HAYA NDIO MAISHA HALISI YA MZEE WA UPAKO,,UTAJIRI WA MAGARI NA MAJUMBA YA KIFAHARI....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • #wasafimedia #diamondplatnumz #mzeewaupako

КОМЕНТАРІ • 78

  • @lindaonderi5222
    @lindaonderi5222 2 роки тому +1

    Ubarikiwe Sana mch Mimi mafundisho yako nayafanyia kazi kila Leo na namuona Mungu akitenda mengi ktk maisha yangu 🙏🙏

  • @BarakaMwakalinga-sn5sp
    @BarakaMwakalinga-sn5sp 2 місяці тому +1

    Yesu moyoni wanini wakati Unasema Yesu siyo Mungu?
    Thamani ya Yesu kwako ni ndogo sana kwa mahubiri yako wenyewe sasa tena oooh Yesu moyoni anafanya nini wakati thamani yake kwako ni ndogo ?

  • @eliyalorry6513
    @eliyalorry6513 2 роки тому +2

    Ikawa kila mtu atakuwa na Imani yake basi Kila Mtu ana Mungu wake,Ila kama Mungu ni Moja Inatupasa tuwe na Imani moja Efeso 4:4 Tena Imani Enyewe ije Kwakusikia Neno La Kristo Warumi 10:16-17,Kinyume cha hivo hiyo Siyo Imani Bali ni Mapokeo,Mathayo 15:8-9,Tena ni Ibada yakujitungia,Wakolosai 2:23).

    • @jamesncheye3957
      @jamesncheye3957 Рік тому

      Kwa I hujui hata shetani anaabudiwa kama mungu? Ndio hivyo hapa dunia I Kuna miungu na Kuna Mungu.

  • @davianjosephjoseph3121
    @davianjosephjoseph3121 2 роки тому +2

    Amin mtumishi wa Mungu

  • @linahmunish8895
    @linahmunish8895 2 роки тому +3

    Watashindana lakini hawatashinda Kwa jina la yesu.utaishi milele baba ..

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 Рік тому +2

    Mnakula pesa za watumishi waumini walala njaa

  • @johnmartin8465
    @johnmartin8465 2 роки тому +1

    barikiwa mtumishi

  • @muamudoamade6912
    @muamudoamade6912 2 роки тому +3

    Ferroz nani

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 2 роки тому

    Amina 🙏🏿👍 umenena vyema.

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 2 роки тому +3

    Magari kadha ya bei ghari, na kuishi mtaa wa Wazungu tu. Huyo ni mtumishi wa Yesu yupi?Serikali inapaswa kuwatetea Watanzania mbumbumbu ambao wanatapeliwa fedha zao kwa kisingizio cha dini.Kuna haja ya kusajili na pengine kufungia baadhi ya madhehebu.

    • @mosesmwailenge5192
      @mosesmwailenge5192 2 роки тому

      YESU wambinguni akubaliki saana umeongea jambo la kweli nahuzini kabisa Mungu akubaliki saana 🙏🙏🙏

    • @idiayubu6835
      @idiayubu6835 2 роки тому

      Wacha wapigwe wapige baba nunua na kandege kabisa magari makali unayo gonga vitu

    • @idiayubu6835
      @idiayubu6835 2 роки тому

      Japo linawapiga lakini linamaneno mazuri hili zee linaweza likatoa neno wale watoaji wake wakaanza kulialia

  • @FrancisMsemwa-z6r
    @FrancisMsemwa-z6r 6 місяців тому +1

    Ungekataa kama haya a maana, uhudumie wahitaji wapo wengi

  • @rosendanshau2674
    @rosendanshau2674 Рік тому +1

    Mkipata hela sapotini makanisa madogo sasa hayo magari utaenda nayo wapi zaidi ua mbeya na hapo Dar? Mna hela lakini hamuangalii wachungaji wenye shisa.

  • @ibrahimkusaga9141
    @ibrahimkusaga9141 Рік тому +1

    Mmeibia waumini pesa zao kwa ajili ya kujinufaisha ninyi wenyewe na kuwaacha waumini wakiwa katika hali.ya ki umaskin hakika Ni Laana kubwa mtaenda kujibu Nini mbele za MUNGU.

  • @kiulajoseph9194
    @kiulajoseph9194 Рік тому +1

    Nimefurahi unalipa kod Kama kawaida hauuzi bangi 😄😄😄 Aisee

  • @shamimumussa9845
    @shamimumussa9845 2 роки тому +1

    Jamani hapo ndio tujifunze maana mchungaji anajisifu kupitia mali alizo zipata kutokana na sadaka za waamini

    • @didimhutila8985
      @didimhutila8985 2 роки тому

      Then anasema Mungu kamupa, kenge sana jamii za ovyoo!

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 2 роки тому +1

    Anakaa mtaa wafrica wawili ni wazungu tuu

  • @richardmwandali7722
    @richardmwandali7722 2 роки тому

    Gwakukajaa 🌾

  • @SixtusSanga-u8y
    @SixtusSanga-u8y 3 місяці тому +1

    Afrika ni Afrika tu utajiri kidogo tu matangazo kibao

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 2 роки тому +1

    Jehanamu ya Moto IPO watu wa MUNGU NA TUMULUDIE MUNGU TU TUACHE MIZAA NA MALI YA DUNIA HII TUTAIACHA ILA Watenda dhambi wote Ni jehanamu ya milele

  • @omarzain6029
    @omarzain6029 2 роки тому +3

    Hahaha pesa za waumini izo sadaka za yesu au

  • @yazu3007
    @yazu3007 2 роки тому +5

    Mchungaji wacha uwongo hizo maliza za wafuasi wanatowa sadaka ww unaishi maisha kifahari.. hapo hamna gari alilokupa yesu wala mungu ila sadaka ya wasio jielewa kamwe..

