MAPACHA WAFARIKI SIKU MOJA/CHANZO CHA KIFO CHAO NI UTATA/WALIENDA KWENYE DUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • #geahhabibu #geahtv

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @sazanahussen6715
    @sazanahussen6715 2 роки тому +20

    Kwanza hpo mwenyezi mungu anatukumbusha kuwa yeye ndie kila kitu napia hpo hakuna cha dua wala nn watakuwa wamepewa sumu tu huyo ni mganga wa mchongo amefupisha maisha ya hao watoto R.ip vijana

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 2 роки тому +11

    Masikini Dada pole sn sn. Allah awalaze peponi Ameen. Wamewadhulumu roho zao. Huyo mganga Ana husika na huyo rafiki Yao pia akamatwe

  • @rahmalawrence8015
    @rahmalawrence8015 2 роки тому +31

    Mimi tu nimeumia ivi jamn sasa hali anayopitia huyu Mama wa Hawa Watoto sijui kwa kweli.Dah pole Mama yangu😭😭.Mungu awape Pumziko jema

  • @arafabaraka-b3g
    @arafabaraka-b3g Рік тому +1

    Pole sana wafiwa mama mungu atakufanyia wepesi katika ili ila uyoo mama akamatwe nauyoo rafiki yao awo mapacha mungu awaraze mahari pema peponi inauma sana

  • @maureenrandiki9805
    @maureenrandiki9805 2 роки тому +9

    Kama mzazi nahisi uchungu mno...Mama, Mwenyezi mungu akutie nguvu kwa kipindi hiki kigumu 🙏🙏

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 роки тому +66

    😭😭😭😭 eee Mwenyezi Mungu, Yarrab, sipati picha Mama Mzazi yupo hali gani. Allahu Akbaru. Poleni sana, sana.

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 роки тому +14

    Mkiwa mnahisi vitu vibaya au ndoto au kukabwa kama hivo kwanza kabla hujalala tawadha udhu kama wa swala na ukiwa nanafasi swali suna napiya hakikisha unasoma kulhullahu mara 3 kuliaghudhùbira bilìfankì na kuliaghudhubira binad zotè mara 3

  • @mutalibdahirabdi8305
    @mutalibdahirabdi8305 2 роки тому +94

    If u are a Muslim, u hv to sleep with adhkarin naum n if u Knw the Qur'an, u can recite it on urself not necessarily to go to someone. May Allah forgive us all allahumma ameen.

    • @rehemaothman2200
      @rehemaothman2200 2 роки тому

      Allahuma ameen

    • @mashaallahfadhdili4741
      @mashaallahfadhdili4741 2 роки тому

      Allah atupe kaul dhabit

    • @Bintimrembo-y1v
      @Bintimrembo-y1v 2 роки тому +11

      Am not Muslim but sometimes when I can't sleep I listen to Yaseen, Kadir or Ayatul Kursi and I sleep very well. Let's teach our youth to rely on God and not man.

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 2 роки тому

      @@Bintimrembo-y1v be blessed

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 2 роки тому

      Inauma sana sana, nimeumia kama wafogo zangu kabisa. Mungu awapokee na awasamehe walipokosea na awalipe wanchostahili na atawatendea haki kama wamedhulumiwa roho zao.

  • @ashaofficialtz1683
    @ashaofficialtz1683 2 роки тому +19

    Sina hata chakuandika yallab😭😭😭ila pole kwa MAMA😭inauma wallah🙏

  • @janejohn2060
    @janejohn2060 2 роки тому +1

    Poleni Kwa msiba,Muwe mnaenda na Kwa Mwamposa kwenye maombi badala ya huko!

