NABII ELIYA AMTUMIA UJUMBE BISHOP GAMANYWA KUHUSU MGOGORO WA ISRAEL NA PALESTINA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 167

  • @UlisayaMwampaja
    @UlisayaMwampaja 10 місяців тому +9

    Du ? Nabii wengi wao tumegubikwA sana na uyu mpinga kristo.lakini Mimi binafsi nimejikuta nimebadilika tu gafra na kumjua mungu wa kweri na WA uongo Asante kwa kunionyesha njiaa sahihi .

  • @emmanuelmathew7613
    @emmanuelmathew7613 10 місяців тому +15

    Ili uelewe mafundisho haya kwanza weka pembeni udini au dhehebu, halafu soma maandiko matakatifu mwenyewe ,uwe na utulivu wa akili,tafakari ya Hali ya juu na research kubwa, zaidi neema ya Mungu iwe nawe hapo utamwelewa huyu Mwalimu vizuri .

    • @hafidhumawimbi7972
      @hafidhumawimbi7972 10 місяців тому

      Ni sahh brother shukran!!

    • @OmarOmar-vf9dv
      @OmarOmar-vf9dv 10 місяців тому

      Nafikir kuwa neutral ni bora zaid ili tupate kujua ukwel uko wapi. Ukwel ni kwamba kama uko na maslahi yako kichwan juu ya hii dunia huwezi kumuelewaa elliya

    • @jonasjoe3623
      @jonasjoe3623 10 місяців тому

      Acha uongo we mzee

  • @davidmao4634
    @davidmao4634 10 місяців тому +2

    nabii Elias really now i feel like i'm unlocked mungu aendelee kukupigania uzidi kutufunulia

  • @dominicmawala5614
    @dominicmawala5614 10 місяців тому +7

    Amina kaka, endelea kutupa elimu

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 10 місяців тому +5

    Amina Nabii Eliasi ndivyo ilivyo kuna mijambazi imabuda

  • @rehanijuma1421
    @rehanijuma1421 10 місяців тому +2

    Huyu jamaa kichwa sana musimbishie sababu wazungu hawa walituambia na wakaiaminisha dunia kuwa watu weusi tumetokana na nyani leo hii wanasema yesu mzungu pia juzi hapa papa ameagiza kuunga mkono ushoga duniani hii ni hari wazungu hawaamini mungu mungu wao ni pesa tuu mimi naihi ulaya hapa ni upagani mtupu 😢😢😢

  • @muangashiwallace8516
    @muangashiwallace8516 10 місяців тому +2

    Hapo nimekuelewa sn mwalimu wangu. Ubarikiwe sn.

  • @memurutholais875
    @memurutholais875 10 місяців тому +1

    Broo unapigaga misumari INCH 12 alafu unakunja kwa nyuma wakungowa hayupo .... HONGERA SANA wewe unafundisha INJILI KWA KUTOA ELIMU na UKWELI WA MAMBO. Barikiwa sana .

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 10 місяців тому +3

    Mimi nakufatia sana na unanifungua sana akili ni kweli wewe ni NABII ELIYA Nakupa hongera sana

  • @LuisFaustinoLuis
    @LuisFaustinoLuis 4 місяці тому

    Nabii eliyas mungu akubaliki sana.

  • @SalimHassan-g3b
    @SalimHassan-g3b 8 місяців тому

    Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU achana nao hao wachungaji wa michongo

  • @mwanahussein5935
    @mwanahussein5935 10 місяців тому +2

    Ukweli mchungu 👌👌👌

  • @jacobmwankenja5466
    @jacobmwankenja5466 5 місяців тому

    Nakuelewa sana mtu wa Mungu, ukitaka kujua Urusi iko sahihi ni jinsi ambavyo haiko tayari kuona ushoga ndani ya Urusi

