PART 1: LOKOLE ATIA NENO-" DR. MWAKA KUKATAA KUVUNJWA NDOA-"KUNA KITU QUEEN TALAKA MAPEMA".

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 125

  • @zainabtumba1186
    @zainabtumba1186 Рік тому +5

    🇹🇿🇺🇲👏👏Yaaaniii Nimechekaaa mpaka mbavuna kutoa LIkE Yaani Kitaa Na dida wanavyonukuu techniques za Mwaka akitibuuuu dahh 🤣🤣🤣💥💥💥Hatariii kumbwaaaa

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Рік тому

    innalilah wa inna lilah rajuu-uun.kama msemavyo ni kweli kua dr mwaka alimnyang'anya meenzie mke huu ni mtihani .mana kamma atadinu tudanu.ukimtendea mwenzio nawe utatendewa.ukiuwa kwa upa nga nawe utauwawa kwa upanga.

  • @carolinemariki4029
    @carolinemariki4029 Рік тому +3

    Talaka ni neno tuu... Wewe Queen kama una mtu wako endelea na maisha yako. atoe talaka.. asitoe atajijua mwenyewe

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 Рік тому

      Sasa neno mwaka hajasema . Queen ndio anadai

    • @mamuumuu4999
      @mamuumuu4999 Рік тому

      @@sarahgaula2220 lkn bado anahaki yakutoa talaka huwez force mtu akupende

  • @florachogo243
    @florachogo243 Рік тому

    Mjukuu wangu Dida umetishaaaa

  • @zubedamagambo8139
    @zubedamagambo8139 Рік тому +13

    Kama mwanamke hakutaki tena toa tu talaka, hata ukimlazimisha, hawezi kurudi, na akirudi kwa kulazimishwa mume unajiweka hatarini kuishi na mtu asiekuhitaji Tena. Mwanamke akishakuchukia ndo amekuchukia harudi nyuma. Bora muachane tu .

    • @oyay2821
      @oyay2821 Рік тому +1

      Hata yeye Dkt Mwaka hamtaki huyo mke. Yeye ana linda mali yake isi chukuliwe na mtalaka. Alafu Sheikh wa mkoa amejiingiza mtegoni bila ya shuruti. Shida ya mwaka ataka mke asipewe mali yoyote

    • @mariakibwana3700
      @mariakibwana3700 Рік тому

      Zubeda uko sahihi

    • @ashuuuaisha9122
      @ashuuuaisha9122 Рік тому

      @@oyay2821 mali gani zaidi ya nyumba. Yule ana watoto hawezi akamwambia ampe nusu ya mali zaidi ya kuhitaji malezi ya watoto na makazi basi

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 Рік тому

      @@oyay2821 nikweli kabisa

    • @mugishalaurian3311
      @mugishalaurian3311 Рік тому

      @@ashuuuaisha9122 makaz ya Nini Tena,asepee

  • @ladyr.hamsini2311
    @ladyr.hamsini2311 Рік тому +2

    Daa dida na kaka idrisa mumenichekesha kuhusu hizo comedy ya dr.mwaka😂😂😂😂

  • @hassanmitayo1875
    @hassanmitayo1875 Рік тому +2

    Kuna watu wanajificha kwenye dini kubana haki za wenzao, ndoa hiyo kuvunjwa ni halali

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 Рік тому +6

    Ndoa, sio kifungo sheria yadini kule tu mke kumchukia mume akitaka talaka nihaki apewe.ililetwa public sababu mwanamke alileta habari public

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele Рік тому +4

    Alinyang'anya mke mtu acha na yeye anyang'anywe. "What goes around comes around" that is karma

  • @rozinaswenya43
    @rozinaswenya43 Рік тому +1

    Nyie wambea mmenichekesha mieee😂😂😂😂❤

  • @yomenikabombwe4939
    @yomenikabombwe4939 Рік тому

    Iyi wasafi media.siyo ya waisilamu bali ni waswahili mtupu mukiatcha cheria nakuambatana na usutwa uchangingi mukizarau utamaduni .atoke na kuatcha kilakitu niisha. RAISI amusaidiye nini alipenda na kuatcha mwenyewe tamaa anajuta...bayibye

