Zuchu nakuona mbali sana mrembo! Hakika mvumilivu ula mbivu miaka minne imekuzalia kitu zaid ya waliokuwa released miaka saba!! Mungu akucmamie ili usilewe sifa@zuchu@kenny@diamond@wcb#Nisamehe
ZUCHU NAKUITA MARA TATU...Hii ngoma aisee inanikumbusha sana mbali daaah 😢😭😢😭 Nai Feel na nashindwa vumilia 😭😭😭😭😭😭 ...Daaaaah !!! Huyu demu nyimbo hii ya hisia sana yani unaweza jikuta unalia tu mwenyewe.. katika usajili huu mkubwa sana WCB mmefanya🔥🔥🔥 #NISAMEHE
Akina Godfather,MoeMussa na director Q.kwa sasa Mutatusamehe kidogo.WaTz tumeamua Kubaki Na Akina director Kenny,Hanscana Na khalfan Couse Tumechoka Kutupa Nauli Trip south Trip Nigeria inaboa...Nice videos Zuchu Akeee🇹🇿
Director Kenny,!! Director Kenny!!!. Director Kenny,, director Kenny,, director Kenny, director Kenny,, director,, Kenny, how many times have I called you meeen...... Umetishaaa sanah kwa hilii dude aiseeeee, big up yourself man.....
Actually zuchu was the one who treated the guy wrongly so the guy decided to move on to someone better and now she is regretting but it is too late@emmanuelmasoko1013
One of my favorite song.... Hii wimbo uliuwaa sana mdogo wangu, Bonge moja la hit song... na ndo lividio nililo kuwa nalisubiri kwa hamu sana.... #WCB4Life
Walahiii hii nyimbo kama umeniimbiya mm mana mdamwengine najiona hasa na fanya jeurii zangu za kipemba hem mm nijirekebishe nsije achwa mm Asante kwa ujumbe zuchu nimeipenda buree❤️
I love this girl and her singing. You are gifted Zuchu. Please stay focused and make the right decisions regarding your life and your career. Do not let someone's fame over rule your logic and sense. Your star is currently shining bright and there people who will want to dim it by all means. Some will come in the name of love ,some will come in the name of marriage. You are not the last one they will settle with they will be other Zuchus in future ,what happens when they drop you for them? Please be wise and above all Mungu akutangulie. Mob love from Kenya.
Mbona watu wote mnaomba like zinanini ndani yake kilamtu like like jmni mnashidwa ku commt....ngoma kali video kali maneno kayapatia vizuri mnaweka kelele za like like ebu tuwe na utulivu basi🙌🙌🙌aya ssa nipeni like zangu nione nitapata shingi ngapi😂😂😂😂😂zuchu mom umeweza nilipo ongea na burna boy sijuwi itakuaje na msani wake😂😂
Zuchu....hats off ...I can't get enough of you...the voice,the dances,U r talented .....go go go girl......mob love from 254...county 027...Ur biggest fan...
This lady is really...she is for sure...she is here to do business....she shows that she really wanted the chance and she is using it effectively...nice song nice video
Daimond naomba nikutukane "domo lako"..! bro mungu akupe maisha marefu na afya njema umefanya kaz kubwa kuwainua vijana wenzako sasa tumeyaona matunda. #zuchu #nisamehe 💥
Acha chokochoko shabikia mziki mzuri...wote wasanii wakali na wanafanya poa Sanaa kwani si watanzania Husda za Nini kwa Watanzaniaa wenzetu wanatumia muda wao kutupa fleva ...
