First time I heard this song I was stuck in early Nairobi traffic and Maina Kageni just had to pull up like twice. I shed a tear or two coz of how sweet it is.. Getting to the office I searched for it and was on constant replay. I love it ❤
Humm ni sauti gani,ni wimbo mtamu namna gani,Rayvanny wewe ni bora,wimbo huu unafanaya moyo wangu utetemeke, lakini ni nani anayemsikiliza Rayvanny mnamo 2023
ray this song is fantastic never tired to listen umeupiga mwingi the more i heard is the more i discover how this beautfull song is........... umeweza na umepata nibamba hatr buh broah stand as you don depend to any one i know your beeeest😗😗😗😗😗😗😗
Daaah huu wimbo ile tu nimeudownload nikautuma kwa mpenzi wangu aliyekua kaninunia mara hiyo iyo nnakuta message Baby nnakupenda..Rayvany nnashukuru umemrudisha mpenzi wangu.❤❤Kazi nzuri sana.
The voice plus meaningful words..in love with rays voice I pray that his baby boy will be blessed with the same and more..keep up rayvanny..nice sana sana sana mungu akubariki..na sauti yako pamoja na akili iweze kuongezeka na kuwa strong daily..let nobody bring you down..
This song makes me remember the love of my life- it was her favorite- so sad we are no longer together, we no longer talk. but wherever you are mummy I know you are happy. Your superman (as you used to call me) wants you to be safe and successful. Usiwe na wasiwasi love.
You make me cry when I listen to this song I remembered my late boyfriend those lyrics your making me to cry what a nice surprise song to me I miss you so much my love Ningelito my God continue to rest your soul in peace my sunshine
Lyrics: Upepo mwanana Nawe upo kifuani mwangu Jua likizama Mikono salama Karibu kwenye moyo wangu Mi Baba uwe mama Ahhhhh Zima taa washa mishumaa Nilishe kama na njaaaa aaaaah ahhhhhhh Kila dakika kila masaa Palilia penzi litasinya aaaaaah ahhhh Sura yako macho yako upole wa mama yako we chaguo langu mamaaa aaah Taswira yangu picha yako Moyo wangu Mali yako we chaguo langu mamaaa aaah Wasiwasi Mwenzako sina maana niko na wewe Wasiwasi Tunza heshima niwe na ww milele Wasiwasi Uko na mm usiwe na Wasiwasi Uniaminiii Usiwe na Wasiwasi Ntakuganda ruba Pua na leso tufatane Mahabuba Tuwe mapacha tufanane Wenye husuda wakiroga tutengane Ongeza rutuba Nije na Pete tuoaneee Supu chukuchuku miguu ya vikukuu Ayy Utaua ehh Utaua ehh Na haya manusunusu Ukinibusubusu Ayy Maua ehh Maua ehh Sura yako macho yako upole wa mama yako we chaguo langu mamaaa aaah Taswira yangu picha yako Moyo wangu Mali yako we chaguo langu mamaaa aaah Wasiwasi Mwenzako sina maana niko na wewe Wasiwasi Tunza heshima niwe na ww milele Wasiwasi Ehhhh Uko na mm usiwe na Wasiwasi Uniaminiii Usiwe na Wasiwasi
Napenda kila wimbo unaouimba, you are the best East Africa na Afrika yote🙏,Sauti yako yatuliza moyo...hisia si ndani tu sana.💓, Kila song unaimba ni hit,uzidi kutunga nasi hatutachoka kuskiza na kulike. Best Bongo artest
Denis Charles Kalwenje sha a y xgz go wg chi ishsdizizuzjs@mjzxsgiuu y sshsMothers' Day may be important as it is a way to be thankful for our mothers. But, Women's Day is about all women! Little girls, adult women and olderwomen. It is a celebration of all our gender Yuri Quinn p.a.soI s By ytsoe
I had this boy I liked in highschool I dint know he liked me back ...until he sung this song for me word for word i dint even know Rayvanny was the artist at the time🤭🤭🤭😌😌although we dint get to be together coz he relocated ..buh that was the purest feeling I ever felt...A genuine love🤭😌😌😌😌😌😔😔😔 memories flood back wen I hear this song
Kaka @Rayvanny ulichokifanya nizaidi ya mdundo nmekukubali kwa moyo wangu wote #irespect you sir #kenyatumetii.. give a like if you agree with me the song is such a romantic melody Jah Bless you Rayvanny shukran.. 🙏🙏
This song reminds me of my roommate back in campus when i was in my third year,she loved playing Rayvanny songs and made me fall in love with this masterpiece,ilysm wherever you are Edna and I will definitely play it in my wedding day😂it is nostalgic and deep❤️❤️still listening to it in 2022
This song made to shade tears...but all in al i love it very much, i know one day i will find a lover whom i can dedicate this song to.....much love Rayvanny good song and loving one,kudos mtu wangu.
