WAPALESTINA (WAISLAM) KWA MUJIBU WA QUR'AN NI WAKATI WA KUONDOKA KUWAPISHA WAISRAEL JERUSALEM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 581

  • @JobJackson-i3k
    @JobJackson-i3k 11 місяців тому +38

    Kama wewe ni Mkristo like button hiii❤❤❤

    • @seiflugendo7141
      @seiflugendo7141 11 місяців тому

      Sijui umemuelewa huyu sheikh au umekurupuka.

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 11 місяців тому

      umeelewa au

    • @hassanmkangwa2062
      @hassanmkangwa2062 10 місяців тому +1

      Sasa wewe unayesema kama wewe ni Mkiristo weka alama ya kopa ❤. Unafikiri ISRAEL inautambua Ukiristo. Subiri sisi waislamu watatuuwa tutakwisha, unafikiri kina nani watafuata ?

    • @seiflugendo7141
      @seiflugendo7141 10 місяців тому

      @@hassanmkangwa2062 Hao Hawajitambui wanadhani eti mayahudi ni wakristo wenzao🤣🤣🤣🤣.

    • @HamisiR
      @HamisiR 6 місяців тому

      Akili huna wewe

  • @abdallahhamisi6721
    @abdallahhamisi6721 5 місяців тому

    Jazakallah khayr,Allah akuongoze na sote kwa ujumla

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 11 місяців тому +24

    Naupenda UKRISTU kwa moyo wangu wote.Asantee Bwana Yesu sofa kwako❤❤❤

    • @karemera_jr6371
      @karemera_jr6371 11 місяців тому +2

      Uyaudi sio Ukristo

    • @sokakilumbi9293
      @sokakilumbi9293 11 місяців тому +1

      MKRISTO SOMA HII👇UELIMIKE!!
      👉 Kulingana na mfumo wa uainishaji wa Ofisi Kuu ya Takwimu nchini (CBS) (data ya 2021), imetoa takwimu kuwa takriban ya asilimia 73.8 ya watu wa ISRAEL ni Wayahudi , asilimia 18 ya watu wa ISRAEL ni Waislamu, asilimia 1.9 ya watu wa ISRAEL ni Wakristo, na asilimia 1.6 ya watu wa ISRAEL ni Druze.
      na idadi hiyo ya asilimia 1.9 ya wakristo ndani ya ISRAEL ni ya wahamiaji(wanafunzi na wafanyakazi kutoka mataifa mengine) na sio wazawa.
      ... sasa kutokana na takwimu hiyo ndogo mno ya idadi ya wakristo ndani ya ISRAEL . Wala huna haja wewe unaejiita mkristo kuishobokea Israel kwasababu haikuhusu kabisaa!!
      na ujue kuwa Imani ya Uyahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti kabisaa
      kwasababu WAYAHUDI wao wana amini hivi👇katika imani yao ya kidini
      ➡️Mungu ni mmoja tu, hana kasoro wala kosa. ila kwa imani ya wakristo Mungu sio Mmoja. soma👇
      1 Wakorintho 11:3
      Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.
      ➡️Mungu hana mwili, hafanani na kitu chochote duniani. ila kwa wakristo Mungu anao Mwili. na alishawahi kupigana mieleka na Yakobo na Mungu akapigwa. soma👇
      Mwanzo 32:24
      Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
      ➡️Dini ya Kiyahudi inafundisha kwamba Yesu wa Nazareti hakuwa Masihi wala "Mwana wa Mungu" . Katika mtazamo wa Kiyahudi ibada ya mtu(Yesu) inaonekana kwao kama aina ya ibada ya sanamu.
      ... Muisrael anamuona Mkristo kama muabudia sanamu(MPAGANI) kwa kumuabudia mtu(Yesu).
      👆🏼 nafikiri utakuwa umeshaelewa kuwa Israel wewe haikuhusu. ila ROMA iliyopo Italia ndio inayokuhusu wewe Mkristo kama mji wako mtakatifu! kwasababu ndiko alipozaliwa mwanzilishi wa imani ya ukristo.
      soma👇
      Matendo ya Mitume 22:28
      ... mimi ni Mrumi wa kuzaliwa.
      Kuanzia leo wewe Mkristo unayejitambua unatakiwa mapenzi yako yote uyatoe Israel na uyapeleke kule wanakotoka Mapapa (Italia) sababu huko ndipo panapo wahusu.
      ...Na labda usichokijua kuhusu Mataifa ya Ulaya kwanini wanamsaidia Myahudi(Israel) dhidi ya Muislamu(Palestina).
      kwasababu Uislamu ndio dini pekee inayokataa mifumo yao ya Anasa.
      Uislamu unapiga vita
      * ushoga(ndoa za jinsiamoja)
      * kubadili jinsia
      * midoli ya kufanyia mapenzi
      * kamari
      * riba
      * pombe
      * Uzinifu
      * mitandao ya picha za utupu
      ... sasa hawa wazungu hata kama wakisikia kuwa waislamu wanauliwa na mbwa basi hapo ujue wao watakua upande wa mbwa. ili kuotokomeza uislamu na waislamu hamu yao ni kuona wanabaki watu wa anasa (Mashoga na Walevi ktk dunia hii.)