  • @safarilager51
    @safarilager51 10 місяців тому +2

    Nakuelewa sana

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 10 місяців тому +2

    Ubalikiwe sana mtu wa mungu

  • @daudluswema-mx3ok
    @daudluswema-mx3ok 9 місяців тому

    nakukubari sana piga injili,

  • @mabadamabada8631
    @mabadamabada8631 10 місяців тому +2

    Kwanza mambo ya Mungu ni kwamba Dunia hii Njia ni pana na Mlango ni Mpana kwa watu wanaopotea na njia ni nyembamba na mlango ni mwembamba kwa watu wanaoelekea kwa Kristo, Sasa kama ni hivyo ili Upone nenda kinyume na maeneo watu walikojazana, au kushabikia, au kuona ndio kweli, UTAPONA jitenge nenda maeneo yenye wachache, yenye washabiki wasio wengi ndiko kwenye kweli ya Mungu. kwa sababu Uongo ni Mwingi kuliko Ukweli. watu wengi wakisema israeli hii ndo ya yakobo wewe kataa. Utapona

    • @michaelobed3022
      @michaelobed3022 10 місяців тому

      Umeongea jambo kwa kufikiria haswaa🎉

  • @oskakayombo9335
    @oskakayombo9335 10 місяців тому +1

    ubarikiwe

  • @ElihurumaElimwokozi-tx8mh
    @ElihurumaElimwokozi-tx8mh 10 місяців тому +3

    Mimi napenda kuchangia Sana hizi hoja kwa maana mimi namwelewa Sana mwalimu wetu Nabii Eliya wewe unaempinga njoo na maandiko kama yeye tukusikilizae kwa maana mimi mwenyewe ni msomi mzuri wa biblia nyie wote mnao mpinga Nabii Elia mna roho ya tomaso sasa achenimsimkiri YESU KRISTO na kuacha dhambi msubiri unyakuo, kumbukeni wale waliompinga KRISTO nakumuua mpaka leo wapo

  • @godfreykazimoto1737
    @godfreykazimoto1737 10 місяців тому +1

    Inahitaji utulivu sana kumuelewa eliya ukikurupuka huwezi ambulia kitu utaishia kusema muongo ni huelewi kitu yaani hata kama hujui andiko hata moja marekani,ufaransa na uk ni wakuisaidia israel na tabia zao? Haya watashinda kifwatacho jiulize mara mbili mbili

  • @JoJo-xh7ph
    @JoJo-xh7ph 10 місяців тому +1

    Mkuu leo umeongea kitu ambacho kila siku nilikuwa nawaambia wenzangu hawa siyo israel. Haiwekani waisrael wafanye umafya na uhuni kama hawa

  • @ibrahimnaftar9037
    @ibrahimnaftar9037 10 місяців тому +2

    Duuuuh nabii nakuelewa

  • @fujioba5741
    @fujioba5741 10 місяців тому

    Ukweli mtupu.mungu akubariki.

  • @tsombesestpended5317
    @tsombesestpended5317 10 місяців тому

    Thanks

  • @davidkihara9890
    @davidkihara9890 10 місяців тому

    Somo nzuri we need more

  • @neemasanga5333
    @neemasanga5333 10 місяців тому +1

    WEWE KAKA UPO KWA AJILI YA KUWAPOTOSHA WAKRISTO NA WAISRAM
    WASIO JIELEWA, VITA WAKATI VINAANZA ULISEMA KWAMBA ISRAELI WATAPIGWA, KWA SABABU WALIMKATAA YESU.
    NILITEGEMEA KIPIGO WANACHOPATA WAPARESTINA NILITEGEMEA UONE AIBU UNYAMAZE, BADO
    HUONI AIBU😭 YAANI WEWE NI SHETANI YUPO KAZINI KUPITIA WEWE.

  • @davikastir8193
    @davikastir8193 6 місяців тому

    Ah! Una mengiya kujifunza

  • @emmanuelmathew7613
    @emmanuelmathew7613 10 місяців тому +1

    Nakuelewa sana walimu

  • @JosephBilombelejosbimtungwa
    @JosephBilombelejosbimtungwa 10 місяців тому

    Help me for this please professor Elias
    I wanna no where's the true Israel people physically

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 2 місяці тому

    Wewe ndo ujasomama bibluia

  • @morismwambapa514
    @morismwambapa514 10 місяців тому

    Mungu atuwezeshe kutambua iliyo kweli

  • @emmanuelmathew7613
    @emmanuelmathew7613 10 місяців тому +1

    Inahitaji kuwa na neema ya Mungu kumwelewa Mwalimu huyu na weka pembeni itikadi za kidini halafu fuatilia maandiko katika vitabu vitakatifu iwe Quran au Biblia mwenyewe Soma usimezeshwe na mtu.