  • @judditedunia5292
    @judditedunia5292 Рік тому

    Ni kweli kbs

  • @gracehm7274
    @gracehm7274 Рік тому +1

    Yaani hawa watu😄😄😄🙌🏽

  • @ramsaymtando1742
    @ramsaymtando1742 Рік тому +1

    Sikulizeni kisheria ya ndoa hiyo bado ni ndowa kisheria sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inasema kwamba ili mwana ndoa kutambuliki kuwa ameachika au ndowa imekwisha ni hadi talaka itolewe mahakamani. yani namanisha kwamba Hilo swala la doctor mwaka na mkewe kama kweli walifunga ndowa ya kidini ya kislam na wana cheti cha ndoa basi hiyo ndoa niyalali kisheria bado nimke halali.sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inasema kwamba kukiwa na malalamiko kati ya ndoa au kama kati ya mmoja wao anataka talaka hata kama kislam heti kusema nakupa talaka moja au Tatu hiyo aitambuliki kisheria kama ndoa hiyo himevujwa.bali itaonekana kama wanandoa Hao wanania yakuomba talaka.kwaiyo namanisha kwamba .ndoa yoyote iliyo fungwa kidini maana ya .kikisto na kislam.wote wanaweza kuomba talaka.lakini kwakufata utaratibu kisheria.bali mtu aliye funga ndoa kikistu Kabla ajafunguwa shauri ya madai ya talaka mahakamani au maombi ya mahakama kumpa talaka kwanza nilazima wapitiye kwenye baraza la usuluwishi wakishindana kukosa kuwelewana basi baraza litatakiwa au litampa mlalamikaji Hati ya kwenda mahakamani. Kwaiyo .kisheria na kama ndao yaho ilifanwa kisheria.mke wa doctor mwaka bado ni mke alali.kisheria hata kama baraza za bakwata lingetowa vuja ndoa hiyo.bado isingejulikana kama ndoa hiyo imefunjika kisheria.chombo pekee chaku vunja ndoa na kutowa talaka ni mahakama tu.kwaiyo kazi ya baraza ya bakwata nikujaribu kusaidiya ndoa hiyo isivunjike.tu endapo hiki shindwa hinatakiwa kuwapa Hati yaku funguwa shauri mahakama tu.pia mtu yeyote ni mweslamu aliye hoa wanawake wa nne 4.arusiwi kuongeza mke wa tano. Kwaiyo hata kama ndoa ya manara Kawa ajafata utaratibu na walifunga ndoa kialali na wana cheti.hata kama atampa talaka ya maneno au ya maandishi.hiyo talaka aitabuliki kisheria bado nimke na mme.mpaka wafate utaratubi Ana mpaka takala yakuvuja ndoa itolewe mahakama.tu.asante ndo kisheria ninavyo tambulika.

  • @khalidbakari8505
    @khalidbakari8505 Рік тому +1

    Wote mmenunuliwa manyang'au nyie huyo dida mnayemuuliza kuhusu ndoa yakwake imedumu miez mingap Hana chochote anachokielewa kuhusu maisha ya ndoa yeye anajua kuolewa asubuh na kuachika jioni

  • @johnsosy3128
    @johnsosy3128 Рік тому +1

    Ilakamavile mmepiga pesa za Dr.

  • @hasaniabdalah6148
    @hasaniabdalah6148 Рік тому +1

    🤣🤣🤣 da!! Ila nyinyi watu wa dar😅😅😅 mna maneno nmecheka 😂😂 kweli mh

  • @repsphrs5051
    @repsphrs5051 Рік тому +1

    Mmmmh hawa watu hawa

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Рік тому +2

    Mbavuzangu miye 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @hadijamsati8813
    @hadijamsati8813 Рік тому +3

    Kwani alhaji alimwita qeen bakwata au alimtuma huyo mwaka asihudumie familia yakeee??? Achen uchawaaa

