INTERVIEW YA MWISHO Sam wa Ukweli ataja KIFO, Wengine watalia Bila UCHUNGU
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Hii ni interview ya Sam wa Ukweli aliyofanya kwenye The Playlist Times FM mwezi January mwaka huu.
Hakikisha una Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp au mitandao yako ya kijamii (facebook na twitter).
Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com
for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea lilOmmy.com
uchawi sio kwenda kwa sangoma pekeake ata cuki na vijicho pia gonga like twende msibani
Boy Gold true man
Am so saddened that this guy passed on.
He was straight to his ambitions. And his music was moving and Nice .May His Soul Rest in Peace
May Sam Wa Ukweli RIP ..aliuwawa na wenzake katika biashara, ila siku ya kiama ipo. Was a very smart gentleman full of insight and creativity ..I'll miss him a lot!
Listening to this interview for several times utaelewa Sam wa ukweli alikuwa mtu ambaye alikuwa sharp sana na maisha.mtu mkweli na asiye penda kula vya bure.RIP Sam.
Alisha faliki ??
@@abelardbarayisaba2585 Yeap aliaga
Jamani mungu alitufica kitu kimoja tu kifo 😭😭😭samu mungu akulaze mahali pema peponi 🙏amin
Innalillah wainahilajiun daah Mwenyezi Mungu akupe kauli thabiti ndugu yangu katika imani Salumu
Salute sana kaka, umeongea kwa kodi sana bila kuwa muelevu huwezi elewa.🎉🎉🎉🎉
Innalillah wainna ilayhi rajiuun, Allah akuhifadhi pema peponi Sam
YOUNG HANDSOME BOY& INTELLIGENT MAN
GONE TO SOON! may your soul rest in peace!!!
Really Talented Young Man, RIP SAM
Best interview 😢 RIP Sam🙏
Sam alikua mcheshi mungu ailaze roho yko mahali pema Inshallah
Amin
Mungu akueke mahala pema peponi ..but sam hauna makosa kueleza kilicho kukuta kwenye maisha yako
R.I.P Sam lov u 4rever
Anna Swedy Aameen
Anna Swedy mung amuwek Mahali pemz pepon
he was humble and loved God. thats why God will not leave him too. mbele kuzuri. dunia hii wendawazimu.
Books
Am really crying 😢
May you rest in peace brother
Kila ck Allah anatukumbusha kwa njia tofauti In Lilahi Wahinailahi Rajeehun
R.i.p bro sam wa ukweli ameondoka na vityu vizr san hakika pngo lake litakuwa kubwa san nakuombea uwende salm koz nac tyu nyuma yakoo
Polesana sam wa ukweli mungu akulaze mahali pema nilikuwa napenda nyimbo zakwako sana kabisa ndugu yangu ila mimi ni nkongomani tena siunajuwa pole sana kbs ndugu axante
Bless up lil Ommy , always good work man
maskin 😢😢😢Rest in peace my brother
Allah akufanyie wepes katika kabur lako
Sam alikua anasema ukweli kabisa nina uzuni sana mungu ailaze roho yake mahali pema amen
I'll always be a big fun of him he was the best love from London
Innalillahi Wainnailaihi Raajiuun Jamani kifo ndio ndoto muhimu ambayo utake usitake utaifikia ndotohiyo chamuhimu ni kujiandaa nahuko tunako kwenda 🙏
Keep on resting legend ❤
Kumbe ulikua unatuanga kaka 😭😭😭puzika kwa amani ndungu yangu Sam bado tuna kukumbuka
Naumwa sana,,, continue resting in peace 😭😭
Daah mungu ilaze roho ya Sam Mahala pema peponi amina"
MASHALLAH. INNALILLAH WAINA ILAYH RAJIUNI. ULALE PEMA BROO.
R.I.P kamanda Allah akurehemu na akulaze mahari pema peponi
Napenda sana maneno yako sam. R. I. P
Salma kea mamb salma kea
MANAGEMENT NDIYO WALIVYO, KWELI HAKUNA CHA BURE ILA SALAMU💯💯
The man looks intelligent RIP
mungu amlaze alipema peponi bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana liimidiwe pia uweza wake ni waajabu na mapezi yake lazima yatimie amina
Aawww his smile😍😍😍😍😍😍
wasanii wa kiislamu na hata kama sio muislam,kumbukeni kurudi kwa mola wenu kabla hamjarudishwa kwa mola wenu,munajisahau sana fanya mziki ikiwa unahitaji kufanya ila usisahau kutubia na kutaka radhi za Allah kabla haujakufika umauti,na msife halim ya kua ni waislamu,azabu za mungu ni kubwa hakuna kiumbe aziwezae...Wabillah Taufiq.commet ikiwakera mtafuta ila message dlvrd
takukumbuka daima1q
Datz true
Mungu amupumuzishe kwa amani sana💔💔🕊❤❤
Amen ❤❤❤❤
😢miss him so bad,...RIP...😢Sam wa ukwel
😭😭😭😭😭😭😭
Rip sana dogolangu.huyu kijana aliifahamu Sanaa,Sanaa ni ucheshi katika mazungumzo.
