PART 1: DR. MWAKA AIBUKA, HAJAKUBALI NDOA KUVUNJWA, AMVAA SHEIKH WA DSM "HAYA NI MATAPISHI, AIBU".

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2023

КОМЕНТАРІ • 930

  • @deejulesdonatha4107
    @deejulesdonatha4107 Рік тому +28

    Baby lets go vacation ukiachwa achika mwanamke mpaka adai talaka ujue kavumilia mengi

    • @vaskosamweli3556
      @vaskosamweli3556 Рік тому

      Sio Kavumilia mwanamke akipataga mwanaume wakumdanganya anaanza kudai taraka kwa nguv sio kma anakua ananyanhaswa

  • @ahmadzubeir3363
    @ahmadzubeir3363 Рік тому +6

    Ushauri wangu kwako Mwaka. Kwakua Mke wako ameshasema kwamba kwambahakutaki na anataka talaka yake ni bora ukampa talaka yake kwa kheri na salama mukatengana kuliko kuja kulazimisha kutomuacha kisha aidha wewe ama mke wako mmoja wapo akaja kufanya jambo kisha akaja kulijutia maisha yake yoooote.

    • @hasaniabdalah6148
      @hasaniabdalah6148 Рік тому

      Kaka hapo utambue Jambo 1.la msngi dr hakatai kuachana na mkewe ila hapo kuna Jambo nyuma ya pazia analihofia kua yawezekana wabaya Wake wakatumia nafasi hiyo ya ugomvi na mkewe kumuarest anachotaka ni vipengele vya sheria ya mungu kufuatwa

  • @universitylink
    @universitylink Рік тому +5

    Doctor mwaka uko right kwa haya unayoyaongea tunakuomba uwende usuluhishe issue ya mkeo kifamilia na kwa kadhi vizuri sana Allah awalipe kheir wote nyie

  • @tmt2642
    @tmt2642 Рік тому +12

    Jamaa kachanganyikiwa huyu..hajakubali kuachwa😂😂😂😂

  • @nemecymsanya4952
    @nemecymsanya4952 Рік тому +31

    Bro Acha na social network endelea na maisha yako na biashara zako cha msingi lea watoto wako. Ushauri wa bure Dr mwaka piga kazi askari wangu.

    • @jescadeogratias5292
      @jescadeogratias5292 Рік тому +1

      Akitaka janja janja ya kukwepa kulea.Talaka ishatoka,na unapangiwa matumizi ya watoyo

    • @hamidudongo1879
      @hamidudongo1879 Рік тому

      Sio suala la social media. Yule Mwanamke amefanya katika social media ili kumuhaibisha Dokta Mwaka. Kuna watu wamekatwa masikio na wengine wamekatwa Uume, lakini hatuja wahinkuwasikia mambo yao ya kuachana. Yule Mwanamke anajua fika kwamba dokta mwaka social media guy and I don't agree with most of things anavyoongea kwenye vipindi vyake. Ila hili hapa hiyo ndio ilikuwa dawa yake yule Mwanamke

    • @amirishauur5795
      @amirishauur5795 Рік тому

      apo kuna mali iningia pasu babuu uspoongea unaeza ukapishana

  • @krintonnyembo4759
    @krintonnyembo4759 Рік тому +23

    Kaka uliambiwa uombe radhi ukagoma,hata kama huna nywele Kaa,tulia wakunyoe vyema sasa.

    • @nathalieswedy3653
      @nathalieswedy3653 Рік тому +1

      🤣

    • @fadhilhelebula664
      @fadhilhelebula664 Рік тому +1

      😂😂😂😂

    • @zulfahussein6784
      @zulfahussein6784 Рік тому +2

      😂😂😂😂 hilo neno

    • @betridajulias7676
      @betridajulias7676 Рік тому

      Nyie wanaume Mungu tu awasaidie tena nyaza tu.Nyie upenda kunyanyasa wanawake nasi tumeumbwa tunamoyo pia ndokashachoka mwenzio.Ukiachwa achika,ulitaka umuache mke maana ndo imekuwa kawaida ila mwanaume kuachwa niaibu

    • @betridajulias7676
      @betridajulias7676 Рік тому

      We siunzonga pesa sasa umeumbuka

  • @zuwenaadja2261
    @zuwenaadja2261 Рік тому +10

    Unachokilalamikia nini Dr hapa😂 ukiachwa achika basi.

  • @neemashuma5595
    @neemashuma5595 Рік тому +6

    Ngazi ya familia ya nini muache Queen aendelee na maisha na wewe na baby let’s go vacation endeleeni

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +45

    Mwaka mzima hujamgusa mkeo 🙄 huduma huna lakini kumtumia police pia hapana ndoa hapo muache atapata mwengine 😄 mwanamke mzuri kama yule

    • @augustkisaka5107
      @augustkisaka5107 Рік тому

      Kama amuneshi mwelekeo

    • @buthainaayoub9107
      @buthainaayoub9107 Рік тому +2

      Wewe hujui chochote hebu olewa ndo utajuwa anachoongelea mwaka, mnaishi na maboyfriend mnaacha kihuni huni basi unadhani pia ndoa zinaenda hivyo

    • @mwanatz5980
      @mwanatz5980 Рік тому +1

      @@buthainaayoub9107 Pole sana usichokijua sawa na usiku wa kiza mimi naijua ndoa ndio maana nikajibu ndoa sio vita ndoa nimakupaliano ya watu 2 mmoja akichoka hakuna ndoa hapo

