Mawaidha mazuri mashaallah na yote yasemwayo hapa na shekhe ni ukweli mtupu, tujirekebisheni jamani, tupe ukweli shekhe japo yauma cha muhimu hapa nikujirekebisha tuliokua na tabia hizi
Masha Allah watching now from USA . Great lecture Masha allah sheikh Juma great sheikh May almighty Allah reward for him even though it could have been fine if he could have been translating in to English too so that non kisiwahili speakers could benifits more .
Very educative ! May Allah reward you ubandantly . Ila Kuna wajinga nimechoma waponda mawaidha hay a, let them remain black as they are! SHEIKH AMIR NI CHUO NA MOOR KEA UMA. AL HAMUDUL LAH.
tunatakiwa tujitahidi tenatuwaacchane na mambo yakishetani maana sanyegine tunamuuingiza tu kwakumlazimisha tuishaalwa mungu atusaidie sisi wenyewe pamoja nawatoto wetu nawaislam kwaujumla aaamiiin
kila siku tunaambiwa tuwa tii waume ktk ndoa hao wanaume hakiyake gani juu yangu tena anakuona sichochote na hali umemzalia aheshimu wazazi wako upo tu kwasubra.ukingoja majibu kwa Ala myambie hakiza wake iliwamuogope Alah.
kuwatendea kheri wanawake na si kinyume na hapo, lakin pia wameruhusiwa kuwaadhibu watakapokosea, iwe pigo dogo lisiloleta maumivu au kuacha alama ya maumivu ktk miili yao. Lakin ni lazima mume amlishe, amvishe na aishi kwa wema na mkewe.
Haki kubwa kuliko zote ambayo mume anihitaj kutoka kwa mkewe, ni mwanamke kumtii mumewe atakapoamrishwa pasina kuijali nafsi yake au mali yake hata kama anayomrishwa atakuwa anayachukia. Kikubwa isiwe kumuasi Allah
Sasa hapo kanzungumzia warabu Au mnataka kuwatukana tu kwa roho zenu zilivyo mbaya tu yani siku hizi kila kitu mnafanisha na warabu Hasbiallah waneema lwakili.. Mtukome
+Amina Osman Noor Ukhty, wee ni mmoja wa hao walo wabaya.Na sio kashfa ilotolewa hapo. Ni mawaidha ukipenda sikiliza uchukue faida au wachana yao. Kesho kaburini ndio mwisho wa mbio na maringo na majivuno. Wacha kibri ukhty
Subhana llah mashekhe wengi wa ki Africa hawana mawaidha isipokuwa ni wanawake basi kila aina za lawama wanapewa wanawake ni kweli moto wa jahanam wengi wao ni wanawake tungeomba mashekhe wetu wangewasaidia wanawake kujiokoa ktk adhabu iyo.. kuweni RIJAL wa kweli ktk majumba yenu muyaweze masuuliya ya nyumba zenu muone kama wake zenu hatotengenea.....
Um Arwa Anayasema mabaya yao ilia waume wayajue na wajue how to deal with it... wakika kimya wengi hawatojua. pia usiwanukuu vibaya Masheshe wa Kiafrika. Tafuta mashekhe woote wa Africa uangalie mada wanazozungumza ... sio wote wanazungumzia wanawake...
utasemaje kuwa mimi nimoja wa wale 'wabaya' kwani wewe ndie mzuri???? wacha kujifanya mtu wa kheri . umenijulisha kuwa roho yako ni mbaya. atakae hukumu ni mwenyezi mngu. sio mbea kama wewe. wajidai kuwa umislamu. kesho akhera kila mtu akakwenda na amal yake!!!!
