Jesus is the only way that all human beings should submit their life to hime... because he is the only one who is offering eternal life..if u need the way to haven u should abide with him...If u need to see Father u should see him first...if u want righteousness and sin forgive u should submit to him as a high priest... There is no way that u can escape to Jesus..no way
Uislamu ni njia ya Mola wako iliyo nyoyoka. Islam has no drama it’s a straight forward religion with all the answers to humanity. You ask you get the straight answer from the Koran.
Ustadh Ramadhan May Allah Azza wajjal reward you abundantly Allahumma Ameen coz the work you’re doing is very tough and convincing people it is very challenging ,May Allah makes it easier for you akhi Allahumma AMEEN.
Ndugu zangu waislam.Tuombe saana ALLAH atufishe hali ya kuwa ni waislam wa kweli.Afadhar ukose mali, watoto lakini usiwe kwenye ukafir kama huu..Inauma sana ummat MUHAMMAD REHMA ZA ALLAH ZIWE JUU YAKE unapotea na kuangamia kwa kuipenda dunia.Laa haula walaaquwata illa billah.
Watching this from green and spice island Zanzibar, hatimae Ndacha anakutana na watu walio mzidi hapati jibu sahihi juu ya maswali yake. Ili Ndacha asiteseke awe muislamu tu.
Assallam aleikum shekhe wangu woooi yani 100 percent ukristo sio dini yani wamechanganyikiwa wote hawana muelekeo haki wafundishe ukweli wa Quran na Allah akufungulie mlango wa peponi inshaaAllah
Asalam aleikum sheikh Ramadan tunakushuru sana Kwa hio kazi kubwa lakn Nina maoni yoyote akiuliza swali yake naomba lijibiwe vizuri apate kuulewa vizuri hayifayi kuruka na mwengine kama huyo ajaelewa vizuri Kwa nfano huo aliye ulizia kwanini Muna swali Kwa mikeka na Kwa Nini munavaa kanzu hokumpa jawabu vizuri apate kuulewa. Otherwise Kwa menging mengine tuna appreciate sana mola awazidishie Kila kheri.
Harun was Jewish, brother to Moses,, Jews more so Judaism the first religion, difference between Christianity and Islam is 700 years.but in Islam, infidels must be punished
ivi vizee vimechanganyikiwa,.. njaa itawauwa washenzi nyie,.. mara yesu, mara nabii,. nabii anavaa kapelo, nabii anakuwa mchafu ivo puumbavu !! kwenye uislamu hakuna huu upuuzi,. proud to be a muslim haki
Shekhe Ramadhani mbona Ndacha kakuganda vipi ataka atowe shahada nini ? Namuombea kwa Allah Ndacha amuongoze Ndacha atoke kwenye shirki na kufru kabla ya umauti kumfika In shaa Allah.
YESU Ni MFALME wa wafalme na atatawala milele andaeni njia maana anarudi kuchukua wanao mtafuta kwa kweli, na ukijiunga na uislam jeanamu inakungoja😭😭😭😭😭😭 don't try it
To a point the writers of the Bible we’re thinking to even come up with the name to call God. They had to think and debate, they took out thousands of names to come up with the present day bible.
@Joseph Musagasa Uislam hauitaji watu kwasababu Uislam ni Dini ya kweli aliyo ileta Mwenyezi Mungu. Watu ndio tunahitaji kuwa waislamu ili tuende Peponi ( Paradise, Jannah). Viongozi wetu wa Kiislam wakipita mitaani wanafundisha watu wamjuwe Mungu mmoja wa kweli na watu waache shirki na kuabudu viumbe bali wamuabudu Mwenyezi Mungu mmoja tu alie umba mbigu na ardhi nasio kuabudu Mungu wa tatu au Miungu wengi.
