Hawa ndio watu ambao kila neno lao katika daawa zao ni dhahabu iliyo takata..Allah (s.w) Awalipe malipo mema na akatukusanye nao pamoja na mtume (s.a.w) siku ya kiyama....اللهم آمين
Yani nyinyi mnaotukana mashekhe zetu wetyu hamnaga elim hata ya kujua nini maana ya adabu sku nikikutana na wewe lazima nikuchape ngumi fala wee someni fani huko mkaelewe elimu za wanaume achine umama
@@abubakarymaulidy5681 sikiliza wewe mdogo hii ni dini, lazima tuambizane, Alafu nyinyi kama kweli mnakusudia dini mbona mashia hamuwasemi? Licha ya kumtukana mke wa mtume Bi aisha bi hafswa na sayyidanna abubakar omar uthman na wengine wengi Mbona hamuwasemi kama mnavyo wasema watu wa sunnah??????
Sio watu wa Sunnah nyinyi ni Mawahabi ambao mnaamin kabisa nyinyi na mtume ni sawa.. Hamna heshima kwa masheikh mpaka kwa mtume.. Kasomeni dini sio jazba..
@@banihashim5347na nyinyi mawahabi hamzunĝmzi kuhusu kuhukumiwa na ukafiri,wala hamna da'wa ya kurudisha maisha ya kiislamu.mwaogopa kushikwa au mwaogopea mabwana wenu wasuudi kupenduliwa ufalme wao?
machozi yanadondoka lkn hakunanamna zaidi yakukombeeni mashekhewetu kwa Allah awaafu inshallah
Allah akurehemu sheikh wangu
Mashallah bingwa uyoo mungu azid kulfanya kabur lake nimiongon mwa viwanja vya pepon🤲🤲
aamin
Mashalhaa mwenyez mung alitie nuru kabur lako sheh Mohammed bakar
Hawa ndio watu ambao kila neno lao katika daawa zao ni dhahabu iliyo takata..Allah (s.w) Awalipe malipo mema na akatukusanye nao pamoja na mtume (s.a.w) siku ya kiyama....اللهم آمين
Aaamiin, Hakika umenena
Mashaallah, Allah Akurehemu Sheikh!
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة
Allah alinawirishe kaburi la sheikh letu..
Allahuma ghufirlahu warahamhu wa iskaanahu Fi aljannah
😭😭😭 Allah alitie nuru kaburi la shekh wetu
Mungu mpe pepo huyu mwanawachuoni
nampenda shekhe abiibar kwaa jiliya allah
Mashaallah !!! Allah akuhifadhi mahala pema peponi inshaallah.
Allahumma ighfir lahu war hamhu
Jazzaka Allah kheri.
Allaahumma ghfirlahuu warhamhu waskanhuu fill janna allaah amhifadhi mwanawachuoni huyu
Aamiin
Mashallaah
Shukran Sana kiungiza
Allah Akbar
Allahumma ghafrilahu
Allh amrehemu shekhe wetu kaburi lake liwe nimiongoni mwabustani ya janna
Allahumma amiin
Mashallah
Zikiru
Shekh huyu kwa ukweli ni mashine kubwa.
Mashine kubwa hyo fii waktihaaA
Fi wakthiii sio fi waktihaa
Watu bidaa bwana mnashida sana
Yaani nyinyi hakuna ibada katika maisha yenu
Yani nyinyi mnaotukana mashekhe zetu wetyu hamnaga elim hata ya kujua nini maana ya adabu sku nikikutana na wewe lazima nikuchape ngumi fala wee someni fani huko mkaelewe elimu za wanaume achine umama
@@abubakarymaulidy5681 sikiliza wewe mdogo hii ni dini, lazima tuambizane, Alafu nyinyi kama kweli mnakusudia dini mbona mashia hamuwasemi?
Licha ya kumtukana mke wa mtume Bi aisha bi hafswa na sayyidanna abubakar omar uthman na wengine wengi
Mbona hamuwasemi kama mnavyo wasema watu wa sunnah??????
Sio watu wa Sunnah nyinyi ni Mawahabi ambao mnaamin kabisa nyinyi na mtume ni sawa.. Hamna heshima kwa masheikh mpaka kwa mtume.. Kasomeni dini sio jazba..
@@banihashim5347na nyinyi mawahabi hamzunĝmzi kuhusu kuhukumiwa na ukafiri,wala hamna da'wa ya kurudisha maisha ya kiislamu.mwaogopa kushikwa au mwaogopea mabwana wenu wasuudi kupenduliwa ufalme wao?
Twakusubir ww sheikh uje utukataze
Mtume (sw) lugha ya kiarabu anaijua zaidi kuliko cc bidaa haina nafasi ktk dini .
Yaani midomo michafu ndio Muliojaaliwa
Anaijua sana ndo mana nyinyi mpaka leo hamuelewi vingi katika maneno yakee.. Kasomeni..
Shekh kavaa bangili
Mbwa
😥😥😥😥😥😥
Shekhe kavaa kembe
ww ndo hurafi mana hukusoma.alafu mwatukana mashehe wetu.wamijua muhamadi.bakari.ww.uliosoma.siku.mbili.waijua.bidaa.ww.
Ilikua ni hadhara ya wap
Tatizo sehemu alipochukulia elimu ndio shida
Sehemu aliyochukua ilmu Ina sanadi ya Elimu mpk kwa mtume Hakuna hoja ya mawahabi huyu mwamba hakujibu mpk Baraian akamkimbia
Weee acha ufala kama hujapendezwaa na simba wetyu huyu aliye jaa alimu kaa kimya acha upumbavu
Kweli kama usemavo lakan hyo elmu chache alopata, ww umepata ilmu gani?? Kwa sababu kumkejeli mwanachuoni ni wazi una ilmu ya debe
Dah Mawahabi nyinyi bure kabisaa
😂😂😂 kufa na uongo wako@@abeidmdimu5099
Uhurafi umewazidi uislam migoma wap na wap acheni kuupaka uislam matope hayaingii akili zikir na aribain
Acha ujinga wewe una elim gan ya kuyatambua haya ndo maan hamna faani za kuelewa maneno
Mh ata kuandk kiswahl unshindwa alafu wakosoa wasomi ambiwa aribain bibi weee
"kuangamia kwa elimu ni kutoa elimu kwa asiyependa kutafuta elimu"
Allah atuhifadhi na atujaalie kauli thabit Allahumma amiin kwa waislam wote.
Bakia hivyohivyo sheikh Albanii ajua arubaini ipo kaitaja