Huu wimbo nimeona status ya rafiki yangu 26/12/2023 na imeniguza sana♥️☝️♥️nikaja kusikiza nimepatwa na machozi mingi😢😭😭😭sana Ee Mungu umenitoa mbali sana 😭na changamoto nyingi za maisha ila wewe ni kila kitu kwangu Bwana 🙏🙌mbarikiwe sana ❤sitokata😢tamaa ya maisha Mungu ni wewe kila kitu kwangu 😭😭🙏🙌 I'm a Muslims but I like this christians song 🙌
Ooohh my lord you are my everything wewe umekua mwaminifu kwangu bwana japo majaribu yamekua ni mengi Baba lakini wewe ulitazama hali yangu na kunichunguza bwana
Saa tisa za usiku nimekua nikiimbiwa huu wimbo nikiwa kwa usingizi imebidi niinuke Kuutafuta UA-cam mungu akubariki mamaa kwa wimbo huu uniniinua nakutambua yesu ni kila kitu katika maisha yangu pamoja na jamii yangu🙏🙏
Wewe ni Kila kitu kwa familia yangu bwana,come and bless my family God,i pray for you this night come and bless me God ,spirit of stagnation in my life i break it in Jesus name...you are everything my God ,hold my hand Jehovah ,I need you in my life God😢😢 .
Yesu ni kila kitu kwangu, nilishausikia sn huu wimbunbut this time umezidi kuniinua sn, nilifiwa na mama nikiwa mdogo, baadae nilikuja kuwa na ndoa nzuri sn lkn bila sababu yoyote miaka 10 ya ndoa mwanaume aliondoka nakuniachia watoto, nilijiona nisiye na thamani lkn Mngu alinipa baba wa tofauti sn kila nikiwa naongea naye alikua inanitia moyo sn kwahiyo sikua na wasiwasi lkn bado Mungu akaona amchukue na yy mwezi uliopita baba yangu amefariki, niliumia sn sn lkn leo niliposikia huu wimbo umezi kunitia nguvu Yesu ni kila kitu kwangu hata kama nikibaki peke yangu kwenye hii Dunia bado atabaki kuwa kila kitu change, stay blessed mama, Mungu azidi kukutumia
All my God this morning 26.6.2021 this is my worship song wewe ni kila kitu bwana kwa maisha yangu kwa mapito yote. 😭😭just say Amen kama machozi ya roho yatoka.
Am going through alot almost giving up,I came through this song on my friends status and come here to listen to it.Some how feel encouraged.We normally put on a smile but inside us we are dying.Thank you for this song somehow it has encouraged me.Let me leave everything to God because yeye ni kila kitu.😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Since yesterday am crying while listening to this song.Hoping things will be fine.
Mungu ni kila kitu kw maisha yako, ata simama pamoja na wewe kwa kila jambo. Maisha yakikupa sababu 5 za kutowa machozi yape sababu 10 za kufanya ufurai, Maana mtete wako yuko usife moyo. Mungu ana sema kwa neno lake wakati ukifika mimi mungu nita fanya mombo ya tetende. Mungu akuongoze kwa njia zake. Na akufute machozi akupe tamanio la moyo wako.
I was thrown out of the house for rent areas, me and my family I came across this song in June 2021, and it became my household anthem...it really encouraged us, thank you Mr & Mrs Henry for covering our shame and accomodating us, for four months without asking us for a single cent..God bless you and keep you ..
Sualy I cnt stop listening this song I wish I was the one singing the song is a blessing it has made me to knw u maggy waweru be blessed this song deep from my heart it has touched my soul everyday at work my earfons never get tired 🙏🙏🙏🙏🙏
I came across this song through someone status but have been blessed deeply in my heart and awaken my soul ,may God bless you so much mum..more grace can't stop listening God is everything to me..
I got to hear this song from someone WhatsApp status and I so impressed to search for it,,,,,, Maggy waweru,,, utaenda mbali my sister be blessed na usimuache Mungu
Dada maggy ameimba wimbo ambao ukiusikiliza vizuri kwautulivu utakufanya utambue kuwa mungu ndokila kitu kwenye maisha yetu,na kukukumbusha uliyoyapitia kwa ujumla wake.barikiwa sana sister
Wewe ni kila kitu Kwangu eeh Bwana,,,I heard this song on Matatu and even though i was broke I got strength to keep hoping for the best.Be blessed our great Artist.
