Mbarikiwa amkubalia ombi Isaya kuhusu kiboko ya wachawi. Aanza kwa upole na kumaliza kwa kumlipua

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • Edited by VideoGuru:videoguru.page...

КОМЕНТАРІ • 85

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 Місяць тому +6

    Bendson mwalimu wa neno la Mungu Umetoa ushauri kwa khekima sana. Mungu akubariki sana.

    • @m.m.tvmbebamaono
      @m.m.tvmbebamaono Місяць тому +2

      Benson ni muhuni tu

    • @Ufahamu-01
      @Ufahamu-01 Місяць тому

      ​@@m.m.tvmbebamaono kwann unamuita muhuni kakukosea wapi

    • @KikosikaziKiwira
      @KikosikaziKiwira Місяць тому

      Chawa kumpongeza chawa mwenzake

  • @JestinaMdemu
    @JestinaMdemu Місяць тому +7

    Aende akakamate wachawi kwao kongo mbona kule ndo kunawachawi makonkodi.

    • @HerodMpole-vd6td
      @HerodMpole-vd6td Місяць тому +1

      Watanzania akili zenu zimelala ndio mana anakuja kupiga hela huko kwenu 😂😂😂 sisi huku mashariki mwa Kongo amani haipo kweli kwa sababu ya Kagame na Museveni watusi wanaotumiwa na mzungu (M23 = RDF wa Rwanda & UPDF wa Uganda) ili kutupora rasilimali zetu. Mbali na hapo akili ya kuzaliwa tunayo timamu. Mtu kama huyu hapa hatoboi. Ni uko uko Tanzania kwa mama🤣🤣

    • @PASTOR_SHITINDI
      @PASTOR_SHITINDI Місяць тому

      Ameen kamanda
      Hawa vijana ni vibaka

  • @mosessiame7882
    @mosessiame7882 Місяць тому +2

    Mbarikiwa endelea nahuduma nzuri aliyo kupa Mungu Mungu Azidi kklinda💯

  • @MrNoah-gr7rq
    @MrNoah-gr7rq Місяць тому

    Mbalikiwa mungu akulinde sana kumbe ndio maana wanakuandama sana kumbe wewe upo ki Africa zaid ahsante

  • @aswilekibona9861
    @aswilekibona9861 Місяць тому +2

    Mbarikiwa nimekupenda sana

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 Місяць тому +1

    Ubarikiwe. Mchungaji mungu akutunze, tyu❤

  • @user-du3pd7gb4c
    @user-du3pd7gb4c Місяць тому

    !!!!! Isaya Mungu akuokoe umekufa kiroho hapo hujijui , Mlokole wa kweli ,mtu alie okoka anachukia dhambi sana!!! Ukiona we unaona mambo mabaya yanafanyika we unaona kawaida tu juwa umekufa kiroho !!Roho wa Mungu akiwa ndani yako unaona dhambi kama Mungu anavyo ona!!! Mungu anasema ni fraha mwenye dhambi mmoja akitubu sio watu wengu wakijaa kwenye mahekalu yenu!! Hapana akitubu dhambi na kuziacha sio akiwa na mali nyingi hapana Mungu kwanza. Hivi vingine hivyo ndo vifuate !!! Watumishi wa Mungu wanahubiri watu kuishi maisha safi sio njoo utabarikuwa , mala kanyaga mafuta yani ni mitumishi ya kyzimu kabisa ilio kuja kuharibu kizazi Frimason kabisa walio jificha chini ya Dini, ukristo unakuwa kama hauna dhamani kupitia hawa wanao jiita mitume na manabii wauza vitu hawa !! Ndo wanao uchafua ukristo sasa huyu Benson huyu alikuwa vizuri, anako elekea Mungu amuokoe hajui atendalo ,Injili ya akina mbarikiwa ndo injili,Moses Magembe wasikilize hawa unaweza okolewa ,achana na hawa wanajiita manabii hawa watawapeleka moton mi nimetokea huko namshukuru Mungu kaninyofoa sasa nafraia wakovu wa kweli nilichola kutembea na vitambaa mifukoni ,shida

  • @salama1113
    @salama1113 Місяць тому +1

    Mungu akuweke kwa kuwazinduwa watu

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 Місяць тому +1

    Daaaaa uko vizuri sana Mbarikiwa!!

