MIAMBA hawa wanajiita MUSKETEERS: Timu ya walinzi hatari wanaomlinda VLADIMIR PUTIN dhidi ya Wauaji

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

КОМЕНТАРІ • 218

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +32

    Yupo makini sana mwamba Putin

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Рік тому +28

    Nimemkumbuka djsma ❤ukiniambia mambo ya Putin najisikia raha master plan mtu anasema huzungumzie selikari atafute tv za siasa

  • @abdallahissa7991
    @abdallahissa7991 Рік тому +9

    Bundala,,una talent kubwa sana ya habari na simulizzi

  • @mosesarchevec8404
    @mosesarchevec8404 Рік тому +35

    Hongera sana mutalamu wetu alindwe kabisa. Mwenyezi Mungu akulinde.

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 Рік тому +23

    Niko na wachina hapa tunakunywa Tangawizi wanamkubali sana Putin

  • @mugambarazidjuma846
    @mugambarazidjuma846 Рік тому +15

    Asanteni sana mwa alimu haki tunajuwa mengi ku usu africa yetu na habari kutoka kwenye inchi zingine

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому

      Mapinduzi ya kijeshi yasipo dhibitiwa haraka yatafanyika kila mahali Afrika. wanajeshi watazoea .nikama vile simba akila nyama ya binadamu hawezi tena kula nyama ya mnyama mwingine yeyote tofauti na nyama ya binadamu. hii ni kwasababu nyama ya binadamu ni tamu kuliko nyama ya mnyamamwingineyeyote duniani. ndio maana Simba akila mtu lazima Simba huyo atafutwe ili auliwe kabla hajafanya mazoea.

    • @habibukitwana1552
      @habibukitwana1552 Рік тому

      ​@@emmanuelmlowe-ew7gxndy tunayataka hayo mapinduzi ya kijeshi Ili kutoka vibaraka wa wazungu kama ww

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +6

    MAKALA - 360 Naipenda sana, Good job bro sky.

  • @_CyprianBC
    @_CyprianBC Рік тому +11

    Kaka Sky,
    No matter what, nakukubali sana Kaka na within two or three years Kaka your the best and leading Online Media coverage Tanzania and eastern Africa na zaidi ya yote wewe ni source ya Habari zinazoaminika na zenye mizani na utafiti mkubwa sana ili kutupatia kilicho bora zaidi, nakukubali sana na zaidi ya sana Kaka

  • @deobodaboda9054
    @deobodaboda9054 Рік тому +4

    Namkubali Sana mwamba p

  • @mshangapeter6566
    @mshangapeter6566 Рік тому +4

    Hongera sana,..stori flani tamuu na inafundisha...

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 Місяць тому +1

    Safi sana

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 Рік тому +10

    Lkn Mwenyezi Mungu akisema siku Yako imefika ndio hvyo..

    • @habibukitwana1552
      @habibukitwana1552 Рік тому +1

      Kweli kabisa lakini hata makanisa yanalindwa wakuu wa dini wanalindwa mfti wa Tz analindwa kadnari anaulinzi Kwan hawamjui mungu???

  • @mohdhilaly7900
    @mohdhilaly7900 Рік тому +4

    Sky sauti yako inanikumbusha mbali sana toka radio free kipindi cha sitasahau mi mshabiki wako sana

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Рік тому +3

    Nakubali sana kaka🔥🔥🔥

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 6 місяців тому +2

    Ongeraa sana

  • @biasharaonline693
    @biasharaonline693 Рік тому +8

    Huyu mwamba ni Simba, amefanya kazi na KGB muda mrefu sana huko Ujerumani ya mashariki na ana uzoefu wa kutosha kwenye hizi kazi 💪

