KHAIRIYYA ONLINE TV
KHAIRIYYA ONLINE TV
  • 779
  • 1 311 774
🔴FULL KISHK AJIBIWA VIKALI NA SHARIFU "MIMI SINA UPAKO ILA NINA KARAMA NA NIMETUMWA KUSAIDIA"
Majibu LIVE sheikh kishk ajibiwa Vikali na Sharifu Firdausi (MUME WA WACHAWI)
"MIMI SINA UPAKO ILA NINA KARAMA NA ALLAH NDIE KANITUMA NIJE KUSAIDIA WATU"
Tazama mwanzo mpaka mwisho Sheikh Firdausi akiwajibu wale wote wanaomshambulia kwamba yeye anatumia mafuta na kudai kwamba ni ya upako na amewajibu kwa kusema kwamba si hivyo bali mimi NIMETUMWA kuja KUSAIDIA wenye matatizo
Tazama zaidi na Usisahau #comment #like #share #subscribe Katika channel yetu ya @KHAIRIYYAONLINETV kwa habari zaidi
Endelea kubaki nasi
Переглядів: 416

Відео

MAAJABU YAMEDHIHIRI !! KONDOMU ZINAKUTWA MSIKITINI LIVE | SHEIKH HAMISI ASHANGAZWA NA HILI
Переглядів 570День тому
Sikiliza kisa cha kweli kilichomtokea Sheikh hamisi baada ya kwenda ugenini na walipofika msikitin wakakuta KONDOMU LIVE "Hii ilinishangaza sana Siku moja Tumeenda ugenini na mwenzangu hapa sasa tunachukua udhu huku upande kwa wanawake Tunakuta kondomu inalillah wainailah raajiun huku ndipo Tulipofikia sijui tunaenda wapi" Kwa Uchungu mkubwa Sheikh hamisi abuubakari AFUNGUKA namna ambavyo Dunia...
MAPYA YAIBUKA "MBONA HAMREJESHI MAJIBU SEMENI NI LINI MUNAQASHA UANZE" BACHU NA WATU WAKE WAPO MOTO
Переглядів 3 тис.14 днів тому
Yaliyojiri Hivi punde Ust bachu na watu wake wameshindilia Ujumbe "SEMENI MUNAQASHA NI LINI MPEWE ELIMU" hii ni mpya ya Hivi karibuni watu wa bachu wakitaka majibu ya haraka kutoka kwa Ust Saidi kuhusiana na MUNAQASHA lakini usifanyike Mambrui TENA Mpaka sasa linasubiriwa JIBU TU huku wakiweka msisitizo kwamba ni lini mtatujibu maana tunataka munaqasha Tazama video zaidi na Usisahau #comment #s...
MADRASA ZETU NDANI YA TANGA YETU "KUFUNDISHA SIO KAZI NDOGO" UST BRANG AFUNGUKA YA MOYONI
Переглядів 17014 днів тому
Leo katika kipindi maalumu cha kuzijua madrasa zetu ambacho kimeandaliwa na Khairiyya media Tulikuwa na Ust Brangi wa madrasa ya masiwani mperani na alieleza mengi sana Ust brangi "KUFUNDISHA KUNA CHANGAMOTO ILA KWASABABU TUMERIDHIWA BASI KAZI ZINAKUWA NYEPESI SANA" Ust Brangi aeleza mengi sana huku akiwaomba wadau wa maendeleo kuwasaidia kupatikana kwa madrasa kwani kwa sasa wanasoma msikitini...
🔴DUA YA UFUNGUZI WA HADHARA YA MAULIDI MASIWANI MPERANI KWA UST BRANGI ABDULHAMID
Переглядів 27214 днів тому
Fuatilia Dua ya ufunguzi wa maulidi Mwanzo mpaka mwisho kutokea MASIWANI MPERANI KWA ust abdulhamid al maarufu BRANGI Dua ya Ufunguzi wa hadhara hii iliunganishwa pamoja na maulidi fupi huku Katibu mkuu wa umoja wa walimu maawal ust ISA BIN LEO akiongoza msafara wa kupandisha bendera Tazama video nzima ya matukio yaliyojiri Leo masiwani mperan bila kusahau kugusa alama ya neno #comment #subscri...
