@@luckyluchano1 yaan utalipta kwenye kizzi hiki cha U .T. I cha kukushauri bora unywe sumu ufe ili ukakutane na wazee wa zamani uko kuzimu bt kizazi hiki kinatwa tesa ni kutese
Mm tamgu wananza nawapenda yan nilikuwa nagombana na ndugu kisa hawa. Nawakubali aswaa am grad nimempata mtu mwenye upendo kama Billinas hakika ukiwa unapendwa ni simple kujua kuwa true love hipo
jamani nandy analia kwa sababu mume anapoteza hela kwa sababu yake my support to your love Nandy and Billnass congratulations to you both mungu awajalie maisha mema na marefu l love you so much nawapenda sana usijisikie vibaya nandy because that is your lovely husband na I Know you love him ninaomba usimuache kabisa please hilo gari lipokee kwa nia njema the African princess ❤❤❤❤❤❤ written by rose 🌹🌹🌹🌹🌹
Ila bongo ndo maana tuna feli kweny kuhaso make tuna waziana mabaya baada na so mazuri kila kukicha jmn Mungu atupe uvumilivu na sisi tutafanikiwa kwa uwezo wake Mungu
Daah wengine wanapewa zawadi za matusi na kashfa..wengine vipigo na mengine mengi tu kwenye ndoa..hadi wanazichukia lakini kuna wenye wenye bahati zao ..sasa wewe mwenye changamoto muulize Mungu kwanini unapitia hayo usijeongea kwa watu kuwa ndoa mbaya watakushangaa na hata kutamani wakuzomee!! Hongera sana Bill na Nandy ni wasanii lakini mnaonyesha uhalisia wa mapenzi ya kweli
Mungu akubariki Billnas Kwa kuishi vyema kiapo chako Cha Ndoa huu ndiyo upendo Mungu amaoutaka . Sisi wengine tuko tu tunatimiza wajibu kitu upendo tunaona huku Kwa Milad Ayo😢😢😢
Hivi wengine hizi hela za kununuwa magari makali kila mwaka wanapata je jaman? Eyi mwanaume anatowa mahela mengi hivyo na familia haitetereki huku sisi hela ya kodi bado ni shida na kila siku tunaamka kwenda kutafuta rizki,kweli Mungu fundi aisee. InshaAllah ipo siku kikubwa subra
Hata kama pesa ni ya mke. Amefa nya jambo la kumheshimisha mime wake.Amemuinua mime wake. Hiyo ni mipango ya familia wamekubaliana na imekuwa.Wewe ni lini umemuheshimisha mume wako?Au ni kumtangaza tu mitaani🎉? Kuna somo hapo,hata lama mume hana pesa.Basi jaribu kufanya jambo litalomuhwshimisha.
Yaan ttz sisi ni waoga kwenda kwa p didy ndio maan tutaishia kuimba happy birthday tuh lkn hata guta atutawez kununua unafikiria bilinasi anafny kazi moja 😊
Msipende kukadiria mtu hamuwezi jua kila mipango ya watu ,wivu tu na roho mbaya ndo zinawasumbua mnataka Billnas awatangazie kwamba ana pesa kiasi gani sio poa
Ni ndoto ya Kila mmoja,kama una amini gonga like
Ni kweli ni ndogo ya Kila mmoja ambao hamkufanyiwa ivo na waume zenu au wazazi wenzenu msife moyo mtafanyiwa na watoto wenu tuseme inshallah 🤲
@@saeedahhenry711inshallah yallaby
Co ndoto yangu mie huko nitoe😊😊
Ni kwel❤❤❤❤❤
Ukiwa huna hela unaongea maneno mengi mwacheni bilnas na nandy wake❤❤❤❤
Kanisa
Couple yangu ya power😊. Hawa wawili walipendana kwanzia kucha hadi kope daah mashallah, namuomba mungu anijalie penzi kama hili🤌🤲
@@luckyluchano1 yaan utalipta kwenye kizzi hiki cha U .T. I cha kukushauri bora unywe sumu ufe ili ukakutane na wazee wa zamani uko kuzimu bt kizazi hiki kinatwa tesa ni kutese
