Mbosso - Picha Yake (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • "Picha Yake" which means "Her Picture" is a heartbroken love song by Mbosso
    You can stream, save, or download the song on all digital platforms Worldwide
    For Bookings:managembosso@gmail.com
    Copyright ©2018 WCB WASAFI .All rights reserved.

КОМЕНТАРІ • 3,9 тис.

  • @asekahgaudenciahaywa
    @asekahgaudenciahaywa 7 місяців тому +37

    Kwa huu wimbo Mbosso alifungua roho yake yote.
    Nani bado anasikiza hii track 2024

  • @salimomari150
    @salimomari150 Рік тому +80

    This song will live forever,no matter how many years 🎉2024 but sounds so sweet like yesterday...

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean Рік тому +6

    mbosso msanii bora wa muziki kwenye sayari nzima, nakupenda sana since the 2024🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @danterey
    @danterey 6 років тому +85

    Bongo Fleva safi ni ya Wasafi,Sisi kama Wakenya 🇰🇪 tutazidi kuwapa sifa kisa mnatuakilisha East Africa.#mziki mzuri.

    • @sadickramadhan1944
      @sadickramadhan1944 6 років тому

      .🔥 🔥

    • @aifamlmbizcoach8405
      @aifamlmbizcoach8405 6 років тому

      Raventon Reyes Pata Uhuru wa kifedha kwa Siku mpaka tsh 300,000+. WhatsApp me 0674116695, mkazi wa DAR ES SALAAM kwa maelezo na maelekezo zaidi.

    • @mussamwasacom7310
      @mussamwasacom7310 5 років тому +2

      tuwe na umoja east afrika

  • @sharicksaidkamba7107
    @sharicksaidkamba7107 6 років тому +29

    Dah acha muitwe wasafi t bhana maana sio kwamdundo huu umetenda hak sana mbossocan wcb gonga like twende sawa

  • @isakaelasto5173
    @isakaelasto5173 4 роки тому +50

    Daa! Wangapi tunaitazama
    Kwamwaka 2020

  • @emanuelkvannyii8268
    @emanuelkvannyii8268 6 років тому +38

    oyoooo!!! haka kawimbo kamekonga moyo wangu mpaka machoz yamenitoka😭😭💟💟🔥

  • @paulbrown584
    @paulbrown584 6 років тому +36

    nikifa nizikwe na picha yake yeye.....Kali sana brw naskiza ndan ya +254 Kenya gonga like tu appreciate ma Brw...🔝🔝🔝🔝

  • @okangakelvin2216
    @okangakelvin2216 2 роки тому +58

    This is a song that make my tears roll down. I remember the Mbosso who had given up in music trying to prove to Diamond that he can truelly sing. This was Mbosso's first song @Wasafi. This will never get old. Akija Kenya taja tu mji na mimi ntakuwepo....

    • @PositivityOnly001
      @PositivityOnly001 Рік тому +1

      I remember...I remember...
      WaKenya wengine ni kama tulihamia Bongo. Love love Mbosso!

    • @richardwest6771
      @richardwest6771 Рік тому

      This was mbosso’s third song in Wasafi not first one….. first watakubali ,second Alele then this one

    • @okangakelvin2216
      @okangakelvin2216 Рік тому

      @@richardwest6771 research well

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 6 років тому +22

    East Africa Kama mbosso Khan wa wcb wasafi hajawahi kukuanguasha kama ambavyo hajawahi kunianguasha mimi like hapa yaan huyu jamaa anajua sana achen ubishi jaman like nyingi please yaan bonge la video wasafi fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ainga93
    @ainga93 6 років тому +26

    East Africa talent iko kusema ukweli. Bro you are talented, sio chocha. +254 in the house. Pita na like ka wamkubali Mbosso

  • @OwalaDesmaVeraAkoth
    @OwalaDesmaVeraAkoth 27 днів тому +1

    I don't know why I shed tears anytime I come across this song 🥺🥺🥹...I really love this song❤

