MKE WA MUME ALIYEUAWA KISA DENI LA OYA AMLILIA RAIS, POLISI YAWADAKA WANNE "NIMEMPONZA MUME WANGU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 467

  • @piusmusigula3512
    @piusmusigula3512 15 годин тому +51

    Wahusika wakamatwe. Kampuni ifungiwe, pia itoe fidia ya kutosha Kwa familia

    • @Hamy1109
      @Hamy1109 14 годин тому +3

      ACHA WIVU KAMPUNI IKIFUNGWA NDIO ITASAIDIA NINI!? Kampuni ikifungwa si anafungua nyingine ndani ya dakika 5 tu. Acha roho ya kimaskini.

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 10 годин тому

      We ni taaahira wa OYA​@@Hamy1109

    • @MONEY_CHANNEL.
      @MONEY_CHANNEL. 4 години тому

      Chizi huyi hapo kampuni inahusikaje?
      Hao wahusika ndo wakamatwe wakaungane na nyundo

    • @ZainabuMsengec
      @ZainabuMsengec 3 години тому

      Wee dada mshenzi sana yaan uchukue mkopo kwaa ajil ya cm ona sasa umepoteza uhai wa mumeo..si bora ungemweleza mumeo izo pesa mkajazia ktk duka

    • @SafiaOmar
      @SafiaOmar Годину тому

      Ni sahihi kampuni ifungiwe Sababu ni kawaida yao kwenda kudai kwa fujo kama hivyo. Hapo sio mara ya Kwanza kufanya hivyo hiyo kampuni ni washenzi sana

  • @ChristianSiwale-iw7ex
    @ChristianSiwale-iw7ex 13 годин тому +12

    Jina lenyewe et OYA😂😂 mbona kama wahuni tuu

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 15 годин тому +23

    Wanawake tujitahidi sana kuwashirikisha waume zetu mambo km haya. Pole Sana ndugu yangu. Hii kampuni ifungiwe wallah mmetoa uhai wa mtu kisa deni limebaki laki moja na elf 70??

  • @PlatnamMogo
    @PlatnamMogo 16 годин тому +17

    Pole sana dada lakini hii ni kesi tayari hiyo kampuni ya OYA inatakiwa wahojiwe vizuri!

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 13 годин тому +11

    Acheni kukopakopa.mikopo yenyewe yana liba.mnanunua ugomvi na mungu.

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 17 годин тому +54

    Hii nchi kila kitu mama samia hakunaga viongozli wengine wasidizi

    • @DaheerK
      @DaheerK 16 годин тому +3

      Mlete baba ako bas awe kiongoz mjinga ww usiejua maumivu yavifo

    • @ajiaally3269
      @ajiaally3269 15 годин тому +2

      Uyu si mbwa kwa hyo unataka waongee na nani au kwa sababu nyie uko znz maisha mmeyapatia

    • @allymwilu8089
      @allymwilu8089 15 годин тому +3

      Hata kama wanafanya mapuuzi mama samia 😅😅😅 ujinga mtupu hapa wanawake mna tamaa munakopa hamuwashirirkishi wanaume zenu mmbwa nyie

    • @lukafbbwebelof3874
      @lukafbbwebelof3874 15 годин тому

      Labda Viongozi wengine ni vilaza tu havina au havifanyi chochote wakiambiwa. Labda kwenye hao wanahume WAlikuwa wanamtaka huyo mwanamke kimapenzi!!!? Au vipi? 😢😢😢

    • @ChikuOmmary-ii2xf
      @ChikuOmmary-ii2xf 13 годин тому

      Saidia wewe kama hii inchi kuna mtu mkubwa Zaidi ya mama samia

  • @TariqJafari-w2j
    @TariqJafari-w2j 15 годин тому +22

    Hyo kampuni ifungwe

    • @rosemilingi7860
      @rosemilingi7860 14 годин тому +2

      Umesema ukweli kbs tena wana mariba makubwa kwelikweli

    • @scorasticaclement6308
      @scorasticaclement6308 13 годин тому +2

      ​@@rosemilingi7860
      Inshu Sio Riba Inshuuu Ni Kwamba Wanadai Vibayaaa Mnooo Hao Mbwaaaaa Yaani Ata Saa Kumi Usiku Wanatimba Hao

