🔴
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Siku kadhaa baada ya kutokea kifo cha mapacha Alif Athuman Ally (Kulwa) na Khalifa Athuman Ally (Doto) kwa madai ya kunyweshwa sumu na mwanamke mmoja maeneo ya Yombo vituka wakiwa kwenye dua, Kaka wa marehemu hao Alli Athuman Dilunga amesema familia imesikitishwa na kitendo hicho huku wakivitaka vyombo vya haki kutoa adhabu kali kwa aliyehusika na tukio hilo
Respect kaka wa marehemu unajua sana kujieleza mungu awaweke mahara pema peponi marehemu🙏
This can narrate a story so well, mwenyezi Mungu awape nguvu Familia nzima pole sana.
Mwenyez mungu pekee ndo anajua chanza Cha kifo Cha hao mapacha,mungu awape kauli njema ishallah
Inna lillah waina ilayhi rajiuun. Poleni sana Allah awape nguvu . Ameen
Mwenyezi Mungu awarehemu vijana hao inshallah.
Poleni sana ndugu...Niuchungu sana kupoteza wapendwa wenu..vijana wadogo sana walikuwa na malengo Yao mazuri
Inasikitisha sana 😭😭😭 watoto wa 2000 dah! Umri wangu kabisaa. Mungu awape kauli thabit
AMEEN YAA RABB
Poleni Sana,,tukio Kama hili lilitutokea mwaka Jana,,,mapacha wa Kaka angu ,,tulimpoteza kulwa doto aliokolewa kwa uwezo wa mungu ,,,inauma Sana, jamani,,wapumzike kwa amani
Imeniuma sana jamanii😭😭daaaah!!!Mungu awatie nguvu Familia😭😭😭😭😭😭
Nina mapacha najuwa uchungu wake unaumaje sanaaa 😭😭😭😭 nimelia sanaaa Eeewe mwenyezi MUNGU wasamehe watoto wangu Firdausi iwe makazi yao wanangu mlale mahara pema peponi wapendwa ALLAH atawalipia kwa hili Amiin
Duuuuuuh? Poleni sana wanafamilia mungu azilazee rohi za pacha hao mahali pema peponi amiiiina
Inna lilahi wa Inna illahi Rajiun Allah awape Jannatul Firdous inshallah poleni sana mimi naanza ona looo maskitiko naskia mam yao na nddugu baba Allah awape subra
inalilah wainalilah rajiun poleni sana wazazi wenzangu kaka wa marehem na familia yote asikwambie kitu kupoteza mapacha ni msiba mkubwa uyu mama mungu ampe subra
Pole sana kakapia poleni wote wafiwa subra tu kwa kipind hicho kigumu.
NAMSHUKURU MUNGU KWA NEEMA HII YAKUMWAMINI YESU KRISTO.
Inalilah wainailaihi rajiun Mungu awalaze Pema pepon inxhaallah imeniguxa xna nakufikia kutoka choz it's heart ugueni pole familia Mungu atawapa adabu wote waliowahusu vijana hao 🤲🤲🤲🤲🤲🤲😭😭😭😭😭
Innarinllah wainairehi rajiuni wallah nimeumia sana hiki kifo wallah sina hata nguvu hapa nilipo ninavyopenda mapacha imenigusa sijui mm mzazi kaumia vipi pole mm angu yaraabi watie nguvu family hii pole brother umepigania sana wadogo zako Allah akulipe but haikua lidhiki tena pumziken kulwa and doto
Yaarabbi wasamehe wajawako Hawa wawili wajaalie pepo ya jannatu firdaus inshaallaah poleni wana familia Allah awape subra na imani juu ya mtihani huu mkubwa😭😭😭
uyu mama achukuliwe hatua ya hali ya juu wallah ata kunyogwa ikiwa amepoteza maisha ya hawa watoto mungu amuadhibu mana uchungu wake ausahauliki poleni sana kaka ww ni mfano bora
Poleni jmani wafiwa.wote ila mungewapa maziwa hao.hyo sumu ingefanya kzi ingetoka
Poleni sana Allah awape subra wafiwa,na Allah atamlipa kwa alichofanya
Pole Sana kaka,pia poleni wazazi na family yote kwa ujumla💔😭
Jamani polen Sana Ila laight Kama mngejua kwamba YESU anaweza yote hao watoto wasingekufa ! Ah it's so painful 😭😭Hiyo ni hila ya shetani
Mmmh
Yesu ndio nani ikiwa yeye mwenyewe amekufa yaani bado tu hujiongezi yaani huyo unaemtegemea kafa dunia imaogozwa nanani wacha uswahili tambua mungu 1 hajazaa wala hajazaliwa na akipanga lolote liwe huwa yesu yesu yesu ndio nani sasa huyo binadam kama wewe sema tu alitumwa na mungu duniani ila sio umeambiwa umuabudu
Kwa hiyo wewe hutakufa?