    • @mwanatz5980
      @mwanatz5980 Рік тому

      @@buthainaayoub9107 hivi wewe mwanamme alie oa anawezaje ukishi na mwamke bila kumgusa wakati ndio kilicho waunganisha wakaingia kwenye ndoa tendo la ndoa

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 Рік тому

      Hao mashehe anafunjwa ndoa yako kwasababu,hio ndoa alifunga ndo mashehe hao ,ww nenda kwenye mahakama wao atagawa Mali,kama ww muislamu kweli kama ujakaa nae mkeo Kwa cku 40 basi hio ndoa imefunjwa ww mwenyewe

  • @chumaulete7273
    @chumaulete7273 Рік тому +7

    Kwa ninavyo kuona tutasikia suala la watoto umepelekwa tena mahakamani....

  • @iam_mobam
    @iam_mobam Рік тому +8

    Dr. Maisha Hayana Tafsiri Kaka.🤝🏾

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 Рік тому +8

    Usituchoshwe kama umeona ujatendewa haki mufti kasema ukate rufufaa kwendaaa

  • @sky-wz5zi
    @sky-wz5zi Рік тому +8

    Kwan huyu Mwaka kwann hataki kutoa talaka? Tuanzie hapo kwanza, maana kupelekwa bakwata ni kuwa kagoma kutoa talaka na bado anaonesha hataki kutoa talaka! Sasa kwann usimpe mwenzio talaka awe huru? Haupo nae zaid ya mwaka mzima, hakutaki nawe humtaki kwann usimpe talaka? Unaonekana kama tahira flan hv, manaume ya hv ni masenge sana, linakung'ang'ania na wkt hampo pamoja. Shame on u Mwaka

    • @lissamnyingi6457
      @lissamnyingi6457 Рік тому

      Siri anaijua yy Dr Mwaka Kama alikuwa anatembelea nyota ya qeen akisha muacha Kila kitu kinamfuata muhusika.

    • @joharikasuwi6973
      @joharikasuwi6973 Рік тому +1

      Tena yeye anajiona Yuko sawa wakati alishampeleka mwenzie polisi. Usingeenda polisi kaka wanawake tukichoka tumechoka usiombe yakukute sasa vumilia

  • @ahmedsalim4930
    @ahmedsalim4930 Рік тому +5

    Well said brother ilikua haina haja kuiweka vedio kidunia ur in good thinking tomorrow may Allah protect you

  • @ummimohammed-pn1oz
    @ummimohammed-pn1oz Рік тому +2

    Talaka ni haki mwanamke akikukata ni haki yake muhimu akurejeshee mahari yako aendelee na maisha yake. Nimemuona kwa macho yangu mwanamke mwenzangu akilia anadai talaka yake mpe usimsumbue maisha mafupi usihadaike na pumzi sote tutakufa na vyote tutaviacha mwacha mwanamke aende salama.

  • @mohameddjair1739
    @mohameddjair1739 Рік тому +1

    Good point

  • @jeremialyati6092
    @jeremialyati6092 Рік тому +9

    Queen anatakiwa Baba 🤣🤣🤣🤣

  • @amraniramadhani4148
    @amraniramadhani4148 Рік тому +7

    Soma vizuri katiba ya bakwata, baraza la masheikh la mkoa lipo ktk katiba, hio ishu imeisha Isha uza TU dawa

  • @iddydaruwesh8650
    @iddydaruwesh8650 Рік тому

    Tatizo lugha zako sio nzuri na ujuwaji mwingi siungi mkono yote ila jitambuwe kabla ilitokea matatizo wew na huyo sheikh wa mkoa sasa unawaingiza wengine kuwa wahuni. Kauli sio nzuri

  • @ameirothman805
    @ameirothman805 Рік тому +1

    Mukiendelea na mvutano huo watt mtawapa wakt mgumu sana endelea na matibabu kwa wagonjwa pia nafc unayo ya kuoa mke mwengine usimize kichwa mpe haki yke mkeo kitokea nyumba Fata taratibu za dini n nchii pia uc force kusema ndoa haijavunjika ila kk kosa kuwaita viongozi wahuni inauma sana hakuna sehemu utakayo enda ukashinda juu y hii kesi

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 Рік тому +7

    mwanamke hakutaki toa taraka bhana

  • @banajuliana758
    @banajuliana758 Рік тому +3

    Uliacha kuwahudumia ukifikiri unawakomoa sasa jnalalamika nini? Koma msosi 👌

  • @ameirothman805
    @ameirothman805 Рік тому +1

    Umekosea sana kuwaita viongozi wahuni dah kaka ni ngumu sana viongozi kukuunga mkono pia ndoa inapo ingia dosari ni muhimu kutatua ttz ila kesi ishakua kubwa cha muhimu stay humble ila usisusie watt chengine zingatia sheria za dini Kuna wakt utaingia mattz bila ya kujua muachie mungu wasichn wpo wengi sana

  • @maulidmnukwa3171
    @maulidmnukwa3171 Рік тому +2

    Kuna mambo ya kukushauri dk. Mwanak
    1. Jambo la Kwanza fitna huzimwa kwa uchamungu japo kupigania heshima yako Ni sehemu katika jihadi
    2. Ndoa inaweza ikavunjwa na qaadhi au hata sheikh ikiwa hamna qadhi ndio maana katika sheria Kuna anaitwa muhakkam kiujumla Ni mjuzi wa mambo ya kisheria
    3. Jambo la tatu shida sio sheikh wa mkoa shida Ni mkeo cs popote mtakapoenda

