#BREAKING

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 250

  • @DAVIDHEMBULA
    @DAVIDHEMBULA 25 днів тому +3

    Hongera mtumishi kwa kufanya kazi ya BWANA Yesu. Ni tatizo la wakristo wengi kutokujua biblia.

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 24 дні тому +2

    Mwalimu daniel aki unafanya kazi kubwa mno mungu akuifadhi na akupe maisha marefu Amina

  • @emanweljohn1240
    @emanweljohn1240 25 днів тому +3

    Ukweli baba hongera kwa kupigania injili makazi yamungu hongera na pole unanibariki sana baba

  • @plujoncylugano4611
    @plujoncylugano4611 22 дні тому

    Yesu Kristo atukuzwe daima ,hongereni watumishi kwa juhudi kubwa kumrejesha kondoo mmoja ktkt kondoo 100.MUNGU awabariki sana kwa kz njm ya utume mliyoifanya

  • @JosephShekihiyo-w4k
    @JosephShekihiyo-w4k 23 дні тому +1

    Aongee tumuone.Bwana Yesu nimwokozi222

  • @JustusNteghay
    @JustusNteghay 23 дні тому +1

    Hakuna mkristo anayeshabikia ukristo.Wanamshabikia Yesu Kristo,Bwana na mwokozi.Yesu ni njia,ni dini.

  • @SeuriLukumay-f3e
    @SeuriLukumay-f3e 24 дні тому +1

    Nakukubali mtumishi unganeni na ndasha mwasibu hawa waisilamu

  • @laurencialaurent1640
    @laurencialaurent1640 24 дні тому +1

    Duuu!! Akhsante kwa kutubu na kukiri kuwa Yesu ndiye Mungu,Mungu ni roho itatakiwa kutubu kwake kuendane na matendo yake,kama alivyokana hadhrani atubu pia hadhrani na akili kuwa Yesu ndiye Mungu,Akhsante sana mwl Daniel Mungu akubariki sana🙏🙏

    • @ThabitBunga
      @ThabitBunga 24 дні тому

      😂 tupe andiko lisemalo yesu ni Mungu
      Matusi pia yanaruhusiwa

    • @KhalfaniMajani-o5k
      @KhalfaniMajani-o5k 10 днів тому

      akili za kushikiwa changanya na za kwako mbona hajajitangaza mnadanganyw 😅😅😅😅

  • @YohanaMadai-t3j
    @YohanaMadai-t3j 23 дні тому

    Ni jambo jema sana Dominic kutubu, hongera sana Mwl Daniel kwa kutupatia habari hii njema.

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 24 дні тому +2

    Walah namsubiri Dr sule aka shekhe tajiri ,, anayetembea na walinzi.

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 24 дні тому

      Huyo shekhe wenu majini mapepo wachafu yanampelekesha ndiomaana ni muongo

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 24 дні тому

      😂😂😂😂😂 duuu sule ni tapeli

  • @GodfreyErene
    @GodfreyErene 24 дні тому +1

    We nasoro Hamad, endelea kumwabudu shetani ila koroani unayoiamini inamtaja Yesu atarudi na atawahukumu wanadamu wote akiwemo Muhammad. YESU ATABAKI KUWA MUNGU.

  • @NewtonMwaluvanda-lf7jh
    @NewtonMwaluvanda-lf7jh 24 дні тому +1

    Nimejifunza kwamba,njia ya muongo ni fupi. Pia,nimejifunza Kwa maamuzi ya mwana mpotevu kurudi Kwa Baba na kutubu. Mungu akubariki sana Christopher Dominic. Pia mwalimu Mwankemwa ubarikiwe sana. Hakika, unafundisha iliyo kweli!

  • @ThabitBunga
    @ThabitBunga 24 дні тому +2

    😅 Mtu kama wakina Doctor Sule ni mshirikina 😢 na sio wa kumuamini na hao wachungaji wake wanao kula kondoo
    "Enyi mlioamini Akikujieni mpotovu na khabari yoyote ichunguzeni msije mkawasibu watu kwa kutojua, na mkawa tena wenye kujuta kwa mliyo yatenda" surah Al - Hujuraat aya ya 6🔥

  • @BanyangaMohammed
    @BanyangaMohammed 24 дні тому +1

    Mungu amusamehe kabisa

  • @BahatiPaul-c9h
    @BahatiPaul-c9h 24 дні тому +1

    barikiwa sana Mtumishi Danieli by Paul From Kinondoni

  • @OdiloMwemezi
    @OdiloMwemezi 24 дні тому

    Asante BWANA YESU.