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 Рік тому

    Allah kheir

  • @miriamdavis3893
    @miriamdavis3893 Рік тому +1

    Hiyo sio sababu Mwaka akafie mbele

  • @ahmedrashid7638
    @ahmedrashid7638 Рік тому

    Jamani vizuri mukae mutafute njia hii ndowa isivunjike, na mngu atafurahi

  • @leymanleyman7426
    @leymanleyman7426 Рік тому +1

    Nyie wagonjwa sana yani mnaleta mzaha msibani 😂😂😂😂😂😂😂

  • @ummyira9653
    @ummyira9653 Рік тому +1

    Sasa mnavosema qeen arudi kwa mme wake khaaa Kwan lazma mke akitaka talaka lazma itolewe huwez kukaa na mme ambae humtaki na Sheria zipo

  • @FREENETNAME
    @FREENETNAME Рік тому

    Mufti hutoa amri lakini hawezi kuitekeleza. Qaadhi ana uwezo wa kutekeleza.
    Mufti - mtaalam wa sheria wa Kiislamu ambaye amepewa mamlaka ya kutoa maamuzi juu ya mambo ya kidini.
    Qaadhi - hakimu wa Kiislamu anayetoa maamuzi kwa mujibu wa Shari’ah (sheria ya Kiislamu)
    Kama mke au mume hakutaki ndoa haiwezekani hata Allah ameamrisha talaka si haram. Dr., Mwaka hakupendeleya kuachwa na mkewe pengine angefurahika amtese kwa talaka kama vile waume wa kiislamu wanavyo wadhalilisha na kuwanyanyasa wanawake wa kiislamu kuhusu talaka na malezi ya watoto baada ndoa kuvunjika subhan’Allah mungu amlinde na adui huyu ammiyn

  • @nurasalimu2403
    @nurasalimu2403 Рік тому +2

    Km mwanamke hataki ndoa hatak ht mfanyaje ndoa hakuna we mwaka 1 hapati tendo la ndoa na ht km analipata tendo km kachoka mbona bi mariam alikuwa anatimiziwa kila kitu ila kachoka mtume muhammad s.a.w akamwambiya alejeshe shamba aachwe ss nyie mnazuiyaje huyo kwin asiachwe nyie ht nani ndiyo taraka Allah anaichukiya ila ss hakuna kukalifishiyan ktk dini

  • @joharikasuwi6973
    @joharikasuwi6973 Рік тому

    Waswahili wanasema usitukane mamba kabla hujavuka mto. Ndo hayo yanayomkuta Dr mwaka

  • @yomenikabombwe4939
    @yomenikabombwe4939 Рік тому

    Salm 2..kuatchana kwawema nikufata cheriya ya ndoa tu niisha

  • @tausihussein
    @tausihussein Рік тому

    😁😁😁 Aya matangazi ya ovyo sana

  • @diebrock6494
    @diebrock6494 Рік тому

    An ktk dini yetu talaka ikitok bas ardhi inatikisika ss tuombe Mungu ndoa isivunjike

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 Рік тому +1

    HANA LOLOTE HUYO NI KAMA MARAIS WANAO PENDULIWA HATA SADAAAM WAKATI ANAHUKUMIWA ALISEMA MIMI BADO NI RAHISI HALALI WA IRAQ. SASA HUYO MWAKA HANA LOLOTE MNAFIKI WALA HAJUI SHERIA ZA NDOA . TALAKA NI HAKI YAKE AKITAKA APEWE

  • @saidmajeba9791
    @saidmajeba9791 Рік тому

    Dida umetishaa😂😂

  • @sauda4505
    @sauda4505 Рік тому +2

    Uyu mwanamkee alienda kulalamika akaita na waandishi wa habari kuilalamikia bakwata nyie mlitakajee ni sawaa kupewa talaka ni haki yake na hakuna ndoa hapo

  • @mariamnuru9939
    @mariamnuru9939 Рік тому +1

    Ndoa za Tanzania daily kuachana

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +1

    😃🤣 Mapenzi shikamoo

  • @matimfuko641
    @matimfuko641 Рік тому +2

    Ila nyie mbona hamueleweki mnataka Nini juz mlikuwa upande wa kwini Leo wa mwaka

  • @janiaoma7093
    @janiaoma7093 Рік тому +2

    Yiyi wa pumbavu mnae ogea wasafi mapezi hayalazimishi na yiyi hamjuwi sharia ya dini dini ukiwa humudumi mkeo Kwa muda wa miyezisita simkewako tena yiyi wapubavu

  • @sadih5333
    @sadih5333 Рік тому

    Wow Wow, Yanga wamepata msemaji mtarajiwa!

