Nandy ni mtu furani mkalimu mpole na mwelevu pia Ana moyo mzuri sana na wa uruma watu wanao msema vibaya amtakiwi kuwa hivo mwongelee mtu vizuri because kesho na kesho kutwa ujui itakuwa zamu yako so guys please tujifunze kuishi na watu vizuri na sio kumfatilia mtu na maisha yako kama yako yamekushinda kaachini ujiulize umekosea wapi ili ukosoe makosa yako uendelee na maisha na sio kufatilia maisha ya mtu na kuanza kumsema vibaya Mungu awasamehe sana wale wanao msema Nandy au yeyote yule vibaya maana awajui wafanyalo Mungu wasamehe waishi kwa Upendo na furaha ❤❤🙏🙏🙏
Uyo sio mtanzania nandy acha kutudangany ila kwakumjali unamjali bana achana na maneno ya waja atuoshiw sie wanzako ivo potezea tu kikubwa ishin kwaupendo ili nae aongeze mapenz kwa baby naya bas❤
Here I am 😂these people are so funny,the compliments are so much negative about Nandy 😢and some of them treat their house girls like trush 😢..my neighbours 😂this is too much
Anaongea kingereza kwa sababu ya mtoto haihusiani na kumvalisha kupendeza .. Hata mimi binti wangu Tumempeleka course kwa ajili ya watoto awe anaongea kingereza na iwasaidie watoto kua fluent sio mpaka wanapokuwa shule tu.. NANDY mtunze dada wa kazi Apendeze CASE CLOSED... you know
Sio kweli hakuna mtoto asiyependa kupendeza,,Hilo ni roho mbaya na ubinafsi,,issue sio kuja kingereza,,ila kumjali hasa mbele za watu ili kutoka huo utotauti.
Mi cjapenda mnavyomchamba nandy but kwa kweli haikuwa poa siku hiyo alitakiwa dada adamshi kiukweli kweli asirudie tena kosa hilo alikuwa kuna shughuri ya maana kama hiyo ajaribu kumpendezesha kama yy anavyopendeza
@@dhinatsimbano8854Sio wote me nikikaa nao hao mbn sio wachoy kila kabila linamazaifu yake sio wapare to binadam tatizo wanapend kukalili watu wanwasema wenziwao usikute hao ndo kiboko na nusu
Kiukwel mm sijaona baya kwa yule dada jmn mbn kavaa simpo na nywele kabana vzr tu nyie mlitaka avae shela?lait angevaa gaun y marind y kuvuta ndo mngesema hd bas😂
Umeona eeee kwani mnataka nae awe anavaa uchi ili mseme anapendwa kuvaa ni mtu mwenyewe anapenda atoke vip sasa angekuwa mwembamba je wangesema huwa Hali😂😂😂😂
Wengi watasema bint wa kaz anateswa ila ukwer ni kwamba wadada wengi wa kaz za ndani wanapitia mengi kwenye nyumba za watu ni wachache wanaochukuliwa kama mtoto wa familia 1
Mmmh nandy unajiabisha kinger ndo nn bhan huo ni utumwa tuu hebu tumia lugh yako kwan una necta kwamb itatakiwa ujibu af huyo dad wa kaz mbn kamnhapendi shoo off
Nyie hamjui kuwa nowadays kuna wasichana wa kazi wengi tu ni wageni kutoka Malawi, and etc 😂!...Aloo wanajua English hatari Habari za English course mmmh!
