Sababu hizi ndizo humfanya mwanamke kuchepuka - Dr Chris Mauki.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 176

  • @judithmkiramweni4137
    @judithmkiramweni4137 Рік тому +3

    Dr Mauki upooo correct kabisaaaaaa yaaniii unadarubini ya kujua ukweli wa mambo . Kwa hili nimekupigia salute wewe ni Dr kweli

  • @pilikipengele963
    @pilikipengele963 Рік тому

    Kweli Doctor kuchepuka haisadii kitu nakupa Big up 💯 Doctor Chris Mauki

  • @stellahmelkiony8890
    @stellahmelkiony8890 4 роки тому +9

    Wewe ni zaidi ya mwalimu kwangu na ni mwanasaikolojia bora zaidi, sijutii kukufuatilia. Zidi kubarikiwa

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 7 місяців тому

      Yupo sahihi kikubwa ni kuondoka kwenda kuanza upya sio ujinga maisha yenyewe mafupi

  • @christophersunguti8957
    @christophersunguti8957 Рік тому

    ❤DOC you are a real marriage councillor for sure🇰🇪

  • @fadhillshineni8413
    @fadhillshineni8413 4 роки тому +4

    Umeongea kweli kabisa doctor

  • @princessrobby9787
    @princessrobby9787 3 роки тому +3

    Unaongea vi2 venye uhalisia Doctor Hongera sana

  • @hureemmunir8112
    @hureemmunir8112 4 роки тому +9

    Kuna wanaume pasua kichwa dr! Unakuta unajitahidi kushughulikia hilo tatizo ili usifikie huko lkn wao wanazidisha makombora,wnakuwa zaidi ya mbogo au faru john. Inaumiza sana hasa unapojaribu hata kukaa nae na kuongea nae kwa upendo lkn unakosa tension na kukuona takataka. Nitakutafuta.

  • @tausihasheem5051
    @tausihasheem5051 4 роки тому +1

    Dr..umeongea point on point.....Asnte nmejifunza sanaaa

  • @rehemajoseph1352
    @rehemajoseph1352 4 роки тому +6

    Mwanasaikolojia bora zaidi kwangu ubarikiwe

  • @robinahumphrey9725
    @robinahumphrey9725 3 роки тому +1

    Mungu akubariki sana...Dr,mwl.mchg...wanaume ..wanasumbua sana..

    • @isikesamike
      @isikesamike 2 роки тому

      Una date na wanaume wangapi kwani mpk useme "wanasumbua?"

  • @akilimalimali253
    @akilimalimali253 2 роки тому

    Hiyo ya sita Dr haridhishwi, hafikishwi kileleni

  • @mosesfrancis3946
    @mosesfrancis3946 3 роки тому +4

    Anapenda sana marafiki zake pamoja na kazi yake. Hana muda na mimi kabisa jamani nina miaka 12 nalia tu

  • @monicasongolo5805
    @monicasongolo5805 7 місяців тому

    Sahihi kabisa 💪

  • @floraamando3470
    @floraamando3470 3 роки тому

    Umetisha ubarikiwe kweli wewe ni tiba ya ndoa tuponye baba

  • @agnesmpangile6959
    @agnesmpangile6959 3 роки тому

    Asante Dr unaongea ukwel kabisa yanatokea sanaa kwenyemahusiano

  • @husseinhassan7208
    @husseinhassan7208 3 роки тому

    Dr uko sahihi lakini kiukweli wapo wanawake wengi hawaridhiki kiukweli Mimi nimechokaaaa moyo wangu bhana unajitahidi sana lakini unajikuta unatwanga maji kwenye kinu kwasasa mungu nimemuachia jukumu hilo lakupata mtu sahihi kwa maisha yangu

  • @Rahmaihonde
    @Rahmaihonde Місяць тому

    Inakera kwakweli😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @purityrehema543
    @purityrehema543 2 роки тому