#JisephMusagasa,wanafuta Wenye hawajielewi Wala Hata huo uislamu Hawaujui Alafu wanasema ati ni Wakristo 🤣😂 Sasa Mimi vyenye nimejua uislamu na vituko vyake hata Kwa madawa Hakuna MTU anaweza niconfuse hata Kwa risasi 😆
#JosephMusagara, ndio ujue ni waislamu kwa majina walindanganywa tu, ebu sikiza mwingine alikuwa kwa mkutano wa akina Onyango juzi pale roundabout 😁ndio ujue hata Qo'ran yao hawasomangi wala hawaelewi na ati amezaliwa Muislamu 🤣🤣🤣
@@kadhyanassor5046 nyie mmelewa uarabu,hamjui mwendako. Huyo mtume ambaye alioa mtoto wa miaka 6 na kumuingilia akiwa na miaka 9,angeyafanya mkristo ungekuwa wimbo kila siku. Je,huyo mnayemfuata kwa tendo hilo alikuwa sawa?
1 Wakorintho 11:3,7 [3]Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu. But I would have you know, that the head of every man is Christ; and the head of the woman is the man; and the head of Christ is God. [7]Kwa maana kweli haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu yeye ni mfano na utukufu wa Mungu. Lakini mwanamke ni utukufu wa mwanamume. For a man indeed ought not to cover his head, forasmuch as he is the image and glory of God: but the woman is the glory of the man.
Mwalim ramachandra,Allah akure maisha ref,kwasa7bu Dunia savi imefunikwa namapambo yadunia,halipo lile kundi alilolisema Allah yakwmba@liwepo kundi miongon menu wenye kuamrisha woman nakukatza machafu....
Mungu hafi..mungu halali...yesu alikuja duniani akiwa na umbo la binadamu..ina maana alikuwa na madhaifu ya kibinadamu ndo maana akafa lakini akafufuka
Haya maneno anayosema huyu Yohana sio ya ukweli kamwe. Yesu ni mwana wa Mungu na ndiye mfalme wa wafalme. hakuna mwingine hila yeye ndiye njia ya uzima milele na milele. msidanganyike. haya ni mafunzo potovu.
2Timothy2:14 Remind others about this thing,and warn them before God not to argue over words.Arguing does not do any good but only destroy those who are listening.
Sheikh Ramadhan tafadhali muonyesha Mheshimwa Ndacha na wengineo mahala Nabii Issa bin Mariam aliposema Mtume wa Mwisho Nabii Mhamad atatumwa na Allah Kuleta Amani na kuondoa Dhuluma na kurekebisha yote yaliyobadilishwa kwenye Zaburi, Taurati na Injili.
Hio torati na zaburi na hinjili,uko na oringino na iliariviwa Hama utuo haya hinasema mwemedi Dio wa mwizo waslimu ni makafiri unasema mungu Hana mwana Quran himeteremucwa na adui wa jivile
Hhhhh😅 Ndacha ameshanga Na Ame chaganyikiwa Thanks akhaanaa ramadaan kuria فعلت ما بوسعك والله يهدى من يشاء وإليه المرجع والمئاب بارك الله فيك وأحسن إليك لا تحزنوا الله معنا الإسلام يعلو ولا يعلى عليه وصلى الله على نبينا محمد وآله وصحبه أجمعين
Mm ni mkisto napenda dini yangu,Mungu aliniumba akaniweka kwa dini ya ukristo angetaka niwe muislamu angenipa Baba muislamu mama muislamu,na yesu ata baki yesu Mwana wa Mungu kivyovyote,ata apingwe afanywje ata baki Mwana wa Mungu,halafu imani yako ndio itakuponya siku ya kiama,huwe mkristo huwe mjamaika,huwe budiz huwe muislamu huwe nani,sisi wote ni wa MUNGU na Mungu ndiye ajuae Ukweli yote.Mungu wa vyumbe vyote asifiwe katika jina la yesu Amen
Woiwoi wewe unafuata wazazi juu ni wakristo sio mungu alikuweka..so ungepata ni washirikina?..ungewajoin tu?...na ukisoma bibilia vizuri utapata kua yesu na manabii wote walikua waislamu..na pia jaribu umsifu mungu direct juu anakujua direct..nakuambia kwa upole sio kuzua vita..tunafundishana
