songs really touched my heart.
❤❤❤❤how i love this lady'songs,,, always blesses my heart,,;May God bless you abundantly 🙏🙏🙏💃💃💃💃
Amen
Barikiwa mum
Amen
I love ur songs siz
Barikiwa 🙏🙏🙏
Amen
Am really blessed with your songs my sister .when am depressed I get released u have a message through your songs ... u are going far ,may God lead your ways
Amen 🙏
Amen 🙏 Ubarikiwe sana
Amen
Ubarikiwe mamaa kw kazi yako nzuri
Shukrani
Tupeee audio link❤❤❤
Best watakutafuta Tu,nyimbo zenye himizo kubwa Dada,bt we need more mix music please please
Shukrani
@@vailethmwaisumo mix do tunataka Ngoma ikuwe mfufulizo
thank you so mush mum, enjoying from Zambia..
Amina
Glory to God,nenda na mi!!
Amen
Ni Asante mum
Amen
Amen am blessed
AMEN
Amen
Wow glory to God 🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰
Amina
Kweli ni Mimi🙏🙏
Amina
Be blessed mum your songs always encourage me every time I listene to them ❤❤❤❤
Thanks
Amen 🙏🙏 ni mimi
Amina
Your songs fills my soul. I listen to them repeatedly. Much luv dear. Blessings your portion
Amen