  • @ramadhanfara2302
    @ramadhanfara2302 Рік тому +9

    Mwaka mzima hautumi hela ya matumizi ya watoto

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 Рік тому +12

    Huna tatizo kuvunjika kwa Ndoa kwa sababu unajua Utaenda kuoa Mwanamke mwingine Umchezee tena. Watu kama nyie ndio mkikatwa neti zenu mnalalamika kumbe ni history na tabia chafu za kucheza na maisha ya wanawake

    • @eliaskahory7116
      @eliaskahory7116 Рік тому

      Mmmm vp yamekukuta

    • @lissamnyingi6457
      @lissamnyingi6457 Рік тому

      Kabisa wanatuona hatuna akili unavumilia weee mwenzio anaendelea kula Raha, Mwanamke akishasema Baasi Mzee utahis unaota ila ndo uhalisia si wanadhan mapenzi ni Pesa waoe Bank sasa kunguru wasio fugika

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 Рік тому

      @@eliaskahory7116 😆😆😆😆😆

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 Рік тому

      Kwan kutoa taraka kuna kaz kwanza maan ukiona mtu anaitaj taraka ujue amekuchoka

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 Рік тому +2

    Toka hapa bwana umekaa mwaka mzima hutoi matumiz na ukamshitaki mkeo eti amekutapeli nyumba ukamtumia police, tulia dawa ikuingie

  • @matataoneproduction5355
    @matataoneproduction5355 Рік тому +2

    Umeambiwa kwenye hilo baraza kadhi nae yumo kaka usipanic tuliza kichwa wanaokushauri kufanya hili wanakupotosha muungwana akivuliwa nguo huchutama

  • @sashambonde7258
    @sashambonde7258 Рік тому +6

    naludia Tena mwaka acha kelele Wala so we will be Qeen anaolewa mwezi ujao na mchumba ndio mm akutaki amesema mbele ya Shee wetu wa mkoa tuwachie nafasi na sisi tumuudumie Qeen wewe umeshindwa Tena ukiendelea ntakushitak kwasasa Qeen ni mke mtalajiwa acha fujo kumtunza ulishindwa acha tukuoneshe maisha ya mke anavo tunzwa mwaka ukiachwa achika

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 Рік тому +3

    Kamuowe monalisa. Janaume gani lina wanawake 3 ila bado wazini na wazaa hadi watoto.

  • @bupeisaya9063
    @bupeisaya9063 Рік тому +1

    Ongea yooote lkn kumbuka,,tulikuheshimu ila umejivunjia heshima pia ungekata rufaa iko wazi usingekuja hapa kujitetea,,,.mwanamke mwaka mzima hakuna huduma ???????
    Mungu akujaalie queen upatege ridhiki Kwa ajiri ya wanao

  • @FREENETNAME
    @FREENETNAME Рік тому

    Huyu mume si mwema wallahi sikiza kicheko chake cha uwadui Subhan’Allah mungu amlinde Queenie na wanawe oenfine aliona mkewe hawezi kumuacha ndio kihere here munaendeleya mungu anaona kila kitu ndani ya nafsi na moyo wake anaweza hata kumuawa huyu mama na watoto wake kwa hasira na nyuso za uadui na unyanyasaji na udhalilishaji mungu amuongoze siratul mustaqeen ammiyn

  • @hoseamgema9107
    @hoseamgema9107 Рік тому +9

    Mwalim wa ndoa za wengine ame fail kwenye ndoa yake . .

  • @richardmaimu9596
    @richardmaimu9596 Рік тому +4

    I am sooooo confused here!

  • @dicksoncosmas1368
    @dicksoncosmas1368 Рік тому +1

    Mimi nakuelewa sana dokt #yatapita

  • @pendo8082
    @pendo8082 Рік тому +3

    Penz kiberiti washa 🤣🤣ukiachwa achika by barnaba classic

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 Рік тому +3

    Mara paaaap shehe wa dar kumuoa mke wa Mwaka

  • @gaudencemihungo4348
    @gaudencemihungo4348 Рік тому +63

    Kama unataka kuongea na muft kwa nini usiende kuonana naye ofisini kwake, hapa uongei na muft, unaongea na umma kwa lengo la kuleta vurugu.
    Kama mke ulimshawishi wewe mpaka mkafunga ndoa, unashindwaje kumshawishi mkeo arudi kwako?
    Nadhani umeshindwa kukaa na mkeo.
    Kwa sasa huna ndoa na Queen, mlianza sirini mnamaliza hadharani, tena mitandaoni.
    Acha vurugu, tunajua una bifu na Shekhe wa mkoa.
    Jitahidi kuuza dawa zako achana na Shekhe wa mkoa.
    Queen ameenda,

    • @ramadhanyusuf2401
      @ramadhanyusuf2401 Рік тому +3

      Huyu ndoa imemshinda

    • @mercynadia3140
      @mercynadia3140 Рік тому +4

      Hii msg ikufikie Mwakastress kubali matokeo sio mume mzuri

    • @zigzag4487
      @zigzag4487 Рік тому +1

      Huyu sheikh wa mkoa aliekua anamuita magu ni Mungu au yupi

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 Рік тому +1

      Ushabiki

    • @gd1926
      @gd1926 Рік тому

      Kweli wewe kiazi kweli kweli kwaiyo hata huoni kuwa huyo sheikh kakosea

  • @samiahmlimanzila6406
    @samiahmlimanzila6406 Рік тому

    Dr ushauri wangu kwa maelezo ya mkeo ki dini unamakosa iletu. Mwaka mzima hupo nae wakati matalaa sio haki kikubwa toa taraka maisha yaendelee kingine ki misingi ya kidini bado unamkosea Mungu kusema mashekhe kua ni wahuni