@@Hi_20206 na Jua sio Vita lakini shida nikuwa waislamu wanataka watu wote wakue waislamu,pia na fwata wazazi wangu juu nakumbuka nikiwa mdogo nilikwa mgonjwa hapa na hapa nilipelekwa hospitali kubwa kubwa sikupona Ile siku mamangu aliniambia piga magotibtuombe aliniombe na la mwisho akasema katika jina la yesu mwanangu apate uponyaji,kweli MUNGU ni shaidi yangu nili pona,toka hiyo siku nilimkaribisha yesu Kristo ndani ya Maisha yangu,na Hadi sai ni mkubwa nimezaa watoto wa will Hadi mwisho wa Maisha yangu I believe in God in Jesus name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nikipata mtu mbele yangu anjisifia dini yake akidharau yangu Nitamlima kofi hadi ajisahau mwenyewe😡😡😡kila mtu ashughulike na Imani yake tumngoje aliye juu sana mwenyezi MUNGU Ili aje kutuhukumu mwenyewe Imani si dini ,ila ni kufuata njia za mwenyezi MUNGU 😡😡
Mimi naendelea na kusema wamama wotee wa western wenye wako na mimba wajunguzwe sanaa kabla hawajazaa juu walizaa yehova wakasaa yesu wakasaa yohana wa tano sasa utasikia wamesaa shetani. SI UTAZIKIA WESTERN NDIO MAKAO MAKUU YA SHETANI YESU ANAHUKUMU WAKIWEKWA JEHANAMU.
Yohana mwenyewe alikuwa na doubt kama kweli Yesu ndiye alikuwa mwana wa Mungu aliyesubiriwa 😂. Akiwa gerezani akawatuma mitume wa Yesu wakamuulize "muulizeni... Mseme kuwa yeye ndiye Mwana wa Mungu aliyekuwa anakuja, au tungoje mtu mwingine...?" 😅. Kumaanisha alimbatiza bila Imani kama kweli ndiye Mwana wa Mungu aliyekuwa ameambiwa atangaze mapito yatengezwe yuaja 😆.
Am a Christian, but I have to admit that I love Islam teachings
.. I love what your doing bro.. Marshallah..
Bro try to follow him and some other religious comparative scholars and you will able to make a choice inshaAllah
Jesus is the only way that all human beings should submit their life to hime... because he is the only one who is offering eternal life..if u need the way to haven u should abide with him...If u need to see Father u should see him first...if u want righteousness and sin forgive u should submit to him as a high priest...
There is no way that u can escape to Jesus..no way
Uislamu ni njia ya Mola wako iliyo nyoyoka. Islam has no drama it’s a straight forward religion with all the answers to humanity. You ask you get the straight answer from the Koran.
Wow❤️❤️❤️❤️
Welcome to Islam dear wangu
Ustadh Ramadhan May Allah Azza wajjal reward you abundantly Allahumma Ameen coz the work you’re doing is very tough and convincing people it is very challenging ,May Allah makes it easier for you akhi
Allahumma AMEEN.
Allahummah aamiin yaa Rabbul aamiin!!
Jazakallahu kheir sheikh Ramadan Allah awaongoze wajue ukweli
Ndugu zangu waislam.Tuombe saana ALLAH atufishe hali ya kuwa ni waislam wa kweli.Afadhar ukose mali, watoto lakini usiwe kwenye ukafir kama huu..Inauma sana ummat MUHAMMAD REHMA ZA ALLAH ZIWE JUU YAKE unapotea na kuangamia kwa kuipenda dunia.Laa haula walaaquwata illa billah.
Allahumma aameen yaarabb al alamiin
Kweli ndugu...Allah atufishe ilhali tuwaislamu sisi na watoto wetu na waislamu kwa jumla
Alhamdulilah kwa dini hii ya ukweli ya uislamu
Aamin yarab
Hehe kujichocha nayo 😂😂😂😂
Maa shaa Allah
Sheikh Ramadhan Allah akutangulie kila khatwa yako.