Dah asee nyimbo inachoma hii. Kuna mstari unasema AAH KUMBE WW, UNAFANYA BIASHARA GANI?? daah 😁😁 sie wanaume sie, halaf ukimwangalia zuchu ndo anaumia kweli kwel yan. Wasiokuwa kwny mahusiano kaaeni chonjo maan hutokuwa na feeling kali kam sisi wenzio. Gonga like apah. 💪👍
I didnt understand why this song was not the first one to be released from her EP.This song makes people cry...You are a true talent Zuchu,muito Talentosa esta menina...Parabéns e mais forcas rapariga...From Mozambique
This gal 😍 is talented omg, tena ako kwa mikono salama ya WCB. And the most innovative director Ken .. chill and feel the vibe. Zuchu to the world. WCB for life. 254 aah ai wewe
It's a love song,,and she is asking for forgiveness from her ex love on the man's wedding day because she realizes that she was wrong to the man...that's the brief
jumbo sana dadanguzucho nami enaku Panda sana that I am going to do near panda music in a way nothing no I've been to Santa that a song hulalima Holly salama nakupenda sana na Mimi Gina longo nizucho Asante sana I'm sorry Mama dangote sana thank you so much 💜💖
Mm Nakubalii Lyrics ....
Nisamehee😢😢
Nouma sana Bongee LA song
WCB for Life
Mtotoo zuchuu Nouma sana
Kim's B Papa###
Zuchu nakuona mbali sana mrembo! Hakika mvumilivu ula mbivu miaka minne imekuzalia kitu zaid ya waliokuwa released miaka saba!! Mungu akucmamie ili usilewe sifa@zuchu@kenny@diamond@wcb#Nisamehe
Wasema keeping zuchu ameweza.🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😮😮❤❤❤
ZUCHU NAKUITA MARA TATU...Hii ngoma aisee inanikumbusha sana mbali daaah 😢😭😢😭 Nai Feel na nashindwa vumilia 😭😭😭😭😭😭 ...Daaaaah !!! Huyu demu nyimbo hii ya hisia sana yani unaweza jikuta unalia tu mwenyewe.. katika usajili huu mkubwa sana WCB mmefanya🔥🔥🔥 #NISAMEHE
😭😭😭ni kweli yaan acha tu
Amin kwamba hii wimbo ni mkasa wangu wa kwalii zuchu kanitonesha kidonda 😭😭😭
*DON OMAR* 🔥😂😂😂
Ni kweli kabisa
Da jaman mwenye namba ya Hadija kopa naomba anitumie jaman ili niongee nae nikatoe mahar at gar ntauza huyu mtoto noma
Nahii wimbo nikali bado nani yuko hapa 2024❤🎉❤🎉
Mimi hapa
❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤🎉
Me too 🎉🎉🎉
Mimi😂
Leo nimejikuta nampenda zuchu ww fundi mungu akuzidishie in Sha Allah ngoma Kali saaaaaana
Ishalla
Akina Godfather,MoeMussa na director Q.kwa sasa Mutatusamehe kidogo.WaTz tumeamua Kubaki Na Akina director Kenny,Hanscana Na khalfan Couse Tumechoka Kutupa Nauli Trip south Trip Nigeria inaboa...Nice videos Zuchu Akeee🇹🇿
Ooooh yeeeaaah✊🏻
Nice comment bro
Bado tutawatumia tu kina moe musa
Moe musa na q wanafanya uingereza ingawa ni wanigeria
Kweli sasa hivi tunafetua madude makali sana
Director Kenny,!! Director Kenny!!!. Director Kenny,, director Kenny,, director Kenny, director Kenny,, director,, Kenny, how many times have I called you meeen...... Umetishaaa sanah kwa hilii dude aiseeeee, big up yourself man.....
Kenny..love from Kenya.keep doing what you do
he is dope ,but piano?not wbc levels
Kenny n level za kimataifa
Mwamba Director kenny upepo wake ulipotea pale kuondoka WBC
ilikuwa ni Director na nusu.
Ushairi umeenda shule... Gonga kidude Cha like iwapo wapenda uandishi mzuri ulio katika wimbo huu...