    • @narrissajackson3869
      @narrissajackson3869 2 роки тому

      Usihukumu watu huna haki hiyo, kazi hiyo ni ya Mungu tu, labda kama umepewa kibali na Mungu cha kuhukumu

    • @yazu3007
      @yazu3007 2 роки тому

      Hivi unajuwa mana ya kuhukumu ama ww ni wale wale wakuropoka ili muskike.. ukweli tutasema Kama inakukera bsi fura upasuke

    • @matukutajuma156
      @matukutajuma156 2 роки тому

      Sadaka akipokea apeleke wapi?

    • @achawanunetv1167
      @achawanunetv1167 2 роки тому

      Acha makasiriko na wewe funga kanisa ili uwe mchungaji

    • @linahmunish8895
      @linahmunish8895 2 роки тому +2

      Binafsi acha aongee ukweli mchungaji wangu ..ana yesu moyoni na hajanunua na Hela za wahuni..mungu anampa sii sadaka mtegemee mungu utakula mema ya nchi🏃🏃🏃

  • @nyarii2084
    @nyarii2084 2 роки тому

    Mwetine chifu suguye Ana ujumbe wake wa kucha na nywele

  • @lawimanumbu5103
    @lawimanumbu5103 2 роки тому

    Huyu hana Yesu maana kwa mungu hanakuna pesa wala magari. Yesu alisema ukitaka kumfuata uza vyote na uwagawie masikini ndipo umfuate. Kumtaja yesu isiwe kisingizio.

    • @shindamauti7571
      @shindamauti7571 2 роки тому

      Pia alisema kama umeacha chochote Kwa aji yake utayapata yote

    • @chrismassawe2939
      @chrismassawe2939 2 роки тому

      Yesu wa mchongo ndo anapenda umaskini haha ila MUNGU amezumgukwa na madhabahu ya dhahabu sio ya mbao

  • @christerlymakala791
    @christerlymakala791 2 роки тому

    Kuna jambo nimejifunza ktk haya makanisa

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz 6 місяців тому

    Hakuna yesu hapo

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 2 роки тому

    Utumwa wa akili na roho 😭😭

  • @mtindikoja8837
    @mtindikoja8837 Рік тому

    Mimi nimuislamu Ila mchungaji nishabiki yake anaheshimu kilamtu

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍

    • @stafordgamba4753
      @stafordgamba4753 2 роки тому

      Yaani ningekuwa nasali humo nisingekuwa natoa sadaka/zaka

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz 6 місяців тому

    Huyu ni freemason na hizo gari ni mikataba ya kishetani ni ujinga

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 2 роки тому +1

    Sadaka zetu hizo mzee baba

    • @babiddi8620
      @babiddi8620 2 роки тому

      Hahahahaha

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 роки тому

      Ndio mkome

    • @notkeliromani1100
      @notkeliromani1100 2 роки тому

      Wanakula vya madhabahuni, kawaida tu

    • @evalynembuna4867
      @evalynembuna4867 2 роки тому

      Kwani hizo sadaka mnazozisema huwa anachukua yeye mifukoni mwenu? Na hakuna ibada ambayo haikamilishwi na sadaka. Huo ni utaratibu. Na sadaka kama ni za Mchungaji kwanini apangiwe matumizi? Hebu kaeni kwa kutulia.

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 роки тому

      @@evalynembuna4867 hata yesu anasema nataka rehema na SI sadaka

  • @stevenasunga3917
    @stevenasunga3917 2 роки тому

    Umeongea vyema,vyote vya dunia

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 2 роки тому

    Mzee wa kilaji

  • @drdd774
    @drdd774 2 роки тому +1

    Mercedes Benz new model inauzwa million 35?????,

    • @charlesmwamlima3923
      @charlesmwamlima3923 2 роки тому

      😂😂😂

    • @drdd774
      @drdd774 2 роки тому

      Toyota bombardier mpya 0km million 75, harafu Mercedes Benz new model million 35, hapa pastor amezingua.

    • @babalao910
      @babalao910 2 роки тому

      Hawalipii Kodi yyt

    • @drdd774
      @drdd774 2 роки тому

      @@babalao910 kaka hata kama halipi kodi si kwa bei hiyo ya Mercedes Benz

    • @enezermwafrica7443
      @enezermwafrica7443 2 роки тому

      Kodi Kaka! Utaje Milioni mia 3 halafu TRA waanze na Wewe sio?!🤷🤷🤷

  • @jefferasto4160
    @jefferasto4160 2 роки тому +1

    Acheni uwongo mbona masikin hamtusaidii unaongea tu kwenye kamera ili muonekane wema yatima tuko weng nchin

    • @obadiayusuph7096
      @obadiayusuph7096 2 роки тому

      Yatima aliye mtandaoni uza smartphone upate mtaji

    • @meryerick6053
      @meryerick6053 Рік тому

      Kweli Jaman kuna watu wanaishi na wengine tunasindikiza wenzetu Hari inaTV Sita sijawai kuona ndo nimeziona mtandao hongera

    • @bakariomary5781
      @bakariomary5781 Рік тому

      Atasaidia wangapi sasaa unajuaje huko aliko kuna wangapi anawasaidia

  • @ramaosman8060
    @ramaosman8060 2 роки тому

    #LuckyHavana #ljaystunner #ljaykitchen #NyamaChoma #ljaystunner