Oh its sheikh juma amir..nimeiona jina yake at beggining of part 1 video...he's very good mashallah. Thanks for posting..keep them coming...Jazzakka Allah kheiraan yakhi
MA AHA ALLAH sheikh Juma JazakhaLLAHU kheyr nimeipenda sana na hii nimeisikiza ni Mara ya tatu sasa. natumai itanisaidia wakati huu wangu wa kusearch search.
Tamazi kilyamhogo kweli maneno yote ni sah kwel habibty tujirekebishen hakika pepo ipo chin ya waume zetu sasa ka mtu kashajipamba anampambia nani kama akiguswa hatak kuharib kucha na nywele zake sasa kwel mdoa zwtu zitadumu hapa???
Tamazi kilyamhogo sheikh sasa wanawake wakadeke kwa nani na ivi kazi za ndani ni jukumu lao au wafanya kama msada na kuusu kupendeza nani amuambie kile anachokitaji
saah saaah kalam wallah laadhim.....nimefiwa gede na babu yangu ila nilipo ingia utube nmechekaa sanaa asante tutaji rekbsha inshallah naangalia nikiwa Dubai ..al ain
Si town tu uku likoni pia wako watoto matumbo yameshikana na maungo kwa njaa na babazao wala kwa mama ntilie subhanah allah mola tuhifadhi cc wanawake..
Kweli sheikh wanawke wengi wanazo hzo tabia, lkn na wanaume wafahamisheni pia km m'ke anahitaji kusaidiwa. Maisha ya sasa sio yale ya zamani. Sasa waume waroho kila chakula anakitaka yy, halafu watu wa siku hz hawali sahani moja kwa pamoja kila mtu na yake. Mlo mara mbili au tatu. Nyumba imejaa furniture na makorokoro ya kusafishwa, watoto wanahitaji kushughulikiwa. Mana mke km hajatumia akili ya kuzaliwa hata haki yake itamshinda au hatojisikia kwa machofu. Atakua yupo yupo tu anatimiza wajib lkn kachoka hapati raha yeyote.
Among of my favorites sheikh Allah mpe mwisho mwema sheikh juma amiir
I never get tried of watching this video jazaakAllah sheikh.
Yaan hachoshi kbxa kumsikiliza sheikh wetu
Mungu akuzidishie sheikh mawaidha yako yamenigusa..
Kombo
Wallahi shekh umewasoma sana wanawake Allah akuzidishie kweli tupu tupe tujirekebishe
SHEIKH JUMA AMIR....one of my favourite sheikhs
Umeletà
naam maalim
kweli kabisa sheikh wavivu sisi tupe maana tumejaa majumbani tupotupo Kama wafu 😍😍😍
Ni kweli jamani wanawake tuache uvivu inuka changamka umeolewa jamani inukaa jishughulishe Ahsante sheikh wetu🙏🙏🙏
Swadakta Aaaaaaaaaaaaa my
Mwanamke jiongezeee ndo maana kichwa kila cku
Anaitwa sheikh nani
Allah awape imani wake zetu wawefaraja kwetu
Mash Allah, tuna waidhika sheikh, Mungu akupe kheir nyngi sana na baraka tele
Shukran sheikh Allah akupe umri mrefu na afya azidi kutuelimisha umma.
MashaAllah sheikh Juma Amir mimi sichoki kuirudia hii video jamani, Allah akubarik tunajifunza huku tunacheka
Sanaa walhi hata mm
Asante shekhe, ubarikiwe na Baraka za Allahu ( SW).
Daah alie cheka kama mm leta cometi yako mashaalah mwanamke namba tano story yake mie hii sharaka nimecheka mpaka basi
Hatari sana
In Sha Allah Mola Awaongoze wake zetu
Allah atujaalie waume zetu ndo pepo yetu 💙💚💛💜
Ameen
Amin
Um Arwa Amini
Amini
Um Arwa wenzio halijui hilo .