  • @JacksonMahende-ho2wb
    @JacksonMahende-ho2wb 24 дні тому +1

    Mungu akubariki sana

  • @priencedamdoek508
    @priencedamdoek508 24 дні тому +3

    Aibu kwa Sule na waislam wote, nilikuwa sijaelewa kwa nini unawaita wajinga/ wapumbavu sasa nimekuelewa mtumshi. Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa juhudi ulizo zifanya kurudisha Heshima ya kanisa na kumuaibisha shetani.

    • @ThabitBunga
      @ThabitBunga 24 дні тому

      😂 kwani amefanya kipi cha ajabu 😂😂😂 huyo acha arudi kule alikozoea 😂. Pili acha ujinga huna ufahamu wowote zaidi ya matusi uislamu huko pale pale na sio lazima uwe muislamu.
      3🙏: kajifunze jinsi ya kuitetea imani yako 😅

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 23 дні тому

      ​@@ThabitBungaWamewatishia/Wanawatishia Maisha na huenda Wanawahomga Pesa Ili Warudi ktk Ukafiri, Qasitoe Siri ya Ukafiri na Makafiri ,🙌

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 25 днів тому +5

    Namsubiri Sulle Dokta wa majini 😂😂😂😂

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 24 дні тому

      Sule ni mganga wa kienyeji

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 24 дні тому

      @@daudimichael7338 kama Dr sule ni WA Majin na wewe ni WA mashetani.sasa shetani na jin nani alieyelaaniwa?sivww wakumsalaba.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 22 дні тому

      @@KabatoniBoraa shetani na majini wote wenye ushirika na majini wamelaaniwa

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 22 дні тому +1

    Ongea haraka mambo ya msingi ili tuepuke kumaliza bundle

  • @rweyemamueustace4254
    @rweyemamueustace4254 23 дні тому

    Pongezi kwa vipindi
    Mi naomba Daniel 11 ufafanuzi wake.
    Mungu wa mbinguni atubarikini.
    Amina

  • @AndréAkonkwa7
    @AndréAkonkwa7 20 днів тому

    Sifa kwa yesu

  • @NassorHamad-h3m
    @NassorHamad-h3m 24 дні тому +2

    Hakuna anae njia Mungu wakweli halafu akarudia kumwabudu mwanadamu mwenzake

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 23 дні тому +1

      Kwani Mungu akiamua awe mwanadamu hawezi? Kwa hiyo ni bora kuabudu majini ?Aaaa wapiiiii?

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 22 дні тому

      kwaiyo ni vema kuabudu jiwe jeusi?watu mnaka nchi zenu kwenda kuzunguuka jiwe jeusi!

  • @rweyemamueustace4254
    @rweyemamueustace4254 23 дні тому +1

    Damu ya Yesu inanena mema kwa Dominic

  • @masanjaelias5829
    @masanjaelias5829 23 дні тому

    Hongera sana

  • @AnafBanda
    @AnafBanda 25 днів тому +1

    Good teacher for techeng me

  • @MuslimMunde
    @MuslimMunde 23 дні тому

    Mlisema so mkristo" mara dili tu hilo mara ooooh hatumtambui hata kanisan gan katokea leo tena katubu alikuwa mkristo!
    Wagaratia bhana!

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  23 дні тому

      @@MuslimMunde tulisema siyo mchungaji, mbona unataka kutulisha maneno? Kwani haujatusikia? Sikiliza tena tulivyosema.

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 24 дні тому +1

    Hakika huyu dominick alimukana yesu na dini yake,lakini takamatsu amerudi na kutubu yale aliyo yaongea maovu kwa kristo yesu na wakristo hakika mtu huyu mwenyezi mungu amemsamehe,mungu akuongoze uwe na mwisho mwema katika kristo

  • @salehkali5056
    @salehkali5056 21 день тому

    We mpuuzi mwemzio kaona haki na kaifuta we bado unaleta upuuzi. Ushindwe na ulegee kwa jila la Allah

  • @omarbillyomar3042
    @omarbillyomar3042 24 дні тому

    Shalom be blessed Nairobi tuko pamoja

  • @RajabuMkwama-n3z
    @RajabuMkwama-n3z 22 дні тому

    Kweli kusoma si kuelimika yani we bado

  • @alexmukama3801
    @alexmukama3801 24 дні тому

    Is so good n kind..thank you Mr dominic..God forgive you already..

