019 2 OTHMAN MAALIM ZIJUE TABIA KUMI ZA WANAWAKE WABAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 110

  • @imanitvimanitv5767
    @imanitvimanitv5767 3 роки тому +2

    Allah amjazie kila lakheri Sh.Mpendwa Athiumani Maalim
    Mimi naitwa Alhadji Amani Mageza Ni mkaazi wa hapa Nchini Rwanda
    Nampenda saaaana Sheikh Athoumani maalim

  • @emmanueldavidy323
    @emmanueldavidy323 8 років тому +5

    Maashaallah osthadh wetu tupe darasa tupate kujifunza inshaallah mungu hakujaalie kheri osthaman maalim

  • @alimohamedalisaid7040
    @alimohamedalisaid7040 6 років тому

    Mashallah my brother nice darasa mashallah mungu akubarki akupe afia ameen thuma ameen

  • @SalmaSalma-zv1bh
    @SalmaSalma-zv1bh 2 роки тому

    Mashaallah tabarakaallah,Allah akuhifadhi in shaa Allah na umri wa afya akujaalie tupate kuelimika pamoja na vizaz vyetu in shaa Allah

  • @mamiyjadida8128
    @mamiyjadida8128 6 років тому +9

    Allah amjalie uzima na afya njema

  • @awenahmohammed7067
    @awenahmohammed7067 4 роки тому

    Mashaallah Athman maalim...shukran kwa darsa zuri ....Allah akulipe kila lakher na akujaalie kizaz chema na pepo njema.

  • @leodavid5714
    @leodavid5714 7 років тому +3

    Mashaallah Mashaallah Sheikh Othman maliim Allah bless you for everything in Dunia and Fil Jannah inshallah

  • @khuzeimaabdul4275
    @khuzeimaabdul4275 7 років тому +6

    ALLAH BARIQ MWENYEZI MUNGU AKUWEKE UENDELEE KUTUELIMISHA

  • @mkassyhamad3750
    @mkassyhamad3750 9 років тому +6

    MashaAllah.Mawaidha yako sheikh yamenigusa..Allah atatuongoza InshaAllah

  • @ayshahamsi2297
    @ayshahamsi2297 7 років тому +4

    mashallah jazakallah kher mwenyezmung atuongoze

  • @alimohamedalisaid7040
    @alimohamedalisaid7040 5 років тому +2

    Masha Allah mungu akupe afia ameen thuma ameen

  • @ntakirutimanamaisara4529
    @ntakirutimanamaisara4529 5 років тому

    mashaallah sheik wetu jazzakallah khreil allah akuongoze kati kanjia ilionyooka inshaallah

  • @clovisbitaruka3852
    @clovisbitaruka3852 3 роки тому

    Tunafaidika sana allah akupe mwisho mwema

  • @fatmamgora6971
    @fatmamgora6971 8 років тому +2

    jazakalwahu khaira shehe othman maalim Allahuma jaalni mima yastamiuna lkaula fayatabiuna ahsana

  • @binbaya923
    @binbaya923 3 роки тому

    Maa shaa Allah. Allah akuzidishie ilmu yaah sheikh

  • @abystereo3217
    @abystereo3217 4 роки тому

    Allah akupe umri mrefu uzidi
    kutukumbuxha na kutufundixha👏👏👏

  • @رحيمهخميس
    @رحيمهخميس 6 років тому +1

    Mashaalha mawaidha yameniweka kwenye furaha shukurani

  • @omarionaabubakar2454
    @omarionaabubakar2454 8 років тому +4

    nakupenda maalim Athman kwa ajili ya ALLAH

  • @ramadhannzaro3881
    @ramadhannzaro3881 6 років тому

    Allah akujaalie umri mrefu sheikh uzidi kutupa daawa inshaallah

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 років тому

    MashaAllah Allah akuzidishie kila KHERI katika maish yako in shaa Allah akup kizaz chema, na pepo iwe makz yak.

