UFUNUO WA KUCHA NA NYWELE, NABII SUGUYE KAUPATA WAPI? SIO UCHAWI HUU?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    UA-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#2022

КОМЕНТАРІ • 285

  • @babumrisha
    @babumrisha 2 роки тому +3

    Chomoza TV mbarikiwe sana kwa kazi mnazozifanya., kuutafuta ukweli na kumpa mtu nafasi ya kufafanua alichokiamini yeye

  • @GaspardKayembe
    @GaspardKayembe 6 місяців тому

    Think you prophet for this revelation

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 2 роки тому +11

    Mimi hauwezi kunidanganya wewe suguye na mwamposa na kuhani Musa.. Ninyi mnatumika na kuzimu na wasihi mtubu kabla hamjafa.... Hacha uongo
    By Mch Denis

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 роки тому

      Hawa ni kuzimu kabisa Hawa..kuweni waangalifu..kuwanyoa nywele anataka awatoe kafala na kuwa control kichawi...uyo TB Joshua mwenyewe hakua mtumishi wa Mungu..

    • @JosephMunisi-xj5yu
      @JosephMunisi-xj5yu Місяць тому

      Uchawai huo

  • @harunione19
    @harunione19 2 роки тому +4

    watu wangu wanaagamia kwa kukosa maarifa ndugu zangu tuwe makini sana na hawa manabii wa uongo,kwenye bibili hakuna kisima cha mpenyo yeye kakitoa wapi anipe madiko hicho kisima cha mpenyo kilipo andikwa hapa ni uchawi mtupu ni wakala wa shetani na ushidwe kwa jina la yesu

  • @esmeraldastanley4886
    @esmeraldastanley4886 2 роки тому +6

    Baba yako Tbjoshua hakuwahi kufanya hayo, we umeyapata wapi mwanae?
    Tubia dhambi hii Suguye , Mungu anakupenda . Kumbuka Yesu anajitosheleza katika mambo yote !

  • @thereseuwezo9449
    @thereseuwezo9449 2 роки тому +2

    Hapo Amejionyesha wazi sass Amefika mwisho wake hivo kwa JINA LA YESU ASHINDWE NS KULAANIWA
    AMEN 🙏

  • @judymasunzu7517
    @judymasunzu7517 2 роки тому +6

    Hamna Mungu hapo. Acheni kumsingizia Mungu.

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 роки тому +1

      Nimefurahai sana watanzania mmeanza kuamka

  • @mackfasonmoshi4629
    @mackfasonmoshi4629 Рік тому

    Chomoza TV Hongera sana kwa Kazi nzuri ya Kutuhabarisha mambo. Naomba pia ufanye mawasiliano na Mtumishi aitwaye Marco...aliyetoa ushuhuda fulani unaotrend mitandaoni k.k PROMOVER TV...Sasa lipi ni lipi??? Barikiwa..

  • @williamsmasanja9476
    @williamsmasanja9476 Рік тому +3

    Ni kweli agano LA kale nywele zilikuwa na nguvu na ndio ilikuwa nadhili kuu.inaitwa nadhili ya mnadhili,mfano Samson.lakini inakuwa hivyo,nywele zikiwa kichwani tu,wembe usipite kichwani,samsoni wembe ulipopita agano likafa,why nywele na kucha no vitu vilivyo hai ndio maana vinaota na kukua,ukivikata vinakuwa vimekufa,uwezi kupeleka mazabauni vibudu,wachawi ufanya hivyo kwa sababu shetani utumia vitu vilivyokufa,mfano maiti nk

  • @everlynenyakegita9184
    @everlynenyakegita9184 2 роки тому +4

    Nashukuru mungu kwa sababu ameanza kuwaanika sasa

  • @amosdamian7308
    @amosdamian7308 2 роки тому +1

    Nakuelewa mtumishi wangu endelea kutumikia mungu wetu amen nipo naww

  • @amishnathbaraka6177
    @amishnathbaraka6177 2 роки тому +1

    Mm nakuelewa prophet mungu aliyembinguni hazihakiwi! Hata wakati wa yesu wengi walichelewa kumuamini nawengne walisema nimuongo ila alipokufa ndo walimuamin fanya kazi yamungu

  • @karolshirima8935
    @karolshirima8935 2 роки тому +6

    Tusipokuwa na misingi ya Neno na Roho mtakatifu kuwa na nguvu kwa kumtumia mtu wa ndani basi nafsi zetu zitayasikia yale ya kipepo na kudhani kasema Mungu...uzuri mmoja Roho wa Mungu hatakinzana na neno la Mungu...laa nguvu za kipepo ziko kazini...na zitawafunga wengi mwisho wa siku ni shida kubwa kwa vizazi...anayetaka kumtumikia Mungu acha neno lake Bwana liwe dira yake...

    • @xxxxxxx6013
      @xxxxxxx6013 2 роки тому

      Nywele na kucha
      Kumbukumbu La Torati:21.11-13
      ukaona kati ya mateka mwanamke mzuri, ukafanya tamaa kwake, ukawaza kumtwaa kuwa mkeo; ndipo umchukue kwenu nyumbani kwako, naye atanyoa kichwa, akate na kucha; avue na mavazi ya uteka wake akae nyumbani mwako, awakalie matanga babaye na mamaye mwezi mzima, kisha uingie kwake uwe mumewe, naye awe mkeo.