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de 13 годин тому

      ​@@scorasticaclement6308jmn sio wanadai vby " mm sikopagi huko na naomba Sana Mungu anisamehe sio wote wanaookopa wanapenda" ila ukidaiwa uwe na kauli nzur na ikumbukwe mkienda kukopa mnaadabu zote ila wakianza kudai mnawaona wasunbufu" kikubwa tumuombee marehem apumzike kwa aman 🙏😭

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 13 годин тому

      ​@scorasticaclement6308 😂😂😂😂😂😂😂Umenichekesha kwenye majonzi

    • @SADICKITHOMAS
      @SADICKITHOMAS 2 години тому

      Hii mikopo ya hawa kenge wa lhivi viloan application zao nikoziona on page nazipitiaga kushoto cz ni wezi na govt inawatazama tu😢

  • @EnjoyReonald
    @EnjoyReonald 15 годин тому +27

    Oya mmeamua kuua kabisa😢😢

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 13 годин тому +10

    Nampa pole sana huyu dada. Kitendo cha mume wake kufariki kisa deni, hiyo itakuwa ni fimbo yakumchapia kila kona huko mbeleni. Yaani watakuwa wakimkumbusha, we umesababisha mumeo kufa kisa mikopo. Pole sana mdogo wangu.💔😭

    • @JohnsonRutta-k1c
      @JohnsonRutta-k1c 13 годин тому

      😢😢😢😢😢😢😢kweli ndo itakua fimbo

    • @shakilamasoud2983
      @shakilamasoud2983 11 годин тому

      @@JohnsonRutta-k1c kabisa, Walimwengu hatuna jema

    • @IfadatAlly
      @IfadatAlly 8 годин тому +2

      Hasa wakwezake ndio watapata sababu ya kuachiwa ulezi Peke ake

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 15 годин тому +15

    Mikopo ina riba na riba ni haram. Haram inamazala mengi siyokifotu tyjitahidi tuepuke na mikopo ya Riba. Kwani inatumaliza kinyakinya kwavitendo. Sshatujijui. Mazalani mengi kwa binadam kupitia riba. ,,,,tukinai na halizetu

    • @AsiaNassor-u7s
      @AsiaNassor-u7s 15 годин тому +2

      Na riba zake ni kubwaa mnoo

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 15 годин тому

      Sahihi kabisa. Tukinai na tulichonacho. Na madhara ya riba yanatupata Kwa kuwa si riziki yetu ya halali tuliyokadiriwa bali ni Sisi ndo tunalazimishia.

    • @GABRIELGEORGE-qq1nj
      @GABRIELGEORGE-qq1nj 14 годин тому

      Mikopo yote duniani ina riba madam, hata misaada tunayopata kutoka nje ni hivyo

    • @fatumaramadhani1283
      @fatumaramadhani1283 13 годин тому +1

      Umesema kweli,riba ni haramu

    • @LydiaIsangi
      @LydiaIsangi 2 години тому

      Shida maisha ndugu yangu,tunalazimika tu​@@fatumaramadhani1283

  • @neemaraphael8732
    @neemaraphael8732 15 годин тому +14

    Hawa sio wakukopa kwao hawafai kabisa

  • @hyy4114
    @hyy4114 12 годин тому +6

    Allah endelea kunipa ujasri wa kumshirikisha mume wng kila kitu Subhanna Allah laki 3 inamuua mtu

    • @Hadiahudhud
      @Hadiahudhud Годину тому

      Haswaaa ALLAH ajalie khair

    • @jamillahkheir6536
      @jamillahkheir6536 Годину тому

      Kabisa ila Kuna wengine wanasema mwanaume haambiwi ktu😢😢

    • @hyy4114
      @hyy4114 49 хвилин тому

      @@jamillahkheir6536 ukosefu tu wa sisi wanawake kujua thaman ya ndoa na kesho tuelekeapo akhera ila ukijua lazima kitu cha kwnz ni mume ndo hata mama ghako ajue lkn tulivyokuwa wabishi wanawake ni kila kitu kujiona wajuaji

  • @RoseMrio
    @RoseMrio 2 години тому +2

    hili gar la oya nikiliona napga ukunga huruma hawana

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 12 годин тому +4

    From 🇧🇮 pole san dad mimi njomana sipendi kukopa

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o 16 годин тому +7

    Iyo kampuni ya Oya ukiwakopa wanakufata ata saanane za usiku

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 14 годин тому +3

    Pole dada, wanamakosa sana deni haliwezi kuua mtu, ugejua usingenunua hata hiyo simu,

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 15 годин тому +8

    Kwa nini wadimfuate aliyenunua?? Hawa oya wanamakosa.

