PART 2: DR. MWAKA "NDOA IMEVUNJWA KIHUNI, MUFTI INGILIA "NAMUONEA HURUMA MKE WANGU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 507

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 Рік тому +4

    My brother wewe unamnyanyasa mwanamke kwa kutegemea Dini acha kuwachafua mashekhe wako wewe ndiyo chanzo cha ugomvi ndani ya ndoa yako mtafute mkeo muyamalize mambo ya kuwatukana viongozi wa Dini haipendezi Mungu akusaidue

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Рік тому

      Baba hayajakukuta wewe, tulia tu, siku zamu yako ikifika utajua hujui.
      Ati kumnyanyasa, siku hizi wanawake wanataka uhuru wao. Uhuru wa shetani 😈

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      @@Sheba4651 ANGETAKA UHURU WA SHETANI ANGEENDA KUTOMBWA 2 KUDAI TALAKA NI HAKI KATIKA DINI SIO USHETANI.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Рік тому

      @@salimmalaka256 Wala siwezi kukataa mimi kama kudai talaka ni halali, mimi ni muislamu hilo nalijua.
      Ila ulimwengu huu wa sasa ewe ndugu yangu omba zamu yako isikufike tu hadi unakufa. Labda uwe maskini unapanga chumba, unalala store na familia, jiko la gesi humo na ndoo za maji, ila ukiwa na kile cha kugawana utajua tu, usikose kutupa mrejesho. Swahiba wangu analia hapa pembeni yangu, huko kutombwa atatombwa kona chini ya nyumba hapo ukijitia ukaidi, Sasa hivi kuna uhuru wa shetani tu, hakuna jengine, mtu anakimbia ndoa anakua kwenye zinaa.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Рік тому +11

    Pole Ila Sheikh wa Mkoa Keshamaliza, Muhuni kwako sisi Sheikh wetu na tunamkubali

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +12

    Muhimu watu tuache "fake life"katika ndoa na mahusiano kwenye mitandao ya kijamii.
    Tuishi kawaida tu,sababu Kuna leo na kesho..mnafanya maigizo ya ndoa bora mtandaoni while in real life matatizo makubwa mnaishi nayo..siku yakibuma mnashangaza ulimwengu.
    Dk mwaka pumzika tafadhali,rest pliz..mke akishasema basi ,basi inatosha..tupumzishe na sisi...

    • @betridajulias7676
      @betridajulias7676 Рік тому +2

      Wewe uliyekuwa unawafanyia umafiya hao wanawake kulala nao chumba kimoja ulijiona mbabe naukajua siku zote watabaki kuwa mbumbumbu.Nasijaelewa kinachokuumiza sana kiasi hiki

  • @nicken3250
    @nicken3250 Рік тому +13

    Mwanamke akisha fikia hatua alofika mke wako huwa hakuna kurudi nyuma . Unazidi mkosea kupiga kelele... Ilibidi uyamalize mapema kabisa kimyakimya ila kwa jeuri yako ulifikiri anatania.
    When a woman's fed up there is nothing you can do about it..
    Umechemka.

  • @khadijamasele9005
    @khadijamasele9005 Рік тому +3

    We dr ,mpuuuzi sana we nani kwenye maisha ya Queen ,ungetoa Talaka kabla ya Haya unachokifanya sasa hivi ni kutuonyesha ujinga wako na unavyomkandamiza mwanamke

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +8

    Everybody out there,"STOP GLAMORIZING YOUR MARRIAGES & RELATIONSHIPS ON SOCIAL MEDIA AS PICTURE PERFECT"
    kwani ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili si ndio,sasa mmoja akishakataa makubaliano hayo rufaa ya nini??
    Mke hakutaki pliz move on..mstuchoshe ,maisha magumu acheni watu wafanye kazi hatutaki drama za kijinga..si mlitaka ndoa yenu iwe ya jamii nzima mkijifanya yenu bora zaidi basi itavunjika na jamii nzima ikishuhudia katika muundo wa maigizo ivo ivo .
    Wakati nyinyi mnafanya utoto kutuigizia mtandaoni ndoa yetu ni picture perfect hamkujiona,ila yaliyofanyika unaona utoto??
    Make I rest
    Ukiachwa achika.

    • @ibrahimmohammed9897
      @ibrahimmohammed9897 Рік тому

      Ww doctor mwaka nenda kasome uwache kuropokwa hpo mke hkutki unatka nn kaa utulie n mke wakonamejiachisha n hyo Inaitw Ghuluu soo fwata maisha yko nenda ksome dini

    • @ibrahimmohammed9897
      @ibrahimmohammed9897 Рік тому +1

      Ulishindwa kufnya majukumu wko Sai mapovu yakutoka pole yko ingekua umejukumika yasingetokea hya yte c ulikua unatuonsha show n mkeo mdgo sjui uko wapi n wapi unastarehe mbna mwenzio hkutoka mapovu Sai ww unaongea unaonsha wapi inakuuma kuachwa maskni pole n muhuni n ww sio mashekhe ww ndo muhuni kaa utulie

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 Рік тому +25

    Huyu jamaa nilikuwa na mheshimu kumbe niwahovyo hivi,,kwendagaaaaaa huko
    Ukiachwa achika wanawake wako wengi,,we ndo wakwanza kuachwa,,?ulikuwa unajifanya mushauli wa NDOA
    NDOA Haina mwalimu,,

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 Рік тому +5

      Ndoa Haina Mwalimu amuulize Manara, wabakie kuwa wasemaji tu😂😂😂😂😂😂

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому +1

      @@darajalakidatukilomgi2362 🤣🤣🤣

    • @designdesign4426
      @designdesign4426 Рік тому

      Unakurupuka kucoment bila kusikiliza hana maana hio yakungangania mwanamke kinachomuuma ni huyo shoga kujifanya hakim kujifanya kiongozi wakuvunja ndoa yamtu

    • @alhabsi6430
      @alhabsi6430 Рік тому

      @@darajalakidatukilomgi2362 🤣🤣🤣🤣

    • @mponjolimwatebela8630
      @mponjolimwatebela8630 Рік тому +1

      Alijinadi sana mtu ameamua ameamuna na mambo ya dini alikuwa wapi kuyasema anasema Leo baada ya mgogolo wa ndoa yake amekosea mno

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 Рік тому +6

    Umeshikwa pabaya. Pole mwana Kigoma mwenzangu.

