EXCLUSIVE AHMED ALLY:AWEKA WAZI HATMA YA CHAMA SIMBA, THANK YOU HAZIJAISHA | SIMBA DAY YA MWAKA HUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 чер 2024
  • Afisa habari wa klabu Ya Simba Ahmed Ally akizunguzmia yale yanayiendelea katika klabu hiyo
    "Is a life's and sports channel our vision is to develop and deliver world class Broadcast-based on local and international market"
    #sports #footballclub #zuchu #azamfc #harmonize #harmonize #singidafountaingate #simbanation #footballclub #sports #soccerclub #footballclub #zuchu #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate #zuchu #simbanation #footballclub #sports #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 48

  • @gangamlipano445
    @gangamlipano445 4 дні тому +1

    SIMBA mtarukaruka kama bisi ila ukweli CHAMA alisaini Juni 1, 2024 YANGA. Muda utaongea

  • @EmanuelAndrew-nq5oc
    @EmanuelAndrew-nq5oc 4 дні тому

    Semaji la FIFA respect you bro❤🦁

  • @SimuliziTamu
    @SimuliziTamu 4 дні тому +2

    Semajiii 🙌🏼

  • @MuammaryAbdalla
    @MuammaryAbdalla 3 дні тому +1

    musije mukatuletea yule kocha aliyekuw mamelody mule hamna kitu ni bora uyo mgunda

  • @MwajumaMpotwire
    @MwajumaMpotwire День тому

    Bado siamini kama chama ameondoka simba😢😢😢

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 4 дні тому

    SIMBA NGUVU MOJA

  • @yunusally5553
    @yunusally5553 4 дні тому +1

    Semaji limegeuka comedian

  • @LoyceKizuri
    @LoyceKizuri 4 дні тому

    Penda sana❤❤❤❤❤

  • @SalumZombe-el2ex
    @SalumZombe-el2ex 4 дні тому

    Semaji la shirikisho😊😊😊😊😊😊

  • @user-qw4pm2xe4j
    @user-qw4pm2xe4j 4 дні тому

    Munatagaza cana wachrzaji lkn mwsho wa ck utasia habibu kyombo

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 4 дні тому

    Tafsiri yake hamna pesa za kuwalipa mnaendelea kuwabembeleza wachezaji

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 4 дні тому +8

    Madundukaaaaaaaaa !!!! ---- mmezoea kudanganyana sana --- yaani Leo ni June 28 na mkataba wa chama unatamatika June 30, siku moja ijayo --- then hili dunduka eti linasema " viongozi bado wanalifanyia kazi suala la chama,inaingia akilini kweli ! -- halafu eti " eti chama anatamani kubaki Simba --- chama siyo mjinga kiasi hicho " muda utaweka wazi kila kitu "

    • @FaridaMwamlima
      @FaridaMwamlima 4 дні тому +1

      Mtaendelea kumtaman chama pak vijambio vibadilike kuwa chimo la choo kuku nyieee

    • @user-ts8bf4ef3u
      @user-ts8bf4ef3u 4 дні тому +2

      tumia akili japo kidogo unataka aseme kasajiliwa au lah? muda ndo utazungumza kama chama kaenda yanga au kabaki simba,

    • @HassanZiroy
      @HassanZiroy 4 дні тому +1

      Nimekusoma mkuu big up

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 4 дні тому

      Inakuhusu nini..?

    • @AkidaNzambah
      @AkidaNzambah 4 дні тому +1

      SASA WEWE UNATAKA SIMBA WAFANYEJE?? NYIE MACHURA NI MA MBUMBUMBU SAANA,,MAFANIKIO YOTE MLIONAYO MUSIMU HII 3 NI KWA KUJIFUNZA SIMBA,,TENA SIMBA ILUFULILUZA MUSIMU MI 4 NYIE MKIWA KIMYAAAAS SASA SIMBA KUMSAJILI AU KUTOMSAJILI MCHEZAJI YEYOTE HALIWAHUSU CHCHT NYIE MACHURAAA..

  • @user-ug2wi8hx1m
    @user-ug2wi8hx1m 4 дні тому

    Simba is simba don't want to get any gift for utoporo by toto jr

  • @IssaIssa-i1d
    @IssaIssa-i1d 4 дні тому

    Utopolo kweli maskini hadimfungiwe ndomlipe wachezaj kachukueni mikopo hamna ela au shikekeni bakuli tena kawaida uenu

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 4 дні тому

    Huyu jamaa sasa nashindwa kuelewa yani hapo sasa inakusaidia nini kwanini usizungumzie mambo yenu jaman

  • @user-cz5qg1rh5o
    @user-cz5qg1rh5o 3 дні тому

    Yaani Tena umeanza na yanga si uongezee yetu...khaa

  • @AbdallahKanangwa
    @AbdallahKanangwa 4 дні тому

    Tufanye kweli

  • @mussamugambi9342
    @mussamugambi9342 4 дні тому

    Mzungu hakulipwa ikawa kelle ilinivuvuzela🤣😂😂😂🤣🤣🤣

  • @user-rf4ph3nk5o
    @user-rf4ph3nk5o 3 дні тому

    Zunguzia timu yako hayoyote yanatoka wapi!!

  • @user-px1gd4de7k
    @user-px1gd4de7k 4 дні тому

    Jamaa Simba inaendeshwa kitaasisi zaidi, msemaji wake ni msomi anayechukua muda mwingi kuongelea taasisi na si mtu mmoja. Ndio maana aliisha eleza atakayeachwa tafasiri yake hayumo kwenye mipango ya timu. Yule ambaye yuko kwenye mipango ya Simba hataondoka, ukiangalia mkataba wa Chama umeisha angepewa Thank you ht kabla ya wiki angeondoka na kina Saido kitambo

  • @maribahanyora8478
    @maribahanyora8478 4 дні тому +2

    Wenye D2 tumeelewa

    • @NyorokaNyenge
      @NyorokaNyenge 4 дні тому

      Unajisifu kwa d2, wenye A zote walishaekewa mda mrefu.

  • @user-er9xv9yz7b
    @user-er9xv9yz7b 4 дні тому

    Comedy original

  • @KuruthumKhalaf
    @KuruthumKhalaf 3 дні тому

    yaaani mmechemka angalia kaziatakayofanya akiwa yanga kapombe chee maloni shabalala watakula wabobwa mbaka wakome

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 3 дні тому

    Wewe mwanaume aliyekamilika lazima adaiwe sasa wewe usiye daiwa ndo unavurunda TU na kupuyanga Kila msimu ukianza

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 4 дні тому

    😂😂😂HUYU JAMAA NI MUHUNI KWA KWELI😂😂😂😂😂😂

  • @josephhensily6219
    @josephhensily6219 2 дні тому

    Hamuna lolote apo

  • @dengahmediatz1230
    @dengahmediatz1230 4 дні тому

    Nipo nafatilia ze comedy

  • @user-ky2hp9pk1p
    @user-ky2hp9pk1p 4 дні тому

    Unaboa sasa semaj