MPANGO MZIMA WA NDACHA NA MWALIMU WAKE NA WENZIWE KUFUNDISHA UWONGO ILI KUJIPATIA PESA NA UWONGO WAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 296

  • @denisbarasa2035
    @denisbarasa2035 Місяць тому +3

    Haina ukweli hiyo ni comed tu.. Hassan ni mkristo kweli kweli yesu amemkomboa🙏🙏

  • @JustinMkumbwa
    @JustinMkumbwa Місяць тому +1

    Mnaweweseka sana mungu kawaumbua sana waisilam mlifanya komed nyingikuwapotosha wakristo lakin sasa ukweliumejulikana din ya shetan na ya mungu niipi

  • @dafarshaabduba8280
    @dafarshaabduba8280 29 днів тому +1

    Iyo ndio amenitoa kwa waslamu coz kama ni ya ukweli y mungu bona waslamu muko na matusi mengi ama Allah anakubali kutusi watu na shuku sana ata Allah sio mungu ya ukweli coz munatumia nguvu sana kwa watu na matusi mengi

  • @MsagatiEgon
    @MsagatiEgon Місяць тому +2

    Hiyo ya zamani sana tushaizowea haina ukweli wowote

  • @sama-_8368
    @sama-_8368 Місяць тому +15

    Ustadh Shafi unafanya kazi kubwa sana Allah akulipe khery.

    • @ustadhshafiionlinetv
      @ustadhshafiionlinetv  Місяць тому +2

      ALLAHUMA AMIIN KWA SOTE INSHALLAH

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 Місяць тому

      @@ustadhshafiionlinetv Aamiyn

    • @hythamhashiem4458
      @hythamhashiem4458 Місяць тому

      Amin

    • @AntonyManeno
      @AntonyManeno Місяць тому

      ​@@ustadhshafiionlinetvTwa Taka Parawaja Kwa Mdahalo Vitabu Viongee Wala Sio Comedy

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому

      ​@@ustadhshafiionlinetv Ni kweli huyo siyo njaa tu na kiu anayo!! MATHAYO 5: 6 HERI WENYE NJAA NA KIU YA HAKI maana hao WATASHIBISHWA!✝️✝️😅😅🙏🙏

  • @heavens9451
    @heavens9451 Місяць тому +1

    Shafi Hujui Lolote.. Vdeo ya zaman. Sasa Nataka umwite Paulo Mwenyewe Aseme

  • @ufunuotv
    @ufunuotv 28 днів тому +1

    Mtajua ham juice uislamu unafiki mtupu😊

  • @abduliashiru9394
    @abduliashiru9394 18 днів тому

    Hata kama ya zamani mi sijaiyona ndy kwanza naiyona Allah akulipe Shekhe kwa hiii kazi yako, huyu tumuombeee aludi katika haki uko aliko ni upotevu

  • @SimonNzuki-d6i
    @SimonNzuki-d6i Місяць тому +2

    Kama tuna mwamini MUNGU...... wakristo na weslamu Tu mwombe aweke ukweli wazi

  • @davidedward6053
    @davidedward6053 Місяць тому +1

    Kuna madili kibao ya kufanya mtu akae aangaike Kwa ajili ya midahalo tu kupata pesa,acheni kuchafua watu walioamua kubadilisha maisha Yao Kwa kumfata kristo yesu masih

  • @AbdirazaqMuhammad
    @AbdirazaqMuhammad Місяць тому +6

    Huyu jamaa juzi alisilimu na mkewe kutoka kisii.Tapeli huyu.

    • @SheeMaryam.M
      @SheeMaryam.M Місяць тому

      Na si nimeona kwa simulizi Bado n mkristo ama?
      Achunge sana malakul maût asimpate kwa njia panda

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH Місяць тому

      Uchungu huo

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH Місяць тому

      Huyo aliyemuhoji mbona ukamtafute mulize kulikuaje

    • @spartachize122
      @spartachize122 Місяць тому

      Kwenye hii interview alisilimishwa yeye na mkewe lkn alitafutwa akaongezewa maokoto tena akarudi kwenye Ukristo😂😂😂kigeu geu tu ila tuzidi kumuombea huanda akaja kutambua ujinga anaoufanya na akarudi kwenye dinn ya haki inshaallah

    • @stephen-S7n
      @stephen-S7n Місяць тому

      Juzi ama miaka kadhaa??