Shehe elimu hiyo unayotupa ni bora sana kimaisha naupenda uislam nitasllimu kwa sababu ni dini ina sheria na miongozo aksante
Mashalllah mawaidha yanatukumbusha wajibu wetu ktk kutunza ndoa. Mwanamke mzembe huwa mtihani hajui majukumu yake na ndo chanzo cha maadili mabaya. Jazaka llahu lkhyr .....amin. Salam
Mawaidha mazuri mashaallah na yote yasemwayo hapa na shekhe ni ukweli mtupu, tujirekebisheni jamani, tupe ukweli shekhe japo yauma cha muhimu hapa nikujirekebisha tuliokua na tabia hizi
Halimah Omari 😊
Assalam alaykum
ua-cam.com/video/Q03u3OvmHxg/v-deo.html
Asanteni sana ndg zetu waislamu kwa kutushirikisha mawaidha haya ni mazuri sana binafsi nimebarikiwa kiukweli
MASHAALLAH Jazaka Allahu khery
Masha Allah watching now from USA . Great lecture Masha allah sheikh Juma great sheikh May almighty Allah reward for him even though it could have been fine if he could have been translating in to English too so that non kisiwahili speakers could benifits more .
MashaaAllah napenda mawaidha yako.sheikh juma amiri..mungu akuzidishea amiin..atuongoze na sisi sote waislamu..
Si mchezo m.mungu atujaalie tusiwe ktk miongon hilo kundi
He is my fav...sheikh Juma
Isha D'amour are you sure???
It will be nice if you'll continue to listen what he's talking about then you've to change according to his instructions please!!!
maa shaa ALLAH, mawaidha mazuri ALLAH akujaalie umri sheikh uzidi kutuelimisha
Siti Khamis h*
Hassanimusamuktar Muktar
Siti Khamis 0
Jazakallahu Kheir.Maa Shaa Allah.....................
Sabra wajina
Thanks for the video. Will be great tukipata wanaume wabaya pia inshaALLAH.
Sure
ua-cam.com/video/IbV2Km53Qlw/v-deo.html
Very educative ! May Allah reward you ubandantly . Ila Kuna wajinga nimechoma waponda mawaidha hay a, let them remain black as they are! SHEIKH AMIR NI CHUO NA MOOR KEA UMA. AL HAMUDUL LAH.
mungu akupe umri mrefu uzidi kutupa darasa.mawaiza mazuri kweli
NAPENDA SANA MAWAIDHA YA SHEIKH HUYU, ALLAH AMZIDISHIE KHEIR
NAIMA AHMADA inshallah #Amiin
Hi
Salam
Napenda Sana mawaidha juma amir sheikh,Allah ampe maisha marefu.
NAIMA AHMADA aamiin
Mashaallah shekh bless you Ameen
Allah awalipe kila la kheir shukran kwa mawaidha mazuri na yote ni ya kweli sasa ni sisi tupange karata zetu zipasavyo.
Anayozungumza. shekhe. nikweli. wapo. wanawake. wanamna hiyo. asante. kwa mafundisho. mazuri. Allah. awalipe kila la kheri. inshaallah
Masha Allah Mungu akueke sheikh sichoki kuskiza hii darsa 😃
Sheikh Allah Akujaze khayr na Akuhifadhi daima na afya madhbuti Akupe,hakika hachukii na au kupinga haya ila aliepotea na yuwapendà kupotea,keep on
maasha allah
tunatakiwa tujitahidi tenatuwaacchane na mambo yakishetani maana sanyegine tunamuuingiza tu kwakumlazimisha tuishaalwa mungu atusaidie sisi wenyewe pamoja nawatoto wetu nawaislam kwaujumla aaamiiin
Masha Allah ni mawaidha mazuri sana ahsante sheikh tafadhali tunakuomba utuletee part 2 tunaisubiri kwa hamu kubwa mno
AHMED FARAHSOS JR and
Maa shaa Allah tabarakallah nice my sheikh Allah kujalie mwisho mwema ,Allahumma ameen
Mashallah
mawaidha mazuri sanaaa mungu akupe umri mrefu mashaallaah
Please dears hapa c mahali pa kusema nani mwema wala nani muovu la kufanya comment kitu cha faida ili tufaidike sote. Allah atuongoze sote...amin
Masha Allah ni mawaidha mazuri sana ahsante sheikh tafadhali tunakuomba utuletee part 2 tunaisubiri kwa hamu kubwa mno insha Allah
Aina 7 Za Wanawake Wabaya Part 2
Masha Allah Allah ina mafunzo mazuri ❤
Alhamdu Lilah Allah amlipe KHERI kwa mchango wake ktk dini,kwani umma Leo hii wapotea
Jazakallah khaila
Shabash professor Jumaa Amer
Jazakallah khair. Allah akuzidishie sheikh
Mashallah wa Allahu barik
mungu akulipe sheikh!! unayosema nikwelikabisa .endelea kutukumbusha tunapotea sana😢😢
Shukran mashekh MMungu akujaalieni kher..