kwa kweli huu wimbo naupenda sana,kuna siku nilikuwa nasafiri mara ngoma likalia,ulipokwisha tu kwa kweli nilishindwa jizuia nikauomba tena urudiwe,walikubali.hongera sana mdogo wangu kwa ngoma kali.
He is my best artist..sauti strong sana plus he is so creative...I can stay the whole day listening to this song plus many more of his..the voice runs through minds and every beat of me...may God bless you voice sana Ray..
Ray nakukubali sana yaan hujawahi kukosea kuimba ww yaan ww unajua kuandika na kuimba pia daaaah hakuna kama ww yaan hata mashabiki tunafurahi sana kwa kuleta kitu tofaut
You are a true definition of a talented artist. You can sign you can rap you can play instruments really with you around Sina wasiwasi na bongo flavor.
Nafikiri hii c tofauti na nyimbo zako ....ukumbuke kwamba nakufuata sababu ya mbeleko wimbo ulionifanya nkatunga wimbo mh n mkenya lkn ...wasiwasi n wimbo mzuri hapa dipo Pako nyimbo tu za kuliwaza naipenda hiiii Mie harmz harun ikufikie vany boy
Nyimbo za ray ni nice one nipee like kaa tuko pamoja 2024
Leaving my comment here so whenever you like it i will come back and enjoy the music again much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Comeback here
Nilikua simfatiliagi lakini nimeanza kumfatilia,,hakika vivan boy yupo sawa sana na 🦁
Kama bado una enjoy wasiwasi in 2024 gonga likes tujuane.
❤❤❤
Iko sawa
Kuna ingine sipati
Vivanny boy utaniuwaaa dum lang yani hakakangomaaaa asubuhi mpakaaa sa kumi za alasir naskiliza hakaa tuuu daaaaa utaniuwaaa mtoto wawasafi
Nimepata wimbo wa kucheza kwa harusi yangu, sina wasi wasi tena. Thanks Rayvanny Daddy jay!!!
First time I heard this song I was stuck in early Nairobi traffic and Maina Kageni just had to pull up like twice. I shed a tear or two coz of how sweet it is.. Getting to the office I searched for it and was on constant replay. I love it ❤
I just felt the same aki❤️
Imagine me too🤭🤗😍it was early morning rushing to work, and the song played on classic 👌
"taswira yangu ,picha yako moyo wangu ,ww chaguo langu"
touch down kama iko kipande kimekugus!
Castor Mpunga yeah
Castor Mpunga er
Castor Mpunga duh! raha sana
Castor Mpunga pamojaa
Ngoma Kali kinyama yaani salute to rayvanny not forgetting richvanny Richie continue on working hard...