Poleni xn mungu ni mwema wakati wote
Poleni wafiwa Mungu awatie nguvu kazi ya Mungu haina makosa tukubali
Dah poleni sana ndugu zangu wafiwa Mungu amewapenda zaidi
Hiiii story imeniuma sana mpka kulia na wauguzi wote walioowahudumia mwenyez mungu awalinde ila hawa mapacha mungu awapokee😓😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Jamani mbona Tanzania mauwaji mengi Allah awahifadhi wenzetu
Poleni Sana mungu awatie nguvu Ila mtangazaji ujui kuhoji
Allahu akbar
إنا لله وإنا إليه راجعون اللهم اغفر لهما وارحمهما واسكنهما مكانا فى الجنة
Poleni sana ndgu zetu inauma sana .
Innalliallhi wainailayhi rajiun,mungu atawalioa inshallah na. Huyo bbi mungu atamlipa kwa alilifanya
Pole rafikiyangu
Pole sana ndugu na jamaa mungu awatie nguvu
Mtihani sana Allah awape pepo njema amin poleni sana inaumiza mno
Pole sana ndg inaumiza sana,
Poleni kiukweli mungu akawe mfariji wenu kipind hiki kigumu
Poleni sana jamani. Mungu awape uvumilivu na nguvu katika kipindi hiki kigumu
Inauma sana Mungu awasimamie na kuwatia nguvu wanafamilia
Allah ashukuriwa ampe mama na baba ujira mkubwa kwa subrayao na marehemu Allah awalipe malipo yao ya kudhulumiwa awasafishe kama walipokuja katika hii duniya wakiwa safi warudi wa kiwa safi na huyomama na huyo. Rafiki isijekuwa choyo...kimimshika ndiyo.kapanga na huyomama awadhulumu uhai wao..kwa tamaa ya kupewa chochote
Poleni sana SubhanaAllah inasikitisha sana Allah awarehemu. Amin
Alhamdulillah,inauma Sana, Allah awape subra wafiwa wote 🤲😭😭😭
Moyo moyo wangu umeuma nimeumia sijaweza kula siku amboyo nimeona ilitukio humu mtandaoni moyo wangu umeuma sana😭😭😭😭😭hakika mungu atatenda 😭😭😭😭😭😭
Tunawaombeya wazazi na ndugu zao subra inshallah wamezulumiwa lakini tusisahawu ndio walivyo andikiwa alhamdulilah mshukuru yote qadara
Allah awarehemu yarby uko waliko.Awaondolee adhabu ya kabur
Poleni Sana.... Mungu awatie nguvu
Pole sana bro.Mungu awe faraja kwenu.
Poleni nyoooote mlioguswa na msiba wa mapacha hao duuh inauma,,, sasa dua ilisomwaje hadi watoto wafe eeh
Pole sana
Innalillah wainna ilaih rajiun..ya ALLAH AKBAR wape jannat nagheem
Mwenyezi Mungu awape nguvu na afarifji muda Huu mgumu
Innalillah wainna ilaih rajiun ALLAH AKBAR awafanyie wepes wafiwa jamani inaumiza saana mwenyezimungu muumba ardhi na mbingu awaongoze. Subra
Nimempenda huyu kijana kwa ujumla hii familila iko vizur
Allah awapeni subra INSHAALLAH
Poleni xana familiy ya mapacha hao
inauma sana ,poleni sana
Ichekiwe sim ya ndugu yk
Na meseji zote rfk alowalekeza na sim ya mama mganga
Daah..inasikitisha sana
Huyo rafiki yao nae ni wa kuisaidia upelelezi..hata kama alipigiwa simu lakini lazima tupate maelezo ya kujitosheleza kutoka kwake pia. Ukweli ujulikane na iwe funzo kwa jamii.Poleni sana wanafamilia
Dah mmeondoka wote kama mlivozaliwa Mungu awapoke
Poleni sana wafiwa m mungu awarehem awalaze pema peponi amiin
Poleni sana
Mmmmmh!!! Jamaniiiiiiii poleni Sana wanafamilia, poleni Sana Kaka mkubwa. Mungu akutie nguvu.