  • @shamsajahagandhi3800
    @shamsajahagandhi3800 Рік тому +4

    Wewe mwenyewe muhuni umetelekeza mke na watoto mwaka mzima bila matunzo huo sio uhuni.

  • @matumokimatumoki6424
    @matumokimatumoki6424 Рік тому +5

    Yani hapa dk Mwaka kujibizana mtandaoni sio vzuri kambembeleze mkeo mrudiane kama bado mnapendana itakua vzuri zaidi hvi ni kujizalilisha mwanaume na muache tamaa ya kuoa wake wengi...

  • @sweetylove9918
    @sweetylove9918 Рік тому +5

    Kiukweli ipoivi mke akeshaamua hatakitena basi mapenzi hayalazimishwi kwavile mwanamke mwenyewe kasema naiwe basi haitaki ndoa tena basi apo nikupewa talakayake huwezi kumfosi uyo mke apo rski itakua imeisha napia lengine haya mambo yandoa alafu kuekwa mitandaoni haina faida mambo yandoa nisiri wenyewe ndani sio mitandaoni hapa tulielewe hili jamaniiiii.

  • @neemamollel6972
    @neemamollel6972 Рік тому +4

    Muhuni wa kwanza ni wewe na si viongozi wa dini ,ulitaka umtese huyu mama mpaka lini

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 Рік тому +1

      Ndio kwanza anaenda holiday wkt anajua kesi ipo kwa kadhi.

  • @saidhassan1523
    @saidhassan1523 Рік тому +23

    Ongea point sio kuchafuA dini na mashekh wetu

    • @mbagaherbal4796
      @mbagaherbal4796 Рік тому +1

      Hajachafua dini kakaa, kilichofanyika sidhani kama ni sahihiii

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 Рік тому

      Mwambieni huyooo

    • @ejulaizerjulaizer128
      @ejulaizerjulaizer128 Рік тому +1

      Hakuna dini iliyochafuliwa acha kuwa mbumbumbu

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 Рік тому +3

      Ina maana mashehe wote wa Bakwata hawana Akili? Akili akawe Nazo huyu pumba? Kakosa haya na laana za kutukana Dini zitakulamba siku si nyingi

    • @abdallahhuseinkabale7534
      @abdallahhuseinkabale7534 Рік тому

      Hajachafua kamkumbusha shekh mufti uongozi ni dhamana ataulizwa...

  • @mariamshee934
    @mariamshee934 Рік тому +9

    Mwaka uhuni uliuwanza ww kuwaonesha mitandaoni wake zako nandio hivyo zinaisha kihuni subhanallah washindwaje kuka na wazee wapande zote mkayaongea mkatulia kwenye ndoa yenu pole wapenda izara

  • @Boyhoodking
    @Boyhoodking Рік тому +6

    Namtaka Bi Queen nimuoe mwenye namba zake jaman❤️❤️❤️

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 Рік тому +2

      🤣🤣🤣

    • @chudimasoud9604
      @chudimasoud9604 Рік тому +2

      Ha ha ha ha ha ha mahari kutoka kwangu Germany Lkn omba ulinzi jamaa ataka tenaaaaa

    • @Boyhoodking
      @Boyhoodking Рік тому +2

      Anaacha pisi huyu Dr Hana macho nin😂 yaani pisi Kama Ile unapataje jeuri ya kukaa mwaka mzima bila shoo, duh

    • @alhabsi6430
      @alhabsi6430 Рік тому

      @@Boyhoodking 🤣🤣🤣

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Рік тому +6

    Ndoa ni nini kwani mkuu unaweza kuwa na ndoa na mtu msiependana, labda kwa Tanzania ya mavi kunuka kutokana na umasikini, mwanamke amechuma na ametoka sasa kwenye ndoa, technically ndoa haitakuwepo maana inaonekana hampendini na mmkekuja kwenye social media kueleza matatizo yenu baada ya kushindwa kuyatatua. Mkuu ni busara ukae kimya ungelinda heshima yako !

  • @pillyolsen6346
    @pillyolsen6346 Рік тому +7

    Mwanamke hakuyaki usilazimishe

  • @carolinemariki4029
    @carolinemariki4029 Рік тому +6

    Queen umeupiga mwingi.. kumbe iinaumaga eti

  • @nadiahussein5079
    @nadiahussein5079 Рік тому +8

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa kama.mwanamke ulikuwa unamtaka si ungemtafuta jaman ukambembeleza acha ujinga bana kubali umeachwa tutoleee ujinga bana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @stellamsangi4281
    @stellamsangi4281 Рік тому +19

    Siku zote ulikuwa unajifanya uko busy ukiitwa ulidhani talaka haitatoka? Basi bibie yuko free from hell. Unamwambia arudishe nyumba watoto wako wakae angani? Utazikwa na sanda tu baba mali zisikutoe roho kaka.