  • @petermutuku1289
    @petermutuku1289 6 місяців тому

    Wewe uwezi debate. Mara nyingi tumekuona ukikibia debate .

  • @issaowden4400
    @issaowden4400 10 місяців тому

    Ila mtumishi unakosea kitu kimoja, kuupokea ushoga ni akili ya mtu ko unataka kutuqmbia hao judaism hawatendi dhambi, kama wanatenda ushoga ni mojawapo ya dhambi wanaweza kutenda pia, lakini pia acha kuwakoti watumishi wenzio kuwaongelea namna unavowaongelea hata kama wewe unajua zaidi, Mungu pekee ndio anajua ukweli wa maono haya aliyowaonyesha manabii zake wa zamani.

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 10 місяців тому

    Nabii eliya upo na kusema ukweli sana

  • @NeemaShee-lc7mq
    @NeemaShee-lc7mq 10 місяців тому +2

    Ili kuelewa inahitaji roho ya bwana,,, lkn Mimi nakuelewa

  • @SEMANKA97
    @SEMANKA97 10 місяців тому

    Mimi nashukuru Mungu nilielewa uongo huo wa taifa teule la uongo nikiwa mdogo sana

  • @amosiabdulallh7965
    @amosiabdulallh7965 10 місяців тому +3

    Mpaka aibu wameweka bendera ndani ya kanisa bendera ya isreal, bendera ya isreal ni sample yashetani utajua badae

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa 10 місяців тому +1

    Hata Mimi nimekuelewa

  • @MwandagasyaVicente
    @MwandagasyaVicente 10 місяців тому

    Ansante nabii.
    Swali langu niivi yesu sameshaga kuja Duniyani sasa atarudia tena maraya pili?

  • @paullazaro3127
    @paullazaro3127 10 місяців тому +3

    Sasa mtumishi hiyo habari ya hao mazayuni na mipango yao yakuendesha dunia umepata kwenye vyanzo vipi, nataka kujua hili. Maana hutuambii reference ili tufuatilie na sisi pia.

    • @simonlukiko2850
      @simonlukiko2850 10 місяців тому +1

      Si IPO kwenye BIBLIA ndgu mpka mm bogazi naelewa Wewe uelewi

    • @OmarOmar-vf9dv
      @OmarOmar-vf9dv 10 місяців тому

      Hizo ni nikuu za maandiko cndo reference au.

  • @zachariamwita3926
    @zachariamwita3926 10 місяців тому

    Kwa kweli Kulingana na Matendo ya Hawa Mayahudi sizani Kama wanaeleweka kama ndio wenyewe Pamoja na Kusaidiwa na Wana magharibi Wenye tamaduni za kisenge

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 10 місяців тому

    Wewe ndiyo shetani mkubwa.tena mpinga kristo. Shetani mkubwa.toka hapaaaaa

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 10 місяців тому

    Dunia itamgeukia israel
    Kama ataendelea na vita
    Mda sio mrefu itadhirika
    Sio kuhusu dini bali humanity

  • @ReubenBanyemaa-mt4pi
    @ReubenBanyemaa-mt4pi 10 місяців тому

    Unasema Vimeanza 1948 je,aakina samson na wafilisti ,daudi na Goliath nawengi. Kwenye. Bible ni wanani haao?

  • @IreneLyse
    @IreneLyse 9 місяців тому

    Kwanza hujanijibu maswali yangu hukumbuki au???

  • @shafiismaily9223
    @shafiismaily9223 10 місяців тому

    Urusi ndiyo kwenye ukiristo wa zaman, orthodox Christian, hawa ndiyo wakiristo halisi!

  • @josephezekielmasolwa8283
    @josephezekielmasolwa8283 10 місяців тому

    Ufunuo 22:16

  • @georgekamosi9501
    @georgekamosi9501 10 місяців тому +2

    Bila shaka hata akitikea mtu akufundishe hautakubali maana tayari umejikinai na ufahamu wako.