      Bwana Yesu asifiwe sana sana.
      Nami kwa neema ya Mungu niliyojaliwa kwa sehemu yangu , nimeona vema kukuletea neno hili ,ili angalau upate ufahamu ambao utakupa msaada wa kukutoa sehemu moja kwenda nyingine.
      Kuna wakati ndugu mmoja aliwai kuniuliza swali ,nini maana ya kuota nywele na kucha vinakatwa.
      Kupitia mistari hii ya Biblia tutafahamu kwa sehemu.
      Ukisoma kumbukumbu la torati 21:11-12; utaona neno linaeleza kuwa kuota unakata au unakatwa kucha , unanyoa au unanyolewa nywele , ni ishara ya wazi kuwa wewe ni mateka, ya ufalme au utawala Fulani.
      Kulingana na hiyo mistari ni kwamba ufalme au utawala, unapokuona kuwa we unafaa kwa ajili ya masilahi au mambo yao, na ukakutamani sana , uwe upande wao, uwezi kuwa upande wao bila ya kukuingilia na kukumiliki kiroho , na ili kukumiliki lazima wakupe mashariti au kanuni au sheria zao ,sasa kule kukufanya ukubaliane na hizo kanuni au sheria zao ndio kule kuona unakata au unakatwa kucha na nywele.
      Ili uwe mtu wa kwao na waweze kukuunganisha na mambo ya ufalme wao ,lazima wakupe mambo yatakayo ku kubadilisha na kukufa uendane na mazingira na mambo yao ,kwa hiyo unapoona ndotoni ukata au unakatwa kucha na nywele tambua kuwa unapewa ujumbe wa kukuonyesha kwamba kuna ufalme au utawala ambao umetokea kukupenda na kukutamani sana kwa masilahi yake ,na umekuteka na kukufanya wa uo ufalme.
      Ukiona namna hiyo hapo ujue pia kuna mpaka mambo ya kurithi ya ufalme au utawala fulani ndani ya familia au ukoo pia yako ndani yako ,yamerithishwa pia ndani yako na yanatawala na kuyaendesha maisha yako.
      Kwa hiyo unapojikuta unaota ndoto za kukatwa kucha na nywele tazama pia ni mazingira yapi unayokata au kukatiwa hiyo kucha au nywele.
      Kumbumbu la Torati 21:12, inatueleza ivi , “ndipo umchukue kwenu nyumbani kwako , naye atanyoa kichwa ,akate na kucha;”
      Tazama hilo linachosema ,sijui kama umeanza kuona kitu cha ajabu hapo.
      Ni kwamba uko uhusiano mkubwa sana kati ya mazingira ya ukataji au ukatwaji wa kucha zako na nywele na nguvu ya roho inayotawala kwenye hilo eneo la aridhi au nchi ndani ya familia au ukoo ulioko uko ndani.
      Yule ndugu aliambiwa kuwa ili uweze kumfanya mwanamke mzuri ,uliyemtamani na kumteka ,awe wa upande wako na umuoe yaani ummiliki na kumtawala ,lazima uhakikishe unamtoa kwenye eneo fulani na kumpeleka kwenye eneo la kwako na akifika kwenye eneo la kwako , akate au akatwe kucha na nywele zake na asipokata au kukatwa hizo kucha na nywele huyo awezi au hatofaa kuwa wa kwako au wa upande wako.
      Sikia ni ivi unapokuwa umeota unakatwa au unakata kucha tambua mambo yafuatayo yako juu yako ;
      1) Umetekwa au umeshikiliwa na ufalme au utawala fulaniKumb² 21:11
      2) Maisha yako yameamishwa kutoka kwenye maisha yako ya kawaida na kuwekwa chini ya mamlaka inayotawala kiroho kwenye eneo la ukoo au familia fulani, iwe ya kwako au ya mume au ya rafiki na n.k.
      Hapa utakuta kama zile roho zenye nguvu zilizokuamisha na kukuingiza katika ufalme wao ambao unapenda uwe wa upande uo na kukutawala au kukumiliki uko ,utashangaa kama azitaki uwe tajiri uwezi kuwa tajiri ,hata kama umesoma mpaka darasa la mwisho ,zikigoma zimegoma ,utakuwa wa maisha ya kiwango cha chini tu ,kama uko ndani ya ukoo au familia zimesema kuwa hapa hakuna kupata uzao ,uwezi kupata uzao ,utaangaika wee jasho litakutoka lakini wapi, miaka inaenda upati watoto, kama zimesema kuwa hakuna mafanikio ya aina yoyote kupatikana basi na maisha yako yatakuwa ivyo ivyo tu ,ufanikiwi maana wao ndio wanaokumiliki na wenye nguvu ndio wameamua juu yako maana ni mateka wao.
      Mara nyingi ukiwa kwenye ndoto za namna hii utashangaa ndoto zako za kimaisha ,maendeleo yako , hatima yako , utakuta zinavurugika zote na unaona Mara ukitaka kufanya jambo jema fulani ,mara kinainuka hiki na hiki na linavurugika kabisa.
      3) Maisha yako yameingizwa ndani ya agano ambalo linafanya ufalme au utawala fulani kuyamiliki maisha yako ,kiuhalali kabisa Kumb² 21:13.
      Agano linapokuwepo mahali kwa watu ,hata kama awapendi kutawaliwa au kumilikiwa na roho ya ufalme fulani , watatawaliwa na kumilikiwa tu ,wapende au wasipende.Agano ndilo linaloamua , sio watu walioko ndani ya familia au ukoo ,bali lile agano ndilo linalofanya maamuzi fulani fulani uko ndani , likiamua kuwa ukatwe kucha na nywele ili uwe mkiwa ,maskini ,tasa ,mlevi ,mzinzi ,kahaba au mchawi au muabudu mizimu lenyewe limeamua tu na utakuwa ivyo kama ujapata wa kukutoa na kukukomboa uko.
      Mambo ya kufanya unapojikuta uko ndani ya mambo hayo;
      a)Kataa elimu au mafundisho potofu yanayotolewa ndani ya ukoo au familia yako.Kwa sababu kulingana na Wakolosai 2:8 ; zile elimu potofu na mafundisho hayo ndizo zinazotumika kukufanya uwe mateka ndani ya koo au familia.
      Kataa mambo ya kimila na desturi na tamaduni ambazo aziko kwa jinsi ya mafundisho na elimu ya Yesu kupitia neno lake hata kama mtoaji hayo mafundisho na elimu ni mtu wa dini fulani nzuri.Mfuate Yesu kama Wakolosai 2:9 isemavyo.
      b) Ikiwa umejikuta umeingizwa uko kwenye mila na desturi zilizo kinyume na neno la Mungu au unajiona kabisa kuwa ni wazi unamilikiwa na falme falme za Giza ,fanya toba na uombe Mungu kwa Yesu Kristo ,akutoe uko kama Wakolosai 1:13 isemavyo.