    • @tinamahega9848
      @tinamahega9848 Рік тому +1

      😁😁😁kashikwa pabaya

    • @jumaradhomary8591
      @jumaradhomary8591 Рік тому +6

      MWANAMKE akishahitaji TALAKA.
      hapo kwisha HABARI.
      Hata ukipambana ARUDI.
      Bado hayupo nawe.

    • @stellamsangi4281
      @stellamsangi4281 Рік тому +7

      @@jumaradhomary8591 umeongea neno la maana sana. Moyo ukichoka umechoka hakuna mjadala tena ukimng'anganiza atakuua bure. Na hakuna viumbe wanachoka vibaya kama wanawake aisee.

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому +4

      Tena anaongea sna mpk anatoka mapovu kma kanywa sabuni ya tide

    • @selebobo6210
      @selebobo6210 Рік тому +1

      Aibu kwa kweli

  • @jacobshao1260
    @jacobshao1260 Рік тому +23

    Mwanaume haongei maneno mengi ww unaharibu ,mfuate mkeo nadhan atakusikiliza

    • @nicken3250
      @nicken3250 Рік тому +1

      Umemaliza . Jamaa anazingua sana.

    • @bibliakitabukitamu6015
      @bibliakitabukitamu6015 Рік тому

      Angalau umesema ila wanawake mda mwingine ni ubabe ili akija kuzinduka akushukuru

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 Рік тому +4

    Usiwe muhuni ww unoshindwa kuhudumia mkeo na watt usojijua ovyoooo ww unachotaka ni kumkomoa mkeo kama ulikuwa hutaki huuu uhuni msingefika huko mngeyatatua wenyewe msingefika hukuuungejua kama kuna kuachana kwa wema ungeufanyaa huwo wema ww kwaza

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Рік тому +1

      Wema ni kumwita mzazi mwenzie mwizi na kumtia ndani. Kwanza nimeshangaa katiwa ndani kwa kesi gani kesi ya madai hatiwi mtu ndani muonezi mkubwa

  • @Neema935
    @Neema935 Рік тому +3

    Baba kapigwa fimbo la mynonge. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni machungu, sasa yamekukuta babaaaaa tuliya tumempata wifi Qeen kwa rahaazetu.

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Рік тому +15

    Ukiachwa achika😂😂😂😂😂😂maneno kidogo pesa nyingiii MALI LAZIMA MGAWANE

    • @stellamsangi4281
      @stellamsangi4281 Рік тому +1

      Tena akae kwa kutulia 😂😂😂😃 miaka kumi kwenye ndoa na watoto nikuzalie alafu eti nikurudishie nyumba weee sio kwa wa kilimanjaro sie angekufa mtu.😂😂😂😂

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 Рік тому +1

      🤣🤣🤣

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому +1

      @@stellamsangi4281 🤣🤣🤣🤣🔥

    • @khadijamasele9005
      @khadijamasele9005 Рік тому +1

      Kabisa

    • @nth3512
      @nth3512 Рік тому

      Uislam una utaratibu wake wa mali, hakuna mambo ya kugawana mali ktk uislam hata kama mmeishi miaka 100, mali zinakua ni za yule aliezitafuta. Kilichopo mwanamke hupewa kiinua mgongo anapoachwa. Na watoto hawana madhara yyte sababu watoto ni ktk mali za mume, na mume anawajibu wa kuwahudumia na pia ndo warithi.

  • @mohamedhamsini9106
    @mohamedhamsini9106 Рік тому +3

    WEWE TUACHIE MASHEIKH WETU....
    UMESHINDWA KUMTUNZA MKE NA WATOTO KWA MWAKA MZIMA UNATEGEMEA NDOA IPO HAPO ?
    KWENDAAAAAA

  • @ramadhanihamisi5596
    @ramadhanihamisi5596 Рік тому +9

    ,Dr Mwaka unacholifanya nikuidhaliliasha Dini ya ALLAH ,Sifa ya mwanaume ni Kifua,uwezo wa kuyabeba mambo sio kila kitu ni kuongea.Kitendo cha mkeo kuleta vurugu bakwata ni sababu inaonyeshwa kucheleweshwa kwa madai ya mkewe ili kupatikane suluhu,Ungekuwa na Hekima ungemaliza hili swala kwa Amani.Mama wawatu mpaka anaamua kuita press unafkir masihara?.
    Yote kwa yote Turudi katika mfumo wa ALLAH SW ameotuwekea🙏🙏🙏

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Рік тому +5

      Huyu Mwaka nia yake ni kumdhalilisha mzazi mwenzie angekuwa wa maana asingemuitia mkewe Polisi akiwa bakwata kama hakuwa na nia ya kumtesa na kumdhalilisha huku akila raha zake .Alikuwa anatumia jina uwezo na umaarufu kutisha bakwata iwe chini yake.Sasa wamefuata haki analeta lawama kisa alitaka bakwata iwe upande wake.

    • @fadhilamsagati1337
      @fadhilamsagati1337 Рік тому

      kuna watu wamejificha kwenye Dini wacha awape vidonge vyao wana halibu dini hasa huyo anye pewa mipasho anazalilisha dini bila kujua aliomba dua wakati wamagufuli mikutano ya kampeini 2020 alisema na yesu watu walipo lipuka akasema ulimi umeteleza wacheni apate yanayo sitahili

    • @abdallahhuseinkabale7534
      @abdallahhuseinkabale7534 Рік тому

      Wacha amkumbushe mufti dhamana alopewa ni kubwa mbele ya Allah..ajitathmini ataulizwa kwa yote yanayo endelea kwenye taasisi yake ..malalamiko ni mengi kuliko pongezi..kuwa taasisi yenye mamlaka sio ruksa ya kutokosolewa ..huyu kasema hadharani wangapi wapo kimya hawasemi...mh mufti fatilia baraza kaa na waumini wako wallah kuna mengi mno yanaichafua dini yetu..