    • @seiflugendo7141
      @seiflugendo7141 11 місяців тому

      @@karemera_jr6371 Hawa wakristu washamezeshwa ujinga.

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 11 місяців тому

      ​@@karemera_jr6371wayahudi wapo wengine wakristo, na wengine waislamu wapo, mfano,,, nabii daudi alikua mkristo kabisa, na mtoto wake sulemani alikua muislamu. Hii inatokana na maamuzi ya mtu mwenyewe na vile MUNGU alivopanga.

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 11 місяців тому

      ​@@karemera_jr6371wayahudi wapo wengine wakristo, na wengine waislamu wapo, mfano,,, nabii daudi alikua mkristo kabisa, na mtoto wake sulemani alikua muislamu. Hii inatokana na maamuzi ya mtu mwenyewe na vile MUNGU alivopanga.

  • @ShamsaniOthuman-sr7kh
    @ShamsaniOthuman-sr7kh 11 місяців тому +15

    Mtumishi nakuelewa Sana Mungu akubariki usichoke kutufundisha sisi wanafunz wako.

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 11 місяців тому +17

    ❤❤❤❤❤❤❤karibu kwa Yesu kriso shehe akupe maisha ya ukweli daima

    • @seiflugendo7141
      @seiflugendo7141 11 місяців тому

      🤣🤣🤣🤣🤣sijui kama unajielewa kweli maana unacoment bilahata kuelewa maelezo uliopewa.

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 11 місяців тому

      bibilia inasema aliyelala katika kiristo amepotea au huoni maandiko sasa kwa nini aje kupotea

    • @Kachelo96
      @Kachelo96 2 дні тому

      Apo Irani inae mtafuta co Israel muirani msaudia Iran inaona tu Israel inaipotezea mda

  • @jah9janine994
    @jah9janine994 11 місяців тому +4

    From Kenya.... nakusikiza rabbi .....tufunze Mwalimu mwema

  • @JullyMwanga
    @JullyMwanga 11 місяців тому +3

    Mungu wangu hii ni ile ya Balamu na balaki mpanka punda kusema hooo haleluya kila goti litapigwa Mungu lbariki lsrael Mungu lbariki Tanzania Amina

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 11 місяців тому

      😂😂😂maskin elim ni bora mgeelewa Mana ya ajuja wama ajuja msgesema haleluya 😂😂😂daaaa polen

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 11 місяців тому

      ​@@saphinalutaha9077hawana akili weshapotezwa

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 11 місяців тому +1

    Salaam,kumbe msema kweli yupo,tena with evidence,shukrani sana,lah ingeruhusiwa kufundiswa tuwaache kudanganya Asante sana mtumishi,tuombe yaishe,Palestine wateseka sana wale viumbe wa Mungu

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 11 місяців тому

    Asante nabii eliyasa nakupata vizuri sana unaijua kurahan hadi biblia na histiria ya utume na unabii

  • @frankmwakalinga7455
    @frankmwakalinga7455 11 місяців тому +3

    Mungu akuinue kwa elimu hii , nafuatilia darasa zako ni ukweli mtupu❤❤

  • @joycekoech8277
    @joycekoech8277 11 місяців тому +8

    Leo ni mara yangu ya kwanza kusikiliza mahubiri ya kiislamu...huwa tu naskia Allahuakbar

    • @khalidabas252
      @khalidabas252 11 місяців тому +1

      Hhhh pole sana. Hayo sio mahubiri ya kuislamu. Huyo ni pasta isaya uislamu ni yeye wapi na wapi?

  • @olaismollel7162
    @olaismollel7162 11 місяців тому +2

    Nimekuelewa sana kwakua nilishajifunza vitabu vya unabii Hakika Yesu anarudi eeeeMungu utusamehe na maovu yetu😢😢

  • @preciouslissahparis1352
    @preciouslissahparis1352 11 місяців тому +2

    Nampenda saana,huyu Shehe, Huwa anaongea UKWELI ambao upo katika Quran,unaofichwa,yeye huufunua Tena Kwa aya.

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 11 місяців тому

      Aya gani alotoka katika Quruan huyu km wewe hajui Quruan na huyu ni Mwenzenu

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 місяців тому

      ​@@ahmedzahor2975Quran ameitunga yeye? Au hapo antumia Bible ! Waislamu mnashida Sana nyie Magaidi 😅😅😅

    • @preciouslissahparis1352
      @preciouslissahparis1352 11 місяців тому

      @@ahmedzahor2975 wewe ndio hujui ndio maana hujaona aya alizosoma.

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 11 місяців тому +1

    Asante kwa somo nzuri
    Nakuelewa sana.

    • @FeisalDoctor
      @FeisalDoctor 11 місяців тому

      Lazma umuelew kafir mwenzak

  • @medyproductionTz
    @medyproductionTz 11 місяців тому +6

    Mungu Akuongoze ❤🙏

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr 11 місяців тому +4

    Sema kweli tupu na Mungu Akubariki

  • @fahadhilal1611
    @fahadhilal1611 11 місяців тому +4

    Subhanallah Huna lolote unalolijua Subhanallah

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 10 місяців тому +1

      Mwenzio anaongea kwa hoja na anataja maandiko

  • @hafidhumawimbi7972
    @hafidhumawimbi7972 11 місяців тому +2

    Waa'laykum ssalam wa rahma tullah wa barakatuh!!