Mungu akulaze mahali pema peponi
Nimelia machozi jamani Sam bado Mdogo
Jamani kaka samu
humble guy
Innalilah wainnailaih raj'iun dah sam wewe nikikuangalia kama bado upo vile
Allh akurehemu samu
Inna Lillah waina eleih rajiun
Rest in peace somo yngu
Rest in peace Sam
Rip sam waukweli
gon for rever bro
duhhh kiukweli kudai haki yako na kua mkweli katika maisha ndo vitasababisha ufe jamaa alikua mkweli na mpenda ukweli r I p mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amina
Ndio yan kama magufuli
May your soul continues RIP💔🙏🏼
Rip sam😢
kizazi Sana Lil omy
kweli hakuna ajuae kesho yake dunia mapito R.I.P
mungu akupe kauli thabit
mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema
Innalillah wainnah illah rajiuna, maashallah hata akiongea kawaida saut yake nzur maashallah umeimba vyote ila mm usiniguse Sam wa ukweli
Mwenyezi mungu SUBHANNA WATALA AKUPE JANNAH FRIDOUS
Daaah Inauma Sana ameondoka bado Malena
Innalilaih wainailaih rajuun mung🙏mungu mkuu akupe kaur sabt inshallah
Bado tunakukumbuka Sam 2021 nimekuja kuona😭😭😭
Inna rillah waina irah rajjiun
Resting easy Sam wa ukweli hao wanga hata kwetu wapo
sam mungu akulaze mahali pema peponi ..loved your music saana we won't forget you kabisaa innali lahi
Sauti ya Samu ilibadilika sana.... R. I. P bro
Rip bro ur songs remains in my heart
R.I.P man
mungu amlaze mahali pema pepon
MUNGU anajua zaidi....lala kwa amani samm ila naumia jamani😭😭
Still can't come to terms ...over this info..
Innalilah wainaillah rajiunn
alikuwa anaongea vizuri sana, ana akili sana, ana-composure anajibu maswali vizuri, sikuwahi kumfuatilia na kumjua kwa ukaribu. Ila ana speech tamu sana. Gone too soon brother.
Rest in Peace Sam wa Ukweli
Kuna baadhi ya maneno kayaongea ata diamond platnumz alisha semegana ila Sam wa ukweli alikuwa msani safi sana
R.I.P SAM WA Ukweli
Mungu skulaze magali pema pepuni hakika inauma kila nikisliy mziki wako wa sina raha au wenye majungu yani sam kma nakuna jmn m8ngu mpokey uyo mjaa wKo
R.I.P bro
Rest In Peace babe 😢😢😢😩😩😩
Lil Lil omy unaninisigi sana
Tunaomwangalia Sam wa ukweli after his death Oct 2024😢😢
Mungu akupe kauli sabiti kakaangu
Ila mungu 🙏 ana waona malipo yapo apa apa dunian 😭😭sotee waja wa mungu 🙏 kwake tutarejea
Kweli kila KT chenye mwanzo akikosi mwisho malip APA ap pumzika kwa amani
Rest in peace my brothr
D.J yuko sawa saana. Anajuwa jinsi ya kuhoji
Yan?
Masikin kweli mucangamushi kweli rip
voice wonder
Rip to this bro
Lala salama kaka.
yani umcheshi hadi raha uko vizuri
Shughuli ishaingia mvua watu wanakula wima, RIP
Maskiniii R.I P . Sam
R I P
Yah Allha malehem sam
Sam wangu alikuja akakonda jamanii,,wachawi kweli😭😭
R.I.p my kaka mwnyz mng akupokee vema
Such an intelligent guy. Rip Sam,😭
Rest in peace Bro sam, ila una mashair
Mpaka bac.
He saw it coming boss
Sam nakukubali maneno yako.
Mola akueke pazuri
Mungu akuepushe na adhabu za huko uendako inshaalah
Mreta Mreta mambo
+Kristopher kirway Margwe poa vipi
mungu akuepushe na dhambi zoteee Sam