    • @karolshirima8935
      @karolshirima8935 2 роки тому

      @@xxxxxxx6013
      Yaani unataka kuniambia kucha za watu zimechukuliwa hivyo tukate kucha tuzipeleke kanisani ili kupata ukombozi? Ni uzuzu na unayempelekea kucha hizo ni mganga kabisa na mchawi...unaleta porojo za torati ambazo huwezi kuoanisha na kupeleka kanisani kucha zako? Tuache uganga na mambo ya kipepo tufanye yale aliyotuagiza Yesu kufanya...huu ni uganga na uchawi tu...

  • @michaelgershon9077
    @michaelgershon9077 2 роки тому +2

    Mtumishi ubarikiwe, Mungu awe nawe. 🙏🙏🙏

  • @godfreymlay3634
    @godfreymlay3634 2 роки тому +2

    Mh!!!!! Jamani kwa jambo hili sasa la kucha ya kidole cha kushoto na nywele za kisogoni kiukweli mm sijui yatosha kusema kwa mambo haya Wacha Mungu mwenyewe aseme au asimamie mambo haya sipingani na nabii hila Mungu mwenyewe anajuwa yote juu yetu

  • @gestinabunganiekuya6300
    @gestinabunganiekuya6300 2 роки тому +9

    Ila shetani ni mjanja lakini Yesu mnazareth ni mwisho wake kaona waganga wanaopiga ramri hawamletei watu wa kutosha, kaamua kuleta waganga wakienyeji makanisani kwa kutumia jina la Yesu, swali Yesu yupi? Au Mungu yupi

  • @daudmwanzela9343
    @daudmwanzela9343 2 роки тому +5

    Suguye hafanani kabisa na Tb Joshua maana Joshua hakuwa na mtindo wa kukusanya fedha kwa watu kwa njia ya kuuza upako, wala tena Tb hakuitwa kuwa ni Nabii mkuu na aliepuka sana kuitwa mkuu na alijishusha sana .
    Huyu ameigiza mambo machache sana kwa Tb Joshua kama vile Yale yasiyohusiana na maslahi na style za Tb Joshua za kuombea, ramani ya jengo, lakini pia Tb Joshua alikuwa na wanafunzi wake aliowafunza huduma wakati huyu ni yeye siku zote

    • @hellaskarras1567
      @hellaskarras1567 2 роки тому

      Kubwa la wachawi hilo tunajua

    • @isayamwasile3103
      @isayamwasile3103 Рік тому

      Huna taarifa za kutosha kuhusu TB Joshua,endelea kujifunza kuhusu hbr zake upate ufahamu zaidi

  • @djmacho5395
    @djmacho5395 2 роки тому +2

    Suguye mungu anakuona, wachawi na waganga, mmekimbilia makanisani, olewenu Sikuzaja,mnataka sadaka hata hamfundishi neno ila miujiza tu, nampenda sana mtumishi casian. Anaongea ukweli,

  • @christinemugeni414
    @christinemugeni414 2 роки тому +9

    Kagame was very right here in Kenya we have witch doctors in the name of prophets.

    • @userocitymedia
      @userocitymedia 2 роки тому

      He's a Tanzanian not Kenyan prrzzz

    • @christinemugeni414
      @christinemugeni414 2 роки тому

      Who said he's Kenyan

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 роки тому

      Huu Baba ni mganga wa kienyeji daah Inasikitisha sana watu wanao sali kanisa hili

  • @daviddavid-gq8zp
    @daviddavid-gq8zp Рік тому

    Huo siyo ufunuo wa Lord Jesus!Hayo ni Mashetani yamekupandisha mkenge bro!!Fanya utubu usipoteze muda....Ubarikiwe.

  • @hebrew1214
    @hebrew1214 7 місяців тому

    Mafunuo ya uongo kama hayo (nywele na kucha) yamezaa imani nyingi sana za uongo.
    Wewe unayejiita nabii acha kuwapotosha watu kwa kuyapotosha na kuyapindisha maandiko ya Mungu yaliyonyooka.

  • @petermangale9314
    @petermangale9314 2 роки тому +3

    hapa Leo tumepigwaaa brother James kimbieni huko

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 2 роки тому

    polen

  • @meshackmyumpu2139
    @meshackmyumpu2139 2 роки тому +5

    Loh, kweli kazi ipo. Safari ya kwenda mbinguni si lelemama, inahitahiji kuwa na kiu na kuchukua hatua za kumhitaji Mungu wa kweli kuliko kutafuta miujiza ya ghafla bila kujua chanzo cha miujiza yenyewe. Mungu atusaidie, watu watiwe ufahamu wa kuijua kweli ya Mungu.