  • @rogathemassong1788
    @rogathemassong1788 Рік тому +1

    Zinga slopas
    MayomaYomata
    😂😂😂😂😂😂

  • @saidmajeba9791
    @saidmajeba9791 Рік тому

    Nimecheka sanaa😂😂😂😂

  • @lawabidingcitizen3427
    @lawabidingcitizen3427 Рік тому

    Haya ndio madhara ya kuwa na sheria butu. Wanefuta sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari 2015. Sheria ilitaka waandishi wasome walau Diploma ya Media tu. Sasa hawa vimburu wanachofanya hapo studioni ni kusherekea uhuru wa mafisi, kutukana watu, kulopoka na kudhihaki watu na kubeza elimu. Yaani hapo ndio upumbavu ulipopata mipumbavu na jaziri lao linachekelea huko liliko bila shaka!

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa Рік тому

    Acheni umbea Dr. Mwaka hajakataa Ndoa isivunjwe yeye anachotaka ni utaratibu wa kuvunjwa Ndoa hiyo ufuatwe.

  • @Zenny89
    @Zenny89 Рік тому +1

    Mimi mkritu lakini Hii ishu utafikiri na mie muislam🤣🤣

  • @glorymtinangi8002
    @glorymtinangi8002 Рік тому +1

    Ety kakumbuka

  • @fatmaalkhuleidy1728
    @fatmaalkhuleidy1728 Рік тому +1

    Sisi wanawake wakiislamu tunahaki kuchagua waume na tuna haki kudai talaka tusiporidhika kwenye ndoa wacheni unafik dida na wambea wenzako na mwanaume akikataa kuitoa talaka kuna ofisi ya dini ya masuala hayo ambapo kadhi atatoa kitu kinachoitwa fasakh kuivunja hio ndoa

    • @mamuumuu4999
      @mamuumuu4999 Рік тому

      Huko bakwata hakuna msaada wowote,niko na situation hiyo hiyo.Nimeamua kuwa km Dida sidai tena kila mtu anaishi kivyake 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @judditedunia5292
    @judditedunia5292 Рік тому

    Jambo

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 Рік тому

    Wambea nyie 🤣🤣🤣🤣❤️

  • @oyay2821
    @oyay2821 Рік тому +1

    Kwa hivyo Rushayna anauza Vitumbua?

  • @pendochimammy5013
    @pendochimammy5013 Рік тому

    Wambea hao wacha nitegeshee kutoka 254

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Рік тому

    jammani kupendana kupo na kuachana kupo.Allah anasema tuoane kwa wema na tuwachane kwa wema jamani.nawale wanao fakisha watu iwe kwa maneno au kwa shiriki mungu ana waona😂😂😂😂

  • @mirrykirungi5078
    @mirrykirungi5078 Рік тому +1

    Mtu anapoomba talaka apewe mana king'angania jino bovu nisawasawa na kazi bure mapenzi ndani hakuna ya nini tena mwaka akubali tu

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Рік тому +1

    Nakweli yalimshinda mjeda namtutu wake

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele Рік тому +1

    SI MWANAMKKE ASIRUDI TU, HUWEZI KUMLAZIMISHA KURUDI

  • @oswaldnjole904
    @oswaldnjole904 Рік тому +3

    Dida wewe !! Eti kwanini hormone haibalance? Eti stigma!!!