Mumependeza mukiwa na kaka Ndacha ataposilimu mutafanya kazi ya Allah pamoja.
Ameen
Amiin
Masha allahy Sheikh Ramadhani Mungu akupatie nguvu zzaidi zakuwaelimisha dini yakweli
Watching this from green and spice island Zanzibar, hatimae Ndacha anakutana na watu walio mzidi hapati jibu sahihi juu ya maswali yake. Ili Ndacha asiteseke awe muislamu tu.
Haingii uislam
@@Catherine-mh8sw Hakuna ulazima wa kuingia ila ujumbe ni lazima kumfikishia.
Mungu azidi kumpa hekima na asiingie uisilamu dini ya majini
Mshalah sheikh ramadan kuria bin kaguo umefikisha dawa watu wengi siku ya misho mungu anajua umefikisha
Allah akujaalie umri mrefu ndgu yet ktk imani🙏
Mashallah masheikh Allah awalipe dunia na akhira waislamu hatuna jibu kesho mbele ya Allah koz wengi hawajaijua dini
Assallam aleikum shekhe wangu woooi yani 100 percent ukristo sio dini yani wamechanganyikiwa wote hawana muelekeo haki wafundishe ukweli wa Quran na Allah akufungulie mlango wa peponi inshaaAllah
Allahumma Aamin 🤲
Alhamdhullilah Allah kunijalia kua Muislam 🤲 na nijalia kurudi kwako hali yakua badoo ni Muislamu
Asalam aleikum sheikh Ramadan tunakushuru sana Kwa hio kazi kubwa lakn Nina maoni yoyote akiuliza swali yake naomba lijibiwe vizuri apate kuulewa vizuri hayifayi kuruka na mwengine kama huyo ajaelewa vizuri Kwa nfano huo aliye ulizia kwanini Muna swali Kwa mikeka na Kwa Nini munavaa kanzu hokumpa jawabu vizuri apate kuulewa. Otherwise Kwa menging mengine tuna appreciate sana mola awazidishie Kila kheri.
asalam alykum www siyo mutu wote anapata bahati yakuwa mwislam mungu njo anaongoza mwenye anataka ndacha abaki uko kanisani azidi kukufuru
Ubarikiwe shehi ramadhan kwa sababu ndacha anatoka jasho kwa wakristo wezake mpaka ameshindwa kuutetea wala haelewi Léo yuko na hoyana mbatizaji eti
Mungu mmoja ndani ya viumbe vitatu Mungu baba,Mungu mwana,Mungu roho mtakatifu.
Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,
Allah awaongoze wasiyo kuwa waislam, na nyinyi Allah awapeni afya na nguvu, na awalindeni, Ameen!
Masha Allah dawa inaendelea ishallah
Namuombea ndacha mungu amwinyeshe dini ya sahihi kwa hizi visa za kustaajabisha kwa sababu ndacha ni jamaa ako na akili
Yani mi hata uwa simuelewi huyu ndacha cjui ako na matatizo gani.
Mashallah mashallah mashallah mashallah,, ramadhan kuria bin kaguoo,, Allah akuongoze vyemaaa kwa Kaz njema
Ustadh Ramadan mungu akulipe kheri inshallah usichoke kuwafundisha
Sheikh Ramadan pongezi sana Allah akupee Afyaa na muda mrefu
Harun was Jewish, brother to Moses,, Jews more so Judaism the first religion, difference between Christianity and Islam is 700 years.but in Islam, infidels must be punished
@@simpsonisoe8994 Come to Islam the true religion of ALLAH
Jazaakallah khayrii shekh
MASHAA ALLAH ❤❤
Ndacha na Ramadhan wana hekima na maarifa sana kwa kuuliza maswali ,
wote wa kikuyu
@@sirpleasureb 😅😅
Mungu mjalie lamazan
Mashallah Allah akujalie kila kheri kakaetu Ramadhan
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
Mimi kama mkristo nakubaliana na KAZI ya Ramadhan japo siamini uislamu ni njia ya mungu
Itabidi usome zaidi na uweke akili waazi kabisa kukubali ukweli
Kiswahili mufti kwa hawa watu wa Bungoma. Hongera
mashallah mashallah Allah akujaalie kher inshaallh
Kwani apa kuna magombano ya Mungu AMA nijwae juu mimi na jwa JEHOVA numbe kuna Mungu mwingine Napenda YESU ONLY the way Waislamu ni mpinga CHRISTO
Mashaallah 💯💯💯
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
I wish we could earnestly practise what we believe without trying to disapprove what others believe.