  • @ramyramy3455
    @ramyramy3455 2 роки тому +21

    May their souls RIP, pole mama kwa msiba wa watoto jmni ,kwakweli inauma Sanaa sote ni wazazi jmni .😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @asiaa6573
    @asiaa6573 2 роки тому +11

    Innalillahi Wainna Ilayhi Rajiuun, poleni sana wafiwa, Allah awatie nguvu kwenye iki kipindi kigumu

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +6

    Daaaaaaa!!! Usikie tu kwa jiran uchungu wake hausemek
    Pole. Mama. Yangu waja wabaya Sana 😭😭😭 Mungu akupe subra kipenz

  • @rahmaabdulla4949
    @rahmaabdulla4949 2 роки тому +6

    Innalilahi wainna ilayyhi Rajiuun Allah awape kauli thabit. Ilatuna chakujifunza hapa tukilala tuwe tunatia udhu na na kusoma dua za kulala tutalala vzr tu. Binaadamu wabaya jamani pengine kuna mtu alikuw anawafanyia hasad

  • @sofiahassani5185
    @sofiahassani5185 2 роки тому +4

    😭😭😭😭😭😭du. Ewe mwenyezi mungu tunakutegemea wewe Allah kwa kila Jambo pekee yetu hatuwezi wape faraja wai
    Fiwa

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 роки тому +14

    Hao ameshawachukuwa kichawi anahisi kwa vile mapacha ushirikina tuu amini ila mungu anasirii kubwa za waja wake si bure

    • @zamdakimaro8040
      @zamdakimaro8040 2 роки тому +1

      INAWEZEKANA KABISA

    • @sumeiyamaddy95
      @sumeiyamaddy95 2 роки тому +1

      Hatuna uhakika lkn pacha walemavu wanatumika Sana ktka Imani za kishirikina

  • @teddyndungurusabnu4792
    @teddyndungurusabnu4792 2 роки тому +8

    Waganga huwa wanaconetion na wachawi na lengo Lao kuwamaliza so walivyoenda kule nikama walinuwiziwa waende kule wakamalizwe Mungu awalaze mahali pema peponi

    • @tingbatuuka7278
      @tingbatuuka7278 2 роки тому

      Upo sahihi

    • @rajabodhuman1300
      @rajabodhuman1300 2 роки тому

      Nikweli kabisa ndugu zanguuni hawa watoto nnawajuwa huwa nnawaonaaga msikiti wa mnazi mmoja na huwa tuna swali nao maranyingi swala ya alaasiri mara nyingi

    • @rajabodhuman1300
      @rajabodhuman1300 2 роки тому

      Nikweli kabisa ndugu zanguuni hawa watoto nnawajuwa huwa nnawaonaaga msikiti wa mnazi mmoja na huwa tuna swali nao maranyingi swala ya alaasiri mara nyingi

    • @rajabodhuman1300
      @rajabodhuman1300 2 роки тому

      Innaalillaah wainaailayhi raajiuun.

  • @ahmadbadawi9664
    @ahmadbadawi9664 2 роки тому +3

    ALLAH awape qaul thaabit,wazazi jitahidini kuwasomesha watoto wenu dini,mtume alishafundisha sana namna gani tuombe dua kabla ya kulala,tatizo dogo sana hilo na si kwenda kwa MTU awaombee dua,hii ndo faida ya kuwasomesha watoto madrasa na sio kuthamin masomo ya secular pekee,mtoto akiwa mdogo anasoma madrasa but akiingia form one tu madrasa basi tena.

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 роки тому +13

    Uuuwwiii tumbo langu la uzazi pole sana Mama poleni sana wana familia Mungu awape kauli thabiti marehemu 🙏🏻😓

  • @mauasylla5024
    @mauasylla5024 2 роки тому +12

    Hao wameliswa sumu. Na huyo rafiki yao anahusika. Kumfahamu nikuangalia simu zao message na kuangalia namba zilizopigwa kuanzia siku hiyo kurudi wiki nyuma. Watampata tu. Watu imani imekwisha. Poleni sana wafiwa.

    • @janetsemahimbo8083
      @janetsemahimbo8083 2 роки тому

      Inaelekea huyo rafiki yao katumwa na huyo mama awaletee mapacha. Mapacha huwa wanatumiwa sana na waganga kama ilivyo zeruzeru.