  • @hoseanobocka4533
    @hoseanobocka4533 6 років тому +83

    kwa hali hii bongo flavour ipo WCB,weka likes nying kwa mbosso

  • @FestoNgadaya
    @FestoNgadaya 6 років тому +70

    Nimependa vitu vingi kwenye hii video lakini the best of all, Mbosso amebeba uhalisia wa hali ya juu, Ngoma iko soo emotional na yeye anaonekana soo emotuonal pia, Kaimba kwa hisia kubwa, Sema sijui walikupa nini au ulikumbuka nini mpaka ukatoa yale machozi maana ukiangalia vizuri umelia kweli, Yaani everything is good 👏, Video imepangiliwa vizuri pia , Hongera Mbosso 👏👏👏👏👏

  • @nimojohn9824
    @nimojohn9824 5 років тому +7

    Mbosso all the way...kwa kweli nakupendanga Sana... Love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sharomsiliwa4739
    @sharomsiliwa4739 6 років тому +17

    Laaaaah!!! Laaaah laaaah! laaaaah Hapo ilipoanzia dakika ya 1:24 nimekumbuka mbaliiiiiiiiii sana. Oooh u wapi Jackline wangu..?

  • @bantokenya6599
    @bantokenya6599 6 років тому +517

    Mbooso imba ... Imba Mbooso acha kulia 😆😆😅 ngoma kali W.C.B wamekupika kaka umeiva sasa tuachie vitu vya kikwely .. kama unamkubali Mbosoo nipe 👍👍👍👍👍👍👍

  • @jukiboy7012
    @jukiboy7012 8 місяців тому +73

    Picha yake 😢😢 dah 2024 kama unasikili gonga like apa

  • @kifarusongeaolg9726
    @kifarusongeaolg9726 6 років тому +53

    hatari sana mtoto wakibiti kama nawewe unatamani ukifa uzikwe napicha ya #WCB gonga like hapa

  • @charlesndungu9931
    @charlesndungu9931 6 років тому +99

    Mbosso kuna venye uko ligi yako msee big up...East Africa

    • @benkim7733
      @benkim7733 6 років тому +2

      heheee Charles nakucheki uku pia

    • @charlesndungu9931
      @charlesndungu9931 6 років тому

      Ben Kim hehe nawakilis bro

    • @benkim7733
      @benkim7733 6 років тому

      +charles Ndungu poa bro support good music

    • @charlesased
      @charlesased 6 років тому +1

      Safi for appreciation wajinaaa. East Africa ni wamoja. 👊

    • @kairetukamum7579
      @kairetukamum7579 6 років тому

      charles Ndungu i just can't get enough of this guy..Nampenda to bure.. +254 +491❤❤❤❤

  • @Caltexjr
    @Caltexjr 9 днів тому +3

    Waliokuja hapa Baada ya mbosso kutoka wcb gonga likes

  • @blacksonismael2501
    @blacksonismael2501 6 років тому +42

    Ahsant diamond kwa kuwasaidio vijana wenzako na Sisi tuko njiani Respect for Wcb and Africa

  • @SFBGROUPE
    @SFBGROUPE 6 років тому +73

    Mimi ni wa kwanza kuwa na amri wewe ni sawa na bonyeza I like

  • @pastoryamosi5934
    @pastoryamosi5934 2 роки тому +213

    Ambae bado anachek hii ngoma 2023 gonga like tujuane

  • @innocenttawa1648
    @innocenttawa1648 6 років тому +14

    Nice one. Sasa ni bayana hakuna aliyekuwa anambeba mwenzake mgongoni Yamoto Band. Vijana wote wanne wanaweza kama solo artists.

    • @jut1161
      @jut1161 6 років тому

      innocent tawa true brother

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 6 років тому +8

    So emotional.....inaumiza upendo ulokithiri mbali na manyanyaso ila still anaomba akifa azikwe na picha yake..... salute to #WCBMALENGO

  • @gratienasimbahwe
    @gratienasimbahwe 5 років тому +33

    @Mbosso is without doubt one of the most romantic artists in East Africa. I can listen to his songs even when I don't want to listen to any song.

