Ilivyokuwa studio Sam wa Ukweli akirekodi wimbo wake kabla ya kifo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Producer Steve aliyetaarisha wimbo wa marehemu Sam wa Ukweli kaendelea kuadithia historia ya wimbo huo ambao marehemu alikuwa akirecord mpka mauti kumkuta ambapo amesema Sam alikuwa akirecord wimbo huo huku akiimba kwa hisia sana mpaka machozi kumtoka kitu kilichowafanya waliokuepo studio wasimuangalie.

КОМЕНТАРІ • 839

  • @h.mau9989
    @h.mau9989 7 місяців тому +17

    kama unaangalia mwanzo wa mwaka mapema kabisa 2024 gonga like tumkukumbuke sam

  • @armanysafe2429
    @armanysafe2429 6 років тому +52

    Kama kweli ulimpenda msanii huyu gonga like

  • @fistonlefils2339
    @fistonlefils2339 6 років тому +391

    Kama ulimpenda Sam basi gonga like tumkumbuke pamoja😢😢😢😢🙁😢

  • @Blackiesmith
    @Blackiesmith 6 років тому +128

    Kama uwimbo umekuliza gonga like 😪😪😪😪😪😪😪😢😢😢😢😭

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 6 років тому +602

    Kama nawewe unaamin ipo siku utakufa kama sam wa ukweli gonga like yako tuungane kwa hili kumuombea ndugu yetu r.i.p sam wa waukweli

    • @cmsa1r
      @cmsa1r 6 років тому +2

      wilonja hatua tumwombeaje wakati amekufa?

    • @cmsa1r
      @cmsa1r 6 років тому +2

      Tuache kumchezea Mungu. He is dead. No prayer is gonna help him

    • @khadijaomar7015
      @khadijaomar7015 6 років тому +3

      Rip Sam mungu akuweke pema pepon kwa kweli nyimbo zako ni nzur nikisikiaga wimbo wako wa sina raha nakumbukaga mbali sana..... Rip Sam......

    • @alvinchamsela7891
      @alvinchamsela7891 6 років тому +3

      *R.i.p* MshikAji wangu😅 mbele yako, Nyuma yEtU siE

    • @khadijasaid4265
      @khadijasaid4265 6 років тому +1

      Pumzika kwa aman. Wimbo nzr sana

  • @bonnykahema2390
    @bonnykahema2390 Рік тому +10

    my favorite artist of bongo flavor R.I.P SAM WA UKWELI ....MISS U MAEN

  • @jantawakitaa3050
    @jantawakitaa3050 6 років тому +2

    Salum Mohamed (Sam wa ukweli) you are the best umeenda ila sauti yako umetuachia tutaendelea kusapoti mziki wako
    BORA WALI NYAMA
    KULIKO WALIMWENGU great message
    R. I. P BRO safari yetu sote tutonana tu

  • @davianofficial6972
    @davianofficial6972 2 роки тому +3

    Good interview ,,jamaa kajua kumuelezea vizuri Sana,,God rest him in a good Paradise

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 6 років тому +2

    great job. ..... mungu akupumpuze kw amani mkubwa wa kazi

  • @triplea4080
    @triplea4080 6 років тому +65

    Jamani maskini Sam, sisi wakenya tulizipenda nyimbo zake kwa sana....will miss him alot although we loved him and in our hearts you'll remain forever Sam,nalia nalia mimi aaii kifo mbona hivi jamani......vijana wetu wanaisha mola tusamehe pale tulipokosea

    • @nyash2542
      @nyash2542 6 років тому

      Triple A hatuja kosea ila ndio haki njia ya wakweli na yakila mmoja wetu sahihi kujiandaa mapema R.i.p Sam

  • @cynthiapatrick9818
    @cynthiapatrick9818 6 років тому +2

    pumzka kwa aman Sam wimbo wako unahisia sana kaz ya mungu ainamakosa❤😘😘

  • @nasrakal
    @nasrakal Рік тому +1

    Dah sam . Leo nimekukumbuka sana baada ya kumpoteza mama yangu mdogo . Alikua mpenz sana wa nyumbo zako mimi pia . Dah sam unaniliza .

  • @mkaliwenuoriginalpleasesub9297
    @mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 років тому +104

    Dah jamn nyimbo ilikuwa nzur R.I.P BRO SAM

  • @jonaselias7729
    @jonaselias7729 6 років тому +11

    huyu producer Ameogopa don't worry good boy Mungu alikusudia ujifunze kwa kuona kabisa....God bless you...