  • @mugemanadjafar911
    @mugemanadjafar911 11 місяців тому +6

    Mimi niko kigali lakini mwanzo wa unaabii wako feki umetuchanganya lakini leo kama umeurudiya u islamu upya na kuyasadiki ariyokuja nayo khatamu al'ambiya a wal mur'saliina nabi Muhamad صل الله عليه وسلم Naomba ALLAH atuhidi kwenye njia yake iliyotoka.Amiina

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 місяців тому

      Muongo wew huyu shehe anaongozwa na Quran 😅

  • @MichaelMathew-ke6bi
    @MichaelMathew-ke6bi 11 місяців тому +3

    Uko sawa kabisa. Umesema kweli kabisaaa. Labda niseme tu Mungu akubariki sana ndugu. Endelea kusema kweli.

    • @sokakilumbi9293
      @sokakilumbi9293 11 місяців тому

      MKRISTO SOMA HII👇UELIMIKE!!
      👉 Kulingana na mfumo wa uainishaji wa Ofisi Kuu ya Takwimu nchini (CBS) (data ya 2021), imetoa takwimu kuwa takriban ya asilimia 73.8 ya watu wa ISRAEL ni Wayahudi , asilimia 18 ya watu wa ISRAEL ni Waislamu, asilimia 1.9 ya watu wa ISRAEL ni Wakristo, na asilimia 1.6 ya watu wa ISRAEL ni Druze.
      na idadi hiyo ya asilimia 1.9 ya wakristo ndani ya ISRAEL ni ya wahamiaji(wanafunzi na wafanyakazi kutoka mataifa mengine) na sio wazawa.
      ... sasa kutokana na takwimu hiyo ndogo mno ya idadi ya wakristo ndani ya ISRAEL . Wala huna haja wewe unaejiita mkristo kuishobokea Israel kwasababu haikuhusu kabisaa!!
      na ujue kuwa Imani ya Uyahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti kabisaa
      kwasababu WAYAHUDI wao wana amini hivi👇katika imani yao ya kidini
      ➡️Mungu ni mmoja tu, hana kasoro wala kosa. ila kwa imani ya wakristo Mungu sio Mmoja. soma👇
      1 Wakorintho 11:3
      Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.
      ➡️Mungu hana mwili, hafanani na kitu chochote duniani. ila kwa wakristo Mungu anao Mwili. na alishawahi kupigana mieleka na Yakobo na Mungu akapigwa. soma👇
      Mwanzo 32:24
      Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
      ➡️Dini ya Kiyahudi inafundisha kwamba Yesu wa Nazareti hakuwa Masihi wala "Mwana wa Mungu" . Katika mtazamo wa Kiyahudi ibada ya mtu(Yesu) inaonekana kwao kama aina ya ibada ya sanamu.
      ... Muisrael anamuona Mkristo kama muabudia sanamu(MPAGANI) kwa kumuabudia mtu(Yesu).
      👆🏼 nafikiri utakuwa umeshaelewa kuwa Israel wewe haikuhusu. ila ROMA iliyopo Italia ndio inayokuhusu wewe Mkristo kama mji wako mtakatifu! kwasababu ndiko alipozaliwa mwanzilishi wa imani ya ukristo.
      soma👇
      Matendo ya Mitume 22:28
      ... mimi ni Mrumi wa kuzaliwa.
      Kuanzia leo wewe Mkristo unayejitambua unatakiwa mapenzi yako yote uyatoe Israel na uyapeleke kule wanakotoka Mapapa (Italia) sababu huko ndipo panapo wahusu.
      ...Na labda usichokijua kuhusu Mataifa ya Ulaya kwanini wanamsaidia Myahudi(Israel) dhidi ya Muislamu(Palestina).
      kwasababu Uislamu ndio dini pekee inayokataa mifumo yao ya Anasa.
      Uislamu unapiga vita
      * ushoga(ndoa za jinsiamoja)
      * kubadili jinsia
      * midoli ya kufanyia mapenzi
      * kamari
      * riba
      * pombe
      * Uzinifu
      * mitandao ya picha za utupu
      ... sasa hawa wazungu hata kama wakisikia kuwa waislamu wanauliwa na mbwa basi hapo ujue wao watakua upande wa mbwa. ili kuotokomeza uislamu na waislamu hamu yao ni kuona wanabaki watu wa anasa (Mashoga na Walevi ktk dunia hii.)

  • @meisanmariah8993
    @meisanmariah8993 10 місяців тому

    Amen Umebarikiwa Sana Baba 🙏

  • @aggreyomusikoyo
    @aggreyomusikoyo 11 місяців тому +1

    ❤❤❤❤ nashukuru kwa mafundisho yako

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 11 місяців тому +4

    Hongera sana kwa ujumbe mzuri bila shaka walimwengu wamesikia kuwa eneo lile ni Taifa teule la Mungu alilowapa wana wa Israel.