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      @@abdallahhuseinkabale7534 LAKINI HUYO KASEMA HADHARANI KWA MASLAHI YAKE SIO YA DINI WALA YA WATU WENGINE MBONA HAKUSEMA ZAMANI ANAYASEMA LEO.

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 Рік тому +8

    Makadhi aloshawatengeneza hana lolote…ukiachwa achikaaa babu weeee

  • @2116-n
    @2116-n Рік тому +25

    Kumbe shida ni Mali unahofia mtalaka wako atachukua, ulidhani siyo rahisi kuachwa, ndio umeachwa Sasa🤣🤣

    • @mbagaherbal4796
      @mbagaherbal4796 Рік тому

      Mm napita tuuu

    • @stellamsangi4281
      @stellamsangi4281 Рік тому

      @@TheAlman mtu mwenye utu unapomwambia mwenzako akurudishie nyumba ndio nini yaani na watoto wake wakae angani? Mwaka mzima hujui kula ya watoto wako wala nini ndio dini inavyosema? Hasira zisitufanye tuwatese wasiohusika. Usipotoa matunzo ya wanao unamkomesha nani? Nyumba kitu gani tunaondoka na sanda tu kaka. Huko ni kukosa hekma. A real man never fight for material things especially kwa mtu anaekutunzia watoto wako ni kujiongeza tu na kuwa a gentleman. Fighting a mother of your kids doesnt make sense at all.

    • @hamidudongo1879
      @hamidudongo1879 Рік тому

      Achukue mali kutoka wapi wewe?

    • @hamidudongo1879
      @hamidudongo1879 Рік тому

      Msipende kusema mambo msiyoyajua..... Nyinyi Wagaratia kaeni pembeni.

    • @stellamsangi4281
      @stellamsangi4281 Рік тому

      @UC9YHX4Z5rB4t-AjSTI9eawQ All in all talaka imetoka huyo Mwaka akae kwa kutulia. Anaongea sana na hiyo ni dhahiri kwamba ameumia. Mtu kadai talaka si umpe tu sasa haya yote yangemfika saa ngapi kama angetoa talaka kwa wakati??? ni kutaka kuwapa faida watu yasiowahusu. Sasa mambo mpaka kwenye media what is that? Thats bull shit. Yeye analalamika haitendeka haki je huyo dada alivyokuwa akizungushwa maana yake ni nini? Wanawake wanadidimizwa sana haswa wakiislam watu wanachukulia kigezo cha dini lakini ukweli na msimamo wa dini hausemi hivyo. Mwanamke ana haki ya kudai talaka sasa kwanini wakizitaka hizo talaka mpaka wazungushwe na kusumbuliwa. Watu wakichokana kila mtu apite vile maisha yaendelee kiustaarabu kabisa. Sasa unadhani kwa hatua hiyo walipofikishana si maadui mpaka milele hao? Madhara yanakuja kwa watoto sio wazazi inabidi kuwa makini sana hizo biff za wazazi hazina maana kabisa. Tulipendana sasa tumechokana kila mtu ajue mpango wake basi.

  • @user-em5xj3rc5k
    @user-em5xj3rc5k 5 місяців тому

    Hizi comments ni matokeo ya makosa anayo yazungumza docta. He is very bright

  • @musason1680
    @musason1680 Рік тому +1

    Mhuni mmoja mwenye confidence ya kipato na asie na hekma

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому +1

    Pole sana home boy

  • @japhetkudonda2504
    @japhetkudonda2504 Рік тому +3

    Huyu ana msongo wa Mawazo,Anaongea mpaka yasiyofaa,

  • @saidyssaley1509
    @saidyssaley1509 Рік тому +4

    Huyu Mwaka anaonekana kalia sanaaa tena sanaa maana hata uzungumzaji wake kuna sauti ya kulia kwa UCHUNGU lkn anajikaza tu na hata macho mekunduuuu 😭😭😭

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j Рік тому +1

      Hana lolote mwaka mzima hamsaidii chochote sio kwa pes wala. Nini nabado akamwambia anampokonya nyumba je yule amma Akakae wapi yule mama alienda

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 Рік тому +2

      Na bado.kwani wakt anamtesa.mkewe sialiona rahaaa,zamu yake sana

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j Рік тому

      @@siaammo1104 huyu doctar wahivyo Ila sisi wa je hatujui wanayoyajua walioolewa

    • @goodluckmsoka3660
      @goodluckmsoka3660 Рік тому

      Kuna wanawake wanakuja kuchuma mali

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 Рік тому

      Na bado

  • @jumakimaro4295
    @jumakimaro4295 Рік тому +4

    JJMWAKA KAWAOMBE WAISLAM RADHI & MUSAMAHA KWA KUUKOSEA ADABU UISLAM NA UONGOZI ALIOUWEKA ALLAH.
    HUNA ADABU,WALA HESHIMA. ALLAH AKUNUSURU MAANA UNAONEKANA WEWE NI MIONGONI MWA MUNAFIKUUUN WAKUBWA KATIKA DINI.
    MASHEKHE NDIYO WARITHI WA MITUME,UKIWATUSI WAO NA KUWADHARIRISHA MAANA YAKE UMEMTUSI MTUME PAMOJA NA ALLAH S.W.
    ALLAH AKUONGOZE INSHAALLAH UTOKE KATIKA UPOTOVU ULIOPO

  • @marrygodfrey7747
    @marrygodfrey7747 Рік тому +6

    Mali tu ndo inakutoa jasho🤣🤣🤣

  • @neemamarenga1448
    @neemamarenga1448 Рік тому +7

    Unaogopaaa kugawana mali 😅 ila kumbuka muda wa huyo demu iliompotezea

    • @nth3512
      @nth3512 Рік тому

      Kwenye uislam hakuna kugawa mali, hakuna mambo ya eti mmetafuta wote. Mwanamke akipewa taraka anapewa kiinua mgongo na sio kugawana mali. Labda wakipita mahakamani ndo kuna masheria hayo.

