MASANJA ASIMULIA ALIVYOMPATA MKEWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 сер 2021
  • MASANJA ASIMULIA ALIVYOMPATA MKEWE

КОМЕНТАРІ • 47

  • @jibrildavis5664
    @jibrildavis5664 3 роки тому +8

    Nimehirudia mara 10 hiyii jamani masandja hoyeeeee🤣🔥

  • @emmanueltvmwakyesan4858
    @emmanueltvmwakyesan4858 3 роки тому +3

    You are my role model nakupenda mpakwa mafuta wa bwana yesu kristo🌹💚💚💚

  • @atupokilengallah4882
    @atupokilengallah4882 3 роки тому +3

    Masanja! Mungu akubariki sana sana ! Yaani huduma yako itakuwa unique sana sana ukiendelea Na Mtindo wa kuwa Na Monica Na kumtambulisha Wakati wote kama ulivyoanza safari pale mwanzooooo! Yaani uzuri wa hiduma uliyonayo ni Monica akiwa upande wako Wakati wote!
    Chonde chonde usiache kumpaisha mke wako, hata ukiweka picha weka na ya mkeo! Amen amen! Ni mimi dada yako kutoka igurusi! Nawapenda sana sana. Msalimie sana Monica!

  • @joycechaz2840
    @joycechaz2840 2 роки тому +2

    Napenda Masanja alivyo proud na mke wake hadi raha 😍😍😍😍wa mama wa chungaji wengine wnafichwa fichwa tu na waume zao

  • @TuzoMatandala
    @TuzoMatandala Рік тому

    Mungu akawe pamoja nawe katika huduma ya bwana ubarikiwe sana pastor Masanja

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 3 роки тому +4

    Mungu awatunze wazazi wangu. Hakika Mimi mnanibariki sanaaaaaaaaa, maisha yenu yamejaa ushuhuda daima

  • @samwelsengati1369
    @samwelsengati1369 2 роки тому +1

    Nmependa sana Jinsi alivyocheka

  • @tulimlawa8608
    @tulimlawa8608 2 роки тому +1

    😂😂😂😂 pastor Emmanuel dah wanataka kukamilisha album nimecheka Kwa sauti Na ucku huu watu wamelala MUNGU AWATUNZE PASTOR MGAYA

  • @castobenjamin4074
    @castobenjamin4074 2 роки тому +2

    Nimeipendaa😍😂😂😂

  • @silajulius3467
    @silajulius3467 2 роки тому +1

    Ila pastor Masanja bwana bonge la mkorofi eti, hahahahahahaaaaaa..... Pamoja Sana brother

  • @sifamtasha4291
    @sifamtasha4291 3 роки тому +2

    Ata cjui nami nacheka nn 😂😂😂

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 9 місяців тому

    Ssunamtangazia nani

  • @suzukisimba8393
    @suzukisimba8393 3 роки тому +2

    Mhmmm ila mke wako kipotabo hatareeeee👌👌

  • @zumasamson6603
    @zumasamson6603 2 роки тому +1

    "Mwanamke anayenipunguzia CV ya kuwa papa".....hii si kauli nyepesi ama ya bure tu ya utani utani... hapa kuna ujumbe maalum sana Masanja alikuwa anautuma ....wakubwa bila shaka wanaelewa.

  • @jeanettegloria6244
    @jeanettegloria6244 3 роки тому +1

    Hahaha mwanifurahisha sana jamani mubarikiwe sana

  • @magrethmtengie5133
    @magrethmtengie5133 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣 mchungaji Masanja unamambo

  • @anjawestanley4502
    @anjawestanley4502 2 роки тому +1

    Yan ww masanja umetsha mwaisa futuhi mazabahun

  • @sophiabryson2735
    @sophiabryson2735 2 роки тому

    👊👊🔥🔥🙌😂🙆

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 3 роки тому

    😘😘😘

  • @mangocharles2497
    @mangocharles2497 2 роки тому

    Ubarikiwe

  • @mkapa-po5ob
    @mkapa-po5ob Рік тому

    Asikofu gani wewe

  • @riziquiebravvy7030
    @riziquiebravvy7030 3 роки тому

    Najifunza kitu.

  • @binaadamu2013
    @binaadamu2013 3 роки тому +1

    Zuchu

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 3 роки тому +1

    Umenifanya niwe nasoma biblia

  • @joelmajuram2918
    @joelmajuram2918 3 роки тому +1

    Ha ha ha ha ha !

  • @donaldtadeodontado9991
    @donaldtadeodontado9991 Рік тому

    Imebidi nije kuangalia Tena ........na kesho nitaangalia Tena mpaka nijue marehemu kweli alikuwa anakula goma

  • @alinejeremaih1146
    @alinejeremaih1146 3 роки тому +1

    Hahahah

  • @eliudiezekieli6293
    @eliudiezekieli6293 3 роки тому +1

    Oyoo masanja kwani Monika hana mdowake hapo nyumbani namimi nijinyakulie hhaaa maana daaah

  • @abelsiyame7863
    @abelsiyame7863 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @barakaslyem5802
    @barakaslyem5802 3 роки тому

    Judgment

  • @berhalibee8479
    @berhalibee8479 3 роки тому

    H yu mke kawa gumzo sasa khaaaa mtu na watoto mpk Leo mke mke

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 Рік тому

      Sasa tutapumua maana goma likivuma sana mwisho hupasua😜

  • @sabastianraymond.6383
    @sabastianraymond.6383 3 роки тому

    HICHO NDIYO KITU PEKEE LAKINI KWA HABARI YA UTAKATIFU BADO MUNGU AWASAIDIE MAANA NENO LIKO WAZI

  • @sabastianraymond.6383
    @sabastianraymond.6383 3 роки тому +3

    KITU NINACHOKIPATA HAPO NI UPENDO WA EMANUEL KWA MKEO NAPATA KITU.

  • @sabastianraymond.6383
    @sabastianraymond.6383 3 роки тому

    MAVAZI YA MKE WA EMANUELI SI KIBIBLIA BADO

    • @leaherasto5686
      @leaherasto5686 3 роки тому +2

      Kuna watu mnamatatzo Sana Apo kavaa kitenge unasema bado ulitaka avae gunia?

    • @florachrist9602
      @florachrist9602 3 роки тому +3

      Mungu aniepushie wanaume weny akili mgando kam wewe.

    • @sabastianraymond.6383
      @sabastianraymond.6383 3 роки тому

      USI NI TUKANE NDUGU BADO TUPO SAFARINI, HUJUI YATAKAYOTOKEA KESHO.

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 3 роки тому

      @@florachrist9602 😂😂

    • @kemmymugele350
      @kemmymugele350 2 роки тому +1

      Sasa nguo ya huyo dada inashida gani, kweli kuna watu mnacomplicate maisha ya ukristo.

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 2 роки тому +1

    Jamaa ana mawenge sana huyu😂😂😂

  • @leaherasto5686
    @leaherasto5686 3 роки тому

    Hahahah