Hakika ewe yesu ni Kila kitu 😭😭😭hakuna Kama yesu hakika Kama si yesu sijui ningekuwa wapi powerful and touching song may God take you far my sister 🙏🙏🙏🙏
GOD is everything in my life.The sng is a touching one.whenever i remember my past I thank GOD.Thank you mum for the song.Be blessed abundantly in Jesus name Amen 🙏.
I wonder why this song is not trending like Patrick kibuya's song. This a big Hit 2021. "Wewe ni kila kitu bwana ".......🎶🎶🎶🎶. Wacha wimbo huu ukawe wa baraka kwa kila mtu .
may ALMIGHTY GOD BLESS for the powerful song which blessed my heart every now and than ,our God is now touching his people through this powerful Ministers ,surly He's all we know and hope for all time.
Wewe ni kila kitu kwangu weee bwana,, a time like now I need a peaceful mind,,,ooh God i know and believe one day you will restore my parents health,,,,,,,,,,sickness is not their portion,,,hear my cry ooh lord
I can keep on listening to this worship song to as many times as possible.... because God Almighty He is everything to me 🙏🙏🙏🙏..... keep it up Madam Maggie 👏👏👏.. may God continue using you More and more
Wewe ni kila kitu kwangu ewe Bwana yesu I declare it , even for everything I have trusted you for in my marriage.Baraka mum for such a soul touching song , more grace to touch many over the world in Jesus name.
I believe Lord your my everything in this world and when I listen this song wewe ni Kila kitu kwangu I see more blessings and Grace in my life and my family
This is a church that has served as a prayer mountain in katoloni..the power of the Lord is all over experienced there. May God bless you Maggy and the rest
I really love this song. Wewe ni kila kitu... 🙏🙏. Be blessed Mamaa. Mwenye ameirudia zaidi ya mara mbili anipe likes....😊😊😊
Amen
I love this song so much Amen Glory to God Amen
God bless you
Am blessed with the song..thank you
So powerful,❤
Huu wimbo nimeona status ya rafiki yangu 26/12/2023 na imeniguza sana♥️☝️♥️nikaja kusikiza nimepatwa na machozi mingi😢😭😭😭sana Ee Mungu umenitoa mbali sana 😭na changamoto nyingi za maisha ila wewe ni kila kitu kwangu Bwana 🙏🙌mbarikiwe sana ❤sitokata😢tamaa ya maisha Mungu ni wewe kila kitu kwangu 😭😭🙏🙌 I'm a Muslims but I like this christians song 🙌
I❤ this song my almighty higher God bless you 🙏😭😭😭😭😭😭
Waoh...ata mm nimepata status...wonderful one
Welcome to Jesus beloved friend
wewe ni kila kitu kwangu Eee bwana , wew ni msaada wa karibu kwangu. Goga like nying kama huu wimbo umekugusa kama mim.
nasikia kubarikiwa sana,. maana mungu ni kila kitu na ni wa msaada kwangu. my friends tumpe likes huyu sister.
Amen
Yesu ni kila kitu katika maisha yangu ....Uzima amenipa ni kwa Nehema 😭😭😭😭😭😭😭😩
Wewe ni kila kitu baba.I really love this song🙏🙏🙏🙏🙏...wapi likes za Maggy pls
⅝
Wewe ni kila kitu baba 🙏🙏🙏
Kabisa yesu ni kila kitu,hii song nimerudia kirudia nikitoa machozi 😭😭😭😭 nani kama wewe baba
In love with this song ohooo Wew ni kila kitu Yesu🙏🙏🙏my trust is in You Lord 😭🙏
Ooohh my lord you are my everything wewe umekua mwaminifu kwangu bwana japo majaribu yamekua ni mengi Baba lakini wewe ulitazama hali yangu na kunichunguza bwana
Am here after seeing this song on people WhatsApp statuses.
Such a powerful and spirit relaxing song. Wow
Saa tisa za usiku nimekua nikiimbiwa huu wimbo nikiwa kwa usingizi imebidi niinuke Kuutafuta UA-cam mungu akubariki mamaa kwa wimbo huu uniniinua nakutambua yesu ni kila kitu katika maisha yangu pamoja na jamii yangu🙏🙏
Amina Ahsante
Amen ❤
Hakika Mungu wewe ni kila kitu maishani Mwangu.
