Production moja kali sana hiyu jamaa ni moja kati ya comedian na TikToker wenye talent kubwa sana ukiliona nikama nilifala frani lakin unaaambiwa jamaa anajua kujali sana katika maisha yake mi nakuombea tu Mungu akubariki na akutangulie katika kila kazi stive ❤❤🎉
KAMA UMEIPENDA HII NGOMA COMMENT CHOCHOTE 👇NASOMA COMMENT
Mwendo wa kukopa tu 😂😂
Usinigasi najuwa una nidai haaaa🎉
Naomba no yako
Ingenoga sana Kam nngeskia saut ya msukuma " hatariiiii ogopaaaa"
Kabisa aki leta maneno tuna zurumu 😂😂
Aisee sijawahi pata like kabisa nipe hata tatu tu 😂
Namba Moja Mimi hapa kutoka 🇧🇮🇿🇲🍺🍻like zangu mnipe hata Tano tu zinatosha
Wakimbiziii mmekua wengii
@@liberatusjackson5045 hahaha
😢😢😂😂
Kwa mungu hakuna ukumbizi kuma la mama ako
Unatoka wapi mbona bendera sijui ya nchi gani hiy
Ngoma kali saan nilikuwa naisubilia saana dancer nyanda😂😂😂 from ruvuma tz gonga like zakutosha hapAa😂😂😂😂😂😂😂
goma kali🎉
Hakika huyu jamaa atafika mbali sana mungu aendelee kumtunza nakupenda sana stevu mweusi pamoja sana Kaka yangu❤❤❤❤
Steve vimba kaka umetoboa hii imeenda imeenda 😊😊😊😊
Pia sisi Kenya tutawakopa nyinyi 😂😂😂 naomba like zenu wezangu
Steve nakupenda na Mii nitakuzulumu kutoka 🇧🇮🇧🇮 Burundi naomba like
Nimekuwa wa kwanza jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nilikuwa naogopa madeni Ila Steve mweusi kanitia Moyo Leo naanza kukopa👊👊👊👊
😂😂😂😂😂
Jidanganyeee OGOPAAAA😂😂
😂😂😂😂
Wakwanza naombeni like zangu
doooh nyimbo kali sana keep pushing this song for treading
Future comedian piga apa like #2
Mwamba ninae mkubal kwenye swala la burudan ni Stive mweusi tu
Hongera Sana Steve nakukubali sana Colme Eselo B Eagle 🤟 Mwami Wabami 👑🤴💵🇱🇷
Nimpenda hii Ngoma
Kumbe Steve anajuwa kuimba kiasicho 😅❤🎉
Hakika br uko vizur kinoma kweli we ni Simba kilaka haswaa God bless you😂❤🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤love it from kk 🇰🇪 bado nairudia kuwatch
Simba kilaka nipe like zangu kutoka Burundi nataman kumuona 𝐀𝐦𝐚𝐝𝐢 𝐊𝐢𝐣𝐢𝐜𝐡𝐨 ❤❤❤❤❤❤
Stive na kubalisanaa pokea mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤🇨🇩😘🇺🇸
Diamond/ dulla makabila hapa hamjafika. Talent hii bana..pamoja mweusi
Haupo😂Br
The fist fan of Drc🇨🇩
Steve mweusi nanyoosha mikono ww unajua sana🖖🖖
félicitations ongela mweusi miminimukongo nakupenda Sana
Mimi nimeipenda kinoma yani. Alafu mii nishabiki wako kufa na kuzikana kk Steven
Ingenoga sana Kam nngeskia saut ya msukuma " hatariiiii ogopaaaa"
Yaan Kama wew umependa mondi alivyo dumisha culture gongs like apa
Kubeunajuwakuiba
Stvemweusi
Wenyenibala❤❤❤lo
Love
Dio adajua kuiba
😂😂😂
Kumbe nzi akitulia anatengeneza tu asali mzuri
Kama kweli umeipenda ngoma hii añgusha like hapa
Kwan mi ni nani hadi nisicomment mshikaji anajua siwezi subiri mpaka siku akifa ndo niseme mondi anajua hadi anaboa yaan anajua hadi anakeraaaa❤❤❤❤❤❤
❤nakuelewa sana stivu endeleza kipaji chako namziki usiuache tunakupenda sana ❤❤🌹🙏
Moto wa pasi huu,,,,all the way from kenya
Hapa nimefungulia mpk mwisho kwenye bufa mwenye wote wanauliza goma la Nan nawambia chizi Msafi apa 😊😊😊😊😊😊😊
Poleni kwa kuwakumbusha vita na shafii kwa video ya mwalimu nikuvalishe Pete 3 kuna kuoga Haa na hii ya ya mwaka jana ushaidi tosha mngetoa huu
Umenichemsha aki Mimi ni muigizaji kutoka Kenya nawapenda jirani zetu
Video queen ngosha 🤗😆🏃🚴
Video queen tena 😂😂😂wa kiume huyo
😃ozah Tuko Pamoja brother Steve
Jaman unajua sana baby boy ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 kasaut wow amazing
🎉🎉🎉 miraxxy artist from Tanzania
We steve ni mwamba kwer kwer nakazia🛠
All the way from Kenya Nairobi...kali kweli...kumbe Steve kapita wote..