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 24 дні тому +1

    Dr Sulle ni mwongo kweli kweli😂😂😂😂😂😂😂

  • @JustusNteghay
    @JustusNteghay 23 дні тому

    Tuache kushambuliana.Mungu anashughulika na mtu,sio kundi.Apatane na Mungu kwanza.Hao binadamu baadaye.Yesu mwenyewe anashughulika naye.

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 24 дні тому

    hiyo si habari njema kaka Dani,kwa kanisa la Mungu huyu ni kichaa kabisa

  • @BanyangaMohammed
    @BanyangaMohammed 24 дні тому

    Mungu apewesifa kwa kumurudisha mtumishi wake

    • @ThabitBunga
      @ThabitBunga 24 дні тому

      😂 mtu anayekwenda dini nyingine na kutoa baadhi ya taarifa za kanisa 😅 huyo ndio unafurahia kurudi aliko kuwa 😅.
      Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
      😂 Hikiwa kaufanyia hivi mti mbichi itakuwaje kwa mti mkavu 😅
      Acha arudi kwa alizoea kutoa shuhuda za uwongo na utapeli bila shaka tabia kazitoa kule alikotoka 😅

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 24 дні тому +2

    Ndugu zangu wakristo tupende kusoma biblia hukiifam biblia akuna mjinga yoyote atayekusumbua

    • @ThabitBunga
      @ThabitBunga 24 дні тому

      Sasa niambie yesu ni Mungu au mwana wa Mungu 😂. 😅

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 25 днів тому +3

    Hongera sana Mwalimu Daniel Mwankemwa, nasema siku zote wewe ni jasiri kama Simba. Asante kwa utumishi huu, Mungu akulinde siku zote.
    Sasa Hongera pia kwa Christopher Dominic kwa kukiri na kuomba msamaha kwa kosa lake, Mungu ni wa huruma sana, angelihesabu makosa yetu nani angesimama?

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 22 дні тому

    Mimi nilijua kabisa kuwa lile lilikuwa ni deal la Dr Sulley 😅😅

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 24 дні тому +3

    Dommic amelikimbia Giza la majini mtu mwenye hakili timamu uwezi kujiunga na Dini ya majini mapepo wachafu Asante Sana BWANA YESU KRISTO MWOKOZI WETU hakuna jambo gumu usiloliweza ulituaidi utatuacha upo pamoja nasi wewe ni Mungu WA kweli uliye mbinguni halleluya

    • @AziziRajabu-mv8jz
      @AziziRajabu-mv8jz 24 дні тому

      Kwani kwenye biblia Yale mapepo machafu majini yalitoka wapi?

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 24 дні тому

      @AziziRajabu-mv8jz ushasema kwenye biblia majini mapepo wachafu mbona nyie mnawatetea majini mapepo wachafu mashetani na mnakubali ni wazuri? Na ni ndugu zenu waislamu 72:14 Toka huko njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone

    • @ThabitBunga
      @ThabitBunga 24 дні тому +1

      😮 sijawahi kuona mkristo mwenye kufuata hii Biblia inavyomuelekz jinsi ya kuitetea imani yake kwa imeandikwa "tetea imani yako kwa upole na unyenyekevu"
      😂 Ila badala yake hamna hoja miaka yote ya majini na matusi.
      Ukitaka kukijua kitu lazima uijue hakika na sio kuropoka kama watu wa mataifa😂.

    • @ThabitBunga
      @ThabitBunga 24 дні тому

      😮 sijawahi kuona mkristo mwenye kufuata hii Biblia inavyomuelekz jinsi ya kuitetea imani yake kwa imeandikwa "tetea imani yako kwa upole na unyenyekevu"
      😂 Ila badala yake hamna hoja miaka yote ya majini na matusi.
      Ukitaka kukijua kitu lazima uijue hakika na sio kuropoka kama watu wa mataifa😂.

    • @ThabitBunga
      @ThabitBunga 24 дні тому

      😮 sijawahi kuona mkristo mwenye kufuata hii Biblia inavyomuelekz jinsi ya kuitetea imani yake kwa imeandikwa "tetea imani yako kwa upole na unyenyekevu"
      😂 Ila badala yake hamna hoja miaka yote ya majini na matusi.
      Ukitaka kukijua kitu lazima uijue hakika na sio kuropoka kama watu wa mataifa😂.

  • @alexmukama3801
    @alexmukama3801 24 дні тому

    That's the good things we safe the great god hi always forgives our sin

  • @stanleymwaselela1849
    @stanleymwaselela1849 24 дні тому +1

    Njaa ni mbaya sana huyu jamaa ahadi waliyo ahidiana hawakumtekelezea nn kaona mmmmh!!!!!!