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia 2 роки тому

      Unamaanisha nn Sasa, hvyo unataka watu wasitendewe, BWANA asijidhihitishe kwa watu wake kwa miujiza, Sasa utajuaje kwamba BWANA yupo bila yeye kujionyeshea ishara zake kwa watu wake, eti watu kutafuta miujiza, Sasa unataka uwe na MUNGU asie na ishara, ukiona hvyo wewe unataka mungu mfu, sio MUNGU ALIE HAI(YESU KRISTO), BWANA WA MAJESHI, AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA MBINGUNI NA DUNIANI, wewe kama ushamzoea mungu tulia nae, tuachie sisi MUNGU wetu ALIE HAI atende miujiza, tulia na mungu bubu wako asie tenda Wala kusema

    • @enockdaudi5009
      @enockdaudi5009 Рік тому

      Swala la Meza ya BWANA, ni Jambo alilolianzisha Yesu mwenyewe. Swala la ufunuo wa nywele na kucha Ni ushirikina, tumepewa jina la Yesu tu Hakuna ufunuo mwingine.

  • @successconcious703
    @successconcious703 2 роки тому +5

    Which God are you talking about Mr. Sir.? awafungue nini kwani Yesu alikuja kufanya nini.? Kipi ambacho Yesu hakukimaliza pale msalabani kupitia mauti na ufufuo wake?

  • @vennimogaka1344
    @vennimogaka1344 2 роки тому

    Mungu atusamehe...Nalia

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb 2 роки тому +2

    1 timotheo 4:1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine wataikana imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; 2kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;

  • @penuelfullsalvationchurch3350
    @penuelfullsalvationchurch3350 2 роки тому

    Jimy napenda sana Kaz Yako nishakuelewa bro big up sana ..

  • @xxxxxxx6013
    @xxxxxxx6013 2 роки тому

    Kimbukumbu la torati 21.11-13,
    Usipoelewa reply ntakuelewesha vzr
    Yupo sahihi tujifunze neno

  • @emanuelizakaria2084
    @emanuelizakaria2084 Рік тому

    Huu ni upotoshaji unaofanyika kupitia jina la Yesu tusitumie jina la Yesu vibaya

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 2 роки тому +3

    Mwili wa Yesu ni Neno la Mungu...."Mimi ndimi chakula kilichoshuka kutoka MBINGUNI".

  • @endlessloveofchristlovewor9991
    @endlessloveofchristlovewor9991 2 роки тому +3

    Galatians 1:8-9kjv
    8 But though we, or an angel from heaven, preach any other gospel unto you than that which we have preached unto you, let him be accursed.
    9 As we said before, so say I now again, if any man preach any other gospel unto you than that ye have received, let him be accursed.

  • @djmacho5395
    @djmacho5395 2 роки тому +1

    Manabii wa uongo mmekuwa wengi mnafanya biashara hizokucha na nywele ni uchawi,mshindwe kwa jina la yesu alie hai.

  • @apostlepeterdan2336
    @apostlepeterdan2336 2 роки тому +1

    Manabii mko serious kweli ok ni sawa.

  • @asminmakoha6889
    @asminmakoha6889 Рік тому

    Wacha mungu afanye KAZI Yake mungu wanazarit wanaanza kujitambua wenyewe mungu turumie

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 2 роки тому +13

    Manabii wa uongo ndio hawa imeandikwa, yeremia 23: 25 Nimesikia waliyoyasema manabii wanaotaniri uongo kwa jina langu wali Sems, nimeota ndoto, nimeota ndoto. 26: je mambo hayo yatakuwa katika moyo ya manabii wa aitabiri uongo hata lini, manabii hao wenye udanganyifu katika mioyo yO wenyewe? Wanaodhania kuwa watawasahaukisha watu wangu jina langu kwa ndoto zao, wanazomhadithia kila mtu Jirani yake, kama vile baba zao walivyolusahau jina langu, kwa ajili ya Baali. Hakuna Mungu hapo kwa akiba la Yesu Mungu atawaangamiza na huyo Chomoza TV Mungu hadhihakiwi. Nimefirahi sana watumishi wa kanisa la KKKT jana waliposhighulika na upotoshaji huu. Mungu mbariki Kagame aluyewatendea watu wake kwa kuwinda na manabii wa aina ya Suguye

    • @amosdamian7308
      @amosdamian7308 2 роки тому

      Hahahahaha mungu akupe ufunuo wahakili lasivyo umepotea

    • @xxxxxxx6013
      @xxxxxxx6013 2 роки тому +1

      Nywele na kucha
      Kumbukumbu La Torati:21.11-13
      ukaona kati ya mateka mwanamke mzuri, ukafanya tamaa kwake, ukawaza kumtwaa kuwa mkeo; ndipo umchukue kwenu nyumbani kwako, naye atanyoa kichwa, akate na kucha; avue na mavazi ya uteka wake akae nyumbani mwako, awakalie matanga babaye na mamaye mwezi mzima, kisha uingie kwake uwe mumewe, naye awe mkeo.