    • @halifamasanja987
      @halifamasanja987 2 роки тому

      @@janetsemahimbo8083 kabisa yani huyu Rafk yao anahusika kabisaaa

  • @mussahamisi1191
    @mussahamisi1191 2 роки тому +4

    ALLAH ni mkubwa awatie nguvu wakati huu wa kipindi kigumu na shukuruni kwa kila jambo na wepesi utapatika innshaallah.

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 роки тому +6

    Maskini innaalilahi wainnaa ilayhi rajiuun mahasidi bwanaaa mtihani waswahili inaonekana huyo rafiki yao ndio adui yao

  • @zamdakimaro8040
    @zamdakimaro8040 2 роки тому +7

    HAPA KUNA JAMBO YULE RAFIKI YAO ,ALOWAPIGIA SIMU AKAMATWE PIA ,JAMANI WATOTO WAMEPOTEZA MAISHA HIVI HIVI ,INNALILAHI WAINAILAHI RAJUUN

  • @mysterio2473
    @mysterio2473 2 роки тому +11

    INNALILAHI WAINA ILAIHI RAJIUN 🤲🏽
    MWENYEZI MUNGU AWAJALIE WAZAZI HAWA NA KAKA YAO SUBIRA NA IMANI KTK KIPINDI HIKI KIGUMU NA NYAKATI ZOTE 🤲🏽
    DAH HUU NI MSIBA MZITO SANA
    ALLAH AWAJALIE SAFARI YAO IKAWE NYEPESI 🤲🏽 ALLAH AWASAMEHE WATOTO HAWA 🤲🏽
    POLE KWA WAZAZI WAO NDUGU JAMAA MARAFIKI NA KILA ALIEGUSWA NA MSIBAHUU.

  • @sophiamtego7887
    @sophiamtego7887 2 роки тому +5

    Pole sana Mama kwa kuondokewa na watoto , Mungu akupe uvumilivu Mama angu

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 2 роки тому +1

    Poleni sana wafiwa mungu awape subra kipindi hiki kigumu yaraaby wajaalie kauli thabit hawa vijana mbele yenu nyuma yetu hawa waganga ni waongo sana na huyo rafiki pengine ndio alowafanyia mchongo wa mauaji ila yoyote aliyehusika kuwadhurumu nafsi zao kwa kuwatilia sumu mungu hatawaacha salama pole mama na baba Allah atawajaalia subra

  • @asyaameir8703
    @asyaameir8703 2 роки тому +6

    yaani juzi tuu dada angu alinihadithia kuwa, mtoto wake anaumwaumwa sana anasumbuliwa na matatizo ya akili, wametibu sana mpaka sasa wakawa wanawatumia waganga, sasa huyo mganga akataka pesa nyingi ikabidi ampatia karibia milioni moja, lakini dawa alompa ilikuwa kidogo sana ya unga, akamwambia aitie kwenye maji ikisha mgonjwa anywe, sasa yule dada akaitia kwenye maji, akasahau, akaenda kazini, asimpe yule mtoto wake, aliporudi kazidi ile dawa imegeuka kuwa jiwe la saruji, kumbe ilikuwa si dawa ni saruji,
    kiufupi tuwe makini sana, tushikamaneni na dhikr za asubuhi na jioni na kudumu na udhu, wengine si waganga wanabahatishaa.

    • @neemakimario693
      @neemakimario693 2 роки тому

      Duuh Mungu atusaidie kwakweli

    • @khadijahamisi8531
      @khadijahamisi8531 2 роки тому

      Kweli kabisa ushirikina sio mzuri pia huyo dada mungu alimnusuru pia kuisahau

  • @abeidsaleh7222
    @abeidsaleh7222 2 роки тому +2

    Mungu akupe subra mama yangu na familia kiujumla Msiba mzito Mungu akulipe kila la heri kwa kusubir na vijana hawa Mungu awaweke peponi pepo zao ziwe jirani waonane wakifaidi neema za Mungu za Mungu awanyweshe maji matamu na asali