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 Місяць тому +3

    Ndacha na wenziwe ni waongo na waeneza upotofu.Huyo Paulo njaa inmsumbua yuko kibaruani

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Місяць тому +2

    Tunakupenda kwa ajili ya ALLAH Ushadh Shafii.Huyu kapinda meno mpaka akili yake.Ndio maana ALLAH anamuadhibu hapa hapa duniani tunamuona.

    • @MikeKeya-d5c
      @MikeKeya-d5c Місяць тому

      Achen ukweli usemwe Wala sio kuficha ficha mambo

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 Місяць тому

      @@MikeKeya-d5c Kwanza waliompashika jina la Paulo hawajakosea maana kamridhi Paulo wa bible mpaka uwendawazimu.Sisi sio wendawazimu kama Paulo huyu wa Nacha na Saul (aka)mtume wenu kwenye bible

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 Місяць тому

      ​​@@aishahazary4097wewe hujui hata uislamu wako sijui umesoma wapi. Wasomi wa kiislamu wanakiri kuwa Paulo ni mtume wewe unasema ni mwongo. Na Kur'ani yako imenukuu maneno aliyosema Paulo kwenye moja ya barua zake tena neno kwa neno kukiri kwamba kweli alikuwa mtume wa Mwenyezi Mungu kwa hiyo unapoongea kejeli zako hapa unaanika u mbumbumbu wako juu ya dini hujui kitu

  • @salisali3738
    @salisali3738 Місяць тому +3

    Inna lillah waina ilaih rajiuna ndacha ndio maana Ustadhi Shafii hataki kufanya mdahalo nae

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 Місяць тому +1

      Siwamefanya juzi tu na Ndacha amefedheheka

  • @costantineevarist5110
    @costantineevarist5110 Місяць тому +2

    Kasema u kweli.. Uislam ni msiba.. Mnaabudu msicho kijua... Njooni kwa Yesu Muokolewe

    • @YOUSUFHUGUGU
      @YOUSUFHUGUGU Місяць тому

      @@costantineevarist5110 tunaemuabudu sisi hata Yesu ndiye alimuabudu na akafundisha watu wamuabud haya nyie mnaemuabud Yesu tuambieni nani kawaambia mumubudu
      Kiukwel wakristo mna vichwa vigumu yaani hat kutafakar kwenu ni mtihani iv kwel na mkiambiwa ukwel mnakuwa wabishi sana

    • @MikeKeya-d5c
      @MikeKeya-d5c Місяць тому

      Yesu n mtume wa mungu na Kuna mitume walio mtangulia na alikuja duniani kulitimiza neno LA mungu. Na alifuata na kuendeleza pahali mitume wengine waliko wachia na kufundisha watu njia ya kuenda mbinguni na hio njia ya kuenda mbikuni ni kumukibali yeye yesu na alisema yeye ndio njia ya kuingia mbinguni na ndio mana tunamufuata​ yesu@@YOUSUFHUGUGU

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou Місяць тому +2

      Ukweli mtupu

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou Місяць тому +1

      @@YOUSUFHUGUGU
      mnaabudu mdhanie ndiye kumbe sie.
      Yesu alimuabudu Mungu Baba....allah sio mzazi ni tasa.
      Nani katuambia tumuabudu Yesu? - Yohana 5:23
      Waislamu walibabaishiwa Yesu Kristo feki kwa jina issa bin maryam, kwa hiyo hawamjui Mwenyezi Mungu.
      Yesu anasema kwenye Yohana 14:7 "Kama mngekuwa mnajua mimi ni nani, mngemfahamu na Baba yangu."

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 Місяць тому

      @@costantineevarist5110 Angeweza kujiokoa msalabani na mimi ninekuja kanisani
      Lakini hata kajimsalaba kadogo tu kashindwa kujiokoa ataweza kuniokoa mimi!!?.

  • @oscarngowi4750
    @oscarngowi4750 Місяць тому

    Hapo walimtishia maisha ndio akarudi lakini Yesu alimwita kabla hajazaliwa huwezi kumzuia kuwa mkristo wokovu Ni mchakato mrefu