Yesu ndio Mungu Wa kweli Na hakuna mwingine
ivi vizee vimechanganyikiwa,.. njaa itawauwa washenzi nyie,.. mara yesu, mara nabii,. nabii anavaa kapelo, nabii anakuwa mchafu ivo puumbavu !! kwenye uislamu hakuna huu upuuzi,. proud to be a muslim haki
Nimuchapa kazi kweli kakini yohani 40wake gapi rakini watoto miyatanu wajuku 600
Subhaana Allah!
😂😂😂 Mtu wa wa mungu kibarua kikubwa hicho mungu atusaidie
Shekhe Ramadhani mbona Ndacha kakuganda vipi ataka atowe shahada nini ? Namuombea kwa Allah Ndacha amuongoze Ndacha atoke kwenye shirki na kufru kabla ya umauti kumfika In shaa Allah.
Ila hatoki ukristo
@@Catherine-mh8sw ukristo ni biashara siku akichoka kufanya biashara haramu ya kula sadaka za wakristo ataslim in shaa Allah.
@@nakundwamkubwe7823 mwenyezi Mungu amuongoze
@@Catherine-mh8sw Amiin
Bila kumkiri yesu kua ndo mwokozi njia ya pekee iliyonyooka waislam wote moton ila atakaemfanya yesu kua ndo njia ya pekee huyo ataiona pepo
YESU Ni MFALME wa wafalme na atatawala milele andaeni njia maana anarudi kuchukua wanao mtafuta kwa kweli, na ukijiunga na uislam jeanamu inakungoja😭😭😭😭😭😭 don't try it
To a point the writers of the Bible we’re thinking to even come up with the name to call God. They had to think and debate, they took out thousands of names to come up with the present day bible.
Kenya kuna vituko kwelikweli,mara yesu,mara mungu,mara nabii na sasa waislamu wanatafuta wakristo mitaani ili wawe waislamu. Mmezidi vituko
@Joseph Musagasa Uislam hauitaji watu kwasababu Uislam ni Dini ya kweli aliyo ileta Mwenyezi Mungu. Watu ndio tunahitaji kuwa waislamu ili tuende Peponi ( Paradise, Jannah). Viongozi wetu wa Kiislam wakipita mitaani wanafundisha watu wamjuwe Mungu mmoja wa kweli na watu waache shirki na kuabudu viumbe bali wamuabudu Mwenyezi Mungu mmoja tu alie umba mbigu na ardhi nasio kuabudu Mungu wa tatu au Miungu wengi.
#JisephMusagasa,wanafuta Wenye hawajielewi Wala Hata huo uislamu Hawaujui Alafu wanasema ati ni Wakristo 🤣😂 Sasa Mimi vyenye nimejua uislamu na vituko vyake hata Kwa madawa Hakuna MTU anaweza niconfuse hata Kwa risasi 😆
#JosephMusagara, ndio ujue ni waislamu kwa majina walindanganywa tu, ebu sikiza mwingine alikuwa kwa mkutano wa akina Onyango juzi pale roundabout 😁ndio ujue hata Qo'ran yao hawasomangi wala hawaelewi na ati amezaliwa Muislamu 🤣🤣🤣
@@nakundwamkubwe7823 kwahiyo kabla ya Mohammed kuleta kuran wanadamu kabla yake na mafundisho ya Kristo wote walikuwa hawajui waendako?