Wewe nikila kitu kwangu ewe Bwana, hallelujah Hallelujah Glory be to God Amen
Wewe ni kila kitu Bwana😭😭 am blessed by this song
Wewe ni Kila kitu kwa familia yangu bwana,come and bless my family God,i pray for you this night come and bless me God ,spirit of stagnation in my life i break it in Jesus name...you are everything my God ,hold my hand Jehovah ,I need you in my life God😢😢 .
God bless you, in the name of Jesus
Yesu ni kila kitu kwangu, nilishausikia sn huu wimbunbut this time umezidi kuniinua sn, nilifiwa na mama nikiwa mdogo, baadae nilikuja kuwa na ndoa nzuri sn lkn bila sababu yoyote miaka 10 ya ndoa mwanaume aliondoka nakuniachia watoto, nilijiona nisiye na thamani lkn Mngu alinipa baba wa tofauti sn kila nikiwa naongea naye alikua inanitia moyo sn kwahiyo sikua na wasiwasi lkn bado Mungu akaona amchukue na yy mwezi uliopita baba yangu amefariki, niliumia sn sn lkn leo niliposikia huu wimbo umezi kunitia nguvu Yesu ni kila kitu kwangu hata kama nikibaki peke yangu kwenye hii Dunia bado atabaki kuwa kila kitu change, stay blessed mama, Mungu azidi kukutumia
Amen
Hakika yake Yesu ni kila kitu kwetu, kwa maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu, Acts 17:28
All my God this morning 26.6.2021 this is my worship song wewe ni kila kitu bwana kwa maisha yangu kwa mapito yote. 😭😭just say Amen kama machozi ya roho yatoka.
Yes....indeed
@Nancy kinyua
Amen
Amen
Amen
My sister alikuwa akisikiza huu wimbo kila siku asubuhi na mungu akamkumbuka kwa yale alikuwa anapitia ..naupenda sana
Amen
Wimbo huu niliimba mpaka nguvu za Roho mtakatifu alinishukia nilinena Kwa lugha ❤❤❤❤
Am going through alot almost giving up,I came through this song on my friends status and come here to listen to it.Some how feel encouraged.We normally put on a smile but inside us we are dying.Thank you for this song somehow it has encouraged me.Let me leave everything to God because yeye ni kila kitu.😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Since yesterday am crying while listening to this song.Hoping things will be fine.
In Jesus name amen
Mungu ni kila kitu kw maisha yako, ata simama pamoja na wewe kwa kila jambo. Maisha yakikupa sababu 5 za kutowa machozi yape sababu 10 za kufanya ufurai,
Maana mtete wako yuko usife moyo. Mungu ana sema kwa neno lake wakati ukifika mimi mungu nita fanya mombo ya tetende. Mungu akuongoze kwa njia zake. Na akufute machozi akupe tamanio la moyo wako.
Be encouraged sister! God is above all the season. Trust in Him
He created you to do great things
God is my everything am grateful for this wonderful song
If only we can let God in our lives everything will be super cool God I thank you for everything in my life
Ooooh mungu wewe ni kila kitu kwangu🙏🙏🙏🙏🙏😢😢😢😢😥
🙏🙏🙏wewe ni kila kitu kwangu Mungu. 2024 July ,by the grace of God 🙏
I was thrown out of the house for rent areas, me and my family I came across this song in June 2021, and it became my household anthem...it really encouraged us, thank you Mr & Mrs Henry for covering our shame and accomodating us, for four months without asking us for a single cent..God bless you and keep you ..
Amen
Utukufu kwa mungu barikiwa sana mama maggy
God answers in His own ways!
Sualy I cnt stop listening this song I wish I was the one singing the song is a blessing it has made me to knw u maggy waweru be blessed this song deep from my heart it has touched my soul everyday at work my earfons never get tired 🙏🙏🙏🙏🙏
The lord is everything.
Amen
The song is a blessing to me, thanks to God for being everything to me
Naupenda huu wimbo kweli,mimi huusikiza kila sikunikienda kulala,kweli ee YESU wangu wewe ni kila kitu kwangu.