  • @LameckNyabuto-fd6bi
    @LameckNyabuto-fd6bi 10 місяців тому +4

    My favourite artist ,rip sam

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 3 роки тому +2

    R.l.P SAM we miss U 🥺😭 Sana'a brother 🙌 from Australia 2021

  • @fredericcomonguzzi9652
    @fredericcomonguzzi9652 6 років тому +1

    Poleni sana huku kenya tulimpenda sana

  • @simiyusimwende8251
    @simiyusimwende8251 6 років тому +1

    RIP Sam ,,shabiki wako hapa kutoka 254,take heart my brothers from Tz

  • @annastaziaprudence7333
    @annastaziaprudence7333 6 років тому +2

    Naomba muitoe tu hiyo nyimbo mumpelekee riziki familia yake, it’s very nice song

  • @user-ik3ey9cs9e
    @user-ik3ey9cs9e 6 років тому

    Pole broo.mungu atakupa subra kwa kifo cha rafiki yako. Mungu amlaze mahala pema. Nasi tulimpenda pia. Allah kampenda zaidi.

  • @jamilahabibu3527
    @jamilahabibu3527 6 років тому +3

    Mungu anaxiri nzitoxana kikubwa ibada2 Allah kareem

  • @immanuelcatylynplatnumz6491
    @immanuelcatylynplatnumz6491 6 років тому +29

    Duuuuuh jamani Sam wa ukweli kama vile ulitabili kifo chako,daaah tumeumia saana,mbele yako nyuma yetu,R.I.P

  • @irenekitomary9780
    @irenekitomary9780 6 років тому +3

    May your soul rest in internal piece juz tu nilikuwa naangalia nyimbo zako na nikacoment leo umelala????? Daaaaaa MUNGU asante kwakila kitu 🙏🙏🙏😢😢😢

  • @bwiredarmian1768
    @bwiredarmian1768 6 років тому +4

    R.I.P. Sam wa Vkweli, Nasi tupo nyuma yako. Mungu akulaze mahari pema

  • @shebbytz7111
    @shebbytz7111 6 років тому +26

    Ulikuja na kaz nzur kwetu, Umeondoka umetuacha na kaz nzuuuur kwetu,,,,,,, Saut yako na ujumbe wako havitafutika milele ktk njia zetu,,,,,,, safar ni yetu sote,,, tangulia Broo, tu nyuma yako. So 😔.
    Rest in peace #sam

  • @bijumakassim3697
    @bijumakassim3697 6 років тому

    Huu wimbo ni mzuri sana aise..M/mungu nmjuzi anaye jua yalio fichikina na yalio dhahiri...poleni wana familia na marafiki wote mungu awape subra kwakweli kifo Cha sam kime wangusa wengi 😭😭😭

  • @privaldinho
    @privaldinho 6 років тому +1

    Mungu akumbuke wema wako ana akusamehe makosa ya Sammy

  • @mfukunyuzi8335
    @mfukunyuzi8335 6 років тому +15

    Daah! kifo huwa kinanifanya nimuogope sana Muumba wangu,kwamba mimi si chochote nimetoka mavumbini,nitarudi mavumbini.
    Rest In Peace Sam

  • @felistakalindima8239
    @felistakalindima8239 6 років тому

    Daaah! ujumbe mzito sana eeeh Mungu mpokee Sam safari yetu ni moja

  • @alikiba9723
    @alikiba9723 6 років тому +3

    Mbele wewe Nyuma sisi Bro Sam, Pumzika kwa Amani kaka 😭😭😭😭 +1

  • @mektidismbepera4146
    @mektidismbepera4146 6 років тому +1

    Daaah kazi ya Mungu haina makosa, hakika ujumbe nmeupata,,RIP Sam wa ukwel

  • @andrew0502
    @andrew0502 6 років тому +2

    Utafikiri aliandika kumbe alikuwa anakwenda na free style tu dah! You were talented 'Sam' rest in peace.