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 25 днів тому

    Hallelujah 🙏🙏🙏

  • @gobaonlinetv9690
    @gobaonlinetv9690 24 дні тому +1

    Hapa wakristo mnapigwa na kitu kizito. Msamaha unasomwa kwenye meseji alafu mnaamini?. Anatakiwa aombe msamaha kwenye vyombo vya habari kama jinsi alivyosema kwenye vyombo vya habari kuwa amesilimu

  • @user-ts1tp6se3z
    @user-ts1tp6se3z 24 дні тому +1

    Kusaikolojia inaonekana unasema uwongo kabisa mtumishi

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 24 дні тому +1

    Wew Daniel acha uongo bhana

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 24 дні тому +3

    Poteza mda wako hapo lkni dominic ashahepa huko

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 23 дні тому +1

      Anawapa Matumaini ya Kuwafariji Kutetea Ukafiri/Ushirikina wao 🙌

    • @RajabuMkwama-n3z
      @RajabuMkwama-n3z 22 дні тому

      Yani wakristo wanatatapa juu ya kusilimu Kwa Dominic wakati huko marekani makasisi wakubwa wanasilimu Kila kukicha na watu maarufu duniani sembuse Dominic,

  • @adamkamaze9888
    @adamkamaze9888 24 дні тому +2

    Jamaa Muongo kweli yani mtu akione haqqi alafu arudi tena kwenye UKAFIRI?, NA hata akirudi ndio nini sasa?
    Kwani mtu akirudi kwenye UKAFIRI anaupunguzia nini uislam? au anakufa amejiangamiza mwenyewe nafsi yake?

  • @YunisIsmailSheikh
    @YunisIsmailSheikh 21 день тому

    Kivipi mtu unaomba msamaha binadamu mwenzako kwa kuwa ni mchungaji..hyo unafaa kutubu kwa Mungu tu hujakosea binadamu hapo...eti kuomba msamaha kwasababu ya dini... msamaha wa mambo ya dini iwe direct kwa Mungu sio binadamu

  • @khuzeimaabdul4275
    @khuzeimaabdul4275 22 дні тому

    Kwani mnaumizwa na nini mtu akifuata la moyoni mwake?na bado watakuja wengi mtaumia kwa sana tu😂😂😂😂😂😂

  • @user-ts1tp6se3z
    @user-ts1tp6se3z 24 дні тому +1

    Mbona unaweweseka sana Daniel kwani akijiunga na Uislam unapungukiwa nini, Mnaanza kutupa wasiwasi kwa kweli kuna kitu mnatuficha ndani ya madhabahu

    • @ellyrenalda5883
      @ellyrenalda5883 24 дні тому +1

      Kujiunga na Uislam ni haki yake na wala Mwl Daniel hana shida na hilo, na hata sisi wafuasi wa Kristo hatuna shida nayo. Tatizo la Dominick ni sababu alizotoa za kuuacha Ukristo na kujiunga na Uislamu.

    • @JohnOuya-w7j
      @JohnOuya-w7j 24 дні тому

      Nikweli mchungaji Daniel hanashida na kusilimu kwake hata sisi wafuasi wa yesu hatuna shida na kusilimu kwa Dominic,tatizo la Dominic ni kuchafua kristo ambae ndie kiongozi wetu na kuchafua dini yetu kusema uwongo,lakini tazama amerudi kwa yesu na ametubu hakika mwenyezi mungu amemsamehe na amerudi kwa dini ya haki❤

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana 24 дні тому

      Asilim abak arud hakuna mtu ana shida nae ila uongo ni mbaya,na akifa hazilwi na mtu,atahesabiwa dhambi pekeyake hukum niyake

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 25 днів тому +1

    Kama ametambua kosa lake kwa alioyasema msikitini kua ni uwongo bac aombe msamaha hadharani mbele ya vyombo vya habali watu waone na kumuamini kua ametubu kikweli mbele za Mungu na kwa watu

  • @georgeobiero2444
    @georgeobiero2444 24 дні тому

    Tafadhalini wapendwa yeyote ambaye amekosea na kutubia kosa na arudiwe kwa upole na kwa mashauri mema.Maana sote ni watenda dhambi na tumepungukiwa na utukufu wa Mungu.