  • @MinAaliyah
    @MinAaliyah 4 роки тому +57

    My favorite.... Love from Kenya 🇰🇪

  • @clad2543
    @clad2543 6 років тому +60

    Nakupenda bure mboso all the way from kenya 🇰🇪

  • @nashonwilliam1235
    @nashonwilliam1235 8 місяців тому +5

    Wimbo bora sana kwangu kutoka kwa Mbosso,uliua vibaya Mnooooo mwanangu

  • @patriclsamweli8232
    @patriclsamweli8232 6 років тому +10

    Hatari sanaa mbosso keep it up broo...dondosha like kama umekubali hlo pini kushow love to him

  • @johnahadi9589
    @johnahadi9589 6 років тому +30

    Mbosso nimkali sana una tisha bro gonga like apo kama una mkubali mbosso

    • @wanenetv9672
      @wanenetv9672 6 років тому

      DAWA ZA ASILI/TIBA ZA ASILI/: ua-cam.com/play/PL_DSXHfkoymz_mON4Y4rJ7Tu9HulfT8W7.html

  • @mishymohamedy7821
    @mishymohamedy7821 5 місяців тому +17

    Siku nikifa nizike na picha yake 😢 tunaoisikiliza 2024 tujuane kwa like

  • @ephlahimmdemu135
    @ephlahimmdemu135 6 років тому +22

    Team WCB unakuja vizur, lakini kaza sana, jitahidi uwe unatoa hit song.. Nadhan unaona rayvan, harmonize, platnumz wakiachia k2 inakuwaje. All the best

  • @NextupMediaKenya
    @NextupMediaKenya 6 років тому +21

    Wasafi kweli mnaua wengine kweli Kutrend ndio zenu napongeza jinsi mnajituma sana kukiimarisha E.AFRICA kupepea MBOSSO BIG THUMB BRO

  • @Sadjofficial-47
    @Sadjofficial-47 8 місяців тому +94

    Kama una sikiliza Hu wimbo 2024weka likes hapa

  • @vedastogenius45
    @vedastogenius45 6 років тому +11

    Natamani mpenzi wangu wa siri asikilize wimbo huu ajue jinsi gani nafeel much love mbosso........

  • @oswardlutebuka3778
    @oswardlutebuka3778 6 років тому +10

    Dah,, nawapenda xan WCB,, HEXHMA KWENU aixe

  • @MuhammadJuma-r7t
    @MuhammadJuma-r7t Місяць тому +9

    Yani niko December 2024 mwaka unaisha na ameniwacha daa nimeelewa maana ya hi nyimbo 💔💔💔

    • @lindaanyango
      @lindaanyango Місяць тому

      Usijali utapata atakae kupenda

  • @onesmonderero648
    @onesmonderero648 6 років тому +20

    daaaah!nimeamini unakipaji mbosso,nice video 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @mosesmuchina3471
    @mosesmuchina3471 6 років тому +6

    nimeikubali kazi ya huyu kijana mwenzangu.....maulana akuzidishie na mengi katika kazi zako.. na pia maaadui na ndugu wako wengine wa yamoto band popote pale walipo

  • @jeniffermuia4518
    @jeniffermuia4518 3 місяці тому +1

    This song summarizes my life in 2024! I'll leave this here for people who will be alive by 2070 mjue men will always embarrass you😢mboso umeimba maisha yangu kwa huu wimbo😢na mkumbuke gachagua got impeached this year too😢

  • @meshackvitalis7771
    @meshackvitalis7771 6 років тому +24

    yashanikuta haya ivi nawewe kumbe yamekukuta daah inauma sanaa, ngoma kali bro team mboso suport

  • @simbamoodtz1181
    @simbamoodtz1181 6 років тому +15

    Safi sana mbosso kama unamkubali mbosso tiya comment yako apo chini

  • @trvpstar.
    @trvpstar. 4 роки тому +47

    The song touched almost everybody 😢😢😢😢😢😢

  • @nabiswamary8343
    @nabiswamary8343 6 років тому +28

    I had to comment. Mbosso you so emotional. But I love you. Makes the song so real.. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @yudasyc8414
    @yudasyc8414 6 років тому +16

    sasa WCB nichague nan hasa awe my most favourite hili jib n gumu #wangap wanaliona hili?????

    • @hoseanobocka4533
      @hoseanobocka4533 6 років тому +1

      yuda SYC WCB zote mashine

    • @yudasyc8414
      @yudasyc8414 6 років тому +1

      noma sana Mzee baba

    • @jut1161
      @jut1161 6 років тому +1

      yuda SYC kweli maana whatever diamond pick turn into gold

    • @fatumaadam4772
      @fatumaadam4772 6 років тому

      Wow mbosso this song is touching my hat..even making me cry

  • @zeebutterfly6189
    @zeebutterfly6189 5 років тому +35

    I guess his from Tanzania... I just luv his music...luv from THE GAMBIA

    • @allenkalalu6006
      @allenkalalu6006 4 роки тому

      Yes he is from Tanzania and his known as Mbosso!!