  • @YohanaJulius-j8p
    @YohanaJulius-j8p Місяць тому +1

    Ngoja awanyooshe na hatusubscribe Wala hatulike

  • @cultureman8563
    @cultureman8563 Місяць тому +1

    Asante Kwa hayo tafadhali

  • @celestinshayo7295
    @celestinshayo7295 Місяць тому +1

    Kinachonishangaza kuhusu waislamu ni mambo kama matatu hivi: kwanza huwa muislamu anayeritadi huwa anatoa hoja zenye mashiko kuhusu uamuzi wake sijaona muislamu anayejitokeza kukanusha hoja hizo kwa hoja zenye mashiko zaidi bali huishia kumshambulia muritadi tu na kuudhalilisha utu wake. Pili wanautetea uislamu kwa kutishia kumuuwa muritadi.! Hivi tangu mumeuwa watu wanaouacha uislamu na kukimbilia ukristo mumeweza kuufanya uislamu uaminike zaidi? Tatu. Mtu akiacha uislamu na kwenda ukristo mara zote husemwa kuwa njaa imempeleka huko. Ina maana chakula kipo kwa wakristo tu na kwa waislamu hamna chakula? Na mbona mkristo akisilimu hamsemi njaa imemkimbiza kutoka huko? Ningefurahi kupata majibu ya kuridhisha kutoka kwa rafiki zangu waislamu

  • @Maarifa_Film
    @Maarifa_Film Місяць тому +3

    Wanatumia Nguvu nyingi kuangusha Uisilamu lkn hawawezi ndio kwanza wanazidi kuupigia debe watu wanasilimu kila kukicha😂😂😂

  • @samxx411
    @samxx411 Місяць тому +1

    Kwa ninavyowajuwa wakristo hayo hawaamini na watasema alikuwa na majini ya kiislam, alikuwa hana roho na mengine tele..ndugu zetu wanahitaji kusaidiwa sana

  • @emanuelpeter2489
    @emanuelpeter2489 Місяць тому +2

    Sio anasema au anadai sema ukweli alikuwa na anajua na ameokolewa na YESU

    • @Alithoya-qr7di
      @Alithoya-qr7di Місяць тому

      Tunajua mambo ya ndacha ata danganya wasio mjua

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Місяць тому

      Usijifanye kumtetea huyu ni mbabaishaji na muongo sana, lkn nyny wakiristo mpo ivi.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Місяць тому

      Towa upumbavu wako apo na upotevu mjinga mkubwa kaokolewa nini?mwe kwanini hamskiyi nyiye mnataka wawaelimishe aje kama uyo kapinda meno mpaka akili zimepinda.atajipoteza mwenyewe hakuna atakayemfata hata umoja.atakwenda pekeyake na uyo mpotevu mwenziye ndacha

  • @salomaoussenesamsonussenes3628
    @salomaoussenesamsonussenes3628 Місяць тому

    Mtu akitoka kwenye uislam no pesa, ila ikitoka kwenye ukristo mambo safi. Acheni bangi waislam.

  • @VincentGasper
    @VincentGasper 3 дні тому

    Ombaa chochotee kwa jina la yesuuu utapewass

  • @oman7710
    @oman7710 Місяць тому

    Subhanallah Allah atujaalie mwisho mwema

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. Місяць тому

    SHAFII ULIMKIMBIA NDACH ULINGONI UMEANZA VICHEKESHO 😂

  • @SirikwaMollel-y3k
    @SirikwaMollel-y3k Місяць тому

    Mungu ni moja sis wote lakin hii ya waislamu kwanin analasimisha watu amfuate maan kuingia sawa kutoka unakatwa shingo mim naulisa kwani na ni mungu wa kwali

  • @jjtm164
    @jjtm164 Місяць тому +1

    Hata hiyo ya kurudi kwa uislamu alisema kwenye simulizi baada ya kudanganywa na sheikh mwongo lakini yeye ni kidume cha yesu. Hiyo clip ni ya kitambo tunaijua na pia aliogopa kuuwawa la sasa ni jemedari wa yesu

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Місяць тому

      Unaushahidi gani nani sheh ulimuona kwauyo potevu wako anaenda kumpa pesa arudi kuuislam?nani.hamna ata sheh umoja.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Місяць тому

      Sikiliza nikwambiye sisi waislam tunajiamini miya kwa miya kama et lim tunayo vitæ tunavyo mitume tunawo mungu tunaye.kwa iyo ukiona amesilim mtu huwa kajileta mwenyewe kwakuona ukweli nakumtafuta mungu wala hapewi pesa zanini nasisi wamaskini hatuna pesa yakupoteza.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Місяць тому

      Nyiye njo mko napesa nyingi zakupoteza filmason anawapa il muupinge l'islam na muusambaratishe usipatikanagi duniani.lakini hamtouwezaa