  • @kherijuma4083
    @kherijuma4083 3 роки тому

    Mashaallah shehe kamaliza kila kitu

  • @fatmaswaleh5420
    @fatmaswaleh5420 4 роки тому

    maa xhaa allah kila la kher shekh. maalim

  • @sakinamohd8101
    @sakinamohd8101 5 років тому +1

    Allah akupe umri twawila (mrefu) ya rabbi

  • @issaahjuma4151
    @issaahjuma4151 7 років тому +1

    mashaallah tuna nufaika sana mungu akulipe badala

  • @mohdnassor5194
    @mohdnassor5194 4 роки тому

    Mungu atuwekee shekh wetu

  • @jadidajadida9154
    @jadidajadida9154 7 років тому +3

    Allah akujalie mwisho mwema

  • @djuninhoramisos2453
    @djuninhoramisos2453 5 років тому +1

    Mashallah jazaakallahu khayran yaa imam

  • @omarybakari2379
    @omarybakari2379 8 років тому

    Alla ampe maisha marefu othoman maalimu

  • @halimakalendi7533
    @halimakalendi7533 5 років тому

    Mungu akupe umri Sheikh Othman Maalim

  • @aishaiddi5246
    @aishaiddi5246 3 роки тому

    Mashaallahusheikh

  • @rossamengo7211
    @rossamengo7211 4 роки тому

    Shekh huyu ALLAH akujalie umri

  • @ledon7335
    @ledon7335 9 років тому +4

    Shukran Maalim, jazakallahu kheir

  • @rahmmagirl2490
    @rahmmagirl2490 10 років тому +16

    Mashaalla sheikh, it's our turn 2 change behaviour in marriage inshallaa ,how do a person get our number, nimeslim mwaka wa 2011 bt since then sijawai kusikiza mawaidha kiasi hiki I hv been following on UA-cam many of your videos the truth nimefarijika kiisilamu haswa video ya ''subra''.Allah akuzidishie. Rahmma from Saudi Arabia.

  • @سعدهسعده-ت7غ
    @سعدهسعده-ت7غ 7 років тому

    mashallh allh hakuzidishiy kwa mawaidha

  • @jumasungura7945
    @jumasungura7945 3 роки тому

    Tumtegemee Allah

  • @aminajabir9843
    @aminajabir9843 8 років тому +4

    shukuran jaazakallah khaira

  • @mimamkassy6563
    @mimamkassy6563 7 років тому +1

    MashaaLLAH jazakallahu kheir
    ALLAH akulipe kheir

  • @sadammatsawili7558
    @sadammatsawili7558 9 років тому +11

    MashaAllah. Nashauri mawaidha yote ya sheikh Othman Maalim yatengenezewe Mobile App, na iwekwe kwenye Play Store ili watu waweze kuyapata kwa urahisi zaidi.

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  9 років тому

      Sadam Matsawili EBU FANYA NASI TUIGE

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  9 років тому

      Sadam Matsawili EBU FANYA NASI TUIGE

    • @katungukitambala4561
      @katungukitambala4561 9 років тому

      +AKASHA DAAWAH vipofu wa roho hamuoni huyu jamaa akichora satanic mark na wala sio hii video pekee. Mungu yupi munaye omba kawaruhu ku chora 666 wakati munahubiri. Hizo ni nguvu za giza. Kwakua hamuna Yesu ndani yenu ndio maana Shatani amewafunga macho na mioyo yenu ilimusipokeye neema ya Yesu kristo. Mukisoma bibilia muombe Mungu awaoneshe njia ya kweli. kama umefurahishwa na neno la Mungu basi nifuate katika Google plus. Mungu awe nanyi.

    • @kebbyrogers5915
      @kebbyrogers5915 9 років тому +1

      we kweli choko...

    • @kebbyrogers5915
      @kebbyrogers5915 9 років тому +1

      we kweli choko...

  • @سعدالمنجي
    @سعدالمنجي 5 років тому

    Shukran kwa mawaidha na tumewaidhika shukran

  • @didaabu6074
    @didaabu6074 9 років тому +4

    jazakumullahul kher

  • @khamisjumazume8477
    @khamisjumazume8477 4 роки тому

    Elmisha baba lakin Hawa watu wagumuuu,hatari sanaaa wallwh.

  • @سعدالمنجي
    @سعدالمنجي 5 років тому

    Allah akulipe kheri inshaallah

  • @abdiboru3259
    @abdiboru3259 4 роки тому

    Asalamualeikum Allah akupe shifa

  • @zouzou2849
    @zouzou2849 4 роки тому +1

    Jazakallahu kheri

  • @emmanueldavidy323
    @emmanueldavidy323 8 років тому

    tupe darasa othman maalim maashaallah

  • @ali190
    @ali190 6 років тому +1

    mashaalah

  • @aishaabdalah6289
    @aishaabdalah6289 6 років тому

    Mashallah othman maalim

  • @hafidhramadhan3942
    @hafidhramadhan3942 8 років тому +2

    MAshaaAllah..........