    • @tanzanianboy
      @tanzanianboy 4 роки тому

      Love you, too. Greetings to Cherno Marenah from his Tanzanian friend

    • @husnawangui714
      @husnawangui714 3 роки тому

      Welcome Tanzania

  • @myriamjay
    @myriamjay 6 років тому +5

    heh jameni WCB nyiye hatari kama mna madawa vile yani kila pin kali. Big up Mbosso umeipatiya sana ila ndo kawaida yenu WCB

  • @tabiejohns5589
    @tabiejohns5589 6 років тому +7

    😢😢😢😢am crying.. Nice one Mbosso 254 love🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍😍

  • @skinnyrat684
    @skinnyrat684 Рік тому +300

    Two months to 2024 nipewe likes 😢

  • @Busilana
    @Busilana 6 років тому +35

    Huyu Ndo Tajiri Wa Huzuni Mbosso Khan Mshedede Kma umekubli gonga like twend sawa

  • @thisisgugu2378
    @thisisgugu2378 6 років тому +33

    Your tears will always say that you're the best ♥️😭

  • @awadhgugu317
    @awadhgugu317 11 місяців тому +1

    Mbosso was seriously crying the guy is soo emotional.... Nice job brother ❤

  • @nestory1654
    @nestory1654 6 років тому +7

    Pia mimi siku nikifa nataka nizikwe na picha yake... Mbosso si wewe peke yako. Let's cry together...Alafu wenye wanatufanyia mimi na Mbosso ivi Mungu anawaona

  • @michaeljeremiah634
    @michaeljeremiah634 6 років тому +16

    naanza kmuelewa mbosso aisee!! tuanza kuona uwepo wake pale wcb

  • @dlinecydoris8916
    @dlinecydoris8916 Місяць тому +47

    2025 anybody 😢

  • @charlesndungu9931
    @charlesndungu9931 6 років тому +223

    Mkenya wa Kwanza hapa,Unyenyekevu wako kijana wajiuza..254. For Mbosso

  • @chrispinemichael8062
    @chrispinemichael8062 6 років тому +15

    Najua kila mtu anamjua shark khan hua nimtalam wa love story.
    Nafikir mbasso pia nimtalam wa love story coz kupitia nyimbo yake unaweza uka generate concept on how to write a love story and always mbosso's songs is heart touch.
    Keep it up mbosso and show the world your talent
    For sure you're the best songs writer.

    • @d4dmea196
      @d4dmea196 Рік тому

      Ukimsikiliza utahisi , mapenzi rahis

  • @bakarimakomola
    @bakarimakomola 5 місяців тому +40

    Wapi like za wanaocheki hili goma August- September 2024

  • @maginamandago5032
    @maginamandago5032 6 років тому +9

    Dah Mbosso we fundi kinyama, hapo mwisho tumelia pamoja bro, naomba like za @Mondi kwa kumchukua huyu fundi.

  • @michealbrowntv8095
    @michealbrowntv8095 6 років тому +224

    All the ways from America this song is the best
    Like If u like it

    • @obacktv4468
      @obacktv4468 6 років тому +4

      Diamond Platnumz Vevo congratulations👏

    • @khalfanmohd5807
      @khalfanmohd5807 6 років тому +3

      Diamond Platnumz Vevo acha uboya mondi mm cjui kiswahili lkn ww ni kutoka tandale 😂😂😂

    • @emanueladamayubu9940
      @emanueladamayubu9940 6 років тому +2

      kama wa tandale sijuu fack account

    • @zainabguthera7923
      @zainabguthera7923 6 років тому +3

      Diamond Platnumz Vevo Waa iko sawaPamoja 2nawakiliasha Usplus 254 buum

    • @thebestmanever4903
      @thebestmanever4903 6 років тому +2

      Awesome job

  • @smilo2543
    @smilo2543 Рік тому +1

    Is this 2023 may 11 and i feel every lyrics of this song
    Mboso is another thing.