2024 nimekumbuka hii nyimbo banaaa❤❤❤ congratulations Kwa rayvanny
Huu wimbo sichokagi kuusikiliza hongera sana vanny boy
Humm ni sauti gani,ni wimbo mtamu namna gani,Rayvanny wewe ni bora,wimbo huu unafanaya moyo wangu utetemeke, lakini ni nani anayemsikiliza Rayvanny mnamo 2023
Daah uyu kaka nouma sanaaa...Kama unakubaliana na mm gonga likes Kama zote apoo twende sawa
Kama bado huko hapa 2024.. 🔥🔥🔥🔥 fire vanny in love 💕
♥️🥰🥰
❤❤❤
Sauti alibalikiwa nayo ....keep producing hit after hit
ray this song is fantastic never tired to listen umeupiga mwingi the more i heard is the more i discover how this beautfull song is........... umeweza na umepata nibamba hatr buh broah stand as you don depend to any one i know your beeeest😗😗😗😗😗😗😗
Daaah huu wimbo ile tu nimeudownload nikautuma kwa mpenzi wangu aliyekua kaninunia mara hiyo iyo nnakuta message Baby nnakupenda..Rayvany nnashukuru umemrudisha mpenzi wangu.❤❤Kazi nzuri sana.
davis ndossi naomba unitumia kwenye WhatsApp number hii kaka 0686844433
okay broo
noma sanaaaa
@@alexyohana3473 Sana
I was sent the same song ...what does it mean please
Woow,, wimbo huu sijui ulinipita vipi nmeuskia leo kwa mara ya kwanza thanks to "Shazam",,nmeupenda wallah❤
Uko na golden voice Vanny Boy
Oyo
Wow i love it
The voice plus meaningful words..in love with rays voice I pray that his baby boy will be blessed with the same and more..keep up rayvanny..nice sana sana sana mungu akubariki..na sauti yako pamoja na akili iweze kuongezeka na kuwa strong daily..let nobody bring you down..
aka vanny b all the way from nairobi napenda mziki
From dem wa rayvannny ,am in love with this song,good job Ray
sijui pia mimi niombe likes Huku🤣🤣
nomaaaaa Vanny boy 🔥
subscribe yangu then i do the same
Jo
This song makes me remember the love of my life- it was her favorite- so sad we are no longer together, we no longer talk. but wherever you are mummy I know you are happy. Your superman (as you used to call me) wants you to be safe and successful. Usiwe na wasiwasi love.
Sorry😒😢
Touching,let go and focus on what u have at hand so that u don't regret again
@@chefondigo7898 100% facts. What I have now is not only loving, but fulfilling and extremely peaceful. I wont trade anything for it.
Pole
Sorry,,,but l like your maturity 👌 all the best too💯
me namkubali WCB....ukubwa hadi dogo...na kama we pia, gonna like hapa
captain dayze pamoja sana
Amin yote yanawezekana van boy mara paaaaaa wasi wasi
Wimb mzur san honger san ray tuk pamoj
Mimi napenda nyimbo za Rayvanny sana na kila siku silali bila kuzisikiza ni shabiki yangu ya kwanza uko Tanzania.
Ningependa kupiga naye picha akija Kenya na atakubali jamani!!!!!!.
Tuned in from 254... Napenda when rayvanny does this kind of music... Sio zingine ambazo ameingizwa na diamond
Am in love with the song...wapi likes from kenya
Chui mwenyewe🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@okudez great
@@okudez 🥰
🔥🔥🔥🔥🔥
Hie mghoi ...pauline mghoi
You make me cry when I listen to this song I remembered my late boyfriend those lyrics your making me to cry what a nice surprise song to me I miss you so much my love Ningelito my God continue to rest your soul in peace my sunshine
Sorry for your loss
Rip
Rest in peace 😭😭
😢😢😢😢😢
so sorry
Naenjoy sana kwa huu wimbo
we mziki tamu lakini ninaumia moyoni penzi langu kavunjika cant stop listening to this song
Wangapi walianza na comments ✅
Wimbo nzuri sana,,,if wapenda Rayvanny nipe like twende pamoja kwa hii 2020👌👌
From the very first time I heard this song I fell in love am still madly in love Best from Rayvany
Lyrics:
Upepo mwanana