  • @emanweljohn1240
    @emanweljohn1240 24 дні тому

    Mimi nikupongeze kwa juhudi zako baba mimi nakuombea achana nawanao kurudisha nyuma by emanueli

  • @alyumaraos
    @alyumaraos 22 дні тому

    Ww Daniel umepotea na unazidi kuwapoteza wasio jielewa

  • @JafariVimbi-g8c
    @JafariVimbi-g8c 25 днів тому +1

    Ukristo umetawaliwa na uongo

  • @kassimamri6746
    @kassimamri6746 23 дні тому

    Acha uongo ww kwa nn asiseme mwenyewe

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 23 дні тому

    Mbona hamumttafuti Zumaridi, Kiboko ya Wachawi, Geo Davie nk wa Mfano wake waliopotea

  • @IDDOMAR-p8c
    @IDDOMAR-p8c 15 днів тому

    Wakrito mna shida

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 25 днів тому +2

    Kilichomfanya aje adanganye msikitini ninini? Mchunguzeni huenda akawa ni taahira wa akili❤

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 24 дні тому +2

      Si aliletwa na Sure ili ashuhudie muweze kumuona sure anapiga kazi muache kumuandama na majini yake😂😂

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana 24 дні тому +1

      Sule ndio anawapoteza

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 24 дні тому

      Sule ndo alipanga dili lakitapeli

    • @ThabitBunga
      @ThabitBunga 24 дні тому

      ​@@robertphilip385😂 bila shaka huyo Dominiki ndiye tapeli mkuu😅

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 22 дні тому

    Waislm punguxeni kiki hii sio sawa watu wa mihemko sana

  • @SaleheKijazy
    @SaleheKijazy 22 дні тому

    Mara ya kwanza mlisema hamu mjui sasaiv mnasema karudi tena mbn wakristo hamji elewi mimi nilidhani sio mkristo ndio mana mka mshambulia

  • @FadhilZaharan
    @FadhilZaharan 8 днів тому

    Kwani amelazimishwa Acha uongo weka ushahidi tuone

  • @issaally4263
    @issaally4263 23 дні тому

    Atakuwa ametishiwa maisha ,NO MATTER WHAT ISLAM IS THE TRUE RELIGION OVER CROOKED ONES.

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 22 дні тому

      Kwa imani ya kikristo hakuna kutishiwa maisha kwenye uislm ukibadili dini unatakiwa kuliwa hivyo umepuyanga

    • @GSELgodoni
      @GSELgodoni 22 дні тому

      Usipende kukisia kuwa atakuwa.....,.
      Kama yeye mwenyewe hajasema au hujapata ufunuo kuwa ametishiwa-usiseme hivo brother.
      Kila siku Kuna wakristo wanahama kutoka ukristo kwenda uislamu na wengine hutoka uislamu kwenda ukristo.
      Ndiyo maisha,na itaendelea kuwa hivyo.

  • @GodfreyErene
    @GodfreyErene 24 дні тому

    😂😂😂 hahahahaha ivi shetani anapigwa Kwa mawe? Daaah love you Jesus my savior

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 23 дні тому

      😂naivo ndio unatufundisha tusimpige kwa mawe tumpige teke km nyie

  • @HawaBakari-u6q
    @HawaBakari-u6q 23 дні тому

    Taifa teule la mungu israel ,mji mkuu wake ndo mji mkuu wa mashoga wote dunian kwahy kitendo cha yesu kusulubiwa n msalaban n kuonesha amelaaniwa yan n laana ndo mana kaacha had laana ya ushoga inawatafuna😂😂😂

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 25 днів тому +1

    Kisha makafiri kusema wongo ni asiliyawo hawaogopagi.

  • @NassorHamad-h3m
    @NassorHamad-h3m 24 дні тому +1

    Mbona hamuelewi kwamba Yesu ni mwanadamu. Nilisema ni mtu asietambuliwa na kanisa . Sasa mbona amewaumiza hivyo

    • @charlesmwasi7646
      @charlesmwasi7646 24 дні тому

      Bibilia imesema, yesu ni Mungu pamoja nasi. Sisi hatuendeshwi na kitabu kingine isipokuwa bible

  • @emanweljohn1240
    @emanweljohn1240 25 днів тому

    Baba amelikosea kanisa sana aombe radhi hadharani tumuone

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 23 дні тому

    Utukufu kwa MUNGU shetani ameaibika na watu wake

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 25 днів тому +1

    Mbona mnaangaika hamumuachi.ajendeye.kama amepotaya si basi?mtazikwa shimo moja?ataenda kivyake na nyinyi kivyenu.kila mtu nashkmolake. Mumuache sasa kilamtu na mzigo wakeee

    • @DrN.DJ_Master
      @DrN.DJ_Master 25 днів тому

      Tatizo ukikaa kimya ndugu zetu waislam watajua ni kweli ,.. ni heri ukweli uwekwe wazi hili kila mtu apate nafasi ya kuchagua mahali sahihi