      Bwana Yesu asifiwe sana sana.
      Nami kwa neema ya Mungu niliyojaliwa kwa sehemu yangu , nimeona vema kukuletea neno hili ,ili angalau upate ufahamu ambao utakupa msaada wa kukutoa sehemu moja kwenda nyingine.
      Kuna wakati ndugu mmoja aliwai kuniuliza swali ,nini maana ya kuota nywele na kucha vinakatwa.
      Kupitia mistari hii ya Biblia tutafahamu kwa sehemu.
      Ukisoma kumbukumbu la torati 21:11-12; utaona neno linaeleza kuwa kuota unakata au unakatwa kucha , unanyoa au unanyolewa nywele , ni ishara ya wazi kuwa wewe ni mateka, ya ufalme au utawala Fulani.
      Kulingana na hiyo mistari ni kwamba ufalme au utawala, unapokuona kuwa we unafaa kwa ajili ya masilahi au mambo yao, na ukakutamani sana , uwe upande wao, uwezi kuwa upande wao bila ya kukuingilia na kukumiliki kiroho , na ili kukumiliki lazima wakupe mashariti au kanuni au sheria zao ,sasa kule kukufanya ukubaliane na hizo kanuni au sheria zao ndio kule kuona unakata au unakatwa kucha na nywele.
      Ili uwe mtu wa kwao na waweze kukuunganisha na mambo ya ufalme wao ,lazima wakupe mambo yatakayo ku kubadilisha na kukufa uendane na mazingira na mambo yao ,kwa hiyo unapoona ndotoni ukata au unakatwa kucha na nywele tambua kuwa unapewa ujumbe wa kukuonyesha kwamba kuna ufalme au utawala ambao umetokea kukupenda na kukutamani sana kwa masilahi yake ,na umekuteka na kukufanya wa uo ufalme.
      Ukiona namna hiyo hapo ujue pia kuna mpaka mambo ya kurithi ya ufalme au utawala fulani ndani ya familia au ukoo pia yako ndani yako ,yamerithishwa pia ndani yako na yanatawala na kuyaendesha maisha yako.
      Kwa hiyo unapojikuta unaota ndoto za kukatwa kucha na nywele tazama pia ni mazingira yapi unayokata au kukatiwa hiyo kucha au nywele.
      Kumbumbu la Torati 21:12, inatueleza ivi , “ndipo umchukue kwenu nyumbani kwako , naye atanyoa kichwa ,akate na kucha;”
      Tazama hilo linachosema ,sijui kama umeanza kuona kitu cha ajabu hapo.
      Ni kwamba uko uhusiano mkubwa sana kati ya mazingira ya ukataji au ukatwaji wa kucha zako na nywele na nguvu ya roho inayotawala kwenye hilo eneo la aridhi au nchi ndani ya familia au ukoo ulioko uko ndani.
      Yule ndugu aliambiwa kuwa ili uweze kumfanya mwanamke mzuri ,uliyemtamani na kumteka ,awe wa upande wako na umuoe yaani ummiliki na kumtawala ,lazima uhakikishe unamtoa kwenye eneo fulani na kumpeleka kwenye eneo la kwako na akifika kwenye eneo la kwako , akate au akatwe kucha na nywele zake na asipokata au kukatwa hizo kucha na nywele huyo awezi au hatofaa kuwa wa kwako au wa upande wako.
      Sikia ni ivi unapokuwa umeota unakatwa au unakata kucha tambua mambo yafuatayo yako juu yako ;
      1) Umetekwa au umeshikiliwa na ufalme au utawala fulaniKumb² 21:11
      2) Maisha yako yameamishwa kutoka kwenye maisha yako ya kawaida na kuwekwa chini ya mamlaka inayotawala kiroho kwenye eneo la ukoo au familia fulani, iwe ya kwako au ya mume au ya rafiki na n.k.
      Hapa utakuta kama zile roho zenye nguvu zilizokuamisha na kukuingiza katika ufalme wao ambao unapenda uwe wa upande uo na kukutawala au kukumiliki uko ,utashangaa kama azitaki uwe tajiri uwezi kuwa tajiri ,hata kama umesoma mpaka darasa la mwisho ,zikigoma zimegoma ,utakuwa wa maisha ya kiwango cha chini tu ,kama uko ndani ya ukoo au familia zimesema kuwa hapa hakuna kupata uzao ,uwezi kupata uzao ,utaangaika wee jasho litakutoka lakini wapi, miaka inaenda upati watoto, kama zimesema kuwa hakuna mafanikio ya aina yoyote kupatikana basi na maisha yako yatakuwa ivyo ivyo tu ,ufanikiwi maana wao ndio wanaokumiliki na wenye nguvu ndio wameamua juu yako maana ni mateka wao.
      Mara nyingi ukiwa kwenye ndoto za namna hii utashangaa ndoto zako za kimaisha ,maendeleo yako , hatima yako , utakuta zinavurugika zote na unaona Mara ukitaka kufanya jambo jema fulani ,mara kinainuka hiki na hiki na linavurugika kabisa.
      3) Maisha yako yameingizwa ndani ya agano ambalo linafanya ufalme au utawala fulani kuyamiliki maisha yako ,kiuhalali kabisa Kumb² 21:13.
      Agano linapokuwepo mahali kwa watu ,hata kama awapendi kutawaliwa au kumilikiwa na roho ya ufalme fulani , watatawaliwa na kumilikiwa tu ,wapende au wasipende.Agano ndilo linaloamua , sio watu walioko ndani ya familia au ukoo ,bali lile agano ndilo linalofanya maamuzi fulani fulani uko ndani , likiamua kuwa ukatwe kucha na nywele ili uwe mkiwa ,maskini ,tasa ,mlevi ,mzinzi ,kahaba au mchawi au muabudu mizimu lenyewe limeamua tu na utakuwa ivyo kama ujapata wa kukutoa na kukukomboa uko.
      Mambo ya kufanya unapojikuta uko ndani ya mambo hayo;
      a)Kataa elimu au mafundisho potofu yanayotolewa ndani ya ukoo au familia yako.Kwa sababu kulingana na Wakolosai 2:8 ; zile elimu potofu na mafundisho hayo ndizo zinazotumika kukufanya uwe mateka ndani ya koo au familia.
      Kataa mambo ya kimila na desturi na tamaduni ambazo aziko kwa jinsi ya mafundisho na elimu ya Yesu kupitia neno lake hata kama mtoaji hayo mafundisho na elimu ni mtu wa dini fulani nzuri.Mfuate Yesu kama Wakolosai 2:9 isemavyo.
      b) Ikiwa umejikuta umeingizwa uko kwenye mila na desturi zilizo kinyume na neno la Mungu au unajiona kabisa kuwa ni wazi unamilikiwa na falme falme za Giza ,fanya toba na uombe Mungu kwa Yesu Kristo ,akutoe uko kama Wakolosai 1:13 isemavyo.