Usijikute umesomea uingeleza sawa kumbe umesomea ichobela ok tell me how u can help u're fellow who does not know the English ee acheni kujikuta mnajua kiingeleza San bhn
@@MerlinaKubadesha jameni mbona huwa mnaumwa sana mtu aki comment kiingereza. Si hata mahojiano yalikua kingereza. Tusipimiane pumzi Bana kama huelewi achia wenye wataelewa
Tunao watoto na wadogo zetu wa Kitanzania wenye weredi na uwezo wa kutunza watoto lakini jitu linaenda nje ya nchi kutafuta kick tu. English yenyewe imenyeshewa na mvua😂😂😂
Nandy ww nae kwa nn hunyamazi tu au umepanga Kiki?? Chukuwa mifano ya wasanii wenzio Acha kujiproud kinachoongelewa ni hukumvisha vizuri na si mambo ya English au vinginevyo Acha ujinga ww sema tu labda ww ulikuwa ushatangulia Holini yy kavaa tu alivyopenda ukamshtukia pale lakini ungekuwa nyumbani ungemuwandaa kazi kwisha maneno mengiiii watu wengi wenye wadada wa kazi huwa hawawajali sio ww pekeyako
Wee hujui chochote kumbe, Kati wa wasanii ambao hawanag muda na maneno ya watu ni Nandy, Ila acha awajib tu maana weng wamemuandama na kuuliza kuwa mdad wake syo mtanzania? Ndo kajibia hvo nafkr
Nandy ni mtu furani mkalimu mpole na mwelevu pia Ana moyo mzuri sana na wa uruma watu wanao msema vibaya amtakiwi kuwa hivo mwongelee mtu vizuri because kesho na kesho kutwa ujui itakuwa zamu yako so guys please tujifunze kuishi na watu vizuri na sio kumfatilia mtu na maisha yako kama yako yamekushinda kaachini ujiulize umekosea wapi ili ukosoe makosa yako uendelee na maisha na sio kufatilia maisha ya mtu na kuanza kumsema vibaya Mungu awasamehe sana wale wanao msema Nandy au yeyote yule vibaya maana awajui wafanyalo Mungu wasamehe waishi kwa Upendo na furaha ❤❤🙏🙏🙏
Hta mm spendi kwa lazima mtu umuite mdada huwez muita jina lake
Ni kweli jaman tuishi na Watu vizur
nampend san nandy n mtu mzursan kiukwel n mtu wa kitofaut san na wengine. mung azid kumbariki❤😂🙏🙏
Kiukweli Nandy napenda sana the way she talk,she smile,the way she is. Billnas anaenjoy
Hongera sana hilo liwe fundisho kwa jamii nzima kuwa sio vyema kubaguana
Naona nandy anajaribu kizungu 😂 congrats 👏
Pia mimi natamani nifanyie any celebrity kazi much love Nandy
Kwan kingerez ndiy maish jaman daah aibu yangu mim😂😂😂😂
Kwa upande mwenzingin kinafaida wanajua faida yake wanajivunia sana
Kingerez chenyew akielewi kujivunia which hpo😂😂😂@@nasrachimamy
Nandy ni mshamba tu hana jipya ni aw na mastaa wote wa kibongo wapo hivyo aibu tupu sĥwain hao
@@MilloWamilonga-ft8iracha roho mbaya wewe mhh
😂😂😂😂😂
Mmmh chefuu wakina rest wanampondaga lakini kuhusu dada wa kazi wanampondaga hongera zake.kampendezeshe dada wa kazi.