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 23 дні тому +2

    Mungu tunakushukuru sana kwa kumrudisha kondoo zizini

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 24 дні тому

    Nyiinyi si mlisema huyo Dominic siyo mkristo leo mnasemaje karudi kwenye ukristo kafri ni kafiri tu hana ukweli hata kidogo

  • @JailanRamadhan-m6f
    @JailanRamadhan-m6f 14 днів тому

    Muongo wallah😂😂 Kwann asiongee mwenyewe😅😅 Alf Kuna wajinga wanaamin Dominic amerud huko

  • @Furahinikatkabwana
    @Furahinikatkabwana 24 дні тому

    Jaman uislam unaongozwa na uongo mkubwa Mungu asaidie watu wake

    • @ThabitBunga
      @ThabitBunga 24 дні тому

      Toa ushahidi acha kuropoka mmezoea kuropoka tu hoja za msingi 😂

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana 24 дні тому

      @ThabitBunga unaeleweka uongo wenu kusema uongo ni sunna acha paniki hamjui kusoma hata hicho kiarabu

  • @ZephaniaNdaki-vq1ti
    @ZephaniaNdaki-vq1ti 24 дні тому

    Je, mwalimu Mwankemwa, mtafanya mdahalo na Dr Sule kwa jambo hili?

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 25 днів тому +1

    Lakini huyo nahisi atakuwa ni muhuni tuu.

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 23 дні тому

      Huenda wamemtishi/Wanamtishia Maisha yake/Uhai wake, Si Unasikia yupo Hospital inasemekana amelishwa Sumu
      Yaani Kosa lake ni Kutowa/Kuvujisha Siri ya Ukafiri na Makafiri 🙌🤫🙆

  • @MosesKubo
    @MosesKubo 24 дні тому +1

    katoka kwny dini ya majini alikua akaliabudu jiwe jeusi

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 23 дні тому

      Sasa anaenda kuliabudu sanamu la Yesu na Maria

  • @emanweljohn1240
    @emanweljohn1240 25 днів тому

    Aje KTK vyombo l
    Vya habari aseme amekiri kua amelikosea kanisa kwani ukweli amatuzalilisha sanaa ajitokeze tuu tumuone mwenyewe

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 24 дні тому

    Haaaa haaaa Domnic kamumbua Doctor sule kiongozi wa majini pumbavu

  • @emanweljohn1240
    @emanweljohn1240 25 днів тому

    Hata kama ameamua kubaki muisilamu LKN siri kua hakua mchungaji japo mimi kuamini kua kweli ame rudi mm inawezekana ana giza tuu

  • @charlesmwasi7646
    @charlesmwasi7646 24 дні тому

    Ila mchekini afya ya akili

  • @RamadhaniAdamu-i6m
    @RamadhaniAdamu-i6m 22 дні тому

    Acha ubabaishaj si aongee yeye

  • @ramadhaniabrahamanisaidi4514
    @ramadhaniabrahamanisaidi4514 21 день тому

    Tunaomba shekhe Christopher DOMINiC AOMBE MSaMAHA MWENyEwe TUmUOnE. HATUHITaJi IGIZo.

  • @morrisabdon7881
    @morrisabdon7881 24 дні тому

    Nilisema, hakuna mchungaji/ Padre Wa "kweli" anaweza kuhamia --- kama alivyofanya C. Dominic. Nilisema huyo Ni muumin wa kawaida tu, hana elimu ya dini.

    • @ThabitBunga
      @ThabitBunga 24 дні тому +1

      Unataka kutuambia kila aliyekuwa mkristo na kusilimu basi hana akili, bila shaka ww ndiye huna akili laiti ingelikua.
      Toa hoja za msingi 😅

  • @GwandajaGidamejod-w6f
    @GwandajaGidamejod-w6f 23 дні тому

    Huyu abatizwe sio kutubishwa wachungaji mnapata wap andiko la mwislam kutubishwa

  • @khalifamahondo191
    @khalifamahondo191 20 днів тому

    acha uongo, mlete tumuone akiomba radhi

  • @MwasabuniSuleiman
    @MwasabuniSuleiman 25 днів тому

    Wewe pia umemkana yesu aliwaambia msiitwe wa limu na wewe unajiita Mwalimu. Hata wanafunzi wa yesu hakua walimu

    • @bethmkwama6704
      @bethmkwama6704 24 дні тому

      WW huwa unasoma biblia kweli au huwa unasomewa tu na mtu maana Bible imeeleza kila kitu