  • @SpeaktoDryBones
    @SpeaktoDryBones Місяць тому

    Ukweli utadhihirika . Usitumie uongo kujitetea

  • @Maarifa_Film
    @Maarifa_Film Місяць тому

    Watu kama hawa watuyumbisha lmani za watu wasiotaka kujua dini yao ila kwa Wennye kuisoma dini yao kisawasawa na wakawa Waisilamu kamili hawawasumbui unawasikiliza hoja zao unazipuuza2 kwa maana hakuna Wanalolisema ila Udanganyifu2

  • @OmaryLukokosi
    @OmaryLukokosi 22 дні тому

    Sema hakuna kitu kibaya katika maisha kama njaa huyu jamaa inayomsumbua ni njaa sii kitu kingine tumuombeni Allah atuepushieni janga la njaa tusije tukapindukia kwenye ukafiri...

  • @Maarifa_Film
    @Maarifa_Film Місяць тому +3

    Ukimtazama Macho yake2 unamuona kabisa ni mnafki aliyebobea😂😂

    • @MikeKeya-d5c
      @MikeKeya-d5c Місяць тому

      Ww endelea kufuata huo uisilamu na hujui mwishowake

    • @Maarifa_Film
      @Maarifa_Film Місяць тому

      @@MikeKeya-d5c Huku ni Amani na Salama, Al-lslam Dini ya Haki natembea kifua mbele✊

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 Місяць тому

    Usisahau ku sabsab

  • @SheeMaryam.M
    @SheeMaryam.M Місяць тому +1

    Kwa hvyo kanunuliwa huyu ndio waupinge uisilamu subhanallah 😢

    • @cideboy100
      @cideboy100 Місяць тому

      Assalamu-Alleikum dada huyu jama aliritadi halafu akarudi akasilimu tena halafu baada ya masiku chache wakristo wakamfata tena wakamahidi pesa zaidi akaritadi tena halafu huyo huyo ndacha aliye mfanya akaritadi akampigia huyo ustadhi mwenye alirikodi hiyo video simu akamwambia hiyo video asiisambaze aiondowe kwenye mitandao ntakupa pesa nyingi sana huyo ustadhi akakataa kabisa halafu ndiyo akazidi kabisa kuisambaza...huyo jama babake ni Sheikh mkubwa sana tena ni mtu maarufu kule Congo kwahivyo dini ya uislamu anaijuwa vizuri sana lakini ndiyo hivyo hana msimamo anataka tu kufaidika kifedha hata saa hizi mtu akimfata amwambiye tuta kupa pesa zaidi kuliko zenye unapewa na hawo kina ndacha wasabato nenda useme kuwa mnyezi mungu ni punda atakubali tu bora apewe tu pesa

    • @jjtm164
      @jjtm164 Місяць тому

      Kanunuliwa?? wakrito hawana pesa ya kuarbu

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Місяць тому

      Simpaka wauweze ?uislam uliletwa na mungu na utazidi kudumu hadi kiyama watauweza zo mapotevu?subutu.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Місяць тому

      ​@@cideboy100basi anahasara duniani na ahera

  • @hamdunslimofficail4150
    @hamdunslimofficail4150 Місяць тому +1

    Ongera sana sheikh

  • @samuelmweipongwe140
    @samuelmweipongwe140 Місяць тому

    Yani ukitoka katika dini ya kiislam, vita yake inakua kubwa mno. Hiyo hali naipitia kila siku kwa kuwa nimetoka huko. Mara utasikia njaa imekutoa huko, mara ooh ushakua kafiri mara ooh, uislam dini ya haki. Ipo hivi, neno uislam halina shida kabisa shida ipo katika hiyo dinni inayojiita ni uislam. Ukiingia huko ndo utajua hujui kuwa unajua kumbe hujui. Shafii anajitahidi mno kuuelezea uislam lakini ukimfatilia kiundani haelezei dunni ya kiislam. Dini ya kiislam inajipinga yenyewe lakini uislam uko safi kabisa. Wenye akili watakua wamenielewa vizuri sana

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Місяць тому

      Yaani maelezo makubwa ili ndo watu wakuone kuwa unachoongea kina ukweli wakt ni mnafk tu km huyo jamaa apo haelewek km sigara ya nyota kwnz hakuna dini inayoitwa ukristo hata biblia nzma hakuna neno ukristo.