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 Рік тому +2

    Duh sio poa ni nomaaaaa🙌🏽

  • @abbasmtaita7203
    @abbasmtaita7203 Рік тому +14

    Mlinzi ni mungu pekee

    • @nyabendamubaraq5671
      @nyabendamubaraq5671 Рік тому +2

      Jilinde nami ntakulinda

    • @Adamchestemuzaahim
      @Adamchestemuzaahim Рік тому +3

      Na amekubali tue nawalinzi binadamu wenzetu think kama musomi ❤

    • @Amirmgunya-pt2zm
      @Amirmgunya-pt2zm Рік тому +3

      Umemjibu vizuri huyu kichwa maji

    • @ismailnaramba6438
      @ismailnaramba6438 11 місяців тому

      Julinde akulinde

    • @paschaljuma3312
      @paschaljuma3312 2 місяці тому

      Imeruhusiwa kuchukua tahadhari kwanza ndio umetegemee yeye, mfano kuna mtu aliacha kumfunga ngamia wake akisema mungu atamulinda aakaambiwa kaweke kwa sababu ya kulindwa yani amfunge, hivyo putin lazima aweke sababu ya kulindwa yani walinzi

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 Місяць тому

    Yaaa mzee

  • @moberoministries3610
    @moberoministries3610 Рік тому +3

    Good narrative

  • @GeraldDanieltarimo-ke3ik
    @GeraldDanieltarimo-ke3ik Рік тому +14

    Mlinzi mkubwa ni mungu,haowengine ni takataka,munguakiamua anamnyonyamavi sekunde, mungu ndiekilakitu

    • @innocentboykid2442
      @innocentboykid2442 Рік тому +4

      Kwani wamekwambia kuwa wamemsahau Mungu adi useme hvo umasikini unakutesa

    • @GeraldDanieltarimo-ke3ik
      @GeraldDanieltarimo-ke3ik Рік тому +1

      Wako mbwa wengi kamawewe nawafuga,mm nilishabarikiwa muda

    • @nurdinmzuzuri1383
      @nurdinmzuzuri1383 Рік тому +2

      @@innocentboykid2442 umemjibu vzr sn sab kitendo cha Putin kuwa na walinzi imara au wengi haimaniishi kwamba Putin hamjui mungu au haimaanishi kwamba hatakufa lkn kiukwel point yako ni sahihi kwamba umaskini nao ni shida sn

    • @elibarikimasirori4655
      @elibarikimasirori4655 Рік тому +1

      Waliobarikiwa ndo wanatukana wenzao mbwa?? Hzo sio baraka ni laana. Hata makanisa na misikiti kuna walinzi. Kuwa na walinzi haimaanishi humjui Mungu.

    • @rafathealfa2237
      @rafathealfa2237 Рік тому

      Mungu unamjua?

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 Рік тому +1

    Nakukubari ndugu yangu kwa story SUPER 🙏🇹🇿⛴⚓🇬🇷

  • @BrotherR9
    @BrotherR9 Рік тому +1

    Thanx bro kwa good newz

  • @deejaymsomalytz8910
    @deejaymsomalytz8910 Рік тому +7

    Ebwana brother #sky nafwatilia sana MAKALA 360 INAWEZEKANA MI NDO MFWATILIAJI WA HIZI MAKALA NO 1 TZ KWENYE CM YANGU ZIPO ZOTE NAKUKUBALI SANA FRANK BUNDALA

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 Рік тому

    Asante kwa hili

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 Рік тому +1

    Nakubaliiii

  • @marcongeleja9450
    @marcongeleja9450 Рік тому +11

    Huyu Fredrick bundala ni yule aliyesoma Tallo ulianzia R.F.A .

  • @aloycekashamakula4153
    @aloycekashamakula4153 Рік тому +2

    Nakubali sana lakin sidhani kama ivi 100% yawezekana ikawa zaidi ya hapo....

  • @user-lf1bd4vj9c
    @user-lf1bd4vj9c 5 місяців тому

    Good docomentary.

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 Рік тому +9

    Ukiskia magari ya wenzetu uje ufananishe na ile v8 yetu una ishia kucheka😂😂😂

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 Рік тому +1

    Noma sana brother Sky keep them coming 👏👏👏😅

  • @ezekiakiwovele7794
    @ezekiakiwovele7794 Рік тому

    Jamaa noma sana

  • @hoseamusso1568
    @hoseamusso1568 6 місяців тому

    Big up

  • @simongiathi1308
    @simongiathi1308 7 місяців тому

    Good one.