Nawe upo kifuani mwangu
Jua likizama
Mikono salama
Karibu kwenye moyo wangu
Mi Baba uwe mama
Ahhhhh
Zima taa washa mishumaa
Nilishe kama na njaaaa
aaaaah ahhhhhhh
Kila dakika kila masaa
Palilia penzi litasinya
aaaaaah ahhhh
Sura yako macho yako upole wa mama yako we chaguo langu mamaaa aaah
Taswira yangu picha yako
Moyo wangu Mali yako we chaguo langu
mamaaa aaah
Wasiwasi
Mwenzako sina maana niko na wewe
Wasiwasi
Tunza heshima niwe na ww milele
Wasiwasi
Uko na mm usiwe na
Wasiwasi
Uniaminiii
Usiwe na Wasiwasi
Ntakuganda ruba
Pua na leso tufatane
Mahabuba
Tuwe mapacha tufanane
Wenye husuda wakiroga tutengane
Ongeza rutuba
Nije na Pete tuoaneee
Supu chukuchuku miguu ya vikukuu
Ayy
Utaua ehh
Utaua ehh
Na haya manusunusu
Ukinibusubusu
Ayy
Maua ehh
Maua ehh
Sura yako macho yako upole wa mama yako we chaguo langu mamaaa aaah
Taswira yangu picha yako
Moyo wangu Mali yako we chaguo langu
mamaaa aaah
Wasiwasi
Mwenzako sina maana niko na wewe
Wasiwasi
Tunza heshima niwe na ww milele
Wasiwasi
Ehhhh
Uko na mm usiwe na
Wasiwasi
Uniaminiii
Usiwe na Wasiwasi
Hongera sana rayvanny umeimba vizuri sana
👌
Congrates
Like this song so much tml
Umetishaaaa
Wimbo huu unanikumbusha mpenzi wangu ambae yupo in Africa,Rayvanny nakupenda Kwa nyimbo zamapenzi unazozi imba baseman thank you
Hana baya wallah
Huu nyimbo fire
Wow!!! Sauti ya kutoa nyoka pangoni😍 like tukisonga kama umekubali ray💪💪
Huu wimbo ni wa kimataifa❤❤❤❤, nipe like kama wamkubali Ray
This is beyond phenomenal 👏👏👏... I am absolutely blown away everytime I come back here... Team, ebu tumpatie VannyBoy some love hapa❤️💕
I luv this song actually rayvany umewezwa manze
Naikubali sana, Vivanny boy. Moja konki kinoma noma boss wangu. HAAAAAATARE..
Napenda kila wimbo unaouimba, you are the best East Africa na Afrika yote🙏,Sauti yako yatuliza moyo...hisia si ndani tu sana.💓,
Kila song unaimba ni hit,uzidi kutunga nasi hatutachoka kuskiza na kulike.
Best Bongo artest
Hii imekubalika sana Vanny Boy kwanza Unajua kutuliza roho sana.. Nakuskiza toka Kenya
Kamua watu kazn
Wow, What a talent!! Can't get enough of this song...2023 and still going strong💪💪🇰🇪🇰🇪
Afu sauti yako broooo nomaaaa sanaaaa
Siku moja naomba nikuone uso kwa uso..love you rayvanny ❤️❤️❤️💯🤗
Napenda ravyani anavyoheshimu ndoa yake kwakweli anamzidi hata boss wake mond kama unamkubali tukutane apo basi jamani nic song big up 👌
Alifunga lini ndoa anazini tu
Hyo ndoa lin ilifungwa???
Alifng lin?
kabixaaaa namkubali xn huo ndio mwelekeo
Very true, he also respects his wife so much. Amemwimbia several songs too
Hii nyimbo itakua ndio nyimbo ya maisha yangu , dah
Mido Medi hhjjh
@@denischarleskalwenje856 i love the song too
Denis Charles Kalwenje sha a y xgz go wg chi ishsdizizuzjs@mjzxsgiuu y sshsMothers' Day may be important as it is a way to be thankful for our mothers. But, Women's Day is about all women! Little girls, adult women and olderwomen. It is a celebration of all our gender Yuri Quinn p.a.soI s By ytsoe
Umengonga penyewe kwann usipewe tuzo kk
Rozimery usiwe na wasiwasi
I had this boy I liked in highschool I dint know he liked me back ...until he sung this song for me word for word i dint even know Rayvanny was the artist at the time🤭🤭🤭😌😌although we dint get to be together coz he relocated ..buh that was the purest feeling I ever felt...A genuine love🤭😌😌😌😌😌😔😔😔 memories flood back wen I hear this song
mmmhhh🥲🥲😍
Mnatoboa siri😂😂
Am 13yrs but Mimi ni shabika wa Vanny boy
Rayvanny never dissapoints ....Asante Diamond platinumz🤗
This guy is not only a great singer but also a good poet....Love him so much......Great talent indeed...