  • @mahamoudjacob1983
    @mahamoudjacob1983 6 років тому +2

    It's true.. Sisi walimwengu wengi wetu tuna unafiki...bro Sam.. Have a good time on your way.. Rest in peace. We are behind you.... 😥😥😥😥😫😫😫😫

  • @sheikhmasoud224
    @sheikhmasoud224 5 років тому +4

    daah!!!! Sam uliacha sisi na nyimbo wenye funzo kubwa😭😭😭😭😭leo nakumbuka siku zako za uhai humu duniani😭😭😭

  • @CCMTAIFAUshindiCCM
    @CCMTAIFAUshindiCCM 6 років тому +1

    PUMZIKA KWA AMANI KIJANA WETU - sisi tunakupenda ila mungu kakupenda zaidi......
    HAKIKA WIMBO WAKO NI FIMBO KWETU WALIMWENGU
    "Kuna Mema na Mazuri"

  • @halimaomar2986
    @halimaomar2986 2 роки тому

    Kweli Bora wali nyama..kuliko walimwengu....mungu akusamee...akujalie mahali pema pepon

  • @jackomondi5513
    @jackomondi5513 6 років тому +2

    "Yawezekana umetenda mazuri na hujatenda wema" Ujumbe mzito kwelikweli. R.I.P BRO SAM

  • @bigmonsterschool
    @bigmonsterschool 6 років тому

    Kila mtu ataondoka kwa siku na saa na mahala alipopangiwa kuonfokea, kutopelekwa hosp mapema ni kwamba ilikua afe hapo alipofia kwa wakati ule kwahiyo ni mipango ya mola haina makosa. Ina lillahi waina ilaihi rajuun. Mola ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia na alifanye kaburi lake kuwa ni kiwanja cha pepo. AMIN

  • @shanisaidy5033
    @shanisaidy5033 6 років тому +67

    Kazi mungu haina makosajamani hadi nimelia Yaraab 😢😢😢😢

  • @stevenkipara9310
    @stevenkipara9310 6 років тому +10

    DUUU.kaacha ujumbe mkubwa sana, mwenye masikio asikie,Kuzimu yipo na Pepo ipo,Jamani....Tuishi kwaku muogopa Mungu.

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 6 років тому +4

    Upendo wa Mimi na wewe uko WAPI? Watu tunasahau kama kunakifo Mitandao inatumaliza Bora umetuachia wimbo tena wenye maana...halisi....Duh.....God Bless you Sam.

  • @matendoandrewmgeni1135
    @matendoandrewmgeni1135 6 років тому

    bora wali nyama kuliko walimwengu! hahahahaah sijawahi kuona utunzi kama huu so amaizing! RIP SAM WA UKWELI!

  • @aminarashid4474
    @aminarashid4474 6 років тому

    daa umeniliza sana huu wimbo MUNGU akulaze peponi kaka

  • @dinademona7375
    @dinademona7375 6 років тому +4

    Nimekuwa shocked but this is the work of Allah Every soul shall test the death

  • @tatoamarainy5996
    @tatoamarainy5996 6 років тому

    Kikubwa ni dua tu jaman kwa ndugu yetu ili m. Mungu mabaya yake amsamehe na mazur yke bac m.mungu amlipe inshaallah

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 6 років тому +11

    Allah akurehem ikiwa umefanyiwa kweli wamechukua dhambi zako baba uwende upo mweupe msafi huna dhambi wamechukua mabaya yako mingu akurehe uendapo kakupenda nakukuchukua hakutaka uteseke saana kwa maumivu allah aweke roho yako mahala pema pepon amiin

  • @eliezerswai582
    @eliezerswai582 3 роки тому

    Inauma sana namkumbuka broo wangu samu mungu akulaze pema ulinifundisha kuimba bado napambana

  • @remmythatdiva812
    @remmythatdiva812 6 років тому +1

    Soo touching ooooh my😭😭😭😭😭bora wali nyama kuliko walimwengu...am soo emotional.... Rip Sam jamani😭😭😭😭😭

  • @jullyjulline4359
    @jullyjulline4359 6 років тому +1

    mungu aiweke Riho ya sam wa ukweli mahali pema patulivu 😢😢RIP.kweli bora walinyama kuliko walimwengu...

  • @bonifacekongwa9006
    @bonifacekongwa9006 5 років тому +3

    21/07/2019 R.l.p Sam tutakimix sana

  • @kenyacool4388
    @kenyacool4388 6 років тому +1

    "Kuna kosa na dhambi..na kuna mazuri na wema...unaweza kutenda mazuri ila ukawa hujatenda wema" daaa😢😢...you've gone forever Sam...may your soul rest in peace

  • @agcreatedit
    @agcreatedit 6 років тому +1

    Kweli sam kaugua na kweli marafiki na walimwengu ubadirika! Dah inaniuma sana! Mungu akulaze kwema kaka RIP #afadhali wali nyama kuliko walimwengu

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 років тому

    Yani hadi chozi lanindondoka sam upumzike pema wallah nafikiri guy wangu alivyo kuwashabiki wa nyimbo zko poleni familia mungu awape subra