  • @simionsteven5618
    @simionsteven5618 Місяць тому +4

    Isaya nilikua namwamini kweli ghafla akawa mjinga kwelikweli

  • @DanielYusuph-071
    @DanielYusuph-071 Місяць тому +3

    Mbona krip immekua fupi sana,si ingeenderea kidogo

  • @aizzyashery5564
    @aizzyashery5564 Місяць тому

    Mungu akulinde sana mhhhhh

  • @TheMakala21
    @TheMakala21 Місяць тому

    Ukweli umeongelewa na kila mwenye masikio na asikie na mwenye ufahamu aseme Amina.

  • @Hapomwanzo
    @Hapomwanzo Місяць тому +1

    Hizo fafanuzi nimezielewa saaana( jibu limeshiba kuliko swali), yaani ni sawa na Mungu alivyowapitisha israeli jangwani kwa miaka 40, kitu ambacho angeweza kutumia hata siku 6 tu!.

  • @MichelOmbaOKITO
    @MichelOmbaOKITO 24 дні тому

    WEWE MBARIKIWA UMU SHAURI MTOTO WAKO KUUSU KUITAJA CONGO TENA AKOME KUUSU VITA YENYE ALI CHEKELEYA

  • @charlesnyanhanga4382
    @charlesnyanhanga4382 Місяць тому +2

    Majibu ya hekima kabisa mchungaji

  • @SabathElias-l4b
    @SabathElias-l4b Місяць тому

    Ubarikiwe,

  • @yanawezekana9429
    @yanawezekana9429 Місяць тому +1

    WAENDELEE KUULIZA SWALI MOJA MAJIBU 1000 WATAKUELEWA TU, MUNGU AKUTUNZE KATIKA USAHIHI HUO HUO NA UZIDI SIKU ZOTE.

  • @user-el8rp6pd5q
    @user-el8rp6pd5q 24 дні тому

    Unaonekana unapenda sifa sana wewe Baba huna lololte unachotetea unataka tu ujulikane

  • @petermutuku1289
    @petermutuku1289 Місяць тому +1

    Ukweli wauma,mwakilembe hataki ukweli. Mufundishe ukweli angalau anaweza akabadilika.

  • @user-ev2xf1tv3w
    @user-ev2xf1tv3w Місяць тому +1

    Hii ndo injil ya kwel ambayo ilipaswa watumish wote wa Mungu wahubir sio kutoa mapepo hewa na kufanya watu misukule

  • @lusajomwakajoka4955
    @lusajomwakajoka4955 Місяць тому +1

    Huyo kamata wachawi arudi congo hawo ndio wanachochea miemuko mibaya manabii

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 Місяць тому +1

    Ila wabbi wa siku hiz aslimia kubwa ,sio wanga ,uchawi umehamia kwa vijana ,,,wazee wa sasa wako sawa hawana uchawi ,,,tafiti zimefanyika

  • @Nyaruking1
    @Nyaruking1 Місяць тому +1

    Isaya sikunzote yupade yamachetani

  • @simionsteven5618
    @simionsteven5618 Місяць тому +1

    Mwakipesile nakukubali. wewe ni mmoja wa waafrika wachache wasiowapenda wakoroni na vibaraka wao

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 Місяць тому +1

    Mimi nilikuwa namfuatilia sana huyo Isaya, lakini kwa kutofuatilia matukio ya ndani nimeshamuona ni walewale machawa.

  • @SuzannaNdege-pj9zg
    @SuzannaNdege-pj9zg Місяць тому

    SAFI SANA MTUMISHI WA MUNGU

  • @elishadodi8787
    @elishadodi8787 Місяць тому +3

    Sasa Benson Mwenye Mafundisho ya kizinaa (kuoa wake zaidi ya mmoja) ndiye aje ashauri watu wanaosema kweli na kuyamulika maovu, kwani asiende kuwashauri hao vibaka wa taifa waache kukamua nchi na raia. Mara ngapi amesimama kukemea maovu ya serikali inayofanya? Ngorongoro wanalia alishawahi hata kwenda kuwatetea? Hao vibaka wa Imani wanaokamua washirika kwa kuuza mafuta, maji, cake n.k vya upako mbona hawaonyi? Kama hawezi kuwakabili hao naye ni kundi lile lile na hafai kushauri hata kidogo Bora anyamaze kama alivyonyamaza kukemea vibaka wa rasilimali za taifa na wakamuzi wa waamini?