  • @RechoKalabo
    @RechoKalabo Рік тому

    Mimi Ni mjamzito naelekea kujifungua lakini nimepeta tatizo la kuangusha kila nikishikacho naomba msaada kutoka kwa nabii suguye

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 2 роки тому +6

    Watu wasome maandiko wapate maarifa, maana neno linasema ktk: 2Corinth 2:9-10, Mungu atawacha wapotee ktk uongo huo maana wameamini hivyo🤔🤷

    • @mwemamella1483
      @mwemamella1483 2 роки тому

      Shetani sasa anafanya kazi zake live ndani ya majengo wanayoyaita Makanisa.

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani Рік тому

    Hakuna kilichobaki mbele ya kifo Cha Yesu imeandikwa Yesu alichukua yote si nusu laana zote zilimalizika msalabani.

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому

    Zitazameni njia zenu msianguke upotevuni, yapimeni maandiko. Msije kuwa connected na madhabau za kuzimu.

  • @pastorrobertnyamboba881
    @pastorrobertnyamboba881 2 роки тому +1

    Hili mtumishi nikali, hata kama umepewa Ufunuo huu Ufunuo hauendani na Neno la Mungu maana hamna jipya au ufunuo ulio zaidi ya Neno la Mungu au ulio juu ya Neno nahakuna katika Biblia aliye fanya hayo hata Yesu mwenyewe hatukuona akifanya hayo. Aliye na masikio na asikie na aliye na macho aone haya.???.

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 2 роки тому +5

    Pia shetani ako na ufunuo juu MUNGU awezi kusema hivo apana tunakata kabisa

  • @florencendatila9183
    @florencendatila9183 2 роки тому

    Mhhh😭

  • @isaacgichane
    @isaacgichane 2 роки тому +1

    God's people PERISH for lack of knowledge.

  • @janethmosses9820
    @janethmosses9820 2 роки тому

    Mhhhh jamani mimi sijamaliza kusoma bibilia lakini prophet katu piga na kitu kizito huu ufunuo ifikie mahali watu wamuhubiri YESU KRISTO na sio vinginenvyo

  • @leahjoel1239
    @leahjoel1239 2 роки тому +1

    Amen mtumishi

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 2 роки тому

      Kautoa kuzimu yeye ni mganga mbona anaonekana wa mwilini Moto ulioongezwa ukali Mara Saba unakusubiri mnaongoza maerfu y watu kuzimu

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 2 роки тому

    Ni Mungu gani aliyemwambia hayo? Ni mungu wa herufi ndogo na siyo Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.
    Kweli siku za mwisho kutakuwa na manabii wa uongo na sasa wamekwishakuwepo. Mungu anaanza kuwafunua.

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Рік тому

    Balaa hili

  • @Mduduonlinetv
    @Mduduonlinetv 2 роки тому

    Bw mtangazaji unahoji kwa.kuogopa unaemhoji na kujificha kwenye blanketi ili kufuata matakwa ya mhojiwa? Udhaifu huu

  • @apostlepeterdan2336
    @apostlepeterdan2336 2 роки тому +1

    Ni sawa lakini 1yohana4:1 jitetee tu.

  • @melchzedekackim8360
    @melchzedekackim8360 2 роки тому +3

    Anae hoji inaonekana ni mshilika pamoja ko ni mchongo Io ni ngumu kumeza

  • @pstyothamusabuye4111
    @pstyothamusabuye4111 2 роки тому +11

    Ufunuo lazima upimwe na Neno, sio kila ufunuo unatoka kwa Mungu. Kapete theology acha upotoshaji

  • @babumrisha
    @babumrisha 2 роки тому

    The mistake many christians do today is to think and believe they know it all, that they have God all figured out!! That they have experience in God and His ways. Let me tell you sth...you know nothing yet, we are poor and patheticaly ignorant. The wize will hold his peace and ask God for the truth of this matter

  • @bennyjohn1412
    @bennyjohn1412 2 роки тому

    Uyo Ni Shetani kabisa akuna ufunuo kama uwo Sisi piya Ni watumishi wa Mungu ktk Kristo Yesu akuna vitu kama hivyo tunajuwa sasa Ni kipindi cha malango kufunguka kwa Neema ktk Kristo Yesu

  • @daddysalha5883
    @daddysalha5883 2 роки тому

    Mungu ajakutuma Mungu ajawahi kuwa mushirikina acha uwongo hayo maneno utayatoleya esabu siku moja Mungu atumiki kama mwanadamu uyo ni uwingo shetani njo unamutumikiya na siyo Mungu

  • @filimonmpinge6039
    @filimonmpinge6039 2 роки тому

    Manabii wa uongo hawa ukisoma 1yohana 4:1 Wapenzi msiiamini kila roho Bali zijaribuni hizo roho kwamba zimetokana na MUNGU kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea Duniani/ wengi wanakuja na mafundisho ya uongo ambayo yapo nje ya biblia wanataka kuwafundisha watu kwa kisingizio kwamba wamefunuliwa na roho mtakatifu kitu ambacho siyo kweli ndugu zangu someni biblia acheni uvivu hawa wanaojiita mitume na manabii hawa wengi wanamafunuo ya uongo

  • @mwemamella1483
    @mwemamella1483 2 роки тому +4

    Hakuna ufunuo hapo, ni utapeli na uchawi kama uchawi mwingine. Ninashangaa mnavyomuita "Mtumishi wa Mungu" Mungu yupi...???