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Рік тому

      @@nth3512 basi sheria kandamizi za kijinga kabisa na mwanamke aende mahakamani kabisa wagawane mali

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      @@nth3512 HUYO MWAKA ALIMNUNULIA HUYO MKEWE HIYO NYUMBA NA HATI YA NYUMBA KWA JINA LA MKEWE KAENDA KURIPOTI POLISI ATI MKEWE KAFOJI HATI YA NYUMBA BAADA YA KUDAIWA TALAKA.

  • @maryammohmmed6526
    @maryammohmmed6526 Рік тому +14

    Acha Ngenga domo kama chai jaba kweeeeendraaaaaa hatutaki ukiachwaa achikaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @abdoulkgt6249
      @abdoulkgt6249 Рік тому

      We taira msenge wewe .Wew unajua uislamu wew

    • @idontknowwhoami3066
      @idontknowwhoami3066 Рік тому

      Acha ujinga

    • @mussakulanga9513
      @mussakulanga9513 Рік тому

      mariam jamaa anaongea haq imevunjwa nje ya utaratibu kuachana wataachana ila sio sheikh wa mkoa avunje ndoa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      MARYAM ANA HAKI YA KUCOMENT KALILETA MWENYEWE MTANDAONI.

  • @Alimahrooi
    @Alimahrooi Рік тому +1

    Huyu hajui dini na unavunja heshima ya masheikh na ya Muft, ukiwa hauna mahusiano na mke wako kwa miezi 3 ni kama talaka, umemtesa mtoto wa watu kwa mwaka bado unatoa ufedhuli kwa viongozi WA dini.

  • @neemamollel6972
    @neemamollel6972 Рік тому +5

    Huku hakukufai kauze dawa maisha yaendelee

  • @Team-t6k
    @Team-t6k Рік тому +1

    Sasa kama mke hakutaki nikulamzisha kama ni mke wake si unajuwa penye iko si ufate muyamlize na maneno mengi saana kama kasuku ila lakusemeya uwislam hakuna acha ujanja mu dini hata Manara aliachwa alika kimya itakuwa weye

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 Рік тому +6

    Yule pipi yuko wapi?😂😂😂bdo unamlilia queen na Wakati ulimlaza Police

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 Рік тому +2

    Huyu jamaa ukimuangalia vizuri ni mtu mjuaji sana na anaonekana ana kiburi wanawake walio wengi hawapendi wanaume kama hawa

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Рік тому +8

    Hakuna kutia neno imetoka hiyoooooo

  • @abdallahhuseinkabale7534
    @abdallahhuseinkabale7534 Рік тому +12

    Mh mufti usimpuuze huyu bwana twakuomba tumia nafasi hiyo kulisafisha baraza. Wewe ndio Khalifa wetu yapo mengi yapo chini ya mikono yako usipoyafatilia na kupata kuyajua yatakuweka kwenye mizani mibaya hiyo siku...siku ambayo haina mpambe wala chawa .twakuomba mh mufti litazame vizuri baraza letu..pongezi ni chache malalamiko ni mengi...kwenye hili sakata huwenda Allah ametaka iwe ndio mwanzo wa kujua mengi usoyajua...mh mufti hali za maamuma wako zipo hoi .maadili yanazidi kuporomoka kila kukicha hali za waumini zinazidi kuwa mbaya..wewe ndio Khalifa unalojukumu la kujua wapi tupite.wafate waumini wako ujue ujue vipi wanaishi miskiti vipi ibada zipo sahihi.kuna mayatima na wajane wote hao kwa nchi yetu wewe yapo chini yako..Allah akuongoze mufti wetu ...makundi yanazidi kuwa mengi umeona hata hivi karibuni mvutano ulotokea miongoni mwa makundi. Jitokeze kwa umma tukuone laivu bila chenga...kila la kheri Allah aIdi kukuongoza nasi pia amini

  • @kahindabizeze1548
    @kahindabizeze1548 Рік тому +5

    Njoo kwa Yesu

    • @daud405
      @daud405 Рік тому

      Yesu mamako

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Рік тому

      Huyo Yesu hajawahipo kua na mke.

  • @saidhassan1523
    @saidhassan1523 Рік тому +8

    Acha kukufuru mwaka dini imejitosheleza achaa kubwabwaja ovyoo

    • @ramdanmbara8500
      @ramdanmbara8500 Рік тому

      Kakosea wapi? Mwenye mamlaka ya kuvunja ndoa ni Qadhi sio Sheikh wa Mkoa. Sheikh wa Mkoa kakosea sana

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      @@ramdanmbara8500 KWANI SHEIKH WA MKOWA SIO MUISLAMU???

  • @hujjatulasrsocietyoftanzan8420

    Masheikh waheshimiwe

  • @sulimanm6525
    @sulimanm6525 Рік тому +10

    Dokta mwaka nakushauri mfuate mkeo muzungumze muyamalize mtoto mzuri kama yule yakhe una muacha hivihivi aaaaaa

    • @joycemfugale8477
      @joycemfugale8477 Рік тому

      Itakua mzuri sio mtam Mana ndio maneno yake bwana mwaka

    • @jessysalami1788
      @jessysalami1788 Рік тому +1

      Kama anamuona mzuri kwann alimuolea wenzie na bado anawanyanyasa wake wamwanzo anampenda mke mdogo tu mpaka matumizi anashindwa kutoa kwa wake zake

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 Рік тому +2

    TAFADHALI KOMA KUTUKANA MASHEKHE WETU KAKA!