    • @kolisonkolison3681
      @kolisonkolison3681 24 дні тому +2

      JIPE NAFASI YA KUJIELIMISHA KUHUSU YESU NA UKRISTO KWA UJUMLA.....OKOKA NDUGU.
      Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu;
      Waefeso 4:11

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 24 дні тому

    njaa ilimvuruga dominik na sure alimdanganya uislam ni ushwetani

    • @ThabitBunga
      @ThabitBunga 24 дні тому

      😂😂😂 nyie ndio wapagani mnae muabudu Jesus Christ yule mgiriki, hata Yesu mwenyewe amumjui .
      Andiko la isaya ukiritafsir utaona yehshua ni myahudi mwenye rangi nyeusi na sio huyo mzungu ambaye picha yake mna weka kwenye kuta za majumba yenu na makanisani kwenu
      Mtu ambaye hajawahi hata kukanyaga hata siku moja kanisani cha ajabu wafuasi wake wanasali kanisa ni huku yeye akisali kwenye sinagogi na dini yake ni myahudi na alikuwa akisali siku ya jumamosi ila wafuasi wake wanadanganywa na wazungu kwa kusali siku ya jumapili 😂🤔🙄🤭😅

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 25 днів тому

    Toa ushahidi apo amekuja kukuombeni msamaa

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 25 днів тому

    Aache uongo uyo anawazuliya watu uongo na bado wangali hayi. Atoe ushahidi kama awo wote ametaja wameomba msahah uongo mtupu.uyoo si kweli..

    • @JohnOuya-w7j
      @JohnOuya-w7j 24 дні тому

      Wewe ndio muongo dini ya shetani ya majini toka huko kuja kwa yesu utasamehewa dhambi kisha utaokoka utatembea kwa njia ya haki

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 24 дні тому

      Hii ìnanikumbusha kisa cha mashehe waliokwenda Arusha kumpigia debe nabii GeoDavie. Waislamu waliumuka kwa hasira na kuna shehe alisema hao mashehe eti walikuwa ni wakristo wameigiza uislamu ili kuudhalilisha! Sasa wale mashehe walirudi Dar wakatubu mbele ya shehe mkuu wa mkoa wa DSM wakati ule Alhad Mussa Salum na akathibitisha kwamba wale ni mashehe waislamu. Nilitegemea yule shehe aliyesema wale mashehe ni wakristo waliofanya maigizo angewaomba radhi wakristo lakini akapiga kimya jumla hadi leo. Huo sio uungwana. Leo Dominiki aliyesilimu ametubu na amekiri kosa lake ambalo halikuwa kusilimu bali kudanganya umma, bado kuna waisilamu hawataki kukubali kwamba uislamu umepata aibu ya mwaka kwa kushabikia uwongo na utapeli. Heshima ya msikiti mkuu wa mkoa wa Dodoma iko wapi sasa kwa kitendo walichofanya viongozi wake bila kuwa na simile? Mwenyezi Mungu huwa pamoja na wenye subra. Laiti mashehe wa Dodoma pamoja na Sule wangefanya subra wakampokea Dominik kimya kimya kisha wakachunguza ukweli wa taarifa zake leo heshima yao mbele ya jamii isingeshuka kwa yaliyotokea! Walidhani uisilamu umepata kumbe umepatikana!

  • @husseinkiruta1712
    @husseinkiruta1712 24 дні тому +1

    Uongo amerud wapi

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 23 дні тому

      Anawafariji Wakristo wenziwe Wakti inasemekana Dominic anaumwa kalishwa Sumu.🙌
      Wanamtishia Maisha/Uhai wake Kwa Kutowa Siri za Uovu Uliopo ktk Ukristo/Makanisan
      Wamtafute na Nabii Tito, Zumaridi nk Kwa Mfano wake 🙌i

    • @LesfonHaiki
      @LesfonHaiki 23 дні тому

      Ukiwa kwenye uislam msingi wake ni uwongo, Huseni unaposema eti ni uwongo na kuelewa sana maana msingi wa uislam ni uwongo,, kwenye uislam hakunaga neno kweli,,

    • @LesfonHaiki
      @LesfonHaiki 23 дні тому

      ​@@alhadajjmohammedsmith9042dogo ukiwa na akili timamu huwezi kusema eti kwenye ukristo kuna siri,, biblia zinauzwa kila kona inakuwaje siri? Shetani atawanyoosha kwa kufunga akili zenu

  • @OmaryAlly-h3h
    @OmaryAlly-h3h 24 дні тому

    Wakrito hamna jipya Kila siku viongozi wenu wanaingia ktk Dini ya haki ya kiislamu, mmempa pesa Ili arudi kwenu tunajua vyema tu

    • @charlesmwasi7646
      @charlesmwasi7646 24 дні тому +1

      Dini ya haki ndo nini. Sisi tupo na njia ya kweli na uzima, Mungu wetu Hana dini Ila ameweka utaratibu wa kufuata. Huwezi kumsikia mkristo anasema dini ya mwenyezi Mungu ni ukristu. Mungu haabudu Ila anaabudiwa yeye.