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 15 годин тому +3

    Polee dada.

  • @SelinaJuma-c7t
    @SelinaJuma-c7t 15 годин тому +12

    Hii oya ifungiwe

  • @LaizerSaitoty
    @LaizerSaitoty 16 годин тому +4

    Pole sana dada angu ila jaman kila kitu sio mama samia watunzania tuwe uelewa kdg raisi ana majukumu mengneyo kuna viongoz wa ngazi chini

  • @mariamushi4723
    @mariamushi4723 15 годин тому +19

    Kumbe hawakopeshi tuu na kuuwa wanauwa jamani 😢😢😢😢😢 OYA Vipi tena jamani.
    Taasisi za mikopo kuweni makini sana kudai sio kupiga jamani 😢😢😢😢

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 16 годин тому +3

    Pole Sana mwanangu

  • @salomeKihaga
    @salomeKihaga 17 годин тому +6

    Jmn maskini pole

  • @hyy4114
    @hyy4114 12 годин тому +6

    Subhanna Allah mke wa mtu unanunua simu bila ridhaa ya mume wako Halafu bado tunasema tukaingie pepon

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 11 годин тому +3

      Hata angenunua wigi hapa tunaongelea kuuawa kwa mtu, kama huna cha kuongea katafute ndoa

    • @IfadatAlly
      @IfadatAlly 8 годин тому

      Kweli ajabu iko wapi kununua simu

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 2 години тому

      Kosa la huyu dada kwanini achukuwe mkopo bila kujuwa mumeo Tena unaenda kuchukuwa sm kwani ungemwambia mumeo akununulie sm hata ya kitochi tu si maisha yanaenda,huyu dad'a anaonekana ana uswahili mbona mwanzo ulikaa na mumeo mkachukuwa mkopo , umemponza mumeo jamani wanawake tuwe makini kwenye kuchukuwa mamuzi wamekulizimisha Ili iweje kwani ungekataa wangekufanjaje,? Ungempigiansm mumeo huyu anaonekana amezoea kukopa kopa

    • @hyy4114
      @hyy4114 Годину тому

      @@darajalakidatukilomgi2362 nikatafte ndoa ulisikia mwanamke anaolewa na mwanaume wawil kwa wakat mmoja Alhamdulillah nipo kwenye stara ya ndoa Allah akinishuhudia so ww

    • @hyy4114
      @hyy4114 Годину тому

      @@IfadatAlly kwa mjibu wa dini yetu ya kiislamu haifai kumulik kitu bila ridhaa ya mumeo mume ni njia yako sahihi ya kuingia pepon sasa tng lini uingie pepon na kitu cha haramu kununua kitu bila ridhaa ya mume ni haramu nendeni madrasa achen kujifanya mnajua sana dunia wakat akhera yatungoja

  • @flurancembone4824
    @flurancembone4824 15 годин тому +4

    So sad 😭

  • @evarichard4866
    @evarichard4866 13 годин тому +4

    Hasira hasara oya kazi mnayo washenzi wakubwa😊

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 17 годин тому +2

    Kwa kweli mmh

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 14 годин тому +2

    Oooo jamani RIP.

  • @Farida-k2m
    @Farida-k2m 14 годин тому +2

    Pole sana Dadaangu

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 15 годин тому +4

    Jamani. Unauwa kisapesa

  • @SafiaOmar
    @SafiaOmar Годину тому

    Pole Sana ndugu yangu. Ila wanawake wenzangu wa kiislam hii mikopo yenye riba ni haramu. Tuache kuchukua hii mikopo haina faida na kitu ambacho Allah kakiharamisha kina madhara sana kinaleta ufukara na majanga.

  • @luluwhite3818
    @luluwhite3818 13 годин тому +11

    UMASIKINI MATESO SANA 😢😢

  • @masterhptv4065
    @masterhptv4065 16 годин тому +5

    Hawa Oya nawachukuia Sana nimeona utendaji kazi wao wanadhurumu Sana sikuzote nikiona gari zao roho inaniuma Sana sijui kampuni hii ina wahusika serikalini

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 16 годин тому +5

    Mhh.mkopo shikamoo

  • @Stella-oh3my
    @Stella-oh3my 34 хвилини тому

    Watu wa oya niwakorofi sana Mm siwapendi

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 13 годин тому +2

    So sad Rip😭🙏

  • @fadhilimkanimkole272
    @fadhilimkanimkole272 14 годин тому +1

    Kso sad

  • @vero57
    @vero57 15 годин тому +1

    Pole sana dada .