  • @destiny4life439
    @destiny4life439 6 років тому +1

    jazakallahu l kheyr

  • @lionsofia8884
    @lionsofia8884 5 років тому

    Mashaallah tabaraka Allah

  • @hassansheria8937
    @hassansheria8937 7 років тому +1

    MASHA ALLAH

  • @omarsalim6330
    @omarsalim6330 5 років тому

    MAA shaa Allah

  • @ismailabdallah6720
    @ismailabdallah6720 7 років тому

    shukrani maalim

  • @thefarati9977
    @thefarati9977 7 років тому +1

    Masha Allah

  • @saidiikonde5523
    @saidiikonde5523 5 років тому

    Alla amuhidhi

  • @boykaaledjoz5422
    @boykaaledjoz5422 8 років тому

    Sheikh Nakufatilia sana Mawaidha yako yooooote

  • @suleimanbadi645
    @suleimanbadi645 8 років тому +1

    mashallah

  • @ganettsofa7015
    @ganettsofa7015 5 років тому

    MashaAllah

  • @saumumahu2608
    @saumumahu2608 8 років тому +4

    االسلام عليكم.شيخ عثمان معلم شكرا جزيلا الله يعطيك العافيه ويطوّل عمرك انشاء الله lkn nauliza hkn tabia za wanaume wabaya?

  • @athumanchato3217
    @athumanchato3217 7 років тому +2

    swadakta

  • @bilalisurasa8199
    @bilalisurasa8199 10 років тому +2

    true

  • @mikekhalifaali7510
    @mikekhalifaali7510 2 роки тому

    Mambo ya Maulid nayo ni uzushi wenye kupotosha

  • @saidymtawa1168
    @saidymtawa1168 9 років тому +2

    umenigusa sana

  • @rafanasadiki31
    @rafanasadiki31 8 років тому +1

    kweli shekha ila na wanaume wengine nao mkigombana kidogo tu bas ntakupa talaka

    • @is.haakahamza1988
      @is.haakahamza1988 6 років тому

      Maashaallah jazaka llah kherii

    • @luhengohamisi2275
      @luhengohamisi2275 5 років тому

      asalaam aleykum mzee shekhe samahani ilikua naomba kisa cha saidi ibn jubeiri na yule jamaa alie kamuua samahani nimesahau kidogo nipo mozambique n+258866615853 ikibidi nitumie kwenye whatsapp tazali

    • @yazidumakeo8437
      @yazidumakeo8437 5 років тому

      Ayo maisha sheehe wangu maashaa alaa

    • @yazidumakeo8437
      @yazidumakeo8437 5 років тому

      Mungu akuzidishie maisha malefe

    • @samiribrahim5181
      @samiribrahim5181 5 років тому

      Allah naye aku lipe sheikh

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 4 роки тому

    shekh nyund anasem tupige mizinga kwel kwel

  • @dadadadaas5958
    @dadadadaas5958 8 років тому

    UNAZO????

  • @ummymuya.2060
    @ummymuya.2060 8 років тому +3

    What the hell 666 mark you are talking about? Imani za kijini? Hivi yupo kipofu zaidi ya yule anayehusisha ibada yake na kiumbe kama yeye? Hivi unamjua YESU kweli? Hivi yupo mwanadam anaeweza kumpa neema mwanadamu mwenzake?
    Usiwe kipofu wa dunia coz utakuwa kipofu zaidi siku ya hukumu...
    Let me give you simple knowledge that doesn't need anyone to attend the class, just use yr mind kujua ukweli!
    M/Mungu ametuumba na anatufahamu in and out. Alijua miongoni mwa mambo ambayo tutayajengea hoja tukiwa juu ya mgongo wa ardhi (katika kumtambua yeye) ni uumbaji wa mwanadamu. kw hiyo aliumba katika hali zote nne ili isiwepo hoja juu ya hilo ila vipofu kama wewe bado hamlioni.
    1) M/Mungu ameumba mwanadam asie na baba wala mama... Baba yetu ADAM
    2) M/Mungu ameumba mwanadam alie na baba pekee bila ya mama ... Mama yetu Hawaa (Eva)
    3) M/Mungu ameumba mwanadam alie na mama pekee bila ya baba... Issa bin Maryam (Yesu)
    4) M/Mungu ameumba mwanadam alie na baba ba mama... wanadamu wooote tuliobakia ukiwemo wewe.
    Hapo uungu au umwana wa mungu (wa Yesu) unatokea wapi mpaka yeye awe ndio mtoa neema? Fungua macho ndugu yangu usije kupata yakini wakati usiostahiki maana hakuna ataeondoka dunia hii bila kujua ukweli juu ya imani yake, tatizo it will be too late! Tafakari!

  • @ahmedali0333
    @ahmedali0333 5 років тому +1

    Mashallah

  • @jamilashoo7749
    @jamilashoo7749 4 роки тому

    Masha Allah

  • @eliaminiiddymbwambo160
    @eliaminiiddymbwambo160 5 років тому

    Mashaallah

  • @johaabbas6896
    @johaabbas6896 5 років тому

    Mashaallah

  • @mwanamisimusa1015
    @mwanamisimusa1015 2 роки тому

    Mashaa Allah

  • @husnarahim3452
    @husnarahim3452 4 роки тому +1

    Mashaallah