    Asante sana

  • @rodahmuta7791
    @rodahmuta7791 4 роки тому +1

    Ukweli kabisaa....asante Dr

  • @happinesslumambo9831
    @happinesslumambo9831 2 роки тому +1

    Nice lesson congratulations doctor I real appreciate

  • @joharikisendi7140
    @joharikisendi7140 Рік тому

    Somo zuri dr

  • @rosetagaye5731
    @rosetagaye5731 4 роки тому +2

    Yan ni kweli kabisa, Mungu akubariki

  • @saraphinasahani5104
    @saraphinasahani5104 Рік тому +1

    Fact😢

  • @akidasalim3859
    @akidasalim3859 4 роки тому

    Asante Dr umenigusa sana

  • @paskiislaa5592
    @paskiislaa5592 4 роки тому

    Asanteee Sanaa doctor mungu akubarik

  • @rosenaadolfu99
    @rosenaadolfu99 3 роки тому +11

    Ni kweli kabisa mwanamke anahitaji vitu vidogo sana kupendwa kuthaminiwa na kusikilizwa tu hapo hawezi kuchepuka.

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 7 місяців тому

      Wengine awajielewi 😅wanakua km wapo jeshini muda wote

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha 4 місяці тому

      Mh kabsa mwanamke anahitaji kithaminiwa kusikiliza na kitunzwa 2

  • @ChristerbellMwasele
    @ChristerbellMwasele 2 роки тому

    Dr nikweli kabisaaaa jmn daaaaaa SoMo zuri sna

  • @mosesfrancis3946
    @mosesfrancis3946 3 роки тому +7

    Mimi mwenyewe hapa natamani hata kuchepuka labda nitapunguza stres

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 7 місяців тому

      😂😂😂mtu uelewi ufanye nini hii umbwa ndio mana inauliwa

  • @aminatumbo7410
    @aminatumbo7410 3 роки тому +2

    Hapo kwa distance ukweli mtupu

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 4 роки тому +3

    Kongole Dr kwa somo Hili! Its really helpfully to me

  • @judithmkiramweni4137
    @judithmkiramweni4137 Рік тому +1

    Intimacy upweke na kupata pumziko ndio tabu ktk ndoa wanaume wamejisahau . Ngoja wasaidiwe kukumbushwa na michepuko ya wake zao

  • @emmanueljohn3134
    @emmanueljohn3134 4 роки тому

    Uko vizuri Dr mauki

  • @raiamwema1863
    @raiamwema1863 4 роки тому +4

    💯 yote hayo 7 yaan ananifanyia mume wangu. Ilibidi Tu nianzage kuchepuka na haikua kwa kupenda. Kwasasa angalau nina kafuraha flan HV amazing Kumbe sikukosea

    • @hassaniothumani5501
      @hassaniothumani5501 4 роки тому

      Dah .

    • @franshyera8970
      @franshyera8970 4 роки тому

      😀😀😀😀

    • @lydianyanjera9385
      @lydianyanjera9385 4 роки тому

      🤦🤦🤦

    • @tiktokseriescompilation5030
      @tiktokseriescompilation5030 4 роки тому

      Hello! people of GOD,, please watch this too..., ua-cam.com/video/4ufq9Ib422o/v-deo.html

    • @rosenaadolfu99
      @rosenaadolfu99 3 роки тому

      Umenifurahisha maana na mm kuna wakati nawaza kuchepuka kwa hali ninayopitia ila moyo unasita lakini moyo wangu unavuja damu jamani nateseka mpaka sasa mwanaume nimemchukia kabisa.