  • @mariamjuma4136
    @mariamjuma4136 Рік тому +4

    Mlaumu aliyekuwa mke wako yeye ndio alitangaza kwenye social media
    Usitupigee kilele bwana
    Mwaka mmoja umeshindwa kuweka Sawa migogoro ya ndoa yake
    Mpaka limekuja social media wewe uko wapi? Iyo aibu yako ibebe tu kubari kushuka
    Muungwana akivuliwa nguo uchutama

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 Рік тому +6

    Tia talaka unaongea sana kama mwanamke

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 Рік тому +11

    Mume na mke ndio wanahusika na suluhu na kiukweli sio vizuri kufanya haraka kwenye talaka ila ingetakiwa wawaite wakae pamoja family ikishindikana kabisa yote talaka itoke au ajivue ndani ya ndoa mke kwa kumrudishia mahar yake, maana sisi ni binaadam na ndoa siku hizi watu huhujumiana katika ndoa kuharibiana kama wana vinyongo na mtu akapata nafasi ya kuharibu ndoa ya mwingine. Kisheria mwanaume ana haki zaidi katika sulhu yeye na mke wake n mazungumzo yangesimamiwa ikishindikana ndipo itoke, ila umashuhuri nao na macho ya watu. husda na uchawi n.k huchangia mengi watu wakachukiana bila sababu. tusishabikie maana ndoa sio kitu chepesi maana kuna wapambe wengi na mahasidi kila pande. sio vyemakushabikia ugomvi maana hujui tatizo liko wapi nje au ndani au kutokana na remote za kichawi

    • @zuwenaadja2261
      @zuwenaadja2261 Рік тому

      Alivyokua anatamba marekani na mke mwingine hakujua anamgogoro akatengeneze kwanza na mwanamke wake kwa familia mbona mda wakutamba aliupata? Ndoa ina mwaka akiwa kwenye vurugu kwanini mme yeye asingelipushi kifamilia zaidi anadai kupushi sasa hivi by the way mke kakataa kushuruhishwa hata wangeenda popote kama ameshaamua kuachana unadhani kuna mtu angemstopisha pale maana mke ndie alie amua sio ngazi yoyote ilioamua akiachwa akubari kuachika maana popote atakapoenda kudai matoke yatatoea tu kupewa taraka yake maana ndie hataki kuishia nae sasa na mapenzi hayarazimishi…

    • @yousuphnzira3209
      @yousuphnzira3209 Рік тому +1

      Fact

    • @amarually5457
      @amarually5457 Рік тому +1

      Nduguyangu wewe umeongea walichotakiwa kuongea wahusika lakini wahusika ndio wanachochea talaka baada ya kusuluhisha wao wanashabikia sasa sijui inaleta imanigani kwetu mtu anaetakiwa kupatanisha anafarakanisha hakuna mkamilifu mtu anakosea mpenimaelekezoiliajue alipokosea nini maana ya usuluhisho

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 Рік тому

      @@zuwenaadja2261 ila unajua kitu kimoja kama ushawahi kukaa katika ndoa au ukasuluhisha migogoro ya ndoa kuna maneno mengine yanayosemwa na.mmoja wapo au wote ya kusikia kutoka kwa mtu fulani anamuambia mke wako.kafanya kadha wa kadha au mume wako kasema.kadha wa kadha na kumbe mtu akachukulia kw kuwa.wana ugomvi na wakautoa wapo wachonganishi wazuri na wakati wa sulhu wakiitwa wanakimbia, pili kuna maneno ya dhana kabisa mtu anaweza akamdhania mwenzie kupitia vitu fulani au kuona akadhania tu, na tatu kuna maneno ya kutengeneza.mtu akoleze chumvi aonekane yupo sawa na pia katika pande zote hasira huwa juu kila.mmoja anataka mwenzie ajishushe na kuna kahuruma pengine na mapenzi yapo nimeshuhudia ndoa mtu katoa talaka.mpaka tatu na anampemda mkewakena mke bado anampenda mume lakin kuna tishia nyau tu. mnaweza kukuta mambo yanabadilika kwa wengine, mambo ya kuingia sana na kuwasemea wana ndoa yashaumbua baadhi ya wazazi. kuna watu eamepeana talaka tatu kitu ambacho hawaruhusiwi tena kuish pamoja mpaka ipite ndoa mke aolewe na mtu mwingine kisha aachike mtu anafanya hadaa na kumwambia rafiki yake aoe kisha amuache siku mbili waweze kuoana tena na hii haramu. sio kila wanaotaka kutalikiana wanachukiana wakati mwingine wanaopendana hugombana na siku mbili washakuwa pamoja, wangapiwanatiana magumi lakin wanapendana sana. kuna jamaa walishabikia ugomvi wa ndoa ya dada yao na shemej yao wakawa wanamuna shemej yao kama taka na wakakuta siku chache mbele wenzao wanarudiana na kuitana wapenzi na wao wanaonekana washenzi, mapenzi ni kama lenzi, hu zoom moyo wa mwenzi, wakigombana wapenzi, hata wakipigana konzi, usijejitia tanzi kwa kuingilia penzi, wakipatana wapenzi, watakuita mshenzi,