  • @IreneLyse
    @IreneLyse 9 місяців тому

    Umezeheka vibaya

  • @AliNgurudu-i4r
    @AliNgurudu-i4r 10 місяців тому

    Wewe mwenyewe muongo

  • @fredykephacy5166
    @fredykephacy5166 4 місяці тому

    Huyu jamaa nimkweli kbs

  • @mwakatundujr1674
    @mwakatundujr1674 10 місяців тому

    Mafundisho yenye kupotosha

  • @paulmwangi3438
    @paulmwangi3438 10 місяців тому

    I heard you saying that there is nothing like star of David in scriptures! Read Rev 22:16.

    • @princematumbo
      @princematumbo 10 місяців тому

      Your understanding capacity is shallow.what he said the Zionists are using the star of David and claiming to be the Jews..
      Usibebwe ufala.

  • @edwardlizer
    @edwardlizer 10 місяців тому

    Israeli inayotakiwa kubariki ni ipi kibiblia?

  • @cosmaspeterkamugisha2988
    @cosmaspeterkamugisha2988 10 місяців тому

    Acha uongo sawa kuwa Makini kile unasema sawa
    Gogu na magogu sio Zionism sawa

  • @ahmadjuma2538
    @ahmadjuma2538 10 місяців тому +1

    Waambie wengi wanadhani hawa Israel Fake ndio watoto wa Mungu lakini hawajui kwamba hapo Tel Aviv ndo kitovu cha madhambi ya kila aina yani hata Yesu wanamkataa

  • @richardnott4403
    @richardnott4403 9 місяців тому

    Huwa na kuelewa sana mafundisho yako ni ukweli mtupu hata baadhi ya WAZUNGU wanaamini ile israel ya mchongo

  • @kabwangaselemani5228
    @kabwangaselemani5228 10 місяців тому

    Huyu si ndio alijifanya sheikh sasa kageuka Nabii wa kikikristo jamani tuwe wakweli ukiwa mkristo sema na ukiwa muislamu sema sio kuchanganya mambo

  • @AlfonceLukanga
    @AlfonceLukanga 10 місяців тому +1

    TOA SOMO WANGINE WAMEZALIWA JUZI TU MABADILIKA YA DINI HAJUI

  • @allanlyombile7014
    @allanlyombile7014 10 місяців тому

    Wewe ni muislamu unatafuta mbinu za kuwageuza Wakristo wawachukie Waisraeli ili wawaunge mkono Waarabu basi tukuone ukijaribu pia kuwashawishi Waislamu ili wawachukie Waarabu (Palestina) hiyo kazi unayoifanya unapoteza muda bure kwani huwezi kuwabandua Waislamu kwa Waarabu pia huwezi kuwabandua Wakristo kwa Waisraeli.

  • @fredmbossa-kc3qn
    @fredmbossa-kc3qn 9 місяців тому

    zionism hao ndo waanzilishi wa freemasonry ,,,

  • @musamsangi1610
    @musamsangi1610 10 місяців тому

    Mimi naomba kueleweshwa kwanini hawatumii biblia ila wanatumia kitabi kinaitwa Torah,hii torah ni nini?

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 10 місяців тому

    Kumbe ww ndio nabii Eliya aliyeanzisha dhehebu kule kigoma baada kustaafu Tanesco ?

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 10 місяців тому

    Wewe ndo humjui yesu wala mungu wa yesu kristo kama mungu arisema tuwabariki israeli ninani wakupinga mwongo mkubwa wewe ukristo haupo kama wewe unapotosha watu kama vip lud uisram kwanza unatubana nainjili yako mbovu kama we wayesu ingia miguu yote miwi so uislam mala ukristoo

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 10 місяців тому

    Mji mkuu wa israel pale telaviv ni kosa la jinai kutaja kristo ni miaka miwili jela ukimtaja kristo hii mapadri hawasemi

  • @FelicianMgala
    @FelicianMgala 10 місяців тому

    hujui unachosema pole muslawewe

  • @GodlisternTsere-yz1lc
    @GodlisternTsere-yz1lc 10 місяців тому

    Huyu jamaa anachanganya anipigie nimfundishe

  • @issaowden4400
    @issaowden4400 10 місяців тому

    Umekazania sana vifungu viwili mtumishi😂😂😂😂😂

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 10 місяців тому

    Wengi nchi ni wachungaji wa mchongo hata Maskofu ni waongo tu

  • @BAYYINATDMTV
    @BAYYINATDMTV 10 місяців тому

    ua-cam.com/users/livennGQTNZVamc?si=LonDbUiTN7fazybu
    Je Sinagogi la Shetani ni Waisrael (Uf 3:9)