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 2 роки тому +34

    Tusiamini sana hawa watu wanaojifanya eti wanasoma Dua,maana hata wewe mwenyewe waweza jisomea Dua.
    Poleni sana wafiwa wote MUNGU awape faraja ya KWELI,🙏🙏

    • @muhammadabdallah6068
      @muhammadabdallah6068 2 роки тому +4

      Hamna bwn kwa mm nahic kabisa huyu mama hana hatia kwasabbu angekuwa mbaya asingewapokea rafki wa vijana na kaka yao pia hawa vijana walikuwa nashida labda mavitu machafu ndo yalikuwa yanatoka bac yakatoka na uhai wao hivi vitu vipo jaman

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 роки тому +2

      @@muhammadabdallah6068 Whaat?what do you say??
      Hivi unachokiongea unauhaki ka nacho? Huyu Mama ambaye ni mganga yawezekana katumwa tu na watu ku-collect soul's za hawa mapacha,na zilikuwa zinatakiwa za mapacha.
      Cha msingi ni tutambue kuwa huu wakati tulio nao ni mbaya sana,watu wanaangalia pesa na sio utu,haijalishi ni nani🙏🙏

    • @lightnesssanka1928
      @lightnesssanka1928 2 роки тому

      Poleni Sana wanafamilia Mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu

    • @humayraakhamisi9952
      @humayraakhamisi9952 2 роки тому

      @@editrudesmbonde9051 nikwel kbc hii dunia siyo yetu kabisaaaa watu hatuna imani kabisa tumekuwq kma wanyama

    • @mwambaimara1950
      @mwambaimara1950 15 днів тому

      Majini na mashetani yanatoka kwa JONA LA YESU IN JESUS NAME!!!

  • @Kidotii
    @Kidotii 2 роки тому +14

    Polen sanaa! Familia Mwenyez Mungu awatie nguvu!

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 2 роки тому +4

    Pana hasada hapa. Huyo mama huenda alingewaokoa ila waliofanya hiyo husda wameitangulia dua. Poleni wafiwa

  • @rick305
    @rick305 2 роки тому +7

    This is soo painfully hak ....may God rest there soul in peace ...

  • @agnellapius8142
    @agnellapius8142 2 роки тому +12

    Roho ya umauti ilishawafikia jamani nimeumia mno mungu awape hifadhi salama huko waendako inauma mno 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @georginakabanga1762
    @georginakabanga1762 2 роки тому +3

    Pole sana mama Mwenyezi Mungu ndiye kila kitu kwetu. Azidi kukupa subra ktk kipindi hiki kigumu 🙏🏼🙏🏼

  • @roseshayo6676
    @roseshayo6676 2 роки тому +16

    Poleni Sana familia na wote mlioguswa na msiba huu 😭.Mungu awape faraja🙏

  • @oscarngowi4750
    @oscarngowi4750 2 роки тому

    Poleni sana wafiwa wadogo walikuwa wanatafuta uponyaji wa matukio ya kukabwa usiku ukweli utabaki palepale hakuna uponyaji nje ya jina la YESU

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 2 роки тому +3

    Daa tumbo limeuma mmi ninao mapacha pole mwanamke mwenxangu.

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 2 роки тому +1

    Huyo mama apewe kichapo atasema tu.na huyo rafiki Yao pia

  • @fedamaino3650
    @fedamaino3650 2 роки тому +3

    Pole mama.pole sanaa mungu wa mbinguni akupe nguvu ya kuukabili mtihani huu mzito

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 2 роки тому +2

    Amtegemeae mwanadamu na alanine,madhara ya kwa waganga.....Mungu aendelee kuwatia nguvu

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 2 роки тому +8

    Daaaa jamani😭😭😭 huyo mama aliwapa sumu kabisa ,huyo ama akamatwe akatoe maelezo vizuri.Poleni Sana familia kwa majonzi mazito mliyonayo Mungu wa mbinguni aendelee kuwatia nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho.R.I.P

