إذا مات ابن آدم انقطع عمله إلا من ثلاث صدقة جارية أو علم ينتفع به او ولد صالح يدعو له. Na hawa mashekhe zetu matatu hayo wanayo. Husein Haashimu akituswalisha tarawekghe sija wahi kusikia imamu mfano wake.baadae akitusomesha. Murshidul awwaamu.Allaah amjaze kila la kheri. Maalimu Yousuf subqiy alikua hacheki kutusomesha kila aina ya funuuni.khakika hawa sio mashekhe wa dufu na nsi tuu.hawa ni mashekhe walio bobee kila aina ya funuuni
Mashaallah samai yao ilikua nzuri ilikua Ina ladha kuliko hizi za kwetu za Sasa kumbe shkhe subki ni alikuwa fundi hivi Asante Sana SHEKH wangu sijakosea kupita kwenye mikono yako
Sheikh wangu ibn sheikh sbky allah akupe umri mrefu
Daah nakumbuka mbali sana
SHEIKH LANGU YUSUPH SUBUKY,
Maa shaa allaah hapo kabla mchina hajalichukua soko la kanzu na kuleta makanzu ya marangi rangi
Maashallaha wallaaahi zama zimepita.Allah atujaalie tufwate mwendeno wao dhwaahiran Wa baatwinan. Na atukutanishe nao peponi. Aaamin
allahumma ameen ya rabbi
Shekh Muhammad bakari namuona wallah raha mwenyezimungu warehemu mwashekh zetu
Mungu atunufaish kwa ilimu zao
Masha Allah.
ماشاء الله
Radhaaa
Mashallah Tabarakallah ...Hizi ndio samai za Kiasiliaa...
NAAAM NAOMBA SANA NDUGU ZANGU TUSUBESCRIBE CHANNEL HII ILI TUWEZE KULEA VITU VIZURI ZAIDI TUPATE FAIDA ZA KIASILI
إذا مات ابن آدم انقطع عمله إلا من ثلاث صدقة جارية أو علم ينتفع به او ولد صالح يدعو له. Na hawa mashekhe zetu matatu hayo wanayo. Husein Haashimu akituswalisha tarawekghe sija wahi kusikia imamu mfano wake.baadae akitusomesha. Murshidul awwaamu.Allaah amjaze kila la kheri. Maalimu Yousuf subqiy alikua hacheki kutusomesha kila aina ya funuuni.khakika hawa sio mashekhe wa dufu na nsi tuu.hawa ni mashekhe walio bobee kila aina ya funuuni
naam kabisa allah awape umri mrefu walio bakia
Maashaallah
mashaallah jambo limetimia hapo
Alhammdu lillaaah
Maàa shaaa Allah maaa shaaa Allah maaa shaaa Allah
naaam alhabib
Kutoka Nairobi Kenya a
Mashaallakh masheikh wetu mungu awalipe kheri
ameeen
Amin
Subhaanallah
Mashaallah samai yao ilikua nzuri ilikua Ina ladha kuliko hizi za kwetu za Sasa kumbe shkhe subki ni alikuwa fundi hivi Asante Sana SHEKH wangu sijakosea kupita kwenye mikono yako
Samai ya Asili
Asante sana maulana awaadh
dooh shukran sana ndg yangu
Wazigua tajri
Mashallaah tamta ya miaka hyo ilifana kikweli kweli
sanaa wallah
Mashaal
Twaomba mtuwekee youtub clip za sheikh Muhd Ayubu
sawa habib
Dah tumeondokewa na vipenzi vyetu mashekhe zetu allah awarehemu
ameeen yaa rabb
Qabuul. Mashallaah
ameen
Mashaallah
Nawaombeni sana ndugu zangu msubscribe ndugu zangu
Masha Allah samai za asili
His kumbukumbu muhimu
kweli kabisaa
Km kun nyingne weka
inshaaallah zipo zitawekwa
Mwalim vitu adimu sana hivi nimesubscribe ili ututumie zaidi na zaidi
@@binswalehramadhan9679 inshaaallah shukran zipo video zinakuja
Alla amrahamu alimumkubwa was esti afrika hapoalikuwahakunamushikeli ilmungumu
Mungu atunufaish kwa ilimu zao