  • @carolinemariki4029
    @carolinemariki4029 Рік тому +6

    Dida na timu yako nyie Mungu anawaona haki.... Homon yako imbalance🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 Рік тому +1

    Ni upuuziii mnaongea hayo maswali yanayohusu Imani na sio umbea au kutumia akili zenu

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 Рік тому

    Makubwa mtihani

  • @sadiamassage9589
    @sadiamassage9589 Рік тому +2

    Na ww dida uliachwa ama umeacha

  • @neemashuma5595
    @neemashuma5595 Рік тому

    Mmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhh

  • @bahatirobert1009
    @bahatirobert1009 Рік тому +1

    MUNGU anawaona nyie😀😀😀😀😀

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 Рік тому +3

    Ina wezekana akawa na wanawake tele lakini akawa huyu anayeomba talaka ndio roho yake mapenzi bwana ooooo

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo Рік тому +2

    Jumaa jamani chukuwa Talaka neenda ukauze vitumbuwa😂😂😂😂

  • @salomemhina2811
    @salomemhina2811 Рік тому

    Hana faragha binafsi huyo mganga wa kienyeji,alivyowatangaza mahaba hadharani atupishe hukoooo

  • @ThiagoMessi10-f4g
    @ThiagoMessi10-f4g Рік тому

    STIGMA imeshuka 🤣🤣

  • @sophiamumbe888
    @sophiamumbe888 Рік тому

    Wacheni ujinga mwanamke mwenye ndiie anae dai talaka kwani lazima kama mtu ameichoka ndoa wakumbwiru

  • @gloriachristian1470
    @gloriachristian1470 Рік тому +1

    Yaani umbeyaa nanenepa

  • @mamajaphety1624
    @mamajaphety1624 Рік тому

    hiki kipindi kinachekesha sana😂😂😂😂😂😂😂

  • @mulishidhamada861
    @mulishidhamada861 Рік тому

    T

  • @hasaniabdalah6148
    @hasaniabdalah6148 Рік тому

    😂😂😂😂oo kweli dunia hadaa walimwengu shujaa

  • @selhasaydullah8467
    @selhasaydullah8467 Рік тому

    😏

  • @mulishidhamada861
    @mulishidhamada861 Рік тому

    Nyie watu wambea

  • @joycemgonja8156
    @joycemgonja8156 Рік тому

    😂😂😂 we mtoto washaibu wewe hebu niache kwanza

  • @moniepaul8972
    @moniepaul8972 Рік тому +2

    Ndoa yakiislmu ni ndoa sasa?? Jioneeni wenyewe wanavyo kanyagana

    • @MpajiAli
      @MpajiAli 2 місяці тому

      Na hio y kikiristo jeee hata uwe unapigwa mapanga uvumilie tu kisa hawez kuvunjika we mjinga nn fala wee

  • @mussabuhe8881
    @mussabuhe8881 Рік тому +1

    Mnapo elekea mtasema Kuna shehe anamtaka sasa

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 Рік тому

    Masheikh wanajigamuzia yeye abaki na kubwa bwaja

  • @babybaby8384
    @babybaby8384 Рік тому +1

    😅😅😅😅😅😅😅Dida bhana😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @sacg9783
    @sacg9783 Рік тому

    Watangazaji MUNGU anawaona jamanii hapo mwisho nimechekaa mpaka basi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌

  • @craraaizack9072
    @craraaizack9072 Рік тому

    Nawapenda nyie watu jaman mnanipa laha

  • @kulthumkhan1935
    @kulthumkhan1935 Рік тому

    Jamani talaka hata mwanamke anatoa Mbona mambo yako wazi maana sheria ya dini inasema mwanamke Akitoa talaka arudishe mahari alolipiwa na anatoa talaka mwanamke pia na Ana kaa eda miezi mitatu

    • @aminaramdan3283
      @aminaramdan3283 Рік тому

      Hakuna Talaka Inayotolewa na Mwanamke.... Ispokuwa Mwanamke Anapodai Talaka Bila Sababu Yeyote Ile Hapo Ndio Anatakiwa Arudishe Mahari,,, Na Anayepaswa kutoa Talaka Ni Mwanaume... Ila Ikiwa Kamshtaki Na Akiitwa Bakwata mwanaume Asipokuja Akiitwa Tena Aspoenda Mara 3.. ndio Kadhi Anatoa Talaka.... Ila Hakuna Talaka Anayetoa mwanamke...