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 11 місяців тому

      si waliikataa neema wakalaaniwa kwani ukipewa utajiri halafu ukavuuka mipaka ukafilisiwa utakuwa bado ni tajiri au ilikuwa tu hamuelewi munachoelezwa

  • @Filleduvillage9999
    @Filleduvillage9999 11 місяців тому

    Pole kwa kuwapoteza wenzako.
    Kama hauna elimu bora uliza wanao juwa zaidi yako.Unayo yasema ni upotofu mtupu. Usifasiri maneno ya ALLAH unavyo taka mwenyewe.

  • @mjaaliakhalfan9030
    @mjaaliakhalfan9030 11 місяців тому +3

    {فبما نقضهم ميثاقهم لعناهم وجعلنا قلوبهم قاسية يحرفون الكلم عن مواضعه ونسوا حضا مما ذكروا به ولا تزال تطلع على خآئنة منهم إلا قليلا منهم فاعف عنهم واصفح إن الله يحب المحسنين}

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 11 місяців тому +13

    Ndio maana waislamu wenzio wanakuchukia kwaajili yakutoboa siri mashekh hawasemi ukweli wao kazi ya kupotosha tu😢😢

    • @aziziatumanially424
      @aziziatumanially424 11 місяців тому

      Pengine nao wanapata some hapo pengine hawajui maana wanakimbiliaga kutoa kauri

    • @salehkhamis9994
      @salehkhamis9994 10 місяців тому

      Huyu sio muislam ndio maana tumemkataa alishatoka uislam huyu ni kafiri kama ww

  • @BalekechKarafura-yj9qf
    @BalekechKarafura-yj9qf 11 місяців тому +17

    From congo 🇨🇩🇨🇩nakupata kabisa.tatizo watu weusi awana muelekeo katika ulimwengu utakuta mutu anashabikia uislam ao ukristo bika kujua chimbuko n'a mila na desturi n'a sili ya watu wamashariki yakati, njomana unaona ata maendeleo barani afrika aipo

  • @dottosweetbert8879
    @dottosweetbert8879 11 місяців тому +3

    Huwa nakufuatilia sana masomo yako. Kwa sehemu kubwa umenena sawa ISIPOKUWA kuhusu kurejeshwa Wana wa Israel kwenye ardhi yao SIYO suala la Quran, bali ni la Mungu mwenyewe ALIWAAMURU kurudi Kwa kuwapa ardhi ambayo HAKUNA MTU DUNIANI atawanyanganya kamwe. Soma AMOSI 9:15 ipo wazi na ni kabla ya kuibuka Kwa huyo kiongozi wa dini ya waarabu (Islam) miaka lukuki huko nyuma.

  • @JdTarzan
    @JdTarzan 9 місяців тому

  • @KhadijaKipua-dw7yz
    @KhadijaKipua-dw7yz 11 місяців тому +1

    Waislam tumrudieni Allah mwisho wa dunia umefika tukae tayari sasa

  • @jamesraphaelmdima4729
    @jamesraphaelmdima4729 11 місяців тому

    Maandiko yanasema siku za mwisho Bwana Mungu aseme atawakumbuka na kuwarudia.

  • @jessicajoel6410
    @jessicajoel6410 11 місяців тому +5

    People of Israel and Palestine they will not have peace until both kumkubali YESU kwamba ndie Masihi

  • @silanleon9755
    @silanleon9755 11 місяців тому +6

    Aliwahi kusema Yesu.wakinyamaza hawa,mawe yatashangilia. Kuna wakati Mungu anainua watu tusiowatarajia,kufanya mambo tunayotarajia

  • @SalimKaporo
    @SalimKaporo 11 місяців тому

    Leo nimekuelewa nimekuskiza niishie kusema mungu ni mjuzi zaidi

  • @Tianwang123
    @Tianwang123 11 місяців тому +2

    Upo vizuri

  • @rosekemunto2256
    @rosekemunto2256 10 місяців тому

    Sijasikia Islam msema kweli kama huyu.ni sawa sawa na unabii wa bibilia, Thank you for speaking the truth, Yeshua is coming again as a King,and Israel will confess that indeed was the son of God.

  • @KhadijaKipua-dw7yz
    @KhadijaKipua-dw7yz 11 місяців тому +1

    Mashallah

  • @AdnanMbaehmahmoud
    @AdnanMbaehmahmoud 11 місяців тому +1

    Jamaa halina nuru maskini! Allah akuongoze

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 місяців тому

      Mtu akiongea tu ukweli ni kosa kwa Waislamu 😅

  • @seiflugendo7141
    @seiflugendo7141 11 місяців тому +1

    Ahsante ustadh.