Sijawahi comment kwa ngoma yoyote ile,, ila hii nyimbo nimeielewa, huyu mdada ni tishio aisee, kweli unaweza aisee,, aliyekupika amekupika umepikika
WCB4LIFE ndio chuo
Yani huu ndio wimbo wakwanza kuusikiliza huku mwili unasisimka
Mpuwanya Hamza 👏👏
naam mtt ni mzima kabisa 🙏🏾
Aya karibu wazee wa kucoment na kulike tupo
Embu kwanza naomba like nyingi sana maana hii ngoma inanihusu kabisa yani
Eti kwani hizi like huwa mnazipeleka wapi??
Nazipeleka ikulu raisi magufuli anashida nazo
Zuchu mama we mkali, u're the queen of bongo flavour, endelea kukaza mama unaweza, I love u
I'm an Indian..I heard this song from my coworker. I couldn't understand any single word but I liked this song...music has no language ❤❤
that's is Swahili language, she is singing about her boyfriend whom he betrayed her and and go to marry another girl.
Actually zuchu was the one who treated the guy wrongly so the guy decided to move on to someone better and now she is regretting but it is too late@emmanuelmasoko1013
😂😂😂😂😂 kinuthia
@@RomanKhan-zo3tq😂😂😂wakenya na uongo 😂😂
@@lazybillionaire254am from Romania 🇷🇴 can't understand the language am dancing to the rhythm
Kenya twakupenda Zuchu..mmmhwaah💕 nipate likes za bongo
Msaa Bora yuko kwnye Lebal Africa mashariki "WCB4life"!!
Ni kweli mapenzi hayataki mzaha na kiburi kujiona hakuna kama wewe. Mwenzako akichoka kukuvumilia kwa tabia zako utakuja juta baadae. Love you @Zuchu
Mangale Njole kbs
Napenda huuwimbo hongera, mashabiki mupowapi tu bonyeze huu wimbo2021Congo DRC... Kamana wewe vile waipenda like like.....
One of my favorite song.... Hii wimbo uliuwaa sana mdogo wangu, Bonge moja la hit song... na ndo lividio nililo kuwa nalisubiri kwa hamu sana.... #WCB4Life
This is why director Kenny awarded the best director in Africa
Absolutely👌🔥
🔥🔥🔥
I agree
Besides that I haven't seen a young singer who plays her emotions like Zuchu in Tanzanian music videos. She is it. Na bado. Damn!
ua-cam.com/video/rVMwAu04mXY/v-deo.html
Shukrani Sana zuchu.Udumu milele.Nandy haoni ndani kwako
Allah mlind
Huyu ndiye msanii nimpendae kwa sasa kwa upande wa wanawake
Me namkubali sanaa Zuchu... kama wewe pia unamkubali gonga like
Director unyama sana huuu. Zuchu wangu mi nakupenda
Walahiii hii nyimbo kama umeniimbiya mm mana mdamwengine najiona hasa na fanya jeurii zangu za kipemba hem mm nijirekebishe nsije achwa mm Asante kwa ujumbe zuchu nimeipenda buree❤️
😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
😭😭😭😭
Waao alaakulind
Tuendelee kussaport mziki wa zuchu jmn hii ngoma Hadi ifikishe vws ml 20 kwa umoja tunaweza 💪💪💪
*Kazuri saana haka kanyimbo japo Mimi sio muumini mzuri wa nyimbo za mademu*
*🔥🔥🔥🔥🔥 ila nisikose like za huyu manzi zuchu*
Zuchu amezua nyimbo ya kumtoa chozi mwanaume. wapi likes zake.
Namkubali zuchu 💯 lionness
Yeah😔😭😍
Tuzidii kuangaliya
Nimemkubare huyu mwanamkee
Kenny the director jameni wafaa kuwa mfalme wa directing💥
Zuchu come back to this songs.naeza rudia wimbo mara tatu ama zaidi hii talents nzuri Kisha waimba na passion ❤
Bonge la wimbo Dah mpaka nimelia Jamani usiombe yakukute
Endeleya kutazama
Mmmmmh kenny ni one in a million anajua bhn ebu shusheni likes kama mnamkubali kenny
Director have done amazing job wat surprises more is to see that he is our fellow Tanzanian 👌🏾
Zuchu east African Queen! Wenye Valentine imetupata hapa pita na like 🇰🇪
😭😭
Tupo
Woooh 3 on trending wapi team zuchu hongera Dear
Yap endeleya kutazama
She's bright, smart and talented zuchu
Kenny ...Kenny...
