Nimekuja baada ya kutendwa vibaya na mwanaume niliyempenda kwa dhati, mwanaume niliyejima kila kitu na kumpa yeye aridhike lakini akaona adhabu yangu ni kurudiana na x wake na kulala nae kitandani mwangu!!! Emmanuel popote ulipo nakwambia nimeamua moyo wangu usukume damu na si vingine machozi yako peleka baharini!!!!!!
I am a Shona speaking person, also fluent in Zulu and Xhosa, however i find Swahili fascinating and one of the Sexiest languages in which you can serenade a lady and the Tanzanian & Kenyan Brothers seem to have mastered their art and do it with much ease, Swahili music to the World, much love from a Zimbo is SA.
Exactly l gree am Tanzania but l been in Zimbabwe for business l listen Shona language imeditly l understand everything without help from some one to translate it me
Huu wimbo ulifanya nipate mke aliye sahihi kwenye maisha yangu🤣😂🤣 na nashukuru tuna miaka yakutosha kwenye ndoa hakika Mungu nimwema sana nilipataje mke hapo ndo swali la msingi mana wimbo hauonyeshi kwamba unataka upende ila alivyoona nimepost kwamba moyo sukuma damu akaona jamaa mbona kama yupo serious kunibwaga hivi akaona isiwe tabu nichukue kabisa🤣🤣😂
I just love lameck alot...with this song.he is on top kabisaa..huu wimbo naupenda sana.big up lamec.wangapi wana support lamec.jmni mpeni likes milioni
nakumbuka siku wimbo huu unatoka audio, ndio siku mchumba wangu aliponitamkia hanitaki tena....nilijikuta nawaza mengi sana, wimbo huu umekua mfariji wangu sana....very heart touching.....
2020 tupo hapa kusikiliza hii kazi ya mwana muziki kutoka Moro town sio hawa wanaoimba ujanja ujanja et kufata soko linataka nini, huyu jamaa ni mult-talented🔥🔥
Nyimbo safi magoma safi na huyo binti amependeza sana.Its kind of refreshing kusikia music wa Kitanzania badala ya taarabu.Hivi hiyo culture ya uimbaji wa taarabu umetokea wapi?Congrats from the south pacific
Nimeamua kuskiza huu wimbo baada ya mrembo niliyempenda sana na kumwamini siku ya graduation college ndo twende tuoane boyfriend yake alimkujia na mpenzi wangu alinikana hadharani na akajigamba vile alitoa mimba yangu juu hainitaki,,,madriatrixe penye uko nakuombea,,,,,,, Baadaye nikampata mwingine tukapendana sana na wakati wa kuoana ulipofika mamake alisema mtoi wake haezi oleka Kwa BOMA maskini,,,,,,,,,huo ndo wakati nliamua moyo wangu Sasa usukume damu si vingine
Mzee Ditto huu wimbo wako utafutue kiingereza Mzee eimba songi la nguvu Sana litaendelea kuishi Sana this is how people'heart do, thank you for the nice song
Niko hapa 2024 nafurahia mziki mzuri
This song means alot to me in 2024
Naupendaa❤
Who is still here in 2023? For sure this song is underated... The message is on point as compared to most of current senseless songs. Big up Lameck 🤝
Big up kubwa Tena sio ya pole pole ...ujumbe mzito na mzuri kwa anaemjua mapenzi ya kweli na hataki kuumizwa
Hatari Mungu atusaidie
subscribe then
@@sovereignstate45 Asante
❤@@LameckDitto
Nimekuja baada ya kutendwa vibaya na mwanaume niliyempenda kwa dhati, mwanaume niliyejima kila kitu na kumpa yeye aridhike lakini akaona adhabu yangu ni kurudiana na x wake na kulala nae kitandani mwangu!!! Emmanuel popote ulipo nakwambia nimeamua moyo wangu usukume damu na si vingine machozi yako peleka baharini!!!!!!