  • @YohanaJoshua-g3p
    @YohanaJoshua-g3p 2 місяці тому

    Muhammad alikuwa hanithi

  • @mjaaliakhalfan9030
    @mjaaliakhalfan9030 11 місяців тому +1

    Allah "Na tumewahukumia Wana wa Israil ktk kitabu yavkwamba watafanya uharibifu mara mbili n watapanda kibur kikubwa" Quran Suratu Israa

  • @paschalcosmas6093
    @paschalcosmas6093 11 місяців тому

    Ikiwa wayahudi walifukuzwa Kwa kosa la kutomwamini Yesu Kristo, je waislamu wanamwani Yesu Kristo kuw ni Mwana wa Mungu na ndiye aliye mkombozi wa ulimwengu?..Amosi 9:14-15" Nami nitawarejesha tena watu wangu Israeli waliohamishwa, nao wataijenga miji iliyoachwa maganjo, nao watapanda mizabibu ktk mashamba na kunywa divai yake. Nao watafanyiza bustani na kula matunda yake, nami nitawapanda ktk nchi yao, nao hawatang'olewa tena watoke ktk nchi yao niliyowapa, asema Bwana Mungu wako"......Ikiwa Mungu mwenyewe ameahidi kuwa waisraeli wakiirejea tena nchi Yao hakuna mtu atakayewang'oa, kwann wewe unahalamisha uwepo wao pale kwenye nchi Yao, tena Kwa kutumia kitabu ambacho kinapinga ukweli wa ahadi ya milele ya Mungu na kuwapa haki waislamu wakati wao pia wanampinga Yesu Kristo tena Kwa kumtukana waz waz?

  • @JdTarzan
    @JdTarzan 9 місяців тому

    Waambie hao ambao hawajui😊

  • @devotakamala9862
    @devotakamala9862 11 місяців тому +5

    Mungu akubariki ukweli mchungu

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 11 місяців тому

      mungeelewa musingeshangiria makafiri bwanaa

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 11 місяців тому +1

    Waislamu Kila CK huwa mnapanga kulifuta taifa la Israel Ila Mungu alishaandika zamani sana zaburi 83:1-7,
    Hapo wametajwa Waishmaeli na mataifa yote ya uarabu lkn Mungu atmesema atawaangamiza na Israel itabaki salama
    Ezekiel 39:25-29

    • @shady-on4jx
      @shady-on4jx 11 місяців тому

      It will go down ilishabarikiwa wakakaidi,wakabarikiwa tena wakakaidi hivo watakua kwenye hasira ya mungu na watapigwa siku moja tho bado muda huo...haiwez kubak salama

  • @mabadamabada8631
    @mabadamabada8631 11 місяців тому +3

    Mtumishi nakuelewa sana, Piga naya kikristo pia video.

    • @KulwaLylian
      @KulwaLylian 11 місяців тому +1

      Pia ni nafikiri ivyo na wakristo wa kweli wakati huu inakuje

  • @rahmasalum1317
    @rahmasalum1317 11 місяців тому +2

    Nibora waondoke kweli lkn nani atawafikishia ujumbe

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 11 місяців тому

    JAZAKA ALLAH KHAIR SHEIKH MA SHA ALLAH NICE LECTURE BUT THE THE BACK GROUND IS VERY NOISY .

  • @MartinMsigiti
    @MartinMsigiti 11 місяців тому +1

    Aamina

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 10 місяців тому

    Dhambi ya kibri ni sawa na shirk

  • @JacklineMmary-e2h
    @JacklineMmary-e2h 11 місяців тому +2

    Kafiri ni mtu yoyote asiyemkubali YESU kristo

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr 11 місяців тому +9

    Mambo yote yatapita lakini Neno litasimama

  • @JacklineMmary-e2h
    @JacklineMmary-e2h 11 місяців тому +1

    Nyie hangaikeni mwisho wa siku anayehukumu ni YESU kristo

  • @Chris-in1vc
    @Chris-in1vc 11 місяців тому +2

    Na kweli, Mimi nasema asilimia 100 ya manabii wametokana na Israeli kwa mujibu wa Quran ( Koran) . Ukisoma kwa makini au peruzi au google Quran 29:27 Iko wazi kabisa kua kwa kiuno Cha isaka pekee ndipo wanatoka manabii na ufunuo ( revelation auaandiko matakatifu), hata Ishmael hapo Allah kamtoa, ingawa ni mtoto safi mbele yake.ina maana Yakobo ndie aliyekamilisha ahadi ya Mungu na baraka za Mungu katika dunia hii. Hii ni kwa mujibu wa biblia na korani.

  • @abdallahjuma4397
    @abdallahjuma4397 11 місяців тому +3

    Aliyeongozwa na Allah hakuna wakumpoteza, na Aliyepotezwa na Allah hakuna wa kumuongoza

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 11 місяців тому +2

    Nakuelewa nabii Eliya

  • @salehkhamis9994
    @salehkhamis9994 10 місяців тому

    Nabii wa michongo

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 11 місяців тому +2

    LAAHAULA WALA QUWWATI ILA BILAH SUBHANALLAH
    ALLAH ATUGHAFIRIYE QABLA HATUJAITOKA DUNIA
    YA RABBI WANUSURU NDUGU ZETU WA KIISLAM