  • @zulekhaamiri972
    @zulekhaamiri972 6 років тому

    Daahhhhh sam uruma sana mwenyezi mungu akurehemu kaka tutakukumbuka

  • @vansobwoy9131
    @vansobwoy9131 6 років тому

    Dah aisay Mungu ukueke pema peponi SAM WAUKWELI

  • @yusuphmwamlima2902
    @yusuphmwamlima2902 11 місяців тому

    Aman ya ya mungu idumu kwetu. Idumu na kwa wengine wote pia
    Ya ya mungu yawabariki kwa kuuweka Wimbo huu uwe kumbukumbu kwa vizazi vyetu katika kuyajua ya kwetu ya kuishi kiutu kwa taratibu za kimungu

  • @halfanimuruwa3826
    @halfanimuruwa3826 6 років тому

    kutoka USA🇺🇸 vidox Nakupata vizuri

  • @hashimujumajuma7375
    @hashimujumajuma7375 6 років тому +1

    da! RIP, bro sam wa ukweli, wapenda ngono na wachaw sio kwenu tu hata kwetu waapo.
    unanikumbusha mbali sana r,I,p bro. my way is one

  • @dennickanyala4243
    @dennickanyala4243 6 років тому

    polen saana mungu amtangulie

  • @ashurakimbisa691
    @ashurakimbisa691 6 років тому +1

    Jaman eeeeh Mungu Wang tujalie mwisho mwemah😓😓...R.I.P Sum daaaah😢😢

  • @huzaina_huzaina_599
    @huzaina_huzaina_599 6 років тому +1

    Allah akujalie kauli thabit huko uendako
    R.I.P Sam

  • @mwinjilisti.wayesu6196
    @mwinjilisti.wayesu6196 6 років тому

    Du ! Mungu akuwa tunze kuna wema na daa kuna dhambi na kosa aisee Kuna namna ulitazama jamaa maisha tunayoishi Mambo ni Mengi tumtegemee Mungu

  • @epilepsyawarenessassociati9551
    @epilepsyawarenessassociati9551 6 років тому +5

    Owesome Touching song God rest him in peace and forgive him

  • @elinamahenge547
    @elinamahenge547 6 років тому

    safiri salama huko uendako kaka Sam, tuko nyuma yako

  • @georgecharlz7353
    @georgecharlz7353 6 років тому

    Dah! pole mungu ailaze roho ya marehem pema pepot Amee

  • @shijamahegaukovizurikaka776
    @shijamahegaukovizurikaka776 6 років тому

    pole sana family Sam. ss wote tuliundwa kwa udongo na tutarudi kwa udongo

  • @bbycandy3979
    @bbycandy3979 3 роки тому +1

    😭😭😭😭😭😭Jaman hio nymbo inatia chungu mumgu musamehe kaka yetu sama makosa yake yuilaze roho yake mahal pema palpo NA wema pepni inshallah 🙏🙏🙏🙏

  • @matumlaasaid6895
    @matumlaasaid6895 6 років тому

    Mbele Yake nyuma yetu mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahari pema peponi amen

  • @asmabintikiwasha13
    @asmabintikiwasha13 6 років тому +3

    wallah msiba mungu awaongoze kaka zetu wakiislam mwez wa ramadhani mtu yupo studio anaimba mpaka mauti yanampata allah ahusamehe kifo chatosha kua mawaida

  • @ayubuyoramu9867
    @ayubuyoramu9867 6 років тому

    Pumzika kwa amani Sam bwana ametoa bwana ametwaa jina rake rihimidiwe amen

  • @agabonestory7927
    @agabonestory7927 6 років тому

    Mungu mlaze mahala pema SAM WA UKWEL

  • @venickomare3692
    @venickomare3692 6 років тому

    Wimbo wenyewe umentoa machozi,mungu ailaze roho yake pema peponi

  • @mwitankorotz5911
    @mwitankorotz5911 6 років тому

    poleni sana ndugu zangu samu ukweli kusema kweli Nilikuwa namkubali sana 😥😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @emilyngeorge3985
    @emilyngeorge3985 6 років тому

    Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi apumuzike kwa aman

  • @fatmerhabibth7477
    @fatmerhabibth7477 4 роки тому

    😭😭😭😭🙏🙏mungu ailaze mahali pema inshaallah...mbelee yako nyuma yetuu

  • @bettiejoy-mtotowamama
    @bettiejoy-mtotowamama 6 років тому +38

    Duh!😭😭😭😭😭😭😭😭Kweli wimbo aliimba kwa huzuni 😭😭 #RIP_SAM

  • @ndayishimiyecynthia7573
    @ndayishimiyecynthia7573 5 років тому +1

    Jaman nyimbo nasikiliza ila sikujua Nani kaimba dah R.l.P Kaka Machozi yananilenga jaman