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 Рік тому +6

    Sasa ya mukewako unayaasha unakuwa mushahuri na matusi ju😂😂😂Dr Mwaka roho inaluuma sasa subiri presha ishike 0.pana talaka ashana na washehe kama doa yako

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 Рік тому +3

    WE MARAYA MBONA ULIKUA UHUDUMII MWAKA MZIMA MARAYA WAHEDI 🤐🤐

  • @mickyjohn806
    @mickyjohn806 Рік тому +17

    Muache mwenzio apate amani usilazimishe mapenzi

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Рік тому +1

      Nia yake kumdhalilisha na kumuumbua

    • @ramdanmbara8500
      @ramdanmbara8500 Рік тому

      Hakuna shida kumuacha tatizo utaratibu wa kishria ufuatwe sio huo uhuni uliofanywa na Sheikh waMkoa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      @@ramdanmbara8500 UHUNI KAANZA YEYE.

  • @halimahamis3742
    @halimahamis3742 Рік тому +4

    Unyanyasaji wa wanawake ukomeswe

  • @luqmanomary3558
    @luqmanomary3558 Рік тому +5

    Fitna za nini dr mwaka ongelea kuhusu jambo lako sio mambo mengine achana na fitna

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +2

    Yamekukuta ss unalopoka mambo haya ukusema sikuzanyuma leohi unataka kutujumuisha na ss Liatu kivyako mali zinakusumbua ww mnyanyasaji sana unaonekana na unamdomo sana nakujifanya unajuakuongea. Ukiona uitaji mashehe nenda kwawazazi wa mwanamke muyamalize wenyewe msiushishe mashehe

  • @peninacharles9757
    @peninacharles9757 Рік тому +19

    Sijui Kama unaweza kutibu hata U T I Sasa hivi Dr mwaka ninamashaka nawewe

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 Рік тому

    Halafu nikuulize Dr. Imekuwaje mbona mlikuwa mnalala wote kitanda kimoja mkiwa wa nne? Kimsingi Mwaka umechangia sana kuharibu mambo yako kwa kujisifusifu mno na wake hao acha upate!

  • @najuf8021
    @najuf8021 Рік тому +2

    Kelele zote hizi anahofia ugawanyo wamali wakat wote alikua wap kuongea namkewe

  • @mkombozikillo4511
    @mkombozikillo4511 Рік тому +1

    Ulishindwa kulitatua hilo ndani kwako,Acha kulaumu mashekhe

  • @lubatikoseme9412
    @lubatikoseme9412 Рік тому +1

    We wa kwanza kuacha.. hebu kubari matokeo baba

  • @gressmussa4874
    @gressmussa4874 Рік тому +4

    Ulimuacha mwaka mzma ulijua Hana uwitaj wa mtu wa kalibu kubali kuachwa tu unawake 2tena warembo kwaiyo tulia

  • @ssalimsalim3864
    @ssalimsalim3864 Рік тому +1

    Dr mwaka mm nakuelewa sana na niko upande wako ila umesema huyo Mufti kachaguliwa na mw/mungu!! I don't think so mimi ninavyojua hao wote wamechaguana wenyewe tu na kwakweli waislam wengi wanailalamikia bakwata kua hawana huduma nzuri na hua hawatendi haki kwa kufata sheria, ila hio point kua mufti kachaguliwa na mungu Nop!!!

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 Рік тому

      Km Mungu hajataka wangechaguana? Kila jambo kila kiongozi hua kwa matakwa ya Mungu nasio yake wala si ya mtu yyte.

    • @nuhhungaso8091
      @nuhhungaso8091 Рік тому

      Sishangai sana kuvunjika kwa ndoa
      Ila walio vunja hawakurejea aya za qur_ani hadithi au vitubu vya dini.
      Pia hawakusema ameachwa twalaqa ngapi? Je anaruhusiwa kurejea?hawajaweka wazi hayo.

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 Рік тому +2

    Eti anaemuoa mke wangu namshitaki.leo tena.wakumbuka shuka kumekuchaaa.para ka kichuguu.

  • @dianacornely4600
    @dianacornely4600 Рік тому +4

    Lea watoto na gawa mali sio kupiga piga kelele😏😏🚶‍♀️

  • @euphrasiantawatawa1510
    @euphrasiantawatawa1510 Рік тому +7

    Sasa ndo ulie

  • @fatumamohamed2229
    @fatumamohamed2229 Рік тому +5

    Mwaka imekula kwako hiyoooo. Imeisha hiyo. Kifupi umechwa.

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Рік тому

      Analilia kuma jibaba angejishusha na kuelewana na mwanamke angeendelea kuonja utamu wa kipochi manyoa 😅

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      @@kabwelasutiviraka4765 🤣🤣🤣🤣 KEKI YA NYWELE 🤣🤣🤣 AU DOMO LA NGAMIYA 🤣🤣

    • @aminaabubakar4834
      @aminaabubakar4834 Рік тому

      MUNGU Hapendi wanandowa kuwaachana angalieni mmekoseya wapii mrekebishene mwishi

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 Рік тому +2

    Mwaka mwanamke huyo watu washamuona subiri atokee mwamba abebe mtoto utabweka zaidi unafikiri kila mwanamke ni mjinga

  • @hawahabibu3881
    @hawahabibu3881 Рік тому +10

    Ushaachwa Babu tembeaaaaaaa

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 Рік тому +3

    Shida ni kugawana mali ndo maana hautaki kumpa talaka.Talaka alishapewa na Bwakwata .Ila wamekupa nafasi ya kukata rufaa.Mke haumtunzi mwaka mzima unategemea nini?