Oh its sheikh juma amir..nimeiona jina yake at beggining of part 1 video...he's very good mashallah. Thanks for posting..keep them coming...Jazzakka Allah kheiraan yakhi
Dah kweli usemayo shekhe ,eeh mwenyezi mungu nijaalie nije kuwa mke mwema na mwenye utii kwa yule atakaekuja kuwa mume wangu
InshaaAllah
Inshaallah
Inshaallah
Mungu atujaalie tuonane.
Latifa Ali Allaah akujalie maana kweli hali sio nzur katika ummah
Jazaka llahu kheir sheikh
Shekhe asante sana ujanjawooote wa wanawakeumeugundua niwajanja mno
MA AHA ALLAH sheikh Juma JazakhaLLAHU kheyr nimeipenda sana na hii nimeisikiza ni Mara ya tatu sasa. natumai itanisaidia wakati huu wangu wa kusearch search.
Alhamdulillah asante sheikh
Allah asitujaalie kuwa miongoni mwa wanawake hawa
Allah akulipe mema shekh
Darasa zuri sana Allah tujaalie tusiwe miongoni mwa hawa aminn
Inshaallah mungu anipe mke mwema amin
HIJA RWAMBO Ammin yarab hiz ndio dua za kuomba kaka ang
Mungu. Awafanyie. Wepes. Wa kuelewa
stahil sheikh juma... watoe taka dada zetu...jazakallahu kheir
you are true shekhe juma mashallah wapo wengi sana wake namna hiyo
Subhanallah jaman me naona nasisimka mwil tujitahidin wanawake wenzang
In shaa Allah
Kweli tupo hasarani wanawake
Mashallah jazakallah her mola hakuzidishe ishallah Amin
Sitra unayo Amirat?
Mashallah anaelimisha sana huyu shekh
Masha Allah
TBT hapo sheikh yusuf bado still looking young..mashaaALLAH
He mtihaan ila sheikh umesema jambo ! Hao wanawake tupo tulio na hizo tabia tuombe m.mungu atuongoshe tuwe wanawake bora dunian na akhera yarabbi
subhanallah.
wanawake tujirejebishae jaman,tuwe na hofu ya allah
Tamazi kilyamhogo kweli maneno yote ni sah kwel habibty tujirekebishen hakika pepo ipo chin ya waume zetu sasa ka mtu kashajipamba anampambia nani kama akiguswa hatak kuharib kucha na nywele zake sasa kwel mdoa zwtu zitadumu hapa???
Tamazi kilyamhogo sheikh sasa wanawake wakadeke kwa nani na ivi kazi za ndani ni jukumu lao au wafanya kama msada na kuusu kupendeza nani amuambie kile anachokitaji
Asante sana kwa kutuambia udhaifu wetu
Mashaallah sheik asante sana kwa mawaidha mazuri
Mafuzo mazuri. Shehk
Maashallah
napenda mawaidha yako sheikh
mtihaan
Shekhe shukran nimekuelew
one of my favourite sheikh
MUNGU AKULINDE sana.
Kweli maashallah so nice
kweli sheikh kabisa inshallah tutarekebsha mwenyezmung akupe umri mrefu
Ameen
saah saaah kalam wallah laadhim.....nimefiwa gede na babu yangu ila nilipo ingia utube nmechekaa sanaa asante tutaji rekbsha inshallah naangalia nikiwa Dubai ..al ain
farida bakari
farida bakari
waallah Shk Juma Amiri Allah akuzidishie ufahamu uzidi kutuelimisha
Masha Allah, shekhe
Sema shekh wanaume nao ndo wakatixhaji tamaa kwa wake zao unkuta anachepuka Alf mke akijua ndo mapnzi yanapungua
Mashallah sheikh jazakallah
inshaAllah ALLAH atujalie tuwe waaksame wema kwawaume zetu na tutii sheria na amri
Mashallah shekh umeongea mambo ambaya yapo mpaka sasa wanawake wa mombasa ndio hali zao
Mashallah 😍
Asalam alaikum sheikh nimependa sana mawaidha yako lkn kitu kimoja umeongea sheikh kuhusu wafanya kazi mambo ya waarabu hayo kila kitu mfanyikazi
Ma sha Allah
Mungu awasimamie nyote
Jazzaka'Allah khair
mashallah tabarakaalah
Asalmalekum .ijuma Karim . Nyote .hasateni kwa mawadha shukran .🙏😚
Mashaa Allah! Naipenda sana!
