KIMEUMANA,DR SULLE ALIVYOSAHAU AYA YA BIBLIA MBELE YA MCH,NDACHA VIFUNGO VYA QURANI NA BIBLIA VYA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 25

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 3 місяці тому +4

    Wamejibiwa vizuri sana hao waislam uchwara. Tena wamejibiwa kwa vifungu zaid ya kimoja. Waislam wanakaza kichwa ila hoja zimenyooka sana. Wangeelewa wanachoambiwa hapo kila mstari ni point ❤❤❤

    • @binseif2216
      @binseif2216 3 місяці тому

      Alhamdulillah waislamu tunakitabu kimenyooka na wakristo wenginwanasilimu mpka ulaya yanauzwa makanisa nakubadili mskiti

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 3 місяці тому +2

    Ila hukumu ya Mungu itakuwa juu yenu kwa kuwapotosha watu nyie watu,Dawa ni kumkiri tu huyu Bwana Yesu atasamehe yote

  • @singanoatanasi1994
    @singanoatanasi1994 3 місяці тому +2

    jaman walimu wa kiislam msije kulalamika siku ya kihama hizo hoja mnazo kazania kumkataa YESU KRISTO mtazionea haya mkijua ukweli siku io kweli ni wapinga kristo aisee

    • @KhamisMdzomba-w6h
      @KhamisMdzomba-w6h 3 місяці тому

      Hatumkatai Yesu ila tunakataa madai ya wakristo kwamba Yesu ni Mungu na mwana wa Mungu

  • @DakorTrony
    @DakorTrony 2 місяці тому

    Dr. Sule wa majini hana kitu. Majini na shetani hawawezi shinda nguvu za mungu

  • @abelmoturi52
    @abelmoturi52 3 місяці тому

    Wapi andiko Mungu akaumba kwanza roho

  • @abasingaruka1872
    @abasingaruka1872 17 днів тому

    Sule acha kulazimisha na vitu ambavyo havikusaiidii, Inaonyesha unapinga vitabu vya Mungu na vitabu vyako we vipi,

  • @binseif2216
    @binseif2216 3 місяці тому

    Wakristo wanadharau,Ndacha akisahau andiko waislamu hawacheki,lkn Dr sule akisahau wao hucheka yaani ujue kuwa wapo kishabiki

  • @JacksonMustapha-cw2mh
    @JacksonMustapha-cw2mh 3 місяці тому

    Nyie simnadai kuwa yusu nimwanadam ww kafe jalafutuon kama utafufuka fikilieni

  • @binseif2216
    @binseif2216 3 місяці тому

    Mungu yesu kapigwa kofi😂😂

  • @binseif2216
    @binseif2216 3 місяці тому

    Am proud to be muslim

  • @binseif2216
    @binseif2216 3 місяці тому

    Yaani wakristo wajinga sana,wanapiga makofi yesu kumponya mtu kwa uwezo wa Mungu😂😂😂wanaamini huyohuyo Mungu ndo yesu mwenyewe

    • @RoseMuniss-y5q
      @RoseMuniss-y5q Місяць тому

      Bas tuonyeshe wewe kwenye quruani wap Mohamed alpo ya au akamfufua mtu au akamtoa mtu Pepo au Jin...leta aya

  • @JacksonMustapha-cw2mh
    @JacksonMustapha-cw2mh 3 місяці тому

    Waisilamu niwaulize swali mhamed ninan ?

    • @SaleheKijazy
      @SaleheKijazy 3 місяці тому

      Ni mtume wa watu wote. Lkn yesu ni wa izraeli tuu.

    • @kombomakame9541
      @kombomakame9541 3 місяці тому

      مُحَمَّدٌ رَسُولُ اللَّهِ ۚ وَالَّذِينَ مَعَهُ أَشِدَّاءُ عَلَى الْكُفَّارِ رُحَمَاءُ بَيْنَهُمْ ۖ تَرَاهُمْ رُكَّعًا سُجَّدًا يَبْتَغُونَ فَضْلًا مِنَ اللَّهِ وَرِضْوَانًا ۖ سِيمَاهُمْ فِي وُجُوهِهِمْ مِنْ أَثَرِ السُّجُودِ ۚ ذَٰلِكَ مَثَلُهُمْ فِي التَّوْرَاةِ ۚ وَمَثَلُهُمْ فِي الْإِنْجِيلِ كَزَرْعٍ أَخْرَجَ شَطْأَهُ فَآزَرَهُ فَاسْتَغْلَظَ فَاسْتَوَىٰ عَلَىٰ سُوقِهِ يُعْجِبُ الزُّرَّاعَ لِيَغِيظَ بِهِمُ الْكُفَّارَ ۗ وَعَدَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ مِنْهُمْ مَغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا(48:29 Quran)
      Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu, ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa.(48:29 Quran)

    • @kombomakame9541
      @kombomakame9541 3 місяці тому

      Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. (48:29 Quran)

    • @binseif2216
      @binseif2216 3 місяці тому

      Ukitaka kumjua Muhammad nanani soma Quran na bible lile andiko (kisha nikaona mbingu zinafunguka nikaona farasi mweupe na aliepanda kavaa mavazi meupe na upanga mkali na kwenye upanga huo pameandikwa mkweli mwaminifu)fatlia history ya Mtume SAW

    • @binseif2216
      @binseif2216 3 місяці тому

      Ufunuo wa Yohana