  • @Users2523
    @Users2523 Рік тому

    Dr mwaka yupo sahihi, huyo sheikh wa mkoa alipovaa miwani meusi akiwa kwenye press nikajua hapa kuna madudu tu

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 Рік тому +1

    Wewe baba una roho mbaya sana wallah, mi sitaki kusema kwaajili ya maamuzi yaliyotolewa ya talaka, wewe baba lengo lako ni kumuona yule mwanamke anateseka na Mungu atakuadhibu sawsawa na unalomfanyia huyo mke wako.

  • @zanzibar.
    @zanzibar. Рік тому +2

    Na hyo yko ww ni maneno ya mkosaji huna lolote usha kwisha ww lililo baki sasa ni porojo lko tu siku zote ukiskia mtu analia juwa bakora isha mpata huyo

  • @zanzibar.
    @zanzibar. Рік тому +3

    Hlf nikwambie mm naon kichwa chako cha juu kibovu ww nhis ulisha wahi kuuguwa uwenda wazima jpo utotoni mwako ww sio bure ht kdg 🤣🤣 mm si mtu wa ku comment lkn kwa hili nacomment hun ht busara ww et unalala na wanawke 2 kitanda kimoja na unajionyesha mitandaoni ww iko wp akili yko yamefikia wp ww ongea sema ukisha mliza kakojowe ulale 🤣🤣

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 Рік тому +15

    Hizi ndoa za siku hizi nimitihani kwani hawa sindio wale walikua na mahaba ndindindi kwenye mitandao 🤣🤣🤣🤣🤣 jmani make kwanza ncheke

    • @stellamsangi4281
      @stellamsangi4281 Рік тому

      Ndio maana ukiwaona wanajishaua kwenye mitandao wewe kaa kwenye kona kunywa zako chai maana kabla ya kufika jioni ndio hayo mambo sasa yameshaharibika😁😁😁 wenye furaha zao wametulia bwana kimyaaaa ila hawa wa kujifanya eti wake wenza wanapendana wanavaa sare eti wakati mwingine wanalala kitanda kimoja kakuambia nani hayo mambo yanawezekana kwa nyakati hizi😂😂😂😂. Watuache sie uke wenza haujawahi kuwa mzuri labda kwa wanaoijua dini haswaaaa na hata wao wivu upooo sasa itakuwa huyu mume popo bawa😂😂😂. Acha nicheke tu tutaona mengi kwakweli. Eti mume anadai nyumba sasa watoto wake wakae angani??? Nyau kweli huyu mwaka.

  • @janetbutondo6684
    @janetbutondo6684 Рік тому +6

    Kama yeye aliyaka yasifike huko kwanini asikae chini yeye na mke wake na familia yake kwani yeye kwenye familia yake hakuna wazee ambao wataweza kusuhisha matatizo yake ya ndoa yake

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Рік тому +2

      Yeye kadiriki kumtia mke ndani kweli kuna amani hapo?

    • @janetbutondo6684
      @janetbutondo6684 Рік тому +1

      @@leokamil6284 kweli hakuna amani apa anatuambia nini sijui mnafiki alejeshe amani kwanza ndani ya nyumba yake asitukane na kuwazalilisha viongozi wa dini nakutoa viti

  • @chiefkaitaba8293
    @chiefkaitaba8293 Рік тому

    Mm binafsi namuelewa sana #Mwaka
    Kiukweli sheikh wa Mkoa sijawahigi kumkubali,muhuni tu.

    • @fatmas7338
      @fatmas7338 Рік тому

      Ww upo kama mm tu yule bwana sijawahi kumkubali hata kidogo

    • @chiefkaitaba8293
      @chiefkaitaba8293 Рік тому

      @@fatmas7338 ana visran sana,mjuaji na kibaraka wa CCM na yy ndo anajiona Top kwenye Bakwata

  • @joharikasuwi6973
    @joharikasuwi6973 Рік тому

    Kaka samahani Naomba nikushauri wewe achana na bakwata Rudi Kwa mkeo muombe radhi Kwa mliyoyapitia mmrudiane kistaarabu. Lakini ukiamza kuusema uislmu tayari na wewe ni mmoja wapo wa hao mbumbumbu unaowahita. Allah akujaalie subra na hekma na si matusi

  • @yomenikabombwe4939
    @yomenikabombwe4939 Рік тому

    Mwaka muhuni mwake wawili kitanda moja tena ufire wote. Siyo wislam polici inakungoja moja katowa siri mapema mtaani

  • @ngorweurongo8276
    @ngorweurongo8276 Рік тому +1

    Umefafanua vizuri sana mungu akuongoze

  • @athumanimafugalo9917
    @athumanimafugalo9917 Рік тому

    Kwa maoni yangu,, Shida sio ndoa kuvinjika shida ni aliyeivunja ndoa, ilipaswa mgogoro upitie ngazi mbalimbali kabla ya kufika Kwa kadhi wa mkoa na sio Kwa shehe wa mkoa.

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 Рік тому +4

    Kijuso kimekushuka kwendraaa huko babu kizee

  • @czechzyamwaga1021
    @czechzyamwaga1021 Рік тому +1

    Kama ulijua yote hayo, ulikuwa wapi mpaka wahuni wakaingia

  • @ommythetruth5449
    @ommythetruth5449 Рік тому +23

    Tutolee upumbavu wako ,ulikuwa wapi muda wote kuzungumza kwenye media wakati mkeo anahamgaika mara umlaze polisi mara uombe udhuru ,Leo kapata haki yake maneno yamekuwa mengi ukiachwa achika acha usenge kusumbua watu na kujikuta muongeaji Sana Mbweha mkubwa

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 Рік тому

      Acha matusi MTT wa kiume ww kwani ww umeyashinda acha hizo basi

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 Рік тому +2

      Mwaka kubwa jinga malaya lisilojielewa, maneno marefu Akili pumba

    • @nicken3250
      @nicken3250 Рік тому +1

      Kabisa kabisaa ...