Mashallah sheikhe munqu akujalie pumzi uendelee kutupa somo
wanawake ndo watu wakorofi sana lkn hata wanaume wpo ndo maana kuna sura nzima inaeleza vitimbi vya wanawake,,,,,,, #
ma shaa Allah!where Is part 2?
may Allah grant you jannatul firdaus .
masha Allah sheh m ungu awalipe kilalakher
Amina Osman umekosea
😂😂😂😂😂nakupenda kufa billah shekh weyee unanipag rah na mafunzo ktk nasaa zako yan khataree Allah akukinge na hasada za binadaam🙏
Mash Allah sh.juma amr
wanafiki waliomchomea shekhe Rogo kuuliwa wanaongea Allah atawaumbua
Amina Osman mlaan sheitwan shehe atua mafundisho weye waona niujinga ee wangekua wapumbavu Kena diamond ungelisapote achaujinga fikiria usemalp kabdayakusema
maaashalwa mawaidha mazuri shekhe juma
Mwenyezi mungu akujalie pepo yake
Sheikh shukrani Sana ,huku Uganda wanawake hawaambiwi ukweli was Mambo,wengi waolewa bila ya kujua kwanini anaolewa?.
Mashallh
Maa shallah
Mashaallah
mwanamke amjali mume. je mume wameambiwaje na Mtume (s.a.w) kuhusu wake zao tunata kujua masheik .
kila siku tunaambiwa tuwa tii waume ktk ndoa hao wanaume hakiyake gani juu yangu tena anakuona sichochote na hali umemzalia aheshimu wazazi wako upo tu kwasubra.ukingoja majibu kwa Ala myambie hakiza wake iliwamuogope Alah.
kuwatendea kheri wanawake na si kinyume na hapo, lakin pia wameruhusiwa kuwaadhibu watakapokosea, iwe pigo dogo lisiloleta maumivu au kuacha alama ya maumivu ktk miili yao. Lakin ni lazima mume amlishe, amvishe na aishi kwa wema na mkewe.
haha masha allah sheikh juma ameir
allah awajarie
Masha Allah
2020 covid19 self isolation
MashaAllah
Uhakika siwezi acha kumpenda shehe juma
Mashallah
Ma shaa Allah
Ilove it
Nimeipenda hy aina 7 ya wnwk wabaya wallah nimeelimika lkn haijaisha wheres part 2?
Aina 7 Za Wanawake Wabaya Part 2
Ideal muslim add me pls
Shukran jazzir
nilijifunza mengi kutoka hio mawaidha
Aksanteni ndg zetu kwa kutupatia mafundisho hayo mazuri ya dini
Maashaallaah
Shukran
Mashaallah nafurah sana yani
mashaalah
Hhhhh sheikh una vidaka wallahi
maashallah
Mash alla
shukran
Good
mashallah
fay scope nice
hizo haki za mume mbona adimu mashei k hayasemi hamna mawaidha kuhusu haki za mume juu ya mke wake kimya.
