Lissu adai kuwasilisha majina ya waliopenyezewa fedha za uchaguzi Chadema

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 18 днів тому

    SAMIA APEWE MAUWA JAMAA WAMECHEMSHA SIASA 😢😢😢😢😢

  • @zuberikupaza1184
    @zuberikupaza1184 19 днів тому +1

    Haya madai yawe na ushahidi la sivyo umetimuliwa chama rafiki yangu.

    • @benedictmrisho1800
      @benedictmrisho1800 19 днів тому

      Ndio uzuri wa wanasheria wasomi. Unafanya kazi kwa ushahidi.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 19 днів тому

    Hapo Lissu uko sahihi sana.Nakuunga mkono.

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 18 днів тому

      Lisu anamwogopa mbowe ndie wasiojulikana wenzake wakiteka nakuja wanasingiziaga polisi na serikali au ccm

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 19 днів тому

    Jengeni chama nchi nzima bila kubaguana. Mkianza kubaguana mtashangaa. Vyama vya upinzani bado mko ktk usimgizi wa kuchagua jiwe la pembeni ( corner stone) badala ya kuwa tayari mnalo mmeanza ujenzi. Kuwa Rais wa watu zaidi ya 69mil sio jambo la mchezo ama kulazimisha yahitaji sala na kazi. Msianze kumpangia Mumgu ooo fulani hapana ooo fulani sawa. Yahitaji maombi mengi. Aangaliavyo Mungu sivyo aangaliavyo mwanadamu. Watumishi wa Mumgu wanalifahamu japo wengine hujitoa ufahamu wakajisiasa. Mara nyingi wanaojlazima hufa hata bila kuuona Urais kwa sababu sio chaguo la Mungu. Kenya hapo mf mliona . Urais sio mchezo kila mgombea na wa wanachama waingie ktk maombi waombe kumpata mgombea chaguo la Mungu. Ukilazimisha bado kuna maombi ya watu 60mil yako mezani kwa Mungu. Tufumge tusali na tuombe rais wakufaa tusimpangie Mungu.

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 19 днів тому

    Tatizo Lisu sio mchaga,kupata hiyo nafasi lazima utoke kanda ile.Bora Lisu atafute chama kingine,nenda hata UDP ya mzee wa mapesa na kura tutakupigia hukohuko.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 16 днів тому

    HAKUNA CHAMA AMBACHO NI MALAIKA!IKUMBUKWE KUNA KUHITAFILIANA..LAKINI WANASUHULISHA KWA HAKI

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 19 днів тому

    Kufuata utaratibu , mila, desturi, utamaduni, kanuni pamoja na utulivu na uvumilivu vinatakiwa kwa wanasiasa Ktk chama chao Wajifunze kwa CCM wakati walioanza kampeni kabla ya utaratibu walivyokuja kuenguliwa na kuwekwa RIP Mkapa na Magufuli ambao hawakuwatarajia.. Kumbukeni wanaokwenda kunadi mgombea hasa Urais ni wanachama wote sio wanadiaspora ama kundi la wachache ati wakiwemo mashabiki wa vyama upinzani. Kila chama kiwe makini kinacheza vipi karata zake kuelekea uchaguzi mkuu.