  • @rachelthomas1866
    @rachelthomas1866 2 роки тому

    Yah it's true,mwanamke ni maneno matamu na vijizawadi vidogo vidogo

  • @carmelinawabosha5384
    @carmelinawabosha5384 2 роки тому

    Kweli kabisa doc

  • @stanleymathias7877
    @stanleymathias7877 4 роки тому +1

    Uko na kipaji Cha kipekee kutoka kwa Mungu

  • @fatmamusaa1169
    @fatmamusaa1169 2 роки тому

    Fact Dr.i need to talk to you

  • @kelethsamwel9042
    @kelethsamwel9042 4 роки тому +2

    Somo zuri sana

  • @samzuuseif
    @samzuuseif 3 роки тому

    Ur my teacher for sure thanks dr

  • @aishajuma7402
    @aishajuma7402 3 роки тому +1

    Asant doctor kwa ushauli wako ubalikiwe sana 🙏🙏

  • @happynessowo1140
    @happynessowo1140 3 роки тому

    Safi tunashukulu

  • @ahmadsaidi5292
    @ahmadsaidi5292 Рік тому

    Dr wanawake wengi kwa ujumla huwaga hawathamini mwanamme au mume kipindi anawajali sana,matokeyo hukuona wewe ni zuzu,mjinga umoja,wengi wa wanawake wala hawajuwi wanataka nini exactly

  • @fozyafozya4060
    @fozyafozya4060 4 роки тому +1

    Asante sana 🤔

  • @julianamgoha2357
    @julianamgoha2357 4 роки тому +1

    Intimacy Dr hiii aswaaaa ndio kubwa kuliko hawa watu wakishaoa wanajisahau kabsa hata kutoka na wewe ni ishu, na ukimuuliza anasema majukumu, ndani pia shida ukisema anakwambia mazingira

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 2 роки тому

    Daa ili somo nimelielewa sana yani kama umeniongelea mimi kwakweli.

  • @aniphualmas8695
    @aniphualmas8695 2 роки тому

    Salute

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 4 роки тому +2

    SOMO NZURI SANA DR.

  • @eldarmwakabuta7589
    @eldarmwakabuta7589 2 роки тому

    Asante chris nakutegemea sana ushauli wako mala kadhaa unanigusa

  • @mlishohadija6923
    @mlishohadija6923 5 місяців тому

    Mm hapa hata.zawadi sijawahi pewa 😢 mpenzi.wangu hata akiwa kazi hutajua ila akiwa na shida anakutafuta

  • @rosenyandindi7606
    @rosenyandindi7606 4 роки тому

    For sure..

  • @johnsana8751
    @johnsana8751 4 роки тому

    Solution ndio kila kitu

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 4 роки тому +7

    Kuna wanawake wengine wepesi kutongozeka( hawajui kukataa) wako wengi sn hata sisi wanaume huwa tuna washangaa

    • @husseinhassan7208
      @husseinhassan7208 3 роки тому

      Kabisa kukataaa hawawezi

    • @rehemagerald4151
      @rehemagerald4151 Рік тому

      Daah! Kunawanaume wanaoteseka na mapenz kweli jamani! Hongera zake uyo dada.

  • @dullamuso6955
    @dullamuso6955 3 роки тому +2

    Kiukweli i hate my women until this time i dont know what to do Dk but my heart is Broken

  • @halimahalima1984
    @halimahalima1984 4 роки тому +1

    Kweli kabisaa docta mimi nimeshindwa kabisa sababu yaumbali mpaka tumeacana

  • @Suzanapetro-u5d
    @Suzanapetro-u5d Місяць тому

    😂😂😂😂😂😂 inachoshajee d

  • @audifassiril2922
    @audifassiril2922 3 роки тому

    Point

  • @neematumainiel4528
    @neematumainiel4528 3 роки тому

    Kweli kabisa

  • @matharsady7626
    @matharsady7626 3 роки тому +2

    Mimi ulivyosema kuishi na mwanaume ambaye si sahihi katika maisha mume wangu anavyo vyote na akikupa ela anakupangia na anakuhuliza ela niliyokupa ujabakisha chenji na huwa anaweka mipak kweny sm yake pia kunitimizia mahitaji yangu mpaka ugovi na nimechoka na nimepata mwanaume anayenijali naomba ushauli nifanyeje na huyu niliyempata ananikizi matumizi madogo madogo na anavitu vyote anakizi mahitaji yote nifanyejee

  • @miriamtutorial
    @miriamtutorial 3 роки тому +1

    100% true

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 7 місяців тому

    Ok km wanakosa wanachokitaka na hawapati ikapelekea kuchepuka je ni dhambi?