Ulikuwa ujinga acha kupenda mti nje ya mama baba na mwanao
dar uko Kama mm pia Kuna mpumbavu nilimpa moyo wangu Sasa iv hana niona Kama kipolo dar kwer mapnz😭
Kweli moyo sukuma damu so vingine
Ema 🤔
Pole sana
Moyo sukuma damu😓Nani bado anaangalia2021
Mm hapa music hauzeeki kama ww ujumbe upo na utaishi milele
Nipo apa
Nipo mm hapa
Nipoooo
Me
Ni 2023 and my heart is still pumping blood at rate full of peace and happiness..#254🇰🇪
Same here
Dr kanda from mafia island
Leo huu wimbo umenikujia akilini Nani mwengine tunaa usikza
Ukiwa na mawazo ya mapenzi lazima ukumbuke moyo kazi yake kusukuma damu😂😂😂😂
@@aishachambo3293 aki kwl kabisa🙈🙈🙈🙈
naukubali sana huu wimbo niatar nakumbuka mbali san ninapousikiliz wimbo huu
@@aishachambo3293 o999op0ppopp
Ni mim kabisaa
Kuna mtu kaja October 2024 kama mm🌚
❤❤
Hii nyimb ilinifundish san nilikua muhanga wa kupenda moyo sukuma dam sivingin mmbka sas
2021 nasikiliz
Nani mwingne hii ngoma bado inam fariji 2024
Mimi
@DavisElvismomi-n5w
@@bennyedson-rg6jd mzki mzur wap umeachwa
Me❤
Ni mwaka 2022 na bado wimbo ni mkali sana.
Yaani ni hatari all the way from kenya
Talented man lost in the jungle
I am a Shona speaking person, also fluent in Zulu and Xhosa, however i find Swahili fascinating and one of the Sexiest languages in which you can serenade a lady and the Tanzanian & Kenyan Brothers seem to have mastered their art and do it with much ease, Swahili music to the World, much love from a Zimbo is SA.
Asante (thenks)from kenya
We are bantu some words are related
Exactly l gree am Tanzania but l been in Zimbabwe for business l listen Shona language imeditly l understand everything without help from some one to translate it me
Thank you dear much love
Thanks from Kenya I would love to learn Zulu and xhosa, expanding African borders!!
Huu wimbo ulifanya nipate mke aliye sahihi kwenye maisha yangu🤣😂🤣 na nashukuru tuna miaka yakutosha kwenye ndoa hakika Mungu nimwema sana nilipataje mke hapo ndo swali la msingi mana wimbo hauonyeshi kwamba unataka upende ila alivyoona nimepost kwamba moyo sukuma damu akaona jamaa mbona kama yupo serious kunibwaga hivi akaona isiwe tabu nichukue kabisa🤣🤣😂
Moyo sukuma damu Kama kunamtu tuko pamoja dondosha like yako twende sawa
One of the marvelous song in bongo flava.... Huu wimbo unaishi na utaendelea kuishi daima... Still listening in 2022
Ni 2023.. Bado naiangalia hii nyimbo isiyotosha kuiangalia😥😥
I just love lameck alot...with this song.he is on top kabisaa..huu wimbo naupenda sana.big up lamec.wangapi wana support lamec.jmni mpeni likes milioni
2023 bado tunasonga, nipeeni like jamani🎉
WANGAPI HADI LEO HII NOVEMBA 2019 BADO TUNAANGALIA MZIGO HUU ULIOTIKISA NYOYO ZA WATU.....GONGA LIKEEEEEEEE TUJUANE
Mimi hapa
Umeona eeeh
Mimi apa
December kabisa 2019
na mimi apa
Nani bado 2021 bado anaitazama hii video?...kazi safi
Great music kazi safi sana bana we
I’m here after break up with my girlfriend so huu wimbo unanifariji..................
Yea moyo usukume damu sio vingine
nakumbuka siku wimbo huu unatoka audio, ndio siku mchumba wangu aliponitamkia hanitaki tena....nilijikuta nawaza mengi sana, wimbo huu umekua mfariji wangu sana....very heart touching.....
hahahahahahah.....pole
Pole sana swiry acha moyo usukume damu wala sio vyengine
Rorya Finest pole sana
asante +Happines Mwaipopo
pole dear
Huu wimbo ukisalitiwa ndounakoleaga kama Mimi Leo
🤣🤣🤣
😂😂😂😂🙌🙌🙌
Daaah!
😂😂😂👍
2020 tupo hapa kusikiliza hii kazi ya mwana muziki kutoka Moro town sio hawa wanaoimba ujanja ujanja et kufata soko linataka nini, huyu jamaa ni mult-talented🔥🔥
nice
2024 ngonga like hapo
Daaaa sijui niseme nini huu wimbo bado nasikiliza 2024
Great songs will always remain great forever,who else still watching this. ..,!?#LOVE from Bungoma Kenya
Ewe wase oli sina?
Sijawahi uchoka huu wimbo @ditto
Who else listenning this song on 2023🔥🔥likes plz
2023 bado naupenda
Moyo sukuma damu naipenda sana hiyi song mpaka sasa siichoki kuitazama
Hii nyimbo kwangu huwaga hainichoshi maana da!