@@kadhyanassor5046 nyie mmelewa uarabu,hamjui mwendako. Huyo mtume ambaye alioa mtoto wa miaka 6 na kumuingilia akiwa na miaka 9,angeyafanya mkristo ungekuwa wimbo kila siku. Je,huyo mnayemfuata kwa tendo hilo alikuwa sawa?
nimepend hyo conversation ya yohana ndacha ALLAH AKUZIDISHIE SHEIKH RAMADHAN
I need to join islam .....kwa imani yote na nimukumbali mutume mohammed ndio wa mwisho niko eldoret
Karibu kwenye Uislam
Mungu akuongoze kaka angu ila baadae uusome uislamu ili ujuwe mengi na nna imani utaupenda tu
Waislamu wapinga kristo tu
1 Wakorintho 11:3,7
[3]Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.
But I would have you know, that the head of every man is Christ; and the head of the woman is the man; and the head of Christ is God.
[7]Kwa maana kweli haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu yeye ni mfano na utukufu wa Mungu. Lakini mwanamke ni utukufu wa mwanamume.
For a man indeed ought not to cover his head, forasmuch as he is the image and glory of God: but the woman is the glory of the man.
Mashallah ALLAH AKBAR
Hongera Babu Yohana kwa kuongeza familia
Ramadhan ALLAH SW akuhifadhi duniani na akhra maana wewe ni kiboko yao
😂😂😂😂😂 nimecheka hustadhi ramadhan nawaombeya tote ALLAH awaongoze kwanjia yahaki insha Allah
MASHA ALLAH
Daaah!!! Yohana wamchongo huyo mwalimu ndacha Mungu akubaliki
Mwalim ramachandra,Allah akure maisha ref,kwasa7bu Dunia savi imefunikwa namapambo yadunia,halipo lile kundi alilolisema Allah yakwmba@liwepo kundi miongon menu wenye kuamrisha woman nakukatza machafu....
Aamin Yaarabbi
Mungu hafi..mungu halali...yesu alikuja duniani akiwa na umbo la binadamu..ina maana alikuwa na madhaifu ya kibinadamu ndo maana akafa lakini akafufuka
😂
Haya maneno anayosema huyu Yohana sio ya ukweli kamwe. Yesu ni mwana wa Mungu na ndiye mfalme wa wafalme. hakuna mwingine hila yeye ndiye njia ya uzima milele na milele. msidanganyike. haya ni mafunzo potovu.
2Timothy2:14
Remind others about this thing,and warn them before God not to argue over words.Arguing does not do any good but only destroy those who are listening.
Mwalimu ndacha mungu akuongoze kila hatua unayoichukuwa kwa kutetea Imani ya kwel
Bado nae hayupo imani ya sawa!!! Hakika dini ya haki mbele ya Mwenyez Mungu ni uislamu tu na hatokubaliwa mtu na dini nyingine tofaut na iyo
Hayo ni maneno ya mashetani
Sheikh Ramadhan tafadhali muonyesha Mheshimwa Ndacha na wengineo mahala Nabii Issa bin Mariam aliposema Mtume wa Mwisho Nabii Mhamad atatumwa na Allah
Kuleta Amani na kuondoa Dhuluma na kurekebisha yote yaliyobadilishwa kwenye Zaburi, Taurati na Injili.