  • @MwagalaMaganga
    @MwagalaMaganga 10 місяців тому

    Don't 😅lie

  • @emmanuelkajiba8035
    @emmanuelkajiba8035 10 місяців тому

    Yani mtumishi nakuelewaga sana mafundisho yako japo jamii ya walio wengi hawawezi kukuelewa

    • @hamisikalama1286
      @hamisikalama1286 10 місяців тому

      Kitu nmependa jinsi anachambua vyema waumini mueleweni huyu bwana anazungumzia ibilisi na Mungu Bali si ukristo Wala Uislamu, yusawa huyu jamaa

  • @hafidhumawimbi7972
    @hafidhumawimbi7972 10 місяців тому +1

    Mtumishi huogopi watakuua??

    • @andrewnyenza
      @andrewnyenza 10 місяців тому

      Hawawezi.
      Ufunuo wa Yohana 11:3-9
      Nami nitawaruhusu mashahidi wangu wawili nao watatoa unabii siku elfu miambili na sitini hali wamevikwa magunia
      -------- ---
      Nao wana amri juu ya nchi----
      Yeyote atakae kuwadhuru moto hutoka vinywanj mwao na kuwala adui zao.
      🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mpendwa Nabii Eliya hafi na wala hakuna atakayemuweza mpaka Yesu Kristo anarudi duniani.
      Upo hapo🤣🤣🤣🤣🤣
      Tunayo bahati kubwa sana

    • @hafidhumawimbi7972
      @hafidhumawimbi7972 10 місяців тому

      Na wewe ni mmoja wapo?

  • @AliNgurudu-i4r
    @AliNgurudu-i4r 10 місяців тому

    Wanavokuchukia waislam mbwa weeeeeeeeeeee

  • @pelespeter3993
    @pelespeter3993 10 місяців тому +1

    Tena huenda wewe ndio mpinga Kristo maana unafundisha mafundisho ya siyokuepo kabisa yakufikirika bila hata maandiko na bii wa uongo ngoja kesho Gwajima atakujibu siumemchokoza mwenye subiri majibu

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 10 місяців тому

      Ikiwa yeye hana maandio toa maandiko yako basi ili na sisi tuone ili tulinganishe, yake na yako yapi yamejengwa kwa hoja basi

  • @EvJackson777
    @EvJackson777 10 місяців тому

    Unajua kuna mda wewe mzee unachokichambua hua unaona kipo sahihi sana arafu kumbe ni zero cha kufanya acha kuchanganya wali na mchanga dili na kimoja utajua ukweli wewe umekalili tu maandiko lakini ujui kutoa mihuri ya kwenye maandiko unapotosha watu tu

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 10 місяців тому

    Shetani hyoooooooooooo

    • @farajisewe7416
      @farajisewe7416 10 місяців тому

      Hili ndio tatizo letu.
      SikilizaZ,tafakari,fanya uchunguzi,then comment.
      Tatizo tumekaririshwa . Mungu ametupa akili za Nini.// ..

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 10 місяців тому

    Naukitaka kujua kua hili sinagog la shetani
    Angalia walivyo ingia katika OAU
    Wanacho kitafuta nikitu gani
    Katika umoja wa nchi za Africa?
    Jiulize

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 10 місяців тому

    Mpinga kristo huyoooooo.huna hoja wewe.