  • @hawaabdallahmshamu3843
    @hawaabdallahmshamu3843 2 роки тому

    Pole sana mungu hawapeuvumilivu wazazi kwani pogo ili nikubwa ukizingatia watoto wameenda namatumaini ya kujitibu mungu ailaze roho za malehemu peponi amina

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 2 роки тому +20

    Pole Sana mama😭😭😭 hakika ni majonzi kufiwa na watoto wako wote wawili inauma sana Mungu akufute machozi yako unayowalilia watoto wako mapacha wote Mungu aendelee kukutia nguvu ktk kipindi hiki kigumu ulichonacho.Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe 🙏

    • @lildemar1316
      @lildemar1316 2 роки тому +1

      MWENYEZI MUNGU AWATIE NGUVU KTK KIPINDI HIKI KIGUMU.POLENI SANA.

  • @emmaonalloh5515
    @emmaonalloh5515 2 роки тому +17

    May their souls rest in perfect place 😥😥😥, hii imenikumbusha ,vile babangu na kaka yake waliuliwa kwa kupewa sumu 😭😭yani huyo kaka alivyo eleza exactly what happened to my Dad na bro wake 😭😭😭😭miaka kumi na but uchungu umeaza umpya painful wallahi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @saidyssaley1509
    @saidyssaley1509 2 роки тому +24

    Innalillahi Wainnailayhi Rajioun MWENYEZI Mungu awasamehe makosa yao awazidishie kheri zao awatilie nouru kaburini mwao na Jannatul Firdous Nuzula ikawe makaazi na wafiwa Mola awape subra na faraja

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 2 роки тому +1

    Mungu awapumnzishe kwa amani. Watu hawajui tu. Maombi ni silaha,hiyo ilikuwa vita ya kiroho. Wao wenyewe wangechukua kuruani na kufanya dua huko kukabwa kungepotea.

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 2 роки тому +3

    Masikini mamayo kahangaika sn sn. Watto wake ni kazi kuleta mapacha. Leo muna muliya watto wake. Alla atawalipa waliyo wa dhulumu roho zao Ameen yarbllamn😭😭😭

  • @odiliamathias5424
    @odiliamathias5424 2 роки тому +2

    Poleni sana, Mimi naziogopa sana dawa ya za kienyeji ambazo azijasitibishwa na wataalamu

  • @samiramahmud406
    @samiramahmud406 2 роки тому +9

    Innallillaihi wainna illaihi rajiun🥺😢
    Allah SWT
    Awape kauli Thabi
    Awalaze mahali Pema Peponi
    Awal Daraja Jannat Firdaus
    Yaa Rabbi 🤲
    Poleni sana wafiwa
    Allah SWT Awape Subra
    Yaa Rabbi 🤲

  • @christinachacha8177
    @christinachacha8177 2 роки тому +1

    Am very sorry 😭. Kwa Mungu hakuna fumbo , Hukumu ya Mungu ipo wakati UTAFIKA Kwa kila mbaya Kwa mwenzake. Agali sote ni njia yetu sote moja 😭😭😭😭

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 роки тому +7

    Maisha yana mashaka sana.... Huu mtuhan umemshukia tuu huyo mama ila hii ngoma alieseti nimtu tafauti nahuyo mama ila huyo mama inaonekana aliingia mziki hauwezi Mungu awatie nguvu mzee Mungu amtie busara zaidi ya hz

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 роки тому

      Yani nikweri huyo mama kapata mtihani sikuyako ilikua ishafika ila kilakitu ni kadar ya Allah ... Allah ampe Subra mama yetu 🤲

    • @allyabdallahally9637
      @allyabdallahally9637 2 роки тому

      😇😇😇

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому

      Nahisi walidhani wataondoka wakaugulie kwao kisha awe hana hatia ila shida ikaanzia mikononi mwake .Mungu kataka aumbuke

  • @khamismkwama4937
    @khamismkwama4937 2 роки тому

    Pole sana mama unapitia kipindi kigumu mwenyewe ulishajiwezea watt mapacha wanakazi ngumu sana allah akutie nguvu na imani kipindi hiki kigumu