MAJIBU KUTOKA MALINDI "IKIWA UNATAKA MUNAQASHA JIBU KWANZA SWALI AMBALO LILIKUSHINDA"
Переглядів 1,3 тис.14 днів тому
Breaking news !! Habari hivi punde "Ikiwa unataka munaqasha Tujibu kwanza swali ambalo lilikotoa jasho na hapo Tutaandaa nada nyingine ya munaqasha" MAJIBU KUTOKEA MALINDI KENYA MUDA HUU Ust saidi Ana watu na watu wake wapo makini kuhakikisha wanailinda hadhi na heshima ya Ust saidi wa mambrui Hivi punde majibu yenye uzito mkubwa yamepatikana kutokea MALINDI KENYA yakimtaka ust bachu kujibu hoj...
MASHAMBULIZI YAMEANZA WATU WA MAULIDI WAMEMJIA JUU BACHU KWA MAONI MAZITO "UST SAIDI HUTAMUWEZA"
Переглядів 5 тис.14 днів тому
Leo baada ya Video ya ust Bachu kusambaa akimtaka ust saidi wakutane Tena kwa ajili ya munaqasha basi Tayari imeibua nyongo ya Wapenzi wa Mtume Muhammad (s.a.w) Majibu mbalimbali yamemuangukia Bachu huku wengi wao wakimshauri aachane na Hizo habari kwasababu uwezo wa Ust saidi ni mkubwa na Yeye hatauweza kabisa "Achana na ust saidi atakudhalilisha awamu hii" Na mengine mengi Tazama video kwa ku...
"UST SAIDI HAPOKEI SIMU ZANGU WALA HANIJIBU MESEJI NATAKA MJADALA NAYE MAANA KAOTA MBAWA" BACHU
Переглядів 2,8 тис.14 днів тому
Ust Muhammad Nassoro bachu amerudi Tena Hewani kwa Hoja zifuatazo "Nilikuwa kimya kwa muda mrefu sana sio kwamba sioni au sisikii lakini nilishaujua uwezo wa Ust saidi (DJ) kwahiyo sikuona haja ya kupigizana kelele na watu wenye uwezo mdogo ila kwa sasa nimeamua maana naona anavuka mipaka nataka naye mjadala ila shart usiwe mambrui" Pia ust Muhammad bachu ameongezea kwa kusema kwamba "Nampigia ...
MAHOKOI MAPOKEZI YA MUDIRI SHEIKH SAMIRI YAMEIBUA MJADALA KWA WAKAZI WA VITI | TAZAMA MSAFARA HUU
Переглядів 48414 днів тому
Full msafara wa Mudiri sheikh samiri sadiki akiwasili mahokoi Tazama shime ya Vijana hawa katika mapokezi ya Mudiri Msafara umewashangaza watu wa viti na vitongoji vyake Tazama full na Usisahau #comment #like #share #subscribe Katika channel yetu @KHAIRIYYAONLINETV Kwa habari zaidi Endelea kubaki nasi
KASHFA ZA MAFTAH JUU YA SHEIKH ABUBAKARI BUR'HAN NA SHEIKH SAMIRI ZIMEKUTANA NA MWAMBA UST KIUNGIZA
Переглядів 1,1 тис.14 днів тому
Hivi karibuni kumekuwa na baadhi ya video Fupi (short clip) ambazo zimesambaa mitandaoni zikionesha matusi ambayo sheikh kassim maftah amekuwa akizielekeza sana shamsul maarif kwa Al"marhuum sheikh Abuubakari Bur'han na Mudiri wa sasa Sheikh samiri sadiki Sheikh kassim maftah amefikia hadi hatua ya kumuita sheikh samiri sadiki "ZUZU" hatua ambayo imekuwa ni Mbaya khasa kwa wanafunzi wa sheikh s...