  • @KenzyKenzo-s5h
    @KenzyKenzo-s5h Місяць тому

    Wewe wacha kutukana watu wa mungu wanao sema ukweli dini y kweli n ukrsto

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Місяць тому

      Kitabu gani kilichoandik ukristo ni dini ya kweli sio dini ya kweli tu yaani kitaje Ukristo ni dini tu au kitaje neno ukristo tu.

  • @MikeKeya-d5c
    @MikeKeya-d5c Місяць тому

    Huyu jamaa amesema ukweli mtupu na kitu ninacho kijua kuwa ukweli ukisemwa Huwa unauma.

  • @OLUNGAJOSHMAH
    @OLUNGAJOSHMAH Місяць тому

    Yani Dini ya mungu lakini mauwaji ndani mwake...hatari sana kwa Wislaam

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Місяць тому

    Huyu jama hana nuru kabisa ya uislam 😂😂
    Uso wake haufanani kabisa na uso ulio wahi kumsujudia Mola.
    Yeye atulie tu na huyo ndacha wake.

  • @triuneapologeticsevangelis5912
    @triuneapologeticsevangelis5912 Місяць тому

    😂😂😂😂😂,mnajidhalilisha , shafi alilenewa hoja sasa huyu kijana mwenye elimu ya kiharabu ndio mtamuweza... Huyu kijana waislamu walimoea pesa hili arudi kwa waislamu, sasa mna uchungu alirudi kwa nuru😂😂😂

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Місяць тому

      Na vp aliposema alihongwa hela na Makafiri na walishindwana kwnye malipo ndipo akatok kwnye ukristo akaja kwnye Uislamu ww huoni km huo ni unafk?

  • @jumamnyonge2148
    @jumamnyonge2148 Місяць тому

    Kwasasa itakuwa ngumu yeye kutoka huko labda tu Allah amnusuru juu ndacha ni freemason naye Kisha muingiza uyo kijana

  • @nizigamajeanine6282
    @nizigamajeanine6282 Місяць тому

    Vizuri sana jamaa anawakela waislamu

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 Місяць тому

      Wala hatukeri anajikera nafsiyake hajui ashike wapi tamaa itamuua maskini hapo kaisha pewa vipesa kidogo maskini hajielewi fala tu kama mafala wengine

  • @FranciscoCarlitosjaimeCarlitos
    @FranciscoCarlitosjaimeCarlitos Місяць тому

    Allah akbar Allah awangoi watu mwadhalimu

  • @Juniorjacob-le1rr
    @Juniorjacob-le1rr Місяць тому

    Shafii ni mkora sana mbona usitokee kwenye muhadhara

  • @jumamnyonge2148
    @jumamnyonge2148 Місяць тому

    Alirudi baada ya kutishiwa maisha na ndacha juu alikuwa alicha chukuwa pesa

  • @ZukhelRwegoshora
    @ZukhelRwegoshora Місяць тому

    Kwan kuhusu pesa amesema yeye au waislam yeye ndo alirudi kwenye uislamu akatoa sababu zilizomfanya kuritad kama mzee yusufu kaaacha mziki tena akarudi kwenye mziki sababu ni hela tuu ndo kama huyu kijana ukwel anaujua yote anayomsomea ndacha ni kupindisha ulimi tu ili apate chochote kituuu

  • @davidedward6053
    @davidedward6053 Місяць тому

    Yani mtu akiamua kufata njia anayoamini mnamtia fitina ya kwamba kafara pesa,mnajichumia midhambi ya unafiki bure

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym Місяць тому

    Uislam sio dini ya Mwenyezi Mungu,ni dini ya kutungwa tu na .makoreshi!

  • @Maarifa_Film
    @Maarifa_Film Місяць тому

    Camera zetu zishamnasa kitambo2 huyu njaa inamsumbua, lmani yake ya kunjunga Hana tofauti na aliyejenga nyumba kwenye tifu tifu la Mchanga😂😂

  • @AnithaMuvurwaneza
    @AnithaMuvurwaneza Місяць тому

    Wewe acha uwongo hajawahi badilisha ukristo ni maisha ni Uzima

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx Місяць тому

      Sasa unabisha nin? Acha mihemko yakidini kwasabab haya mambo yadini hayahitaji ushabiki

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 Місяць тому

    Huyo jamaa ni kweli alikutana Yussuf Wambungu akijidai kurudi katika uislamu

  • @fredosanya9604
    @fredosanya9604 Місяць тому

    Asalaam Aleykum, huyu bwana haeleweki kabisa sijui kweli ni njaa ama kasumba tu.

