LAZIMA MUJARIBU! Keki ya MAMA Zetu Zamani | Keki Laini Sana | Mapishi Rahisi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 25

  • @subhanallah868
    @subhanallah868 2 місяці тому

    W, Salam jazaakillah khayr nimefuata maelezo haya na nimeweza❤ keki ilikuwa laini sana na imechambuka vzr sana sikuwahi kupika keki nzuri hiv😮😮 shukran sana,😋😋😍🥰👍🙌🍰

  • @catherinejephter
    @catherinejephter 10 місяців тому

    mashaallah❤ mie nilipika keki ya robo siagi ilikua robo kilo ila mbona keki ilikua mafuta kama yamezidi nini shida ukishika unaona mafutamafuta mkononi

  • @ilaka1556
    @ilaka1556 6 місяців тому

    Asante sana!

  • @mauaramadhan9079
    @mauaramadhan9079 10 місяців тому

    Naenda sana kupikaa keki mm kila nikipika zinakuwa ngumuu sana

  • @restutageofrey5734
    @restutageofrey5734 7 місяців тому

    Nimeambiwa blue band so nzuri kwa keki yenyewe ina chumvi ... je nikweli so nzuri?

  • @user-wf9io1xz8w
    @user-wf9io1xz8w 5 місяців тому

    ممكن ترجمة للعربية

  • @salummussa1139
    @salummussa1139 9 місяців тому

    Mambo ni mazuri sana 💯

  • @zawadikasim6679
    @zawadikasim6679 10 місяців тому

    Mashallh

  • @gracymachado469
    @gracymachado469 10 місяців тому

    Fluffy and spongy. Tk u for sharing

  • @user-ju1pl7rr8n
    @user-ju1pl7rr8n 10 місяців тому +1

    Wow!! So tasty 😋

  • @zuuhjumadar2584
    @zuuhjumadar2584 10 місяців тому

    Mashaallah mimi hupenda huu ujuzi wako

  • @salmaali24
    @salmaali24 10 місяців тому

    Mashallah

  • @ashwaqkhalid1435
    @ashwaqkhalid1435 10 місяців тому

    InshaAllah nitajaribu

  • @naymaomary9770
    @naymaomary9770 10 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @user-ix8qb3yw1p
    @user-ix8qb3yw1p 10 місяців тому

    Tufundishe jinsi ya kupika keki kwenye microwave

  • @badawyhaji9288
    @badawyhaji9288 10 місяців тому

    😋😋😋😋😋

  • @arliyasuleiman5454
    @arliyasuleiman5454 10 місяців тому

    Samahani kwann mm nikifanya keki inakua imaji maji haikauki yote

    • @Mapishirahisi
      @Mapishirahisi  10 місяців тому +1

      Unaoka kwa moto mkubwa inakauka kwa nje na bado haijaiva ndani. Kama moto wa juu wa oven yako ni kali basi bake cake yako kwa 170°c moto wa chini peke yake. Keki ikishaiva weka moto wa juu ili cake ipate rangi kwa juu .

    • @arliyasuleiman5454
      @arliyasuleiman5454 10 місяців тому

      Napika kwa moto wa 150 maana ni oven zile zeny moto pembeni

  • @Waazbaby001
    @Waazbaby001 10 місяців тому

    Samahani hio kutia yai moja moja yasaidia nn

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 10 місяців тому +1

      Husaidia uji wa cake usikatike ukimimina yote kwa Pamoja uji unakuwa mwepesi na unakatika