    • @mwanaishaabubakar5013
      @mwanaishaabubakar5013 Рік тому

      Usipitoshe watu wewe umesoma wapi mwanamke anatoa talaka. Acha kabisa kusema uzushi katika mambo yanayohusu dini. Ndoa ni ibada katika uislamu na inasheria yake kati ya ndoa na talaka. Hakuna hata mahali pamoja ambapo pameandikwa mwanamke anaweza kutoa talaka. Usipotoshe watu kasome kwanza. Au labda umechukua sheria yako ya dini nyengine ukadhani na waislamu nivyo. Kama ujasoma dini ya kiislamu acha kusemea utaingia motoni kwa mlango wa mbele

  • @modestsharia7127
    @modestsharia7127 Рік тому +1

    Kung'ang'ania au kugombea mwanamke ni uboya

  • @mzuwandayusuph442
    @mzuwandayusuph442 Рік тому

    Kumbe alipola uyomke

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 Рік тому

    Wee mwaka ukiachwa hebu achika!! cha ung'ang'ania nini?

  • @nurasalimu2403
    @nurasalimu2403 Рік тому +1

    Kwanza nyie ni hamjasoma ss mtu ht km anamsuguwana sijuwi ugomvi ndo asitendehaki kwa kumuogopa mtu nyie vp nendeni ktk QURUAN JUZUU YA 29 KATI YA SURAT MUDATHIRY AU MUDHAMMIRY Allah kazungumza unapokuwa kiongozi wa dini bc achana na mambo ya anasa ya kidunia IKRA SOMA

  • @samniza1763
    @samniza1763 Рік тому +1

    Fallopian tube!

  • @priscakassim4356
    @priscakassim4356 Рік тому +1

    🤣🤣

  • @alymaryam2331
    @alymaryam2331 Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aki nyie

  • @aisharamdan8358
    @aisharamdan8358 Рік тому

    Acha ujinga lokole mpumbavu ww nyooo

  • @hanifaa1487
    @hanifaa1487 Рік тому

    😅🤣😂🤩

  • @Tijarakabendera
    @Tijarakabendera Рік тому +1

    Mwanamke ajivue bwanA amrudishie Mahari yake

  • @shakilaabdallah7890
    @shakilaabdallah7890 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @theonedjbonny3952
    @theonedjbonny3952 Рік тому

    😂😂

  • @yyjlallkuuhnn2651
    @yyjlallkuuhnn2651 Рік тому

    😂😂😂

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 Рік тому

    JUMA LUKOLE NDOA ZA KIISLAM ZINAPOAMULIWA KWA KADHI AU MUFTI NI LAZIMA ZITANGAZWE ILI JIMBO LIJULIKANE KAMA LIPO HURU SASA. SI MAKOSA KUITA WAANDISHI WA HABARI JAMAA ZAKO ZERU ZERU NA HUYO MJUWAJI WAMECHEMKA KAKA😜😜

  • @aminamikidadi7754
    @aminamikidadi7754 Рік тому

    Muft mmemsikia kasema acheni unafiki ....

    • @donlinechanell4760
      @donlinechanell4760 Рік тому

      Muft kasemaaa kwan ww hujamsikia ???

    • @aminamikidadi7754
      @aminamikidadi7754 Рік тому

      @@donlinechanell4760 kwenye midia gani binafsi siamini mpk nimuone muft kama mufft ansaema Kama wanavyoonekana ..hao wa chini yake ...binafsi nimeshangazwa sn muhimili mkubwa kama baqwata kukosa msimamo kila mtu anapojisikia kuongea anakuwa yeye ndio msemaji nini maana ya kuteuwa viongozi ....wanataka kuupeleka wapi uisilam ....na wakati hiyo hukumu ya kwanza ilpotolewa hao viongozi wengine maulamaa walikuwa wp tulitaka kujua au walikuwa nje ya nchi waache ubabaifu ...kumbe baadhi ya viongozi wa bakwata wameamini nakukubali walivyoitwa na dk mwaka kuwa ni wahuni ....kwakukosa kwao msimamo musiba mkubwa huu ....

  • @lilyluholela8924
    @lilyluholela8924 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂Haki umbea una raha yake

  • @jumasalimo6360
    @jumasalimo6360 Рік тому

    😂😂😂😂😂

  • @amidjaja5695
    @amidjaja5695 Рік тому

    😂😂😂😂

  • @rayrayndiema
    @rayrayndiema Рік тому

    😂😂😂😂😂😂