  • @azibossladykenny2455
    @azibossladykenny2455 2 роки тому +36

    Da Geah usisahau kutuletea mwendelez siku wakimuhoj uy mama tujuw wamekuf nanin ao vijama🥺🥺😭😭Mungu awalaz mahal pem peponi🙏🙏🙏

    • @lgdnce8309
      @lgdnce8309 2 роки тому

      Du wanawake tunapenda habari

    • @veroslaa1041
      @veroslaa1041 2 роки тому

      Poleni sana

    • @upendolema9809
      @upendolema9809 2 роки тому

      @@lgdnce8309 hasa km hii sababu inatuhusu

    • @aishaally4912
      @aishaally4912 2 роки тому

      @@lgdnce8309 pita kule nyoooo we ujaguswa au

    • @lgdnce8309
      @lgdnce8309 2 роки тому

      @@aishaally4912 kunigusa imenigusa kwa nn matusi Aisha .kila kitu kinapangwa n'a Mungu .Kaka Yao mwenyewe kaongea kwa nn matusi ?

  • @AlphaOmary-eo6db
    @AlphaOmary-eo6db 2 місяці тому

    Imeniumaa sana mama yanguu pole sana sana mungu akupe nguvuu ,muachie mungu yeye ndie muukumu wa kila jamboo,mm ninao kaka zanguu mapacha na wamezaliwa mwaka uo uo jaman inauma sana kila mja atalud kwake mora wetuu kwa sababu zake yeye mora wetu mungu akutie nguvu mama yanguu na awape subra wote wanafamilia amin

  • @kautharikazingoma657
    @kautharikazingoma657 2 роки тому +7

    Nimeumia mwenzenu pole mama na wafiwa 😭😭😭

  • @aisharamadhan5257
    @aisharamadhan5257 2 роки тому +9

    Innallillah wainnallilah rajioun
    Mbona mtihani Allah wape subra hiyo familia na Kama kuna jambo mtu kawafanyia hao mapacha yarrab nakuomba waumbue

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 роки тому +3

    Innalilah wainna lillah rajunni, Pole sana nfugu na jamaa kii ukweli inauma sana 😢 kwa dua yangu kuanzia huyo mama rafiki kuna kitu wamekipanga hao awauwe , naamini damu ya mtu haiendi bule watauonja umauti sii nyingi inshaallah kheri

  • @kibwetere8147
    @kibwetere8147 2 роки тому +1

    Kikubwa ni kumuomba Allah awape makzi mema ila pia Allah atawalipia haki yao hapahapa Duncan ishaa Allah

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 2 роки тому +4

    Pumzikeni kwa amani vijana wadogo! Kuna vitu ukivisikia huwezi amini! Hata hivyo matibabu ya hospitali yamechelewa. Siwezi endelea kusikiliza hii

  • @HappnessJoseph-l6b
    @HappnessJoseph-l6b Рік тому

    MUNGU ametoa MUNGU ametwaa jina lake litukuzwe. Pole sana mama

  • @swalehswaleh3608
    @swalehswaleh3608 2 роки тому +15

    Siku zao zimefika, Kila nafsi itaonja mauti, Leo ni wao kesho ni sisi, Allah atupe mwisho mwema

  • @medardkiheka4447
    @medardkiheka4447 2 роки тому +2

    Pole sana Mama!!!!! Ni msiba mzito sana siyo kwako tu bhali kwa mtu yoyote mwenye ubinadamu.