  • @deborahkaparay2174
    @deborahkaparay2174 2 роки тому

    Ça reste a vérifié !

  • @jessicamorrison289
    @jessicamorrison289 2 роки тому +2

    Huyo Mungu wako ni shetani. Acha uongo. Jina la Yesu linatosha kuwaokoa watu bila kuwatuma watu hivyo vitu. Shetani kabisa wewe. Hiyo injili haipooo.

  • @fredricorsa9601
    @fredricorsa9601 2 роки тому

    Dadyyy

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Рік тому

    Mimi Tangia Kanisa Lake Lifungwe Usingizi Auji Mtamu Kwasababu Wakati Wa Maombi Yake Mpaka Jilani Yangu Alikuja Kuniomba Eti Niwe Naweka Nyimbo Kwasababu Sauti Ya Uyu Mchungaji Ilikua Inamchoma Moto Usiku Alali Mwili Wake Unawaka Moto Kumbe Jilani Alikuwa Na Mapepo Nikweli Kucha Mate Nywere Unyayo Wachawi Ndio Zawadi Zao Izo Yuko Sawa Mbona Sisi Tunazika Lakini Wezetu Wanachoma

  • @bonfacemwakapenda8857
    @bonfacemwakapenda8857 2 роки тому

    mungu yupi?

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 2 роки тому +1

    Like father like son the sign of the cross iko juu ya pyramid hapo mlangoni kuna maandishi na hiyo ni sign of an eye these false prophets are doomed

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 роки тому

      This man he is into occultic worshipping marine kingdom.nimeona maji happy.sign ya marine kingdom under the water.ndg zangu kuweni making asije watoa kafala uyu baba

  • @catherinepeter385
    @catherinepeter385 Рік тому

    Uyo SI mungu alikuletea uo ufunuo uo ni uchawi nabii wa kuzimu uyu

  • @juliethnyagawa4102
    @juliethnyagawa4102 2 роки тому +2

    Aaaaaaaa!!! kwa neno gani umelisimamia kweli hizi ni siku za mwisho manabii wengi wa uongo watatokea na kudanganya wengi

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia 2 роки тому

      Tupe ishara za nabii wa KWELI na wauongo ukiliweza hlo ntakusikiliza

  • @nabiimuimbaji
    @nabiimuimbaji 2 роки тому +1

    Nikikuangalia hata sion kama una Yesu ....ila Mungu anajua nisikuukum sana...

  • @eveeric173
    @eveeric173 2 роки тому

    Watu wangu wanahangamia kwakukosa marifa Metheli hiyo ninyi manabii Mungu anawahona nawe kaka unamsifia poleni sana kwako

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani Рік тому

    Jifunze Kwa mjumbe wa agano duniani ili uingie katika ufalme wa mbinguni huu ni wakati wa habari njema sio kuacha na nywele hayo yanatoka kwa mwovu. Ndio yenu iwe ndio nahayo ni hapana.

  • @emmanuelmisalaba3169
    @emmanuelmisalaba3169 2 роки тому

    Hii channel ni forum ya manabii wa uongo

  • @georginamshani1007
    @georginamshani1007 2 роки тому +1

    T Joshua amesaidia sana watu lakini alikuwa atangazi alikuwa anawashika mkono kinywa kinywa lakini watu walikuwa wanapona sio kama hivyo, pia hakuna MTU atakae mfikia alikuwa nimtu wakipekee sana, jaribu kuliwaza hilo, kifungu kipi hicho ulichokitumia!? Tb Joshua alikuwa musoma biblia alimokuwa akiongozwa na neno. Tb Joshua said that you must read the bible slowly, attentively and repeatedly. Back sijamuona anae fanana nae. Tb Joshua alikuwa niwavitendo mpaka watu wanaendelea kupona kwakutumia mafundisho yake.

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro 7 місяців тому

    Suguye wewe ni Nabii wa Mungu aliye hai, nimehudhulia kanisani kwako uko Vema sana, Mungu anakutumia mno

  • @anastaziaclement1034
    @anastaziaclement1034 2 роки тому +2

    Jamani jamani yesu naomba Hawa manabii uwaabishe kabla desemba

  • @olivaerasto6669
    @olivaerasto6669 2 роки тому

    Mungu tuhulumie sisi wakosefu.

  • @karolshirima8935
    @karolshirima8935 2 роки тому

    Duh!
    Bwana unayeishi safari hii inaendelea kuwa ndefu sana...kutoka ktk misingi ya neno lako...misingi ya uovu watu wameifanya kuzidi nguvu jina lako...yale tuliyoyaona mababu zetu wakifanya kwa mganga Marungu ndo yanafanyika madhabahuni,ushirikina...

  • @hellaskarras1567
    @hellaskarras1567 2 роки тому +2

    Lichawi hilo na hata wanao mfata Mungu awafungue maana imeandikwa watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 роки тому

      Hahahahaha 🤣🤣😅😂 nimefurahai kuona watu awataki kudanganywa na uchawi

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani Рік тому

    Utakatifu ni NENO LA KWELI, sio vitu vya mwilini,WABUDUO HALISI ni katika roho, mwili wa Yesu ni Neno,mkate ilikuwa ni mifano sio halisia damu halisi IPO kwenye NENO sio mizabibu hiyo ilikuwa mifano, hivyo mifano sio halisi.