INTERVIEW | AHSAN CREW & KHAIRIYYA MEDIA | "Tumejipanga kuleta mapinduzi ya qaswida Tanga" | WAELEZA
Переглядів 27421 день тому
INTERVIEW | AHSAN CREW & KHAIRIYYA MEDIA | "Tumejipanga kuleta mapinduzi ya qaswida Tanga" | WAELEZA
HILI HAPA BALAA LA VIJANA WA MARKAZ HALE | ZAFA LILILOMKOSHA CEO KHAIRIYYA | AINGIA NA KUCHEZA
Переглядів 63021 день тому
HILI HAPA BALAA LA VIJANA WA MARKAZ HALE | ZAFA LILILOMKOSHA CEO KHAIRIYYA | AINGIA NA KUCHEZA
FULL ZAFA YA NDAOYA 2024 MADRASAT QADIRIYYA | TAZAMA ZAFA YA NDAOYA YA MWAKA HUU ILIVYOVUNJA REKODI
Переглядів 77921 день тому
FULL ZAFA YA NDAOYA 2024 MADRASAT QADIRIYYA | TAZAMA ZAFA YA NDAOYA YA MWAKA HUU ILIVYOVUNJA REKODI
QASWIDA YALAA HAADI KUTOKA KWA WAGENI WAALIKWA KILELE CHA MAULIDI HALE NAJAH | HADHARA IMETULIA
Переглядів 18721 день тому
QASWIDA YALAA HAADI KUTOKA KWA WAGENI WAALIKWA KILELE CHA MAULIDI HALE NAJAH | HADHARA IMETULIA
ZIARA YA MARKAZ HALE KUELEKEA KOROGWE | MARKAZ HALE DAY | KUWAKUMBUKA WANAWAZUONI WAASISI WA MARKAZ
Переглядів 17621 день тому
ZIARA YA MARKAZ HALE KUELEKEA KOROGWE | MARKAZ HALE DAY | KUWAKUMBUKA WANAWAZUONI WAASISI WA MARKAZ
TWAOMBA RABI KWAKO SHIFAA | MAULIDI YA MADRASAT NAJAHHALE | QASWIDA YA WAGENI ILIVYOIPAMBA HADHARA
Переглядів 17821 день тому
TWAOMBA RABI KWAKO SHIFAA | MAULIDI YA MADRASAT NAJAHHALE | QASWIDA YA WAGENI ILIVYOIPAMBA HADHARA
IJUE KWA UCHACHE HISTORIA YA MADRASAT FALAH KWA UST OMARI | NAIBU IMAMU AELEZA | SHEHOZA (HOST)
Переглядів 14321 день тому
IJUE KWA UCHACHE HISTORIA YA MADRASAT FALAH KWA UST OMARI | NAIBU IMAMU AELEZA | SHEHOZA (HOST)
ZAFA YA KISHINDO YAMSIMAMISHA MAMA DANGOTE NA KUMWAGA MAHELA | TEGETA DSM KWA UST OMARI SALIMU
Переглядів 59121 день тому
ZAFA YA KISHINDO YAMSIMAMISHA MAMA DANGOTE NA KUMWAGA MAHELA | TEGETA DSM KWA UST OMARI SALIMU
🔴FULL SAMAI YA MARKAZ HALE | MADRASAT NAJAH KWA SHEIKH YAASIN MAAMUN | MWANZO MPAKA MWISHO
Переглядів 39721 день тому
🔴FULL SAMAI YA MARKAZ HALE | MADRASAT NAJAH KWA SHEIKH YAASIN MAAMUN | MWANZO MPAKA MWISHO
SHIA NA WAHABI WALIPULIWA NA SHARIFU AHDALY "Hawa hawamtaki mtume na hawa hawawataki swahaba zake"
Переглядів 65728 днів тому
SHIA NA WAHABI WALIPULIWA NA SHARIFU AHDALY "Hawa hawamtaki mtume na hawa hawawataki swahaba zake"