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 11 місяців тому +1

      Wewe kafiri Sema kwa Ukafiri wako usihusishe Uislam na Ukafiri wako

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 місяців тому

      ​@@ahmedzahor2975mmh acha makasiriko hayo yameandikwa na yanatimia..😅

  • @JumahAShabani
    @JumahAShabani 11 місяців тому +2

    Fact

  • @beyondsavanna6028
    @beyondsavanna6028 11 місяців тому +3

    Nuru ya yesu inaonekana kwenye uso wako

    • @vinny.morales
      @vinny.morales 11 місяців тому +1

      Ataokoka siku si nyingi

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 11 місяців тому

      ukweli tunaujua waliinuliwa na wakalaaniwa kwa kupinga kila kitu na amri za mungu halafu kafiri kumbe kweli hana uwelewa ivi unajua juja wa maajuja tafuta mtu akueleweshe ukiijua utalia

  • @ziakaitala2221
    @ziakaitala2221 10 місяців тому

    Nimekuelewa sana

  • @lizzybrownlizzy6094
    @lizzybrownlizzy6094 6 місяців тому

    Wee hujui kitu

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 11 місяців тому

    Waislamu bangi nyingi sana kama qurani inajua like eneo nila waisrael why mkajenge jumba la majini kwenye ardhi takatifu

    • @dullagolo2950
      @dullagolo2950 11 місяців тому

      Naomba nikuulize esrail sio wakiristo na wamemkataa yesu sasa nyinyi munaojifanya wakiristo muko upande upi sasa kumkataa yesu au ndio kiwasha washa

    • @dullagolo2950
      @dullagolo2950 11 місяців тому

      Kwanz huyu jamana sio muislam

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 11 місяців тому

      Kwani Yesu ulimuona anaingia kanisani kusali au kwenye hekaru la wayahudi ...???

    • @dullagolo2950
      @dullagolo2950 11 місяців тому

      Nimekuuliza swali jibu swali sio unafata mikumbo kwakua na ww una cm ya tekno unataka uonekane kwenye coment soma ndugu mana unaonekana pia huijui hata iyo dini yako

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 11 місяців тому

      @@dullagolo2950 Inashangaza mtu kujifanya unaulewa wa dini akati umeshindwa ata kuelewa mwànzilishi wa dini yako ni marehemu,
      Marehemu anaaminiwa na marehemu mwenzie😂😂
      🇮🇱🇮🇱🇮🇱

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 11 місяців тому +2

    Huwa mm ni mmoja wa wanao kupinga mara nyingi,lakini Leo kidogo umefuata maandiko matakatifu.

  • @robertsazi6486
    @robertsazi6486 11 місяців тому +6

    Waislam hii mnaifuatilia au bado mmelala Masjid

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 11 місяців тому

      Ungejiuliza weye, aya iliposema, ARDHI ITARITHIWA,
      SUALI 1, WAPI IMETAJWA KUWA ARDHI ILIOKUSUDIWA HAPO NI PALESTINA AU MASJID AQSWA?
      2) NI WAPI PAMETAJWA KUWA WAJA WEMA NI IZIRAILI WATARITHI ARDHI?
      ☝️kwahio uo ni ujanja wa upotoshaji wa nabii feki. Utakuta hata nabii Musa as (moses) ALIRITHI ARDHI YA FIRAUNI. NA MANABII WENGI WAMEANDIKWA BAADA YA KUANGAMIZWA WATU WAO WACHAFU. HIO HAIONGELEWI KABISAA KUHUSU KUPIGANA VITA WATU WAKAUWA WENZAO ILI WAKAE WAO. HIO HAKUNA KIANA USIIDANGANYE NA NABIY FEKI. UNGEJIULIZA KWANZA, HUYU ELIYA KAPEWA UNABII NA NANI NA LINI NA UPI USHAHIDI WAKE?, KINACHONISHANFAZA KWENU WAKIRISTO NI KUJIFANYA MAZUZU YAANI MTU AKIJIITA NABIY TU MAJAA TELE😂, MMESAHAU KUWA YESU ALISEMA NABIY ATAKUJA MMOJA TU (UFUNUO JUU YA ARABUNI), NA WENGINE NI MANABII WA UONGO

  • @wiza2309
    @wiza2309 11 місяців тому

    Leo umejipambanua vizuri, Yesu unamkiri kuwa atakuja kuhukumu, badala ya kuwaambia ukweli ndugu zako kumkiri Yesu na kumpokea maana unajua atakuja kuhukumu, wewe unawaambia wakimbie wakajipange na vita.... sidhani kama uko sahihi

  • @allenshetuli9100
    @allenshetuli9100 11 місяців тому +1

    Apo sawa shekh

  • @antonykongondo592
    @antonykongondo592 10 місяців тому

    Waondoke wende wapi?

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 11 місяців тому +1

    Nakukubali unasema na kufundlsha ukweli mtupu ardhi ya Israel...

  • @ayubugeorge2168
    @ayubugeorge2168 11 місяців тому +1

    Sina Cha kuandika,

  • @merrymerry5199
    @merrymerry5199 11 місяців тому +4

    Yes waelese.. Hawa watu wenye wanapiga BIBLE

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 11 місяців тому

      Hakuna kitabu Cha Mungu kinaitwa biblia Vitabu ni Taurati Zaburi Injili na Quran

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 місяців тому

      ​@@ahmedzahor2975wew ndio unalijua Hilo na ubaki na msimamo wako lakini pia usitake watu kusimama upande wako Bali na hao wengine wanamafundisho Yao uelewe hivyo😅😅

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 11 місяців тому +1

    Waislam walilaaaniwa na nan?