  • @OmariAbdi-c9k
    @OmariAbdi-c9k Місяць тому

    Huyu jama amechanganyikiwa na ni njaa tu ndo inamsumbua.

  • @AlyAly-dp7iv
    @AlyAly-dp7iv 19 днів тому

    Nkweli huyu jama tumuangalie vzr

  • @Chillaxingpics
    @Chillaxingpics Місяць тому

    Uyu njaaa mashaka matupu...Namjua nshamuona Nakuru

  • @DaudiMwangati-id1tk
    @DaudiMwangati-id1tk Місяць тому +1

    Huyu nimkrito hawezi kurudi upotevuni.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Місяць тому

      Mpiga hela huyo yupo kimaslahi, ili kumbakulisha huko wamempa hadi binti mtoto wa askofu akamuoa. Walipomkoroga ndiyo akawafanyia hivyo. Wakampa mshindo mrefu akarudi tena. Lakini anawatapeli tu mwizi kama wezi wengine, pesa ikiisha mtaona atakachowafanya, anajua kila kitu huyo hata maana hata kidogo.

  • @mbokomboko5974
    @mbokomboko5974 Місяць тому

    Huyu anamchezea MUNGU utazani Babu yake kafri mkubwa huyu❌❌🚮🚮

  • @onasisthegreat1946
    @onasisthegreat1946 Місяць тому

    Wewe Ndacha alikushinda hoja sasa umeanza story za wengine

  • @VincentGasper
    @VincentGasper 3 дні тому

    Bado hamjasemaaaa

  • @MikeKeya-d5c
    @MikeKeya-d5c Місяць тому

    Uisilamu ni dini yakupeleka watu jeanamu Wala sio mbinguni

  • @jumamaulid9462
    @jumamaulid9462 Місяць тому

    Wakristo kuweni makini......
    Akirudi Kongo huyo atasema amezimis laki 5...zenu...
    MAANA ndugu zetu kila siku ndio mnaopigwa hata na Wakongo😂

  • @Juniorjacob-le1rr
    @Juniorjacob-le1rr Місяць тому

    Jamaa ashasema mwenyewe alipewa pesa ustadh wa Kenya

  • @OLUNGAJOSHMAH
    @OLUNGAJOSHMAH Місяць тому

    Utadai ni Njaa Lakini Ukweli huo sheikh umejulikana..Yauma au Dawa hiyo..Kuwa Na Ushahidi kwanza wacha wivu owa hilo

  • @AziziRajabu-mv8jz
    @AziziRajabu-mv8jz Місяць тому

    Huyu ni laia wa congo ananjaa. Kama kiboko ya wachawi 😮😮

  • @justintabu7291
    @justintabu7291 Місяць тому

    Toeni ushahidi wa pesa yenye amelipwa, muache ujinga

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn Місяць тому

    Subhanallah

  • @kennah03m
    @kennah03m Місяць тому +3

    😂😂😂 waisilamuu wanaumiaaa.......

  • @AbdullaHassan-m2r
    @AbdullaHassan-m2r Місяць тому

    Huyu ni mnafik auwawe na akatue shingo asa unafik haitajiki katika dini yetu ya uislamu

    • @prosperjohn2047
      @prosperjohn2047 27 днів тому

      Ndo huyo msenge Modi alivyo wafundisha kuuwa ovyo eti

  • @jacksonmwafongo1917
    @jacksonmwafongo1917 Місяць тому

    Huyu jamaa baada ya kuona cripu yake Jana nilikomenti kuwa ninjas tu ndio inamsumbuwa

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 Місяць тому

    Uoniuongo Paul alikuwa mwislamu, Sasa ni mkiristo 😂😂😂

    • @Alithoya-qr7di
      @Alithoya-qr7di Місяць тому

      Yani kama maskio hayaskii ata macho huoni

  • @zipczionkanada6
    @zipczionkanada6 Місяць тому

    WA Islamu Kwa mini mnaupingamizi sana ? Hamutakaki kuelewa??

  • @jumamnyonge2148
    @jumamnyonge2148 Місяць тому

    Kisha poteya Kwasasa anamtukana Allah na Mtume wake Muhammad juu ya Mwanamke kafiri Allen G white

  • @BennyCrisanto
    @BennyCrisanto Місяць тому

    Pesa pesa jami itatupoza 😢😢😢😢.