  • @khairatkhamis5845
    @khairatkhamis5845 Рік тому +8

    Yasini ni kinga lakini mbio uwe nazo

    • @salama2625
      @salama2625 Рік тому

      😂😂😂😂 wallah nimejua kucheka

  • @TAMay-vf5xt
    @TAMay-vf5xt Рік тому

    Well documented

  • @alphoncejohn6308
    @alphoncejohn6308 Рік тому

    Nakukubali sn mkuu

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 3 місяці тому +1

    IRAN INATAKIWA WAJIFUNZE MENGI KUTOKA KWA URUSI, MASWALA YA ULINZI WA MTU MMOJA MMOJA AU WAKUU WA NCHI WA IRAN WANATAKIWA KUWA MAKINI SANA NA VITISHO VYA NJE

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 8 місяців тому

    Fact 👍

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 Рік тому +2

    Putin super super president Vladimir

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hk Рік тому +1

    Yupo vizuri sn namm najua hivyo huo ndio ulinzi

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 Рік тому

    Sky 🎉🎉🎉Asante kwa Makala hii

  • @ombeniyohaneaustin8415
    @ombeniyohaneaustin8415 Рік тому +3

    Daaah wezetu wapo mbali saaana sisi tupo bizz na mkataba wa bandari😂😂😂

  • @user-mt9my9nj4i
    @user-mt9my9nj4i 6 місяців тому

    Namkuba sana mwamba

  • @eliudimwakasenga9754
    @eliudimwakasenga9754 Рік тому +3

    ❤❤ nakubari kaka

  • @AliyIbrahimMohammed
    @AliyIbrahimMohammed Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @user-pv6so7sk3i
    @user-pv6so7sk3i 2 місяці тому

    Upo vzr mchambuzi

  • @salimmwakaribu942
    @salimmwakaribu942 Рік тому

    Hatari

  • @suleimanmuhammad-bu7pe
    @suleimanmuhammad-bu7pe Рік тому

    Asant sana kwa kutujuza habari zako

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 Рік тому +4

    Wanadai Vladimir Putin anatembea na Chigatti(Remote control) ya kulipulia Makombora kwny Briefcase km nchi yake itavamiwa yy akiwa safarini?

  • @bakarrajabu3607
    @bakarrajabu3607 5 місяців тому

    Nimepata taarifa ambazo sijawahi kuzisikia juu yaa ulinzi what Putin. Safi sana

  • @RobinsonMworia-el8ic
    @RobinsonMworia-el8ic 11 місяців тому +1

    Bravo @putin

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 Рік тому

    Good

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 Рік тому +1

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 7 місяців тому

    Sana kiongozi najifunza mengi toka kwako

  • @mohamedamiri4597
    @mohamedamiri4597 Рік тому +1

    Hii ni Dalili yakua raia hujawatendea haki na sawa

  • @duvaboy
    @duvaboy Рік тому +6

    mwamba 😂😂😂

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z 6 місяців тому +2

    Na Magufuli angejifunza kwa putin kuhusu ulinzi wake

  • @yasintakahamba1320
    @yasintakahamba1320 Рік тому +5

    Kati ya watoto watakao zaliwa kwenye tumbo langu likatoe usalama wa taifana mwenye akili Kama za putn

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому +2

    Hawa ni wachumba tu nawakubali wale wa mama bhana

  • @peterkasenga8404
    @peterkasenga8404 Рік тому

    Duh!

  • @user-xj2uy4nk4r
    @user-xj2uy4nk4r Рік тому

    Sana tu

  • @selemansteven1003
    @selemansteven1003 Рік тому +3

    Pongezi nyingi kwenu kwa kutujuza habari adimu kama hizi

  • @jonathanmaengo4281
    @jonathanmaengo4281 Рік тому

    Mwamba huyu namkubali sana

  • @BabaBalingasi-hp6gd
    @BabaBalingasi-hp6gd Рік тому +2

    Hii angeipiga Dj Sma ingependeza zaidi

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Рік тому

    Mtangazaji samahani na❤omba Namba yako Nina bo❤nge la tangazo

  • @zeshsulesh6084
    @zeshsulesh6084 5 місяців тому

    Mmoja hapo ni ndugu ya putin

  • @shaibukhamis863
    @shaibukhamis863 7 місяців тому

    🎉

  • @DeusRobart
    @DeusRobart Місяць тому

    aishi mlele

  • @DavidJanvier-jx3pe
    @DavidJanvier-jx3pe 4 місяці тому

    Raïs anaye tisha ulimwenguni

  • @user-dn1vy3ov3i
    @user-dn1vy3ov3i Рік тому

    Simba

  • @ombenimhina8826
    @ombenimhina8826 5 місяців тому

    Walinzi hawa hakika wamesheheni weledi wa hali ya juu

  • @user-ym5ko9ov2o
    @user-ym5ko9ov2o 6 місяців тому

    Nampenda sana put

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    🙏👍✌️.