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 Рік тому

      Ni rahisi kuongea huwezi kujua maisha ya hyu dada

  • @mohammedmakarani2802
    @mohammedmakarani2802 Рік тому +12

    Uko sahihi doctor ila ulijisahau sana shekh wangu vitu vyako ulivianika sana mambo mengine siri ila mambo ya kifamilia yanahitaji siri sana uliyaanika sana hazarani hukujua kua kuna hasadi ila ushauri wangu mwache aendee hapo hakuna tena mapenzi shekh

  • @nervenb2831
    @nervenb2831 Рік тому

    Hakuna. Cakurudiana. Muace atapata. Rizkiyake. Weye. Sulimuaca mkaenda ulaya. Kula upepu ataposho hamkumupa uyo. Alikuwa. Mke. Akirudi. Atakuwa. Amezalilisha. Masheikh🙏

  • @rehmamoshi4693
    @rehmamoshi4693 Рік тому +6

    😄😄😄pole sana labda unaogopa kugawa mali sasa kama mwanamke hakutaki shekhe afanyaje

    • @hannanommy302
      @hannanommy302 Рік тому +1

      Rehma umenena huyu anaugomvi na Shekh Alhad apuuziwe mke hamtaki hamtaki ,yeye anaugomvi na Shekhe, Naona Aibu mimi wallah wake wa mwaka wamevumilia mnooo huyu baba ananogwa anajua kutesa hajui kuacha,

    • @vincej9275
      @vincej9275 Рік тому

      @@hannanommy302 kweli kabisa

    • @cdeleo9336
      @cdeleo9336 Рік тому +1

      Ndio anataka kuchukua kila kitu mwanamke asibaki na kitu

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому +1

      Kabisa na hasa hyo nyumba aliomuandikia ndio inayomuumiza kichwa uyu mali ndio inayomtolea mate kusema hapa

  • @vincej9275
    @vincej9275 Рік тому +7

    Ndoa sio kwa lazima , kama mkee amechoka na wewe, mwache aendelee na maisha yake. We can try to save our marriage but it's wrong to force one party to stay if they no longer want to.

    • @btylove1870
      @btylove1870 Рік тому

      Kunywa soda nitalipa. Nimesema hivyo hivyo kwani maneno yote ya nini?? Mtu kaomba talaka yake mpee!

  • @piusjuma7384
    @piusjuma7384 Рік тому +2

    Kisheria barza la kiislam Lina mamlaka ya kusulh8sha tu kwa kitendo Cha barza kutamka kuwa ndoa imecunjika ni kinyume na sheria

  • @malolatshahala
    @malolatshahala Рік тому

    Aww. My mwaka anaona mbali japo pia penzi bado lina tawala nafsi yake 90%. Kuvunjika kwa ndo ni maamuzi kati ya mke kuolewa na mume maana hao 2 ndio wana ndowa.kwanza mke alipo wapokea wajumbe kutaka suluhu akakataa,alipokwenda kudai talaka ina maana hataki ndoa tena maana si kwamba amekurupuka,hayo ndio maamuzi yake kutoka moyoni. Familia zote 2 pia na vyombo vyote vyo sheria havina maamuzi zaidi ya hayo yy kama yy kutoka moyoni mwake. Anaweza akageuza maamuzi kwa kuwaokopa wazazi ao yeyote anae mweshim ,mkarudisha ndoa yenu lakin maisha yako yatakuwa hatarini. Kwanza: hatokubali tena kuzaa na wewe,pili:akikuondoa duniani kwa njia yeyote,atakuwa amefanikiwa katika yale mapungufu yako yanayomkera na kudai sasa balaa limeondoka na sasa ntaijoy. Nb.achana nae.

  • @hannanommy302
    @hannanommy302 Рік тому +5

    Usimwite Shekh wetu Muhuni ,ndoa huna bwana, hakuna wahuni muhuni ni wewe, Mimi ningekuwa Shekh wa Mkoa Namuoa Gueen harakaaaaa 🤸‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 Рік тому +3

    Nazani kama ulioa kwakufuata shelia yadini basi angalia dini inasemaje kuhusu ndoa nasheliazake utajua muongozo ukoje hiki unachofanya unatokakwenye misingiyadini muogopemungu natendahakipale inapopaswa

  • @deeruta9894
    @deeruta9894 Рік тому

    Kwani unalazima gani na huyo mke wakati wewe mwenyewe yasemekana umetelekeza family yako kwa kila kitu. Mpe talaka yake na maisha yasonge mbele dr. Kuowana kwa heri na kuachana pia kwa heri na sio vita

  • @othumaniabdallah6848
    @othumaniabdallah6848 Рік тому +2

    Ndugu yangu sheikh alhad mussa amekurupuka Allah akupe subra

  • @safiahassan6121
    @safiahassan6121 Рік тому +4

    Hii ndo ile mtu hakutaki na bado hataki kukuona ukiwa kwa mtu mwingine kwasabab anajua yeye ndo mwenye makosa