KUMEKUUCHA TENA "HUWEZI KUMKOSOA BARAZANJI NA HUJUI MAANA YAKE" BACHU AMEPEWA SOMO JIPYA TENA
Переглядів 19428 днів тому
KUMEKUUCHA TENA "HUWEZI KUMKOSOA BARAZANJI NA HUJUI MAANA YAKE" BACHU AMEPEWA SOMO JIPYA TENA
🔴LIVE MAULIDI KWA SHARIFU SAYYED ALLY ALWY (SHARIFU UKWAJU) | SEHEMU YA PILI NA MWISHO
Переглядів 53628 днів тому
🔴LIVE MAULIDI KWA SHARIFU SAYYED ALLY ALWY (SHARIFU UKWAJU) | SEHEMU YA PILI NA MWISHO
🔴LIVE MAULIDI KWA SHARIFU SAYYED ALLY ALWY (SHARIFU UKWAJU) TANGA | SEHEMU YA KWANZA
Переглядів 22728 днів тому
🔴LIVE MAULIDI KWA SHARIFU SAYYED ALLY ALWY (SHARIFU UKWAJU) TANGA | SEHEMU YA KWANZA
🔴DUA YA UFUNGUZI WA HADHARA MADRASAT QAADIRIYYA NDAOYA TANGA | UPANDISHWAJI WA BENDERA | QASWIDA
Переглядів 262Місяць тому
🔴DUA YA UFUNGUZI WA HADHARA MADRASAT QAADIRIYYA NDAOYA TANGA | UPANDISHWAJI WA BENDERA | QASWIDA
Hii NDIO QASWIDA ILIYONYANYUA WATU SIKU YA KILELE | IBN SHEIKH AMEACHA HISTORIA MALINDI | TAZAMA
Переглядів 738Місяць тому
Hii NDIO QASWIDA ILIYONYANYUA WATU SIKU YA KILELE | IBN SHEIKH AMEACHA HISTORIA MALINDI | TAZAMA
MAPOKEZI YA KISHINDO KWA MUDIRI SHEIKH SAMIRI BARABARA ZIMEFUNGWA KUPISHA MSAFARA | SIO JAMBO DOGO
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
MAPOKEZI YA KISHINDO KWA MUDIRI SHEIKH SAMIRI BARABARA ZIMEFUNGWA KUPISHA MSAFARA | SIO JAMBO DOGO
ZAFA MAALUMU YA KUMLETA SHEIKH SAMIRI KWENYE KINARA IKIPAMBWA NA VIJANA WA SHAMSUL MAARIF MNADANI
Переглядів 462Місяць тому
ZAFA MAALUMU YA KUMLETA SHEIKH SAMIRI KWENYE KINARA IKIPAMBWA NA VIJANA WA SHAMSUL MAARIF MNADANI
MAULIDI YA WANAWAKE SHAMSUL MAARIF MTAA WA MNADANI MALINDI KWA UST SHAAFI
Переглядів 439Місяць тому
MAULIDI YA WANAWAKE SHAMSUL MAARIF MTAA WA MNADANI MALINDI KWA UST SHAAFI
🔴LIVE SAMAI YA HARUSI YA BINTI WA NAIBU RAISI (WARDA BINT SHEIKH ALWY) | FULL MWANZO MPAKA MWISHO
Переглядів 1,3 тис.Місяць тому
🔴LIVE SAMAI YA HARUSI YA BINTI WA NAIBU RAISI (WARDA BINT SHEIKH ALWY) | FULL MWANZO MPAKA MWISHO
SALAFI YA KIMATAIFA | SAMAI MIKOCHENI KWA UST OMARI SAIDI | SHUHUDIA BURUDANI HII YA SAMAI TANGA
Переглядів 171Місяць тому
SALAFI YA KIMATAIFA | SAMAI MIKOCHENI KWA UST OMARI SAIDI | SHUHUDIA BURUDANI HII YA SAMAI TANGA