Subhanallah
Subhanallah 😭 hali nipo nayo inanitesa nifanye nini sheikh mm
mashallah sheikh ur ryt!👌
shekhe hasa hizi zama zetu ni mtihani kwelikwel
😍😍😍😍😍thnks much sheikh
Mashaallah sheik
mashallah
Asalam aleikum utakuja lini mombasa
Allah tujaalie iman wake kwa waume
NIKWELI WAPO WENGI SANA JAMANI WANAMME WANA MITIHANI NA WANAWAKE PIA TUNA MITIHANI PIA KWA WAUME ZETU TUJIREKEBISHENI WOTE.
Na aina zawanaume wabaya ningapi? Mume nihaki kumsaidia mkewe
Mashaalah
asante kwa kutupa mafuzo twajifuza ASANTENI sana
Recho K.K.M. Asante Kwa mawaidha shee
Mashaallah
mashaallah
masha allaah
Shekhe jina yake nani huyu? He's good mashallah
Anaitwa Sheikh juma Amri
Juma Amir
Mashallah
MashaAllah
asante sheikh
Maashaallaah
Si town tu uku likoni pia wako watoto matumbo yameshikana na maungo kwa njaa na babazao wala kwa mama ntilie subhanah allah mola tuhifadhi cc wanawake..
Jazaka LLAH KHAYRA
Napenda sana mawaidha yako shekh juma amiri inshaallah Allah amzadishie
Shekh juma amiri Allah akuzaidishie
Allah atujalie wake wema inshaallah
Shukran
kisheria kazi zote za mume ,mke kazi yake kuzaa tu ,ila kutokana na huruma zetu wanawake tunaamua kufanya tu
Hawo hawo
Duuuh nmtihan sheikh
😂😂😂Subhallah Allah atusalim Salama
mimi mke wangu anazo hila zote hizo shekhe
subhanallah sheihk jua wher a u from uko sawa swadakta mungu akuzidishe umri utuelimishe zaid hao wanawake samply hiyo wako tele
Fanya bidii kumuelimisha uyo ndie ulie mchagua kaka kwani ukumjua!
He is from Mombasa
Isaya Isaya pole sana
pole kaka mueke chini umuelezee anapokosea usimtangaze mungu akupe subra na mke huyo
mashallahu Tena wako wengi Sana wape
😆😆😆😆😆😆 hahahahahahaaaaaa jamaniii
Kweli sheikh wanawke wengi wanazo hzo tabia, lkn na wanaume wafahamisheni pia km m'ke anahitaji kusaidiwa. Maisha ya sasa sio yale ya zamani. Sasa waume waroho kila chakula anakitaka yy, halafu watu wa siku hz hawali sahani moja kwa pamoja kila mtu na yake. Mlo mara mbili au tatu. Nyumba imejaa furniture na makorokoro ya kusafishwa, watoto wanahitaji kushughulikiwa. Mana mke km hajatumia akili ya kuzaliwa hata haki yake itamshinda au hatojisikia kwa machofu. Atakua yupo yupo tu anatimiza wajib lkn kachoka hapati raha yeyote.
Nyinyi waswahili mwajua wanawake wenu ndo Tania zao poleni olewenu
Mmmm wanawake wote ni sawa
Allah atuongozee
Mashallah 😂😂😂😂😂😂
Aa waume wengine ndo wakwambia mwache maid afanye sitwamlipa.
Je aina za wanaume utaziongelea lini?
Manake tunakwenda mbali tumuogopen mungu
Shehe?tunashukuru
Jamani mmetuzidi
Napeana talaka leo leo nishaelewa wanawake
😀
Naam mashaallah
Hahahah 🤣🤣🤣🤣