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 Рік тому

      @@darajalakidatukilomgi2362 alizini na ww?

    • @ommythetruth5449
      @ommythetruth5449 Рік тому

      @@amanimanase8798 bro lugha ya kiswahili unaijua vzuri au nawewe ndo uko Tanzania na kiswahili hukijui nionyeshe Tusi Hapo liko wap

  • @lilianmlowe9154
    @lilianmlowe9154 Рік тому +5

    Nahisi unatatizo hautaki kutoa taraka maana unaogopa mgawanyo wa Mali embu acha kutumia wanawake km sehemu yakuingiza vipato vyako

  • @mariamjackobo6219
    @mariamjackobo6219 Рік тому +6

    Kuuchwa kunaumaa hahahaha kerere zanini? Unalapu mzeebaba hahahaha kuachwa kuchugu vunja vunja

  • @musajuma298
    @musajuma298 Рік тому +2

    Sikuzote ungemfuata kikubwa mngemalizana mashehe wamefanya haki

  • @nahimanamwamini1764
    @nahimanamwamini1764 Рік тому +1

    Umeisha mvunjia aibu muogope mola wako hauko juu ya ukubwa wa allah

  • @ramadhanimussa6403
    @ramadhanimussa6403 Рік тому +1

    HUYU AKILI HANA NA ANAJIDHARIRISHA. KWAHIYO ANAVYOMNYANYASA MKE WAKE ANATEGEMEA NN

  • @malkalriamy9093
    @malkalriamy9093 Рік тому +2

    Huyuuu muhuniii tuuuu

  • @allykingu6954
    @allykingu6954 Рік тому

    Kama utaratibu haukufatwa, ndoa inakua haikuvunjika, na kimsingi hakuna Rufaa ktk Quran na Hadith, mh mufti naamin atazingatia muongozo huo, Inshallah

  • @agneskapwani3484
    @agneskapwani3484 Рік тому +1

    Umevurugwa sasa unakashfu viongoz em tulia bhana

  • @ummulkulsum6124
    @ummulkulsum6124 Рік тому

    Acha kubwata ww umeshindwa na kutoa uhadilifu usingilie watu wengine hapa swala ni lako acha unafiki ww nenda bakwata kamalize maralamiko yako acha kujiadilisha mitandauni ww ulijisifu mitandaoni siri zako Queen achakuumbua

  • @tinamahega9848
    @tinamahega9848 Рік тому +1

    Kwa hiyo unataka kusema viongozi wako wa kidini ni wahuni?tena kiongozi mkuu unamuita muhuni?wewe kweli huna adabu kabsa

  • @sihabahusseinmdee1102
    @sihabahusseinmdee1102 Рік тому +6

    wakati unawatangazia watanzania kua wake zako wanakupenda na wanalala chumba kimoja tulikuambia hizo ni comedian sana wakati umefika aliosema ishini nao kwa akili waliona mbali sasa umeelewa

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 Рік тому +3

    Huyu alionekana kumuweka mkononi yule anayehusika ndio maana alifikia kusema hajisikii kuendesha shauri. Huyu Kaka ana shida sasa anataka yule mwanamke awe mtumwa wake? Yule dada aende mahakamani akadai mali na matunzo huko kutukanwa kwa Bakwata hakumuhusu kama hakumfai atoke.

    • @tinamahega9848
      @tinamahega9848 Рік тому +1

      Na ndio atakachofanya na mungu amsimamie

    • @hassanimleli7796
      @hassanimleli7796 Рік тому

      ukosawa saana naasie elewabas anamapungufu haiwezekani hataukitumia akilindongotu kulifikiri hili utapatajibula kwamba amelifanya kwakua mmekhitalifiana ndomana siosheriayadini inayo mruhusu ingetakiwa lisikilizwe kwapandezote mbili

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Рік тому

      Kweli kabisa na ndio maana akaende na watetezi maana alikuwa akipigwa danadana .Huyu jamaa mtata sana

    • @khadijauvuruge9700
      @khadijauvuruge9700 Рік тому +1

      Sasa mambo yamemgeuka aamini ndomana amepanic sanaa😀😀😀😀

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 Рік тому +2

    Hiki chombo dr tuachie bana nasi tuone unachopigia kelele

  • @sammyalwahebi5937
    @sammyalwahebi5937 Рік тому +3

    Mke hakutaki shekhe...
    Alhadi ndio anamchukua be queen..
    Wewe ugomvi na alhadi usimuungize mufti wetu..
    Ndoa imeshavunjwa.. mwaka mzima ulikuwa hupigi mzigo..
    Mahakama itatambua tuu
    Ushahidi mbona upo wazi

  • @hollojuma9538
    @hollojuma9538 Рік тому +8

    Jamani mwaki ukiachwa acheka mbona unawanake wengine?

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 Рік тому +1

    Hayo ndio maneno ya mtenda akitendewa huhisi kaonewa....halafu Kama kuishauri BAKWATA ulitakiwa ufanye kabla ya mambo yako binafsi...eti mpaka yakukute ndio unatuchanganyia habari... Ni Akili yako kweli????

  • @sky-wz5zi
    @sky-wz5zi Рік тому +2

    Mwehu huyu