Haki kubwa kuliko zote ambayo mume anihitaj kutoka kwa mkewe, ni mwanamke kumtii mumewe atakapoamrishwa pasina kuijali nafsi yake au mali yake hata kama anayomrishwa atakuwa anayachukia. Kikubwa isiwe kumuasi Allah
Wanaume wabaya hakunaaaa?
Tulia kwanza dozi iingie...wanaume wabaya nao wametajwa tafuta darsa zingine za sheikh.
Masha llah
ilike
2 nikama waarabu hajuichochote sheikh wanawake wa kiarabu
Sasa hapo kanzungumzia warabu Au mnataka kuwatukana tu kwa roho zenu zilivyo mbaya tu yani siku hizi kila kitu mnafanisha na warabu Hasbiallah waneema lwakili.. Mtukome
Tunao hao majumbani kwetu
May ALLAH grant you jannah
nimeona wanaka kama hawa kama unakabaliana na mi.
Mawaidha mazuri yanafundisha
-25:18
Juma Amiri asema mume na mke yafaa kurambana tupu za nyuma. Je ni sawa?? Mahali pa mavi mtu kuweka ulimi. ASTAGHFIRULLAH
Nice
Kuna wanawake wana act wanawazim na mashetani sababu ya uvivu na kuwaangaminza waume zao
10x
suitable
Kwel shekh unayo sema ...
Mbona wawa kashifu wanawake? hebu tuwate na utupe amani. kaa ukijuwa aliekuza ni mwanamke!!!
+Amina Osman Noor
Ukhty, wee ni mmoja wa hao walo wabaya.Na sio kashfa ilotolewa hapo. Ni mawaidha ukipenda sikiliza uchukue faida au wachana yao. Kesho kaburini ndio mwisho wa mbio na maringo na majivuno. Wacha kibri ukhty
ua-cam.com/video/IbV2Km53Qlw/v-deo.html
Amina Osman Noor hatukashifu hiyo nikweli
Amina Osman Noor wewe mwehu kabisa yawezekana ni mmojawapo ya hao wanawake waovu kwa waume zao!
Subhana llah
mashekhe wengi wa ki Africa hawana mawaidha isipokuwa ni wanawake basi kila aina za lawama wanapewa wanawake
ni kweli moto wa jahanam wengi wao ni wanawake tungeomba mashekhe wetu wangewasaidia wanawake kujiokoa ktk adhabu iyo..
kuweni RIJAL wa kweli ktk majumba yenu muyaweze masuuliya ya nyumba zenu muone kama wake zenu hatotengenea.....
Um Arwa una machungu kweli, kwani umeguswa ama nini?
Um Arwa Anayasema mabaya yao ilia waume wayajue na wajue how to deal with it...
wakika kimya wengi hawatojua.
pia usiwanukuu vibaya Masheshe wa Kiafrika.
Tafuta mashekhe woote wa Africa uangalie mada wanazozungumza ...
sio wote wanazungumzia wanawake...
Um Arwa yakweli kubali
ua-cam.com/video/IbV2Km53Qlw/v-deo.html
Um Arwa unakosea hawatungi wao ila nivitabu wanafuata
utasemaje kuwa mimi nimoja wa wale 'wabaya' kwani wewe ndie mzuri???? wacha kujifanya mtu wa kheri . umenijulisha kuwa roho yako ni mbaya. atakae hukumu ni mwenyezi mngu. sio mbea kama wewe. wajidai kuwa umislamu. kesho akhera kila mtu akakwenda na amal yake!!!!
Miss somali una maana gani kusema nina vituko. Maxakuwaliya ina adher?
Poor person.....you need prayers
Go to hell
Amina Osman Noor may be I will find you there
You will find yourself there
mashaallah
Anapotosha watu huyu Shekh na sijui kwann watu wanamsikiza
Jazakallah khaila
Masha Allah
Manshaallah
Mashaaallh
Mashallah
mashaallah
Sabrina Imran
Allah akuzidishie elimu yenye manufaa
mashallah
Maa shallah