Amina
Ever Mungu ako nasi wacha awe kila kitu kwetu
Without GOD am as good as nothing, but with GOD I can do all things through CHRIST who strengthens me, what a powerful song🙏🙏
Someone's status made me to look for this song,,so inspiring God is our everything
Wewe ni kila kitu bwana usifiwe milele na milele amina 🙏 🙏 🙏
WEWE NI KILA KWANGU EE BWANA,JUST YOU GOD,IN THE LIFE OF MY BABY,MY SISTER,SHUSH,BABE AND MY FAMILY WEWE NI KILA KITU KWETU
I came across this song through someone status but have been blessed deeply in my heart and awaken my soul ,may God bless you so much mum..more grace can't stop listening God is everything to me..
Me too a blessing to me too
I also saw it in some ones status and has really blessed me
Me too
Me to
The comfort i found in this song only God knows 🙏🙏🙏
Thanks for watching, be blessed
MUNGU AKUBARIKI sana dada kwa kazi ya MUNGU...kweli kabixa YESU kirsto ndio kila kitu kwangu
wewe NI kila kitu kwangu,😭😭😭kila kitu kwangu bwana
Msaada wa karibu....Glory to God..
Cograts mum.
Najipata tu nikiiskiza.....Yesu ww Ni Kila kitu kwangu
KWeli yesu nikilakitu napenta sana mungu awanue waimpaji inabariki sana 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️😛😛😛♥️
Yes Lord wewe ni kila kitu kwangu🙏🙏🙏🙏
I got to hear this song from someone WhatsApp status and I so impressed to search for it,,,,,, Maggy waweru,,, utaenda mbali my sister be blessed na usimuache Mungu
Amen
Wow,,,very nice message,,,may God be our everything in our life!!!
Great worship, Yesu ni Kila kitu kwangu .
Wow wow Kweli wewe ni kila kitu kwangu
Yesu nikila kitu Maishani Mwangi, barikiwa Sana Sana niwimbo Huu, Una nguvu za Mungu washukisha roho mtakatifu
Amina
Balikiwa sana na wimbo huu hakika MUNGU yuko pamoja nasi
Enyewe yesu ni kila kitu,,asifiwe
Yesu Nikola kitu katika maisha yangu popote niendapo siwezi mwacha kamwe thank you so much
Oo yes! Tumekubali, Mungu ni kila kitu kwetu
Ubarikiwesana sana mtumishi wa Mungu nimependa wimbo huu asante
Amen Amen YESU ww n kila kitu kwangu My God am was so bless
Weww ni kila kitu
True ww ni kila Kitu kwngu na pia kwa familia yangu,, am blessed so much🙏🙏🙏🙏
Halelujah hakika YEHOVA ni kila kitu.
I keep on rewinding this song throughout the day,,,,more blessings sister Maggy
Have come across this song through someones status and it has blessed my soul . I needed to hear this 🙏🙏🙏🙏🙏
Me too
Amen amen bila ww mungu siwezi chochote
Wewe ni Kila kitu bwana nimependa hii wimbo sana imenibariki sana
Amen
Amen Amen yesu ni kila kitu. Its my first time to hear maggys music, am blessed, may the Lord continue to annoint you more n more
Amen
Bhb has made me to look for this song youtbe and looove it wewe ni kila kitu
Same here, I knew the song via BHB, the song Is played on daily basis. I love the song.
Indeed yeye ni kila kitu kwangu,,,,,,,,
At long last nmepata the artist,,a very powerful song ooh 🙏
Kweli yeye ni kila kitu....the best song for worship
mum you are going far, The song has bless me and my ministry.
Amen
Dada maggy ameimba wimbo ambao ukiusikiliza vizuri kwautulivu utakufanya utambue kuwa mungu ndokila kitu kwenye maisha yetu,na kukukumbusha uliyoyapitia kwa ujumla wake.barikiwa sana sister
Nikikumbuka mahali mungu amenitoa nakosa lakusema bali kusema tu utukuzwa mungu wangu🙏🙏🙏
Wow is song is a blessing to me inanifanya nikumbuke pahali Mungu amenitoa kwa kweli amekua kila kitu kwangu
Woow what a song... Glory to God.wacha tuzidi kumwimbia .am blessed.
Check my song
⁰
This song really. Uplifts me when am down like now😭😭😭may God give uh strength en wisdom sister
Mighty
this song has touched me.... my spirits are low once I listen...... and high lifting God
Wewe ñi kila kitu kwangu naeka tumaini langu kwako bwana wangu 🙏🙏🙏🙏🙏
Wewe ni kila kitu Kwangu eeh Bwana,,,I heard this song on Matatu and even though i was broke I got strength to keep hoping for the best.Be blessed our great Artist.