  • @feyandrew7643
    @feyandrew7643 2 роки тому

    Yani mm sielewi haya maisha

  • @justinefesto8426
    @justinefesto8426 4 роки тому +10

    Wewe ni mwalimu wangu bora mpaka sasa

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  4 роки тому +3

      Nashkuru sana

    • @tiktokseriescompilation5030
      @tiktokseriescompilation5030 4 роки тому

      Hello! people of GOD,, please watch this too..., ua-cam.com/video/4ufq9Ib422o/v-deo.html

    • @veronicageofrey5099
      @veronicageofrey5099 3 роки тому

      Sababu ya mwanamke kuchepuka wanaume wengi hawafikishi wake zao kileleni.hili ni tatizo kubwa kwa wamama wengi wamekuwa wakilalamika sana.dokta.

  • @dapriccy3574
    @dapriccy3574 3 роки тому +2

    Yaaan haya ndo mahusiano yangu kabisa nataman kulipza kisasi Ila nashindwa naona kbs ntakosa Aman kbs,, Ila nikiona nitashindwa kbs ntacheet tu hata Mungu atanisamehe cwez kumvumilia mtu anacheet afu mm ndan hanigus😏😏😏

    • @christinapeterntibagiligwa2556
      @christinapeterntibagiligwa2556 3 роки тому +2

      Pore my dear,ila usishindane namwanaume muombee tu mumeo,sababu ukisema uchit na wewe itakufanya umzarau mwanaume wko,huko njee kunawanaume wanajua kubembereza mwanamke mpaka utajiuliza nikwanini ulicherewa kutoka njee,ushauli wng muombee tu

    • @dapriccy3574
      @dapriccy3574 3 роки тому

      Pamoja Sana my dia Mungu atusaidie tu ss wanawake

    • @didakauli1374
      @didakauli1374 3 роки тому +1

      @@dapriccy3574 upo wapi dada angu nikuongezee ushauri mzuri zaidi hakika utaishi kwa furaha nitumie namba yako Tushauliane?

  • @ashahaule967
    @ashahaule967 3 роки тому

    Umesema ukweli

  • @bitunisebarua3884
    @bitunisebarua3884 3 роки тому

    Kisasi dah

  • @EliciaShuka-gm1ig
    @EliciaShuka-gm1ig Рік тому

    Kinachotesa ni namba 1,4 na 5 kwangu ni shida tu naumia

  • @joharychaima1274
    @joharychaima1274 4 роки тому +6

    7bu zte kwel kbs jmn aswah kwang,csemei wengine lkn ila kwang we nimwanasaikolojia bora zaid

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 4 роки тому +1

    Woow

  • @judithkidiwa7973
    @judithkidiwa7973 4 роки тому +1

    Yote ya kweli

  • @gracemwaringa7085
    @gracemwaringa7085 2 роки тому

    Umenifunza mengi na kuifanya ndoa yangu iimarike

  • @andrewmwakangata3705
    @andrewmwakangata3705 4 роки тому +1

    Kweli kabisa doctor 🎤💉💉🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨⚒️⚒️

  • @JanethSadick-p5i
    @JanethSadick-p5i Рік тому

    Hawa watu wakishaoa tunapewa hadi kashfa humo ndani unageuka huna thamani tena hata ufanye nini!