    • @hassanmohamedi9966
      @hassanmohamedi9966 Рік тому

      Yote ni yote Dr Kubali yaishe, Viongozi wetu wa BAKWATA naomba muwe maki I ktk kufanya maamuzi hasa yahusiyo ogogoro baina ya mnaotuongoza hasa ya ndoa,mara nyingi mueni wapatanishi ili kujijengea imani na heshima kwetu sisi mnaotuongoza Kwa kweli mnatusimamia vizuri .Endeleeni kusimamia HAKI

  • @Boyhoodking
    @Boyhoodking Рік тому +6

    Mwezi March nafunga ndoa na queen. Mtoto mashaallah. Acha sisi tumuhudumie wewe si umeshindwa bwan kaa kwa kutulia. Mwanamke hakutaki Sasa unalizmisha mzee!? Mwaka mzima hujamgusa una haki gani kuwa mume? Fakeni taipu😂

    • @asmamwadini3127
      @asmamwadini3127 Рік тому +1

      Hahahaa

    • @habibaomary3834
      @habibaomary3834 Рік тому

      Haaaahaaaa ukiona cha nini wenzio wasema nitakipata lini ,shamba limekushinda kulima waache wenzio waliiime ,Achia ngazi

    • @habibaomary3834
      @habibaomary3834 Рік тому

      Watu oyoooo hutakiwa bhana km dollar dollar zako muache mrembo wa watu

  • @youandme1593
    @youandme1593 Рік тому

    Kwa kiwango chochote ambacho Dr Mwaka amemkosea mke wake hakifikiii kiwango ambacho sheikh wa mkoa kaukosea uislam na waislam!!!He doesn’t deserve to be on that chair!

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 Рік тому

    Daaaah nashangaa saaana, ndoa inashinikizwa kuachanishwa hasa na viongozi wa kiislam, badala ya kuunganisha ndoa ya Dr, acheni umate umate kwenye ndoa za watu.

  • @salimiddy7769
    @salimiddy7769 Рік тому +9

    Pole sana doctor Mwaka kwa madhila yalio kukuta

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 Рік тому +7

    Ww wake zako uliwatangaza kwa press sasa ili watu wajue mzee hauko tena pale lazima ifanywe press , tena ingetakiwa ilipiwe iwe promoted , mashekh huyu mtu anawaibisha sana

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 Рік тому

      Si ndo hapo na wakirejeana chumbani ataita yy Mwaka ataita press km kawaida yake, tena nn???

  • @mickyiron308
    @mickyiron308 Рік тому +2

    Matapishi gani wakt he's telling the truth sema yeye alikosea kufikiri ukimwagia mwanamke madola ndo utamtuliza kumbe ndo unamzuzua!!Wanasubiri umwache watu wamnyakue aanze kuwapa Ile midola yako ulikuwa unamwagia 😹😅

  • @angelbarnabas7075
    @angelbarnabas7075 Рік тому +1

    You are wife she is not happy let her go , ujuaji mwingi mno maneno mengiii mke wako atakufa na brood presha and she don’t want to be with you . Thank you

  • @eliaskahory7116
    @eliaskahory7116 Рік тому +7

    Acha Story Kaka sema Ufundishwe Jinsi yakuishi na Mwanamke, Wew Endelea kuwaelekeza watu jins yakupata watoto.

  • @msakuzikondo536
    @msakuzikondo536 Рік тому +4

    Yupo sahii kabisaa.Chombo pekee chenye uwezo wa kutoa talaka ni Mahakama tu.Sheria ndio inavyosema.Maamuzi ya Bakwata haina mamlaka ya kuvunja ndoa.

    • @madawamchuwa8253
      @madawamchuwa8253 Рік тому

      Kwass waislam hatutambui kitu kinaitwa mahakama labda km mumefunga ndoa ya kiserikali. Huyu mwamba kasitisha huduma mwaka mzima kampeleka mkewe polis ili atoke nyumbani na watt huyu Jamaa ni zaidi ya mnyama

    • @abdulnaseermrisho4342
      @abdulnaseermrisho4342 Рік тому +3

      Acha uzwazwa,Bakwata ina mamlaka ya kuvunja ndoa kupitia Kadhi,Ndoa zenu za kikristo ndio zinavunjwa na mahakama

    • @tatotato506
      @tatotato506 Рік тому

      Usilete udini apakichaa wewe

    • @ailenyanthony1550
      @ailenyanthony1550 Рік тому +1

      Mhmhm, Nani aliyekudanganya? Hata hiyo Sheria unayoijua wewe haiwezi kutoa talaka kwa ndoa zote mpaka wapitie masuluhishi sehemu mlipofungia ndoa

    • @mnyamamkalitv6575
      @mnyamamkalitv6575 Рік тому

      Wew iyo serikali nikwanyie makafir

  • @fatma2496
    @fatma2496 Рік тому +1

    Tatizo wanaume kama nyie mnapenda kuwatesa wanawake kwa kuwanyima talaka zao wanawake, mnamueke mtu hajijui yupo kwenye ndoa hau aupo? Huwezi hata kumove on kwa sababu mnagoma kutoa talaka

  • @khamiskiandiko2965
    @khamiskiandiko2965 Рік тому +4

    Ofisi ya kadhi sio wahuni kwanza inabidi uombe msamaha ndio mufti atakujibu maswali yako bila hivyo sidhani

  • @henrymushi8340
    @henrymushi8340 Рік тому +8

    Huyu jamaa anajifanya kufundisha Mambo ya ndoa,kumbe anamnyanyasa mke asee ni hatari,usimwamini mtu