  • @mwenda8911
    @mwenda8911 Місяць тому

    Vile amekaa kwa ukiristo sioni akirundi tena

  • @feizalmas
    @feizalmas Місяць тому

    Huyu jamaa ana njaa na ndio sababu ya haya yoote. Tutafuteni pesa ndugu zangu. Umasikini ni nusu ya ukafiri

  • @zaburionlinetv6245
    @zaburionlinetv6245 Місяць тому

    Ndo maana tunasistizwa kutafuta pesa maana njaa ikikuvamia inakupelekea kuchukua hata maamuzi ya kishetani

  • @madetetv6576
    @madetetv6576 Місяць тому

    Hizo pesa alimpa nani? Wacheni uzushi hakuna kulazimishana katikadini

  • @wakeshojana
    @wakeshojana Місяць тому +4

    POLENI SANA WAISLAMU 😪😪😪😪

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 Місяць тому

      Poleni nyinyi wenyekufata sadaka pesa zinawaponza

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 Місяць тому

      Wewe jamaa shoga kweli tukana nafsiyako usitukane dini yamtu falawewe unahangaika namaisha mungu atakupiga na kitu kizito ndio utajua hujui

    • @wakeshojana
      @wakeshojana Місяць тому

      @@saleemadhiyabalkhatri7800
      Sadaka kwa Mungu ni lazima ..
      Poleni nyie mnaofwata shaitwan na wakala wake muhammad!!

    • @wakeshojana
      @wakeshojana Місяць тому +1

      @@saleemadhiyabalkhatri7800
      Barikiwa sana ......Matusi ya watoto wa ibilis allah tumeyazoea.....hayatudhuru kamwe!!
      😂😂😂😂😂😂

    • @wakeshojana
      @wakeshojana Місяць тому

      @@saleemadhiyabalkhatri7800
      Sadaka kwa Mungu ni lazima.....poleni nyie mnaefwata shetani mkidhani ni Mwenyezi Mungu!!

  • @FredrickNyangweso
    @FredrickNyangweso Місяць тому +1

    wewe shafi ni mjinga sana kazi yako ni kutukana wenye wamewacha dini hiyo ya shetani wajinga sana takataka

  • @Glen-v2i
    @Glen-v2i Місяць тому

    Io miaka yote tano mlikua wapi wacheni huyu jamaa

  • @petergitahikimaru7004
    @petergitahikimaru7004 Місяць тому

    Huwo ni uongo wa waislamu Ndacha sio pesa anatafuta waislamu hawapendi ukweli Quran ni kitabu Cha uongo wazi wazi

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Місяць тому

      Wewe ndiye muongo mnafiki hutaki kusoma wala kujuwa chochote unataka uyo mpotevu wako ndacha ndo akuelekeze.naye ni filmason mkubwa atawapotezeni saana

  • @JOHNCENA-lc2ju
    @JOHNCENA-lc2ju Місяць тому

    Kusoma tu hio qur an anatia maji buana acha kuwapanda watu wenye dini vyichavyao

  • @stephen-S7n
    @stephen-S7n Місяць тому

    Without lies islam dies😂😂😂

  • @spartachize122
    @spartachize122 Місяць тому

    Ila wakongo kwa pesa wanaeza fanya chochote😂😂😂😂

  • @rashidibrahim8316
    @rashidibrahim8316 Місяць тому

    Kama nilivyowambia huyu njaa ndiyo inamsumbua

  • @JastusMlewa
    @JastusMlewa Місяць тому

    Wacheni kumuharibia nyinyi makenge na majini wa msikiti

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Місяць тому

      Kama sisi ni majini wamiskiti na nyinyi ni mashetani wakanisani.

  • @Anonymous23216
    @Anonymous23216 Місяць тому +1

    Yaani waislam wote wanaompinga huyu jamaa ni wajinga na mikundu. Waislamu mnapenda sana vitu vya kukaririshwa ila amtaki kujua ukweli. Amna mwislam yeyote mswahili anaeijua quran. Ubishi tu ndo mnaoujua makenge nyie

  • @GeraldMswazi-bp2kw
    @GeraldMswazi-bp2kw Місяць тому

    Mbona MTU akiuacha uislam mnakereka matusi Kwa wingi,kejeli,lakini Imani hailazimishi eye kaujua ukweli mbona mnapo msilimisha mkristo hatumshambulii kwasababu Kuna uhuru wa kuabudi Kwa hio waislam punguzeni jazba.