Nandyyyy your a good mother, super woman
Uyo sio mtanzania nandy acha kutudangany ila kwakumjali unamjali bana achana na maneno ya waja atuoshiw sie wanzako ivo potezea tu kikubwa ishin kwaupendo ili nae aongeze mapenz kwa baby naya bas❤
Me naona yupo sawa kabisa nandy sema nyie mnaomsema ni njaa tu na umaskini. Vinawasumbua tafuteni pesa acheni maneno
Haswaaa pesa ndo kila kituy
Ety Kwan kumuita mdada wa kazi ni vbya jmn ety mhh kweli ni njaa 2 na wivu vinawasumbua mhh
Najivunia wew pakupenda sana
I proud of you. Uko vizuri, kusemwa kupo hata ukinyamaza
I'm proud of you. Kizungu kilikija na Meli dada
,😂😂
I'm looking for an English comment from a Kenyan dude but ain't successful to get one😂😂,, anyways we love our good brothers and sisters from bongo tz
Englishi kozi😅
Here I am 😂these people are so funny,the compliments are so much negative about Nandy 😢and some of them treat their house girls like trush 😢..my neighbours 😂this is too much
Nandy and English 😂😂...i don't want to laugh but am forced to
Kenya hamuwezi tulia hata kwa vitu za English koziiii jameni🤣🤣🤣we are everywhere yoooh
I'm in demn💪
This is I love her she's simple
Watu wengine jamn hawana dam ya nguo muacheni mpare mwenzangu 🤸
😏😏😏😏 aibu naona mm 😂😂😂
😂😂we ona tu
Kwa kuwa anongea kiingereza,hata kuvaa anavaa kama waingereza pia😂😂
😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂
😅😅
😂😂😂😂 umejua kunifurahisha
Turudi nyuma mbelee umesema Dada wako wa kazi hajui kiswahili Lakin pale ulipokua ukimpa zawadi ya sm alikua anaongea kichina ama kinandy nandy 😂
😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅mbavu zangu
Km kiswahili hajui na mtt anamwongeleshaje
Nandi nikwambie your the best
Kwa swali la mtoto ni Mungu tu tuuu
😅😅😂😂kinge Cha nandy 😅
😅😅English ngumu jameni. Haijazaliwa tz.
😂😂😂
Kwa macho ya kawaida mdada haendani na maisha ya boss wake ila ukweli anaujua yeye
Nilichojifunza hapa
1. Tuwatunze wadada wetu wa kazi bila ubaguzi wowote.
2. Tujifunze kingereza jamani ....kuna scenarios kama hizi ni aibu tupu 😂😂
Nandi anamoyo munzuri sana pia nimukalim sana jamani Mwenyezi Mungu ampe amani yamoyo
Sipendagi mtu aite mtu anaeishinae mdada wangu wakazi eti kisa tu anamlipa mshahara! Kwani hana jina lake!
Ety jaman tunazalilishwa sisi ata mm ni Dada wa mtu tunaitwaga hivo dear
Mm cjawahi kumuita dada ila wananioanda kichwani mtihn
@@merisianaJeusha-dn7hr aunt yangu ni mfano bora kwangu huwa anawaita dada na ndo wanae wanavyoita dada😍na ana pesa
Dada mlezi
@@merisianaJeusha-dn7hrpole
Wame kusave house gal..then badala ya kukuita jina lako unaitwa auntie..ama msichana wangu wa kazi😅😅😅
Sio tunajisikia si tumeona kabisaa..na hiyo cm uliyemnunulia ni kwa ajili ya naya ili ukitaka picha akutumie picha nzurii sio kwa ajili yake
😂😂😂
Sasa kama si mtoto angeenda chukuwa mtu yoyote barabarani amununulie simu
Pumbavu ww
Nandy mwenyewe hajui kuvaa ataweza kumvalisha mdada wakazi
😂😂😂😂😂
Wewe kuwa na haya
Nandy ni mbwembwe tu hamna lolote hapo 😂😂😂
Anaongea kingereza kwa sababu ya mtoto haihusiani na kumvalisha kupendeza .. Hata mimi binti wangu Tumempeleka course kwa ajili ya watoto awe anaongea kingereza na iwasaidie watoto kua fluent sio mpaka wanapokuwa shule tu.. NANDY mtunze dada wa kazi Apendeze CASE CLOSED... you know
Jmn natamani na mm ningefanya kazi kwa nandi😮😮
Ujue kuvaa ama kupendeza ni hurka ya mtu kuna watu kama sisi tunapenda kuvaa kawaida xna hivyo sion kosa kabisa kumuandama kwa maneno mengi da Nandy
Ni kweli
Kabisa
Sio kweli hakuna mtoto asiyependa kupendeza,,Hilo ni roho mbaya na ubinafsi,,issue sio kuja kingereza,,ila kumjali hasa mbele za watu ili kutoka huo utotauti.