    • @zamzamabdi5279
      @zamzamabdi5279 2 роки тому

      Kweli kabisa.ni msiba mazito kweli kweli

  • @salimalesry428
    @salimalesry428 2 роки тому +3

    Gea tunaomba baadae utupe part mbili ya mama mganga

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 2 роки тому +1

    Yaan hospital za Tanzania nazo hatari

  • @dxbnc1328
    @dxbnc1328 2 роки тому +6

    Mapacha hua wana siri kali nanibaraka kwa mungu,🤲

    • @lizmass3437
      @lizmass3437 2 роки тому

      Comment nilikuwa natafuta kwanza wa kufwanana

  • @sumeiyamaddy95
    @sumeiyamaddy95 2 роки тому +1

    Allah awape kaul thabiti pengne hasad imefanyika na makafara yao imetaka pacha

  • @nameno8608
    @nameno8608 2 роки тому +3

    Wanao jifanya ni waganga wamenyeshwa sumu alafu wengine wanasema ni kazi ya Mungu.Acheni kutafuta pes kwa kutapeli mnaweza kupanyesha kumbe ndio hayo

  • @enterenter7798
    @enterenter7798 2 роки тому

    Kaka nawadogo zako mnafana Mashaa Allah,, uchawi upo asee duu fanyeni utafiti

  • @Niyiturinda
    @Niyiturinda 2 роки тому +3

    Nasisismka ya Allah......mpe subira..mama wawili....Innailaihi wa innailaihi rajiuna

  • @khadijamohamedkibabi3625
    @khadijamohamedkibabi3625 2 роки тому +1

    Innalilah wainna ilaih Rajoun Allah Awape Kauli Thabit Dah Pole Sana Mama Allah Akupe Subra Jmn

  • @leilahhassanomary7189
    @leilahhassanomary7189 2 роки тому +7

    So sad 😞 ! Ata huyu kijana alie waelekeza huko atafutwe 🙆🏿‍♀️

  • @mozarellachilala8947
    @mozarellachilala8947 2 роки тому

    Poleni sana wafiwa.m.mungu awape pepo yake janafirdaus kwa dhulma walodhulumika ..sheria ichukue mkondo wake tu .

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 роки тому +4

    Innalillahi wainnalilehi rajiun mbele yao nyuma yetu Allah awalaze mahali pema inshallah poleni sana familia,from (Kenya)

  • @HajraAlly-jo8zf
    @HajraAlly-jo8zf 11 місяців тому

    Pole sana mama ang imenium kwa kwel Allah awalaze mahal pema jamn huyu mganga hn ht hurum kam ndo kweli kawap xumu

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 2 роки тому +6

    Inna lilahi waina rajiun vijana wazuri jamani kma ni mkono wa m2 Allah atalipa

  • @yassintaibrahim3541
    @yassintaibrahim3541 2 роки тому +1

    Poleni Saana Wapendwa, Pole Saana Mama Mzazi Hakika Nimeumia Nimemkumbuka Mama Yangu Alivoondokewa Na Kaka Zangu Wawili Kwa Mpigo Kama Hivi Yani😭😭😭😭😭
    M/MUNGU Awafunge Mkanda Wazazi Wetu Maana Maumivu Hayaelezeki🙆🙆🙆

  • @fatumakwekwe3211
    @fatumakwekwe3211 2 роки тому +14

    RIP May your soul rest in peace

  • @theophildamfuruki6859
    @theophildamfuruki6859 2 роки тому +1

    Poleni sana wafiwa Mungu awape uvumilivu kwenye kipindi iki,kigumu kwenu

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 2 роки тому +66

    Innahlillah wainnah illah rajiun Allah awarehemu poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu..Yarrabi muanike huyo aliyewadhulumu maisha yao

  • @Mamkubwa
    @Mamkubwa Місяць тому

    Inna lillahi waina illah rajiun. Jamani mtu anafiaje kwenye Dua. Hayo waliokunywa ndio yamewadhuru.

  • @janemsamati6700
    @janemsamati6700 2 роки тому +5

    Poleni sana familia , pumzikeni kwa amani mapacha wenzangu, 😭😭😭

  • @kaysancindy6822
    @kaysancindy6822 2 роки тому

    Dah mpk nmelia jmn mbele wao nyuma sisi.. mwanaga wa milele uwaangazie... amiiin

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 2 роки тому +6

    Pole mama kwa watoto wako mapacha.