  • @omarybakary1234
    @omarybakary1234 Рік тому

    Du simchezo🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @niyongendakosamuel858
    @niyongendakosamuel858 Рік тому +1

    SA🇿🇦 shabiki yako kindakindaki hebu Reply comment yangu nivimbe sky please 🙏

  • @lunamssa4322
    @lunamssa4322 Рік тому

    😢😢

  • @khalfanmlala5093
    @khalfanmlala5093 Рік тому +1

    Mfalme wadunia

  • @geofreyisaya184
    @geofreyisaya184 Рік тому

    Unaju kaka

  • @winaface
    @winaface Рік тому +1

    Maua yako Sky

  • @AndrewPaul-wy6qq
    @AndrewPaul-wy6qq Рік тому +1

    wana sns popote pale mlipo

  • @AdamuStar09-zz6bl
    @AdamuStar09-zz6bl Рік тому

    Simuliz nzur kwely

  • @owenmutale8686
    @owenmutale8686 Рік тому +7

    Like pls 😂😂

  • @salimsaid2588
    @salimsaid2588 6 місяців тому

    Yoootee hayoo ila siku yake yakifoo ikifika hakuna wakuzuii,,,,,,Mungu mkubwa kweli kuliko vyote vya dunia

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 5 місяців тому

      Wewe huelewi, unafikiri yeye Putin hajui kama siku moja atakufa.? Anajilinda na watu wabaya, unataka asijilinde na watu wabaya ili wamuue 😅

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 6 місяців тому

    Mimi nampenda Putin sana. Huyu mtu ana uzalendo wa juu sana!! Magufuli, Putin, hawa watu kweli ni wazalendo wa kweli. Sema tu Magufuli hayupo kwa sasa lkn alikuwa mzalendo wa kweli!!

  • @showejikinjekitile5942
    @showejikinjekitile5942 Рік тому

    Tulete hutuba ya mwisho ya gadafi kea ufafanuzi zaidi mkuu

  • @RespinaRuben-qi6te
    @RespinaRuben-qi6te Рік тому

    Dah kaka unatisha sana aseee

  • @PauloJohn-s6r
    @PauloJohn-s6r Місяць тому

    Mtu na nusu

  • @allymuhammad8956
    @allymuhammad8956 Рік тому

    Mfalme wa africa huyoo

  • @ameulmontan6753
    @ameulmontan6753 5 місяців тому

    Sikuyakufa hatakufa mnamkumbuka jpm😢😢😢😢

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 6 місяців тому +1

    Ukita putu uwa média yako kila siku lazima fungulie

  • @user-gm5bd5kk3u
    @user-gm5bd5kk3u 6 місяців тому

    Putini.ndokomando shujaa.sana.namkubari

  • @xhenially-fw6cu
    @xhenially-fw6cu 11 місяців тому

    Putin ni mwamba sana

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 місяці тому

    Putin hana baya

  • @EdwardOmmy-yr3zc
    @EdwardOmmy-yr3zc 6 місяців тому

    Musketeers

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 Рік тому

    Nimecheka kifala sana

  • @Kulwakisansa-zk5yg
    @Kulwakisansa-zk5yg 3 місяці тому

    Uwe unaweka namatukia ya video kuvutia watazamaji

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 Рік тому +1

    Hao Marais watatu wamechafukwa akili!😂😂😂

  • @russia1253
    @russia1253 Рік тому

    🇷🇺🇷🇺👑💯✔️

  • @tangamwalimu514
    @tangamwalimu514 8 місяців тому

    Live long Putin and big up or keep on keeping on the good to Russia and the world atlarge. The whole world is proud of you His Excellence Honourable Mr president Putin