  • @alfredmnazareth898
    @alfredmnazareth898 9 місяців тому

    Ivi kweli we mkristu ao muislam

  • @bakarimakomola
    @bakarimakomola 11 місяців тому +1

    Allah akirudishe zaidi Mashallah😢 mana umebarikiwa sana elimu

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 11 місяців тому

      Kwa erimu gani apo anayokufundisha?

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 місяців тому

      ​@@khaalidcheo5383Sasa pole kama hujaelewa 😅

  • @wellahsuleiman7881
    @wellahsuleiman7881 11 місяців тому

    MASHALLAH

  • @mbexpro2939
    @mbexpro2939 11 місяців тому +2

    Nakuelewa

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 11 місяців тому

    .....Namshangaa huyu mzungumzaji Dini zote mbili zake.....
    WADANGANYE ''WANAKONDOO'' ILI UENDELEE KULA PESA YAO.
    ''FREE FREE PALESTINE''
    ☝ALLAHU AKBARU☝

    • @vinny.morales
      @vinny.morales 11 місяців тому

      Nenda madrassa wewe acha kelele

  • @mustaphahassan589
    @mustaphahassan589 11 місяців тому

    We mbwa

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 11 місяців тому

    Ata waislael walikuwa na sura mbili kwa Mwenyezi mungu wanataka nauku kwa shetani wanataka ndiyo sababu ya kulaniwa ata wewe usipo kuwa na msimamo wayakini utapata hasara juu wanafiki tu ndiyo wanasura mbili 😢😢pole sana

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 місяців тому

      Haya maneno hajayatunga Bali anaongea kupitia Quran na anasoma kabisa 😅

    • @ibrahimjuma9709
      @ibrahimjuma9709 11 місяців тому

      @@annasolomon9855 hana yakini moyoni ajielewi yuko wapi na anapunguza tafadhari za maneno tambua si bina damu tuko makundi 4.( muminuna Islam). (wanafiki) (mushikuna) (kafiri mwenye kupinga)

    • @mjaaliakhalfan9030
      @mjaaliakhalfan9030 11 місяців тому

      Hata hiyo Quran haijui,n huyu c muislamu ameekti tu n kanzu hiyo n kofia,muislamu wa kweli popote anajulikana,wenye akili ndio wanaozingatia,huyu anapotosha tu

  • @Shariff143
    @Shariff143 11 місяців тому +2

    Na vipi Surat Al Isra Boss verse 4 can you translate it please

    • @hazygardmericho9571
      @hazygardmericho9571 11 місяців тому

      do it for us bro,!
      tupo apa kujifunza
      wengi wetu ni maamuma

  • @YaaHoldings
    @YaaHoldings 11 місяців тому

    Ustad usiogope sema ukueli kua Yesu ni Mungu . Sisi Orthodox Christian we serve God whom we know. He come to us , we touched him and we know him that's the difference between us and others us we know.

    • @abdallahmsuya4813
      @abdallahmsuya4813 11 місяців тому +3

      Vile umeandika kiingereza nikadhani umeandika point😅😅😅 kumbe hata huelewi unachosema. Kanzu ya jamaa imekudanganya unamuita ustadh kumbe lijamaa linajiita nabii Eliya. Anakoroga tu kiarabu ili aonekane anajua kumbe bila bila

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 11 місяців тому +1

      ​@@abdallahmsuya4813😂😂😂 umenena kweri.wengi wa watu niwajinga

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 місяців тому

      ​@@abdallahmsuya4813Sasa Quran ameijuaje na kuitafsir?😅

    • @abdallahmsuya4813
      @abdallahmsuya4813 11 місяців тому

      @@annasolomon9855 Kwani ww ulijuaje kusoma na kuandika?

  • @yohana1242
    @yohana1242 11 місяців тому +1

    Shekh umeleweka

  • @damascenehabarugira6928
    @damascenehabarugira6928 11 місяців тому +1

    Sheikh jichunge vizuri maana ma sheikh wenzako lazima wakutenge kisa kusema ukweli

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 місяців тому

      😅😅 lakini ukweli mara nyingi huchukiwa😅

  • @mosessimkonda6894
    @mosessimkonda6894 11 місяців тому +1

    Hogera sana mkuu

  • @Juniorjacob-le1rr
    @Juniorjacob-le1rr 11 місяців тому

    Shindwa pepo

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 11 місяців тому +2

    Mimi nilijua tu huyu siyo mkiristo ni mwislamu.