    • @hemedmwipopo780
      @hemedmwipopo780 Місяць тому

      Daaah!, si Kila ataye msikiliza Mwakilembe atamuelewa.

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 Місяць тому

      Kwani kuoa wake wawili kuna shida gani lipi bora uwe na mke wapili au uwe na michepuko isi

    • @elishadodi8787
      @elishadodi8787 Місяць тому

      @@edsonnelson4464 kwa wazinifu na wenye Mafundisho ya kuandaa watu kwenda jehanamu hakuna shida. Wewe ndo unao wawili?

  • @EmmanuelSimkwai
    @EmmanuelSimkwai Місяць тому

    1 Mambo ya Nyakati 17
    6 Katika mahali mwote nilimokwenda na Israeli wote, je! Nimesema neno lo lote na mtu ye yote wa waamuzi wa Israeli, niliowaagiza kuwalisha watu wangu, nikisema, Mbona hamkunijengea nyumba ya mwerezi?
    7 Basi sasa ndivyo utakavyomwambia mtumishi wangu Daudi, Bwana wa majeshi asema hivi, Nalikutwaa katika zizi la kondoo, katika kuwaandama kondoo ili uwe mkuu juu ya watu wangu Israeli;

  • @petrothegreat2919
    @petrothegreat2919 Місяць тому

    Umeeeleka sana Mzee

  • @aizzyashery5564
    @aizzyashery5564 Місяць тому

    Aina ya watu kama wewe ni adimu sana sana sana

  • @user-wu7sy6dp2o
    @user-wu7sy6dp2o Місяць тому +1

    Benson unalakushauli kozi watu wanaiba na kuuwa maovu nimengi kupitia viongoz wa dini na siasa mbona sjawai kukusikia unawashauli Afusaiz unakuja uku kwawasema kweli eti Washauli
    We mshaulikwanza nabii mkuu akibadilika ndo uje uku

  • @theogeorge3773
    @theogeorge3773 Місяць тому

    aiseee kikolo wee kiboko

  • @KikosikaziKiwira
    @KikosikaziKiwira Місяць тому +1

    isaya ni wakala wa shetani piwa

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola8835 Місяць тому +1

    Hapa injili tu na injili iendelee

  • @alunekyusa4905
    @alunekyusa4905 Місяць тому

    Safi sana kamanda

  • @shukranimpomwa7460
    @shukranimpomwa7460 Місяць тому

    Nimekuelewa mzee

  • @Magufuli.
    @Magufuli. Місяць тому +1

    Madogo wamelewa mvinyo pumbavuuu

  • @K-go1qj
    @K-go1qj Місяць тому

    Isaya ni kama IPM

  • @K-go1qj
    @K-go1qj Місяць тому

    Mbarikiwa una chuki na wazungu matatizo yetu sisi ndio chanzo chetu

  • @EmanuelBlassy-uz4gm
    @EmanuelBlassy-uz4gm Місяць тому

    Mbarikiwaaaaaa

  • @DAUDIMWAMBALASA
    @DAUDIMWAMBALASA Місяць тому

    hata mimi nilimwamini sana huyu isaya kumbe nae ni wakala wa shetani 😈

  • @user-jy4pm3hh9s
    @user-jy4pm3hh9s Місяць тому +1

    Umemwambia ukwel mtupu isaya

  • @musajulias3392
    @musajulias3392 Місяць тому

    Mhmm Mzee wewe nichuma kweli kweli

  • @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
    @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr Місяць тому

    Mmm amejaribu kuomba ushauli nivizuri ira namshauli mtu wamungu mwakilembe ajitasimini kwanza unajua ukweli unauma na wengi wanajua kweli ira wanaogopa kusema kweli kwa ajiri ya kwamba wanadam wengi hawapendi kuwa ambia ukweli ukisema kweli wana kimbia bila yakujua kuwa wanako kimbiliya si sarama kwa kesho yao ubalikiwe sana mtumishi wamungu mbalikiwa mwakipesile

  • @GodfrayLembotto
    @GodfrayLembotto Місяць тому

    Mnatoa wapi mda wa namna hii SI mtumie huu mda kuutafuta uso wa Mungu watumishi

  • @charlesnyanhanga4382
    @charlesnyanhanga4382 Місяць тому +1

    Aise mbarikiwa wewe asiyekuelewa

  • @estambuya3901
    @estambuya3901 Місяць тому

    Huyu isaya hata mimi simwelewi.