Asia uko powa sana mashaallah😋
Nakupenda
Niko 2023 ndo napumzisha moyo wangu na hii song😢😂wueh it’s okay
Huu moyo mbona hausiki Jamani,kila kukicha kazi kufata ya mwili
Pole
Dito baba daaaa hivi nimimitu ninae angaria 2023
Hii ngoma hata umechana demu leo ukisikiliza unatuliza mukali ditto hakoseagi 9 December leo happy New year loading
Mm atakae pita hapa 2021 aachie licomment👌👌👌🔥🔥
Sukuma damu tuuu
@@mariamusiraju3289 Yes mamy love you
Naikubar
Jmn DITTO uko wp unatunyima raha tumekuzoea unatupoza roho zetu DITO pls rudi kwenye game roho zetu zitulie , tunakupenda mno rudi my friend.
Nan anasikiliza 2020 kama upo like jaman
Tupo
Ndio najiliwaza baada ya kuumizwa
Good song..
@@shabanidikalula8226 pole Sana
Ngoma kali
Moyo sukuma damu na sio vyengine 100%
Nyimbo yangu pendw pale nnaapo pitia magumu kwenye mahusiano 2023 sasa sukuma damu toka mwaka 2016.
2020 wangap tupo pamoja
Hii ngoma kali sanaaaaa
Kweli babaa
2023 We here!!!❤❤❤
"""Please Heart just do your job of pumping blood and nothing elsee,just pump the blood and dont mix with other things""
😂😂😂
Kama upo raiki ziwe nyingi
December 2020 mko wapi😘😘
Sukuma damu siyo vingine moyo usichanganye na vingine kama ume ihelewa hii gonga like
moyo sukuma damu c vngine maana ukijitia moyo machine utaja kufa bureee
Saa zingine pumzisha moyo na mambo mengi
2022 mekumbuka mno nani yuko anacheck mwaka huu agonge like za nguvu❤️💋
Wimbo unatisha
Nan bdo anaangalia hii ngoma Kam mm 2023 gonga likes hapa🎉
Lameck makes Swahili sound soo sweet
Big yes
2023 tulopumzisha moyo gonga like
Hakika wimbo huu unafariji...na kukufanya usonge mbele ...thanks lameck
Irene ulichonifanya poa tuu
Mimi niko 2024 ila bado huu wimbo unanifariji bado
Utakua ulipigwa tukio😂😂
@@samwelgetocho6913 tena kubwa sana yani wewe wacha tu
😮😮
Pole sanaa
@@LukasMgaigai poa kaka
Moyo sukuma damu si vingine
J'écoute ça jusqu'en 2022 super...
Sukuma damu si vingine sio poa 👌👌
2024
Tupo wengi tumepitia juu ya huu wimbo
Kweli kaka😪
2020 usisikilize ya mwili yatadanganya danganya MOYO#
Nipo 2024 na bado moyo unasukuma dam
I remember crying one morning after a painful heartbreak then hii song ikachezwa classic105 I swear this is all I wanted
JOYCE GACHUA Hi
@@tofikimpera687 hi
Are you ok
@@tofikimpera687 yes am okay
Call me whatssApp +255621283861
Moyo mbona usikilizi ukionywa? Kila siku unatamanishwa na mwili,fanya kazi moja ya kusukuma damu...... Am so heart broken 💔💔💔
bro we ni mkali wa masauti nyimbo iko poa adi naona wivu piga kaz kijana
Nmerudi 2022 kuutafuta yamenikuta
😂😂😂😂😂😂
Sukuma damu moyo si vingine ❤️❤️❤️❤️wimbo wa kufariji nafsi ❣️💞
Kweli kabisa
2023 bado tunaangalia tujuane ❤❤
very few views, kweli vizuri wanamiliki wachache..come on you Dito.
Kopwe H Zuberi exactly
Niko Berlin broooo ila ngoma yako inapenya maskion mwa wa tz wengi huku ujeruman mpk wazungu wanauliza mbona unaupenda huuu wimbo
jamaa yuko sahihi kabisa mahana moyo usukuma damu sivingine
Muda mwingine yatupasa kukubali matokeo, maana hakuna namna......hebu tuuache MOYO usukume damu tu sasa..#AMAZING SONG#
Nani yuko 2022 bado.nani kaelwa soma.kuhusu moyo
I love the song, whenever am hurtbroken the song inanituliza,aty moyo sukuma damu sO vingine 🥰❤️
Love you ditto💕💕💕
Niwangapi wameshaumizwa namapenzi kama Mimi ,mkisikia huu wimbo mnaruhusu moyo usukume dam
nikiwepo mm
Waa moyo wangu sukuma damu...