Hii muvi Kali aisee🔥🔥
Tunaomkubali kenny 🙋🏻♂️
Mabo
Mabo
The girl's voice absolutely Amazing!!!
I didn't understand a single word but i admired her voice. From Somalia🇸🇴🇸🇴
Nisamehe means forgive me
Aiseeee nyie wasaf nikiboko duuuh hii ngoma 💥💥
Hivi ni kweli hii ngoma ni true story kwa baadhi ya watu?kama unaisapot Zuchu hajakosea mpush kwa kuona unagonga like hapa.
Anajua uyo mtoto ila subili apige korabo na mondi watamjua tu
@@emmanuelmaiko7425 hahahahaaa hapa ni utamu tu uchungu lebaa
Asha Hamisi kwel kabxa yani😁😁😁😁
Kusuport runataka sana sema mmezidi uteam hii ndo shida sasa.
.
It my true story
She is now the reason I see queen Darlene in a wrong place 🤣🤣🤣 yani nasema hafai kua wcb ❤❤zuchuu u so blessed and talented
amar shaban Zuchu nisha kusamehe mimi ndo baba huruma
Queen dalin hana kipaji 😂 anabebwa tuu
@@saadakiyungi6437 😂😂😂kweli kabsa kwa kipaji hana kabisa
@@saadakiyungi6437 😂😂😂kweli kabsa kwa kipaji hana kabisa
QUERN DARLIN ni DADA AKE MOND....i mean wanaundugu wale
I love this girl and her singing. You are gifted Zuchu. Please stay focused and make the right decisions regarding your life and your career. Do not let someone's fame over rule your logic and sense. Your star is currently shining bright and there people who will want to dim it by all means. Some will come in the name of love ,some will come in the name of marriage. You are not the last one they will settle with they will be other Zuchus in future ,what happens when they drop you for them? Please be wise and above all Mungu akutangulie. Mob love from Kenya.
Thanks
Mbona mtoto sauti tuu!!
Jamaniiii.
Nikisema nipite bila ku comment ntakua mnafki ZUCHU we sio wakuchezeachezea ila directorkenny ni Noma na nusu
Balaa LA zuchu pekee linaizid konde gang na viongoz wao.....zuchu ni motooo, gonga like kwa zuchu akee
😂😂😂 lol
Yaani huwezi kusabikia zuchu kama hujataja kondegang
Sasa huu ni ugomvi
Hahahahahahha
haya matumizi mabaya ya pesa na akili hii ni asara
nisamehe 🎉❤huna baya dada zuchu kwako ata bila ya mondi inawezekana
Mbona watu wote mnaomba like zinanini ndani yake kilamtu like like jmni mnashidwa ku commt....ngoma kali video kali maneno kayapatia vizuri mnaweka kelele za like like ebu tuwe na utulivu basi🙌🙌🙌aya ssa nipeni like zangu nione nitapata shingi ngapi😂😂😂😂😂zuchu mom umeweza nilipo ongea na burna boy sijuwi itakuaje na msani wake😂😂
Na we umeongea point ili upate like 😅😅😅😅😅😅 like for life
Zuchu mam unaniuwa mm iyo ndio tabia yangu ngoja nibadilik ncje nikalia mm kama zuchu
Ahaha nawewe unataka like
Duuuuh m mwenyew nashangaaa hawa vipi like like☺️☺️☺️☺️ sijui zinafaida gani acheni bana ngonga like kama unaungana na mm kuwadis wapenda like
Bc xnx🎉😢😮😅😊😊
Nimefurahi sana nyimbo yetu pendwa leo imeingia trending no.2
Kwa sasa ni no.1 ebu angalia tena😁😁😁
mitumbagradeone kutokakorea ilishaingia hadi 1
Ikae hapo hata miaka buku tukivizia namba moja
Pia ona maajabu ya video hii hapa: ua-cam.com/video/vBjBqs-CYD0/v-deo.html
Duuh huyu Kenny huyu daaah sio poa
Like za director Kenny hapa👇
Big up
🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
💣💣💣
Amekuja kuwa balaa sio poa no more south kwa godfather sijui naija kwa mo huko ni kenny tu kila kitu
rob kabisa bro
This song just touches my heart. I wish the Ladies of this generation can lie low and say sorry. Well done zuchu
I wish too my brother.