Hio torati na zaburi na hinjili,uko na oringino na iliariviwa Hama utuo haya hinasema mwemedi Dio wa mwizo waslimu ni makafiri unasema mungu Hana mwana Quran himeteremucwa na adui wa jivile
@@felixgitonga6783 hata uandishi wako haueleweki ni kiswahili au kizungu naona uwemo tu na wewe ikiwa huelewi kaa kimya
Sidhan km inapendeza mtu anaeitia watu kwny ukafiri ukamwita mheshimiwa
@@felixgitonga6783 jitahd kwnz ujifunze kusoma alaf ujifunze maandiko ndo sasa uje kucomment
Bila yesu hakuna atakaeiona pepo enyi ndugu zangu waislam yesu ndyo njia hata Quran imeandikwa kasome uelewe
Hhhhh😅
Ndacha ameshanga
Na
Ame chaganyikiwa
Thanks akhaanaa ramadaan kuria
فعلت ما بوسعك والله يهدى من يشاء وإليه المرجع والمئاب
بارك الله فيك وأحسن إليك لا تحزنوا الله معنا
الإسلام يعلو ولا يعلى عليه
وصلى الله على نبينا محمد وآله وصحبه أجمعين
😮hawa watu wako sawa kweli subhaana Allah
Mzee anasema kaukweli kidogo😂❤❤
Assalam alleykum. Bin Kaguo, mpleke mperampera huyo Abujahal.... Lazima apate adhabu ya kusingizia Roho
Allah Akbar sherk Ramadhan kazi unayo challenge ya msristo kwa mkristo
Aki western people full of comedys,,,u never dissapoints😂😂
Huyu Yohana si mkristo. Alisema straight
Ukristo is complicated haki. You see many weird stories.
Mm ni mkisto napenda dini yangu,Mungu aliniumba akaniweka kwa dini ya ukristo angetaka niwe muislamu angenipa Baba muislamu mama muislamu,na yesu ata baki yesu Mwana wa Mungu kivyovyote,ata apingwe afanywje ata baki Mwana wa Mungu,halafu imani yako ndio itakuponya siku ya kiama,huwe mkristo huwe mjamaika,huwe budiz huwe muislamu huwe nani,sisi wote ni wa MUNGU na Mungu ndiye ajuae Ukweli yote.Mungu wa vyumbe vyote asifiwe katika jina la yesu Amen
Woiwoi wewe unafuata wazazi juu ni wakristo sio mungu alikuweka..so ungepata ni washirikina?..ungewajoin tu?...na ukisoma bibilia vizuri utapata kua yesu na manabii wote walikua waislamu..na pia jaribu umsifu mungu direct juu anakujua direct..nakuambia kwa upole sio kuzua vita..tunafundishana
@@Hi_20206 na Jua sio Vita lakini shida nikuwa waislamu wanataka watu wote wakue waislamu,pia na fwata wazazi wangu juu nakumbuka nikiwa mdogo nilikwa mgonjwa hapa na hapa nilipelekwa hospitali kubwa kubwa sikupona Ile siku mamangu aliniambia piga magotibtuombe aliniombe na la mwisho akasema katika jina la yesu mwanangu apate uponyaji,kweli MUNGU ni shaidi yangu nili pona,toka hiyo siku nilimkaribisha yesu Kristo ndani ya Maisha yangu,na Hadi sai ni mkubwa nimezaa watoto wa will Hadi mwisho wa Maisha yangu I believe in God in Jesus name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@@Hi_20206 ni kwel hata mzaz wake angekuwa mshirikina pia angemfata
Dini haifatw kwa kutizama wazaz au mtu ndugu, ifate haki ilipo hata km wazaz wapo upande mwngne
@@ramadhanisalum3548 shukran
Wasubiri hukum ya Mungu....maana wanamshuhudia Mungu uongo...na Mungu ni Mtakatifu....
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kenya Kenya Kenya nakuita mara tatu na ya nne Kenya ama kweli Wonders shall never end.dar jaman hizi ni nyakati za mwisho
Mungu ako kwa utatu; mungu baba mungu mwana na roho mtakatifu
Eeeeh jmn kwann lkn😢😢😢 Msiba mkubwa
😂😂😂😂jamani vituko mungu awape wepes inshallah musichoke kuwatembelea hao viumbe
59:58mins Yaaani Yesu wetu ule wa Tongaren sio yesu
Hhhh nimeshanga sana huyu mkristo anakata ukweli really hyu ni mjinga kabisa mungu aongoze
Assalam alaykum warahmatulullah wabarkatu, tume furai n'a Dawa
With time ntaslimu inshallah 😊
❤
Mzee naye ameitwa katika kituo cha polisi ili kutoa taarifa kuhusu dini yake ya Muungano😅
Yesu na yohana wako sawa, Herode tu ndio amechele kumkata kichwa, na yesu wa tongaren asulubiwe.