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani Рік тому

    Mimi ni mjumbe wa agano duniani,nimesema wazi sio utani kwamba, Hakuna mtume na nabii wa kweli leo wanatimiza unabii ya kuwa watatokea manabii wengi sio wachache ni wote, Sasa ni saa ya mjumbe wa agano duniani.

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani Рік тому

    Hiyo iliyofanyika na Yesu ni jinsi ya kuficha Neno.

  • @weldersirinimakelemopeter4671

    Ukweli HAPO ni kwamba huyo anaekuhoji ni mwandishi wa habari na sio mwandishi wa Biblia. Isitoshe halijui neno ndio maana anasikoliza tu angelikua analijua neno mngebishana. Utamshinda kwa sababu hajui neno.

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 2 роки тому

    Kama ni Mungu huna haja ya kujitetea

  • @apostlepeterdan2336
    @apostlepeterdan2336 2 роки тому

    Mungu kweli mko serious nabii mathayo24:24 matendo13:6 marko12:38-44

  • @pintymelodytz913
    @pintymelodytz913 2 роки тому

    Kristo tutetee🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻😭

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb 2 роки тому +1

    2.petero 2Manabii wa uongo na adhabu yao
    1 Lakini kulitokea manabii wa uongo katika wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako waalimu wa uongo, watakaoingiza kwa werevu uzushi wa kupoteza, wakimkana hata Bwana aliyewanunua, wakijiletea uharibifu usiokawia. 2 Na wengi watafuata ufisadi wao; na kwa hao njia ya kweli itatukanwa. 3 Na kwa tamaa yao watajipatia faida kwenu kwa maneno yaliyotungwa; wao ambao hukumu yao tangu zamani haikawii, wala maangamizi yao hayasinzii.

  • @oscarpelesi18
    @oscarpelesi18 2 роки тому

    Ukiiongelea issue ya meza ya Bwana ilikuwa wazi hata wakati Bwana Yesu anashiriki kabla kwenda msalabani...ilitumika mzao wa mdhabibu na mkate usio na chacu..
    Ila hii ya kucha na nywele ni ngumu kueleweka kwa sbb haina support ya maandiko...Dah ila tuko mahali pagu kanisa na issue za mafunuo

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 2 роки тому

    Mungu ni mwema ukifanya utani naye anakuumbua

  • @carenhilary8067
    @carenhilary8067 2 роки тому

    To me no comment

  • @esmeraldastanley4886
    @esmeraldastanley4886 2 роки тому

    We

  • @hamislukas6543
    @hamislukas6543 Рік тому

    Swali langu hizo nywele ulizipeleka wapi? Yesu aruditu mpema mmetuchosha na uchawi wenu

  • @chamimdesa148
    @chamimdesa148 2 роки тому

    Mimi Sina shaka juu ya Mitume, but swali langu ni "Wapi ktk Biblia Mitume walikuwa wanamilika kanisa? Na kwann Mitume wapo mjini tu? Asomae na AFAHAMU

  • @bonifasemmanuel4700
    @bonifasemmanuel4700 2 роки тому

    Mungu hajakufunuli wewe,sema ni mpango wa adui,ktk kuwafunga watu nyota zao ili wewe uinuliwe,wao wawe, chini, sio Mungu wa Mbinguni wewe, ni baba yako Mungu wa kuzimu,

  • @maggiemagdalena3006
    @maggiemagdalena3006 2 роки тому

    Mungu wetuu ni munguu asiyezuiliwa na muda wala mahali auu umbalii wakristoo mungu atusaidie tuwe na imani Thabith tutaepukana na manabii wa uongoo mungu atusaidie San mm huyu nabii nmekuona Naina video zake fb mm Kam mm naogopa sana hawa manabii watumia majii cjuii mafuta nakuwa na doubt nao eeh mungu tusaidie tutembee katika mapenz yako

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 2 роки тому +1

    Kumbe tb joshua ni wa upande wake, loo jamani hebu kimbieni hawa watu sio wazuri kabisa, ni wachawi waliovaa suti

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 роки тому

      Alafu Wala aoni aibu kesema TB Joshua ni Baba ake wa kiroho.wakati inajulikana TB Joshua hakua mtumishi wa Mungu

  • @yohanapeter5275
    @yohanapeter5275 Рік тому

    Mungu anawafunua manabii wa uwongo uyu ni mshilikina kabisa afai

  • @rithasimoni6212
    @rithasimoni6212 2 роки тому

    Aisee wacha wamcheze mungu wataenda kujibu yote hayo siku ikifika

  • @yohanampayo1798
    @yohanampayo1798 2 роки тому

    Ufunuo ni lazima utoke kwa mungu a pia lazima upimwe katika neno la mungu kama unaendana na neno la mungu?

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa 6 місяців тому

    Hamna kitu hapo mashetani 2

  • @barnabasngoma2248
    @barnabasngoma2248 2 роки тому +2

    Ila wewe suguye nina mashaka na wewe sana.Usimzingizie Tb Joshua yey hakuwa anafanya mambo kama hayo.

  • @shokakazini7135
    @shokakazini7135 2 роки тому

    Hawana kitu....hao...nilienda hapo bila kufahamu nikasema nionyeshwe madhabahu..Swali hilo lilileta shida....Kuzimu tu hapo

  • @bennyjohn1412
    @bennyjohn1412 2 роки тому

    Una kipindi kirefu ktk ushetani wako unatumiya maandiko ya Mungu ktk Kristo Yesu vibaya Kazi unayo shetani Mkubwa

  • @aganolamotoeliya2027
    @aganolamotoeliya2027 2 роки тому

    Sasa hao waumini wako wameenda vitani????? Je walioolewa ni mateka????.