Sorry
Zuchu ww ni manzi mnoma sana
Best vocalist in Africa right now
This girl 🙆🙆🙆🙆ameweza... Mob love sweerriie!!!! 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪keep up
Shout out to Zuchu. WCB queen making it happen again.. Big up to dir Kenny#BOSS Simba wajua kuchagua talanta Simba kma simba. #WCB4lyf
Zuchu....hats off ...I can't get enough of you...the voice,the dances,U r talented .....go go go girl......mob love from 254...county 027...Ur biggest fan...
First koment to new Queen bongo land naomba like 10 tu kama umemuelewa bi zuchu
Msinicheke katika videoa
Za sister Zuchu niliopenda ni hii jamani? Na kweli ni wajehuri sana no msamaha hii song imeniingia mno😊
Umeona we,, akizingua oa mwingne t
Real
@Tiki Taka tiki taka mateke ama
@Tiki Taka Sina helaa ya kusakribe ya futar inashida
@Tiki Taka wapi chato
Wow kama unakubali haya maisha tunayo gonga like kama zote zuchu live you
Nassir Mohd
Jamani me nampenda Zuchu saana,,,namukubali kwa kila kitu,,,uzuri wako unanistaimili😍😍😍😍kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Zuchu menifanya nilie tu, I still watching u tonight
Mwanzo nilikua sijaelewa...
Kumbe Zuchu alifunaniwa..muhuni Pollo akakamata mtoto mwingine na ndoa Full
Hahahahaaaaaaaaaaaa ujumbe tosha aseeeeh
Maua Makota mtoto anichanganya sana ai wewe, Mubaya sana Zuchu
😂😂😂 yan kma movie
hahahaaaaaaaaaa
Zuchu making Queen Darling look like she has been joking in all those years. .Just came the other day and she has caught up with her so fast
UNACHOMAA NDUGU YANGU
@@tetyootornado1598 ni ukweli 😂
Halina akili lile.
hahaha
Nehemiah Rotich Darleen hana kipaji acha Zuchu amuonyeshe maana huu Zuchu amekuja nanjaa nyingi ya ustar Pia anakipaki cha hali ya juu sana!
Your are shining mamaa 🎉alafu Ile Ngoma ya Raha mkiwa na diamond simba wa Africa ulienda wapy
This lady is really...she is for sure...she is here to do business....she shows that she really wanted the chance and she is using it effectively...nice song nice video
Singed by professional prudeced bya provisional direct by professional winer director managed by profisional Simba so always it remain to be winner
Sure
She is so talented I love her music 🔥🔥🔥
Daimond naomba nikutukane "domo lako"..! bro mungu akupe maisha marefu na afya njema umefanya kaz kubwa kuwainua vijana wenzako sasa tumeyaona matunda. #zuchu #nisamehe 💥
hahahaha
One love brother ♥️♥️♥️♥️💙💙💙💙
@@richarddominick3172 poa poa bro
Hahahaha hatari na nudu
haha
karibu machozi yanidondoke pale mwishoni...Nisamehe ni touching sana😥
Hashuwo ti
😂😂😂😂😂😂
😓😓
Nilimpenda Zuchu siku ya kwanza kumskiza.. I just fall in love with her voice...