Mom this is a inspiration to me and it makes me get more strength to move on.You are such a blessing
🙌🙌the song blesses my heart....yesu wewe ni Kila kitu kwangu
Vile naomba mungu anajibu maombi yangu kila wakati ,, namwamini sana ni kila kitu maishani mwangu
Amina
This song has completely changed my life I got it in someone's status and I can't stop listens each and every minute
Hallelujah..Mungu wewe ni Kila kitu kwa maisha yangu 📌
And when the right time comes I the lord will make it happen ❤Enyewe Mungu ndiye Kila kitu ,,,,wakati wa faraja na furaha ni wee ndio kimbilio langu🙏.
Amen
Wewe Ni Kila kitu kwangu amen Abba
This is touched my life my daily worship song in my prayer room I shade tears
Thank you my God you are my everything. Thank you Maggie for this wonderful song. Be blessed all
Hakika ewe yesu ni Kila kitu 😭😭😭hakuna Kama yesu hakika Kama si yesu sijui ningekuwa wapi powerful and touching song may God take you far my sister 🙏🙏🙏🙏
Amani unipayo yesu sio ya ulimwengu,wewe Kila kitu kwangu yesu❤
Amen
this song is really touching my heart n bringing back lost souls when someone listen to it,be blessed mum
Amen
GOD is everything in my life.The sng is a touching one.whenever i remember my past I thank GOD.Thank you mum for the song.Be blessed abundantly in Jesus name Amen 🙏.
Amen
Wimbo mzuri mno, ubarikiwe sana
Huu wimbo jamani,,,acha tu,,,sisemi kitu,,, mummy,,, May God continue to bless your commitment work to Him
I wonder why this song is not trending like Patrick kibuya's song.
This a big Hit 2021.
"Wewe ni kila kitu bwana ".......🎶🎶🎶🎶.
Wacha wimbo huu ukawe wa baraka kwa kila mtu .
It's trending in the kingdom of God 🙏
It will trend hata kama itachukua muda bado itatrend
Wewe ni kila kitu kwangu mungu!!! Thank you Maggy I'm so blessed
may ALMIGHTY GOD BLESS for the powerful song which blessed my heart every now and than ,our God is now touching his people through this powerful Ministers ,surly He's all we know and hope for all time.
Wewe ni kila kitu kwangu weee bwana,, a time like now I need a peaceful mind,,,ooh God i know and believe one day you will restore my parents health,,,,,,,,,,sickness is not their portion,,,hear my cry ooh lord
Amen
Yes ,Yesu nikila kitu kwangu.
It is bless me alot may Almighty God bless those singers
This song made me come back to God...after I realised in his presence we never lack...amen jehova
Amen , in Jesus we shall not want.
Amen....this is so amazing
TikTok brought me here .. powerful song it is indeed God is everything I am🙏
Am shocked this powerful song has been here since an year ago❤surely God’s time is the best🙏🏽thank you Lord youre my everyrhing
A blessing indeed;JEHOVAH WEWE NI KILA KITU KWANGU
I can keep on listening to this worship song to as many times as possible.... because God Almighty He is everything to me 🙏🙏🙏🙏..... keep it up Madam Maggie 👏👏👏.. may God continue using you More and more
Mungu wewe n kila kitu Kwa maisha yetu sisi wengine Asante sana n mungu abariki hii huduma iendeleee
Amen
Good massage to Kenya...wapy likes za maggy
Amina
Wewe ni kila kitu kwangu ewe Bwana yesu I declare it , even for everything I have trusted you for in my marriage.Baraka mum for such a soul touching song , more grace to touch many over the world in Jesus name.
Amen
Wewe ni kila kitu kwangu Amen Amen its really touching my heart and awaking the spirit of worship in me
kwel mungu n kila kitu wimbo wa maombi keep up mama ,naupenda sana
I believe Lord your my everything in this world and when I listen this song wewe ni Kila kitu kwangu I see more blessings and Grace in my life and my family
This song is so inspiring.... people must know that God is everything...... Everytime thea for us ...may the name of Jesus be praised
This is a church that has served as a prayer mountain in katoloni..the power of the Lord is all over experienced there. May God bless you Maggy and the rest
Amen