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 Рік тому

      Ndomana watu tunaambia tuache kuangalia watu kwenye TV wakitufundisha ndoa wakati wao awajaolewa

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 Рік тому +2

    Pale tunapoiacha njia ya Mungu ndio haya sasa...kweli Dunia ni starehe za muda mfupi

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 Рік тому +2

    Mwanamke mrembo Sana aisee

  • @azizimkwawa7711
    @azizimkwawa7711 Рік тому +6

    Shekh Muhuni dah to be honest kaka umetutukana waislam wote kwa kifupi umekosea sana na umejikweza sana nakushauri jishushe kaka mbele za Mungu na atakusamehe

    • @idrisargevar4557
      @idrisargevar4557 Рік тому

      Sheikh muhuniii mimi nimesemaa😎

    • @coin9007
      @coin9007 Рік тому

      @@idrisargevar4557 Mkiachwa achikeni 😂😂😂

    • @idrisargevar4557
      @idrisargevar4557 Рік тому

      @@coin9007 hivi mtu kama dr mwaka akabembeleze demu? Demu mwenyewe yule😂😂😂
      Mafiiiiii

  • @jeanmusamba3253
    @jeanmusamba3253 Рік тому +5

    baraza halijakosea kaka wameshughurikia tatizo ni wazoefu sana kina Mufti na mashekhe katika mambo hayo na wana hikima.wewe mfuate mke wako mweke sawa anaonekana napenda sana kuheshimiwa na hapendwi tukanwa,ila pole naelewa una machungu na kuachana si jambo jemaa kma ulivyosema,Mungu akupe busara zaid katika hili

    • @manhajsalafafrica
      @manhajsalafafrica Рік тому

      Katiba ya Bakwata haimpi mamlaka Sheikh yoyote wa Bakwata kuvunja ndoa,

  • @cholombuda1658
    @cholombuda1658 Рік тому +1

    Nimekuelewa sana doctor mwaka naamini ww sio kama utadhulumika kwa kuachana namkeo ila ulihitaji zaidi amani kwasababu kwanza unaonesha kwamba bado muhitaji mkeo pamoja na watt napia hata mkiachana basi iwe kwakheri sio shari coz mlishazaa watoto watajifunza nn kutoka kwa wazee wao

  • @lailazahor5462
    @lailazahor5462 Рік тому

    Doctar mwaka weee acha maisha yaendeleee ukikataliwa acha kiroho safi usibwabwaje sanna mwanamke akikupenda kanapenda kweli na akikukataa anakataa kweli

  • @faizaldaud7628
    @faizaldaud7628 Рік тому +6

    Huyu jamaa anaboa

  • @soudbako5925
    @soudbako5925 Рік тому +4

    Mwaka kapigwa na kitu kizito kumbe bado anampenda

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 Рік тому +2

    Hapa huongei na mfti
    Ungekuwa unaongea na mufti
    Ungeenda ofsi kwake,,
    Cyo unakuja kwenye mtandao ya kijamii,,wewe syo wa kwanza kuachwa,,ukiachwa achika maisha yaendele,,mwanamke akishasema (NO)huwezi kumubadilisha,,neno (NDOA)ukiondoa helufi(N)inabako DOA,,

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 Рік тому +1

    Kama Mke HAKUTAKI, NA KUKIRI HIVO, haina haja ya kua...isha maneno/mgogoro na wakuu wa dini. Wao wasingejua kama mmoja wenu htaki

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada Рік тому +4

    Kwanza adabu huna yani leo masheikh unawaita wahuni, subhanallah

  • @jabahmagai9030
    @jabahmagai9030 Рік тому +4

    Hapa mwaka imekula kwake.

  • @maulidmnukwa3171
    @maulidmnukwa3171 Рік тому

    Taarifa iliyotoka muda huu baraza la ulamaa limetoa tamko kuwa ndoa bado haijavunjika...
    Na point ya msingi Ni ileile sheikh hawezi kutoa hukmu ya Jambo la ofisi ya qaadhi na ilihali qaadhi yupo

  • @venancegaspatv1961
    @venancegaspatv1961 Рік тому

    Mimi ni Mkristo ila Dr. Mwaka ameuliza maswali mazuri sana kwa kuwasaidia waislam japo wengine wanashindwa kumuelewa,sijawahi ona sehemu yoyote Duniani Kiongozi wa dini anatangaza kwenye Press kuvunjika kwa ndoa tena na miwani ya kutoa aibu,pia Kisheria ndoa hiyo haijavunjika mpaka pale mahakama tiakapotamka ndoa imevunjika Bakwata ni sehemu ya Ushahidi tu

  • @thadeikafaranga7744
    @thadeikafaranga7744 Рік тому +15

    ❤❤😂😂😂😂😂 mganga hajigangi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @andromedagalaxy8627
      @andromedagalaxy8627 Рік тому

      😆😆😂😂😀😀😃😃 nimecheka sana

    • @lissamnyingi6457
      @lissamnyingi6457 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗 kabisa ndo Dr bingwa huyo wa matatizo sugu, lkn kanaswa kwenye kona😎

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 Рік тому

      Nimeipenda kweli mganga hajigangi aise

  • @georgeigogo9259
    @georgeigogo9259 Рік тому +5

    unaitaji kutufundisha au unajitetea kama mwanammke kaamuwa miachane basi mwache afanye yake