  • @bahatimellita6619
    @bahatimellita6619 15 годин тому +4

    Unakopa mume hajuiii duuu ona Sasa umemsababisha maafa kwa kijana wa watu 😢😢😢😢

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 15 годин тому +6

    Hii ndiyo hasara ya mikopo ya riba ALLAH. anasema acheni riba lakini mnaleta kibri

  • @PriscaMwakifuna
    @PriscaMwakifuna 12 годин тому +1

    Jamani

  • @rashidnzunda
    @rashidnzunda 13 годин тому +2

    Duu maisha haya

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 14 годин тому +3

    Yani hii nchi imeharibika kwel itakuaje mumuuwe mtu kwa kumdai dah inauma sana lakin viongoz msome maisha magumu raia wanateseka wanakopa mpaka wanauliwa serekal hili msilinyamazie kimya😂😂😂

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 51 хвилина тому

    pole

  • @deomassawetv
    @deomassawetv 2 години тому

    Mngejua Oya ni ya nani msingehangaika kusema ifungwe..
    Hii labda ibadili tu jina lakini sio kufungwa

  • @ElizabethNelson-bh2ij
    @ElizabethNelson-bh2ij 16 годин тому +4

    Unachukua cm bila mmeo kujua kwel hizi ndoa zasasa zimekuaje Yesu tusaidie

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 3 години тому

    Poleni sana

  • @DariusKasitu-o4x
    @DariusKasitu-o4x 18 хвилин тому

    Huyo mwanamke msenge sana unakopaje hela ununue simu

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 15 годин тому +3

    Wanna wake muache mikopo jmn

  • @sistymbombo1616
    @sistymbombo1616 17 годин тому +4

    Unakopa Hela kununia cm kweli?ulienda kuh

  • @daudysanga8492
    @daudysanga8492 4 години тому

    Oyaaa

  • @Magdalene-er2ur
    @Magdalene-er2ur 13 годин тому +4

    Eti nikope ninunue simu?

    • @scorasticaclement6308
      @scorasticaclement6308 13 годин тому +2

      Eti Simuuuu Na Wanawake Wanapenda Sana Sifaaa Simu Ya Nn Sasa?

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 7 годин тому

      Tamaaa

    • @zuhurasadik6611
      @zuhurasadik6611 4 години тому

      Hata kiwembe pia aweza nunua wanawake wengi Sana Wana kopa huu ndo shida kutokea tatizo Allah atamuhukumia km kukopa malipo yake kuua

    • @Magdalene-er2ur
      @Magdalene-er2ur 3 години тому

      @@scorasticaclement6308 dawa ni kujituma nakuepuka tamaa

  • @FransiskaJohn-fq1nf
    @FransiskaJohn-fq1nf 14 годин тому +4

    Kwani hii oya ni nn??

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 12 годин тому +1

      huelewi nini? si kampun ya mikopo😏

  • @EwaldAntony-n3e
    @EwaldAntony-n3e 16 годин тому +3

    Oya ifungiwe

  • @AmadeMbezy
    @AmadeMbezy 13 годин тому +3

    Uyu demu ana mpango utafanyaje kitu mumeo ajui

  • @salmaulomi4451
    @salmaulomi4451 13 годин тому +3

    Wanawake tuacheni tamaa jamani eee tuwe tunawashirikisha waume zetu jamani,, sasa kama ilibaki laki si ungechukua mkopo wa laki ulipe deni then ubaki unadaiwa laki na riba yake ulivyokuwa huna akili na tamaa zako ukachukua tena laki tatu dah!! Hata uo mkopo wa kwanza sidhani kama ulichukua na mumeo kama unavyosema

  • @MKOLOSAIZENGO-o7f
    @MKOLOSAIZENGO-o7f 12 годин тому +2

    Jaman hebu mpeni moyo mama samia rais wetu mzur kuna mambo yapo nje ya uwezo wake hata police wanaweza kuyafanya jaman mama mbona mnampa mzigo mkubwa sana atawaza mangapi sasa jaman
    Police watafanya kaz yao pia rais nae ana majukumu yake ya kaz

  • @jamilally3916
    @jamilally3916 12 годин тому +2

    yn kupika kwenye milango ya wtu umeona haitoshi mmeona bora muue kbsa nyie kwel kiboko😢😢

  • @lightwilliam4443
    @lightwilliam4443 2 години тому

    Du masikini.nasikia oya wanapiga.naogopa hii kampuni.ifungiwe.