    • @user13375
      @user13375 24 дні тому

      Pigo kwa majini😂😂😂😂😂😂

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 24 дні тому

    Mbona comments za upande wa pili leo siziini nyingi?😂😂😂😂😂.MIE NACHOJUA SIKU HIZI WATU WANATAFUTA SANA KIKI KWA KUTREND MITANDAONI

    • @user13375
      @user13375 24 дні тому

      Walizani eti mchungaji 😂😂😂kumbe muumini tuuu🎉🎉

  • @JosephMadeleke
    @JosephMadeleke 25 днів тому

    Si anaweza kukuruka hayo unayoyashuhudia

  • @JojoSrena
    @JojoSrena 24 дні тому

    Mna uhakika kweli kama huyo katubu?

  • @abdinyangassa4547
    @abdinyangassa4547 24 дні тому

    Usimsemee aje mwenyewe hadharani kama alivyotangaza kuuhama ukristo hadharani,usitulishe matango pori wewe.acha ujinga na utateseka sana ww kwa kutetea ukafiri.

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 25 днів тому

    Nyoo apo atakuombeni msamaha nyinyi mungu ?

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 24 дні тому

    Israel lilikuwa taifa teule la Mungu, lakini kupotoka kwao kulimfanya Mungu kwa haki asizuie ibada ya mungu Baali kuenea Israel. Kadhalika ukristo feki umetamalaki sana na unazidi kukengeuka hata kufunika kabisa ukristo wa kweli huku hawajielewi kama ilivyokuwa Israel. Ndiposa Mungu kwa haki hazuii waislamu kuenea kila mahali na kuwachukua mateka wakristo bandia. Mkristo wa kweli hawezi kusombwa kuingia kwenye ibada ya kulizunguka jiwe jeusi kule Makka. Lakini kiukweli manabii, wachungaji, walimu na manabii wa uongo wametapakaa kila kona kwenye ukristo feki. Wakristo halisi wenye kufuata mafundisho ya Biblia ni namba ndogo sana. Wakristo wengi wanashabikia tu ukristo pasipo kuujua, hao nao hawatasombwa na waislamu kwa sababu ya ushabiki si kwa sababu ya haki ya Kristo. Wakristo wa namna hii ndio wanaosombwa na mafundisho potofu kutoka kwa watumishi wengi wa uongo waliotabiriwa. Waislamu wanawachukua mateka wakristo wa jina tu na kuwafukutia kwenye moto wa mafundisho ya uislamu yaliyoanzishwa na majini - Yohana 15:1-6

  • @Msemakweli058
    @Msemakweli058 24 дні тому

    Wewe unataka wakirsto wawe wengi hali ya kuwa wanakuwa wakirsto wa uongo kama wewe sasa kama unaitwa mkirsto hushiki amri na sheria unakuwa na tofauti gani na muisilam unaitwa mkirsto unafunga kwa resma,unashelekea Xmasi, wewe ni mkirsto wa uongo

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 24 дні тому +1

      Wewe hachana na Dini ya majini mapepo wachafu mashetani huko Kuna Giza njoo kwenye Nuru ndiomaana majini yanakaa gizani nyie waislamu mnawatetea majini mapepo wachafu mashetani tokeni huko mapema kabla mauti hajakufika njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo hachana na majini

    • @JohnOuya-w7j
      @JohnOuya-w7j 24 дні тому

      Wewe acha kupingana njoo kwa yesu usamehewe dhambi utaokoka na utatembea kwa nji ya haki

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 24 дні тому

      Mbona wewe unamajini kichwani wakati majini ni malaika wa shetani aitwae Alaah

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 24 дні тому

      @robertphilip385 wewe Mimi ni mpinga Allah na majini mapepo wachafu wake kwaiyo Mimi sipo huko kwenye Dini ya majini

    • @MichaelWambula
      @MichaelWambula 24 дні тому +1

      Ubarikiwe mtumishi kwautumishi wakomzur kwakurudisha kondo wa bawana umenibariki sanaa