Wapare wabahiliiiiii bwanaa😂😂😂
Hapo anamtumia sms😅😅😅😅😅😅😅😅kumpanga jamani jamani
Kumbe nandy hana akilii nyieee 😢😅 aibu naona mimi sasa kingereza ndio nn 😊
ndo lugha
Nandy is talking in past tense
@@Hey-nm3db😂😂wueee
Uyu dada hana akili😅😅😅😅😅😅😅leo ndonimeamini
Wapare wanakuwaga na roho mbaya tuuu 😅😅😅😅mnichambe tuu ila tunawajua kwa ubinafsiiii
Mi cjapenda mnavyomchamba nandy but kwa kweli haikuwa poa siku hiyo alitakiwa dada adamshi kiukweli kweli asirudie tena kosa hilo alikuwa kuna shughuri ya maana kama hiyo ajaribu kumpendezesha kama yy anavyopendeza
Hee! Haya wewe mwenyeroho nzuri umemfanyia nini dada yako wa kazi ili nasisi tuige?
@@dhinatsimbano8854Sio wote me nikikaa nao hao mbn sio wachoy kila kabila linamazaifu yake sio wapare to binadam tatizo wanapend kukalili watu wanwasema wenziwao usikute hao ndo kiboko na nusu
Kwa hili uko sahihi nina shemeji yange mamamaaaae na ako na watoto wengine aseeee roho ni ngumu na mbaya kisenge
Sana
Nandy anaakili hapo anaendelea kutuma text kumpnga😂😂😂😂
Wakenya hawana hiyo time ya confirmation.. semeni mtajipanga..
Nandi achana nao hao😅😅
😂😂😂ila nandy anaulinzi vido vidox alivyo kaakaribu😂😂😂
Ila kingereza chenu wote duh 😂😂😂. Hey should I start teaching this course coz yoh 😂😂
Acha kushout
Mungu. Akulinde. Kama. Mfanyakqzi. Kahitaji. Vyote. Hivyo. Na. Ukamtekelezea. Wengi. Wanarohombaya. Hawataki. Mfanyakazi. Wao. Apate😢
Wacheni kupea nandy pressure. Anemueka maisha mazuri lakini hamna fadhila. Mjakazi wake hana shida na anaishi vizuri . Wacheni upuzi
😂😂😂😂😂😂😂😂so English ni kitu ya kuprag nayo😂😂😂
Ila wapare 🙌🤐
Ukweli hauwez kujifucha daima na ndio mana kigugumizi kinawakilisha uongooooo
anaguguma sababu ya kizungu tu tu ila nandy yupo freshy
Wangapi wameona uongo ukiguguka😂😂
😂😂😂😂 had maneno haya nyooki
haongei kingereza .nimemlipia engrish cz jaman
Hv saut ndowaga inaingia studio ama kuna2 nyuma ya apzia😊
akili kichwan mwako😂
Waja mnamuandama sana nandy wa watu jmn
Sana sana jmn adi kipindi kile cha vyombo walimuandama eeh jmn
Kiukwel mm sijaona baya kwa yule dada jmn mbn kavaa simpo na nywele kabana vzr tu nyie mlitaka avae shela?lait angevaa gaun y marind y kuvuta ndo mngesema hd bas😂
Umeona eeee kwani mnataka nae awe anavaa uchi ili mseme anapendwa kuvaa ni mtu mwenyewe anapenda atoke vip sasa angekuwa mwembamba je wangesema huwa Hali😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 ni kweli wa2 Hawa jmn@@SARAJOSEPH-xh6pz
Mudamwingine is hii mambo yenu acheini maishayawenziyoo
Wengine mnamuandama tu nandy lakini hat nyie hk majumbani mnawanyanyasa tu sema kwasababu nyie hamjafikiwa na waandishi😮
Mpare mwenzangu anaroho nzuri jmn mwacheni kumwandama
Muite house manager ukiita mtu mdada wa kazi umemshusha hadhi sana hata kama unaongea kiswahili jifunze kumpa mtu heshima yake naye pia
SEMA TU WAJA WANAMUANDAMA SANA NANDY
Wengi watasema bint wa kaz anateswa ila ukwer ni kwamba wadada wengi wa kaz za ndani wanapitia mengi kwenye nyumba za watu ni wachache wanaochukuliwa kama mtoto wa familia 1
Kabisa😢😢
Hongela nandi kwakumjali huyo dada anae kulea mwanao
😂😂Yupo jamaa mmoja ata kanisani alijitambulisha akisema huyu hapa mke wangu, na watoto na huyu hapa beki tatu wangu .je kwa nn asiseme mwanaye pia?