Wee mristo na mristo wanapambana kweli shekhe yetu ni jicho na vizuri sana wakaribishe kwa dini ya haki
Umemkuta Mamuma Mwenzio Yesu ; Yesu alipokuja Duniani alivaa mwili
Bibilia ilitabiri kweli kutakuwa na nabii waungo
Waluhya Mutatumaliza,eti Yesu na Yohana ni Waluhya
Messiah is truly coming
Asc ustadh ramadhan,, ManshaAllah best content,,,
Nikipata mtu mbele yangu anjisifia dini yake akidharau yangu
Nitamlima kofi hadi ajisahau mwenyewe😡😡😡kila mtu ashughulike na Imani yake tumngoje aliye juu sana mwenyezi MUNGU
Ili aje kutuhukumu mwenyewe
Imani si dini ,ila ni kufuata njia za mwenyezi MUNGU 😡😡
Ww n kaviri basi na uwezi ona ufalme wake maana asiejua mungu ndiye upigana
@@maundu441 kafiri ni wewe na watu wa kwenu
@@d.abigail.j4127 kusema ukweli wanaopigana Awana uzima,, imeadikwa hukumu n kwa mungu we n nan unapigania mungu Kwan mungu wako ajiwezi
Huko Kenya naona wazee wamezidisha bangi,, Yaani Kenya muwe na Yesu tena anaishi tongaren na huyo sasa Yohana mbatizaji
HUYU YOHANA NA YESU NIWASANI NANIWATU HAWASHINDWI NALAKUJIBU KAMA KAZI MUNGU MAPENZI YA MUNGU NANDIO HIVYO HIVYO
Ndacha anakubali huyu ni yohana mbatizaji 😂😂 wa amemkubali yohana kwa njia ya kando😊
Mimi naendelea na kusema wamama wotee wa western wenye wako na mimba wajunguzwe sanaa kabla hawajazaa juu walizaa yehova wakasaa yesu wakasaa yohana wa tano sasa utasikia wamesaa shetani. SI UTAZIKIA WESTERN NDIO MAKAO MAKUU YA SHETANI YESU ANAHUKUMU WAKIWEKWA JEHANAMU.
Kila ukipatana na ndocha anakushinda sasa wew utatakiwa kuwa mkristo to .
Yohana mwenyewe alikuwa na doubt kama kweli Yesu ndiye alikuwa mwana wa Mungu aliyesubiriwa 😂. Akiwa gerezani akawatuma mitume wa Yesu wakamuulize "muulizeni... Mseme kuwa yeye ndiye Mwana wa Mungu aliyekuwa anakuja, au tungoje mtu mwingine...?" 😅. Kumaanisha alimbatiza bila Imani kama kweli ndiye Mwana wa Mungu aliyekuwa ameambiwa atangaze mapito yatengezwe yuaja 😆.
Waislamu wanujua sheria mbili tu, kuwsali na na kufunga. Watu roho mbaya, wenye matusi, wauaji, wajeuri, wasio na huruma etc
Inaonekana sheikh ramadan amepata mwenziyo wa kumsaidia kufanya da'wah pamoja naye😅
Kabisaa. Kakaa kuleee pembeni 😁
Anasubir wakubaliane au apatikane mshindi mmoja alafu ndo apambane nae sasa
Hii bibilia ya kiswahili mnasoma ni version ngani nikainunue nimeipeda sana.plz reply
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣duuuu jamani hiii dunia imeisha daaa yohana Ako na wake wangapi😝😝😝😝
Ramadani unafanya kazi mzuri
Swali la kizushi shekhe kwa malikia. 😂😂😂na anawaweza wote.
NABII MPENDA WANAWAKE HUYU JAMANI NI HATARI SANA
Asalama alaikum mbona hatuoni ni giza tu hapa
I normally feel guda guda watching your show