  • @singoplatnum5937
    @singoplatnum5937 6 років тому +10

    Naomba na mm siku nikifa nizikwe na picha yake maana huwa silali baridi usiku natetemeka. Bigup Mboso from WCB

  • @malkiavasht7024
    @malkiavasht7024 6 років тому +47

    Wee mboso ndo nini kuniliza hukuu aiii melia duuuh big up brother

  • @hatungimanahinyuye3348
    @hatungimanahinyuye3348 10 місяців тому +61

    Who's here it's 2024

  • @lavignesexy517
    @lavignesexy517 6 років тому +10

    Mbosso shujaaa watching much lov from Kenya 🇰🇪

  • @ivybrown958
    @ivybrown958 6 років тому +16

    Wcb you never disappoints guys big up mbosso much luv from 254

  • @ashasinaidah9994
    @ashasinaidah9994 2 роки тому +2

    I think this gay needs alot of support because he is very smart all mbosso songs makes me feel better and more confident

  • @SFBGROUPE
    @SFBGROUPE 6 років тому +35

    the first to comment, who agrees?
    you agree click I like
    Wasafi for life

  • @geofreydista721
    @geofreydista721 6 років тому +78

    huyu Dg atakua moto mbaya kama hali n hii jaman naomben like zenu kama mmekubal hii ngom

    • @wanenetv9672
      @wanenetv9672 6 років тому

      DALILI NA TIBA ZA MAGONJWA SUGU: ua-cam.com/play/PLRMIRcpWDhty8QteCGsVIEDkg7Y9bVBZ8.html

    • @marthakedesi161
      @marthakedesi161 6 років тому

      Geofrey Dista we bosso wewe mpaka umenitoa amachozi

    • @marthakedesi161
      @marthakedesi161 6 років тому

      Geofrey Dista we bosso wewe mpaka umenitoa amachozi

  • @stanrockenterprise5108
    @stanrockenterprise5108 5 років тому +2

    Mbosso likes zako nikiwa hapa Kenya. Mungu akubariki sana WCB

  • @zachaamtani6154
    @zachaamtani6154 6 років тому +22

    U never dissapoint...WCB for life

  • @brownbrownly
    @brownbrownly 2 роки тому +27

    2023 i am still here mbosso wee we ni fundi 🔥🔥🔥🔥

  • @winniemuyangamiguel4811
    @winniemuyangamiguel4811 4 роки тому +7

    Nikifa nizikwe na picha yake,mbosso I love all yo songs all de way frm zambia my Burundi man made me to love yo songs (Tamba,Tamu en hodari)

  • @ogenmungufred4211
    @ogenmungufred4211 3 роки тому +6

    Kindly create a ten hour version of for listening purposes. This song hits the soul differently. East Africa Hatari!

  • @teclasimon9966
    @teclasimon9966 6 років тому +92

    Whatever Diamond touches blossoms 💕💕💕💕
    See Mbosso doing even greater 💪💪💪💪 1M views loading 👏👏👏👏 long live #wcb

  • @godfreymchunguzioyema6351
    @godfreymchunguzioyema6351 3 роки тому +66

    I knew mboso would be one of music icons in TZ. 2021, the song still as fresh as when it was released. I hardly get over it.

  • @bonfacenamiti2653
    @bonfacenamiti2653 6 років тому +27

    Siku nikifa nizikwe na picha yake mwenyewe; ; from Kenya ; an amazing hit and really love it

  • @wendymutembei6779
    @wendymutembei6779 6 років тому +35

    The ending though. So emotional.. Wangapi wanamkubali mbosso😍

  • @Abdalaiddi
    @Abdalaiddi Місяць тому

    Good morning broo Tuseme amina kweli liziki mafungu mawiri tu pamban mbosso mwangu allah ndo kihongozi wa kila mtu sasa ume fikimbari kumbuka familia nakila mtu hupendo kwaliha mtu .....Good deys broo boa diã á vidãs ainda contonúa mbosso numero 1

  • @joshuamwasomola4117
    @joshuamwasomola4117 3 роки тому +7

    Hii ndio ndio nyimbo yangu pendwa toka kwako
    Ndio ilinifanya niwe shabiki yako 🔥🔥🤝

  • @annemuchoki3374
    @annemuchoki3374 5 років тому +11

    Still listening to this May 2019 my favourite song! I love you Mbosso. Lots of love from Kenya