  • @sumayyahally866
    @sumayyahally866 2 роки тому

    Subhannallah innarinllah wainairehi rajiuni Allah azilaze roho zao pahara pema peponi amini inauma sana wallah mwenzenu hamjui kawaleaje watoto wake kapitia shida hadi kufikia hapo pole mumy

  • @faitharisson7002
    @faitharisson7002 2 роки тому +6

    May their souls RIP and may the Lord comfort the family 🙏

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 2 роки тому

    Sasa mimi ninauliza dual si ibada. Mbona mtu anafia kwenye ibada? Huyu mama aulizwe vizuri. Poleni sana wanafamilia mama mzazi Pole sana. Mwenyezi Mungu akulinde

  • @bintmuhammad4913
    @bintmuhammad4913 2 роки тому +3

    Innalillah wainna ilayhi raajiun. Poleni sana wafiwa wote Allah awajaalie subra na imani hakika ni msiba mzito huu.

  • @zainabzainab3907
    @zainabzainab3907 2 роки тому +1

    Huyo mama itakua kawapa madawa ambayo ni sumu innalillah wainnalillah rajiuun maskin mama wahao watoto jaman

  • @haniphermuscatoman6554
    @haniphermuscatoman6554 2 роки тому +9

    Mwenyezi Mungu wape mwanga wamilele 🤲🤲🤲

  • @nadhifajuma6485
    @nadhifajuma6485 2 роки тому +2

    Subhanallah 🥺😥 haki imenilizaa sana binadam sio wazur maskin sjui hawaoni haya maskini ya mungu kuondosha uhai wa binadam mwenzako 😟 daaah weny mioyo hii aisee mungu hatowasamehe kwa makosa haya😥😥😥allah awalaze pema kaka zangu imeniumiza sana kwa kweli msiba unauma haki kuzika watu wawili kwa mara moja so kaz ya kitoto allah awape subra wanafamilia kwa wakati huu ❤️❤️ nawapendaaaa sana

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 2 роки тому +6

    Innalillah wainna ilayh raajioun kufiwa kugumu 😭 msiba wetu sote huo poleni sana sana

  • @jokhasimba586
    @jokhasimba586 2 роки тому

    Pole mdgo wang allaah atakufanyia wepesi awape kitabu chao kwa mkon wa kulia

  • @annajohn9044
    @annajohn9044 2 роки тому +5

    🥺😭 Mungu awatie nguvu wazaz ndugu na jamaa za Hawa twins

  • @agnechiza6381
    @agnechiza6381 2 роки тому

    Inauma sana na inasikitisha, polen wafiwa Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu alichonacho.. mwanadamu ni mavumbi na mavumbi tutarejea

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 2 роки тому +3

    Innalillahi wainnalillah rajiuun Mwenyezi Mungu awape kauli thabiti awalaze mahali pema peponi.huyo rafiki yao anahusika kwa namna moja 😭😭😭

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 2 роки тому +1

    Mbona vipo vya familia moja zaidi ya mtu mmoja vinazidi.Mungu atusaidie

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 2 роки тому +17

    Subhana Allah mungu tupe mwisho mwema

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 роки тому

    Pole kaka kupoteza kakazako kama huwa unakabwaa usiku fanyaa hivii kakayangu mm huwa Niko nahiyoo shidaaa chukuwa chuvii niwua kisha tupia corner inne za hapo unalala wallah hao wanaokunyonga hawatakusongelea ingine mwaga kwa pillow unayolalia mm husaidika hivyoo

  • @hadiadaoman1981
    @hadiadaoman1981 2 роки тому +10

    Innallillah waainnaillaihii raajuhun daah Allah awape kauli thabiti wallah 😭😭😭😭😭😭

  • @johannahakim8470
    @johannahakim8470 2 роки тому +2

    🇧🇮 innallillah wainallillah rahijiun
    Allah yani mpaka nasikiya kama nywele ziko zinachomolewa uku nikisikiya maumivu Live,kwa uchungu naupata Miye nasikiya,pole ni familia,Na Mama jikaze Allah awa akupe ujasiri , ALLAH awapokeye kwa amani