Nakubali Stive fro south Africa cap town
Production moja kali sana hiyu jamaa ni moja kati ya comedian na TikToker wenye talent kubwa sana ukiliona nikama nilifala frani lakin unaaambiwa jamaa anajua kujali sana katika maisha yake mi nakuombea tu Mungu akubariki na akutangulie katika kila kazi stive ❤❤🎉
Mtoa liziki ni mungu haki, nyimbo safi bro, hongela kutoka kwa jirani hapa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kabisa Steve big up sana nakukubali kutoka BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
All the way from Malawi 🇲🇼, kali sanaa
Steve utafika mbali sana hongereni
Nyimbo Nzur Video Mbaya Apo kungekuwa na Ujalisia Mtu anakopa
Kazi poa brother ♥️
Dah!. Uko vzuri kka
Ndaro yuapi jaman❤❤
Angalia mpaka mwisho ndio uulize mbona yupo
@@elinapetro7136 naongea na wew na uyu🤣🤣🤣
Kwenye comedian wote huyu jmaa ndio anajua ss kuimba 🔥🔥🔥
Na Pia @Darkid anajua 🎉🎉
👍👍👍👍💕💕 tumeipenda kaka
Hwawezi fata moto wako mondi we ni next level Mkubwa ni Mkubwa tuuuu 💪💪
Bro hii umeweza,great job from Kenya
Nice one Steve nitakutafuta man n heet na ww
Wa kwanza kutoka burudi 🇧🇮🇧🇮🎉 naobeni likes zanu
Umetisha mweusi
team Steve muko wapi? likes zenu jamaani🙏
Oiya steve uku sasa ndo uwanja wa nyumbani.....tengeneza ingine.....unajua sauti unayo.
Steve mweusi nakupenda huku kenya 🇰🇪
Kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿 naijoi na kopeni
Ni HATARI
Ugopaa hizi ni zawachache wewe hiiiiiiii Like nyingi kwa Steve na Nyanda kabundi🙌🙌🙌
Ogopa
Nyanda kabundi saf sana msukuma mwenzangu unatuwakilisha
Ogopa! Hizi ni za wachache wew! Lkn Nyanda umewashtukia hawa? hawataki uondoke Dar hahahahaaa.....
Ogopaa
Nakubali 😅😅ngoma moooto
Ngoma kali kinoma steven ❤❤❤❤
Me ntakopa Ata mganga🎉
😅😅😅
Number Moja nipee ata like 10 kutoka Kenya
Waoooooooooooooooooooo upo pa1 na Msukuma kaz ❤❤❤❤
Mungu akuze kipaji chako❤❤❤❤❤❤
Kaka stivu unyama uooo kama diamond haposti iyi ngoma tunamufata paka kwekeee Kaka iyi noma❤❤❤❤ natokeya Congo 🇨🇩🔥
Steve umetisha sana, naomba like zangu jaman
Asante kaka Steven hongera huna mbaya kaka 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘💯💯💯💯💯💯
Umeuwa kk pamoja Na mozambique
Wakwanza 😱😱😱🫡
Nakubali
NAIONA KWENDA KUA HIT SONG🎉 NA NAMBA MOJA TZ💥
Umetisha kaka🙏🙏🙏❤❤
Poa kabisa bro naku miss sana kutoka 🇧🇮 ❤❤❤
Noma san..jamaa kaimba serious kweli yan nikajua atachekesha oyaa imeenda familia ndaro anapenda ujinga ujinga😂 nyimbonzima kaona yy akae kwenye mzurum 😂😂 #KOPA
Simb kirak umetich hap bab❤❤❤❤
Madance wanajua🎉🎉❤
Iiiiih naijua iyoo 😂🎉❤
Unyama mwingi bro from tandale, imekuwa yamoto Sana🔥🔥🔥
Aaaah!!Steve kazana 🎉🎉bro.
Kazi nzuri brother napenda hii ngoma sana
Kazii poaa, congratulations ❤❤❤
Nafurayi sana Steven mweusi nipee namba Yako ya sim mimi natokea DRC kongo
Aisee kumbe we mkali tu ivi❤❤❤❤
Ngoma kali Naipenda kirasaa naigonga 👏👏✍️✊🏽
Gonga like kama umeludia mala kumi kama mm 🤘🤘
Steve Wewe fire 🔥
Wow kumbe Hawa jamaa ni wasanii wazuri
Sitive nikutoe wapi ni kuzurumu wewe kanza😂😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤
Big stive love from 🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿
❤❤❤❤kutoka hapa Kenya....twawapenda sanaaa......@steve Hajira kidoti ameenda wapi......arudi
Kazi safi pure talent simba kiraka
Steve br umetisha .Ngoma kali sana . 👍👍👍💥💥💥💯
stive wewe nimimi jela body naku sapoti kila mutandao yoyote laki wewe kunuposti sio tatizo
Steve you got talent my man 🎉🎉🔥🔥
NYIMBO & VIDEO NZUR🎉 SANA NIMEIPENDAA BR... @DUSS