Mch wa Tanzania amshauri tena Rais RUTO. FANYA NA HILI ILI UTULIZE KABISA HASIRA ZA WAKENYA (GEN Z).

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лип 2024
  • Edited by VideoGuru:videoguru.page.link/Best

КОМЕНТАРІ • 8

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola8835 8 днів тому +1

    Jamani msipoe, chapeni injili SANA baba, kikosi chenu ndicho tunachokielewa na kukitambua huko tanzania, tunajivunia sana Amina!

  • @FESTOJAPHET-cw3fl
    @FESTOJAPHET-cw3fl 8 днів тому

    Mungu atutangulie

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 8 днів тому +1

    Kwakweli Ruto tunakupongeza kwa kutii na kufanyia kazi ushauri.Tunaomba na Tanzania tufanyie kazi hilo.Tanzania punguzeni posho za wabunge,mawaziri na mpunguze kununua magari mapya

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 8 днів тому

    Inasemekana Ruto ni mwongo zaidi ya uwongo yenyewe. Hajawahi ongea hata tone ya ukweli labda jinalake pekeake ndio ukweli mewahi sema kwa wa kenya

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 8 днів тому

    Ruto anatakiwa kuwa na hofu ya Mungu. Alipe gharama ya wale walio mwaga damu yao kupigania maisha ya Wakenya.

  • @miriamwangari7417
    @miriamwangari7417 5 днів тому

    Ukweli ni kwamba Rais kama Yusufu, aliyaongea maono yake yote Kwa ulimwengu. Hapo ndipo weupe waliinua madhabahu ya giza kumuinukia Kwa sababu hawapendi Africa tuinuke.
    Alipovunja madhabahu ya giza juzi huko ikulu, na kuinua Yale ya Mungu, moto ukawaka nchini.
    Tungesulugisha makosa yote Kwa njia Bora kuliko maandamano na mchafuko.
    Rais waliyetangulia walichauriwa na maraisi waliestaafu, lakini mtangulizi wa Rais huyu aliungana na upinzani Kwa hivyo hawashauriani.
    Nadhani Rais alindanganyika ya kwamba wale wa nje watamsaidia Kwa mashauri, lakini ni mtego walimwekea ili wafahamu maono yake Kisha wamuangushe wakiungana na majudasi kwenye serikali yake.
    Tushauri mtumishi Kisha utuombee. Maombi ndo twahotaji wakati huu na Kila wakati.

  • @hassa_Nisher255
    @hassa_Nisher255 7 днів тому

    Yako yamekushinda sasa umeamua kujipendekeza mpaka kenya😂😂😂 yaani hujatosheka kupambana na siasa ya hapa umeamu kwenda kupambana na siasa za majirani 😂 katika washenxi wanaojiita "wachungaji" basi wewe ni baba yao