Kutoka Kenya 🇰🇪 Leo Nimefika mapema. Wapi likes zangu jameni
Mashaaah Allah
Safi
Tuko wengi kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bango kubwa mji umetulia.... Na Kunafanya issue gani
FRONTIER TV nice
Nasemajeww harmonize +ibrah =zuchu ,,noooma saana🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Acha chokochoko shabikia mziki mzuri...wote wasanii wakali na wanafanya poa Sanaa kwani si watanzania Husda za Nini kwa Watanzaniaa wenzetu wanatumia muda wao kutupa fleva ...
Hamna kitu hapo
@@keptenpojos821 kweli kabisa ndugu huu uteam unaua sana mziki wetu
Director Kenny anajua sana gonga like Kama unamkubar👍
He's ma no. One director
Atari tupuuuu
Hamna kitu w mzgo one night stand
Mzeeh ataanza ooh nimeongea na burna boy 😂😂😂
Umeona ee
Moja kati ya nyimbo nzuri za Bongo za muda wote.
Kanyaga twende wewe Tumechelewa Sana !!
Am back jameni can't get enough of this..Zuchu uta tuuwa swity,ur songs are just soo addictive 😘
Wallah mdada anaimba uyu kama umeikubali hii ngoma Nipeni likes jmn...soooo hit🙌🙌
Nic
Huu wimbo haujaisha Zuchu, fanya uumalizie.
tumnakubali diamond ntu wa moyo ,mungu ampeleke mbele simba wa africa awe wa dunia.
We love you so much zuchu, love from kenya 🇰🇪 🇰🇪
My favorite song 💕Sjawahi kulizwa na wimbo ila huu umenitoa machoz jaman 💕💕 keep up my zuchu
Duuuuhh wimbo mzuri una bonge la mesej
Sauti yako tu mama aseee... Nisamehe pia ila dah nakuelewa kinoma la mama... Chugan
JAMAN HUU WIMBOO WA DADA UMETUFANYA TUSIWE MAJEURII......bonyeza like kama Umeeuelewa..
Yani Ibrah + harmonize =zuchu dada unajua sana
Ushafeli mtihani braza. Hapo jibu ni Harmorapa. 😀😀😀
Mbwa wewe....familia yako yote iwezi fikia hata ibraaah....
Iddy Kamti hawezi fika Ibrah... Ibrah motoo kaka
@@RuzoOwzy 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@emoriquesdopeboy2588 kaupikie
Who else is in quarantine and keeps listening to all her songs now shes my favourite everyone including me...
I love Zuchu😊❤..she is so talented and pretty as well
Daaa ngoma inatia hamu kurudia tuu, she's on 💥💥💥💥💥💥💥💥💥zuchuuu weeee tuue sie jamaniii,mtt unaimba mpaka mtu unafeel💣
Her voice jmn🔥🔥🔥🙌😭😭😭😘
Hatareee
Nzuri ukiwa jikoni unapika 😂😂😂
@@lilym704 tamuuu
@@iammusic3404 😍💥💥
Dah asee nyimbo inachoma hii.
Kuna mstari unasema AAH KUMBE WW, UNAFANYA BIASHARA GANI?? daah 😁😁 sie wanaume sie, halaf ukimwangalia zuchu ndo anaumia kweli kwel yan.
Wasiokuwa kwny mahusiano kaaeni chonjo maan hutokuwa na feeling kali kam sisi wenzio.
Gonga like apah. 💪👍
ngoma kali video kali👏
Mmh!! Kukaa chonjoo ni mtihani hataree bhasi tu sijui yalishaumbiwa nn haya mapenz maan mmh!!!
Nyimbo yako mwenyewe, akaunti yako mwenywe... Number 1 on trending, unapendwa sana Zuchu!...
Na leo amepindua ...kijiji Cha bossi wake
The pain of seeing your ex moving on 🥺 when you still love him /her😭I feel this song💔
Uzuri aliachwa tena😂
Kama umeona nyimbo imeingia three on trending like zenu hapa
Mnmnh ya kwel hayo??