  • @fatumaluze7724
    @fatumaluze7724 3 роки тому

    Hakikaa

  • @kenedysimba9859
    @kenedysimba9859 4 роки тому +1

    👍dr

  • @alicebrayan8863
    @alicebrayan8863 2 роки тому

    😢😢😢😢

  • @patrickchai4271
    @patrickchai4271 4 роки тому +1

    Pongezi ila tendo hili haliwezi kufanywa na mmoju tu bali lazima mume na mke
    wote washiriki so wote lawama KWAOOO

  • @shijalameckmpemba4529
    @shijalameckmpemba4529 4 роки тому +1

    Hayo Ni wamawzo yako tu Kama umeoa la hivyo Ni la hivyo tu.

  • @athumanabdallashulise278
    @athumanabdallashulise278 2 роки тому

    Doctor nashukuru Sana hii Hari imenipata mm Sasa nimiaka Kama miwili Sina hamu ya tendo la ndoa Wala Ute Ute kwangu hakuna nisaidie nifanyeje?

  • @magrethhaulee9998
    @magrethhaulee9998 4 роки тому

    Umeongea ukweli kabisa

  • @akinyisusan8049
    @akinyisusan8049 3 роки тому

    Iyo sababu ya 5 ishawai nitokea

  • @joharijuma1551
    @joharijuma1551 3 роки тому

    Docter yaani kwangu mimi umelenga mule mule

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 роки тому

    👌

  • @onlinemateustv1925
    @onlinemateustv1925 4 роки тому +5

    Distance imeniharibia maisha yangu nibora nibaki masikini kuliko distance tena najuta sana

    • @bahatijoseph8763
      @bahatijoseph8763 4 роки тому

      Kwa nn imekuharibiaa Maisha yako distance!??

    • @aminaismail4221
      @aminaismail4221 3 роки тому +1

      Nkweli hii imesababisha mume kutafuta mwanamke mwingine hadi najuta kilichonifanya nisafiri nje ya nchi

    • @ramagwama2246
      @ramagwama2246 3 роки тому

      Kabsaa kumbe tupo wngi distance imeunguza vision zte tulokua nazo

    • @emmamombo7149
      @emmamombo7149 3 роки тому

      @@aminaismail4221 pia uko nje ya nchi Kuna wanaume mm pia niko nje ya nchi waume tele kama anakupenda hangetafuta pia ww watafuta

    • @emmamombo7149
      @emmamombo7149 3 роки тому

      @@aminaismail4221 usijute hata kama ungekuwa hapo angetafuta tuu shukuru mungu uko nje tafuta pesa ujejenge inshallah

  • @saidmeku707
    @saidmeku707 4 роки тому +1

    KUANZIA 10:34 - 10:43 NDIO PENYEWE, KUCHEPUKA NI MAAMUZI BINAFSI SIO KOSA LA MWENZIO, UKISHAKUWA MTU MZIMA NI JUKUMU LAKO KUWEKA WAZI MAPUNGUFU NA NAMNA YA KUYAJENGA. KWANI UKISHACHEPUKA KINABADILIKA KIPI...?

    • @akidasalim3859
      @akidasalim3859 4 роки тому

      Amani ya moyo

    • @tiktokseriescompilation5030
      @tiktokseriescompilation5030 4 роки тому

      Hello! people of GOD,, please watch this too..., ua-cam.com/video/4ufq9Ib422o/v-deo.html

    • @bintiwayesu2226
      @bintiwayesu2226 2 роки тому +1

      kabisa nakubaliana na wewe kwa nini mtu asiseme mapungufu au makosa ujirekebishe unaamua tu kuchepuka huo ni upungufu wa hekima na akili, tamaa tu hakuna kingine ila ndo wajue ipo siku ya hesabu mbele za Muumba

    • @saidmeku707
      @saidmeku707 2 роки тому

      @@akidasalim3859 Ni kweli. Ila unaitwa utatuzi wa msimu kwa tatizo la milele.

    • @saidmeku707
      @saidmeku707 2 роки тому

      @@bintiwayesu2226 Naam siku ya mwisho ni nzito, na kama kakubali kuchepuka na wwe, hata na mwingine pia anaweza, tendo la ndoa kama chakula na tumbo ukiwa na njaa unakula chochote na popote ukishashiba ndio unaamka. Hakuna njia ngumu kupita katika maisha ya mwanadamu zaidi ya kupita kwenye njia ya hekima na kufikiri kabla ya matendo, ila maisha ni machaguzi kila mtu atachagua lake na kulijibia wakati utakapofika.