Kaka @Rayvanny ulichokifanya nizaidi ya mdundo nmekukubali kwa moyo wangu wote #irespect you sir #kenyatumetii.. give a like if you agree with me the song is such a romantic melody Jah Bless you Rayvanny shukran.. 🙏🙏
nambali sana rayvanny vivanny boy respecte my bro nagupenda
rayvanny umetisha mkali wangu zaidi nakubali mkuu
Vannyboy this my best song👌
My hubby always dedicates this song to me#wasiwasi...wasee wa doha🇶🇦 piteni na like ya wimbo
Wow hiyo sauti 🎉❤
Huu wimbo vannyboy naona mpya Bado japo nipo 2024
Westlife wa Bongo likes 10000000 kwa Vanny Boy
Hi nyimbo naipenda sana wallai
Waaaauh! Inachunaaaa!!!! Vanny thenkz
Kumbe hadi ww mlingi unamkubali
@@loyvany6973 yah off coz
Even if I don't understand the language I really love this song
The most underrated song of all time.. deserved 10M+ views.
True
True
So true
This a song for those who understand good music...this music speaks to the soul...one on the same level with the like of Careless Whispers...💯
Wakwaza toka kenya...... Wale wasafi kutoka kenua gonga lyk
Itz Muzick
Mimi sijatoka Kenua 😅
Huyu ndio rayvan 🎉🎉🎉 2024
Sulayako macho yako upole wa mama yako .........🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
sauti safi yenye mpangilia na mwonekano mpyaa mungu azidi kukupa maisha marefu
Vanny boy umeimba kwa hisia kam zote yaniii respect bruh
Naipenda sana hii nyimbo
Watufurahisha sana vin boy
Respect brother and also my best singer love you mwaaaaah,,,,,
Imetisha kabisa
uko sawa...luv uar songs sanaa
I must always have a reason to support this guy,he never let me down....
Ninaipenda sana iyo nyimbo umeuwa Rayvanny, Sina wasiwasi kabisa, nikiisikiliza hii nyimbo uwa ninatabasamu tu💯💯💯
Kali baba. Nimekubali.Maneno mazito sana yanayotia moyo - yanayoongeza ladha katika penzi
Oooh what a very good morning with @rayvanny. Much love ❤ from 🇰🇪.
This song reminds me of my roommate back in campus when i was in my third year,she loved playing Rayvanny songs and made me fall in love with this masterpiece,ilysm wherever you are Edna and I will definitely play it in my wedding day😂it is nostalgic and deep❤️❤️still listening to it in 2022
This song made to shade tears...but all in al i love it very much, i know one day i will find a lover whom i can dedicate this song to.....much love Rayvanny good song and loving one,kudos mtu wangu.
Rayvanny congrats hii nyimbo imetulia Sana yaleta tembe tembe za mahaba yalojificha mbali
kwa kweli huu wimbo naupenda sana,kuna siku nilikuwa nasafiri mara ngoma likalia,ulipokwisha tu kwa kweli nilishindwa jizuia nikauomba tena urudiwe,walikubali.hongera sana mdogo wangu kwa ngoma kali.
daah umenigusa ndugu yangu....Mziki mzuri Sanaa💥💥🔥Njoo Nikubebe ila we mwenyewe umejibeba😂😂😂
🔥🔥🔥
It's true amaweza ni mkali wao
Kali sana
ua-cam.com/video/rCNFTb67dco/v-deo.html
UPCOMING Tv subscribe to my channel too
J'aime tout ce que tu fais... Y a pas à dire, voix incomparable, la fierté de la Tanzanie et surtout de l'Afrique
He is my best artist..sauti strong sana plus he is so creative...I can stay the whole day listening to this song plus many more of his..the voice runs through minds and every beat of me...may God bless you voice sana Ray..