Wiki iliyopita niliwachwa bila sababu na nimeumia Sana ila leo huu wimbo umenifariji Sana Asante sana
Pol sana yatapita tu
2016 sitosahau 😢😢😢
well done bro! ditto thank u for your voice!! mungu azid kukuinua amen.
Sabby Magesse ameen 🙏
LameckDitto I like this song to much my broo you know kuanzia saut video mpaka mistar🔥🔥🔥🔥🙌sichoki kuiangali nairudia kila mda maana😘
LameckDitto safi kk
duh nyimbo kali baaa
Sabby Magesse wimbo mzuri mnooooo
Nimekubali na wew kaumekubali gonga like za kutosha thomass
that lady in that video did her part 100 percent.beaty and her acting is on another level.thumbs up
kwa kweri uliimba cjui km utatokea wimbo Wa kugusa mioyo inayoteseka na mapenzi love it
Nyimbo safi magoma safi na huyo binti amependeza sana.Its kind of refreshing kusikia music wa Kitanzania badala ya taarabu.Hivi hiyo culture ya uimbaji wa taarabu umetokea wapi?Congrats from the south pacific
Saaaaaaana😊😊
Yakikukuta ndo utajua
Aisee sasa naona wazi muziki wetu unaenda level nyingine Dito hii ngoma nikali balaa
Thabit Molly goburika.miwi siki
Tulio punzisha nyoyo zetu. Tudondosheni like zetu. Alafu tunaenda kujaribu kwengine.
Tupo my tunapumnzish mioy yt
Embu gonga like apa Kama na ww unasikiliza 2019✌️
napenda sana wimbo huu coz ni mzuri sana tena unafajiri roho za watu
Mecky Kyerux
Nimeamua kuskiza huu wimbo baada ya mrembo niliyempenda sana na kumwamini siku ya graduation college ndo twende tuoane boyfriend yake alimkujia na mpenzi wangu alinikana hadharani na akajigamba vile alitoa mimba yangu juu hainitaki,,,madriatrixe penye uko nakuombea,,,,,,,
Baadaye nikampata mwingine tukapendana sana na wakati wa kuoana ulipofika mamake alisema mtoi wake haezi oleka Kwa BOMA maskini,,,,,,,,,huo ndo wakati nliamua moyo wangu Sasa usukume damu si vingine
Thnx bro kwel kaz ya moyo n kusukuma damu hayo mengne n kiherehere chake tu,,,,hujawahi kukosea yan dah
daaah uko vzr Ditto
@@viruscrew6097 ex
Mzee Ditto huu wimbo wako utafutue kiingereza Mzee eimba songi la nguvu Sana litaendelea kuishi Sana this is how people'heart do, thank you for the nice song
Representing team +263 , Zimbabwe all the way ...we luv your music our friends kip up the gud work !!
TanaQa eti 40 million Zimbabwe cash ni 5 bob ya kenya? asking for my neighbor
NANCY Pretty 😂😂😂😂😂 makubwa hayaaa
People in Zimbabwe speak swahili?
2023 moyo sukuma damu si vingine
This song got me going after my Brakeup I love it.
Ati what.. Hehee
We are together in this breakup
Sisemi kitu
Bro siyo wewe tuu hahaha . Ata mm hukuu sichoki to listen on it. Bwaaahhhhhhhhh
naukubali sana wimbo huu
niseme tu kirahisi akhsante kwa Ujumbe ulioshiba
Mgaywa K. Saidi hii mashine kakaaa hatariii
Umeona eee!
Balaaa iii nyimbo nimekuta mtu anachez mpka nimeitFuta❤
Hit song kwangu mpaka leo 2020
you've just spoken to my me
wacha roho yangu isukume damu pia
2024 my heart is still pumping blood at rate full of peace and happiness 😀😘
Moyo sukuma damu hapo patamu 😭😭😭😭🤚
2023🎶🎶
moyo sukuma damu c vngine.much respect 4u ditto
Kweri sukumadamu sio kinyesi
nomaaa
Vp
Still watching this in 2023❤️
moyo sukuma damu sivingine
Ditto atari ❤❤
nipo Australia ila nikisikua winbo wa nyumbani unavyo pigwa najihisi raha najihisi nimefika tiari kumbe bado miss home somuch😢😢
Maria Maya unafulaish
Kabisaa kila kitu mwilini kifanye kazi yake. ..Amani ni kitu KIKUBWA sana na cha dhamanii. ....Ubarikiwe san nyimbo nzurii sanaa
Jaman upo Australia 🇦🇺