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 15 годин тому +3

    mwandishi uliza deni limelipwa au zamana mmetoa

  • @Hadiahudhud
    @Hadiahudhud Годину тому

    Me ndio maana kitu mpka nimwambie hata kibiriti nikitaka kukopa aiseeh ALLAH ajalie khair

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 16 годин тому +1

    😢😢😢 Inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia pamoja na jamaa zake mola ampe khauli thabiti ndugu yetu 😢😢😢

  • @twahahamidu6246
    @twahahamidu6246 15 годин тому +2

    Wanawake ni hatar chukua tahadhar wadauuu

  • @emmanueltillya2017
    @emmanueltillya2017 17 годин тому +2

    Duu,inaumiza sana.poleni wafiwa.

  • @brittanypulei789
    @brittanypulei789 Годину тому

    Pole unaumia kwel

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 14 годин тому +3

    ILA WANAWAKE JAMANI UNAKOPA HELA UNANUNUA SIMU BASI TU

  • @StevenGiven
    @StevenGiven 4 години тому

    Daaah pole dada jmn😢

  • @KhadijaMbonde-r9b
    @KhadijaMbonde-r9b 13 годин тому +2

    Dah kwann hii mikopo isifungiwe

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 2 години тому

      Itafungiwaje wakat nchi yako ndio kinara kwa kukopa

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 4 години тому +1

    Mikopo Mikopo Mikopo hii kitu hiii itatusambaratisha na familiya zetu na itatuacha wakiwa kwa kweli Maskini jamani tusiwafuwate wenzetu wenye pesa mikopo tuwaachie wenyewe teache tamaa mana tamaa mbele martial nyuma.

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 31 хвилина тому

    Mwanamke anaejiheshim
    Hawez fanya chchte ktk maisha yake ya ndoa bila yakumshirikisha mume wake

  • @Shukurukoll
    @Shukurukoll 5 годин тому +1

    Sasa hao OYA kwa Laki Moja wanaua mtu ! Wameshindwa kuwa na subira kwa kufuata Sheria za madai ? hatua kali itafaa ichukuliwe dhidi ya wauaji hao.inasikitisha sana.

  • @jonathanmakupa7144
    @jonathanmakupa7144 16 годин тому +2

    Wanawake bhana

  • @saidhamis1124
    @saidhamis1124 14 годин тому +2

    WALAATAKRAAB RIIBAA

  • @jescajohn6619
    @jescajohn6619 Годину тому

    Dawa ya ni kulipa

  • @mwajumasaid7306
    @mwajumasaid7306 3 години тому

    Dah mungu tunusuru na hii mikopo ila wanawake tumezid kwakwel

  • @AhmedOmary-t7q
    @AhmedOmary-t7q 5 годин тому +1

    Bora Niko nivushe plus tu kwakweli

  • @tigiyamhulilo14
    @tigiyamhulilo14 2 години тому +1

    Amechukua mkopo akanunue simu sio😅

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 4 години тому

    Samia afanye nini? 6:54 . Sheria itschukua mkondo wake. yaani deni dogo hivyo mnapiga hadi mnaua! Serikali iziangalie hizi kampuni za kukopesha!

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 13 хвилин тому

    Hawa jamaa juz nawakuta maeneo ya home nadhan hawakumucha mtu salama

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 15 годин тому +1

    Umasikini jamaani ugonjwa! Asinge kuwa masikiini asinge kopa mpaka mumewe kuwawa. Hujamponza wakati wake ulishafika na hao ni wauwaji tu. Laki 3 sio ya kumuuwa mtu. 😭😭 mtihani huu.

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 5 годин тому +1

    Hawa oya wafungiwe tu

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 Годину тому

    Mi mbona siwezi mambo ya kukopa jamani, pia kila kitu namshirikisha mume wangu.