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Місяць тому

      Sio matusi huyu jamaa ni mnafiki na mtu mnafiki ni mbaya snaa katka huu ulimwengu kuliko mtu yyte haiwezkan mara leo upo kwnye mara kesho upo kwnye ukristo mara umerudi tna kwnye Uislamu huo ndio unafk ambao Uislamu unapinga vikali sna watu wanafk na watu km hawa hata enzi za mitume walikuwepo.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Місяць тому

      Loooh acha unafki weee mwaipopo sheh si mpaka leo mnamshambuliaga nakumtukana vikali mpaka anakosewa kuuwawa ?si nyiye ndo mnafanya hivyo na wengine wengi wameishauwacha uyoo upumbavu wenu ma master wengi na papadiri wengi mpaka wanakuwa wakitembeya kwa kujificha kwakuhofu usalama wao wasiuwawe situnavijuwa.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Місяць тому

      Sikiliza nikwambiye sisi hatutaki nyongeza tumeeneya waislam uyo ata akienda kwa uyo upotevu wake aende sisi hatutaki nyongeza tumeeneya na tubaki wawili tutauendeleza uislam adi kiyama. Sema nenda kamwambiye mbele yakutafsiri q,uran nakuisoma aanze kwanza akajitoharishe yani ashike udhu apo alipo Hana udhu wala nur mpaka Siku atakufa hatakuwaga nayo .mungu hatomuona walakumjongeleya.mpumbavu huyo.anashindwa daraja na mtoto wamwaka umoja.

    • @GeraldMswazi-bp2kw
      @GeraldMswazi-bp2kw Місяць тому

      @@KabatoniBoraa huyo bwana ana Shahada YA sharia kwahivyo usiseme Hana ilmu.

  • @edinahbonareri2251
    @edinahbonareri2251 Місяць тому +2

    waislamu ndio wanaonunua wakristo

  • @moshantoj
    @moshantoj Місяць тому

    Tafuta clip yake akiongea haya maneno waziwazi. Alisema hayo maneno yote aliambiwa aseme na Yahya mtapeli ambaye aliwahi kufungwa getezani kwa ufujaji wa pesa

  • @estakenia
    @estakenia Місяць тому

    😂 wacha uongo wenu, paul bado ni mkristo, juzi umemwona akiwa katika mhadàra huko dar tz.

  • @MubebajiTsataspala
    @MubebajiTsataspala Місяць тому

    Huyo ni manga manga tu hana musimamo njaa ndio tatizo lake

  • @samwellekuraa32
    @samwellekuraa32 Місяць тому

    These clip is shoten, enlarged it please,Luke 17:8

  • @nasibuisa9433
    @nasibuisa9433 Місяць тому

    Uyo Murtadi naitaji kumulipia nauli. Aende ( Somalia ) akaubiri iyo ( injili yako ) nasubiri jibu kutoka kwake. $

    • @jimmymatheka2697
      @jimmymatheka2697 Місяць тому

      Stupidity of high quality. Enda mwenyewe kafiri wewe

  • @MikeKeya-d5c
    @MikeKeya-d5c Місяць тому

    Kama imekuuma zile aya alizo zitaja zifuatilieni na hivyo vifungu vya Bible mjue ukweli wala sio kushabikia dini

  • @princematumbo
    @princematumbo Місяць тому

    Huyu kwanza lafudhi si mkenya. Na insha Allah tutamtembelea.

  • @AntonyManeno
    @AntonyManeno Місяць тому

    Muongo Wewe Shafi Ipo Siku Uta Bofya Mbavu Na Wew Uta Sema Ukweli To. Sisi Hatu Taki Comedy Twataka Muende Kwa Mdahalo Vitabu Viongee Tujue Ukweli Uko Wapi Wala Sio Comedy.,

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Місяць тому

      Hana MDA wakuongeya na nyinyi mapotevu Kila Siku simnafanyaga mdahalo mbona mnashindwaga. Uyo ndacha ma sheh wote siwalisha mfanyisha midahalo anashindwa sema ni makutum haskiyagi ukweli anaujuwa na anauona lakini haitiki kwa akili ya biashara yake yakimaslah

  • @nicholousmtemi3902
    @nicholousmtemi3902 Місяць тому

    Hii inaonekana kabsa alikua unaongea kama alitishiwa na uislam akarudi tenq

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Місяць тому

    Sheikh acha uongo unasema ndacha ana fundisha uongo kwaiyo unataka tusimuamini ndacha tukuamini wewe ukiwa kama nani? hebu achana na ndacha sisi tunaamini hoja anazosema ni za kweli ila nyie mashekh ndio mnafundisha uongo