Poleni saana!!
Mimi ni mzazi jamani mbna imenigusa na ni mmi Mkenya but Allah Kareem na Atawalipia ikiwa walidhulumiwa
sina ziada ila nawapa pole familia iliyokumbwa na msiba
😪😔😪😔🙏
Daaa inauma sana mungu hawape ujasiri family iliyo filiwa 😭😭😭 Pole sana
Poleni sana.bro
Pole sana mama kwa mcba mungu awaweke mahalo pema peponi
Pole Sana..Ila ulishindwa kufanya Jambo na uzembe wako pengine ulisababisha hivyo vifo.
mdogo amekupigia simu hali mbaya badala ya kusema waende hospitali unapanda daladala ..umefika unawakutabwako hoi badala ya kuwai hospitali mnasoma dua.
Ungearakisha yasingetokea hayo. Ila kinachoonekana hao wadogo zako walikwenda kwa mganga na kupewa dawa ya kunywa kama sentensi yako ya mwisho inavyosema
Usipende kuhukumu ndugu yang alilolipanga mungu mwanadamu hata afanyaje
Mungu akipanga lake Alina makosa hos ndio NN kama mungu amekuitaji utaenda utaenda tu.ilikua sababu iyo
Huyo mama angetaka kutoroka angetolojka mapema mno achen kulaum watu juwen Mambo ya rohon kwanza muombe mungu akupe ufaham wa kiroho aisee uta enjoy mno
@@ledynanciajuma6390 mbona wamemkamata huyo mama so wangemuacha Kama mungu kapanga
Kua na Iman ndugu yangu itakusaidia sana... Amin qadar za muumba wako
Wapumzike kwa amani! Ila tumepata mafunzo! Watoto wadogo wasiende kwenye matibabu ya stahili hiyo bila mzazi/mlezi au mtu yoyote mkubwa kwao kufanya utafiti! Dunia imebadilika
Ila hata hivyo hao sio watoto ni vijana wenye umri wa miaka 22 kuna wengine wameoa na kuolewa kwa huo umri .R I P vijana wetu
Lipangwalo na mungu halipanguliki
Uyo ni mdudu aliwakalia hilitakiwa mashee wengi awasomee lakini uyo mama alikua ana nguvu
Poleni xn wafiwa jamaniii.
Poleni sana kwa kweli inauma sana
Subuhan llah.
Poleni sana tena sana
😭😭😭😭 poleni sana Kwa family Mungu awatia nguvu may hr rest in peace
Vitu vya kunywa kunywa kwa madai eti dua au maombezi awamu hii vikomeshwe,unakuta mtu ananywesha watu mafuta au maji je usalama wa vitu hivyo umehakikiwa na nani? Kwani ili mtu apone ni lazima umyweshe hivyo vifaa vya kiroho? Mambo ya kusema kila mtu imani yake huku watu wakinyweshwa sumu!! Vyombo vya usalama viangalie jambo hili kwa umakini!!
Pore.sana.mungu.awapokee.nbigun
Poleni Sana jamani wanadamu sio watu
Imeniuma sana poleni
Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi.
Mwanamke kumsomea dua wanaume na kuwagusa sio halali
Dua ni quran na kutumia njia ya sunnah
Labda yule mama mganga
Kwenye kutibu hakuna uharamu
@@NR-ll4sr tibu pia ina sharia zake. Uislamu imekamilika. Kila kazi ina nadhamu yake.
Pole kaka mungu awarehemu
Polen xana ndugu wa malehem
Hawa watoto kuna jambo. Nimeumia sana.
Ila poleni alLaah atawafanyia wepesi awspe kauli thabit
Poleni sana ndugu zangu
Subbhana Allah innalillahi wainna illaihi rajiun
Inalilah wainalilah rajuhuna
INNAH LILLAH Wa INNA ILLAHI RAJOON Allah Kareem
Pole sana kaka
Poleee jmni daah
Huyo Mama amewafanya misukule aambiwe awatoe walipo.
Inaalilah wannaaa ilaiii rajiuun pole sana jamanii
POLENI SANA SANA,HAKI ZAO ZITAPATIKANA..HUYU MAMA AJIELEZE VZR,NA KUKAPIMWE HARAKA KULE WALIKOKUWA
Allah awarehemu awape kauli thabit poleni sana
Mama wewe uliwapa nini jamaniii daah tumeumia nini uliwapa ,RIP wadogo zetu
Ooo jamani poleni sana familia inaumiza sana
Polen sana
Poleni san
Poleni sana familia inauma sana