@@amanibadru5842 kabsa yan
Duuuu mmejua kutula bando zetu unatizama kila mara huchoki haswa lisauti mimi sielewi goma kali sana
Lakini haitopita ya konde kaa ukijaua mpaka zipite siku tatu
Mtoto wanyoka
Jaman tunaurudia huu wimbo Mara nyingi tujuane kwa like zuchu fundi et
Tuzidii kuangaliya
Iluminatha William mungu akutie wepesi
@@edsonhilary7492 ehk
Hii song ina cover yake?
Mimi sikomi,nimekuja huku kwenye coments
Daaaaa!!! Huyu demu nyimbo zake za hisia sana yani unaweza jikuta unalia t mwnyw, katika usajili huu mkubwa sana WCB mmefanya🔥
Yaani ukukute unamawazo ya magomvi ndoo unakufa kabis utalia mpaka ujikute hauna qakukubembeleza
😂😂😂
She poured her soul in this🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤ and its really rare for a woman to say sorry...
Ibrah umeuliwa na dada etu huku🤣🏃♂️🏃♂️✌
UNATAFUTA KESI
Ngoja tusubiri.....
Acha kufananisha Ibraah na vitu vya kijinga
🤣🤣🤣🤣(+_+)🔥🔥
@@leonardmillanzi4480 we unaumwa Sasa uyo nae ibraah ni nan,
Trending # 1
Kama ume pitiya kwenye mapenzi
Una elewa maumivuu ya mapenzi
Gonga like apa 😭😭😭tujuwane
😭😭😭
Yesss good
Daaah 😭 😭 😭 😭
@@taufiqkimpa1652 😭😭😭
@@chugagirl4094 You
😭😭
Jaman sijawahi pata like wakati mi member wa WCB
Iko poa sana
Lazaro Enorck hapa ni Konde gang
@@emoriquesdopeboy2588 wew ndo umepotea njia
Niambie
Iko poa sana
I thought I was the only one...... Haya yote ni machungu kweli......angekusamehe
Thanks for the like.............appreciated
Wa Kenya wa ngapi wanapenda zuchu like zikam through
Tuko rada sana
Chonjo kama kawa
Some correction my neighbor: it's
"Wangapi wanampenda zuchu"👌🙏😘
nice song
THE LAST AIRBENDER some correction it’s neighbour not neighbor
I didnt understand why this song was not the first one to be released from her EP.This song makes people cry...You are a true talent Zuchu,muito Talentosa esta menina...Parabéns e mais forcas rapariga...From Mozambique
Da and on ma side I trying tu ask dat questions 😭😭😭
I know right...I heard it during the launch and I knew this was money...but then again save the best for last huh
Parabens
ua-cam.com/video/TBvm5fi26lM/v-deo.html support
Obrigado amigo!!
This gal 😍 is talented omg, tena ako kwa mikono salama ya WCB. And the most innovative director Ken .. chill and feel the vibe. Zuchu to the world. WCB for life. 254 aah ai wewe
😂😂 ‘Abadan’ actually it means ‘hata kidogo’
This song deserves a billion views ❤❤😢😢@zuchu🎉🎉🎉great piece
I love the song 😍😍🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 anyone from congo?
Congo mobimba
@@godfreysanga6091 mistik yy
Like mother like daughter...that voice is gold🇰🇪🇹🇿
who's her mother?
@@Joshua8224 her mother is khadija kopa, the greatest singer ever
@@Joshua8224 hadija kopa the queen of taarab
Even though I can't understand the language but I love this song that's the power of AFRICAN culture and language 🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬
Pl keep watching
Bless up
@@kbdesgners
صق
It's a love song,,and she is asking for forgiveness from her ex love on the man's wedding day because she realizes that she was wrong to the man...that's the brief
jumbo sana dadanguzucho nami enaku Panda sana that I am going to do near panda music in a way nothing no I've been to Santa that a song hulalima Holly salama nakupenda sana na Mimi Gina longo nizucho Asante sana I'm sorry Mama dangote sana thank you so much 💜💖
🎉🎉🎉❤❤❤ nakupenda sana