Respect for our freeman mbowe is to asepet chadema changes on top job leadership yes we need wisdom but now the res big pressure on Tanzania democracy from ccm leadership chadema still intact
Watembee na upepo kama Lissu anao wampe M/kiti na Mbowe awe makamu. Kumbukeni mfano wa Russia ikihakikisha inasimama jinsi Dmitry Medvedev na Vladimir Putin walivo badilishana bila kujali nani alishakuwa bosi wa nani.
Tundu lisu anaanza kukosa akili namaanisha utimamau wake umepungua Anaanika uozo wa chadema wakati yeye mwenyewe akiwa ndani ya Uongozi Kwa kifupi ni kama akiwa hasimamishi chumbani analalamika mkewe hampi unyumba pumb.......
Lisu ni mtu alochanganyikiwa na hio Imemfanya kukosa busara , Taasisi yoyote inakuwa na utaratibu na michakato ya kupata viongozi ila huyu mwezetu kwa sasa naona hayuko sawa
@@christermlewa8471 ndo maana wakenya wanawatukana nasikia English kuongea na kuandika amjui 😁😁 CCM wengi amjasoma vichwa panzi nyie bila wale jamaa wenu wa pCCM nyie Amna kitu katiba mpya tume huru asubui ushatoka wewe
Chama gani hicho wanamtukana mpaka Marehemu laana inawatrmbeleq vizuri sanaaaa Mungu atatoa jibu tu
Na badoooooooo wamezidi sana😂kuntukana😂Mama Samia acha wagombane wenyewe kwa wenyewe
Mboe ni kiongozi mzuri sana....Lisu ni mpiganaji mzuri sana....
Tundu lisu big up
Respect for our freeman mbowe is to asepet chadema changes on top job leadership yes we need wisdom but now the res big pressure on Tanzania democracy from ccm leadership chadema still intact
Lisu hoyeeeeeeee
Duùh hawa jamaaa ni watu wa nongwa sanaaa😊😊😊😊
Lisu yupo sahihi sema Mbowe hawezi kubali kuachia ngazi kamwe.
Big up 100%
Lisu oyeeeeeeee
Lisu ni mtu na nusu hana konakona
Tumefika.sehemu.ya.kuchukua.dora.hatutaki.fadhira.ya.mtu..tumebembelezana.watanzania.wamechoka..tuna.washa.mwendo.kasi.Anti.pass.Tundulisu..hoyeeee🤜💟
Ulisomea wapi mbona hujui matumizi ya alama za uandishi😂😂
Hatari sana.
Hataaa weweee ni walewalee, maaana umeanza na kuuuliza swali ulitakiwa kuweka alama ya kuuliza (?)@@christermlewa8471
Hawa jamaa kama noma
Ahaaaa noma san
Uovu ukifanyika alikuwa wapi?
Watembee na upepo kama Lissu anao wampe M/kiti na Mbowe awe makamu. Kumbukeni mfano wa Russia ikihakikisha inasimama jinsi Dmitry Medvedev na Vladimir Putin walivo badilishana bila kujali nani alishakuwa bosi wa nani.
Mnatia maneno alikua hana maana iyo😅
Lisu kanyooka sana
Ni soo
Mhhhh!!!!!
Hiyo pesa ya ruzuku yote itaishia hospitali kujitibu huo mguu
Mnatoa taarifa za uongo kama hatukusikiliza . Acheni jufanya kazi ya ccm
Bila maridhiano serikali ya kikaburu ya south africa isingetoa nchi.
Nawashauri wanachadema mupige chini tumuone tangu l😅ini mnyaturu akaongoza chama halafu mgonjwa anatembea risasi kwenye nyonga
Hujafa ujaumbika ndugu, jifunze kuweka akiba ya maneno
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo Sana, pole!!
Eti marehem kifoni kifo tu waacheni wafu wazike wafu wenzao ali kibao alikuwa mbwa magufuri ndoalikuwa biadamu
Kelele tu
Waandishi mnalipwa nn na nani mbona mnatumia nguvu kubwa mno kuwagombanisha chadema?!!
Huyo anakibomoa chama wsmfukuze tu
Ccm media katika ubora wao ,yakwao hawayasemi,mungejadili uchafuzi wa serikali za mitaa au munaogopa kufutwa kazi,,kwa Habari yenu chadema ni imara
Unafatilia kipindi kweli shuka angalia clip za wiki nyuma
Huko wasafi kuna wapiga kelele tu.hakuna waandishi wala watangazaji wa habari wenye hekima na utulivu.
Na Tv yenyewe ndiyo hivyo kelele nyingi huenda wakipiga kelele ndiyo sifa
Simuende TBC
Tundu lisu anaanza kukosa akili namaanisha utimamau wake umepungua
Anaanika uozo wa chadema wakati yeye mwenyewe akiwa ndani ya Uongozi
Kwa kifupi ni kama akiwa hasimamishi chumbani analalamika mkewe hampi unyumba pumb.......
Lisu ni mtu alochanganyikiwa na hio Imemfanya kukosa busara ,
Taasisi yoyote inakuwa na utaratibu na michakato ya kupata viongozi ila huyu mwezetu kwa sasa naona hayuko sawa
Sasa kugombea ni kosa au kosa lake ni nini?
Kosa lake liko wapi au kugombea ni tatizo
Kama akili zako hazijakomaa usichangie maada
Kifungu gani cha katiba amekiuka au Una bwabwaja tu.
Nyie mnaoponda cdm mmelipwa na wasafi au?
Oh
Duu
Akuna watakao gombana n_goooooo wajinga wa Samia mshindwe kwajina la yesu
HAWA JAMAA WASOMA MAGAZETI WAHUNI SANA..CHUMVI NYINGI..HAHAA
Nyeee wajinga mnashindwa kufanya vyamaana mtalajiwa bule
2025
CCM OUT CHADEMA IN
Siku utayokunya bogaa ndio utaona CCM haipo maradakani
@christermlewa8471 na Rais atakuwa uyo uyo lisu nakusubili ualishe sasa
@@elvisoscar9912 hata kuandika hujui halafu mnataka tuwape nchi eti kualisha 🤣 Kanye boga😏😏
@@christermlewa8471 ndo maana wakenya wanawatukana nasikia English kuongea na kuandika amjui 😁😁 CCM wengi amjasoma vichwa panzi nyie bila wale jamaa wenu wa pCCM nyie Amna kitu katiba mpya tume huru asubui ushatoka wewe
@@christermlewa8471 kama we jeuli ruhusu katiba mpya na tume huru jichanganye uone
Ujinga