  • @mtumishiabiudimassawe4247
    @mtumishiabiudimassawe4247 Місяць тому

    Jamani ulimwengu njoo huku ufundishe

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  Місяць тому

      Kwani chanel yake haijui au limbukeni. Ataweza kusoma comment yako hii moja kati ya comment hizi zote?

  • @marymwaya9685
    @marymwaya9685 Місяць тому

    9

  • @furahamwaseba7910
    @furahamwaseba7910 Місяць тому

    Mbona waasilamu hawarumban shida nn wakristo tutajishushia heshima

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  Місяць тому +1

      Waislam wa wapi ambao hawasemani makosa kutumia media? Unawasikia Mwaipopo, Sule, Mwaka, Musa nk? Yesu alisema makosa ya Yohana, Petro naye alidhalilisha Ukristo? PETRO alisema makosa ya Anania na Safira, Paulo aliyoongea ubaya wa Marko na Petro, alidhihirishwa Ukristo? Msukule wewe

  • @ChrisElectrical-ck4mc
    @ChrisElectrical-ck4mc Місяць тому

    Hawa akina mwakilembe ni vibaka wa injiri

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 Місяць тому

    Yani mtu mzima unaongea hovyo, kwani hujui hata Yesu mwenyewe alisema nabii hana heshima kwao? Nawasitikia wafuasi wako.

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c Місяць тому

    Huyu jamaa hashauliki ,siasa nyingi

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Місяць тому

      Siasa ni nini mkuu?,tuelimishane hapo!

  • @K-go1qj
    @K-go1qj Місяць тому

    Mzungu amuue mwafrika ili iweje sasa wakati mchango wetu ni mdogo sana kwa Dunia

  • @mtumishiabiudimassawe4247
    @mtumishiabiudimassawe4247 Місяць тому

    Ulimwengu uko wapi?

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  Місяць тому

      Kwani chanel yake haijui au limbukeni. Ataweza kusoma comment yako hii moja kati ya comment hizi zote?

  • @user-lj7oq5hp4f
    @user-lj7oq5hp4f Місяць тому

    Nilikuwa nasikiliza sana lakini ulipomtaja Mwakasege hapo .......

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  Місяць тому

      Na atatajwa sana mpaka mtakapojua kuwa injili sio kuwafurahisha malaya na wezi kufurahia kufanya uovu wao huku wakiburudishwa na maneno matamu ya kujua kuota ndoto na maono bila kuacha uovu wao.

    • @ChrisElectrical-ck4mc
      @ChrisElectrical-ck4mc Місяць тому

      Ila na wewe ni zuzu kwani mwakasege ni Mungu?

    • @HerodMpole-vd6td
      @HerodMpole-vd6td Місяць тому

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile Na nyie injili siyo matusi na ukabila huo mnavyoubiriana mu kanisa. Mnajihesabia kuwa wenye haki yote lakini hamuzungumzii issue ya midomo michafu

    • @brianshomi722
      @brianshomi722 Місяць тому

      ​@@HerodMpole-vd6tdtaja tusi MOJA alilowahi kutukana

    • @petrothegreat2919
      @petrothegreat2919 Місяць тому

      ​@@HerodMpole-vd6tdAmekutukana tusi lipi nitajie Tusi 1 tu unalojua ametukana

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 Місяць тому

    Kwakweli mm ote nina waamini wote mbalikiwa na isaya ila tu na shindwa kuwaerewa munatofautiana nini mbona sisi tunawaerewa jamani ushauli wangu na waomba mkutane

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  Місяць тому

      Kuambiana ubaya si kutofautiana. Mithali 27:17 Chuma hunoa chuma; Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake.. Mithali 28:23 Amkemeaye mwenzake hatimaye atapata kibali; Zaidi ya mtu ajipendekezaye kwa ulimi wake.