  • @officiallyemmily9187
    @officiallyemmily9187 4 роки тому +3

    Vipi kuusu kutomridhisha kitandani..Hatujaona iyo

  • @salomemsangi3752
    @salomemsangi3752 4 роки тому

    yaani unayoongea nikweli

  • @davidalex4844
    @davidalex4844 3 роки тому

    Kaka nataka kupata link ya clip ambayo ulitoa ufafanuzi juu ya why kuchepuka kwa mwanamke kuna umiza zaidi ya mwanaume

  • @vivanyzubery1641
    @vivanyzubery1641 3 роки тому

    Mbona kunasehemu umeificha ficha hapo unapoxema kunakitu anakikoxa we funguka to xema aridhishwi

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 3 роки тому

      Sio haridhishwi tuu bali haridhiki

  • @maulidimussa9149
    @maulidimussa9149 4 роки тому

    Hi tch by Mr nindi

  • @bensonvunyari7728
    @bensonvunyari7728 4 роки тому +1

    Wewe unajua Malaya uwaa arithiki ataumupe kilakitu unachao

  • @Muthafar6868
    @Muthafar6868 3 роки тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @arafaally2895
    @arafaally2895 4 роки тому

    Hata la kusema sina

  • @angelpella2709
    @angelpella2709 4 роки тому +4

    Tunaomba utuletee sababu za mwanamume kuchepuka

    • @rehemajoseph1352
      @rehemajoseph1352 4 роки тому +1

      Hawana sababu ni hulka yao tu

    • @franshyera8970
      @franshyera8970 4 роки тому

      Wanaune kuchepuka sababu tunafanya mazoezi ili tusidhalilike kwenye mechi 😀😀😀

    • @deusdeodavid5360
      @deusdeodavid5360 4 роки тому

      Tuna tamaa natural ila hua sio kwamba hutuwapendi wake zetu au wapenzi wetu

    • @tiktokseriescompilation5030
      @tiktokseriescompilation5030 4 роки тому

      Hello! people of GOD,, please watch this too..., ua-cam.com/video/4ufq9Ib422o/v-deo.html

    • @aminaismail4221
      @aminaismail4221 3 роки тому

      Mwanaume hana sababu kwao kuchepuka nikawaida

  • @jacobmgumiro156
    @jacobmgumiro156 4 роки тому

    🙏🙏🙏

  • @delphinasenge3321
    @delphinasenge3321 4 роки тому

    4/" nikweli kabisaa nimesha mwambia wangu lakini hakunijibu chochote

  • @mosesfrancis3946
    @mosesfrancis3946 3 роки тому

    Hana muda hata wa kufanya mapenzi na mimi.

    • @smartonlinetv5144
      @smartonlinetv5144 2 роки тому

      Hivi mwanaume unakosaje nafasi Kwa mtu wako? yaani anakunyima au?

    • @mariethabosco4191
      @mariethabosco4191 Рік тому

      Kunatatizo hapo tuu jichunguze wewe kwa Nini akunyime

  • @dottososella2385
    @dottososella2385 3 роки тому

    Unaweza kushughulikia tatizo na lisitatuke

  • @mamfumqueenmamfum6132
    @mamfumqueenmamfum6132 2 роки тому

    0

  • @prisilaelipido8158
    @prisilaelipido8158 4 роки тому +1

    sauti imetosha nadhani wamesikia

  • @annaisaac279
    @annaisaac279 4 роки тому

    🔨🔨🛠️🛠️

    • @lalag7142
      @lalag7142 3 роки тому

      Asante sana...lakini kama unajaribu kumwelezea unafurahi akikufanyia hivi na vile but hafanyi.Utasaidikaje