  • @ZainaRashid-t3m
    @ZainaRashid-t3m 4 години тому

    Inna lillah wainna ilayhi rajiuun

  • @MussaPasco
    @MussaPasco 4 години тому

    mussa paschaly, huku nikudai nikudai den au nakingine jaman

  • @millermsozi5598
    @millermsozi5598 2 години тому

    Mkiona idadi ya watu wanaoshuka kwenye iyo ist hamuezi amini.siyo chini ya vidume 7

  • @AshuraBingwa
    @AshuraBingwa 15 годин тому +2

    😢😢😢😢

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 17 годин тому +2

    Tena hii tabia kina mama wengi wanayo. Wanakopa na waume zao hawajui na mtu kazi ya kufanya ili arejeshe vizuri Hana. Kuna wake za watu wamekua wadangaji , kuna ndoa zimevunjika, kuna ugomvi kwenye ndoa zao na maelewano hakuna kwa sababu y mikopo. Wanawake acheni tamaa hakuna hela rahisi sio kila mkopo ukope kama huna ulazima wa kufanya hivyo acha na hata ukikopa mshirikishe mumeo au unayeishi nae. Haya leo umefanya kijana wa watu amekufa , umeachiwa watoto na ujane juu. Mikopo sio mibaya ila unafanyia nini hiyo hela ya mkopo? Wanawake tunakosea sana kwenye hili

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 17 годин тому

      Hatari mnoo Hawa ndo wanawake waleo hao , vimikopo vyenyewe hakuna wanachofanyia balaa tupu

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 2 години тому

    Tamaa wanawake muiache mtatuulisha wanaume

  • @rosemaryKalega-c5s
    @rosemaryKalega-c5s 3 години тому

    Pole mdada mikwakweli sijawai kukopoa tena nilisha temea mate sitokopa ataniwe na changamoto gani duh sasa ukope ununue cm kweli utalipa vipi apo wanawake shida sana

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 3 години тому

    Ndy Kawaida Yao Hao,Usiporejesha Kwa Wakati Unapigwa.😱😱

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 16 годин тому +7

    Shida watu wa Tanga mnapenda sana mkopo mikopo Tena wakati mwingine ya ovyo ovyo wengine kazi hawana Wala Biashara hawana 😢ila Poleni wafiwa wote

    • @josephmihayo6236
      @josephmihayo6236 12 годин тому +1

      Aiseee nimeona Kuna uhusiano mkubwa kati ya mikopo na wanawake wa Tanga .

  • @VeronicaMloka-h4e
    @VeronicaMloka-h4e 6 годин тому

    Sheria zipo na mtu akikopa anapitia ofis za mtaa kwann hawajalud ofisi za mitaa kulalamikia den lao alafu oya wanapenda kulazimisha mtu,mtu akimaliza wanamfosi achukue tena

  • @Randm-
    @Randm- 10 годин тому

    Hiyu mama..Samia mumpumzishe.. 😢. Ungenufaika na hiyo hela ungemuita muutumie nyote'.
    Wanawake tumezidi kuishi juu ya uwezo wetu

    • @IfadatAlly
      @IfadatAlly 8 годин тому

      Usimlaumu mwenzio naww unafanya zaid ya haya au kwasbb hatuyajui

  • @MuniraGambere
    @MuniraGambere 2 години тому

    Hii ni roho manya

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 13 годин тому

    KENYA WAJARIBU KUFANYA HUO UPUZI KISA WANIDAI LOAN HAWAEZI....YANI HAWA WATU WAPUZI SANAA😢😢😢 POLE SANA MDOGO WANGU INNALILAH RAJIUN 😢

  • @VailetPiter
    @VailetPiter 16 годин тому +2

    Mmelazimishwa kukopa kazi iendelee

  • @EdwardMangwe
    @EdwardMangwe 16 годин тому

    Poleni sana wafiwa

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 3 години тому +1

    MUNGU atusaidie

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 12 годин тому +1

    Mm nitawatafuta nanikope kwao nasiwalipi afu aje wanipige afu nione ubavu wao ukovp

    • @IssaAlly-x3d
      @IssaAlly-x3d 11 годин тому

      Ao hata iwe saa Tisa usiku wanatimba hom yani atakama umepanga ikitaka kuama kimyakimya wanatimba waovyo sana awa watu

  • @salmaulomi4451
    @salmaulomi4451 13 годин тому

    Inaumiza sana hata mimi aunt yangu alimuua mjomba wangu kwa mikopo Allah amrehemu, uncle alishangaa watu wamekuja kwake na kuanza kupiga mdana kiwanja chake hapo ndo akajua kuwa mkewe alikopa uncle akapata stroke ile hali ikadumu kwa mwezi mmoja mpaka umauti ulivyomkuta