Jamaaani, kwan maisha ya mtu yann jamani, waacheni kila watu wana mfumo wao wa maisha.
Nandy and English though 😂😂
Wapare ni wabinafsi sana kubali yaishee mnajulikana
Uongo sio wote mbona mim ni mpare na siko na ubinafsi🤒
Kweli kbx ni wabinafsi
wapare naishi naoo jamaniii
@@stevenhendry2377 sio wote toa wingi wako apa
Je wewe ni kabila gan na we nikupe sifa ya kabila lako nyoko wew
😂😂😂😂😂😂mbavu zangu mimi😝😝😝😝
Huyo nandy nitapeli jaman hapo ajiparaguza tu kila mtu amuone mzuri
kifupi alimpanga asubh,alaf huez msema vibya boss ukiwa nyumbani kwake,alaf mbayq zaidi unatumia sim yake😅😅
Mumezidi bwana eee wa Tz munamambo hivi ingekuwa nyie acheni upuuzi bwana alaa
Yn kampanga alafu anajifanya utamuliza mwenyew😅😅😅😅😅
Nandy anajiaibisha? Siuache tu😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣.Ata Marehemu Ruger kashangaa kwenye jokofu🤣🤣🤣
Jaman watu😅😅😅😅😅
Mmmh nandy unajiabisha kinger ndo nn bhan huo ni utumwa tuu hebu tumia lugh yako kwan una necta kwamb itatakiwa ujibu af huyo dad wa kaz mbn kamnhapendi shoo off
Lazima atakanae vizuri kwa sababu anakaena mtt wake vzuri muda mwingi yuko na mtt
Kupendeza tu
Lkn mfanyakazi wake Aaah
😂😂😂😂 nyoko ww 😂😂
@@Rizikialiamechannel763 wasani wanamaisha magumu sana mana kila jambo lao hadharan ndicho kinacho wacost
Ukiona mtu jqmbo lumesemwa na anatumia nguvu kubwa kujitetea ujue kweli Nandy kaonesha uzaifu
😂😂😂😂siku akinyonga mtoto wako ndo utajua ujui
Watz mkona maneno😊
Aki watanzania😂😂yaani kuongea English mnaiona big deal mpaka lazima simu ipigwe ndo muamini😂😂
Nyie hamjui kuwa nowadays kuna wasichana wa kazi wengi tu ni wageni kutoka Malawi, and etc 😂!...Aloo wanajua English hatari
Habari za English course mmmh!
😂😂😂😂😂 daaah ni kweli
Did you expect her to say the truth and she knew her madam was present there with you😂😂😂
Usijikute umesomea uingeleza sawa kumbe umesomea ichobela ok tell me how u can help u're fellow who does not know the English ee acheni kujikuta mnajua kiingeleza San bhn
@@MerlinaKubadesha jameni mbona huwa mnaumwa sana mtu aki comment kiingereza. Si hata mahojiano yalikua kingereza. Tusipimiane pumzi Bana kama huelewi achia wenye wataelewa
@@angelinamwakadi5226 sawa umewin lakin ee tell me now which date u will go to school.
