Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Nakubali.gb64.umeongeya.kweli.manara.anatala.kubwa.wangesikiya.ushauri.unawapa.waufanyiye.kazi
Kweli manara kiboko Yaowoyoooooooo.🙌🙌🌹🌹🌹
BUGATI baba laooooooo!
Badooo ujasemaaa utasemaaa mwakaniii vizuriii
Manara alichangia sana kupandikiza Chuki kwa mashabiki ilifika sehemu ikawa nikupigana tu viwanjani
Kweli GB umenena
kweli kabisa
Bugati msemaji ila Ally Kamwe ni mzuri zaidi hatukani
Wewe manara mtu na nusu subiri hata yanga day utapata majibu
Tambua hayo ni ya nje lakini nyuma ya pazia si ajabu yupo Manala... 😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉 ni kwel
Uyu gb 64 anamawewe
Kuisemea timu siyo lazima matusi, ni ueledi kama anavyofanya Ally Kamwe.
Ally kamwe mshamba tu
@@ramamohamed492sio mshamba ila no msitaalabu pia Hana matusi
haji manara sio mchezaji,
Ni kwel
Hao wote unaowataja et manara akija akute wote wapo simba tayar, 😅😅 hapo yanga wamekaa tuu wqnawaangalia eeeeee😂😂😂
Mpambano utakua mkali sana
😂😂mnatoa macho hivo wakati mmevaa miwani?
Daaaa kweli yanga upande wa hamasa bado yanga ya moto mechi kubwa watu hawajai game na simba pia ahmedi ali alisusa hawakujaza pia
Kumbe na wewe umeliona hilo
Hao viongozi wanajitathimini kitugani tena waondoke tu misimu3 patulo mbona wezetu wamebadili uongozi vipi sisi et wajitathimini hapana hao waondoke tu
Kivipi naww huyo si tunamteka mganga bado ngozi yakiganja Anaihitaji
Manara anafunguliwa😂😂😂😂😂😂
Mhh kaka sawa ila mhh weacha tunaumia
Gb tunakucheki sana tunakufwatilia uko vzlii
😂😂😂😂😂😂
Gb64 wewe msomi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Anakuja manara wetu
😂😂😂😂
Ahmedy kama analinda kibarua chake hivi
Haha
Ni kweli kbsa
Mmh.... kwanza tunamtaka MANZOKI huyu MAYELE asubili kwanza