  • @SEMANKA97
    @SEMANKA97 10 місяців тому

    Wala usifanye dialogue yeyote na mazionists utachafua roho yako. Wateule ni wale tu wanaoami uongo wa kizionist umeundwa na Israelizo ya sasa, marekanoz, uingerezoz na italiyoz. Na vibaraka wao waliosambaa kila kona ya dunia

  • @bensonmanyalape7802
    @bensonmanyalape7802 10 місяців тому

    Uwe na unàtoa na ushaidi sio maneno matkupu

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 10 місяців тому

    We mzee unazeeka vibaya😂😂😂😂

  • @edwardlizer
    @edwardlizer 10 місяців тому

    Israeli inayotakiwa kubariki koi

  • @cosmaspeterkamugisha2988
    @cosmaspeterkamugisha2988 10 місяців тому

    Unadanganya watu

  • @pelespeter3993
    @pelespeter3993 10 місяців тому

    Achakudanganya watu Israeli ni Israeli na Urusi ni Urusi kadanganye watoto wasio na Akili kwamba Urusi ndio Israeli na Israeli nigogu huo ni ukichaaa mkubwa

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 10 місяців тому

    Sinagogi la shetani ni wewe. Kwani Zaman waana wa yakobo mbona walimkosea MUNGU sana tu.

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 10 місяців тому

    Unafafanua maono yako ! Km wanaunda taifa na wkt wa vita wanaweka kando tofauti zao, hoja yko inayeyuka, kuhusu hayo ni imani kiama wanaacha kila mtu atachukua mzigo wake mwenyewe !

    • @BONGOINMOTION
      @BONGOINMOTION 10 місяців тому

      Kwani tz tukivamiwa baadhi wapigane wengine watulie

  • @changarawemichael5556
    @changarawemichael5556 10 місяців тому

    Elias anachanganya kati ya vita ya gogu na magogu na vita ya Al magedon au katika uislam maarufu kama Al malhama au Al qubra

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 10 місяців тому

    Tusubiri tuone.unyakuo hupo. Hiv huyu vpi? Jamani huyu ndiye mpinga kristo hv unasoma biblia gani wewe shetani. YESU atakuja mara mbili. Mpinga kristo hilooooo.

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 10 місяців тому

    Una maanisha ulitaka kuona taifa la watu wenye mkakati wa kuiona pepo la Israel !

  • @juliusjoseph6320
    @juliusjoseph6320 10 місяців тому

    Acha ujinga wako ,unafundisha ukweli..ila unafundisha uongo

  • @jicholafursa7058
    @jicholafursa7058 10 місяців тому

    Huwezi kum question Gamanywa kuhusu mafundisho ya biblia, ukataka tukuamini wewe never.

    • @OmarOmar-vf9dv
      @OmarOmar-vf9dv 10 місяців тому

      Hamna kitu pale hata angesoma miaka mia mbili gamanywa nothing

  • @jacobtandila2019
    @jacobtandila2019 10 місяців тому

    Wameweka benders mpaka makanisani😅

  • @samuelkahuro7758
    @samuelkahuro7758 10 місяців тому

    Israeli wote wataokolewa. Warumi 11: 25 . Please be informed that whether Zionists or Judaism GOD has a divine plan for the Israelites for us Gentiles let be born again properly and prepare for the Glorious coming of the Messiah during the Rapture, Revelation 16 vs 15, 1Cor.15 vs 50-51 , 1Thess. 4 vs 13- 18
    And there's is the second coming of the Messiah to establish His Rule here in the World with the Raptured church.

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 10 місяців тому

    Na hawa Christian Zionists wako namna mbili:
    1) Christian Zionist Weupe
    2) Christian Zionist Weusi

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 10 місяців тому

    Sinagogi la shetani si ndio misikiti au??

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 10 місяців тому

      Ndio ulivyoeleweshwa na kulishwa matango pori hivyo na mapadri?

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 10 місяців тому

      @@salimali-rf9er kwaiyo sinagogi sio msikiti?kama kukalilishwa basi nimekalilishwa na kina mazinge🤣🤣

  • @rosepallangyo1352
    @rosepallangyo1352 10 місяців тому

    Mh!!!!! Wewe uko upande ganii? Wa dini ama Mungu ktk kristo?

  • @HildaPaul-hm4jk
    @HildaPaul-hm4jk 10 місяців тому

    Sasa maandiko yatatimia vipi acha yaliyotabiriwa yatimie

  • @harounalubbaid8585
    @harounalubbaid8585 10 місяців тому

    SASA KAMA HAO UNAWAITA ZIONIST KWANINI UNAAMBATANISHA NENO VIONGOZI WA KIROHO, AU UNAWAOGOPA?