Vidooooo 😂 mpigie, video call, 😂 house boy mbioooooo 😂😂😂😂
Kasha mpanga mdada wake toka alipo toka nyumbani 😂😂😂 chezea wewe
Tunao watoto na wadogo zetu wa Kitanzania wenye weredi na uwezo wa kutunza watoto lakini jitu linaenda nje ya nchi kutafuta kick tu. English yenyewe imenyeshewa na mvua😂😂😂
😂😂😂😂😂
Pendaneni 😢jamani haya ni maisha tu ❤
Ila watu kwakufatilia maisha ya watu wanapenda xna kuliko kufatilia mambo yao binafsi
Kujitetea kwenyewe ujui😂😂
jamani kwann mnamchamba nandy munajua kwenye wasanii wazuli nandy nimzuli kwaza halingi kama wasanii wengine mimi napenda bule tu
Nandy ww nae kwa nn hunyamazi tu au umepanga Kiki?? Chukuwa mifano ya wasanii wenzio Acha kujiproud kinachoongelewa ni hukumvisha vizuri na si mambo ya English au vinginevyo Acha ujinga ww sema tu labda ww ulikuwa ushatangulia Holini yy kavaa tu alivyopenda ukamshtukia pale lakini ungekuwa nyumbani ungemuwandaa kazi kwisha maneno mengiiii watu wengi wenye wadada wa kazi huwa hawawajali sio ww pekeyako
Wee hujui chochote kumbe, Kati wa wasanii ambao hawanag muda na maneno ya watu ni Nandy, Ila acha awajib tu maana weng wamemuandama na kuuliza kuwa mdad wake syo mtanzania? Ndo kajibia hvo nafkr
Kingeleza na mavazi inahusiana vipi, na kuhusu ada kazuga 😂😂
Anayesme mmmh aaah mmh hajuiiiiiiiiiiiiiiiiiiii manaake anjifikiria asem nn
Dada anae please mwanao unamvisha man̈guo ya jikon😅😅😅
Wapare wa usangi naombeni mkuje hapa tunakikao cha dharura hivi ni kwel ichi kingereza anachoongea nandy ni cha LOMWE KWELI😅😅😂😂😢😢
Msichana ana jua Kingereza kizuri kuliko Nandy
This is the comment that i was looking for
Sasa apo kizungu kiko wapi
Kwani kingereza ndio nini ,Nandi ??!!!!😂😂😂
Mhm😂😂😂😂😂😂TZ NI WATUMWA WA KINGEREZA
JIFUNZENI KWA WACHINA KENGE NYIE.USHAMBA TU
Huyu alitaka watu wajue anajua kingereza. Ila watu wa mitandaoni bhana
Wakati mwengine ni ushamba tu umaskini kuna watu humu wananyanyasa wadada wa kazi kuliko lakni wameamua tu kumsakama na kutakumuharibia tu huyo nandy
Kwahiyo kingereza ndo matumizi au kwenda huko angekua mwanao ungemvalisha hivyo?acheni hizo mpare wewe mnaikombere
Wewe acha uboya fara
Inasaidia Wacha makasiliko
@@NtakarutimanaIrihowaambie watu hawajui Yani nimzur kujua kila ainaya lugha mbn wenzet wanapend kujua kiswahili chet jaman
Kwani haujui kingereza 😂
Haongei kiswahili vipi kwani ametoka wapi wa tanzania kujua kizungu kidogo ati haongei kiswahili
❤❤❤
Hicho kiingereza anachoongea sio cha kupelekwa shule huyo ni mmalawi nazijua lafudhi zao na hawajuagi kiswahili hao nandy aache uongo
Ila ni vizuri pia ukia na mdada anae kulelea mtoto awe very smart ili hata mwanao ajifinze how to dress 😅😅
Tell the haters...this is non of they business