  • @charlottebawu7840
    @charlottebawu7840 Рік тому +3

    Im still ...will always be my favourite song....i got to love know Mbosso through this song....u a blessing to Africa bro🔥🔥🔥🇧🇼🇧🇼🇧🇼🇧🇼🇧🇼🇧🇼

  • @ماجكموزجوني
    @ماجكموزجوني 5 років тому +7

    This is better than The One THWY. The song, melodies, the background and the scenes are all matches what's this guy is crying for. Big up and hope he can raise above all

  • @msodokitv2855
    @msodokitv2855 6 років тому +29

    Hii nyimbo inanyinyiga sana kwa moyo,@Mbosso ni mkali sana. Gonga like kama unakubaliana nami #WCB4life

  • @annnyoks7008
    @annnyoks7008 5 років тому +1

    C mambo na eti nini mboso ni kitu na c cha wcb ni chombo cha mkubwa big up umeonyesha juhudi. Best of all . we pia ni comedian.

  • @bobdmiles8108
    @bobdmiles8108 Місяць тому +10

    Just some minutes to 2025 na nausikiza huu wimbo...Yani mi ndio mtu wa mwisho kuuskiza huu wimbo 2024 na wakwanza 2025 likes zangu jamani..

  • @congoboymbeyas2440
    @congoboymbeyas2440 6 років тому +28

    #wcb 4life support from Arizona United States

  • @jarmullerbwoy1181
    @jarmullerbwoy1181 4 роки тому +84

    Who still listening this song✈️✈️... with vibes sounds in June 2020

  • @Eddie25502
    @Eddie25502 6 років тому +12

    Mi staki tena jamani #WasafiTumezidi khaaa mbona tunabalaaa ivi??🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @hoseanobocka4533
      @hoseanobocka4533 6 років тому +1

      Eddie 255 mpaka waombe pooo mana bongoflavour ni ya WCB ,Diamond alkabiwa funguo zote sjui wengne wataimba nn

    • @Eddie25502
      @Eddie25502 6 років тому

      Hosea Nobocka Hatari sana mzee baba yan co poa!na hivi tuna 📺 ndo tunaziachia tuuuuuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥pamoja sana mzazi

    • @aishajoseph8408
      @aishajoseph8408 6 років тому

      Eddie 255 ww noma sasa nani mkali sasa kati ww na boss wako

  • @HassanMohamed-iu8hf
    @HassanMohamed-iu8hf 6 років тому +6

    Nakubali san mbosso upo juu tu san yani wcb sichoki kuangalia ngoma zenu

  • @sihlencalo7696
    @sihlencalo7696 4 місяці тому

    Listening To Mbosso Music All Day Long Is Not Day Waisted But Therapy. South Africa 🇿🇦 Approves....

  • @mwanaidiwanekeya4614
    @mwanaidiwanekeya4614 6 років тому +7

    I just dont get it if a real human can unlike such a touching song seriously mbosso i salute keep up go go your parents are proud of u Mbosso Diamond your such a grateful guy my Allah always shower u with much blessing for helping others archive

  • @williamnoon7594
    @williamnoon7594 5 років тому +36

    Am from south Sudan I love Tanzania music❤❤❤

  • @kuonekaeverlyne8621
    @kuonekaeverlyne8621 2 роки тому +88

    2023/and song is still fresh ooh my goodness it got a lot of intense ,its a masterpiece I tell you ,r.i.p mark zk last time we meet , he just played this song wee kumbe he was passing a goodbye message mungu na awe naye mbinguni

  • @Manshyne
    @Manshyne 6 років тому +137

    Anaekubali mboso amepikwa akaiva...gonga like

  • @oliverkiwinga7032
    @oliverkiwinga7032 2 роки тому +11

    2023 still one of my best tuned from Mboso

  • @mwaserahabdullah5595
    @mwaserahabdullah5595 Рік тому +3

    Akili the Brain 🧠 amenileta hapa ....Akili kweli ni Brain 2024

  • @kanokhan5687
    @kanokhan5687 6 років тому +28

    Mboso hi kazi iko juuu sana na me nimeikubali sannnnnnaaaa songa mbele mdogo wg sisi tuko na we na me nitakusapoti kwa maneno yg kusapoti sio kwa hela tu kumsapoti mtu unamsapoti kwa hisia kwa fikra kwa dua kwa maneno mazuri kutoka moyoni so asante sana kwa kazi hii
    Maneno yako yanafanya tusipende tena