we wil mis u so much plus your musics one day we gona meet there hiyo n njia ya kila mwanadamu mwenyezi Mungu akutangulie kaka ulikua na roho safi sana rest in peace😢😢😢😢
Kwa Mungu hakuna kupungua wala kuongezeka...kila mja na kifo chake kwani hakichagui unaumwa nini...siku ikifika israeli anakuchukua tu. Mungu ailaze roho yake mahali peponi. *Inalillahi wainaillaihi.*
Daah,Sam wee,kama nakuona bro.Siamini kama hatupo nawe tena.R.I.P dear bro!
we wil mis u so much plus your musics one day we gona meet there hiyo n njia ya kila mwanadamu mwenyezi Mungu akutangulie kaka ulikua na roho safi sana rest in peace😢😢😢😢
Rest in peace Sam wa ukweli sina raha kbsa mungu akulaze mahari pema peponi
Daah!! Kiukweli jamaa alikua mfano wa kuigwa na jamii kwaujumla.pumzika kwa amani brother.
Kwa Mungu hakuna kupungua wala kuongezeka...kila mja na kifo chake kwani hakichagui unaumwa nini...siku ikifika israeli anakuchukua tu. Mungu ailaze roho yake mahali peponi. *Inalillahi wainaillaihi.*
Alikua anaonekana mnyonge ila kujikaza..Rip SamWaUkweli
Uliongea ukiwa na furaha sana Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi
Innalilah wain ilah rajighun pumzika kwa amani sam huzuni imenitawala moyon
Mkali wa bongo freva zenye maadili na utamu
R..I..p Sam ..nilikupenda sana kila mwenyezi mungu nakupenda zaidi
Al jazeeera sio management si ndio walimushitaki diamond na awalipe mil 400
Pole sam wa ukweli kwa uliyopitia na
REST IN PEACE BRO
mwenyezi MUNGU ailaze roho yake mahali pema peponi Amin
Nakukubali Sanaa Sam wa ukwel Na ahsante Kwa kituu Milelee
we loved you Sam but God loved you more.....rest in peace Sam wa ukweli
R.I.P Sam mungu kakupenda zaidi 😢 😢 😢 😢 😢 😢 mpaka sasa siamini
R.I.P Mwenyenzi Mungu ampokee mja wake na awafariji wafiwa wote..Gone Too soon Sam
Sam jaman daah!! Pumzika kwaamani pole Tz.mwaka huu nimgumu saana jamani Allah awapesubra katika kipindi hiki kigumu insha Allah
jamani sama daaah nimeumia sana jamani mungu mleehemu sam wetuu jamani du inauma bado sana tulikuwa tunaitaji uwepo wako ila mungu kaupenda zaid r.p.i
r.i.p sam waukweli duh ndio atukonawe tena mbere yako nyuma yetu tutakumic sana na sana
ur fan here...pumzika salama
missing too much our friend SUM wa ukweee R.I.P
Sam kapunguka sana kweli ...hata kwetu wapo my favor song
daaaah ndo hatupo nae tens sam wa ukweli RIP
T
Rip Sam wa ukweli,njia yetu wote hiyo
Rest in peace Sam wa ukweli tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi
Inaumiza sana ila hatuna budi kukubaliana na hiki.RIP Sam
Rudi kwenye game sam🙏🙏🙏
Poleni sana wafiwa. R.I.P Sam
Kweli Samu cha bure salam 2 pumzika kwa amani
So painful aisei now past tense Mhh! Rest in peace
Dhu inaniuma sana.Rip Sam wa ukweli
Sam Namkubali hadi leo.
I.rep.254 . Namfagilia mbaya sana
Dady Chaps Amefariki
He is dead niw
bado nalia rip my broo
Pumzika kwa amani sam
RIP TOKA KENYA WILL MISS YOU
Rip bro we will really miss u too much
BIGFAN WHAT NEXT MB0NA UMEPUNGUA SANA BWANAE
254 GONGA LIKE
Wengine coment zenu hazina uzalendo
Nilikuiwa nakusubiria hapo kwenye gari coz naijua...wewe ni mkweli...RAV 4 ndio ninayokuonaga nayo
Hahaha noma mzee
daaaah mwanang wekiboko
Kweli huyu alikuwa anaumwa mda mlefu alipungua sana jamani inna lilah wainna irah rajiun
Sam alikua anaumwa alipungua sana but hakukata tamaa pumzika kwa amani
daa inauma sana
r. I.p mkaka inauma umeondoka umri bado😰😰
Innalillah wainnaillaih rajuun.poleni sana wafiwa wote
da ndo hvyo tutakumic xanaaaaa Sam xema ndo hvyo ten
Allah akupumzishe akusamehe kila ulilomkosea
Shemsa Kiobya Amin yeye na sisi in sha Allahu
RIP Sam. Inauma sio siri! May your soul rest easy 😥💔
Inalilah wainalilah rajiun
Saf sana nakukubali sam
Daah
Alipungua sanaa sam inallihah wanahrjn
Aziza Mkindi h
RIP sam wa ukweli
lala mahal pema pepon sam
Nyc video
INALILAHI WAINAILAIHI RAJIUN
Nampenda sana uyu kaka
Rest in peace Broo we ar in one way
Rip dia
Innalilah waina illah rajiun quru nafsi dhaikatuli mauti 😢😢😢pumzika baba
kalibu sana Sam
R.I.P BRO😢
RIP Sam am saddened
R.I.P SAM WA UKWELI
Go in peace brother R.I.P
kweli lakin usda binadam bola ufche
Daaah kichwa kime isha duuuh
Ila fanya uludi kwenye game mana ayo máisha yame kupiga sna
Uko vizur Mzukulu
.....
rest in peace bro.....
so sad R. I. P Sam
Homeboy yuko njema xana
Safi sanaaaa
people wanazingua Sana.... yaan unaona wenzio wanakoment rip wew unacomment arud kwny GAM..du!
Pumzika kwa amani
RIP SAM WA UKWELI
dhaaaa Leo usemi tena eti sam kafaliki dhaa mwana katoa bwana katwa jina la mwana libalikiwe
R. I. P. Sam
R.l.P Sam wa ukwel
Hahaha...nmeipenda interview @sam wa ukweli
Unajuaaa man
Tunamisi sana muziki wake rudi baba
stainas Mkoko l
Pemmbe,
Senga
Kaza kaka
pumzika kwa Amani baba
Jamani rip
Nakupenda sana sam ila mungu kakupenda zaidi R I P
R. I. P Sam waukwel
Ihiii. R.i.p. sam
Una akili sana
Jasmeen
RIP SAMU
Rip Soldier
Mgu akuweke mahali pema peponi Sam daha nimeumia Sana ila ni mipogo ya mngu
Shamsa Hussen eh sautk yako imeniliza kaka yangu mungu akupumzishe mahala pema peponi amina
nimeumia sn mbele yako nyum yet pumuzika baba kwa aman daaaaa nimeumia sn
R.I.P Brother
R.I.P sam
uko mtrue sam bigup
Rip Sam
dah R.I.P bro
hivi kwanini aridhi hairizk
R I p sam
uko vizur
yan dah Sam rudi basi kwenye game tumekupoteza sie washabiki
R.I.P Sam
nakukumbuka waponda ngono pia kwetu wapo
nice
R i p bro😔😔😔