Mungu akupe hitaji la moto my dear
SIKWELI BILNASS AMEAMUA KUA BUSHOKE,LAZIMA KWENYE MAPENZI MMOJA AWE MJINGA JAPO HAIPASWI KUA ALIVYO BILNASS,MANA ALI KIBA ATO KITAMBO
Mm tamgu wananza nawapenda yan nilikuwa nagombana na ndugu kisa hawa. Nawakubali aswaa am grad nimempata mtu mwenye upendo kama Billinas hakika ukiwa unapendwa ni simple kujua kuwa true love hipo
@HusseinMwwewe 😂😂 ndoumeamua kuwa bushoke hawa watu wanapendana sana km umeanza kuwafatilia muda mrefu tangu Nandy anaanza kujitafutaatende-ws1nt
jamani nandy analia kwa sababu mume anapoteza hela kwa sababu yake my support to your love Nandy and Billnass congratulations to you both mungu awajalie maisha mema na marefu l love you so much nawapenda sana usijisikie vibaya nandy because that is your lovely husband na I Know you love him ninaomba usimuache kabisa please hilo gari lipokee kwa nia njema the African princess ❤❤❤❤❤❤ written by rose 🌹🌹🌹🌹🌹
Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💕💕💕💕💕💕💯💯💯💯💯
MUNGU aendelee kuwabariki Bilnass na Nandy,mpendane mpaka mwisho.Nawapenda saaaana.❤❤
Ameeeeeee 🙏
Amen
god to bless
Amen❤❤❤
🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu awajalie maisha marefu msigombane msichukiane muende lee kupendana hivyo hivyo defender nimelipenda💯💯💯🥰🥰🥰🥰😍😍❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🚗🚗🚗🚗🚗🚦🚥
Nawapenda sn Bill& Nandy, Mungu Awabariki, na Awalinde,❤
Nandy ana raha❤❤
Wenye wivu wajinyonge❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Upcoming UA-camrs mnipitie tugrow wote please ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ila bongo ndo maana tuna feli kweny kuhaso make tuna waziana mabaya baada na so mazuri kila kukicha jmn Mungu atupe uvumilivu na sisi tutafanikiwa kwa uwezo wake Mungu
Upendo ndio nguzo mungu anatoka kwa mafungu kikubwa juhudii tu......❤🎉 So
...... ..........#lovely timu billnass#
Mimi pia jamani akili nazo zimeshapoteana
............#lovely tem Nandy& Bill#❤❤❤❤❤❤
Daah wengine wanapewa zawadi za matusi na kashfa..wengine vipigo na mengine mengi tu kwenye ndoa..hadi wanazichukia lakini kuna wenye wenye bahati zao ..sasa wewe mwenye changamoto muulize Mungu kwanini unapitia hayo usijeongea kwa watu kuwa ndoa mbaya watakushangaa na hata kutamani wakuzomee!! Hongera sana Bill na Nandy ni wasanii lakini mnaonyesha uhalisia wa mapenzi ya kweli
Wanapndana
Usichokijua wamependana 7bu wote wanajua kutafuta so Hawa wanawake wetu Kila ki2 tegemezi kwetu 😂 chukua hii nakupa
@mayco-chan😂😂😂😂😂😂😂umeamua hiivyo eehnel__1
😂😂😂😂
@@mayco-channel__1 siku hizi kuna tegemezi usawa huu kweli...kuwa mletee chakula ,nguo kila kitu kama mtoto?! Sidhani na kama wapo ni wachache
Yaan wewe mtoto ni nzuri sana alafu unahema sana❤❤❤❤
Mungu akubariki Billnas Kwa kuishi vyema kiapo chako Cha Ndoa huu ndiyo upendo Mungu amaoutaka . Sisi wengine tuko tu tunatimiza wajibu kitu upendo tunaona huku Kwa Milad Ayo😢😢😢
😂😂😂😂
😂😂
@HamzaMohamed-k7o usicheke ndugu yangu ni shida Ndoa yenyewe ni mpaka kifo kiwatenganishe
@AshaRashid-f5j acha tu ni shida
WENYE WIVU kwa Bilnass na Nandy poleni sana.