  • @wardafusi6012
    @wardafusi6012 Рік тому

    Kwaiyo mashehe ni wahuni duu kwakweli mwaka ww ni mwaka kweli mwenyez mungu akusamehe Sana, usingetaka yafike Apo ungetoa talaka chapu chapu

  • @pillyolsen6346
    @pillyolsen6346 Рік тому +1

    Mm naona unapiga kelele tu huna jipya mwache mtalaka wako aka anze maisha mapya riziki imekwisha acha mtalaka wako anatafuta maisha yake

  • @adaboychibu1659
    @adaboychibu1659 Рік тому +5

    Akili nyingi point nyingi!mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!Mwaka yupo sahihi

  • @ommythetruth5449
    @ommythetruth5449 Рік тому +11

    Kakate Rufaaa acha kutuchosha sisi kama ni meseji kwa Mufti c uende oficn kwake au umpigie simu yanini kutupigia kelele huku mtandaoni ,,Kwani ndoa lazima mdada wa watu kakuchoka hakutaki Tena muache aende zake acha kutia Huruma mitandaoni

  • @deuslucas2256
    @deuslucas2256 Рік тому +1

    Unajiaabisha mwanamke hakutaki usi force

  • @issabaruni7616
    @issabaruni7616 Рік тому

    mnafiki uyo shekhe ndio maana anamacho manne na mimi nakuambia mwaka shika iyo uyo shekhe anamtaka mkeo mjinga sana uyo shekhe

  • @boaskabate1229
    @boaskabate1229 Рік тому +11

    Dr. Mwaka mi naona suluhisho la haya yote ufike foreplan clinic ubungo plaza wakutatulie tatizo lililoko kwny ndoa yako.

  • @aminaseif9577
    @aminaseif9577 Рік тому +7

    Mwanaume kupe huyu.... Ndoa imekushinda.. Sasa nini keleleeeeee bhana, hebu usituchoshe😄

  • @tonygee5680
    @tonygee5680 Рік тому +2

    Wataka kulazimisha na hakutaki jii laumu mwenyewe kaka si bakwata wala sakata😂

  • @zuwenaadja2261
    @zuwenaadja2261 Рік тому +1

    Mke kaita matarumbeta muachane sasa mkirudiana huohuo ataita matarumbeta atufahamishe sio Shehe unacho mhukumu…😂😂

  • @bensonmwananchi7701
    @bensonmwananchi7701 Рік тому +3

    Afu nyie c mnabifu lenu..ngoja tuwaache

  • @mbarikiwambarikiwa6479
    @mbarikiwambarikiwa6479 Рік тому +3

    Lkn inavyoonekana mkeo queen hakutaki tena.
    So ni sawa tu kupewa mkeo talaka.

    • @donjb3178
      @donjb3178 Рік тому

      Talaka hazitolewi kuolela na kwanza hairuhusiwi kwa Mungu

    • @mbarikiwambarikiwa6479
      @mbarikiwambarikiwa6479 Рік тому

      @@donjb3178 mapenzi yakifika mwisho huwa hakuna mjadala ndg, ukilazimisha sn huwa kuna matukio makubwa yanakuja.
      So ni vyema kuachana Tu.

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 Рік тому

    Ktk ndoa mkitofautiana sana ki-upeo shida lazima iwepo. Kuna mambo unaweza ukayachukulia poa kwa ufahamu wako kumbe kwa mwenzako limemzid uelewa!

  • @irenegeorge3501
    @irenegeorge3501 Рік тому +1

    Wewe ni mkorofi tunakujua unatukanaga adi mashehe kwenda uko kuonea tu mwanamke wako ovyo🤨

  • @rajabmadebo5570
    @rajabmadebo5570 Рік тому +4

    Kadhi kaoa kungwi lakini bado ndoa yayumba 🤣🤣🤣

    • @julianajeremiah4353
      @julianajeremiah4353 Рік тому

      Hahahahaha hata me nimejiuliza hii inakuaje hawa watu walipishana inakuaje Tena anahusika hp

  • @tonygee5680
    @tonygee5680 Рік тому +3

    Babae kubali mwanamke hakuraki wacha story kibao hiyoo ndio ya maana

  • @ameirothman805
    @ameirothman805 Рік тому +1

    Stamina kashasema ndoa za bongo zinafungiwa chumbani na zinavunjikia instaa

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Рік тому

    Doctor Mwaka tulia sindano ikuingie.Huna hoja .Yaan unayoongea hayana mashiko kabisa.Mpaka mkeo kakushinda kwa kujitetea.Sijui kwa niji mkiachwa mnajitoaga faham baadhi yenu.Tulia mwanaume haongei sana.

  • @adildewji
    @adildewji Рік тому +8

    MashaAllah. Absolutely spot on.

    • @ngoni7944
      @ngoni7944 Рік тому

      Hizi ndoa za kiislamu ni lazima wabadilishe sheria hii ya ukandamizaji kwa wanawake, mwanamme anaweza kumpa talaka mwanamke kwa maneno tuu ila mwanamke lazima aende bakwata au serikalini. Wanawake wa kiislamu amkeni mkatae huu unyanyasaji dhidi yenu. Wanaume wamejipendelea kwa kuwaoa wanawake wengi na kulala na nyie kwa zamu pia talaka mpaka atoe kadhi?

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 Рік тому

      @Ngoni good point lakin ukiona watu wameganda kwenye special waislam ujue wanafata sheria ya Allah. Na ukimona muislam anaacha sheria ya Allah ujue ameamua sasa atuwezi vunja sheria ya Allah .