Meena Ally Afunguka Kuondoka CLOUDS kwenda Wasafi au Crown Media? B Dozen, Mchomvu na Fetty Part 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 вер 2024
  • Meena Ally ameongea ushindani mpya uliokuwepo kwenye Media na mpango wa kuhamia media zingine (Wasafi au Crown)
    Aongelea pia kuwa miss watangazaji wenzake B Dozen na Adam Mchomvu!
    Tazama full interview, Part 2 Subscribe, Like, Comment & Share
    #Sitetereki #Podcast #LilOmmy

КОМЕНТАРІ • 23

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 3 місяці тому +5

    Wa zanzibar wana ongea kiswahili safii sana.

  • @maximusalnono6425
    @maximusalnono6425 2 місяці тому +1

    Naamini mwenyezi Mungu amenitengeneza ambayo inatosha 🔥

  • @neydaman8838
    @neydaman8838 3 місяці тому +2

    Its true every thing is Allaha's plan
    ويمكرون ويمكر الله والله خير الماكرين

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 3 місяці тому +4

    Nampendqa huyu dada jamani

  • @Rogathe-Rogathe
    @Rogathe-Rogathe 3 місяці тому +2

    Very humble en wise🥰🥰big up Meena Ally!!!!!!

  • @h.akarim
    @h.akarim 2 місяці тому

    Kazi Kubwa ☝️ Niko Congo 🇨🇩

  • @kingevarist6653
    @kingevarist6653 3 місяці тому +2

    Aje crown media

  • @Abdul_Hafidh20
    @Abdul_Hafidh20 2 місяці тому

    Meena ally ❤❤ Nkbl sn my sister ❤

  • @calvinsande5116
    @calvinsande5116 3 місяці тому +2

    Meena Ally your the best

  • @BIGBOY.127
    @BIGBOY.127 3 місяці тому +3

    Duuh

  • @Kiulaini
    @Kiulaini 3 місяці тому +2

    Kwani Inakua lazima mahojiano kama haya mtu aongee kizungu ? Kiswahili chetu kinakua sana sahivi.. meena ally tunajua una talent na unajua English ila jivunie lugha yako… (you don’t have to prove to anyone that you can speak English) Nahisi English iko na sehemu yake utaitumia tu mda ukifika ila sehemu kama hizi na mahajiano hayo inabidi tujivunie na lugha yetu… Ni mtazamo tu

    • @miriamadams7939
      @miriamadams7939 3 місяці тому +3

      Unaona vile wewe hujaweza kuandika complete Swahili sentence eh? Take yourself as an example.. plus we not stuck in 70s! We are a proud Swahili nation and that can’t be proven just by speaking Swahili all the time only

    • @Kiulaini
      @Kiulaini 3 місяці тому

      @@miriamadams7939 Hiyo sentensi nimeiweka kwa maana yangu na ndomana nikaiwekea mabano kuna watu wangejitokeza kusema sijui kizungu ndo mana nimetoa hayo maoni kama unaona ulimwengu unabadilika basi ndo usawa zaidi lugha yetu tuzidi kuipambania mana ukumbuke ndo lugha kubwa africa asa ikiwa vioo vya jamii kama hawa hawajivunii lugha yao na kueka uzungu mwingi kwenye mahojiano si ndo tunazidi kurudi nyuma tunabakia kutawaliwa tu mpaka kwa lugha pia

    • @suzankenny8830
      @suzankenny8830 2 місяці тому +1

      Jibu safi sana hilooo ❤

    • @jabirkasunzu6841
      @jabirkasunzu6841 2 місяці тому +1

      Kujua na kuzungumza lugha zaidi ya moja ina tija zaidi kuliko dhaifu.

    • @Kiulaini
      @Kiulaini 2 місяці тому

      @@miriamadams7939 hua sibishani na wanawake vile Wewe umeelewa hivo ni sawa ila ukitafakari kuna sababu ya mimi kuandika kizungu kwa mabano ili kuna watu kama nyie huenda wakasema nimeandika hivo sababu sielewi kizungu labda na ndo mana nikasema kua kila mtu anajua kua meena anaongea kizungu kizuri tu ila kwenye mahojiano kama haya sio lazima iwe nusu kizungu nusu kiswahili sababu mahojiano yenyewe ni kwa lugha ya kiswahili.. kizungu akieke tu kuna mahali pake atakitumia

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 3 місяці тому +2

    Mina ally kwenda Wasaf hamna labda Crown 👑

  • @ZakariaMachibula
    @ZakariaMachibula 3 місяці тому

    Crown fm