Wambui Ichukia,mimi pia nampenda sana
I luv this song😍
perfect swahili language indeed makes it juicer
Also me i can
Rayvanny ako mbele when it comes kwa kutunza nyimbo ....... especially za love... love......
Alright. Nmepata wedding song. Husband tu ndo amekosa sijui kaeda wapi. Wherever you are baby please come now🤩🤩
Ray nakukubali sana yaan hujawahi kukosea kuimba ww yaan ww unajua kuandika na kuimba pia daaaah hakuna kama ww yaan hata mashabiki tunafurahi sana kwa kuleta kitu tofaut
2020 who's watching with me.....kitulizo cha mapenzi huu wimbo naupenda tu
Rayvanny is a legend! Great singer!
Huo wimbo wapendeza kweli, mtamu na wenye hisia, hongera Rayvanny!
Waaau!! Nyimbo yenye hisia..nmemiss mpenzi wangu bana..unapendeza
yani umetisha sana Ray wow i am so full by this song du!! nyimbo hii imenigusa sana , i just love it. kila siku unatuletiya vitamu tu daah!!
et ee
Irakoze Cynthia nambali sana mkali huu rayvanny vivanny boy respecte baba
You are a true definition of a talented artist. You can sign you can rap you can play instruments really with you around Sina wasiwasi na bongo flavor.
Vannyboy, kijana mbaya sana. Mob LOVE from Kenya.
Hi mambo vip! Rayvanny ni mwimbaji mzuri tuna mpendagasana (Uganda)
Am in love with this song.......
Uko na mm usiwe na wasiwasi uniaminiiiiiii usiwe na wasiwasi
2024❤❤ moving to 2025 still having wasiwasi over our love for each other😢😢
Walioludia kuiangalia nyimbo hii zaidi mara mbili tufamiane
His songs inspire me so much emotional and soothing is as result of his creativeness I. Love this Superstar of Tanzania
One of the best songs I will live to listen to... Keep the spirit Ray
I am your Number 1 fan, from South Sudan
Sauti nayo bana safi kabisa Rymo nakukumbali sana bro. Uko Sawa.
rajab mugo
a very nice song
I have been missing out on this song..... It's now my favorite.... Rayvanny kudos nikiolewa ningeupenda uchezwe....
Huu wimbo moto mwanangu......kaza buti...tuuu...hii zaidi ya zote kk
Usiwe na wasiwasi 🥰🥰🥰2020🇨🇩like kama weye shabiki wa Rayvan
fahvany naonaa naona anazidi kuimbiwaa shemeji yetu....kqma unamkubali rayvany gonga like👏👏
God I love this song nimesikisa more than ten times kazi nzuri sana
Ebu nipate wa kunipenda tafadhali
Huu wimbo ni mtamu kweli Sina wasiwasi wowote nikiuskiza
Chaguo langu usiwe na wasiwasi niamini😊😍😍 Its 2019 na bado niko hapa 👌🏽🔥❤️
Walai
P
I like
gd
Nafikiri hii c tofauti na nyimbo zako ....ukumbuke kwamba nakufuata sababu ya mbeleko wimbo ulionifanya nkatunga wimbo mh n mkenya lkn ...wasiwasi n wimbo mzuri hapa dipo Pako nyimbo tu za kuliwaza naipenda hiiii Mie harmz harun ikufikie vany boy
Daah
Huu wimbo unaniliza
Omg Ray, ur voice is really something else😱.
Like back kuwa wakwaza ravnnyn nexti levo misic na ravnnyn Chuiii 🐅🎶🎶🎵🎵ngoma kall zana like back ❤❤❤🎷🎷🎷🎷
Huu wimbo unakuwanga umeroga,, anytime I get into UA-cam my 1st search 💫💫🎧😋