Wajinyonge😂
𝚆𝚊𝚓𝚒𝚝𝚞𝚗𝚍𝚒𝚔𝚎 𝚝𝚞 😂😂😂😂
@LuluOMary 🤣🤣🤣kabisa
Wajinyoge sana waacheni mastaa wetu kabisa my BFF nandy❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Mungu aijalie mema ndoa Yao
I wish I could live like this Amen 😍🙏
E e eee Mungu ulieumba mbingu na nch,nimechoka kutamani sa wengine.nibariki na mim
Woow jmn had raha mungu awatangulie❤❤😮
MUNGU awabariki sana sana...Ndoa yenu iwe ya mfano wa kuigwa
Kumpa zawad mke au mpnz ni jins wew ulivyo ishi na upndo lakn kama mtu unashindan na ibils kila mda hauwez fany hili jambo honger sana brother
Umenena
Umenena jambo kubwa maishani.....
Yeah 👍👍👍👍👍👍💯💯💯💯💯💯
Saf sana mungu awabark sana mtafika mbal mmekuwa mfano mnzur sana kwa vjana ambao bado hawajaoa na waliooa pia
Mungu jamani na me na mke wangu mtarajiwa tuje kuwa ivi❤
Hela unazo
😂😂@@MohamedUchungu
Mungu atakupa insha allah
🎉🎉🎉🎉 ukiwazaa tuuu,
Inakuwa hivyoo
Ndio ww mumewangu
My beautiful couple ❤
Masikini mke wangu yani ninachompa ni mikofi 2 pole sana mke wangu
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Wengine wanapenda hatar hiyo mikofi😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂yaan wewe mbinguni utafika unatambaaa maana nimecheka kama fala
Tuongezee mtoto❤😂
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉Wooow
Hongera yake
Boss France Hongera sana kwa kumuuzia Gari zuri Bilinans
Hiyo nyumba wanaoishi ni km hotel, Millard fanya tour siku moja humo
Hivi wengine hizi hela za kununuwa magari makali kila mwaka wanapata je jaman? Eyi mwanaume anatowa mahela mengi hivyo na familia haitetereki huku sisi hela ya kodi bado ni shida na kila siku tunaamka kwenda kutafuta rizki,kweli Mungu fundi aisee. InshaAllah ipo siku kikubwa subra
Ahahaaa sio Kodi tu Hadi buku shida😅😅
kila jambo na wakat wake hata yeye alihaso kwa ajili ya kesho yake
Maisha yana siri kubwa unaweza kuta hilo gari ni lakukodi wee jichanganye😂😂😂😂
@@MAMAPETER-bu4kt
Kabisaaa yaaan
Kumbuka Amri za Mungu, Usitamani Mali, na mambo mengine ya jirani au ndugu yako. Hii inamaana kubwa kwenye ulimwengu wa Kiroho.
Mashaallha ❤❤❤❤
Chakwaza mushukuru mungu amekupa uhai na pia mushukuru kwakukupa mume bora
Surprise gan wakat Hela zake mwenyew gari anunue mwenyew alaf iwe surprise" mm Nina gari niliyopewa na mungu 🙏
😂😂😂umejuaje
Kweli ila ndio hivyo mume ndio kichwa
acha wivu😂😂😂😂.
Bill ana hela hata km hamfikii mkewe lkn hela ya kununua gari km hiyo hakosi huyo ni mangi wewe😂😂😂😂.Alafu mwanamke punguza kawivu
Njaa zinakusumbua
mh acha makasiriko
Mshukuruni Mungu kwa pumzi alowajalia,watu kariakoo wanalia
amina amina dr
Mhh Ana Bahati Anchotaka anapewa Kuna sisi Ela ya sabuni mpk tusibuliwe tupigwe tunasema mpk tusemee Kwa chini 😂😂
natamani sikumoja ningepewa nafasi ya kunisikiliza japo wimbo wangu mmoja 🙏
Nandy ashakuwa nashepu amah kweli mjini matako
Wasanii maisha yao ni ya kisanii unaweza kuta hapo ni Nandy kanunua hio gari😊😊😊
Acheni kutuchezea akil😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Hata kama pesa ni ya mke. Amefa nya jambo la kumheshimisha mime wake.Amemuinua mime wake.