  • @planetanimals9547
    @planetanimals9547 11 місяців тому +1

    SAWA LKN INAONESHA UMEUKUBALI UISLAM KWAKUA UNAONGELEA UKWELI MTUPU TOFAUTI NA BIBLE ILIYOCHANGANYWA NAMANENO YAWATU

  • @njanededan9979
    @njanededan9979 11 місяців тому +2

    Wewe usiharakishe kiama ,acha watu wapambane kama ilivyoandikwa na sio kupishwa

    • @shady-on4jx
      @shady-on4jx 11 місяців тому

      Kabisa sabb hata haya yanayotokea yalishapangwa tunasimuliwa ya sasa na hayo mengine yajayo Achill tu mungu anaendesha mambo vile anataka yy

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 10 місяців тому

    Hamza issa alkaddhhhaaaaabun

  • @AnordErio
    @AnordErio 11 місяців тому

    Wana jua ilo sema wabishi tiu

  • @ObeidAbdalla
    @ObeidAbdalla 11 місяців тому

    Uyu Muislam au mkristo

  • @thuweinmassoud9062
    @thuweinmassoud9062 10 місяців тому

    1. عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، قَالَ قَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم: "وَالَّذِي نَفْسِي بِيَدِهِ لَا أَخَافُ عَلَيْكُمْ أَنْ تُشْرِكُوا بِاللَّهِ بَعْدِي، وَلَكِنِّي أَخَافُ عَلَيْكُمْ أَنْ تَنَافَسُوا فِي الدُّنْيَا." (صحيح البخاري)
    هذا الحديث يشير إلى قلق النبي (صلى الله عليه وسلم) بشأن خطر انغماس الأمة في الاهتمامات المادية بدلاً من ادعاء النبوة.
    2. عَنْ أَبِي بَكْرَةَ، قَالَ قَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم: "إِنَّ النَّاسَ يَدْعُونَكُمْ حَيْثُ تَدْعُونَ إِلَى وَلَايَتِهِمْ كَمَا يَدْعُونَ إِلَى طَعَامِهِمْ." قِيلَ: أَفَنَقْصُ عِدَّتُنَا يَوْمَئِذٍ قَالَ: " بَلْ تَكُونُونَ كَثِيرًا وَلَكِنَّكُمْ غُثَاءٌ كَغُثَاءِ السَّيْلِ، وَلَيُنْزِعَنَّ اللَّهُ مِنْ صُدُورِ عَدُوِّكُمْ الْمَهَابَةَ مِنْكُمْ وَلَيَقُذَّفَنَّ اللَّهُ فِي قُلُوبِكُمُ الْوَهْنَ." قِيلَ: وَمَا الْوَهْنُ قَالَ: "حُبُّ الدُّنْيَا وَكَرَاهِيَةُ الْمَوْتِ." (سنن أبي داود)
    يحذر هذا الحديث من خطورة الشهوات الدنيوية وحب الممتلكات المادية الذي قد يدفع الناس إلى ادعاء النبوة.
    3. عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، قَالَ قَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم: "مَنْ كَذَبَ عَلَيَّ مُتَعَمِّدًا فَلْيَتَبَوَّأْ مَقْعَدَهُ مِنَ النَّارِ." (صحيح البخاري)
    يشدد هذا الحديث على عواقب الخطيرة لتزوير النبي محمد (صلى الله عليه وسلم) ونسب إليه ما لم يقله.
    4. عَنْ عَائِشَةَ، قَالَ قَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم: "مَنْ كَذَبَ عَلَيَّ مُتَعَمِّدًا فَلْيَتَبَوَّأْ مَقْعَدَهُ مِنَ النَّارِ." (صحيح البخاري)
    يسلط هذا الحديث الضوء على خطورة نشر المعلومات الزائفة أو الادعاء بشكل كاذب عن النبي محمد (صلى الله عليه وسلم).
    تلك الأحاديث تعتبر تذكيرًا بجدية وعواقب ادعاء النبوة بشكل زائف أو نسب المزاعم الكاذبة إلى النبي محمد (صلى الله عليه وسلم).

  • @imranjuma1197
    @imranjuma1197 11 місяців тому

    Ukweli ndio huu🙌

  • @AdenJackson-b8w
    @AdenJackson-b8w 11 місяців тому +1

    Ukweli mtupu sheh

  • @damymzuri9989
    @damymzuri9989 11 місяців тому +1

    Tillmaaidaah

  • @azizimasenga3893
    @azizimasenga3893 11 місяців тому +1

    Tangulia sasa!!.,Eti muislaamu!!!.

    • @MattarMuhammed-d6s
      @MattarMuhammed-d6s 11 місяців тому

      Ndo nashangaa

    • @shady-on4jx
      @shady-on4jx 11 місяців тому

      Nlijua nashangaa pekeangu kama imeandikwa itaenda kama ilivopangwa

  • @chrisdeoglatias8665
    @chrisdeoglatias8665 11 місяців тому

    Umesema UKWELI KABISA japo kw ubishi WA WAISLAM watakuona kafiri maana nliwah sikia kuwa kw mujibu WA uislam KUDANGANYA KWA LENGO LA KUTETEA DINI N SUNNA kwhyo ukiongea UKWELI utaonekana kafiri zaidi.

  • @ashasalum7684
    @ashasalum7684 11 місяців тому

    Hhhhhh dah bado uko hai broo,mungu akuweke hai ujeulipe ulichopanda

  • @presenterkabuma1646
    @presenterkabuma1646 10 місяців тому +1

    Acha usenge kuma weee

  • @MRHURUMAHuruma
    @MRHURUMAHuruma 11 місяців тому +1

    Ndugu napenda maneno yako japo si kila kitu