  • @May-qx9lu
    @May-qx9lu 6 років тому +1

    Ni kweli bora wali nyama kuliko walimwengu,alitubembeleza sana nakutufariji kwa nyimbo zake zuri .sasa basi yu mavumbi nasi tupo nyuma yake,RIP

  • @zuenamohamed2021
    @zuenamohamed2021 6 років тому +1

    mbele yake nyuma yetu samu wa ukweli. nikiwa sina raha naupenda kweli wimbo huo.

  • @samwelikingu1595
    @samwelikingu1595 6 років тому

    Mungu akuweke mahali pema Samu wa ukweli umeondoka kama sedekia alivyoondoka

  • @swabrinamasoud106
    @swabrinamasoud106 6 років тому

    Sam jaman 😭😭😭 Allah akujalie kauli thabiti yarb nymbo imeniliza za kwakwel naumia sana nenda salama Kkangu😭😭😭😭

  • @abdibakari641
    @abdibakari641 6 років тому

    Nenda salama Sam... nsalimie mama yngu ukimkuta hko...muambie nmemmiss sana

  • @disantoselia1565
    @disantoselia1565 6 років тому

    tulikupenda mungu kakubeda zaidi pumuzika mahali Peña😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @salumuhafidhimtabe420
    @salumuhafidhimtabe420 5 років тому +3

    The best Artist ever

  • @brigidmua9558
    @brigidmua9558 6 років тому +56

    Rip...young man...alikufa akitenda kazi yake mungu kipaji chake aliompa. ...painful. ..

  • @nsgsvshhcxghzhzvsv28
    @nsgsvshhcxghzhzvsv28 6 років тому

    Mwenyezi mungu araze loho yake peponi

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 6 років тому

    Daah bonge ya ngoma aisee halafu sauti ilikua iko OK kabisa huwezi dhania Kama alikua anaumwa chochote. RIP bro

  • @neemamafayo7257
    @neemamafayo7257 6 років тому +2

    dah!mpaka machozi yamenitoka. R.I.P Sam

  • @katecaddy7556
    @katecaddy7556 6 років тому +1

    we mourn together,,,,..team kenya

  • @hafsashaban8335
    @hafsashaban8335 6 років тому

    Naumia Cna mm ni moja ya watu walio kuwa nakukubali Cna nyimbo zako zilikuwa zinanigusa sana has a wimbo Wa Cna raha

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 6 років тому +2

    Wangeuzindua na uanze kuuzwa siku ya mazishi yake R I P Sam wetu mwana Singida mwenzangu 😭😭

  • @alfarsialfarsi2754
    @alfarsialfarsi2754 2 роки тому

    Dah Leo tarehe7_12_2020 dah Ila bado nalia🇴🇲🇹🇿

  • @mbojesalumsalumneema3659
    @mbojesalumsalumneema3659 2 роки тому

    Pumuzika kwa Amani 🤲 inshaAllah

  • @mastiwamara2497
    @mastiwamara2497 6 років тому

    Mungu akupumuzishe vyema Kaka

  • @khairatgamon4744
    @khairatgamon4744 6 років тому +37

    aaaahh!! Sam mwenyezi mungu akupunguzie adhabu ya kabri akuepushe na moto Wa jahanam RIP kaka sam

  • @eliasmathayo9893
    @eliasmathayo9893 6 років тому

    mungu akulaze mahali pema peponi ndung r.I.p sam wa ukweli

  • @denohthegreat9623
    @denohthegreat9623 4 роки тому +3

    I miss this guy, but we thank God for you

  • @frankmwakibete9147
    @frankmwakibete9147 6 років тому

    mwenyezi mungu mlaze mali pema kaka yangu mpendwa sam wa ukweli

  • @ambelemwakanyamale9856
    @ambelemwakanyamale9856 6 років тому

    da Sam umezima kama mshumaa turikupenda lakini mungu amekupenda zaid wimbo wako umeuimba Kama ulijuwa da Sam nilikuwa nakupenda nakumbuka ulivoanza kuimba nyimbo zako sina laha ulikuja kufanya show kitaan da Leo aupo tena 😥😥

  • @godsproperty2956
    @godsproperty2956 6 років тому +23

    Kweli wimbo wenyewe una great message...Rip sam