Hiyo ni mipango ya familia wamekubaliana na imekuwa.Wewe ni lini umemuheshimisha mume wako?Au ni kumtangaza tu mitaani🎉? Kuna somo hapo,hata lama mume hana pesa.Basi jaribu kufanya jambo litalomuhwshimisha.
Happy birthday Nandy ❤
Na huo mgongo wazi wa nini😅😅🎉
❤❤❤❤
Amejinunulia mwenyew bilinas hana hiyo hela ya kununua difender kwa zile cm nne alizoweka dukan pale sinza au huo muziki wake usiokuwa na show
Hakika
Chuki za kijinga kaendelee kununua bando la elfu mbili unahisi analala nje kama ww
Inawezekana ..sema hapa wanacheza na akili zetu maana nandy ana hela kuzidi mme wake....naijua hiyo ...all in all hongera mama naya
@frida-oi6kw kuwa na hela kumzid sio shidah mwanaume ana nafas yke bilnass sio mtu wa kujionyesha ila pesa ipo
Acha wivu hujui biashara za Bilnass
Mariooo kahonga😂😂😂😂
Nimefurahi sans tena sana kuwasababu nandy ni mrembo sana
Hawajui kupeana gifts😢
Daah mambo ya pesaa
Si shangai ni kweli Hawa watu wanapenda magari Toka zaman
Nalia Mimi huku etii
Pole shoga angu😅
Huenda ata hela ametoa nandy alafu anacheza na akili za watu 😂😂😂😂naijua iyooooooo
😂😂😂😂😂😂
Acha kujifariji tafuta ela😂
@@bennamush4616Kwa kweli maana naona ka wivu kanamsumbua nawe mnunulie umpendae hata pikipiki basi😂😂😂😂😂
Wow
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Nandi anamuheshimisha mumewe ananunua halaf anamtupia munewe
Hongela blinass nandy
Acheni kutuchora mmeuza aridhi huko ndo mnunue gari leo mnasema zawad 😅😅😅😅
Sw mmejua kucheza na akil za watu😅 Sion surprise apo, fedha n yake mwenyewe na aliljua ilo😂 yote kw yote n jambo jema kwan iyo n ndoa ko n mipango yao
The Bloggers So Annoying 😏
Congratulations The Billnassy’s
Yaan ttz sisi ni waoga kwenda kwa p didy ndio maan tutaishia kuimba happy birthday tuh lkn hata guta atutawez kununua unafikiria bilinasi anafny kazi moja 😊
Hyu kisirani wangu hta chupi sitanunua😅😅😅😅
😂😂😂
Utasaidiwa kununua 😂😂😂
Piga like kwa doto magari😂😂😂😂
Acheni kiki za kimkundu kuma nyie uyo bilnasi ata uwezo wa kununua bajaji ana labda kama nae alienda kupididiwa
Bro acheni kuwa na wivuuu..kwan bajaji bei gan don't hate ..be inspired
Nahisi ni Nandy kanunua Ili aonekane Bilnas kampa
@annasolomon9855 apo saw
Msipende kukadiria mtu hamuwezi jua kila mipango ya watu ,wivu tu na roho mbaya ndo zinawasumbua mnataka Billnas awatangazie kwamba ana pesa kiasi gani sio poa
Miaka ya 2015 hadi ilishirin ilikua Tanzania ya viwanada 21 hadi 30 Tanzania ya maigizo
Kwa kweli
Gari anunua mwenyewe😂😂
Maisha haya daah kmmq
Wewe unae ongea kunya hata boxer huwezi kujinunulia zimetoboka toboka 😂😂😂
Acheni wivu watu wanapendana hata kama ni ela yake anafunika aibu ya ndoa yake
Wanafanya hivyo kutukomesha sisi wapambe😂😂😂
Duuuh!! Kuna watu wanainjoy ndoa wanatamanisha wengine😂alafu wewe mwingine uingie ujionee 😅😅
She deserves it 🎉
Nyumba yenyewe manshallah , mungu awabariki sana
@@ShemsaKiobya-x8h hard work pays
Msitufanye hatuna akili, kanunua kwa hela zake.....
Acha wivu usije kuua😂😂
SIO KIKI HIZI KWEL.
Mungu aliumba mapenzi na watu wake wengene acha tuote jua tukisubili siku ya mwisho
😂😂😂😂😅😅😅😊😊😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭comment yako imenifurahisha na imeniliza kwa kweli but tusivunjike moyo siku yetu ipo 🙏🙏❣💞😍💕
Mnajinunulia eti anashangaa wakati ni ela ake😂😂😂😂
Acha uongo ww et kajinunulia billnas ana biashara zake za kutosha ww
Wewe kua na akili bill ni mchaga anatafta mzee
😂😂😂😂😂
haelew huyo ....anazan bilnas amelala😂🤣🤣🤣
no matter what tuache wivu Kama hatukuwah kupewa zawad
😂😂😂😂 Hela anayo na Amesha Vizowea hata kulia halii 😅😅 Wat ibiris
Dah juxi tu nimetoka kumzawadia mke wangu saa ya shing 5000 kafurahi balaaa
Mungu awatangulie katika safari yenu ya maisha🙏🙏🙏🙏🎉🎉🎉❤❤❤
@Onepiecefamily-v1c Aamin cs zawadi ni kitu chichote tu
Duu bilnass boss wangu nipe ata bati niezeke pagala langu 😢
Jamani haya Maisha wengine ni kuzaa tu mimba ikigeuka mimba ila tumshukuru Mungu 🙏
😂😂😂,anza kuzaa magari na majumba sasa.
Acheni maigozo
🎉
Jamani mbona mimi mwenzenu siwezagi mambo yakudeka??? Ivi nimekwama wapi
😂😂😂😂😂bas we bondia
Kama hupendwi kudeka ni ndoto😂😂
Sura tu inaonyesha alikuwa anajua kilichotokea mana aangaliii waandishi 😂😂😂
Unashangaa unafuguaa unakutana namke mwenzio😅
Zuchu ona mwenzako zawad hzo ww mmeachanaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Billnas alikuwa kwa pididy pia. Miti na defender hizo
We Mpnzi ukihitahid sana Unamnunulia Saa ya Elf 5😂
Ndio uwezo wake,
Mnataka tuwachukie awa wachomelea mageti we2 mana ela hawana naxx tunataka kupewa mazawadi kama ayo ndo akiludi unaanzisha ugomvi hauna kichwa wala miguu kumbe unata ageuke bilnas 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona mimi jana amenisapraiz kofi la nguvu na hatujasema
😂😂😂😂😂😂😂commencetion mtaniua
@Orenj-l8d 🤣🤣
Wengine tunapewaga makofi tu
Surprise ungempeleka show room hapo mmetupiga gari imefikeje bila ye kujua
nand nyash amepata vwap
😂😂😂
Mungu anijarie nipate mume Bora tupendane ka ninyi nawapenda sana kiukwer
Bilans Hana hela iyo wachinga pamoja ndio amema
😅😅
Mashaalla
Diamond ameshindwa kumuoa zuchu😢😢
Ukumbuke hapo Nandi ndio mwenye pesa zaidi ya Nenga ... So utajua tatizo .. remember haya Ronaldo hajamuoa mpenzi wake na Wana watoto kibao
@@mancholotrasco8350 kumbe 😂😂😂...ila hio gari kanunua mwenyewe nandy
Uachane na kale ka bmw kako ka pinki uendeshe mdude huo
Ndo couple iyi, ba SiO mashititi ta mondi ba zuhu
Ya kwako vipi 😂
Anayetaka nimuonge Gari anichekii
Fake life ndio maisha ya wasanii Tanzania. Ni rentals tuu
Nenda kachukue nawewe rental
We live real life sio ya mashetani wa kuabudu shetani . Nandy na Billnas ni kuigiza tuu